SlideShare a Scribd company logo
1 of 5
Download to read offline
Somo la 2.
Kiingereza: Simple Future Tense – Active Voice.
Tamka: (Simpo Fyucha Tensi - Aktivu Voisi).
Kiswahili: Wakati ujao uliorahisi – Katika hali ya kutenda.
Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:-
1. Mimi nita zungumza Kiingereza.
N + S + T
2. Wao wata kula ugali.
N + S + T
3. Yeye “Mwanamke” ata iba kitabu.
N + S + T
4. Musa ata chukua kikombe.
N + S + T
Katika Kiingereza:-
S ni shall/Will.
T - huwa katika hali ya ‟BF‟ yaani “base form (bezi fom)”, yaani
halibadiliki kama ifuatavyo:-
- Zungumza, huwa – speak, tamka (spiki).
- Kula, huwa – eat, tamka (iti).
- Iba huwa – steal, tamka (stil).
- Chukua huwa - take, tamka (teki).
Kwa mujibu wa kanuni rahisi za Ras Simba, hali hii ya kutobadilika kwa tendo la
Kiingereza huitwa „BF‟ lakini kwa mujibu wa kanuni nyingine ngumu zisizowasaidia watu
huitwa ‘infinitive, tamka (infinitivu)‟.
Kanuni ya sentensi fasaha za Kiingereza za nita, tuta, uta, mta, ata na wata katika hali
ya kutenda, yaani sentensi za „Simple Future Tense - Active Voice’ ni: N + S + T(BF).
(1). (a). Mimi nita zungumza Kiingereza.
I shall speak English .Tamka: (Ai shal spiki Inglish). (Kiapo/lazima).
N + S + T(BF)
(1). (b). Mimi nita zungumza Kiingereza.
I will speak English. Tamka: (Ai wil spiki Inglish). (Kawaida).
N + S + T(BF)
(1).(c). Wao wata kula ugali.
They will eat ugali. Tamka: (Dhei wil iti ugali).
N + S +T(BF)
(1).
Mimi nita Sisi tuta
- I shall - We shall
- I will - We will
N + S N + S
Wewe uta Nyinyi mta
- You will - You will
N + S N +S
Yeye ata Wao wata
-He will - They will -
Musa will N + S
- She will
-Asha will
-It will
-A dog will
N +S
(1).(d). Yeye „‟mwanamke“ ata iba kitabu.
She will steal a book. Tamka: (Shi wil stil e buku).
N + S + T(BF)
(1).(e). Musa ata chukua kikombe .
Musa will take a cup. Tamka: (Musa wil teki e kapu).
N + S + T(BF)
2.Kanuni ya kuuliza maswali ya nita, tuta, uta, mta, ata na wata katika hali ya
kutenda yaani maswali ya „Simple Future Tense – Active Voice’ ni: S+N+T(BF)?
(2).(a).(i). Je, wewe uta zungumza Kiingereza?
Will you speak English? Tamka: (Wil yu spik Inglish)?
S + N + T(BF)
(2).(a).(ii). Ndiyo, mimi nita zungumza Kiingereza.
Yes, I will speak English. Tamka (Yesi, Ai wil spik Inglish).
YES +N + S + T(BF)
(2).(a).(iii). Hapana, mimi sitazungumza Kiingereza.
No, I will not speak English. Tamka (No, Ai wil noti spiki Inglish).
NO + N + S + NOT+T(BF)
(2).(a).(iv). Hapana, mimi sitazungumza Kiingereza.
No, I won‟t speak English. Tamka (No, Ai wonti spiki Inglish).
NO +N +WONT+T(BF)
(2).(b).(i). Je, wao wata kula ugali?
Will they eat ugali? Tamka: (Wil dhei iti ugali)?
S + N + T(BF)
(2).(b).(ii). Ndiyo, wao wata kula ugali.
Yes, they will eat ugali. Tamka (Yesi,dhei wil iti ugali).
YES + N + S + T(BF)
(2).(b).(iii). Hapana, wao hawatakula ugali.
No, they will not eat ugali. Tamka (No, dhei wil noti iti ugali.).
NO + N + S + NOT+T(BF)
(2).(b).(iv). Hapana, wao hawatakula ugali.
No, they won‟t eat ugali. Tamka (No, dhei wonti iti ugali).
NO + N + WONT+T(BF)
Zingatia kwamba katika sentensi ya kukanusha mara nyingi will not hutumika katika
kuandika na won’t hutumika katika kuongea.
Kikawaida shall haitumiki katika nafsi nyingine yoyote isipokuwa katika nafsi ya kwanza
umoja na nafsi ya kwanza uwingi tu, yaani hutumika na ‘I’ na „we’ tu, hii ni kwasababu
shall ni kauli ya kiapo.
(2).
ZOEZI LA 2.
Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:-
Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):-
Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:-
(1).(i).Kiswahili: Kimbute ata enda China.
Kiingereza:___________ ______ ______ to _______.
Kanuni: N + S + T(BF)
- N - Kimbute.
- S – will, tamka (wil).
- T(BF) – go, tamka (go) - enda/kwenda.
- China – China, tamka (Chaina).
(1).(ii). Kiswahili: Je, Kimbute ataenda China?
Kiingereza: ______ ______________ _______ to ___________?
Kanuni: S + N + T(BF)
- S – Will, tamka (wil).
- N – Kimbute.
- T(BF) – go, tamka (go) - enda/kwenda.
- China – China, tamka (Chaina).
(1).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Kimbute ata enda China.
Kiingereza: _____ _______________ ____ _____ to _________.
Kanuni: YES + N + S + T(BF)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N - Kimbute.
- S – will, tamka (wil).
- T(BF) – go, tamka (go) - enda/kwenda.
- China – China, tamka (Chaina).
(1).(iv). Kiswahili: Hapana, Kimbute hataenda China.
Kiingereza: _____ _____________ _____ _____ _____ to ________.
Kanuni : NO + N + S + NOT + T(BF)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N - Kimbute.
- S – will, tamka (wil).
- T(BF) – go, tamka (go) - enda/kwenda.
- China – China, tamka (Chaina).
(1).(v). Kiswahili: Hapana, Kimbute hataenda China.
Kiingereza: _____ _____________ ______ ______ to ________
Kanuni: NO + N + WON’T + T(BF)
- No, tamka (no) - Hapana.
- N - Kimbute.
- T(BF) – go, tamka (go) - enda/kwenda.
- China – China, tamka (Chaina).
(3).
(2).(i). Kiswahili: Sisi tuta zungumza Kiingereza.
Kiingereza: ______ _____ ___________ _____________.
Kanuni: N + S + T(BF)
- N – We, tamka (wi). – sisi.
- S – will, tamka (wil).
- T(BF) – speak, tamka (spiki) - zungumza.
- English, tamka (Inglish). – Kiingereza.
(2).(ii). Kiswahili: Je, nyinyi mta zungumza Kiingereza?
Kiingereza: ______ _________ ___________ _____________ ?
Kanuni: S + N + T(BF)
-S – Will, tamka (wil).
- N – You, tamka (yu). – nyinyi.
-T(BF) – speak, tamka (spik) - zungumza.
- English, tamka (Inglish). – Kiingereza.
(2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Sisi tuta zungumza Kiingereza.
Kiingereza: ______ ______ _____ _____________ _____________.
Kanuni: YES + N + S + T(BF)
- Yes, tamka (yesi) - Ndiyo
- N – We, tamka (wi). – sisi.
- S – will, tamka (wil).
- T(BF) – speak, tamka (spik) - zungumza.
- English, tamka (Inglish). – Kiingereza.
(2).(iv). Kiswahili: Hapana, Sisi hatutazungumza Kiingereza.
Kiingereza: ______ _______ _____ _____ ____________ ____________.
Kanuni: NO + N + S + NOT + T(BF)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N – We, tamka (wi). – sisi.
- S – will, tamka (wil).
- T(BF) – speak, tamka (spik) - zungumza.
- English, tamka (Inglish). – Kiingereza.
(2).(v). Kiswahili: Hapana, Sisi hatutazungumza Kiingereza.
Kiingereza: ______ _________ _________ ____________ ____________.
Kanuni: NO + N + WON’T + T(BF)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N – We, tamka (wi). – sisi.
- T(BF) – speak, tamka (spik) - zungumza.
- English, tamka (Inglish). – Kiingereza.
(4).
(3).(i). Kiswahili: Mimi nita nunua simu ya mkononi.
Kiingereza: ______ ______ ________ ______ _____________ _____________
Kanuni: N + S + T(BF)
- N – I, tamka (ai). –mimi.
- S – will, tamka (wil).
- T(BF) – buy, tamka (bai) - nunua.
- A mobile phone, tamka (e mobail fon). – simu ya mkononi.
(3).(ii).Kiswahili: Je, wewe uta nunua simu ya mkononi?
Kiingereza: ____ ______ ________ _____ ___________ _________?
Kanuni: S + N + T(BF)
- S – will, tamka (wil).
- N – You, tamka (yu). – wewe.
- T(BF) – buy, tamka (bai) - nunua.
- A mobile phone, tamka (e mobail fon). – simu ya mkononi.
(3).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Mimi nita nunua simu ya mkononi.
Kiingereza: _____ ____ ____ ________ ____ ___________ _________.
Kanuni: YES + N + S + T(BF)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N – I, tamka (ai). – mimi.
- S – will, tamka (wil).
- T(BF) – buy, tamka (bai) - nunua.
- A mobile phone, tamka (e mobail fon). – simu ya mkononi.
(3).(iv). Kiswahili: Hapana, mimi sitanunua simu ya mkononi.
Kiingereza: _____ ____ ____ _____ ______ ___ _________ __________.
Kanuni: NO + N + S + NOT + T(BF)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N – I, tamka (ai). – mimi.
- S – will, tamka (wil).
- T(BF) – buy, tamka (bai) - nunua.
- A mobile phone, tamka (e mobail fon). – simu ya mkononi.
(3).(v). Kiswahili: Hapana, mimi sitanunua simu ya mkononi.
Kiingereza: _____ ____ ______ _______ _____ _________ ___________ .
Kanuni: NO + N + WON’T+ T(BF)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N - I, tamka (ai). – mimi.
- T(BF) – buy, tamka (bai) - nunua.
- A mobile phone, tamka (e mobail fon). – simu ya mkononi.
Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and
Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na
kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa
Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani
kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au
P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa
kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake
rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa
kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba
mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69.
(5).

Somo la 2

  • 1. Somo la 2. Kiingereza: Simple Future Tense – Active Voice. Tamka: (Simpo Fyucha Tensi - Aktivu Voisi). Kiswahili: Wakati ujao uliorahisi – Katika hali ya kutenda. Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:- 1. Mimi nita zungumza Kiingereza. N + S + T 2. Wao wata kula ugali. N + S + T 3. Yeye “Mwanamke” ata iba kitabu. N + S + T 4. Musa ata chukua kikombe. N + S + T Katika Kiingereza:- S ni shall/Will. T - huwa katika hali ya ‟BF‟ yaani “base form (bezi fom)”, yaani halibadiliki kama ifuatavyo:- - Zungumza, huwa – speak, tamka (spiki). - Kula, huwa – eat, tamka (iti). - Iba huwa – steal, tamka (stil). - Chukua huwa - take, tamka (teki). Kwa mujibu wa kanuni rahisi za Ras Simba, hali hii ya kutobadilika kwa tendo la Kiingereza huitwa „BF‟ lakini kwa mujibu wa kanuni nyingine ngumu zisizowasaidia watu huitwa ‘infinitive, tamka (infinitivu)‟. Kanuni ya sentensi fasaha za Kiingereza za nita, tuta, uta, mta, ata na wata katika hali ya kutenda, yaani sentensi za „Simple Future Tense - Active Voice’ ni: N + S + T(BF). (1). (a). Mimi nita zungumza Kiingereza. I shall speak English .Tamka: (Ai shal spiki Inglish). (Kiapo/lazima). N + S + T(BF) (1). (b). Mimi nita zungumza Kiingereza. I will speak English. Tamka: (Ai wil spiki Inglish). (Kawaida). N + S + T(BF) (1).(c). Wao wata kula ugali. They will eat ugali. Tamka: (Dhei wil iti ugali). N + S +T(BF) (1). Mimi nita Sisi tuta - I shall - We shall - I will - We will N + S N + S Wewe uta Nyinyi mta - You will - You will N + S N +S Yeye ata Wao wata -He will - They will - Musa will N + S - She will -Asha will -It will -A dog will N +S
  • 2. (1).(d). Yeye „‟mwanamke“ ata iba kitabu. She will steal a book. Tamka: (Shi wil stil e buku). N + S + T(BF) (1).(e). Musa ata chukua kikombe . Musa will take a cup. Tamka: (Musa wil teki e kapu). N + S + T(BF) 2.Kanuni ya kuuliza maswali ya nita, tuta, uta, mta, ata na wata katika hali ya kutenda yaani maswali ya „Simple Future Tense – Active Voice’ ni: S+N+T(BF)? (2).(a).(i). Je, wewe uta zungumza Kiingereza? Will you speak English? Tamka: (Wil yu spik Inglish)? S + N + T(BF) (2).(a).(ii). Ndiyo, mimi nita zungumza Kiingereza. Yes, I will speak English. Tamka (Yesi, Ai wil spik Inglish). YES +N + S + T(BF) (2).(a).(iii). Hapana, mimi sitazungumza Kiingereza. No, I will not speak English. Tamka (No, Ai wil noti spiki Inglish). NO + N + S + NOT+T(BF) (2).(a).(iv). Hapana, mimi sitazungumza Kiingereza. No, I won‟t speak English. Tamka (No, Ai wonti spiki Inglish). NO +N +WONT+T(BF) (2).(b).(i). Je, wao wata kula ugali? Will they eat ugali? Tamka: (Wil dhei iti ugali)? S + N + T(BF) (2).(b).(ii). Ndiyo, wao wata kula ugali. Yes, they will eat ugali. Tamka (Yesi,dhei wil iti ugali). YES + N + S + T(BF) (2).(b).(iii). Hapana, wao hawatakula ugali. No, they will not eat ugali. Tamka (No, dhei wil noti iti ugali.). NO + N + S + NOT+T(BF) (2).(b).(iv). Hapana, wao hawatakula ugali. No, they won‟t eat ugali. Tamka (No, dhei wonti iti ugali). NO + N + WONT+T(BF) Zingatia kwamba katika sentensi ya kukanusha mara nyingi will not hutumika katika kuandika na won’t hutumika katika kuongea. Kikawaida shall haitumiki katika nafsi nyingine yoyote isipokuwa katika nafsi ya kwanza umoja na nafsi ya kwanza uwingi tu, yaani hutumika na ‘I’ na „we’ tu, hii ni kwasababu shall ni kauli ya kiapo. (2).
  • 3. ZOEZI LA 2. Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:- Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):- Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:- (1).(i).Kiswahili: Kimbute ata enda China. Kiingereza:___________ ______ ______ to _______. Kanuni: N + S + T(BF) - N - Kimbute. - S – will, tamka (wil). - T(BF) – go, tamka (go) - enda/kwenda. - China – China, tamka (Chaina). (1).(ii). Kiswahili: Je, Kimbute ataenda China? Kiingereza: ______ ______________ _______ to ___________? Kanuni: S + N + T(BF) - S – Will, tamka (wil). - N – Kimbute. - T(BF) – go, tamka (go) - enda/kwenda. - China – China, tamka (Chaina). (1).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Kimbute ata enda China. Kiingereza: _____ _______________ ____ _____ to _________. Kanuni: YES + N + S + T(BF) - Yes, tamka (yesi) – Ndiyo. - N - Kimbute. - S – will, tamka (wil). - T(BF) – go, tamka (go) - enda/kwenda. - China – China, tamka (Chaina). (1).(iv). Kiswahili: Hapana, Kimbute hataenda China. Kiingereza: _____ _____________ _____ _____ _____ to ________. Kanuni : NO + N + S + NOT + T(BF) - No, tamka (no) – Hapana. - N - Kimbute. - S – will, tamka (wil). - T(BF) – go, tamka (go) - enda/kwenda. - China – China, tamka (Chaina). (1).(v). Kiswahili: Hapana, Kimbute hataenda China. Kiingereza: _____ _____________ ______ ______ to ________ Kanuni: NO + N + WON’T + T(BF) - No, tamka (no) - Hapana. - N - Kimbute. - T(BF) – go, tamka (go) - enda/kwenda. - China – China, tamka (Chaina). (3).
  • 4. (2).(i). Kiswahili: Sisi tuta zungumza Kiingereza. Kiingereza: ______ _____ ___________ _____________. Kanuni: N + S + T(BF) - N – We, tamka (wi). – sisi. - S – will, tamka (wil). - T(BF) – speak, tamka (spiki) - zungumza. - English, tamka (Inglish). – Kiingereza. (2).(ii). Kiswahili: Je, nyinyi mta zungumza Kiingereza? Kiingereza: ______ _________ ___________ _____________ ? Kanuni: S + N + T(BF) -S – Will, tamka (wil). - N – You, tamka (yu). – nyinyi. -T(BF) – speak, tamka (spik) - zungumza. - English, tamka (Inglish). – Kiingereza. (2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Sisi tuta zungumza Kiingereza. Kiingereza: ______ ______ _____ _____________ _____________. Kanuni: YES + N + S + T(BF) - Yes, tamka (yesi) - Ndiyo - N – We, tamka (wi). – sisi. - S – will, tamka (wil). - T(BF) – speak, tamka (spik) - zungumza. - English, tamka (Inglish). – Kiingereza. (2).(iv). Kiswahili: Hapana, Sisi hatutazungumza Kiingereza. Kiingereza: ______ _______ _____ _____ ____________ ____________. Kanuni: NO + N + S + NOT + T(BF) - No, tamka (no) – Hapana. - N – We, tamka (wi). – sisi. - S – will, tamka (wil). - T(BF) – speak, tamka (spik) - zungumza. - English, tamka (Inglish). – Kiingereza. (2).(v). Kiswahili: Hapana, Sisi hatutazungumza Kiingereza. Kiingereza: ______ _________ _________ ____________ ____________. Kanuni: NO + N + WON’T + T(BF) - No, tamka (no) – Hapana. - N – We, tamka (wi). – sisi. - T(BF) – speak, tamka (spik) - zungumza. - English, tamka (Inglish). – Kiingereza. (4).
  • 5. (3).(i). Kiswahili: Mimi nita nunua simu ya mkononi. Kiingereza: ______ ______ ________ ______ _____________ _____________ Kanuni: N + S + T(BF) - N – I, tamka (ai). –mimi. - S – will, tamka (wil). - T(BF) – buy, tamka (bai) - nunua. - A mobile phone, tamka (e mobail fon). – simu ya mkononi. (3).(ii).Kiswahili: Je, wewe uta nunua simu ya mkononi? Kiingereza: ____ ______ ________ _____ ___________ _________? Kanuni: S + N + T(BF) - S – will, tamka (wil). - N – You, tamka (yu). – wewe. - T(BF) – buy, tamka (bai) - nunua. - A mobile phone, tamka (e mobail fon). – simu ya mkononi. (3).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Mimi nita nunua simu ya mkononi. Kiingereza: _____ ____ ____ ________ ____ ___________ _________. Kanuni: YES + N + S + T(BF) - Yes, tamka (yesi) – Ndiyo. - N – I, tamka (ai). – mimi. - S – will, tamka (wil). - T(BF) – buy, tamka (bai) - nunua. - A mobile phone, tamka (e mobail fon). – simu ya mkononi. (3).(iv). Kiswahili: Hapana, mimi sitanunua simu ya mkononi. Kiingereza: _____ ____ ____ _____ ______ ___ _________ __________. Kanuni: NO + N + S + NOT + T(BF) - No, tamka (no) – Hapana. - N – I, tamka (ai). – mimi. - S – will, tamka (wil). - T(BF) – buy, tamka (bai) - nunua. - A mobile phone, tamka (e mobail fon). – simu ya mkononi. (3).(v). Kiswahili: Hapana, mimi sitanunua simu ya mkononi. Kiingereza: _____ ____ ______ _______ _____ _________ ___________ . Kanuni: NO + N + WON’T+ T(BF) - No, tamka (no) – Hapana. - N - I, tamka (ai). – mimi. - T(BF) – buy, tamka (bai) - nunua. - A mobile phone, tamka (e mobail fon). – simu ya mkononi. Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69. (5).