SlideShare a Scribd company logo
1 of 5
Download to read offline
Somo la 4
Kiingereza: Present Perfect Tense – Active Voice.
Tamka: (Prezenti Pafekti Tensi - Aktivu Voisi).
Kiswahili: Wakati uliopo timilifu – Katika hali ya kutenda.
- Wakati uliopita kidogo sana – katika hali ya kutenda.
Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:-
1. Mimi nime zungumza Kiingereza.
N + S + T
2. Wao wame kula ugali.
N + S + T
3. Yeye “Mwanamke” ame iba kitabu.
N + S + T
4. Musa ame chukua kikombe.
N + S + T
Katika Kiingereza:-
S ni Have/Has.
T - huwa katika hali ya ‟PP‟ yaani “Past participle, tamka (Pasti patisipo)”
kama ifuatavyo:-
- Zungumza huwa - spoken tamka (spoken).
- Kula huwa - eaten tamka (iten).
- Iba huwa - stolen tamka- (stolen).
- Chukua huwa - taken tamka (teken).
Kwa mujibu wa kanuni rahisi za Ras Simba na hata kwa mujibu wa kanuni nyingine zilizo
ngumu, hali hii ya tendo huitwa ‘PP‟, yaani Past Participle (Pasti patisipo).
1. Kanuni ya sentensi fasaha za Kiingereza za nime, tume, ume, ame na wame katika
hali ya kutenda, yaani sentensi za Present Perfect Tense - Active Voice ni N+S+T(PP).
(1).(a). Mimi nime zungumza Kiingereza fasaha.
I have spoken standard English .Tamka - (Ai hevu spoken standadi Inglish).
N + S + T(PP).
(1).(b). Wao wame kula ugali.
They have eaten ugali. Tamka (Dhei havu iten ugali).
N + S +T(PP).
(1).(c). Yeye „‟mwanamke“ ame iba kitabu.
She has stolen a book. Tamka (Shi hez stolen e buku).
N + S + T(PP).
(1).(d). Musa ame chukua kikombe.
Musa has taken a cup. Tamka (Musa hez teken e kapu).
N + S +T(PP).
( 1).
Mimi nime Sisi tume
- I have - We have
N + S N + S
Wewe ume Nyinyi mme
- You have - You have
N + S N + S
Yeye ame Wao wame
-He has They have
N +S N + S
-Musa has
N + S
- She has
N+S
-Asha has
N + S
-It has
N+S
- A dog has
N + S
2. Kanuni ya kuuliza maswali ya nime, tume, ume, mme, ame na wame, yaani
maswali ya Present Perfect Tense – Active voice ni: S + N + T(PP)?
(2).(a).(i). Je, wewe ume zungumza Kiingereza fasaha?
Have you spoken standard English?
S + N + T(PP)
Tamka (Hevu yu spoken standadi Inglish)?
2.(a).(ii). Ndiyo, mimi nime zungumza Kiingereza fasaha.
Yes, I have spoken standard English.
YES+ N + S + T(PP).
Tamka (Yesi, Ai hevu spoken standadi Inglish).
(2).(a).(iii).Hapana, mimi sijazungumza Kiingereza fasaha.
No, I have not spoken standard English. (Nzuri kwa kuandika).
NO + N + S +NOT +T(PP).
Tamka (No, Ai hevu noti spoken standadi Inglish).
(2).(a).(iv). Hapana, mimi sijazungumza Kiingereza fasaha.
No, I haven‟t spoken standard English. (Nzuri kwa kuongea).
NO + N + HAVEN’T +T(PP).
Tamka (No, Ai hevunti spoken standadi Inglish).
(2).(b).(i). Je, Musa ame chukua Kikombe?
Has Musa taken a cup?
S + N + T(PP)
Tamka (Haz Musa teken e kapu)?
(2).(b).(ii). Ndiyo, Musa ame chukua kikombe.
Yes, Musa has taken a cup.
YES+ N + S + T(PP).
Tamka (Yesi, Musa haz teken e kapu).
(2).(b).(iii). Hapana, Musa hajachukua kikombe.
No, Musa has not taken a cup. (Nzuri kwa kuandika).
NO + N + S +NOT +T(PP).
Tamka (No, Musa hez noti teken e kapu).
(2).(b).(iv). Hapana, Musa hajachukua kikombe.
No, Musa hasn‟t taken a cup. (Nzuri kwa kuongea).
NO + N +HASN’T+T(PP).
Tamka (No, Musa hezinti teken e kapu).
(2).
ZOEZI LA 4.
Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:-
Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):-
Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:-
(1).(i). Kiswahili: Kimbute ame hesabu fulana tano.
Kiingereza: _________ ____ ___________ _____ ____________
Kanuni: N + S + T(PP)
- N – Kimbute.
- S – Has, tamka (hez/haz).
- T(PP) – counted, tamka (kauntedi) – hesabu.
- Five Tshirts, tamka (faivu tishetsi) – fulana tano.
(1).(ii). Kiswahili: Je, Kimbute ame hesabu fulana tano?
Kiiingereza: ____ ____________ __________ ________ ______________ ?
Kanuni: S + N + T(PP)
- S – Has, tamka (haz/hez).
- N – Kimbute.
- T(PP) – counted, tamka (kauntedi) – hesabu.
- Five Tshirts, tamka (faivu tishetsi) – fulana tano.
(1).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Kimbute ame hesabu fulana tano.
Kiingereza: ____ ___________ ___ __________ _____ ____________.
Kanuni: YES+ N + S + T(PP)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N - Kimbute.
- S – Has, tamka (hez/haz).
- T(PP) – counted, tamka (kauntedi) – hesabu.
- Five Tshirts, tamka (faivu tishetsi). – fulana tano.
(1).(iv). Kiswahili: Hapana, Kimbute hajahesabu fulana tano.
Kiingereza:____ _________ ____ _____ _________ ______ __________
Kanuni: NO + N + S + NOT + T(PP)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N - Kimbute.
- S – Has, tamka (haz/hez).
- T(PP) – counted, tamka (kauntedi) – hesabu.
- Five Tshirts, tamka (faivu tishetsi) – fulana tano.
(1).(v). Kiswahili: Hapana, Kimbute hajahesabu fulana tano.
Kiingereza:____ ___________ _______ _________ ______ _________.
Kanuni: NO + N + HASN’T + T(PP)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N – Kimbute
- T(PP) – counted, tamka (kauntedi) – hesabu.
- Five Tshirts, tamka (faivu tishetsi) – fulana tano.
(3).
(2).(i). Kiswahili: Sisi tume fungua boksi.
Kiingereza: ____ ______ _________ ____ ________.
Kanuni: N + S + T(PP)
- N – We, tamka (wi). – Sisi.
- S – Have, tamka (hevu/havu).
- T(PP) – opened tamka, (open’d) - fungua.
- A box, tamka (e boksi) – Boksi.
(2).(ii) Kiswahili: Je, nyinyi mme fungua boksi?
Kiingereza: _____ ______ __________ ______ ___________?
Kanuni: S + N + T(PP)
- S – Have, tamka (hevu/havu).
- N – You, tamka (yu) – nyinyi.
- T(PP) – opened, tamka (open’d) - fungua.
- A box, tamka (e boksi) – Boksi.
(2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, sisi tume fungua boksi.
Kiingereza: ______ ________ _______ __________ _____ _________.
Kanuni: YES + N + S + T(PP)
- Yes, tamka (Yesi) – Ndiyo.
- N – We, tamka (wi) – Sisi.
- S – Have, tamka (havu/hevu).
- T(PP) – opened, tamka (open’d) - fungua.
- A box, tamka (e boksi) – Boksi.
(2). (iv). Kiswahili: Hapana, sisi hatujafungua boksi.
Kiingereza: ____ _____ _____ _____ ________ ___ ________.
Kanuni: NO + N + S + NOT + T(PP)
- No, tamka (no) - Hapana.
- N – We, tamka (wi) – Sisi.
- S – Have, tamka (hevu/havu).
- T(PP) – opened, tamka (open’d) - fungua.
- A box, tamka (e boksi) – Boksi.
(2).(v). Kiswahili: Hapana, sisi hatujafungua boksi.
Kiingereza: ____ _____ __________ _________ ___ _________.
Kanuni: NO + N + HAVEN’T + T(PP)
- No, tamka (no) - Hapana.
- N – We, tamka (wi) – Sisi.
-T(PP) – opened, tamka (open’d) - fungua.
- A box, tamka (e boksi) – Boksi.
(4).
(3).(i). Kiswahili: Mimi nime funga duka.
Kiingereza: _____ ______ _________ _____ __________.
Kanuni: N + S + T(PP)
- N - I, tamka (ai) – Mimi.
- S - have, tamka (hevu/havu).
- T(PP) – closed, tamka (klozdi) - funga.
- A shop, tamka (e shop). – duka.
(3).(ii). Kiswahili: Je, wewe ume funga duka?
Kiingereza: _____ _____ _______ _____ ____________ ?
Kanuni: S + N + T(PP)
- S – Have, tamka (hevu/havu).
- N – You, tamka (yu) – Wewe.
- T(PP) – closed, tamka (klozdi) - funga.
- A shop, tamka (e shop) – duka.
(3). (iii). Kiswahili: Ndiyo, Mimi nime funga duka.
Kiingereza: ____ ______ _____ _______ ___ _________.
Kanuni: YES + N + S + T(PP
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N – I, tamka (ai) – Mimi.
- S – have, tamka (havu/hevu).
- T(PP) – closed, tamka (klozdi) - funga.
- A shop, tamka (e shop). – duka.
(3).(iv). Kiswahili: Hapana, mimi sijafunga duka.
Kiingereza: _____ ____ ____ ______ ______ ____ ________.
Kanuni: NO + N + S + NOT + T(PP)
- No, tamka (no) - Hapana.
- N – I, tamka (ai) – Mimi.
- S – have, tamka (havu/hevu).
-T(PP) – closed, tamka (klozdi) - funga.
- A shop, tamka (e shop). – duka.
(3).(v). Kiswahili: Hapana, mimi sijafunga duka.
Kiingereza: _____ ____ __________ ________ ___ _________.
Kanuni : NO + N + HAVEN’T + T(PP)
- No, tamka (no) - Hapana.
- N – I, tamka (ai) – Mimi.
-T(PP) – closed, tamka (klozdi) - funga.
- A shop, tamka (e shop). – duka.
Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and
Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na
kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa
Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani
kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au
P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa
kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake
rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa
kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba
mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69.
(5).

More Related Content

Similar to Somo la 4 (9)

Somo la 5
Somo la  5Somo la  5
Somo la 5
 
Somo la 3
Somo la  3Somo la  3
Somo la 3
 
Somo la 25
Somo la  25Somo la  25
Somo la 25
 
Somo la 24
Somo la  24Somo la  24
Somo la 24
 
Somo la 23
Somo la  23Somo la  23
Somo la 23
 
Actividades refuerzo nivel intermedio (1)
Actividades refuerzo nivel intermedio (1)Actividades refuerzo nivel intermedio (1)
Actividades refuerzo nivel intermedio (1)
 
Actividadesrefuerzonivelintermedio1 130514155951-phpapp01
Actividadesrefuerzonivelintermedio1 130514155951-phpapp01Actividadesrefuerzonivelintermedio1 130514155951-phpapp01
Actividadesrefuerzonivelintermedio1 130514155951-phpapp01
 
A R V E R B S Handout
A R  V E R B S HandoutA R  V E R B S Handout
A R V E R B S Handout
 
Inglés 4to. abril
Inglés 4to. abrilInglés 4to. abril
Inglés 4to. abril
 

More from makukuzenyu (20)

Somo la 30
Somo la 30Somo la 30
Somo la 30
 
Somo la 29
Somo la 29Somo la 29
Somo la 29
 
Somo la 28
Somo la 28Somo la 28
Somo la 28
 
Somo la 26
Somo la  26Somo la  26
Somo la 26
 
Somo la 22
Somo la  22Somo la  22
Somo la 22
 
Somo la 21
Somo la  21Somo la  21
Somo la 21
 
Somo la 20
Somo la  20Somo la  20
Somo la 20
 
Somo la 19
Somo la  19Somo la  19
Somo la 19
 
Somo la 18
Somo la  18Somo la  18
Somo la 18
 
Somo la 17
Somo la  17Somo la  17
Somo la 17
 
Somo la 16
Somo la  16Somo la  16
Somo la 16
 
Somo la 15
Somo la  15Somo la  15
Somo la 15
 
Somo la 14
Somo la  14Somo la  14
Somo la 14
 
Somo la 13
Somo la  13Somo la  13
Somo la 13
 
Somo la 12
Somo la  12Somo la  12
Somo la 12
 
Somo la 11
Somo la  11Somo la  11
Somo la 11
 
Somo la 10
Somo la  10Somo la  10
Somo la 10
 
Somo la 9
Somo la  9Somo la  9
Somo la 9
 
Somo la 8
Somo la  8Somo la  8
Somo la 8
 
Somo la 7
Somo la  7Somo la  7
Somo la 7
 

Recently uploaded

Salient Features of India constitution especially power and functions
Salient Features of India constitution especially power and functionsSalient Features of India constitution especially power and functions
Salient Features of India constitution especially power and functions
KarakKing
 

Recently uploaded (20)

Beyond_Borders_Understanding_Anime_and_Manga_Fandom_A_Comprehensive_Audience_...
Beyond_Borders_Understanding_Anime_and_Manga_Fandom_A_Comprehensive_Audience_...Beyond_Borders_Understanding_Anime_and_Manga_Fandom_A_Comprehensive_Audience_...
Beyond_Borders_Understanding_Anime_and_Manga_Fandom_A_Comprehensive_Audience_...
 
Towards a code of practice for AI in AT.pptx
Towards a code of practice for AI in AT.pptxTowards a code of practice for AI in AT.pptx
Towards a code of practice for AI in AT.pptx
 
Interdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptx
Interdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptxInterdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptx
Interdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptx
 
Accessible Digital Futures project (20/03/2024)
Accessible Digital Futures project (20/03/2024)Accessible Digital Futures project (20/03/2024)
Accessible Digital Futures project (20/03/2024)
 
Food safety_Challenges food safety laboratories_.pdf
Food safety_Challenges food safety laboratories_.pdfFood safety_Challenges food safety laboratories_.pdf
Food safety_Challenges food safety laboratories_.pdf
 
ICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptx
ICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptxICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptx
ICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptx
 
FSB Advising Checklist - Orientation 2024
FSB Advising Checklist - Orientation 2024FSB Advising Checklist - Orientation 2024
FSB Advising Checklist - Orientation 2024
 
2024-NATIONAL-LEARNING-CAMP-AND-OTHER.pptx
2024-NATIONAL-LEARNING-CAMP-AND-OTHER.pptx2024-NATIONAL-LEARNING-CAMP-AND-OTHER.pptx
2024-NATIONAL-LEARNING-CAMP-AND-OTHER.pptx
 
Basic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptx
Basic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptxBasic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptx
Basic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptx
 
COMMUNICATING NEGATIVE NEWS - APPROACHES .pptx
COMMUNICATING NEGATIVE NEWS - APPROACHES .pptxCOMMUNICATING NEGATIVE NEWS - APPROACHES .pptx
COMMUNICATING NEGATIVE NEWS - APPROACHES .pptx
 
Salient Features of India constitution especially power and functions
Salient Features of India constitution especially power and functionsSalient Features of India constitution especially power and functions
Salient Features of India constitution especially power and functions
 
Holdier Curriculum Vitae (April 2024).pdf
Holdier Curriculum Vitae (April 2024).pdfHoldier Curriculum Vitae (April 2024).pdf
Holdier Curriculum Vitae (April 2024).pdf
 
Kodo Millet PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...
Kodo Millet  PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...Kodo Millet  PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...
Kodo Millet PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...
 
On_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptx
On_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptxOn_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptx
On_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptx
 
How to Manage Global Discount in Odoo 17 POS
How to Manage Global Discount in Odoo 17 POSHow to Manage Global Discount in Odoo 17 POS
How to Manage Global Discount in Odoo 17 POS
 
ICT role in 21st century education and it's challenges.
ICT role in 21st century education and it's challenges.ICT role in 21st century education and it's challenges.
ICT role in 21st century education and it's challenges.
 
Understanding Accommodations and Modifications
Understanding  Accommodations and ModificationsUnderstanding  Accommodations and Modifications
Understanding Accommodations and Modifications
 
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptx
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptxGoogle Gemini An AI Revolution in Education.pptx
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptx
 
Fostering Friendships - Enhancing Social Bonds in the Classroom
Fostering Friendships - Enhancing Social Bonds  in the ClassroomFostering Friendships - Enhancing Social Bonds  in the Classroom
Fostering Friendships - Enhancing Social Bonds in the Classroom
 
How to Create and Manage Wizard in Odoo 17
How to Create and Manage Wizard in Odoo 17How to Create and Manage Wizard in Odoo 17
How to Create and Manage Wizard in Odoo 17
 

Somo la 4

  • 1. Somo la 4 Kiingereza: Present Perfect Tense – Active Voice. Tamka: (Prezenti Pafekti Tensi - Aktivu Voisi). Kiswahili: Wakati uliopo timilifu – Katika hali ya kutenda. - Wakati uliopita kidogo sana – katika hali ya kutenda. Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:- 1. Mimi nime zungumza Kiingereza. N + S + T 2. Wao wame kula ugali. N + S + T 3. Yeye “Mwanamke” ame iba kitabu. N + S + T 4. Musa ame chukua kikombe. N + S + T Katika Kiingereza:- S ni Have/Has. T - huwa katika hali ya ‟PP‟ yaani “Past participle, tamka (Pasti patisipo)” kama ifuatavyo:- - Zungumza huwa - spoken tamka (spoken). - Kula huwa - eaten tamka (iten). - Iba huwa - stolen tamka- (stolen). - Chukua huwa - taken tamka (teken). Kwa mujibu wa kanuni rahisi za Ras Simba na hata kwa mujibu wa kanuni nyingine zilizo ngumu, hali hii ya tendo huitwa ‘PP‟, yaani Past Participle (Pasti patisipo). 1. Kanuni ya sentensi fasaha za Kiingereza za nime, tume, ume, ame na wame katika hali ya kutenda, yaani sentensi za Present Perfect Tense - Active Voice ni N+S+T(PP). (1).(a). Mimi nime zungumza Kiingereza fasaha. I have spoken standard English .Tamka - (Ai hevu spoken standadi Inglish). N + S + T(PP). (1).(b). Wao wame kula ugali. They have eaten ugali. Tamka (Dhei havu iten ugali). N + S +T(PP). (1).(c). Yeye „‟mwanamke“ ame iba kitabu. She has stolen a book. Tamka (Shi hez stolen e buku). N + S + T(PP). (1).(d). Musa ame chukua kikombe. Musa has taken a cup. Tamka (Musa hez teken e kapu). N + S +T(PP). ( 1). Mimi nime Sisi tume - I have - We have N + S N + S Wewe ume Nyinyi mme - You have - You have N + S N + S Yeye ame Wao wame -He has They have N +S N + S -Musa has N + S - She has N+S -Asha has N + S -It has N+S - A dog has N + S
  • 2. 2. Kanuni ya kuuliza maswali ya nime, tume, ume, mme, ame na wame, yaani maswali ya Present Perfect Tense – Active voice ni: S + N + T(PP)? (2).(a).(i). Je, wewe ume zungumza Kiingereza fasaha? Have you spoken standard English? S + N + T(PP) Tamka (Hevu yu spoken standadi Inglish)? 2.(a).(ii). Ndiyo, mimi nime zungumza Kiingereza fasaha. Yes, I have spoken standard English. YES+ N + S + T(PP). Tamka (Yesi, Ai hevu spoken standadi Inglish). (2).(a).(iii).Hapana, mimi sijazungumza Kiingereza fasaha. No, I have not spoken standard English. (Nzuri kwa kuandika). NO + N + S +NOT +T(PP). Tamka (No, Ai hevu noti spoken standadi Inglish). (2).(a).(iv). Hapana, mimi sijazungumza Kiingereza fasaha. No, I haven‟t spoken standard English. (Nzuri kwa kuongea). NO + N + HAVEN’T +T(PP). Tamka (No, Ai hevunti spoken standadi Inglish). (2).(b).(i). Je, Musa ame chukua Kikombe? Has Musa taken a cup? S + N + T(PP) Tamka (Haz Musa teken e kapu)? (2).(b).(ii). Ndiyo, Musa ame chukua kikombe. Yes, Musa has taken a cup. YES+ N + S + T(PP). Tamka (Yesi, Musa haz teken e kapu). (2).(b).(iii). Hapana, Musa hajachukua kikombe. No, Musa has not taken a cup. (Nzuri kwa kuandika). NO + N + S +NOT +T(PP). Tamka (No, Musa hez noti teken e kapu). (2).(b).(iv). Hapana, Musa hajachukua kikombe. No, Musa hasn‟t taken a cup. (Nzuri kwa kuongea). NO + N +HASN’T+T(PP). Tamka (No, Musa hezinti teken e kapu). (2).
  • 3. ZOEZI LA 4. Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:- Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):- Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:- (1).(i). Kiswahili: Kimbute ame hesabu fulana tano. Kiingereza: _________ ____ ___________ _____ ____________ Kanuni: N + S + T(PP) - N – Kimbute. - S – Has, tamka (hez/haz). - T(PP) – counted, tamka (kauntedi) – hesabu. - Five Tshirts, tamka (faivu tishetsi) – fulana tano. (1).(ii). Kiswahili: Je, Kimbute ame hesabu fulana tano? Kiiingereza: ____ ____________ __________ ________ ______________ ? Kanuni: S + N + T(PP) - S – Has, tamka (haz/hez). - N – Kimbute. - T(PP) – counted, tamka (kauntedi) – hesabu. - Five Tshirts, tamka (faivu tishetsi) – fulana tano. (1).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Kimbute ame hesabu fulana tano. Kiingereza: ____ ___________ ___ __________ _____ ____________. Kanuni: YES+ N + S + T(PP) - Yes, tamka (yesi) – Ndiyo. - N - Kimbute. - S – Has, tamka (hez/haz). - T(PP) – counted, tamka (kauntedi) – hesabu. - Five Tshirts, tamka (faivu tishetsi). – fulana tano. (1).(iv). Kiswahili: Hapana, Kimbute hajahesabu fulana tano. Kiingereza:____ _________ ____ _____ _________ ______ __________ Kanuni: NO + N + S + NOT + T(PP) - No, tamka (no) – Hapana. - N - Kimbute. - S – Has, tamka (haz/hez). - T(PP) – counted, tamka (kauntedi) – hesabu. - Five Tshirts, tamka (faivu tishetsi) – fulana tano. (1).(v). Kiswahili: Hapana, Kimbute hajahesabu fulana tano. Kiingereza:____ ___________ _______ _________ ______ _________. Kanuni: NO + N + HASN’T + T(PP) - No, tamka (no) – Hapana. - N – Kimbute - T(PP) – counted, tamka (kauntedi) – hesabu. - Five Tshirts, tamka (faivu tishetsi) – fulana tano. (3).
  • 4. (2).(i). Kiswahili: Sisi tume fungua boksi. Kiingereza: ____ ______ _________ ____ ________. Kanuni: N + S + T(PP) - N – We, tamka (wi). – Sisi. - S – Have, tamka (hevu/havu). - T(PP) – opened tamka, (open’d) - fungua. - A box, tamka (e boksi) – Boksi. (2).(ii) Kiswahili: Je, nyinyi mme fungua boksi? Kiingereza: _____ ______ __________ ______ ___________? Kanuni: S + N + T(PP) - S – Have, tamka (hevu/havu). - N – You, tamka (yu) – nyinyi. - T(PP) – opened, tamka (open’d) - fungua. - A box, tamka (e boksi) – Boksi. (2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, sisi tume fungua boksi. Kiingereza: ______ ________ _______ __________ _____ _________. Kanuni: YES + N + S + T(PP) - Yes, tamka (Yesi) – Ndiyo. - N – We, tamka (wi) – Sisi. - S – Have, tamka (havu/hevu). - T(PP) – opened, tamka (open’d) - fungua. - A box, tamka (e boksi) – Boksi. (2). (iv). Kiswahili: Hapana, sisi hatujafungua boksi. Kiingereza: ____ _____ _____ _____ ________ ___ ________. Kanuni: NO + N + S + NOT + T(PP) - No, tamka (no) - Hapana. - N – We, tamka (wi) – Sisi. - S – Have, tamka (hevu/havu). - T(PP) – opened, tamka (open’d) - fungua. - A box, tamka (e boksi) – Boksi. (2).(v). Kiswahili: Hapana, sisi hatujafungua boksi. Kiingereza: ____ _____ __________ _________ ___ _________. Kanuni: NO + N + HAVEN’T + T(PP) - No, tamka (no) - Hapana. - N – We, tamka (wi) – Sisi. -T(PP) – opened, tamka (open’d) - fungua. - A box, tamka (e boksi) – Boksi. (4).
  • 5. (3).(i). Kiswahili: Mimi nime funga duka. Kiingereza: _____ ______ _________ _____ __________. Kanuni: N + S + T(PP) - N - I, tamka (ai) – Mimi. - S - have, tamka (hevu/havu). - T(PP) – closed, tamka (klozdi) - funga. - A shop, tamka (e shop). – duka. (3).(ii). Kiswahili: Je, wewe ume funga duka? Kiingereza: _____ _____ _______ _____ ____________ ? Kanuni: S + N + T(PP) - S – Have, tamka (hevu/havu). - N – You, tamka (yu) – Wewe. - T(PP) – closed, tamka (klozdi) - funga. - A shop, tamka (e shop) – duka. (3). (iii). Kiswahili: Ndiyo, Mimi nime funga duka. Kiingereza: ____ ______ _____ _______ ___ _________. Kanuni: YES + N + S + T(PP - Yes, tamka (yesi) – Ndiyo. - N – I, tamka (ai) – Mimi. - S – have, tamka (havu/hevu). - T(PP) – closed, tamka (klozdi) - funga. - A shop, tamka (e shop). – duka. (3).(iv). Kiswahili: Hapana, mimi sijafunga duka. Kiingereza: _____ ____ ____ ______ ______ ____ ________. Kanuni: NO + N + S + NOT + T(PP) - No, tamka (no) - Hapana. - N – I, tamka (ai) – Mimi. - S – have, tamka (havu/hevu). -T(PP) – closed, tamka (klozdi) - funga. - A shop, tamka (e shop). – duka. (3).(v). Kiswahili: Hapana, mimi sijafunga duka. Kiingereza: _____ ____ __________ ________ ___ _________. Kanuni : NO + N + HAVEN’T + T(PP) - No, tamka (no) - Hapana. - N – I, tamka (ai) – Mimi. -T(PP) – closed, tamka (klozdi) - funga. - A shop, tamka (e shop). – duka. Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69. (5).