Kodo Millet PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...
Somo la 3
1. Somo la 3
Kiingereza: Present Continuous Tense – Active Voice.
Tamka: (Prezenti Kontinwuazi Tensi - Aktivu Voisi).
Kiswahili: Wakati uliopo na unaoendelea – Katika hali ya kutenda.
Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:-
1. Mimi nina zungumza Kiingereza.
N + S + T
2. Wao wana kula ugali.
N + S + T
3. Yeye “Mwanamke” ana iba kitabu.
N + S + T
4. Musa ana chukua kikombe.
N + S + T
Katika Kiingereza:-
S ni am, are, is.
T - huwa katika hali ya ‟CONT‟ yaani “Continous, tamka(Kontinwuazi)”
yaani huongezwa ‟ing’ kama ifuatavyo:-
- Zungumza, huwa – speaking, tamka (spiking).
- Kula, huwa – eating, tamka (iting).
- Iba huwa – stealing, tamka (stiling).
- Chukua huwa - taking, tamka (teking).
Kwa mujibu wa kanuni rahisi za Ras Simba hali hii ya kuongeza „ing‟ mwisho wa tendo
la Kiingereza huitwa „Cont.‟ lakini kwa mujibu wa kanuni nyingine ngumu zisizowasaidia
watu huitwa Present Participle, tamka (Prezenti patisipo).
.
1. Kanuni ya sentensi fasaha za Kiingereza za nina, tuna, una, mna, ana na wana katika
hali ya kutenda, yaani sentensi za ‘Present Continuous Tense – Active Voice’ ni :
N + S + T(CONT).
(1).(a). Mimi nina zungumza Kiingereza.
I am speaking English .Tamka (Ai em spiking Inglish).
N + S + T(CONT)
(1).(b) Wao wana kula ugali.
They are eating ugali.Tamka (Dhei a iting ugali).
N + S + T(CONT).
(1).(c) Yeye „‟mwanamke“ ana iba kitabu.
She is stealing a book. Tamka (Shi izi stiling e buku).
N + S + T(CONT).
(1).(d) Musa ana chukua kikombe.
Musa is taking a cup. Tamka (Musa izi teking e kapu).
N + S + T(CONT).
(1).
Mimi nina Sisi tuna
I am We are
N +S N + S
Wewe una Nyinyi mna
You are You are
N + S N + S
Yeye ana Wao wana
-He is They are
Musa is N + S
- She is
-Asha is
-It is
-A dog is
N +S
2. 2. Kanuni ya kuuliza maswali ya nina, tuna, una, mna, ana na wana, yaani
maswali ya ‘Present Continuous Tense – Active voice’ ni: S + N + T(CONT)?
(2).(a).(i). Je, wewe una zungumza Kiingereza?
Are you speaking English? Tamka (A yu spiking Inglish)?
S + N + T(CONT)
(2).(a).(ii). Ndiyo, mimi nina zungumza Kiingereza.
Yes, I am speaking English.
YES + N + S + T(CONT).
Tamka (Yesi, Ai em spiking Inglish).
(2).(a).(iii). Hapana, mimi sizungumzi Kiingereza.
No, I am not speaking English.
NO + N + S +NOT +T(CONT).
Tamka (No, Ai em noti spiking Inglish).
(2).(b).(i). Je, Musa ana chukua Kikombe?
Is Musa taking a cup? Tamka (Izi Musa teking e kapu)?
S + N + T(CONT)
(2).(b).(ii). Ndiyo, Musa ana chukua kikombe.
Yes, Musa is taking a cup. Tamka (Yesi, Musa izi teking e kapu).
YES+ N + S +T(CONT).
(2).(b).(iii).Hapana, Musa hachukui kikombe.
No, Musa is not taking a cup. (Nzuri kwa kuandika).
NO + N + S + NOT +T(CONT).
Tamka (No, Musa izi noti teking e kapu)
(2).(b).(iv). Hapana, Musa hachukui kikombe.
No, Musa isn‟t taking a cup. (Nzuri kwa kuongea).
NO + N + ISN’T + T(CONT).
Tamka (No, Musa iznti teking e kapu).
(2).
3. ZOEZI LA 3.
Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:-
Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):-
Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:-
(1).(i). Kiswahili: Kimbute ana rudi kutoka China.
Kiingereza: __________ ___ ____________ _____ _______ ______.
Kanuni: N + S + T(CONT
- N - Kimbute.
- S – is, tamka (iz).
- T(CONT) – coming back, tamka (kaming baki) – rudi.
- From China, tamka (from Chaina). – kutoka China.
(1).(ii). Kiswahili: Je, Kimbute ana rudi kutoka China?
Kiingereza: ___ ___________ ___________ _____ ______ _______?
Kanuni: S + N + T(CONT)
- S – is, tamka (iz).
- N - Kimbute.
- T(CONT) - coming back, tamka (kaming baki) – rudi.
- From China, tamka (from Chaina). – kutoka China.
(1).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Kimbute ana rudi kutoka China ?
Kiingereza: ____ ___________ ____ _________ ____ _______ _______
Kanuni: YES + N + S + T(CONT)
- Yes, tamka (Yesi) – Ndiyo.
- N - Kimbute.
- S – is, tamka (izi).
- T(CONT) – coming back, tamka (kaming baki) – rudi.
- From China, tamka (from Chaina). – kutoka China.
(1).(iv). Kiswahili: Hapana, Kimbute harudi kutoka China.
Kiingereza: ____ __________ ____ ____ _______ ____ _____ ______.
Kanuni: NO + N + S + NOT +T(CONT)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N - Kimbute.
- S – is, tamka (iz).
- T(CONT) – coming back, tamka (kaming baki) – rudi.
- From China, tamka (from Chaina). – kutoka China.
(1).(v). Kiswahili: Hapana, Kimbute harudi kutoka China.
Kiingereza: _____ __________ _____ ________ _____ _____ ______.
Kanuni: NO + N + ISN’T + T(CONT)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N - Kimbute.
- T(CONT) – coming back, tamka (kaming baki) – rudi.
- From China, tamka (from Chaina). – kutoka China.
(3).
4. (2).(i). Kiswahili: Sisi tuna peleka pesa dukani.
Kiingereza: ____ ____ __________ ______ _______ to ____ ______.
Kanuni: N + S + T(CONT)
- N – We, tamka (wi). Sisi.
- S – are, tamka (a).
- T(CONT) – sending, tamka (sending) - peleka.
- Some money, tamka (sam mane). – pesa.
- A shop, tamka (e shopu). - dukani
(2).(ii). Kiswahili: Je, nyinyi mna peleka pesa dukani?
Kiingereza: _____ _____ __________ _______ _______ to __ _____?
Kanuni: S + N + T(CONT)
- S – are, tamka (a).
- N – You, tamka (yu).- nyinyi.
- T(CONT) – sending, tamka (sending) - peleka.
- Some money, tamka (sam mane). – pesa.
- A shop, tamka (e shopu). – dukani.
(2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, sisi tuna peleka pesa dukani.
Kiingereza:____ ____ ____ _________ ______ _______ to ___ _____.
Kanuni: YES + N + S + T(CONT)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N – We, tamka (wi). – sisi.
- S – are, tamka (a).
- T(CONT) – sending, tamka (sending) - peleka.
- Some money, tamka (sam mane). – pesa.
- A shop, tamka (e shopu). – dukani.
(2).(iv). Kiswahili: Hapana, sisi hatupeleki pesa dukani.
Kiingereza:___ ____ ____ ____ __________ _____ _____ to __ _____.
Kanuni: NO+ N + S + NOT+ T(CONT)
- No, tamka (no) - Hapana.
- N – We, tamka (wi). Sisi.
- S – are, tamka (a).
- T(CONT) – sending, tamka (sending) - peleka.
- Some money, tamka (sam mane). – pesa.
- A shop, tamka (e shopu). – dukani.
(2).(v). Kiswahili: Hapana, sisi hatupeleki pesa dukani.
Kiingereza: ____ ____ ______ _________ ______ ________ to ____ _____.
Kanuni: NO + N +AREN’T+ T(CONT)
- No, tamka (no) - Hapana.
- N – We, tamka (wi). – sisi.
- S – are, tamka (a).
- T(CONT) – sending, tamka (sending) - peleka.
- Some money, tamka (sam mane). – pesa.
- A shop, tamka (e shopu). – dukani.
(4).
5. (3).(i Kiswahili: Mimi nina uza sukari.
Kiingereza: ___ ____ ____________ _______ ___________.
Kanuni: N + S + T(CONT)
- N – I, tamka (ai). – mimi.
- S – am, tamka (em).
- T(CONT) – selling, tamka (seling) - uza.
- Some Sugar, tamka (sam shuga).- sukari.
(3).(ii). Kiswahili: Je, wewe una uza sukari?
Kiingereza: _____ ______ _____________ __________ ____________?
Kanuni: S + N + T(CONT)
- S – are, tamka (a).
- N – You, tamka (yu). – wewe.
- T(CONT) – selling, tamka (seling) - uza.
- Some Sugar, tamka (sam shuga).- sukari.
(3).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Mimi nina uza sukari.
Kiingereza: ____ _____ ___ __________ _______ ________.
Kanuni: YES + N + S + T(CONT)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N – I, tamka (ai). – mimi.
- S – am, tamka (em).
- T(CONT) – selling, tamka (seling) - uza.
- Some Sugar, tamka(sam shuga).- sukari.
(3).(iv). Kiswahili: Hapana, mimi siuzi sukari.
Kiingereza: ____ ____ ____ ____ _________ _______ __________.
Kanuni: NO + N + S + NOT+ T(CONT)
- No, tamka (no) - Hapana.
- N – I, tamka (ai). – mimi.
- S – am, tamka (em).
-T(CONT) – selling, tamka (seling) - uza.
- Some Sugar, tamka (sam shuga).- sukari.
Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and
Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na
kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa
Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani
kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au
P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa
kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake
rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa
kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba
mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69.
(5).