SlideShare a Scribd company logo
1 of 12
Download to read offline
Somo la 18
1.Matumizi ya your, tamka (yua) na my, tamka (mai) kwa tafsiri ya kumiliki.
(1).(a). (i). Swali: Je, hiki ni kitabu chako?
Kiingereza: Is this your book?
Tamka: (Izi dhisi yua buku)?
(1).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, hiki ni kitabu changu.
Kiingereza: Yes, this is my book.
Tamka: (Yesi, dhisi izi mai buku).
(1). (a).(iii). Jibu: Hapana, hiki siyo kitabu changu.
Kiingereza: No, this is not my book.
Tamka: (No. dhisi izi noti mai buku).
Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „your’ ambayo inataja miliki ya wewe‟ na
tumejifunza matumizi ya „my’ ambayo inataja miliki ya mimi, na tumeona kwamba
katika mfano huu tumeanza na neno hiki na hatujaanza na neno kitabu, hii ni
kwasababu tumetumia „your’ na „my’, tungetumia „yours’ na „mine’ basi tungeanza na
neno kitabu. Vilevile matumizi haya ya „your ’ na „my’ lazima yaende sambamba na
jina la kitu kama ionekanavyo katika mfano huu hapo juu . Hivyobasi siyo sahihi
kuuliza, is this your? Kwasababu ni lazima utaje jina la kitu ndipo ilete maana, kama
hivi, is this your book? na majibu yake lazima yawe na jina la kitu kama hivi, Yes, this
is my book au No, this is not my book.
.
(1).(b). (i). Swali: Je, hivi ni vitabu vyako?
Kiingereza: Are these your books?
Tamka: (A dhizi yua buksi)?
(1).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, hivi ni vitabu vyangu.
Kiingereza: Yes, these are my books.
Tamka: (Yesi, dhizi a mai buksi).
(1). (b).(iii). Jibu: Hapana, hivi siyo vitabu vyangu.
Kiingereza: No, these are not my books.
Tamka: (No. dhizi a noti mai buksi).
Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „your’ ambayo inataja miliki ya wewe‟ na
tumejifunza matumizi ya „my’ ambayo inataja miliki ya mimi, na tumeona kwamba
katika mfano huu tumeanza na neno hivi na hatujaanza na neno vitabu, hii ni
kwasababu tumetumia „your’ na „my’, tungetumia „yours’ na „mine’ basi tungeanza na
neno vitabu. Vilevile matumizi haya ya „your ’ na „my’ lazima yaende sambamba na
jina la vitu kama ionekanavyo katika mfano huu hapo juu . Hivyobasi siyo sahihi
kuuliza, are these your? Kwasababu ni lazima utaje jina la vitu ndipo ilete maana,
kama hivi, are these your books? na majibu yake lazima yawe na jina la vitu kama hivi,
Yes, these are my books au No, these are not my books.
(1).
ZOEZI LA 18.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza.
Swali namba (1).
(1). (a). (i). Swali: Je, hii ni nyumba yako?
Kiingereza: _____________________________________________________
_____________________________________________________
(1).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, hii ni nyumba yangu.
Kiingereza: ________________________________________________________
________________________________________________________
(1). (a).(iii). Jibu: Hapana, hii siyo nyumba yangu.
Kiingereza: ________________________________________________________
________________________________________________________
(1).(b). (i). Swali: Je, hizi ni nyumba zako?
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(1).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, hizi ni nyumba zangu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(1). (b).(iii). Jibu: Hapana, hizi siyo nyumba zangu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(2).
(2). Matumizi ya yours, tamka (yuazi) na mine, tamka (maini) kwa tafsiri ya kumiliki.
(2).(a).(i). Swali: Je, kitabu hiki ni chako?
Kiingereza: Is this book yours?
Tamka: (Izi dhisi buku yuazi)?
(2).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, kitabu hiki ni changu.
Kiingereza: Yes. This book is mine.
Tamka: (Yesi, dhisi buku izi maini).
(2).(a).(iii).Jibu: Hapana, kitabu hiki siyo changu.
Kiingereza: No, this book is not mine.
Tamka: (No, dhisi buku iz noti maini).
Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „yours’ ambayo inataja miliki ya wewe‟ na
tumejifunza matumizi ya „mine’ ambayo inataja miliki ya mimi, na tumeona kwamba
katika mfano huu tumeanza na neno kitabu na hatujaanza na neno hiki, hii ni
kwasababu tumetumia „yours’ na „mine’, tungetumia „your’ na „my’ basi tungeanza na
neno hiki. Vilevile matumizi haya ya „yours ’ na „mine’ siyo lazima yaende sambamba
na jina la kitu, hivyobasi ni sahihi kabisa kuuliza bila kutaja jina la kitu, kama hivi,
is this yours? na majibu yake sahihi yakawa hivi, Yes, this is mine au No, this is not
mine. Endelea kuisoma mifano ifuatayo inayoonesha matumizi ya „yours‟ na „mine‟ bila
kutaja jina la kitu: -
(2).(a).(iv). Swali: Je, hiki ni chako?
Kiingereza: Is this yours?
Tamka: (Izi dhisi yuazi)?
(2).(a).(v). Jibu: Ndiyo, hiki ni changu.
Kiingereza: Yes, this is mine.
Tamka: (Yesi, dhisi izi maini).
(2).(a).(vi). Jibu: Hapana, hiki siyo changu.
Kiingereza: No, this is not mine.
Tamka: (No, dhisi izi noti maini).
(2).(a).(vii). Swali: Je, ni chako?
Kiingereza: Is it yours?
Tamka: (Iz iti yuazi)?
(2).(a).(viii). Jibu: Ndiyo, ni changu.
Kiingereza: Yes, it is mine.
Tamka: (Yesi, iti izi maini).
(2).(a).(ix). Jibu: Hapana, siyo changu
Kiingereza: No, it is not mine.
Tamka: (No, iti izi noti main).
Hapa jina la kitu chenyewe halijatajwa lakini kwa kutumia „yours’ na „mine’ bado
sentensi imeleta maana kamili.
(3).
(2).(b).(i). Swali: Je, vitabu hivi ni vyako?
Kiingereza: are these books yours?
Tamka: (A dhizi buksi yuazi)?
(2).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, vitabu hivi ni vyangu.
Kiingereza: Yes, these books are mine.
Tamka: (Yesi, dhizi buksi a maini).
(2).(b).(iii).Jibu: Hapana, vitabu hivi siyo vyangu.
Kiingereza: No, these books are not mine.
Tamka: (No, dhizi buksi are noti maini).
Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „yours’ ambayo inataja miliki ya wewe‟ na
tumejifunza matumizi ya „mine’ ambayo inataja miliki ya mimi, na tumeona kwamba
katika mfano huu tumeanza na neno vitabu na hatujaanza na neno hivi, hii ni
kwasababu tumetumia „yours’ na „mine’, tungetumia „your’ na „my’ basi tungeanza na
neno hivi. Vilevile matumizi haya ya „yours ’ na „mine’ siyo lazima yaende sambamba
na jina la vitu, hivyobasi ni sahihi kabisa kuuliza bila kutaja jina la vitu, kama hivi, are
these yours? na majibu yake sahihi yakawa hivi, Yes, these are mine au No, these are
not mine. Endelea kuisoma mifano ifuatayo inayoonesha matumizi ya „yours‟ na „mine‟
bila kutaja jina la vitu: -
(2).(b).(iv). Swali: Je, hivi ni vyako?
Kiingereza: Are these yours?
Tamka: (A dhizi yuazi)?
(2).(b).(v). Jibu: Ndiyo, hivi ni vyangu.
Kiingereza: Yes, these are mine.
Tamka: (Yesi, dhizi a maini).
(2).(b).(vi). Jibu: Hapana, hivi siyo vyangu.
Kiingereza: No, these are not mine.
Tamka: (No, dhizi a noti maini).
Hapa majina ya vitu vyenyewe hayajatajwa lakini kwa kutumia „mine’ na „yours’ bado
sentensi imeleta maana kamili.
(4).
ZOEZI LA 18.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza.
Swali namba (2).
(2).(a). (i). Swali: Je, nyumba hii ni yako?
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(2).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, nyumba hii ni yangu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(2).(a).(iii). Jibu: Hapana, nyumba hii siyo yangu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(2).(a).(iv). Swali: Je, hiki ni chako?
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(2).(a).(v). Jibu: Ndiyo, hiki ni changu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(2).(a).(vi). Jibu: Hapana, hiki siyo changu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(2).(a).(vii). Swali: Je, ni chako?
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(2).(a).(viii). Jibu: Ndiyo, ni changu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(2).(a).(ix). Jibu: Hapana, siyo changu
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(5).
(2).(b).(i). Swali: Je, nyumba hizi ni zako?
Kiingereza: ________________________________________________________
________________________________________________________
(2).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, nyumba hizi ni zangu.
Kiingereza: ________________________________________________________
________________________________________________________
(2).(b).(iii). Jibu: Hapana, nyumba hizi siyo zangu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(2).(b).(iv). Swali: Je, hivi ni vyako?
Kiingereza: ______________________________________________________
________________________________________________________
(2).(b).(v). Jibu: Ndiyo, hivi ni vyangu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(2).(b).(vi). Jibu: Hapana, hivi siyo vyangu.
Kiingereza:________________________________________________________
________________________________________________________
(6).
3. Matumizi ya your, tamka (yua) na our, tamka (awa) kwa tafsiri ya kumiliki.
(3).(a). (i). Swali: Je, hiki ni kitabu chenu?
Kiingereza: Is this your book?
Tamka: (Izi dhisi yua buku)?
(3).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, hiki ni kitabu chetu.
Kiingereza: Yes, this is our book.
Tamka: (Yesi, dhisi izi awa buku).
(3). (a).(iii). Jibu: Hapana, hiki siyo kitabu chetu.
Kiingereza: No, this is not our book.
Tamka: (No. dhisi izi noti awa buku).
Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „your’ ambayo inataja miliki ya nyinyi‟ na
tumejifunza matumizi ya „our’ ambayo inataja miliki ya sisi, na tumeona kwamba
katika mfano huu tumeanza na neno hiki na hatujaanza na neno kitabu, hii ni
kwasababu tumetumia „your’ na „our’, tungetumia „yours’ na „ours’ basi tungeanza na
neno kitabu. Vilevile matumizi haya ya „your ’ na „our’ lazima yaende sambamba na
jina la kitu kama ionekanavyo katika mfano huu hapo juu . Hivyobasi siyo sahihi
kuuliza, is this your? Kwasababu ni lazima utaje jina la kitu ndipo ilete maana, kama
hivi, is this your book? na majibu yake lazima yawe na jina la kitu kama hivi, Yes, this
is our book au No, this is not our book.
.
(3).(b). (i). Swali: Je, hivi ni vitabu vyenu?
Kiingereza: Are these your books?
Tamka: (A dhizi yua buksi)?
(3).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, hivi ni vitabu vyetu.
Kiingereza: Yes, these are our books.
Tamka: (Yesi, dhizi a awa buksi).
(3). (b).(iii). Jibu: Hapana, hivi siyo vitabu vyetu.
Kiingereza: No, these are not our books.
Tamka: (No. dhizi a noti awa buksi).
Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „your’ ambayo inataja miliki ya nyinyi‟ na
tumejifunza matumizi ya „our’ ambayo inataja miliki ya sisi, na tumeona kwamba
katika mfano huu tumeanza na neno hivi na hatujaanza na neno vitabu, hii ni
kwasababu tumetumia „your’ na „our’, tungetumia „yours’ na „ours’ basi tungeanza na
neno vitabu. Vilevile matumizi haya ya „your ’ na „our’ lazima yaende sambamba na
jina la vitu kama ionekanavyo katika mfano huu hapo juu . Hivyobasi siyo sahihi
kuuliza, are these your? Kwasababu ni lazima utaje jina la vitu ndipo ilete maana,
kama hivi, are these your books? na majibu yake lazima yawe na jina la vitu kama hivi,
Yes, these are our books au No, these are not our books.
(7).
ZOEZI NAMBA 18.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza.
Swali namba (3).
(3). (a). (i). Swali: Je, hii ni nyumba yenu?
Kiingereza: _____________________________________________________
_____________________________________________________
(3).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, hii ni nyumba yetu.
Kiingereza: ________________________________________________________
________________________________________________________
(3). (a).(iii). Jibu: Hapana, hii siyo nyumba yetu.
Kiingereza: ________________________________________________________
________________________________________________________
(3).(b). (i). Swali: Je, hizi ni nyumba zenu?
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(3).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, hizi ni nyumba zetu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(3). (b).(iii). Jibu: Hapana, hizi siyo nyumba zetu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(8).
(4). Matumizi ya yours, tamka (yuazi) na ours, tamka (awazi) kwa tafsiri ya kumiliki.
(4).(a).(i). Swali: Je, kitabu hiki ni chenu?
Kiingereza: Is this book yours?
Tamka: (Iz dhisi buku yuazi)?
(4).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, kitabu hiki ni chetu.
Kiingereza: Yes. This book is ours.
Tamka: (Yesi, dhisi buku izi awazi).
(4).(a).(iii).Jibu: Hapana, kitabu hiki siyo chetu.
Kiingereza: No, this book is not ours.
Tamka: (No, dhisi buku iz noti awazi).
Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „yours’ ambayo inataja miliki ya nyinyi‟ na
tumejifunza matumizi ya „ours’ ambayo inataja miliki ya sisi, na tumeona kwamba
katika mfano huu tumeanza na neno kitabu na hatujaanza na neno hiki, hii ni
kwasababu tumetumia „yours’ na „ours’, tungetumia „your’ na „our’ basi tungeanza na
neno hiki. Vilevile matumizi haya ya „yours ’ na „ours’ siyo lazima yaende sambamba
na jina la kitu, hivyobasi ni sahihi kabisa kuuliza bila kutaja jina la kitu, kama hivi, is
this yours? na majibu yake sahihi yakawa hivi, Yes, this is ours au No, this is not
ours. Endelea kuisoma mifano ifuatayo inayoonesha matumizi ya „yours‟ na „ours‟ bila
kutaja jina la kitu: -
(4).(a).(iv). Swali: Je, hiki ni chenu?
Kiingereza: Is this yours?
Tamka: (Izi dhisi yuazi)?
(4).(a).(v).Jibu: Ndiyo, hiki ni chetu.
Kiingereza: Yes, this is ours.
Tamka: (Yesi, dhisi izi awazi).
(4).(a).(vi). Jibu: Hapana, hiki siyo chetu.
Kiingereza: No, this is not ours.
Tamka: (No, dhisi izi noti awazi).
(4).(a).(vii). Swali: Je, ni chenu?
Kiingereza: Is it yours?
Tamka: (Izi iti yuazi)?
(4).(a).(viii). Jibu: Ndiyo, ni chetu.
Kiingereza: Yes, it is ours.
Tamka: (Yesi, iti izi awazi).
(4).(a).(ix). Jibu: Hapana, siyo chetu.
Kiingereza: No, it is not ours.
Tamka: (No, iti izi noti awazi).
Hapa jina la kitu chenyewe halijatajwa lakini kwa kutumia „yours’ na „ours’ bado
sentensi imeleta maana kamili.
(9).
(4).(b).(i). Swali: Je, vitabu hivi ni vyenu?
Kiingereza: are these books yours?
Tamka: (A dhizi buksi yuazi)?
(4).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, vitabu hivi ni vyetu.
Kiingereza: Yes, these books are ours.
Tamka: (Yesi, dhizi buksi a awazi).
(4).(b).(iii).Jibu: Hapana, vitabu hivi siyo vyetu.
Kiingereza: No, these books are not ours.
Tamka: (No, dhizi buksi are noti awazi).
Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „yours’ ambayo inataja miliki ya nyinyi ‟ na
tumejifunza matumizi ya „ours’ ambayo inataja miliki ya sisi, na tumeona kwamba
katika mfano huu tumeanza na neno vitabu na hatujaanza na neno hivi, hii ni
kwasababu tumetumia „yours’ na „ours’, tungetumia „your’ na „our’ basi tungeanza na
neno hivi. Vilevile matumizi haya ya „yours ’ na „ours’ siyo lazima yaende sambamba
na jina la vitu, hivyobasi ni sahihi kabisa kuuliza bila kutaja jina la vitu, kama hivi,
are these yours? na majibu yake sahihi yakawa hivi, Yes, these are ours au No, these
are not ours. Endelea kuisoma mifano ifuatayo inayoonesha matumizi ya „yours‟ na
„ours‟ bila kutaja jina la vitu: -
(4).(b).(iv). Swali: Je, hivi ni vyenu?
Kiingereza: Are these yours?
Tamka: (A dhizi yuazi)?
(4).(b).(v).Jibu: Ndiyo, hivi ni vyetu.
Kiingereza: Yes, these are ours.
Tamka: (Yesi, dhizi a awazi).
(4).(b).(vi). Jibu: Hapana, hivi siyo vyetu.
Kiingereza: No, these are not ours.
Tamka: (No, dhizi a noti awazi).
Hapa majina ya vitu vyenyewe yamefichwa lakini kwa kutumia „ours’ na „yours’ bado
sentensi imeleta maana kamili.
(10).
ZOEZI LA 18.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza.
Swali namba (4).
(4).(a). (i). Swali: Je, nyumba hii ni yenu?
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(4).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, nyumba hii ni yetu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(4).(a).(iii).Jibu: Hapana, nyumba hii siyo yetu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(4).(a).(iv). Swali: Je, hiki ni chenu?
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(4).(a).(v).Jibu: Ndiyo, hiki ni chetu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(4).(a).(vi). Jibu: Hapana, hiki siyo chetu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(4).(a).(vii). Swali: Je, ni chenu?
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(4).(a).(viii). Jibu: Ndiyo, ni chetu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(4).(a).(ix). Jibu: Hapana, siyo chetu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(11).
(4).(b).(i). Swali: Je, nyumba hizi ni zenu?
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(4).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, nyumba hizi ni zetu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(4).(b).(iii).Jibu: Hapana, nyumba hizi siyo zetu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(4).(b).(iv). Swali: Je, hivi ni vyenu?
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(4).(b).(v).Jibu: Ndiyo, hivi ni vyetu.
Kiingereza: _______________________________________________________
________________________________________________________
(4).(b).(vi). Jibu: Hapana, hivi siyo vyetu.
Kiingereza_______________________________________________________
________________________________________________________
Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and
Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na
kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa
Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani
kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au
P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa
kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake
rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa
kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba
mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69.
(12).

More Related Content

More from makukuzenyu (20)

Somo la 22
Somo la  22Somo la  22
Somo la 22
 
Somo la 21
Somo la  21Somo la  21
Somo la 21
 
Somo la 20
Somo la  20Somo la  20
Somo la 20
 
Somo la 19
Somo la  19Somo la  19
Somo la 19
 
Somo la 17
Somo la  17Somo la  17
Somo la 17
 
Somo la 16
Somo la  16Somo la  16
Somo la 16
 
Somo la 15
Somo la  15Somo la  15
Somo la 15
 
Somo la 14
Somo la  14Somo la  14
Somo la 14
 
Somo la 13
Somo la  13Somo la  13
Somo la 13
 
Somo la 12
Somo la  12Somo la  12
Somo la 12
 
Somo la 11
Somo la  11Somo la  11
Somo la 11
 
Somo la 10
Somo la  10Somo la  10
Somo la 10
 
Somo la 9
Somo la  9Somo la  9
Somo la 9
 
Somo la 8
Somo la  8Somo la  8
Somo la 8
 
Somo la 7
Somo la  7Somo la  7
Somo la 7
 
Somo la 6
Somo la  6Somo la  6
Somo la 6
 
Somo la 5
Somo la  5Somo la  5
Somo la 5
 
Somo la 4
Somo la  4Somo la  4
Somo la 4
 
Somo la 3
Somo la  3Somo la  3
Somo la 3
 
Somo la 2
Somo la  2Somo la  2
Somo la 2
 
Somo la 18

  • 1. Somo la 18 1.Matumizi ya your, tamka (yua) na my, tamka (mai) kwa tafsiri ya kumiliki. (1).(a). (i). Swali: Je, hiki ni kitabu chako? Kiingereza: Is this your book? Tamka: (Izi dhisi yua buku)? (1).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, hiki ni kitabu changu. Kiingereza: Yes, this is my book. Tamka: (Yesi, dhisi izi mai buku). (1). (a).(iii). Jibu: Hapana, hiki siyo kitabu changu. Kiingereza: No, this is not my book. Tamka: (No. dhisi izi noti mai buku). Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „your’ ambayo inataja miliki ya wewe‟ na tumejifunza matumizi ya „my’ ambayo inataja miliki ya mimi, na tumeona kwamba katika mfano huu tumeanza na neno hiki na hatujaanza na neno kitabu, hii ni kwasababu tumetumia „your’ na „my’, tungetumia „yours’ na „mine’ basi tungeanza na neno kitabu. Vilevile matumizi haya ya „your ’ na „my’ lazima yaende sambamba na jina la kitu kama ionekanavyo katika mfano huu hapo juu . Hivyobasi siyo sahihi kuuliza, is this your? Kwasababu ni lazima utaje jina la kitu ndipo ilete maana, kama hivi, is this your book? na majibu yake lazima yawe na jina la kitu kama hivi, Yes, this is my book au No, this is not my book. . (1).(b). (i). Swali: Je, hivi ni vitabu vyako? Kiingereza: Are these your books? Tamka: (A dhizi yua buksi)? (1).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, hivi ni vitabu vyangu. Kiingereza: Yes, these are my books. Tamka: (Yesi, dhizi a mai buksi). (1). (b).(iii). Jibu: Hapana, hivi siyo vitabu vyangu. Kiingereza: No, these are not my books. Tamka: (No. dhizi a noti mai buksi). Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „your’ ambayo inataja miliki ya wewe‟ na tumejifunza matumizi ya „my’ ambayo inataja miliki ya mimi, na tumeona kwamba katika mfano huu tumeanza na neno hivi na hatujaanza na neno vitabu, hii ni kwasababu tumetumia „your’ na „my’, tungetumia „yours’ na „mine’ basi tungeanza na neno vitabu. Vilevile matumizi haya ya „your ’ na „my’ lazima yaende sambamba na jina la vitu kama ionekanavyo katika mfano huu hapo juu . Hivyobasi siyo sahihi kuuliza, are these your? Kwasababu ni lazima utaje jina la vitu ndipo ilete maana, kama hivi, are these your books? na majibu yake lazima yawe na jina la vitu kama hivi, Yes, these are my books au No, these are not my books. (1).
  • 2. ZOEZI LA 18. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza. Swali namba (1). (1). (a). (i). Swali: Je, hii ni nyumba yako? Kiingereza: _____________________________________________________ _____________________________________________________ (1).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, hii ni nyumba yangu. Kiingereza: ________________________________________________________ ________________________________________________________ (1). (a).(iii). Jibu: Hapana, hii siyo nyumba yangu. Kiingereza: ________________________________________________________ ________________________________________________________ (1).(b). (i). Swali: Je, hizi ni nyumba zako? Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (1).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, hizi ni nyumba zangu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (1). (b).(iii). Jibu: Hapana, hizi siyo nyumba zangu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (2).
  • 3. (2). Matumizi ya yours, tamka (yuazi) na mine, tamka (maini) kwa tafsiri ya kumiliki. (2).(a).(i). Swali: Je, kitabu hiki ni chako? Kiingereza: Is this book yours? Tamka: (Izi dhisi buku yuazi)? (2).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, kitabu hiki ni changu. Kiingereza: Yes. This book is mine. Tamka: (Yesi, dhisi buku izi maini). (2).(a).(iii).Jibu: Hapana, kitabu hiki siyo changu. Kiingereza: No, this book is not mine. Tamka: (No, dhisi buku iz noti maini). Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „yours’ ambayo inataja miliki ya wewe‟ na tumejifunza matumizi ya „mine’ ambayo inataja miliki ya mimi, na tumeona kwamba katika mfano huu tumeanza na neno kitabu na hatujaanza na neno hiki, hii ni kwasababu tumetumia „yours’ na „mine’, tungetumia „your’ na „my’ basi tungeanza na neno hiki. Vilevile matumizi haya ya „yours ’ na „mine’ siyo lazima yaende sambamba na jina la kitu, hivyobasi ni sahihi kabisa kuuliza bila kutaja jina la kitu, kama hivi, is this yours? na majibu yake sahihi yakawa hivi, Yes, this is mine au No, this is not mine. Endelea kuisoma mifano ifuatayo inayoonesha matumizi ya „yours‟ na „mine‟ bila kutaja jina la kitu: - (2).(a).(iv). Swali: Je, hiki ni chako? Kiingereza: Is this yours? Tamka: (Izi dhisi yuazi)? (2).(a).(v). Jibu: Ndiyo, hiki ni changu. Kiingereza: Yes, this is mine. Tamka: (Yesi, dhisi izi maini). (2).(a).(vi). Jibu: Hapana, hiki siyo changu. Kiingereza: No, this is not mine. Tamka: (No, dhisi izi noti maini). (2).(a).(vii). Swali: Je, ni chako? Kiingereza: Is it yours? Tamka: (Iz iti yuazi)? (2).(a).(viii). Jibu: Ndiyo, ni changu. Kiingereza: Yes, it is mine. Tamka: (Yesi, iti izi maini). (2).(a).(ix). Jibu: Hapana, siyo changu Kiingereza: No, it is not mine. Tamka: (No, iti izi noti main). Hapa jina la kitu chenyewe halijatajwa lakini kwa kutumia „yours’ na „mine’ bado sentensi imeleta maana kamili. (3).
  • 4. (2).(b).(i). Swali: Je, vitabu hivi ni vyako? Kiingereza: are these books yours? Tamka: (A dhizi buksi yuazi)? (2).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, vitabu hivi ni vyangu. Kiingereza: Yes, these books are mine. Tamka: (Yesi, dhizi buksi a maini). (2).(b).(iii).Jibu: Hapana, vitabu hivi siyo vyangu. Kiingereza: No, these books are not mine. Tamka: (No, dhizi buksi are noti maini). Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „yours’ ambayo inataja miliki ya wewe‟ na tumejifunza matumizi ya „mine’ ambayo inataja miliki ya mimi, na tumeona kwamba katika mfano huu tumeanza na neno vitabu na hatujaanza na neno hivi, hii ni kwasababu tumetumia „yours’ na „mine’, tungetumia „your’ na „my’ basi tungeanza na neno hivi. Vilevile matumizi haya ya „yours ’ na „mine’ siyo lazima yaende sambamba na jina la vitu, hivyobasi ni sahihi kabisa kuuliza bila kutaja jina la vitu, kama hivi, are these yours? na majibu yake sahihi yakawa hivi, Yes, these are mine au No, these are not mine. Endelea kuisoma mifano ifuatayo inayoonesha matumizi ya „yours‟ na „mine‟ bila kutaja jina la vitu: - (2).(b).(iv). Swali: Je, hivi ni vyako? Kiingereza: Are these yours? Tamka: (A dhizi yuazi)? (2).(b).(v). Jibu: Ndiyo, hivi ni vyangu. Kiingereza: Yes, these are mine. Tamka: (Yesi, dhizi a maini). (2).(b).(vi). Jibu: Hapana, hivi siyo vyangu. Kiingereza: No, these are not mine. Tamka: (No, dhizi a noti maini). Hapa majina ya vitu vyenyewe hayajatajwa lakini kwa kutumia „mine’ na „yours’ bado sentensi imeleta maana kamili. (4).
  • 5. ZOEZI LA 18. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza. Swali namba (2). (2).(a). (i). Swali: Je, nyumba hii ni yako? Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (2).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, nyumba hii ni yangu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (2).(a).(iii). Jibu: Hapana, nyumba hii siyo yangu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (2).(a).(iv). Swali: Je, hiki ni chako? Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (2).(a).(v). Jibu: Ndiyo, hiki ni changu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (2).(a).(vi). Jibu: Hapana, hiki siyo changu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (2).(a).(vii). Swali: Je, ni chako? Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (2).(a).(viii). Jibu: Ndiyo, ni changu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (2).(a).(ix). Jibu: Hapana, siyo changu Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (5).
  • 6. (2).(b).(i). Swali: Je, nyumba hizi ni zako? Kiingereza: ________________________________________________________ ________________________________________________________ (2).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, nyumba hizi ni zangu. Kiingereza: ________________________________________________________ ________________________________________________________ (2).(b).(iii). Jibu: Hapana, nyumba hizi siyo zangu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (2).(b).(iv). Swali: Je, hivi ni vyako? Kiingereza: ______________________________________________________ ________________________________________________________ (2).(b).(v). Jibu: Ndiyo, hivi ni vyangu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (2).(b).(vi). Jibu: Hapana, hivi siyo vyangu. Kiingereza:________________________________________________________ ________________________________________________________ (6).
  • 7. 3. Matumizi ya your, tamka (yua) na our, tamka (awa) kwa tafsiri ya kumiliki. (3).(a). (i). Swali: Je, hiki ni kitabu chenu? Kiingereza: Is this your book? Tamka: (Izi dhisi yua buku)? (3).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, hiki ni kitabu chetu. Kiingereza: Yes, this is our book. Tamka: (Yesi, dhisi izi awa buku). (3). (a).(iii). Jibu: Hapana, hiki siyo kitabu chetu. Kiingereza: No, this is not our book. Tamka: (No. dhisi izi noti awa buku). Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „your’ ambayo inataja miliki ya nyinyi‟ na tumejifunza matumizi ya „our’ ambayo inataja miliki ya sisi, na tumeona kwamba katika mfano huu tumeanza na neno hiki na hatujaanza na neno kitabu, hii ni kwasababu tumetumia „your’ na „our’, tungetumia „yours’ na „ours’ basi tungeanza na neno kitabu. Vilevile matumizi haya ya „your ’ na „our’ lazima yaende sambamba na jina la kitu kama ionekanavyo katika mfano huu hapo juu . Hivyobasi siyo sahihi kuuliza, is this your? Kwasababu ni lazima utaje jina la kitu ndipo ilete maana, kama hivi, is this your book? na majibu yake lazima yawe na jina la kitu kama hivi, Yes, this is our book au No, this is not our book. . (3).(b). (i). Swali: Je, hivi ni vitabu vyenu? Kiingereza: Are these your books? Tamka: (A dhizi yua buksi)? (3).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, hivi ni vitabu vyetu. Kiingereza: Yes, these are our books. Tamka: (Yesi, dhizi a awa buksi). (3). (b).(iii). Jibu: Hapana, hivi siyo vitabu vyetu. Kiingereza: No, these are not our books. Tamka: (No. dhizi a noti awa buksi). Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „your’ ambayo inataja miliki ya nyinyi‟ na tumejifunza matumizi ya „our’ ambayo inataja miliki ya sisi, na tumeona kwamba katika mfano huu tumeanza na neno hivi na hatujaanza na neno vitabu, hii ni kwasababu tumetumia „your’ na „our’, tungetumia „yours’ na „ours’ basi tungeanza na neno vitabu. Vilevile matumizi haya ya „your ’ na „our’ lazima yaende sambamba na jina la vitu kama ionekanavyo katika mfano huu hapo juu . Hivyobasi siyo sahihi kuuliza, are these your? Kwasababu ni lazima utaje jina la vitu ndipo ilete maana, kama hivi, are these your books? na majibu yake lazima yawe na jina la vitu kama hivi, Yes, these are our books au No, these are not our books. (7).
  • 8. ZOEZI NAMBA 18. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza. Swali namba (3). (3). (a). (i). Swali: Je, hii ni nyumba yenu? Kiingereza: _____________________________________________________ _____________________________________________________ (3).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, hii ni nyumba yetu. Kiingereza: ________________________________________________________ ________________________________________________________ (3). (a).(iii). Jibu: Hapana, hii siyo nyumba yetu. Kiingereza: ________________________________________________________ ________________________________________________________ (3).(b). (i). Swali: Je, hizi ni nyumba zenu? Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (3).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, hizi ni nyumba zetu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (3). (b).(iii). Jibu: Hapana, hizi siyo nyumba zetu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (8).
  • 9. (4). Matumizi ya yours, tamka (yuazi) na ours, tamka (awazi) kwa tafsiri ya kumiliki. (4).(a).(i). Swali: Je, kitabu hiki ni chenu? Kiingereza: Is this book yours? Tamka: (Iz dhisi buku yuazi)? (4).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, kitabu hiki ni chetu. Kiingereza: Yes. This book is ours. Tamka: (Yesi, dhisi buku izi awazi). (4).(a).(iii).Jibu: Hapana, kitabu hiki siyo chetu. Kiingereza: No, this book is not ours. Tamka: (No, dhisi buku iz noti awazi). Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „yours’ ambayo inataja miliki ya nyinyi‟ na tumejifunza matumizi ya „ours’ ambayo inataja miliki ya sisi, na tumeona kwamba katika mfano huu tumeanza na neno kitabu na hatujaanza na neno hiki, hii ni kwasababu tumetumia „yours’ na „ours’, tungetumia „your’ na „our’ basi tungeanza na neno hiki. Vilevile matumizi haya ya „yours ’ na „ours’ siyo lazima yaende sambamba na jina la kitu, hivyobasi ni sahihi kabisa kuuliza bila kutaja jina la kitu, kama hivi, is this yours? na majibu yake sahihi yakawa hivi, Yes, this is ours au No, this is not ours. Endelea kuisoma mifano ifuatayo inayoonesha matumizi ya „yours‟ na „ours‟ bila kutaja jina la kitu: - (4).(a).(iv). Swali: Je, hiki ni chenu? Kiingereza: Is this yours? Tamka: (Izi dhisi yuazi)? (4).(a).(v).Jibu: Ndiyo, hiki ni chetu. Kiingereza: Yes, this is ours. Tamka: (Yesi, dhisi izi awazi). (4).(a).(vi). Jibu: Hapana, hiki siyo chetu. Kiingereza: No, this is not ours. Tamka: (No, dhisi izi noti awazi). (4).(a).(vii). Swali: Je, ni chenu? Kiingereza: Is it yours? Tamka: (Izi iti yuazi)? (4).(a).(viii). Jibu: Ndiyo, ni chetu. Kiingereza: Yes, it is ours. Tamka: (Yesi, iti izi awazi). (4).(a).(ix). Jibu: Hapana, siyo chetu. Kiingereza: No, it is not ours. Tamka: (No, iti izi noti awazi). Hapa jina la kitu chenyewe halijatajwa lakini kwa kutumia „yours’ na „ours’ bado sentensi imeleta maana kamili. (9).
  • 10. (4).(b).(i). Swali: Je, vitabu hivi ni vyenu? Kiingereza: are these books yours? Tamka: (A dhizi buksi yuazi)? (4).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, vitabu hivi ni vyetu. Kiingereza: Yes, these books are ours. Tamka: (Yesi, dhizi buksi a awazi). (4).(b).(iii).Jibu: Hapana, vitabu hivi siyo vyetu. Kiingereza: No, these books are not ours. Tamka: (No, dhizi buksi are noti awazi). Katika mfano huu tumejifunza matumizi ya „yours’ ambayo inataja miliki ya nyinyi ‟ na tumejifunza matumizi ya „ours’ ambayo inataja miliki ya sisi, na tumeona kwamba katika mfano huu tumeanza na neno vitabu na hatujaanza na neno hivi, hii ni kwasababu tumetumia „yours’ na „ours’, tungetumia „your’ na „our’ basi tungeanza na neno hivi. Vilevile matumizi haya ya „yours ’ na „ours’ siyo lazima yaende sambamba na jina la vitu, hivyobasi ni sahihi kabisa kuuliza bila kutaja jina la vitu, kama hivi, are these yours? na majibu yake sahihi yakawa hivi, Yes, these are ours au No, these are not ours. Endelea kuisoma mifano ifuatayo inayoonesha matumizi ya „yours‟ na „ours‟ bila kutaja jina la vitu: - (4).(b).(iv). Swali: Je, hivi ni vyenu? Kiingereza: Are these yours? Tamka: (A dhizi yuazi)? (4).(b).(v).Jibu: Ndiyo, hivi ni vyetu. Kiingereza: Yes, these are ours. Tamka: (Yesi, dhizi a awazi). (4).(b).(vi). Jibu: Hapana, hivi siyo vyetu. Kiingereza: No, these are not ours. Tamka: (No, dhizi a noti awazi). Hapa majina ya vitu vyenyewe yamefichwa lakini kwa kutumia „ours’ na „yours’ bado sentensi imeleta maana kamili. (10).
  • 11. ZOEZI LA 18. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza. Swali namba (4). (4).(a). (i). Swali: Je, nyumba hii ni yenu? Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (4).(a).(ii). Jibu: Ndiyo, nyumba hii ni yetu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (4).(a).(iii).Jibu: Hapana, nyumba hii siyo yetu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (4).(a).(iv). Swali: Je, hiki ni chenu? Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (4).(a).(v).Jibu: Ndiyo, hiki ni chetu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (4).(a).(vi). Jibu: Hapana, hiki siyo chetu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (4).(a).(vii). Swali: Je, ni chenu? Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (4).(a).(viii). Jibu: Ndiyo, ni chetu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (4).(a).(ix). Jibu: Hapana, siyo chetu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (11).
  • 12. (4).(b).(i). Swali: Je, nyumba hizi ni zenu? Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (4).(b).(ii). Jibu: Ndiyo, nyumba hizi ni zetu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (4).(b).(iii).Jibu: Hapana, nyumba hizi siyo zetu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (4).(b).(iv). Swali: Je, hivi ni vyenu? Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (4).(b).(v).Jibu: Ndiyo, hivi ni vyetu. Kiingereza: _______________________________________________________ ________________________________________________________ (4).(b).(vi). Jibu: Hapana, hivi siyo vyetu. Kiingereza_______________________________________________________ ________________________________________________________ Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69. (12).