SlideShare a Scribd company logo
1 of 4
Download to read offline
Somo la 12
(1). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya why - tamka (wai) kwa tafsiri ya kwa nini katika
swali la wakati ujao uliorahisi katika hali ya kutenda:-
Kanuni yake ni : {WHY + S + N + T(BF)? (S ni will).
(1).(a). Swali: Je, kwa nini utajifunza Kiingereza?
Kiingereza: Why will you learn English?
Kanuni: WHY+ S + N + T(BF)
Tamka: (Wai wili yu leni Inglish)?
(1).(b).Jibu: Nitajifunza Kiingereza kwasababu hii ni lugha ya kimataifa.
Kiingereza:I will learn English because this is International language.
Tamka: (Ai wil leni Inglish bikozi dhisi izi Intaneshino langweji).
ZOEZI LA 12.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (1).
1.(a). Kwa nini Musa ataenda Dubai badala ya China?
- {badala ya – instead of, tamka (instedi ovu)}
Kiingereza:______ _____ _____ _____to _______ ___________ ____ ________?
Kanuni: WHY + S + N + T(BF)
1.(b). Ataenda Dubai kwasababu wateja wake hutaka bidhaa kutoka huko.
- {Kwasababu – because, tamka (bikozi)}.
- {Wateja wake - his customers, tamka (hizi kastamazi)}
- {Taka – want, tamka (wanti)}.
- {Huko – there - tamka (dhea)}.
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
(2). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya why - tamka (wai) kwa tafsiri ya kwa nini katika
swali la wakati uliopo na unaoendelea katika hali ya kutenda:-
Kanuni yake ni: {WHY + S + N + T(CONT.)}? (S ni am, are, is).
(2). (a). Swali: Je, kwa nini unajifunza Kiingereza?
Kiingereza: Why are you learning English?
Kanuni: WHY+ S + N + T(CONT.)
Tamka: (Wai a yu lening Inglish)?
(2).(b).Jibu: Ninajifunza Kiingereza kwasababu hii ni lugha ya kimataifa.
Kiingereza: I am learning English because this is International language.
Tamka: (Ai em lening Inglish bikozi dhisi izi Intaneshino langueji).
(1).
ZOEZI LA 12.
Change into English- tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (2).
2.(a). Kwa nini Musa anaenda Dubai badala ya China?
Kiingereza: _______ ____ ______ ________ to _______ __________ ____ ______?
Kanuni: WHY + S + N +T(CONT.)
2.(b). Anakwenda Dubai kwa sababu wateja wake hutaka bidhaa kutoka huko.
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
(3). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya why - tamka (wai) kwa tafsiri ya kwa nini katika
swali la wakati uliopo timilifu katika hali ya kutenda:-
Kanuni yake ni : {WHY + S + N + T(PP)}? (S ni have, has).
(3).(a). Swali: Je, kwa nini umejifunza Kiingereza?
Kiingereza: Why have you learnt English?
Kanuni: WHY+ S + N + T(PP)
Tamka: (Wai hevu yu lenti Inglish)?
(3).(b).Jibu: Nimejifunza Kiingereza kwasababu hii ni lugha ya kimataifa.
Kiingereza:I have learnt English because this is International language.
Tamka: (Ai hevu lenti Inglish bikozi dhisi izi Intaneshino langueji).
ZOEZI LA 12.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (3).
3.(a). Kwa nini Musa ameenda Dubai badala ya China?
Kiingereza: _______ ____ ______ ________ to _______ __________ ____ ______?
Kanuni: WHY + S + N + T(PP)
3.(b). Ameenda Dubai kwa sababu wateja wake hutaka bidhaa kutoka huko.
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
(2).
(4). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya why - tamka (wai) kwa tafsiri ya kwa nini
katika swali la wakati uliopita uliorahisi katika hali ya kutenda:-
Kanuni yake ni: {WHY+S+N+T(BF)}? (S ni did).
(4).(a). Swali: Kwa nini ulijifunza Kiingereza?
Kiingereza: Why did you learn English?
Kanuni: WHY+ S + N + T(BF)
Tamka: (Wai did yu leni Inglish)?
(4).(b).Jibu: Nilijifunza Kiingereza kwasababu hii ni lugha ya kimataifa.
Kiingereza:I learnt English because this is International language.
Tamka: (Ai lenti Inglish bikozi dhisi izi Intaneshino langueji).
ZOEZI LA 12.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (4).
4.(a). Kwa nini Musa alienda Dubai badala ya China?
Kiingereza: _______ _____ ______ ________ to ______ __________ ____ ______?
Kanuni: WHY + S + N + T(BF)
4.(b). Alienda Dubai kwa sababu wateja wake hutaka bidhaa kutoka huko.
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
(5). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya why - tamka (wai) kwa tafsiri ya kwa nini
katika swali la wakati uliopo uliorahisi katika hali ya kutenda:-
Kanuni yake ni: WHY + S + N + T(BF)? (S ni do, does).
(5).(a). Swali: Je, kwa nini huwa unajifunza Kiingereza?
Kiingereza: Why do you learn English?
Kanuni: WHY+ S + N + T(BF)
Tamka: (Wai du yu leni Inglish)?
(5).(b).Jibu: Huwa ninajifunza Kiingereza kwasababu hii ni lugha ya kimataifa.
Kiingereza:I learn English because this is International language.
Tamka: (Ai leni Inglish bikozi dhisi izi Intaneshino langueji).
(3).
ZOEZI LA 12.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (5).
5.(a). Kwa nini Musa huwa anaenda Dubai badala ya China?
Kiingereza: _______ ____ ______ ________ to _______ __________ ____ ______?
Kanuni: WHY + S + N + T(BF)
5.(b). Huwa anaenda Dubai kwa sababu wateja wake hutaka bidhaa kutoka huko.
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and
Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na
kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa
Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani
kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au
P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa
kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake
rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa
kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba
mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69.
(4).

Somo la 12

  • 1. Somo la 12 (1). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya why - tamka (wai) kwa tafsiri ya kwa nini katika swali la wakati ujao uliorahisi katika hali ya kutenda:- Kanuni yake ni : {WHY + S + N + T(BF)? (S ni will). (1).(a). Swali: Je, kwa nini utajifunza Kiingereza? Kiingereza: Why will you learn English? Kanuni: WHY+ S + N + T(BF) Tamka: (Wai wili yu leni Inglish)? (1).(b).Jibu: Nitajifunza Kiingereza kwasababu hii ni lugha ya kimataifa. Kiingereza:I will learn English because this is International language. Tamka: (Ai wil leni Inglish bikozi dhisi izi Intaneshino langweji). ZOEZI LA 12. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (1). 1.(a). Kwa nini Musa ataenda Dubai badala ya China? - {badala ya – instead of, tamka (instedi ovu)} Kiingereza:______ _____ _____ _____to _______ ___________ ____ ________? Kanuni: WHY + S + N + T(BF) 1.(b). Ataenda Dubai kwasababu wateja wake hutaka bidhaa kutoka huko. - {Kwasababu – because, tamka (bikozi)}. - {Wateja wake - his customers, tamka (hizi kastamazi)} - {Taka – want, tamka (wanti)}. - {Huko – there - tamka (dhea)}. ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ (2). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya why - tamka (wai) kwa tafsiri ya kwa nini katika swali la wakati uliopo na unaoendelea katika hali ya kutenda:- Kanuni yake ni: {WHY + S + N + T(CONT.)}? (S ni am, are, is). (2). (a). Swali: Je, kwa nini unajifunza Kiingereza? Kiingereza: Why are you learning English? Kanuni: WHY+ S + N + T(CONT.) Tamka: (Wai a yu lening Inglish)? (2).(b).Jibu: Ninajifunza Kiingereza kwasababu hii ni lugha ya kimataifa. Kiingereza: I am learning English because this is International language. Tamka: (Ai em lening Inglish bikozi dhisi izi Intaneshino langueji). (1).
  • 2. ZOEZI LA 12. Change into English- tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (2). 2.(a). Kwa nini Musa anaenda Dubai badala ya China? Kiingereza: _______ ____ ______ ________ to _______ __________ ____ ______? Kanuni: WHY + S + N +T(CONT.) 2.(b). Anakwenda Dubai kwa sababu wateja wake hutaka bidhaa kutoka huko. ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ (3). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya why - tamka (wai) kwa tafsiri ya kwa nini katika swali la wakati uliopo timilifu katika hali ya kutenda:- Kanuni yake ni : {WHY + S + N + T(PP)}? (S ni have, has). (3).(a). Swali: Je, kwa nini umejifunza Kiingereza? Kiingereza: Why have you learnt English? Kanuni: WHY+ S + N + T(PP) Tamka: (Wai hevu yu lenti Inglish)? (3).(b).Jibu: Nimejifunza Kiingereza kwasababu hii ni lugha ya kimataifa. Kiingereza:I have learnt English because this is International language. Tamka: (Ai hevu lenti Inglish bikozi dhisi izi Intaneshino langueji). ZOEZI LA 12. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (3). 3.(a). Kwa nini Musa ameenda Dubai badala ya China? Kiingereza: _______ ____ ______ ________ to _______ __________ ____ ______? Kanuni: WHY + S + N + T(PP) 3.(b). Ameenda Dubai kwa sababu wateja wake hutaka bidhaa kutoka huko. ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ (2).
  • 3. (4). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya why - tamka (wai) kwa tafsiri ya kwa nini katika swali la wakati uliopita uliorahisi katika hali ya kutenda:- Kanuni yake ni: {WHY+S+N+T(BF)}? (S ni did). (4).(a). Swali: Kwa nini ulijifunza Kiingereza? Kiingereza: Why did you learn English? Kanuni: WHY+ S + N + T(BF) Tamka: (Wai did yu leni Inglish)? (4).(b).Jibu: Nilijifunza Kiingereza kwasababu hii ni lugha ya kimataifa. Kiingereza:I learnt English because this is International language. Tamka: (Ai lenti Inglish bikozi dhisi izi Intaneshino langueji). ZOEZI LA 12. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (4). 4.(a). Kwa nini Musa alienda Dubai badala ya China? Kiingereza: _______ _____ ______ ________ to ______ __________ ____ ______? Kanuni: WHY + S + N + T(BF) 4.(b). Alienda Dubai kwa sababu wateja wake hutaka bidhaa kutoka huko. ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ (5). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya why - tamka (wai) kwa tafsiri ya kwa nini katika swali la wakati uliopo uliorahisi katika hali ya kutenda:- Kanuni yake ni: WHY + S + N + T(BF)? (S ni do, does). (5).(a). Swali: Je, kwa nini huwa unajifunza Kiingereza? Kiingereza: Why do you learn English? Kanuni: WHY+ S + N + T(BF) Tamka: (Wai du yu leni Inglish)? (5).(b).Jibu: Huwa ninajifunza Kiingereza kwasababu hii ni lugha ya kimataifa. Kiingereza:I learn English because this is International language. Tamka: (Ai leni Inglish bikozi dhisi izi Intaneshino langueji). (3).
  • 4. ZOEZI LA 12. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (5). 5.(a). Kwa nini Musa huwa anaenda Dubai badala ya China? Kiingereza: _______ ____ ______ ________ to _______ __________ ____ ______? Kanuni: WHY + S + N + T(BF) 5.(b). Huwa anaenda Dubai kwa sababu wateja wake hutaka bidhaa kutoka huko. ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69. (4).