1. Somo la 5
Kiingereza: Simple Past Tense – Active Voice.
Tamka: (Simpo Pasti Tensi - Aktivu Voisi).
Kiswahili: Wakati uliopita uliorahisi – Katika hali ya kutenda.
- Wakati uliopita sana – katika hali ya kutenda.
Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:-
1. Mimi nilizungumza Kiingereza.
N + T
2. Wao walikula ugali.
N + T
3. Yeye “Mwanamke” aliiba kitabu.
N + T
4. Musa alichukua kikombe.
N + T
Katika Kiingereza:-
S – Hakuna katika sentensi za kawaida na zile za ndiyo.
T - huwa katika hali ya ‟PT.‟ yaani “Past tense, tamka (Pasti tensi)” kama ifuatavyo:-
- Zungumza huwa – spoke, tamka (spoku).
- Kula huwa – ate, tamka (eti).
- Iba huwa – stole, tamka- (stolu).
- Chukua huwa – took, tamka (tuku).
Kwa mujibu wa kanuni rahisi za Ras Simba na hata kwa mujibu wa kanuni nyingine zilizo
ngumu, hali hii ya tendo huitwa ‘PT‟, yaani Past tense, tamka (Pasti tensi).
1. Kanuni ya sentensi fasaha za Kiingereza za nili, tuli, uli, mli, ali na wali katika hali
ya kutenda yaani sentensi za ‘Simple Past Tense – Active Voice’ ni: N + T(PT).
(1).(a). Mimi nilizungumza Kiingereza.
I spoke English .Tamka (Ai spoku Inglish).
N + T(PT).
(1).(b). Wao walikula ugali.
They ate ugali.Tamka (Dhei eti ugali).
N +T(PT).
(1).(c). Yeye „‟mwanamke“ aliiba kitabu.
She stole a book. Tamka (Shi stolu e buku).
N + T(PT).
(1).(d). Musa alichukua kikombe.
Musa took a cup. Tamka (Musa tuku e kapu).
N + T(PT).
(1).
2. 2. Kanuni ya kuuliza maswali ya nili, tuli, uli, mli, ali na wali ktk hali ya kutenda
yaani maswali ya ‟Simple Past Tense – Active voice’ ni: S + N + T(BF)?
Saidizi inayoonekana katika kanuni ya maswali hapo juu ni Did ambayo hutumika katika
kuuliza maswali ya nafsi zote katika umoja na uwingi kama ionekanavyo hapa chini
katika jedwali la nafsi :-
Nafsi Umoja Uwingi
1 Did I...............? Did we ...................?
2 Did you .........? Did you ..................?
3 Did he.......... .?
Did Musa ......?
Did She ........?
Did Aisha ......?
Did it .............?
Did a goat .....?
Did they ................?
Soma kwa makini maswali, majibu ya ndiyo na majibu ya hapana ya sentensi hizi za
„Wakati uliopita uliorahisi katika hali ya kutenda, yaani maswali, majibu ya ndiyo na
majibu ya hapana ya „Simple Past Tense – Active Voice :-
(2).(a).(i). Je, wewe ulizungumza Kiingereza fasaha?
Did you speak standard English?
S + N + T(BF)
Tamka (Did yu spik standadi Inglish)?
(2).(a).(ii). Ndiyo, mimi nilizungumza Kiingereza fasaha.
Yes, I spoke standard English.
YES+ N + T(PT).
Tamka (Yesi, Ai spoku standadi Inglish).
(2).(a).(iii). Hapana, mimi sikuzungumza Kiingereza fasaha .
No, I did not speak standard English. (Hii ni nzuri kwa kuandika)
NO + N + S +NOT +T(BF).
Tamka (No, Ai did noti spik standadi Inglish).
(2).(a).(iv).Hapana, mimi sikuzungumza Kiingereza fasaha..
No, I didn‟t speak standard English. (Hii ni nzuri kwa kuongea).
NO + N + DIDN’T +T(BF).
Tamka (No, Ai didnti spik standadi Inglish).
(2).
3. (2).(b).(i). Je, Musa alichukua Kikombe?
Did Musa take a cup?
S + N + T(BF)
Tamka (Did Musa teki e kapu)?
(2).(b).(ii). Ndiyo, Musa alichukua kikombe.
Yes, Musa took a cup.
YES+ N +T(PT).
Tamka (Yesi, Musa tuku e kapu).
(2).(b).(iii). Hapana, Musa hakuchukua kikombe.
No, Musa did not take a cup. (Hii ni nzuri kwa kuandika).
NO + N + S + NOT +T(BF).
Tamka (No, Musa did noti teki e kapu).
(2).(b).(iv). Hapana, Musa hakuchukua kikombe.
No, Musa didn‟t take a cup. (Hii ni nzuri kwa kuongea).
NO + N + DIDN’T +T(BF).
Tamka (No, Musa didnti teki e kapu).
(3).
4. ZOEZI LA 5.
Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:-
Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):-
Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:-
(1).(i). Kiswahili: Kimbute alileta gari ndogo mbili.
Kiingereza: ____________ _____________ __________ _________.
Kanuni: N + T(PT)
- N - Kimbute.
- T(PT) – brought, tamka (brout) - leta.
- Two cars, tamka (tu kaz) - gari ndogo mbili.
(1).(ii). Kiswahili: Je, Kimbute alileta gari ndogo mbili?
Kiingereza: _____ ____________ ____________ ________ ____________ ?
Kanuni: S + N + T(BF)
-S – Did, tamka (did).
- N – Kimbute.
-T(BF) – bring, tamka (bring) - leta.
- Two cars tamka (tu kaz) - gari ndogo mbili.
(1).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Kimbute alileta gari ndogo mbili.
Kiingereza: ______ ___________ ___________ _________ ________.
Kanuni: YES + N + T(PT)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N - Kimbute.
- T(PT) – brought , tamka (brout) - leta.
- Two cars, tamka (tu kaz) - gari ndogo mbili.
(1).(iv). Kiswahili: Hapana, Kimbute hakuleta gari ndogo mbili.
Kiingereza: ____ ___________ _____ ______ _________ ______ ________ .
Kanuni: NO + N + S + NOT + T(BF)
- No, tamka (no) - Hapana.
- N - Kimbute.
- S – Did, tamka (did).
- T(BF) – bring, tamka (bring) - leta.
- Two cars, tamka (tu kaz) - gari ndogo mbili.
(1).(v). Kiswahili: Hapana, Kimbute hakuleta gari ndogo mbili.
Kiingereza: ____ __________ _______ _______ _______ __________.
Kanuni: NO + N + DIDN’T + T(BF)
- No, tamka (no) - Hapana
- N - Kimbute.
-T(BF) – bring, tamka (bring) - leta.
- Two cars, tamka (tu kaz) - gari ndogo mbili.
(4).
5. (2).(i). Kiswahili: Sisi tulisaini mkataba wa biashara.
Kiingereza: _____ _________ ____ ______________ _______________.
Kanuni: N + T(PT)
- N – We, tamka (wi).
- S – Hakuna.
- T(PT) – signed, tamka (sain’d) – piga sahihi.
– A Business contract, tamka (e biznesi kontrakt) – mkataba wa biashara.
(2).(ii Kiswahili: Je, nyinyi mlisaini mkataba wa biashara?
Kiingereza:____ _____ _______ ___ _____________ ____________?
Kanuni: S + N + T(BF)
- S – Did, tamka (did).
- N – You, tamka (yu).
- T(BF) – sign, tamka (sain) – piga sahihi.
– A Business contract, tamka (e biznesi kontrakt) – mkataba wa biashara.
(2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Sisi tulisaini mkataba wa biashara.
Kiingereza: _____ _____ _________ ____ _______________ ____________.
Kanuni: YES + N + T(PT)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N – We, tamka (wi).
- T(PT) – signed, tamka (sain’d) – piga sahihi.
– A Business contract, tamka (e biznesi kontrakt) – mkataba wa biashara.
(2).(iv). Kiswahili: Hapana, sisi hatukusaini mkataba wa biashara,
Kiingereza: ____ ____ ____ _____ ______ __ ___________ ___________.
Kanuni: NO + N + S + NOT + T(BF)
- No, tamka (no) - Hapana.
- N – We, tamka (wi).
- S – Did, tamka (did).
- T(BF) - sign, tamka (sain) – piga sahihi.
– A Business contract, tamka (e biznesi kontrakt) – mkataba wa biashara.
(2).(v). Kiswahili: Hapana, sisi hatukusaini mkataba wa biashara,.
Kiingereza:____ _____ ______ ______ ____ ___________ ____________.
Kanuni: NO + N +DIDN’T+ T(BF)
- No, tamka (no) - Hapana.
- N – We, tamka (wi).
- T(BF) – sign, tamka (sain) – piga sahihi.
- A Business contract, tamka (e biznesi kontrakt) – mkataba wa biashara.
(5).
6. (3).(i). Kiswahili: Mimi nililipa pesa nyingi.
Kiingereza: ____ _________ ____ ________ _____ ___________.
Kanuni: N + T(PT)
- N – I, tamka (ai).
-T(PT) – paid, tamka (peid) - lipa.
- A lot of money, tamka (e lot ovu mane) – pesa nyingi.
(3).(ii). Kiswahili: Je, wewe ulilipa pesa nyingi?
Kiingereza: _____ _______ ______ ____ ______ ____ _________?
Kanuni: S + N + T(BF)
- S – Did, tamka (did).
- N – You, tamka (yu).
- T(BF) – pay, tamka (pei) - lipa.
- A lot of money, tamka (e lot ovu mane) – pesa nyingi.
(3).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Mimi nililipa pesa nyingi.
Kiingereza: ____ ____ _______ ___ _______ _____ _________
Kanuni: YES + N + T(PT)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N – I, tamka (ai).
- T(PT) – paid, tamka (peid) - lipa.
- A lot of money, tamka (e lot ovu mane) – pesa nyingi.
(3).(iv). Kiswahili: Hapana, mimi sikulipa pesa nyingi.
Kiingereza: ____ _____ ____ ______ _______ ___ ______ ____ ________.
Kanuni: NO+ N + S + NOT + T(BF)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N – I, tamka (ai).
- S – Did, tamka (did).
- T(PT) – pay, tamka (pei) - lipa.
- A lot of money, tamka (e lot ovu mane) – pesa nyingi.
(3). (v Kiswahili: Hapana, mimi sikulipa pesa nyingi.
Kiingereza:_____ ___ ________ ______ ____ ________ _______ _________.
Kanuni: NO + N + DIDN’T+ T(BF).
- No, tamka (no) – Hapana.
- N – I, tamka (ai).
- S – Did, tamka (did).
- T(PT) – pay, tamka (pei) - lipa.
- A lot of money, tamka (e lot ovu mane) – pesa nyingi.
Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and
Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na
kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa
Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani
kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au
P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa
kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake
rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa
kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba
mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69.
(6).