SlideShare a Scribd company logo
1 of 14
Download to read offline
Somo la 11
(1). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how kwa tafsiri ya aje ikiwa sambamba na
tendo la kujisikia yaani „feel‟ tamka (fili) katika swali la wakati ujao uliorahisi
katika hali ya kutenda:-
HOW + S+ N + T(BF) (S ni will).
(1). (a).(i). Swali: Je, watajisikiaaje?
Kiingereza: How will they feel?
Tamka: (Hau wili dhei fili)?
(1).(a).(ii).Jibu: Watajisikia vizuri.
Kiingereza: They will feel alright.
Tamka: (Dhei wili fili oraiti).
(1).(a).(iii).Jibu: Watajisikia vibaya.
Kiingereza: They will feel bad.
Tamka: (Dhei wili fili badi).
(1).(a).(iv).Jibu: Hawatajisikia vizuri.
Kiingereza: They will not feel alright
Tamka: (Dhei wili noti fili oraiti).
(1).(a).(iv).Jibu: Hawatajisikia vizuri.
Kiingereza: They won‟t feel alright
Tamka: (Dhei wonti fili oraiti).
ZOEZI LA 11.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (1).
(1). (i). Swali: Je, utajisikiaje?
Kiingereza: _______ _____ ________ __________?
Kanuni: HOW + S + N + T(BF)
(1).(ii).Jibu: Nitajisikia vizuri.
Kiingereza: _______ _______ ________ ______________
Kanuini: N + S + T(BF).
(1).(iii).Jibu: Nitajisikia vibaya.
Kiingereza: ______ _______ __________ ____________
Kanuni: N + S + T(BF)
(1).(iv).Jibu: Sitajisikia vizuri.
Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________.
Kanuni: N + S + NOT + T(BF).
(1).(v).Jibu: Sitajisikia vizuri.
Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________.
Kanuni: N + WON’T+ T(BF).
(1).
(2). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how kwa tafsiri ya aje ikiwa sambamba na
tendo la kujisikia yaani „feel‟ tamka (fili) katika swali la wakati uliopo na
unaoendelea katika hali ya kutenda:-
HOW + S+ N + T(BF) (S ni do/does).
(2). (a).(i). Swali: Je, wanajisikiaaje?
Kiingereza: How do they feel?
Tamka: (Hau do dhei fili)?
(2).(a).(ii).Jibu: Wanajisikia vizuri.
Kiingereza: They feel alright.
Tamka: (Dhei fili oraiti).
(2).(a).(iii).Jibu: Wanajisikia vibaya.
Kiingereza: They feel bad.
Tamka: (Dhei fili badi).
(2).(a).(iv).Jibu: Hawajisikii vizuri.
Kiingereza: They do not feel alright
Tamka: (Dhei du noti fili oraiti).
(2).(a).(v).Jibu: Hawajisikii vizuri.
Kiingereza: They don‟t feel alright
Tamka: (Dhei donti fili oraiti).
(2). (b).(i). Swali: Je, yeye “mwanaume” anajisikiaje?
Kiingereza: How does he feel?
Tamka: (Hau dazi hi fili)?
(2).(b).(ii).Jibu: Anajisikia vizuri.
Kiingereza: He feels alright.
Tamka: (Hi filzi oraiti).
(2).(b).(iii).Jibu: Anajisikia vibaya.
Kiingereza: He feels bad.
Tamka: (Hi filzi badi).
(2).(b).(iv).Jibu: Hajisikii vizuri.
Kiingereza: He does not feel alright
Tamka: (Hi dazi noti fili oraiti).
(2).(b).(v).Jibu: Hawajisikii vizuri.
Kiingereza: He doesn‟t feel alright
Tamka: (Hi dazinti fili oraiti).
(2).
ZOEZI LA 11.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (2).
(2).(a).(i). Swali: Je, unajisikiaaje?
Kiingereza: _______ _____ ________ __________?
Kanuni: HOW + S + N + T(BF)
(2).(a).(ii).Jibu: Najisikia vizuri.
Kiingereza: _______ ___________ ____________.
Kanuini: N + T(BF)
(2).(a).(iii).Jibu: Najisikia vibaya.
Kiingereza: ______ ___________ __________
Kanuni: N + T(BF)
(2).(a).(iv).Jibu: Sijisikii vizuri.
Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________.
Kanuni: N + S + NOT + T(BF)
(2).(a).(v).Jibu: Sijisikii vizuri.
Kiingereza: _____ ________ ___________ _____________.
Kanuni: N + DON’T + T(BF).
(2).(b).(i). Swali: Je, Ommy anajisikiaje?
Kiingereza: _______ ________ ________ __________?
Kanuni: HOW + S + N + T(BF)
(2).(b).(ii).Jibu: Anajisikia vizuri.
Kiingereza: _______ ___________ ____________.
Kanuini: N + T(s).
(2).(b).(iii).Jibu: Anajisikia vibaya.
Kiingereza: ______ ___________ __________
Kanuni: N + T(s)
(2).(b).(iv).Jibu: Hajisikii vizuri.
Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________.
Kanuni: N + S + NOT + T(BF)
(2).(b).(v).Jibu: Hajisikii vizuri.
Kiingereza: _____ __________ ___________ _____________.
Kanuni: N + DOESN’T + T(BF)
(3).
(3). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how kwa tafsiri ya aje ikiwa sambamba na
tendo la kujisikia yaani „feel‟ tamka, (fili) katika swali la wakati uliopo timilifu
katika hali ya kutenda:-
HOW + S+ N + T(PP) (S ni have/has).
(3). (a).(i). Swali: Je, wamejisikiaje?
Kiingereza: How have they felt?
Tamka: (Hau hevu dhei felti)?
(3).(a).(ii).Jibu: Wamejisikia vizuri.
Kiingereza: They have felt alright.
Tamka: (Dhei havu felti oraiti).
(3).(a).(iii).Jibu: Wamejisikia vibaya.
Kiingereza: They have felt bad.
Tamka: (Dhei havu felti badi).
(3).(a).(iv).Jibu: Hawajajisikia vizuri.
Kiingereza: They have not felt alright
Tamka: (Dhei hevu noti felti oraiti).
(3).(a).(iv).Jibu: Hawajajisikia vizuri.
Kiingereza: They haven‟t felt alright
Tamka: (Dhei hevunti felti oraiti).
(3). (b).(i). Swali: Je, yeye “mwanamke” amejisikiaje?
Kiingereza: How has she felt?
Tamka: (Hau hezi shi felti)?
(3).(b).(ii).Jibu: Amejisikia vizuri.
Kiingereza: She has felt alright.
Tamka: (Shi hazi felti oraiti).
(3).(b).(iii).Jibu: Amejisikia vibaya.
Kiingereza: She has felt bad.
Tamka: (Shi hazi felti badi).
(3).(b).(iv).Jibu: Hajajisikia vizuri.
Kiingereza: She has not felt alright
Tamka: (Shi hezi noti felti oraiti).
(3).(b).(v).Jibu: Hajajisikia vizuri.
Kiingereza: She hasn‟t felt alright
Tamka: (Shi hezinti felti oraiti).
(4).
ZOEZI LA 11.
Change into English (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (3).
(3).(a). (i). Swali: Je, umejisikiaje?
Kiingereza: _______ _____ ________ __________?
Kanuni: HOW + S + N + T(PP)
(3).(a).(ii).Jibu: Nimejisikia vizuri.
Kiingereza: _______ _______ _________ __________
Kanuini: N + S + T(PP).
(3).(a).(iii).Jibu: Nimejisikia vibaya.
Kiingereza: ______ _____ __________ ____________.
Kanuni: N + S + T(PP)
(3).(a).(iv).Jibu: Sijajisikia vizuri.
Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________.
Kanuni: N + S + NOT + T(PP).
(3).(a).(v).Jibu: Sijajisikia vizuri.
Kiingereza: _____ ________ ___________ _____________.
Kanuni: N + HAVEN’T + T(PP).
(3).(b) (i). Swali: Je, Musa amejisikiaje?
Kiingereza: _______ _____ ________ __________?
Kanuni: HOW + S + N + T(PP)
(3).(b).(ii).Jibu: Amejisikia vizuri.
Kiingereza: _______ _______ _________ __________
Kanuni: N + S + T(PP).
(3).(b).(iii).Jibu: Amejisikia vibaya.
Kiingereza: ______ _____ __________ ____________.
Kanuni: N + S + T(PP)
(3).(b).(iv).Jibu: Hajajisikia vizuri.
Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________.
Kanuni: N + S + NOT + T(PP).
(3).(b).(v).Jibu: Hajajisikia vizuri.
Kiingereza: _____ ________ ___________ _____________.
Kanuni: N + HASN’T + T(PP).
(5).
(4). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how kwa tafsiri ya aje ikiwa sambamba na
tendo la kujisikia yaani „feel‟ tamka (fili) katika swali la wakati uliopita uliorahisi
katika hali ya kutenda:-
HOW + S+ N + T(BF) (S ni did).
(4). (a).(i). Swali: Je, walijisikiaje?
Kiingereza: How did they feel?
Tamka: (Hau did dhei fili)?
(4).(a).(ii).Jibu: Walijisikia vizuri.
Kiingereza: They felt alright.
Tamka: (Dhei felti oraiti).
(4).(a).(iii).Jibu: Walijisikia vibaya.
Kiingereza: They felt bad.
Tamka: (Dhei felti badi).
(4).(a).(iv).Jibu: Hawakujisikia vizuri.
Kiingereza: They did not feel alright
Tamka: (Dhei did noti felti oraiti).
(4).(a).(v).Jibu: Hawakujisikia vizuri.
Kiingereza: They didn‟t feel alright.
Tamka: (Dhei didnti fili oraiti).
ZOEZI LA 11.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (4).
(4). (i). Swali: Je, ulijisikiaje?
Kiingereza: _______ _____ ________ __________?
Kanuni: HOW + S + N + T(BF)
(4).(ii).Jibu: Nilijisikia vizuri.
Kiingereza: _______ _______ _________
Kanuni: N + T(PT).
(4).(iii).Jibu: Nilijisikia vibaya.
Kiingereza: ______ ________ __________.
Kanuni: N + T(PT)
(4).(iv).Jibu: Sikujisikia vizuri.
Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________.
Kanuni: N + S + NOT + T(BF).
(4).(v).Jibu: Sikujisikia vizuri.
Kiingereza: _____ ________ ___________ _____________.
Kanuni: N + DIDN’T + T(BF).
(6).
(5). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how kwa tafsiri ya aje ikiwa sambamba na
tendo la kujisikia yaani „feel‟ tamka (fili) katika swali la wakati uliopo uliorahisi
katika hali ya kutenda:-
HOW + S+ N + T(BF) (S ni do/does).
(5). (a).(i). Swali: Je,huwa wanajisikiaje?
Kiingereza: How do they feel?
Tamka: (Hau do dhei fili)?
(5).(a).(ii).Jibu: Huwa wanajisikia vizuri.
Kiingereza: They feel alright.
Tamka: (Dhei fili oraiti).
(5).(a).(iii).Jibu: Huwa wanajisikia vibaya.
Kiingereza: They feel bad.
Tamka: (Dhei fili badi).
(5).(a).(iv).Jibu: Huwa hawajisikii vizuri.
Kiingereza: They do not feel alright
Tamka: (Dhei du noti fili oraiti).
(5).(a).(v).Jibu: Huwa hawajisikii vizuri.
Kiingereza: They don‟t feel alright
Tamka: (Dhei donti fili oraiti).
(5). (b).(i). Swali: Je, Neema huwa anajisikiaje?
Kiingereza: How does Neema feel?
Tamka: (Hau dazi Neema fili)?
(5).(b).(ii).Jibu: Huwa anajisikia vizuri.
Kiingereza: She feels alright.
Tamka: (Shi filzi oraiti).
(5).(b).(iii).Jibu: Huwa anajisikia vibaya.
Kiingereza: She feels bad.
Tamka: (Shi fili badi).
(5).(b).(iv).Jibu: Huwa hajisikii vizuri.
Kiingereza: She does not feel alright
Tamka: (Shi dazi noti fili oraiti).
(5).(b).(v).Jibu: Huwa hajisikii vizuri.
Kiingereza: She doesn‟t feel alright
Tamka: (Shi dazinti fili oraiti).
(7).
ZOEZI LA 11.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (5).
(5).(a).(i). Swali: Je, huwa unajisikiaje?
Kiingereza: _______ _____ ________ __________?
Kanuni: HOW + S + N + T(BF)
(5).(a).(ii).Jibu: Huwa najisikia vizuri.
Kiingereza: _______ ___________ ____________.
Kanuni: N + T(BF)
(5).(a).(iii).Jibu: Huwa najisikia vibaya.
Kiingereza: ______ ___________ __________
Kanuni: N + T(BF)
(5).(a).(iv).Jibu: Huwa sijisikii vizuri.
Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________.
Kanuni: N + S + NOT + T(BF).
(5).(a).(v).Jibu: Huwa sijisikii vizuri.
Kiingereza: _____ ________ ___________ _____________.
Kanuni: N + DON’T + T(BF).
(5).(b).(i). Swali: Je, Sammy huwa anajisikiaje?
Kiingereza: _______ _____ ________ __________?
Kanuni: HOW + S + N + T(BF)
(5).(b).(ii).Jibu: Sammy huwa anajisikia vizuri.
Kiingereza: _______ ___________ ____________.
Kanuini: N + T(s)
(5).(b).(iii).Jibu: Sammy huwa anajisikia vibaya.
Kiingereza: ______ ___________ __________
Kanuni: N + T(s)
(5).(b).(iv).Jibu: Sammy huwa hajisikii vizuri.
Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________.
Kanuni: N + S + NOT + T(BF).
(5).(b).(v).Jibu: Sammy huwa hajisikii vizuri.
Kiingereza: _____ _________ ___________ _____________.
Kanuni: N + DOESN’T+ T(BF)
(8).
(6). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how tamka (hau) kwa tafsiri ya jinsi katika
swali la wakati ujao uliorahisi katika hali ya kutenda:-
S+ N + T(BF)+ N+HOW +TO (S ni will).
Somo hili limetumia kanuni ya mabadiliko ya nafsi iwapo mara tu baada ya tendo,
yaani kama ifuatavyo:-
Mimi huwa me tamka (mi), na siyo I kama ulivyozoea. Sisi huwa us tamka (asi), na
siyo we kama ulivyozoea. Wewe haibadiliki huwa you tamka (yu) vilevile, nyinyi
haibadiliki huwa you tamka (yu) vilevile. Yeye ‘mwanaume’ huwa him tamka (him),
na siyo he kama ulivyozoea. Yeye ‘mwanamke’ huwa her tamka (ha), na siyo she
kama ulivyozoea. Yeye ‘mnyama’ au kitu kisicho na uhai haibadiliki huwa it tamka
(iti) vilevile, lakini pia jina la mtu au kitu halibadiliki hutamkwa kama lilivyo. Wao huwa
them tamka (dhem), na siyo they kama ulivyozoea
(6). (a). Swali: Je, utawafundisha jinsi ya kuandika kitabu?
Kiingereza: Will you „teach‟ „them‟ how to write a text book?
Kanuni: S + N +T(BF) + N + HOW
Tamka: (Wili you tichi dhem hau tu raiti e teksti buku)?
- Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi
hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach.
(6).(b).Jibu: Ndiyo, nitawafundisha jinsi ya kuandika kitabu.
Kiingereza: Yes, I will „teach‟ „them‟ how to write a text book.
Tamka: (Yesi, Ai wili tichi dhem hau tu raiti e teksti buku).
-Katika mafano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu
nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach.
(6).(c).(i).Jibu: Hapana, sitawafundisha jinsi ya kuandika kitabu
Kiingereza: No, I will not „teach‟ „them‟ how to write a text book.
Tamka: (No, Ai wili noti tichi dhem hau tu raiti e teksti buku).
-Katika mafano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu
nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach.
(6).(c).(ii).Jibu: Hapana, sitawafundisha jinsi ya kuandika kitabu.
Kiingereza: No, I won‟t „teach‟ „them‟ how to write a text book.
Tamka: (No, Ai wonti tichi dhem hau tu raiti e teksti buku).
-Katika mafano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu
nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach.
(9).
ZOEZI LA 11.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (6).
(6). (i). Swali: Je, Musa atakufundisha jinsi ya kupaka rangi?
Kiingereza: _______ _____ ______ _____ _______ _______ ____________?
Kanuni: S + N + T(BF) + N + HOW +TO
(6).(ii).Jibu: Ndiyo, Musa atanifundisha jinsi ya kupaka rangi.
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
(6).(iii).Jibu: Hapana, Musa hatanifundisha jinsi ya kupaka rangi.
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
(7). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how tamka (hau) kwa tafsiri ya jinsi katika swali
la wakati uliopo na unaoendelea katika hali ya kutenda:-
S+ N + T(CONT.)+ N+HOW +TO (S ni am, are, is).
(7).(a). Swali: Je, unawafundisha jinsi ya kuandika kitabu?
Kiingereza: Are you „teaching‟ „them‟ how to write a text book?
Kanuni: S + N + T(CONT)+ N + HOW
Tamka: (A you tiching dhem hau tu raiti e teksti buku)?
- Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi
hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teaching.
(7).(b).Jibu: Ndiyo, ninawafundisha jinsi ya kuandika kitabu.
Kiingereza: Yes, I am „teaching‟ „them‟ how to write a text book.
Tamka: (Yesi, Ai em tiching dhem hau tu raiti e teksti buku).
- Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi
hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teaching.
(7).(c).(i).Jibu: Hapana, siwafundishi jinsi ya kuandika kitabu.
Kiingereza: No, I am not „teaching‟ „them‟ how to write a text book.
Tamka: (No, Ai wili noti tiching dhem hau tu raiti e teksti buku).
- Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi
hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teaching.
(10).
ZOEZI LA 11.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (7).
(7). (i). Swali: Je, Musa anakufundisha jinsi ya kupaka rangi ?
Kiingereza: ____ _______ _________ _____ _______ _______ ____________?
Kanuni: S + N + T(CONT)+ N + HOW + TO
(7).(ii).Jibu: Ndiyo, Musa ananifundisha jinsi ya kupaka rangi.
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
(7).(iii).Jibu: Hapana, Musa hanifundishi jinsi ya kupaka rangi.
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
(8). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how tamka (hau) kwa tafsiri ya jinsi katika swali
la wakati uliopo timilifu - katika hali ya kutenda:-
S+ N + T(PP)+ N+HOW +TO (S ni have/has).
(8).(a). Swali: Je, umewafundisha jinsi ya kuandika kitabu?
Kiingereza: Have you „taught‟ them how to write a text book?
Kanuni: S + N + T(PP) + N + HOW
Tamka: (Hevu you touti dhem hau tu raiti e teksti buku)?
- Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi
hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni taught.
(8).(b).Jibu: Ndiyo, nimewafundisha jinsi ya kuandika kitabu.
Kiingereza: Yes, I have taught them how to write a text book.
Tamka: (Yesi, Ai hevu touti dhem hau tu raiti e teksti buku).
- Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi
hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni taught.
(8).(c).(i).Jibu: Hapana, sijawafundisha jinsi ya kuandika kitabu
Kiingereza: No, I have not taught them how to write a text book.
Tamka: (No, Ai hevu noti touti dhem hau tu raiti e teksti buku).
- Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi
hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni taught.
(11).
ZOEZI LA 11.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (8).
(8). (i). Swali: Je, Musa amekufundisha jinsi ya kupaka rangi ?
Kiingereza: ____ _______ _________ _____ _______ _______ ____________?
Kanuni: S + N + T(PP) + N + HOW + TO
(8).(ii).Jibu: Ndiyo, Musa amenifundisha jinsi ya kupaka rangi.
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
(8).(iii).Jibu: Hapana, Musa hajanifundisha jinsi ya kupaka rangi.
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
(9). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how tamka (hau) kwa tafsiri ya jinsi katika swali
la wakati uliopita uliorahisi - katika hali ya kutenda:-
S+ N + T(BF)+ N+HOW +TO (S ni did).
(9).(a). Swali: Je, uliwafundisha jinsi ya kuandika kitabu?
Kiingereza: Did you „teach‟ „them‟ how to write a text book?
S + N + T(BF) + N + HOW
Tamka: (Did yu tichi dhem hau tu raiti e teksti buku)?
- Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi
hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach.
(9).(b).Jibu: Ndiyo, niliwafundisha jinsi ya kuandika kitabu.
Kiingereza: Yes, I „taught‟ „them‟ how to write a text book.
Tamka: (Yesi, Ai touti dhem hau tu raiti e teksti buku).
- Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi
hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach.
(9).(c).Jibu: Hapana, sikuwafundisha jinsi ya kuandika kitabu
Kiingereza: No, I didn‟t „teach‟ „them‟ how to write a text book.
Tamka: (No, Ai didnti tichi dhem hau tu raiti e teksti buku).
- Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi
hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach.
(12).
ZOEZI LA 11.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (9).
(9). (i). Swali: Je, Musa alikufundisha jinsi ya kupaka rangi ?
Kiingereza: ____ _______ _________ _____ _______ _______ ____________?
Kanuni: S + N + T(BF) + N + HOW + TO
(9).(ii).Jibu: Ndiyo, Musa alinifundisha jinsi ya kupaka rangi.
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
(9).(iii).Jibu: Hapana, Musa hakunifundisha jinsi ya kupaka rangi.
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
(10). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how kwa tafsiri ya jinsi katika swali la wakati
uliopo uliorahisi katika hali ya kutenda:-
S+ N + T(BF)+ N+HOW +TO (S ni do/does).
(10).(a). Swali: Je, huwa unawafundisha jinsi ya kuandika kitabu?
Kiingereza: Do you „teach‟ „them‟ how to write a text book?
Kanuni: S + N + T(BF) + N + HOW
Tamka: (Du yu tichi dhem hau tu raiti e teksti buku)?
- Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi
hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach.
(10).(b).Jibu: Ndiyo, huwa ninawafundisha jinsi ya kuandika kitabu.
Kiingereza: Yes, I „teach‟ „them‟ how to write a text book.
Tamka: (Yesi, Ai tichi dhem hau tu raiti e teksti buku).
- Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi
hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach.
(10).(c).Jibu: Hapana, huwa siwafundishi jinsi ya kuandika kitabu
Kiingereza: No, I don‟t „teach‟ „them‟ how to write a text book.
Tamka: (No, Ai donti tichi dhem hau tu raiti e teksti buku).
- Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi
hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach.
(13).
ZOEZI LA 11.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (10).
(10). (i). Swali: Je, Musa huwa anakufundisha jinsi ya kupaka rangi ?
Kiingereza: ____ _______ _________ _____ _______ _______ ____________?
Kanuni: S + N + T(BF) + N + HOW + TO
(10).(ii).Jibu: Ndiyo, Musa huwa ananifundisha jinsi ya kupaka rangi.
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
(10).(iii).Jibu: Hapana, Musa huwa hanifundishi jinsi ya kupaka rangi.
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and
Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na
kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa
Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani
kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au
P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa
kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake
rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa
kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba
mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69.
(14).

More Related Content

More from makukuzenyu (20)

Somo la 25
Somo la  25Somo la  25
Somo la 25
 
Somo la 24
Somo la  24Somo la  24
Somo la 24
 
Somo la 23
Somo la  23Somo la  23
Somo la 23
 
Somo la 22
Somo la  22Somo la  22
Somo la 22
 
Somo la 21
Somo la  21Somo la  21
Somo la 21
 
Somo la 20
Somo la  20Somo la  20
Somo la 20
 
Somo la 19
Somo la  19Somo la  19
Somo la 19
 
Somo la 18
Somo la  18Somo la  18
Somo la 18
 
Somo la 17
Somo la  17Somo la  17
Somo la 17
 
Somo la 16
Somo la  16Somo la  16
Somo la 16
 
Somo la 15
Somo la  15Somo la  15
Somo la 15
 
Somo la 14
Somo la  14Somo la  14
Somo la 14
 
Somo la 13
Somo la  13Somo la  13
Somo la 13
 
Somo la 12
Somo la  12Somo la  12
Somo la 12
 
Somo la 10
Somo la  10Somo la  10
Somo la 10
 
Somo la 9
Somo la  9Somo la  9
Somo la 9
 
Somo la 8
Somo la  8Somo la  8
Somo la 8
 
Somo la 7
Somo la  7Somo la  7
Somo la 7
 
Somo la 5
Somo la  5Somo la  5
Somo la 5
 
Somo la 4
Somo la  4Somo la  4
Somo la 4
 

Somo la 11

  • 1. Somo la 11 (1). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how kwa tafsiri ya aje ikiwa sambamba na tendo la kujisikia yaani „feel‟ tamka (fili) katika swali la wakati ujao uliorahisi katika hali ya kutenda:- HOW + S+ N + T(BF) (S ni will). (1). (a).(i). Swali: Je, watajisikiaaje? Kiingereza: How will they feel? Tamka: (Hau wili dhei fili)? (1).(a).(ii).Jibu: Watajisikia vizuri. Kiingereza: They will feel alright. Tamka: (Dhei wili fili oraiti). (1).(a).(iii).Jibu: Watajisikia vibaya. Kiingereza: They will feel bad. Tamka: (Dhei wili fili badi). (1).(a).(iv).Jibu: Hawatajisikia vizuri. Kiingereza: They will not feel alright Tamka: (Dhei wili noti fili oraiti). (1).(a).(iv).Jibu: Hawatajisikia vizuri. Kiingereza: They won‟t feel alright Tamka: (Dhei wonti fili oraiti). ZOEZI LA 11. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (1). (1). (i). Swali: Je, utajisikiaje? Kiingereza: _______ _____ ________ __________? Kanuni: HOW + S + N + T(BF) (1).(ii).Jibu: Nitajisikia vizuri. Kiingereza: _______ _______ ________ ______________ Kanuini: N + S + T(BF). (1).(iii).Jibu: Nitajisikia vibaya. Kiingereza: ______ _______ __________ ____________ Kanuni: N + S + T(BF) (1).(iv).Jibu: Sitajisikia vizuri. Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________. Kanuni: N + S + NOT + T(BF). (1).(v).Jibu: Sitajisikia vizuri. Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________. Kanuni: N + WON’T+ T(BF). (1).
  • 2. (2). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how kwa tafsiri ya aje ikiwa sambamba na tendo la kujisikia yaani „feel‟ tamka (fili) katika swali la wakati uliopo na unaoendelea katika hali ya kutenda:- HOW + S+ N + T(BF) (S ni do/does). (2). (a).(i). Swali: Je, wanajisikiaaje? Kiingereza: How do they feel? Tamka: (Hau do dhei fili)? (2).(a).(ii).Jibu: Wanajisikia vizuri. Kiingereza: They feel alright. Tamka: (Dhei fili oraiti). (2).(a).(iii).Jibu: Wanajisikia vibaya. Kiingereza: They feel bad. Tamka: (Dhei fili badi). (2).(a).(iv).Jibu: Hawajisikii vizuri. Kiingereza: They do not feel alright Tamka: (Dhei du noti fili oraiti). (2).(a).(v).Jibu: Hawajisikii vizuri. Kiingereza: They don‟t feel alright Tamka: (Dhei donti fili oraiti). (2). (b).(i). Swali: Je, yeye “mwanaume” anajisikiaje? Kiingereza: How does he feel? Tamka: (Hau dazi hi fili)? (2).(b).(ii).Jibu: Anajisikia vizuri. Kiingereza: He feels alright. Tamka: (Hi filzi oraiti). (2).(b).(iii).Jibu: Anajisikia vibaya. Kiingereza: He feels bad. Tamka: (Hi filzi badi). (2).(b).(iv).Jibu: Hajisikii vizuri. Kiingereza: He does not feel alright Tamka: (Hi dazi noti fili oraiti). (2).(b).(v).Jibu: Hawajisikii vizuri. Kiingereza: He doesn‟t feel alright Tamka: (Hi dazinti fili oraiti). (2).
  • 3. ZOEZI LA 11. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (2). (2).(a).(i). Swali: Je, unajisikiaaje? Kiingereza: _______ _____ ________ __________? Kanuni: HOW + S + N + T(BF) (2).(a).(ii).Jibu: Najisikia vizuri. Kiingereza: _______ ___________ ____________. Kanuini: N + T(BF) (2).(a).(iii).Jibu: Najisikia vibaya. Kiingereza: ______ ___________ __________ Kanuni: N + T(BF) (2).(a).(iv).Jibu: Sijisikii vizuri. Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________. Kanuni: N + S + NOT + T(BF) (2).(a).(v).Jibu: Sijisikii vizuri. Kiingereza: _____ ________ ___________ _____________. Kanuni: N + DON’T + T(BF). (2).(b).(i). Swali: Je, Ommy anajisikiaje? Kiingereza: _______ ________ ________ __________? Kanuni: HOW + S + N + T(BF) (2).(b).(ii).Jibu: Anajisikia vizuri. Kiingereza: _______ ___________ ____________. Kanuini: N + T(s). (2).(b).(iii).Jibu: Anajisikia vibaya. Kiingereza: ______ ___________ __________ Kanuni: N + T(s) (2).(b).(iv).Jibu: Hajisikii vizuri. Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________. Kanuni: N + S + NOT + T(BF) (2).(b).(v).Jibu: Hajisikii vizuri. Kiingereza: _____ __________ ___________ _____________. Kanuni: N + DOESN’T + T(BF) (3).
  • 4. (3). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how kwa tafsiri ya aje ikiwa sambamba na tendo la kujisikia yaani „feel‟ tamka, (fili) katika swali la wakati uliopo timilifu katika hali ya kutenda:- HOW + S+ N + T(PP) (S ni have/has). (3). (a).(i). Swali: Je, wamejisikiaje? Kiingereza: How have they felt? Tamka: (Hau hevu dhei felti)? (3).(a).(ii).Jibu: Wamejisikia vizuri. Kiingereza: They have felt alright. Tamka: (Dhei havu felti oraiti). (3).(a).(iii).Jibu: Wamejisikia vibaya. Kiingereza: They have felt bad. Tamka: (Dhei havu felti badi). (3).(a).(iv).Jibu: Hawajajisikia vizuri. Kiingereza: They have not felt alright Tamka: (Dhei hevu noti felti oraiti). (3).(a).(iv).Jibu: Hawajajisikia vizuri. Kiingereza: They haven‟t felt alright Tamka: (Dhei hevunti felti oraiti). (3). (b).(i). Swali: Je, yeye “mwanamke” amejisikiaje? Kiingereza: How has she felt? Tamka: (Hau hezi shi felti)? (3).(b).(ii).Jibu: Amejisikia vizuri. Kiingereza: She has felt alright. Tamka: (Shi hazi felti oraiti). (3).(b).(iii).Jibu: Amejisikia vibaya. Kiingereza: She has felt bad. Tamka: (Shi hazi felti badi). (3).(b).(iv).Jibu: Hajajisikia vizuri. Kiingereza: She has not felt alright Tamka: (Shi hezi noti felti oraiti). (3).(b).(v).Jibu: Hajajisikia vizuri. Kiingereza: She hasn‟t felt alright Tamka: (Shi hezinti felti oraiti). (4).
  • 5. ZOEZI LA 11. Change into English (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (3). (3).(a). (i). Swali: Je, umejisikiaje? Kiingereza: _______ _____ ________ __________? Kanuni: HOW + S + N + T(PP) (3).(a).(ii).Jibu: Nimejisikia vizuri. Kiingereza: _______ _______ _________ __________ Kanuini: N + S + T(PP). (3).(a).(iii).Jibu: Nimejisikia vibaya. Kiingereza: ______ _____ __________ ____________. Kanuni: N + S + T(PP) (3).(a).(iv).Jibu: Sijajisikia vizuri. Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________. Kanuni: N + S + NOT + T(PP). (3).(a).(v).Jibu: Sijajisikia vizuri. Kiingereza: _____ ________ ___________ _____________. Kanuni: N + HAVEN’T + T(PP). (3).(b) (i). Swali: Je, Musa amejisikiaje? Kiingereza: _______ _____ ________ __________? Kanuni: HOW + S + N + T(PP) (3).(b).(ii).Jibu: Amejisikia vizuri. Kiingereza: _______ _______ _________ __________ Kanuni: N + S + T(PP). (3).(b).(iii).Jibu: Amejisikia vibaya. Kiingereza: ______ _____ __________ ____________. Kanuni: N + S + T(PP) (3).(b).(iv).Jibu: Hajajisikia vizuri. Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________. Kanuni: N + S + NOT + T(PP). (3).(b).(v).Jibu: Hajajisikia vizuri. Kiingereza: _____ ________ ___________ _____________. Kanuni: N + HASN’T + T(PP). (5).
  • 6. (4). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how kwa tafsiri ya aje ikiwa sambamba na tendo la kujisikia yaani „feel‟ tamka (fili) katika swali la wakati uliopita uliorahisi katika hali ya kutenda:- HOW + S+ N + T(BF) (S ni did). (4). (a).(i). Swali: Je, walijisikiaje? Kiingereza: How did they feel? Tamka: (Hau did dhei fili)? (4).(a).(ii).Jibu: Walijisikia vizuri. Kiingereza: They felt alright. Tamka: (Dhei felti oraiti). (4).(a).(iii).Jibu: Walijisikia vibaya. Kiingereza: They felt bad. Tamka: (Dhei felti badi). (4).(a).(iv).Jibu: Hawakujisikia vizuri. Kiingereza: They did not feel alright Tamka: (Dhei did noti felti oraiti). (4).(a).(v).Jibu: Hawakujisikia vizuri. Kiingereza: They didn‟t feel alright. Tamka: (Dhei didnti fili oraiti). ZOEZI LA 11. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (4). (4). (i). Swali: Je, ulijisikiaje? Kiingereza: _______ _____ ________ __________? Kanuni: HOW + S + N + T(BF) (4).(ii).Jibu: Nilijisikia vizuri. Kiingereza: _______ _______ _________ Kanuni: N + T(PT). (4).(iii).Jibu: Nilijisikia vibaya. Kiingereza: ______ ________ __________. Kanuni: N + T(PT) (4).(iv).Jibu: Sikujisikia vizuri. Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________. Kanuni: N + S + NOT + T(BF). (4).(v).Jibu: Sikujisikia vizuri. Kiingereza: _____ ________ ___________ _____________. Kanuni: N + DIDN’T + T(BF). (6).
  • 7. (5). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how kwa tafsiri ya aje ikiwa sambamba na tendo la kujisikia yaani „feel‟ tamka (fili) katika swali la wakati uliopo uliorahisi katika hali ya kutenda:- HOW + S+ N + T(BF) (S ni do/does). (5). (a).(i). Swali: Je,huwa wanajisikiaje? Kiingereza: How do they feel? Tamka: (Hau do dhei fili)? (5).(a).(ii).Jibu: Huwa wanajisikia vizuri. Kiingereza: They feel alright. Tamka: (Dhei fili oraiti). (5).(a).(iii).Jibu: Huwa wanajisikia vibaya. Kiingereza: They feel bad. Tamka: (Dhei fili badi). (5).(a).(iv).Jibu: Huwa hawajisikii vizuri. Kiingereza: They do not feel alright Tamka: (Dhei du noti fili oraiti). (5).(a).(v).Jibu: Huwa hawajisikii vizuri. Kiingereza: They don‟t feel alright Tamka: (Dhei donti fili oraiti). (5). (b).(i). Swali: Je, Neema huwa anajisikiaje? Kiingereza: How does Neema feel? Tamka: (Hau dazi Neema fili)? (5).(b).(ii).Jibu: Huwa anajisikia vizuri. Kiingereza: She feels alright. Tamka: (Shi filzi oraiti). (5).(b).(iii).Jibu: Huwa anajisikia vibaya. Kiingereza: She feels bad. Tamka: (Shi fili badi). (5).(b).(iv).Jibu: Huwa hajisikii vizuri. Kiingereza: She does not feel alright Tamka: (Shi dazi noti fili oraiti). (5).(b).(v).Jibu: Huwa hajisikii vizuri. Kiingereza: She doesn‟t feel alright Tamka: (Shi dazinti fili oraiti). (7).
  • 8. ZOEZI LA 11. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (5). (5).(a).(i). Swali: Je, huwa unajisikiaje? Kiingereza: _______ _____ ________ __________? Kanuni: HOW + S + N + T(BF) (5).(a).(ii).Jibu: Huwa najisikia vizuri. Kiingereza: _______ ___________ ____________. Kanuni: N + T(BF) (5).(a).(iii).Jibu: Huwa najisikia vibaya. Kiingereza: ______ ___________ __________ Kanuni: N + T(BF) (5).(a).(iv).Jibu: Huwa sijisikii vizuri. Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________. Kanuni: N + S + NOT + T(BF). (5).(a).(v).Jibu: Huwa sijisikii vizuri. Kiingereza: _____ ________ ___________ _____________. Kanuni: N + DON’T + T(BF). (5).(b).(i). Swali: Je, Sammy huwa anajisikiaje? Kiingereza: _______ _____ ________ __________? Kanuni: HOW + S + N + T(BF) (5).(b).(ii).Jibu: Sammy huwa anajisikia vizuri. Kiingereza: _______ ___________ ____________. Kanuini: N + T(s) (5).(b).(iii).Jibu: Sammy huwa anajisikia vibaya. Kiingereza: ______ ___________ __________ Kanuni: N + T(s) (5).(b).(iv).Jibu: Sammy huwa hajisikii vizuri. Kiingereza: _____ ______ _______ ________ ______________. Kanuni: N + S + NOT + T(BF). (5).(b).(v).Jibu: Sammy huwa hajisikii vizuri. Kiingereza: _____ _________ ___________ _____________. Kanuni: N + DOESN’T+ T(BF) (8).
  • 9. (6). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how tamka (hau) kwa tafsiri ya jinsi katika swali la wakati ujao uliorahisi katika hali ya kutenda:- S+ N + T(BF)+ N+HOW +TO (S ni will). Somo hili limetumia kanuni ya mabadiliko ya nafsi iwapo mara tu baada ya tendo, yaani kama ifuatavyo:- Mimi huwa me tamka (mi), na siyo I kama ulivyozoea. Sisi huwa us tamka (asi), na siyo we kama ulivyozoea. Wewe haibadiliki huwa you tamka (yu) vilevile, nyinyi haibadiliki huwa you tamka (yu) vilevile. Yeye ‘mwanaume’ huwa him tamka (him), na siyo he kama ulivyozoea. Yeye ‘mwanamke’ huwa her tamka (ha), na siyo she kama ulivyozoea. Yeye ‘mnyama’ au kitu kisicho na uhai haibadiliki huwa it tamka (iti) vilevile, lakini pia jina la mtu au kitu halibadiliki hutamkwa kama lilivyo. Wao huwa them tamka (dhem), na siyo they kama ulivyozoea (6). (a). Swali: Je, utawafundisha jinsi ya kuandika kitabu? Kiingereza: Will you „teach‟ „them‟ how to write a text book? Kanuni: S + N +T(BF) + N + HOW Tamka: (Wili you tichi dhem hau tu raiti e teksti buku)? - Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach. (6).(b).Jibu: Ndiyo, nitawafundisha jinsi ya kuandika kitabu. Kiingereza: Yes, I will „teach‟ „them‟ how to write a text book. Tamka: (Yesi, Ai wili tichi dhem hau tu raiti e teksti buku). -Katika mafano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach. (6).(c).(i).Jibu: Hapana, sitawafundisha jinsi ya kuandika kitabu Kiingereza: No, I will not „teach‟ „them‟ how to write a text book. Tamka: (No, Ai wili noti tichi dhem hau tu raiti e teksti buku). -Katika mafano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach. (6).(c).(ii).Jibu: Hapana, sitawafundisha jinsi ya kuandika kitabu. Kiingereza: No, I won‟t „teach‟ „them‟ how to write a text book. Tamka: (No, Ai wonti tichi dhem hau tu raiti e teksti buku). -Katika mafano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach. (9).
  • 10. ZOEZI LA 11. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (6). (6). (i). Swali: Je, Musa atakufundisha jinsi ya kupaka rangi? Kiingereza: _______ _____ ______ _____ _______ _______ ____________? Kanuni: S + N + T(BF) + N + HOW +TO (6).(ii).Jibu: Ndiyo, Musa atanifundisha jinsi ya kupaka rangi. ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ (6).(iii).Jibu: Hapana, Musa hatanifundisha jinsi ya kupaka rangi. ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ (7). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how tamka (hau) kwa tafsiri ya jinsi katika swali la wakati uliopo na unaoendelea katika hali ya kutenda:- S+ N + T(CONT.)+ N+HOW +TO (S ni am, are, is). (7).(a). Swali: Je, unawafundisha jinsi ya kuandika kitabu? Kiingereza: Are you „teaching‟ „them‟ how to write a text book? Kanuni: S + N + T(CONT)+ N + HOW Tamka: (A you tiching dhem hau tu raiti e teksti buku)? - Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teaching. (7).(b).Jibu: Ndiyo, ninawafundisha jinsi ya kuandika kitabu. Kiingereza: Yes, I am „teaching‟ „them‟ how to write a text book. Tamka: (Yesi, Ai em tiching dhem hau tu raiti e teksti buku). - Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teaching. (7).(c).(i).Jibu: Hapana, siwafundishi jinsi ya kuandika kitabu. Kiingereza: No, I am not „teaching‟ „them‟ how to write a text book. Tamka: (No, Ai wili noti tiching dhem hau tu raiti e teksti buku). - Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teaching. (10).
  • 11. ZOEZI LA 11. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (7). (7). (i). Swali: Je, Musa anakufundisha jinsi ya kupaka rangi ? Kiingereza: ____ _______ _________ _____ _______ _______ ____________? Kanuni: S + N + T(CONT)+ N + HOW + TO (7).(ii).Jibu: Ndiyo, Musa ananifundisha jinsi ya kupaka rangi. ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ (7).(iii).Jibu: Hapana, Musa hanifundishi jinsi ya kupaka rangi. ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ (8). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how tamka (hau) kwa tafsiri ya jinsi katika swali la wakati uliopo timilifu - katika hali ya kutenda:- S+ N + T(PP)+ N+HOW +TO (S ni have/has). (8).(a). Swali: Je, umewafundisha jinsi ya kuandika kitabu? Kiingereza: Have you „taught‟ them how to write a text book? Kanuni: S + N + T(PP) + N + HOW Tamka: (Hevu you touti dhem hau tu raiti e teksti buku)? - Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni taught. (8).(b).Jibu: Ndiyo, nimewafundisha jinsi ya kuandika kitabu. Kiingereza: Yes, I have taught them how to write a text book. Tamka: (Yesi, Ai hevu touti dhem hau tu raiti e teksti buku). - Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni taught. (8).(c).(i).Jibu: Hapana, sijawafundisha jinsi ya kuandika kitabu Kiingereza: No, I have not taught them how to write a text book. Tamka: (No, Ai hevu noti touti dhem hau tu raiti e teksti buku). - Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni taught. (11).
  • 12. ZOEZI LA 11. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (8). (8). (i). Swali: Je, Musa amekufundisha jinsi ya kupaka rangi ? Kiingereza: ____ _______ _________ _____ _______ _______ ____________? Kanuni: S + N + T(PP) + N + HOW + TO (8).(ii).Jibu: Ndiyo, Musa amenifundisha jinsi ya kupaka rangi. ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ (8).(iii).Jibu: Hapana, Musa hajanifundisha jinsi ya kupaka rangi. ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ (9). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how tamka (hau) kwa tafsiri ya jinsi katika swali la wakati uliopita uliorahisi - katika hali ya kutenda:- S+ N + T(BF)+ N+HOW +TO (S ni did). (9).(a). Swali: Je, uliwafundisha jinsi ya kuandika kitabu? Kiingereza: Did you „teach‟ „them‟ how to write a text book? S + N + T(BF) + N + HOW Tamka: (Did yu tichi dhem hau tu raiti e teksti buku)? - Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach. (9).(b).Jibu: Ndiyo, niliwafundisha jinsi ya kuandika kitabu. Kiingereza: Yes, I „taught‟ „them‟ how to write a text book. Tamka: (Yesi, Ai touti dhem hau tu raiti e teksti buku). - Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach. (9).(c).Jibu: Hapana, sikuwafundisha jinsi ya kuandika kitabu Kiingereza: No, I didn‟t „teach‟ „them‟ how to write a text book. Tamka: (No, Ai didnti tichi dhem hau tu raiti e teksti buku). - Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach. (12).
  • 13. ZOEZI LA 11. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (9). (9). (i). Swali: Je, Musa alikufundisha jinsi ya kupaka rangi ? Kiingereza: ____ _______ _________ _____ _______ _______ ____________? Kanuni: S + N + T(BF) + N + HOW + TO (9).(ii).Jibu: Ndiyo, Musa alinifundisha jinsi ya kupaka rangi. ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ (9).(iii).Jibu: Hapana, Musa hakunifundisha jinsi ya kupaka rangi. ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ (10). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya how kwa tafsiri ya jinsi katika swali la wakati uliopo uliorahisi katika hali ya kutenda:- S+ N + T(BF)+ N+HOW +TO (S ni do/does). (10).(a). Swali: Je, huwa unawafundisha jinsi ya kuandika kitabu? Kiingereza: Do you „teach‟ „them‟ how to write a text book? Kanuni: S + N + T(BF) + N + HOW Tamka: (Du yu tichi dhem hau tu raiti e teksti buku)? - Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach. (10).(b).Jibu: Ndiyo, huwa ninawafundisha jinsi ya kuandika kitabu. Kiingereza: Yes, I „teach‟ „them‟ how to write a text book. Tamka: (Yesi, Ai tichi dhem hau tu raiti e teksti buku). - Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach. (10).(c).Jibu: Hapana, huwa siwafundishi jinsi ya kuandika kitabu Kiingereza: No, I don‟t „teach‟ „them‟ how to write a text book. Tamka: (No, Ai donti tichi dhem hau tu raiti e teksti buku). - Katika mfano huu hapo juu wao imekuwa them badala ya they, hii ni kwasababu nafsi hii ya wao imeandikwa mara tu baada ya tendo ambalo ni teach. (13).
  • 14. ZOEZI LA 11. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (10). (10). (i). Swali: Je, Musa huwa anakufundisha jinsi ya kupaka rangi ? Kiingereza: ____ _______ _________ _____ _______ _______ ____________? Kanuni: S + N + T(BF) + N + HOW + TO (10).(ii).Jibu: Ndiyo, Musa huwa ananifundisha jinsi ya kupaka rangi. ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ ________________________________________________________________________ (10).(iii).Jibu: Hapana, Musa huwa hanifundishi jinsi ya kupaka rangi. ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69. (14).