SlideShare a Scribd company logo
1 of 9
Download to read offline
Somo la 14
Ufuatao ni mfano wa matumizi this is, tamka (dhisi izi) , these are, tamka (dhizi a),
that is, tamka (dhati izi) na those are, tamka (dhozi a) ndani ya Kiingereza fasaha:-
(1). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya this is – tamka (dhisi iz) kwa tafsiri ya hiki ni:-
(1). (i). Kiswahili: Hiki ni kitabu.
Kiingereza: This is a text book.
Tamka: (Dhisi iz e teksti buku).
(1). (ii). Swali: Je, hiki ni kitabu?
Kiingereza: Is this a text book?
Tamka: (Iz dhisi e teksti buku)?
(1). (iii). Jibu: Ndiyo, hiki ni kitabu.
Kiingereza: Yes, this is a text book.
Tamka: (Yesi, dhisi izi e teksti buku).
(1). (iv). Jibu: Hapana, hiki siyo kitabu, ila hili ni daftari la mazoezi.
Kiingereza: No, this is not a text book, but this is an exercise book.
Tamka: (No, dhisi iz noti e teksti buku, bati dhisi izi ani eksisaizi buku).
Hapa tumeona kwamba this is imeonesha kitu kilichopo karibu. Pia tumeona katika sentensi ya
kawaida this ndiyo imeanza na katika swali is ndiyo imeanza. Katika mfano huu this is imekuwa
na tafsiri ya hiki ni, hii ni kwasababu imeonesha kitu, kama ingekuwa imemuonesha mtu, basi
ingekuwa na tafsiri ya huyu ni, na siyo hiki ni kama ilivyo hapo juu.
ZOEZI LA 14.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza.
Swali namba (1).
(1). (i). Kiswahili: Hii ni nyumba.
- {Nyumba – a house, tamka (e hausi)}.
Kiingereza: ____________________________________________________________
____________________________________________________________
(1). (ii). Swali: Je, hii ni nyumba?
Kiingereza: ________________________________________________________________
________________________________________________________________
(1). (iii). Jibu: Ndiyo, hii ni nyumba.
Kiingereza: _________________________________________________________________
__________________________________________________________________
(1). (iv). Jibu: Hapana, hii siyo nyumba, ila huu ni uwanja wa taifa.
- {Uwanja wa taifa – The national stadium tamka (Dhe neshino stedyum)}.
Kiingereza: __________________________________________________________________
__________________________________________________________________
__________________________________________________________________
(1).
(2). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya this is – tamka (dhisi izi) kwa tafsiri ya huyu ni:-
(2).(i). Kiswahili: Huyu ni mvulana wa kitanzania.
Kiingereza: This is a Tanzanian boy.
Tamka: (Dhisi iz e Tanzaniani boi).
(2). (ii). Swali: Je, huyu ni mvulana wa kitanzania?
Kiingereza: Is this a Tanzanian boy?
Tamka: (Iz dhisi e Tanzaniani boi)?
(2). (iii). Jibu: Ndiyo, huyu ni mvulana wa kitanzania.
Kiingereza: Yes, this is a Tanzanian boy.
Tamka: (Yesi, dhisi izi e Tanzaniani boi).
(2). (iv). Jibu: Hapana, huyu siyo mvulana wa Kitanzania, ila huyu ni mvulana wa Kenya.
Kiingereza: No, this is not a Tanzanian boy, but this is a Kenya’s boy.
Tamka: (No, dhisi iz noti e Tanzaniani boi, bati dhisi izi e Kenyazi boi).
Hapa tumeona kwamba this is imeonesha mtu aliye karibu. Katika sentensi ya kawaida this
ndiyo imeanza na katika swali is ndiyo imeanza. Katika mfano huu this is imekuwa na tafsiri ya
huyu ni , hii ni kwasababu imeonesha mtu, kama ingekuwa imeonesha kitu basi tafsiri yake
ingekuwa hiki ni, na siyo huyu ni kama ilivyo hapo juu.
ZOEZI LA 14.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza.
Swali namba (2).
(2).(i). Kiswahili: Huyu ni mwizi.
- {Mwizi – a thief, tamka (e dhiifu)}.
Kiingereza: _____________________________________________________________
_____________________________________________________________
(2). (ii). Swali: Je, huyu ni mwizi?
Kiingereza: ________________________________________________________________
________________________________________________________________
(2). (iii). Jibu: Ndiyo, huyu ni mwizi.
Kiingereza: _______________________________________________________________
_________________________________________________________________
(2). (iv). Jibu: Hapana, huyu siyo mwizi, huyu ni mtu mwema.
- {Mtu mwema – a good person, tamka (e gudi pesoni)}.
Kiingereza: __________________________________________________________________
__________________________________________________________________
__________________________________________________________________
(2).
(3). Ufuatao ni mfano wa matumizi these are – tamka (dhizi a) kwa tafsiri ya hivi ni:-
(3). (i). Kiswahili: Hivi ni vitabu.
Kiingereza: These are text books.
Tamka: (Dhizi a teksti buksi).
(3). (ii). Swali: Je, hivi ni vitabu?
Kiingereza: Are these text books?
Tamka: (A dhizi teksti buksi)?
(3). (iii). Jibu: Ndiyo, hivi ni vitabu.
Kiingereza: Yes, these are text books.
Tamka: (Yesi, dhizi a teksti buksi).
(3). (iv). Jibu: Hapana, hivi siyo vitabu, ila hizi ni daftari za mazoezi.
Kiingereza: No, these are not text books, but these are exercise books.
Tamka: (No, dhizi a noti teksti buksi, bati dhizi a eksisaizi buksi).
Hapa tumeona kwamba these are imeonesha vitu vilivyopo karibu. Pia tumeona katika sentensi
ya kawaida these ndiyo imeanza na katika swali are ndiyo imeanza. Katika mfano huu these are
imekuwa na tafsiri ya hivi ni, hii ni kwasababu imeonesha vitabu, kama ingekuwa imeonesha
watu, basi ingekuwa na tafsiri ya hawa ni, na siyo hivi ni kama ilivyo hapo juu.
ZOEZI LA 14.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza.
Swali namba (3).
(3). (i). Kiswahili: Hizi ni nyanya.
- {Nyanya – tomatoes, tamka (tomatozi)}.
Kiingereza: ________________________________________________________________
(3). (ii). Swali: Je, hizi ni nyanya?
Kiingereza: __________________________________________________________________
(3). (iii). Jibu: Ndiyo, hizi ni nyanya.
Kiingereza: ___________________________________________________________________
(3). (iv). Jibu: Hapana, hizi siyo nyanya, hizi ni embe.
- {Embe – mangoes, tamka (mengozi)}
Kiingereza: __________________________________________________________________
__________________________________________________________________
__________________________________________________________________
(3).
(4). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya these are – tamka (dhizi a) kwa tafsiri ya hawa ni:-
(4).(i). Kiswahii: Hawa ni wavulana wa kitanzania..
Kiingereza: These are Tanzanian boys.
Tamka: (Dhizi a Tanzaniani boiz).
(4). (ii). Swali: Je, hawa ni wavulana wa kitanzania?
Kiingereza: Are these Tanzanian boys?
Tamka: (A dhizi Tanzaniani boiz)?
(4). (iii). Jibu: Ndiyo, hawa ni wavulana wa kitanzania.
Kiingereza: Yes, these are Tanzanian boys.
Tamka: (Yesi, dhizi a Tanzaniani boiz).
(4). (iv). Jibu: Hapana, hawa siyo wavulana wa Kitanzania, ila hawa ni wavulana wa Kenya.
Kiingereza: No, these are not Tanzanian boys, but these are Kenya’s boys.
Tamka: (No, dhizi a noti Tanzaniani boiz, bati dhizi a Kenyazi boiz)
Hapa tumeona kwamba these are imeonesha watu walio karibu. Katika sentensi ya kawaida
these ndiyo imeanza na katika swali are ndiyo imeanza. Katika mfano huu these are imekuwa na
tafsiri ya hawa ni , hii ni kwasababu imeonesha watu, kama ingekuwa imeonesha vitu basi tafsiri
yake ingekuwa hivi ni, na siyo hawa ni kama ilivyo hapo juu
ZOEZI LA 14.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza.
Swali namba (4).
(4).(i). Kiswahili: Hawa ni wanyama pori.
- {Wanyama pori – wild animals, tamka (widi animozi)}.
Kiingereza: ________________________________________________________________
________________________________________________________________
(4). (ii). Swali: Je, hawa ni wanyama pori?
Kiingereza: __________________________________________________________________
__________________________________________________________________
(4). (iii). Jibu: Ndiyo, hawa ni wanyama pori.
Kiingereza: ___________________________________________________________________
___________________________________________________________________
(4). (iv). Jibu: Hapana, hawa siyo wanyama pori, ila hawa ni wanyama wafugwao.
- {Wanyama wafugwao – domestic animals, tamka (domestiki animozi)}
Kiingereza: __________________________________________________________________
__________________________________________________________________
__________________________________________________________________
(4).
(5). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya that is - tamka (dhat izi) kwa tafsiri ya kile ni/hicho ni:-
(5). (i). Kiswahili: Kile/hicho ni kitabu.
Kiingereza: That is a text book.
Tamka: (Dhati iz e teksti buku).
(5). (ii). Swali: Je, kile/hicho ni kitabu?
Kiingereza: Is that a text book?
Tamka: (Iz dhati e teksti buku)?
(5). (iii). Jibu: Ndiyo, kile/hicho ni kitabu.
Kiingereza: Yes, that is a text book.
Tamka: (Yesi, dhati izi e teksti buku).
(5). (iv). Jibu: Hapana, kile/hicho siyo kitabu, ila lile/hilo ni daftari la mazoezi.
Kiingereza: No, that is not a text book, but that is an exercise book.
Tamka: (No, dhiti iz noti e teksti buku, bati dhati izi ani eksisaizi buku).
Hapa tumeona kwamba that is imeonesha kitu kilichopo mbali. Katika sentensi ya kawaida that
ndiyo imeanza na katika swali is ndiyo imeanza. Katika mfano huu that imekuwa na tafsiri ya kile
au hicho, hapa ina maana kwamba, kama anayeoneshwa atakuwa pamoja na muoneshaji
basi tafsiri yake itakuwa kile, ila endapo anayeoneshwa atakuwa mbali na muoneshaji lakini
atakuwa karibu na kitu, basi tafsiri yake itakuwa hicho.Tafsiri hii ya kile au hicho imetokana na
that is kuonesha kitu ingekuwa imeonesha mtu basi ingekuwa na tafsiri ya yule au huyo.
ZOEZI LA 14.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza.
Swali namba (5).
(5). (i). Kiswahili: Ile/hiyo ni nyumba.
Kiingereza: ____________________________________________________________
____________________________________________________________
(5). (ii). Swali: Je, ile/hiyo ni nyumba?
Kiingereza: ________________________________________________________________
________________________________________________________________
(5). (iii). (a). Jibu: Ndiyo, ile ni nyumba.
Kiingereza: _______________________________________________________________
_______________________________________________________________
(5). (iii). (b). Jibu: Ndiyo hii ni nyumba.
Kiingereza: _______________________________________________________________
_______________________________________________________________
(5). (iv). (a). Jibu: Hapana, ile siyo nyumba, ila ule ni uwanja wa taifa.
- {Uwanja wa taifa – national stadium, tamka (neshino stedyum)}.
Kiingereza: _______________________________________________________________
_______________________________________________________________
_______________________________________________________________
(5).
(6). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya that is - tamka (dhati izi) kwa tafsiri ya yule au huyo:-
(6).(i). Kiswahili: Yule/huyo ni mvulana wa kitanzania.
Kiingereza: That is a Tanzanian boy.
Tamka: (Dhati iz e Tanzaniani boi).
(6). (ii). Swali: Je, yule/huyo ni mvulana wa kitanzania?
Kiingereza: Is that a Tanzanian boy?
Tamka: (Iz dhati e Tanzaniani boi)?
(6). (iii). Jibu: Ndiyo, yule/huyo ni mvulana wa kitanzania.
Kiingereza: Yes, that is a Tanzanian boy.
Tamka: (Yesi, dhati izi e Tanzaniani boi).
(6).(iv). Hapana, yule/huyo siyo mvulana wa Kitanzania, ila yule/huyo ni mvulana wa Kenya.
Kiingereza: No, that is not a Tanzanian boy, but that is a Kenya’s boy.
Tamka: (No, dhati iz noti e Tanzaniani boi, bati dhati izi e Kenyazi boi).
Hapa tumeona kwamba that is imeonesha mvulana aliye mbali. Tumeona pia katika sentensi ya
kawaida that ndiyo imeanza na katika swali is ndiyo imeanza. Katika mfano huu that is imekuwa
na tafsiri ya yule au huyo, hapa ina maana kwamba, kama anayeoneshwa atakuwa pamoja na
muoneshaji basi tafsiri yake itakuwa yule, ila endapo anayeoneshwa atakuwa mbali na
muoneshaji lakini atakuwa karibu na mvulana, basi tafsiri yake itakuwa huyo.Tafsiri hii ya yule
au huyo imetokana na that is kuonesha mvulana ingekuwa imeonesha kitu basi ingekuwa na
tafsiri ya kile au hicho.
ZOEZI LA 14.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza.
Swali namba (6).
(6).(a).(i). Kiswahili: Yule ni mwizi.
Kiingereza: _____________________________________________________________
_____________________________________________________________
(6). (a). (ii). Swali: Je, yule ni mwizi?
Kiingereza: _____________________________________________________________
_____________________________________________________________
(6). (a). (iii).Jibu: Ndiyo, yule ni mwizi.
Kiingereza: _______________________________________________________________
_______________________________________________________________
(6). (a).(iv). Jibu: Hapana, yule siyo mwizi, yule ni mtu mwema.
- {Mtu mwema – a good person, tamka (e gudi pesoni)}.
Kiingereza: __________________________________________________________________
__________________________________________________________________
__________________________________________________________________
(6).
(6).(b).(i). Kiswahili: Huyo ni mwizi.
Kiingereza: _____________________________________________________________
_____________________________________________________________
(6). (b). (ii). Swali: Je, huyo ni mwizi?
Kiingereza: _____________________________________________________________
_____________________________________________________________
(6). (b). (iii). Jibu: Ndiyo, huyu ni mwizi.
Kiingereza: _______________________________________________________________
_______________________________________________________________
(6). (b).(iv). Jibu: Hapana, huyu siyo mwizi, huyu ni mtu mwema.
- {Mtu mwema – a good person, tamka (e gudi pesoni)}.
Kiingereza: ________________________________________________________________
________________________________________________________________
________________________________________________________________
(7). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya those are – tamka (dhozi a) kwa tafsiri ya vile/hivyo :-
(7). (i). Kiswahili: Vile/hivyo ni vitabu.
Kiingereza: Those are text books.
Tamka: (Dhozi a teksti buksi).
(7). (ii). Swali: Je, vile/hivyo ni vitabu?
Kiingereza: Are those text books?
Tamka: (A dhozi teksti buksi)?
(7). (iii). Jibu: Ndiyo, vile/hivyo ni vitabu.
Kiingereza: Yes, those are text books.
Tamka: (Yesi, dhozi a teksti buksi).
(7). (iv). Jibu: Hapana, vile/hivyo siyo vitabu, ila yale/hayo ni madaftari ya mazoezi.
Kiingereza: No, those are not text books, but those are exercise books.
Tamka: (No, dhozi a noti teksti buksi, bati dhozi a eksisaizi buksi).
Hapa tumeona kwamba those are imeonesha vitabu vilivyo mbali. Pia tumeona kwamba katika
sentensi ya kawaida those ndiyo imeanza na katika swali are ndiyo imeanza. Katika mfano huu
those imekuwa na tafsiri ya vile au hivyo, hapa ina maana kwamba, kama anayeoneshwa
atakuwa pamoja na muoneshaji basi tafsiri yake itakuwa vile, ila endapo anayeoneshwa
atakuwa mbali na muoneshaji lakini atakuwa karibu na vitabu, basi tafsiri yake itakuwa
hivyo.Tafsiri hii ya vile na hivyo imetokana na those are kuonesha vitabu ingekuwa
imeonesha watu basi tafsiri yake ingekuwa wale au hao.
(7).
ZOEZI LA 14.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza.
Swali namba (7).
(7). (a).(i). Kiswahili: Zile ni nyanya.
Kiingereza: _____________________________________________________________
(7). (a).(ii). Swali: Je, zile ni nyanya?
Kiingereza: _______________________________________________________________
(7). (a).(iii). Jibu: Ndiyo, zile ni nyanya.
Kiingereza: _______________________________________________________________
(7). (a).(iv). Jibu: Hapana, zile siyo nyanya, zile ni embe.
Kiingereza: __________________________________________________________________
__________________________________________________________________
(7). (b).(i). Kiswahili: Hizo ni nyanya.
Kiingereza: _____________________________________________________________
(7). (b).(ii). Swali: Je, hizo ni nyanya?
Kiingereza: __________________________________________________________________
(7). (b). (iii). Jibu: Ndiyo, hizi ni nyanya.
Kiingereza: ___________________________________________________________________
(7). (b). (iv). Jibu: Hapana, hizi siyo nyanya, hizi ni embe.
Kiingereza: __________________________________________________________________
__________________________________________________________________
__________________________________________________________________
(8).Ufuatao ni mfano wa matumizi ya those are-tamka (dhozi a) kwa tafsiri ya wale ni/hao ni:-
(8).(i). Kiswahili: Wale/hao ni wavulana wa kitanzania..
Kiingereza: Those are Tanzanian boys.
Tamka: (Dhozi a Tanzaniani boiz).
(8). (ii). Swali: Je, wale/hao ni wavulana wa kitanzania?
Kiingereza: Are those Tanzanian boys?
Tamka: (A dhozi Tanzaniani boiz)?
(8). (iii). Jibu: Ndiyo, wale/hao ni wavulana wa kitanzania.
Kiingereza: Yes, those are Tanzanian boys.
Tamka: (Yesi, dhozi a Tanzaniani boiz).
(8). (iv). Hapana, wale/hao siyo wavulana wa Kitanzania, ila wale/hao ni wavulana wa Kenya.
Kiingereza: No, those are not Tanzanian boys, but those are Kenya’s boys.
Tamka: (No, dhozi a noti Tanzaniani boiz, bati dhozi a Kenyazi boiz)
Hapa tumeona kwamba those are imeonesha wavulana walio mbali. Katika sentensi ya kawaida
those ndiyo imeanza na katika swali are ndiyo imeanza. Katika mfano huu those imekuwa na
tafsiri ya wale au hao, hapa ina maana kwamba, kama anayeoneshwa atakuwa pamoja na
muoneshaji basi tafsiri yake itakuwa wale, ila endapo anayeoneshwa atakuwa mbali na
muoneshaji lakini atakuwa pamoja na wavulana, basi tafsiri yake itakuwa hao.Tafsiri hii ya wale
na hao imetokana na those are kuonesha wavulana, lakini ingekuwa imeonesha vitabu basi
tafsiri yake ingekuwa vile au hivyo.
(8).
ZOEZI LA 14.
Change into Englis, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza.
Swali namba (8).
(8). (a).(i).Kiswahili: Wale ni wanyama pori.
- {Wanyama pori – wild animals, tamka (wildi animozi)}.
Kiingereza: ________________________________________________________________
________________________________________________________________
(8).(a) (ii). Swali: Je, wale ni wanyama pori?
Kiingereza: _______________________________________________________________
_______________________________________________________________
(8).(a). (iii). Jibu: Ndiyo, wale ni wanyama pori.
Kiingereza: _______________________________________________________________
_______________________________________________________________
(8).(a). (iv). Jibu: Hapana, wale siyo wanyama pori, ila wale ni wanyama wafugwao.
- {Wanyama wafugwao – domestic animals, tamka (domestiki animozi)}.
Kiingereza: _______________________________________________________________
_______________________________________________________________
_______________________________________________________________
(8). (b).(i). Kiswahili: Hao ni wanyama pori.
- {Wanyama pori – wild animals, tamka (wildi animozi)}.
Kiingereza: ________________________________________________________________
________________________________________________________________
(8).(b) (ii). Swali: Je, hao ni wanyama pori?
Kiingereza: _______________________________________________________________
_______________________________________________________________
(8).(b). (iii). Jibu: Ndiyo, hao ni wanyama pori.
Kiingereza: _______________________________________________________________
_______________________________________________________________
(8).(b). (iv). Jibu: Hapana, hawa siyo wanyama pori, ila hawa ni wanyama wafugwao.
- {Wanyama wafugwao – domestic animals, tamka (domestiki animozi)}.
Kiingereza: _______________________________________________________________
_______________________________________________________________
_______________________________________________________________
Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and
Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na
kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa
Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani
kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au
P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa
kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake
rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa
kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba
mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69.
(9).

More Related Content

Similar to Somo la 14

CA Database Scavenger Hunt pt. 1
CA Database Scavenger Hunt pt. 1CA Database Scavenger Hunt pt. 1
CA Database Scavenger Hunt pt. 1
amytaylor
 
Can Do 2 You and me
Can Do 2 You and meCan Do 2 You and me
Can Do 2 You and me
dlazcano
 
Unit 10 Products
Unit 10 ProductsUnit 10 Products
Unit 10 Products
dlazcano
 
Similar to Somo la 14 (20)

Lista de exercícios de Inglês (Present Continuous; Simple Present; Future)
Lista de exercícios de Inglês (Present Continuous; Simple Present; Future)Lista de exercícios de Inglês (Present Continuous; Simple Present; Future)
Lista de exercícios de Inglês (Present Continuous; Simple Present; Future)
 
Worksheet unit 2
Worksheet unit 2Worksheet unit 2
Worksheet unit 2
 
CA Database Scavenger Hunt pt. 1
CA Database Scavenger Hunt pt. 1CA Database Scavenger Hunt pt. 1
CA Database Scavenger Hunt pt. 1
 
1o ano-favelas-the-present-continuous-tense (2)
1o ano-favelas-the-present-continuous-tense (2)1o ano-favelas-the-present-continuous-tense (2)
1o ano-favelas-the-present-continuous-tense (2)
 
1st Grade Unit 6: Dot and jabber and the big bug mystery
1st Grade Unit 6: Dot and jabber and the big bug mystery1st Grade Unit 6: Dot and jabber and the big bug mystery
1st Grade Unit 6: Dot and jabber and the big bug mystery
 
Can Do 2 You and me
Can Do 2 You and meCan Do 2 You and me
Can Do 2 You and me
 
Aula 9
Aula 9Aula 9
Aula 9
 
Regular er verbs
Regular er verbsRegular er verbs
Regular er verbs
 
going to
going togoing to
going to
 
ingles 7
ingles 7ingles 7
ingles 7
 
Unit 10 Products
Unit 10 ProductsUnit 10 Products
Unit 10 Products
 
Work book s2
Work book s2Work book s2
Work book s2
 
Gr1 unit5 vocabularystudybook-thekite
Gr1 unit5 vocabularystudybook-thekiteGr1 unit5 vocabularystudybook-thekite
Gr1 unit5 vocabularystudybook-thekite
 
Papr 1 exam nov
Papr 1 exam novPapr 1 exam nov
Papr 1 exam nov
 
Exercitia i
Exercitia iExercitia i
Exercitia i
 
Unit 0 to be and have got
Unit 0 to be and have gotUnit 0 to be and have got
Unit 0 to be and have got
 
Present Exer
Present ExerPresent Exer
Present Exer
 
Demonstrative
DemonstrativeDemonstrative
Demonstrative
 
Demonstrative
DemonstrativeDemonstrative
Demonstrative
 
Gr1 unit5 vocabularystudybook-kidsinventions
Gr1 unit5 vocabularystudybook-kidsinventionsGr1 unit5 vocabularystudybook-kidsinventions
Gr1 unit5 vocabularystudybook-kidsinventions
 
More from makukuzenyu (20)

Somo la 30
Somo la 30Somo la 30
Somo la 30
 
Somo la 29
Somo la 29Somo la 29
Somo la 29
 
Somo la 28
Somo la 28Somo la 28
Somo la 28
 
Somo la 27
Somo la  27Somo la  27
Somo la 27
 
Somo la 26
Somo la  26Somo la  26
Somo la 26
 
Somo la 25
Somo la  25Somo la  25
Somo la 25
 
Somo la 24
Somo la  24Somo la  24
Somo la 24
 
Somo la 23
Somo la  23Somo la  23
Somo la 23
 
Somo la 22
Somo la  22Somo la  22
Somo la 22
 
Somo la 21
Somo la  21Somo la  21
Somo la 21
 
Somo la 20
Somo la  20Somo la  20
Somo la 20
 
Somo la 18
Somo la  18Somo la  18
Somo la 18
 
Somo la 17
Somo la  17Somo la  17
Somo la 17
 
Somo la 16
Somo la  16Somo la  16
Somo la 16
 
Somo la 15
Somo la  15Somo la  15
Somo la 15
 
Somo la 13
Somo la  13Somo la  13
Somo la 13
 
Somo la 12
Somo la  12Somo la  12
Somo la 12
 
Somo la 11
Somo la  11Somo la  11
Somo la 11
 
Somo la 10
Somo la  10Somo la  10
Somo la 10
 
Somo la 9
Somo la  9Somo la  9
Somo la 9
 
Recently uploaded

The basics of sentences session 3pptx.pptx
The basics of sentences session 3pptx.pptxThe basics of sentences session 3pptx.pptx
The basics of sentences session 3pptx.pptx
heathfieldcps1
 
Salient Features of India constitution especially power and functions
Salient Features of India constitution especially power and functionsSalient Features of India constitution especially power and functions
Salient Features of India constitution especially power and functions
KarakKing
 
Recently uploaded (20)

The basics of sentences session 3pptx.pptx
The basics of sentences session 3pptx.pptxThe basics of sentences session 3pptx.pptx
The basics of sentences session 3pptx.pptx
 
NO1 Top Black Magic Specialist In Lahore Black magic In Pakistan Kala Ilam Ex...
NO1 Top Black Magic Specialist In Lahore Black magic In Pakistan Kala Ilam Ex...NO1 Top Black Magic Specialist In Lahore Black magic In Pakistan Kala Ilam Ex...
NO1 Top Black Magic Specialist In Lahore Black magic In Pakistan Kala Ilam Ex...
 
COMMUNICATING NEGATIVE NEWS - APPROACHES .pptx
COMMUNICATING NEGATIVE NEWS - APPROACHES .pptxCOMMUNICATING NEGATIVE NEWS - APPROACHES .pptx
COMMUNICATING NEGATIVE NEWS - APPROACHES .pptx
 
Key note speaker Neum_Admir Softic_ENG.pdf
Key note speaker Neum_Admir Softic_ENG.pdfKey note speaker Neum_Admir Softic_ENG.pdf
Key note speaker Neum_Admir Softic_ENG.pdf
 
ICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptx
ICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptxICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptx
ICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptx
 
Sociology 101 Demonstration of Learning Exhibit
Sociology 101 Demonstration of Learning ExhibitSociology 101 Demonstration of Learning Exhibit
Sociology 101 Demonstration of Learning Exhibit
 
Fostering Friendships - Enhancing Social Bonds in the Classroom
Fostering Friendships - Enhancing Social Bonds  in the ClassroomFostering Friendships - Enhancing Social Bonds  in the Classroom
Fostering Friendships - Enhancing Social Bonds in the Classroom
 
This PowerPoint helps students to consider the concept of infinity.
This PowerPoint helps students to consider the concept of infinity.This PowerPoint helps students to consider the concept of infinity.
This PowerPoint helps students to consider the concept of infinity.
 
Application orientated numerical on hev.ppt
Application orientated numerical on hev.pptApplication orientated numerical on hev.ppt
Application orientated numerical on hev.ppt
 
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptx
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptxGoogle Gemini An AI Revolution in Education.pptx
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptx
 
FSB Advising Checklist - Orientation 2024
FSB Advising Checklist - Orientation 2024FSB Advising Checklist - Orientation 2024
FSB Advising Checklist - Orientation 2024
 
Salient Features of India constitution especially power and functions
Salient Features of India constitution especially power and functionsSalient Features of India constitution especially power and functions
Salient Features of India constitution especially power and functions
 
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...
 
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptx
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptxWellbeing inclusion and digital dystopias.pptx
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptx
 
Accessible Digital Futures project (20/03/2024)
Accessible Digital Futures project (20/03/2024)Accessible Digital Futures project (20/03/2024)
Accessible Digital Futures project (20/03/2024)
 
On National Teacher Day, meet the 2024-25 Kenan Fellows
On National Teacher Day, meet the 2024-25 Kenan FellowsOn National Teacher Day, meet the 2024-25 Kenan Fellows
On National Teacher Day, meet the 2024-25 Kenan Fellows
 
On_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptx
On_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptxOn_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptx
On_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptx
 
How to Give a Domain for a Field in Odoo 17
How to Give a Domain for a Field in Odoo 17How to Give a Domain for a Field in Odoo 17
How to Give a Domain for a Field in Odoo 17
 
Understanding Accommodations and Modifications
Understanding  Accommodations and ModificationsUnderstanding  Accommodations and Modifications
Understanding Accommodations and Modifications
 
How to Manage Global Discount in Odoo 17 POS
How to Manage Global Discount in Odoo 17 POSHow to Manage Global Discount in Odoo 17 POS
How to Manage Global Discount in Odoo 17 POS
 
Somo la 14

  • 1. Somo la 14 Ufuatao ni mfano wa matumizi this is, tamka (dhisi izi) , these are, tamka (dhizi a), that is, tamka (dhati izi) na those are, tamka (dhozi a) ndani ya Kiingereza fasaha:- (1). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya this is – tamka (dhisi iz) kwa tafsiri ya hiki ni:- (1). (i). Kiswahili: Hiki ni kitabu. Kiingereza: This is a text book. Tamka: (Dhisi iz e teksti buku). (1). (ii). Swali: Je, hiki ni kitabu? Kiingereza: Is this a text book? Tamka: (Iz dhisi e teksti buku)? (1). (iii). Jibu: Ndiyo, hiki ni kitabu. Kiingereza: Yes, this is a text book. Tamka: (Yesi, dhisi izi e teksti buku). (1). (iv). Jibu: Hapana, hiki siyo kitabu, ila hili ni daftari la mazoezi. Kiingereza: No, this is not a text book, but this is an exercise book. Tamka: (No, dhisi iz noti e teksti buku, bati dhisi izi ani eksisaizi buku). Hapa tumeona kwamba this is imeonesha kitu kilichopo karibu. Pia tumeona katika sentensi ya kawaida this ndiyo imeanza na katika swali is ndiyo imeanza. Katika mfano huu this is imekuwa na tafsiri ya hiki ni, hii ni kwasababu imeonesha kitu, kama ingekuwa imemuonesha mtu, basi ingekuwa na tafsiri ya huyu ni, na siyo hiki ni kama ilivyo hapo juu. ZOEZI LA 14. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza. Swali namba (1). (1). (i). Kiswahili: Hii ni nyumba. - {Nyumba – a house, tamka (e hausi)}. Kiingereza: ____________________________________________________________ ____________________________________________________________ (1). (ii). Swali: Je, hii ni nyumba? Kiingereza: ________________________________________________________________ ________________________________________________________________ (1). (iii). Jibu: Ndiyo, hii ni nyumba. Kiingereza: _________________________________________________________________ __________________________________________________________________ (1). (iv). Jibu: Hapana, hii siyo nyumba, ila huu ni uwanja wa taifa. - {Uwanja wa taifa – The national stadium tamka (Dhe neshino stedyum)}. Kiingereza: __________________________________________________________________ __________________________________________________________________ __________________________________________________________________ (1).
  • 2. (2). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya this is – tamka (dhisi izi) kwa tafsiri ya huyu ni:- (2).(i). Kiswahili: Huyu ni mvulana wa kitanzania. Kiingereza: This is a Tanzanian boy. Tamka: (Dhisi iz e Tanzaniani boi). (2). (ii). Swali: Je, huyu ni mvulana wa kitanzania? Kiingereza: Is this a Tanzanian boy? Tamka: (Iz dhisi e Tanzaniani boi)? (2). (iii). Jibu: Ndiyo, huyu ni mvulana wa kitanzania. Kiingereza: Yes, this is a Tanzanian boy. Tamka: (Yesi, dhisi izi e Tanzaniani boi). (2). (iv). Jibu: Hapana, huyu siyo mvulana wa Kitanzania, ila huyu ni mvulana wa Kenya. Kiingereza: No, this is not a Tanzanian boy, but this is a Kenya’s boy. Tamka: (No, dhisi iz noti e Tanzaniani boi, bati dhisi izi e Kenyazi boi). Hapa tumeona kwamba this is imeonesha mtu aliye karibu. Katika sentensi ya kawaida this ndiyo imeanza na katika swali is ndiyo imeanza. Katika mfano huu this is imekuwa na tafsiri ya huyu ni , hii ni kwasababu imeonesha mtu, kama ingekuwa imeonesha kitu basi tafsiri yake ingekuwa hiki ni, na siyo huyu ni kama ilivyo hapo juu. ZOEZI LA 14. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza. Swali namba (2). (2).(i). Kiswahili: Huyu ni mwizi. - {Mwizi – a thief, tamka (e dhiifu)}. Kiingereza: _____________________________________________________________ _____________________________________________________________ (2). (ii). Swali: Je, huyu ni mwizi? Kiingereza: ________________________________________________________________ ________________________________________________________________ (2). (iii). Jibu: Ndiyo, huyu ni mwizi. Kiingereza: _______________________________________________________________ _________________________________________________________________ (2). (iv). Jibu: Hapana, huyu siyo mwizi, huyu ni mtu mwema. - {Mtu mwema – a good person, tamka (e gudi pesoni)}. Kiingereza: __________________________________________________________________ __________________________________________________________________ __________________________________________________________________ (2).
  • 3. (3). Ufuatao ni mfano wa matumizi these are – tamka (dhizi a) kwa tafsiri ya hivi ni:- (3). (i). Kiswahili: Hivi ni vitabu. Kiingereza: These are text books. Tamka: (Dhizi a teksti buksi). (3). (ii). Swali: Je, hivi ni vitabu? Kiingereza: Are these text books? Tamka: (A dhizi teksti buksi)? (3). (iii). Jibu: Ndiyo, hivi ni vitabu. Kiingereza: Yes, these are text books. Tamka: (Yesi, dhizi a teksti buksi). (3). (iv). Jibu: Hapana, hivi siyo vitabu, ila hizi ni daftari za mazoezi. Kiingereza: No, these are not text books, but these are exercise books. Tamka: (No, dhizi a noti teksti buksi, bati dhizi a eksisaizi buksi). Hapa tumeona kwamba these are imeonesha vitu vilivyopo karibu. Pia tumeona katika sentensi ya kawaida these ndiyo imeanza na katika swali are ndiyo imeanza. Katika mfano huu these are imekuwa na tafsiri ya hivi ni, hii ni kwasababu imeonesha vitabu, kama ingekuwa imeonesha watu, basi ingekuwa na tafsiri ya hawa ni, na siyo hivi ni kama ilivyo hapo juu. ZOEZI LA 14. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza. Swali namba (3). (3). (i). Kiswahili: Hizi ni nyanya. - {Nyanya – tomatoes, tamka (tomatozi)}. Kiingereza: ________________________________________________________________ (3). (ii). Swali: Je, hizi ni nyanya? Kiingereza: __________________________________________________________________ (3). (iii). Jibu: Ndiyo, hizi ni nyanya. Kiingereza: ___________________________________________________________________ (3). (iv). Jibu: Hapana, hizi siyo nyanya, hizi ni embe. - {Embe – mangoes, tamka (mengozi)} Kiingereza: __________________________________________________________________ __________________________________________________________________ __________________________________________________________________ (3).
  • 4. (4). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya these are – tamka (dhizi a) kwa tafsiri ya hawa ni:- (4).(i). Kiswahii: Hawa ni wavulana wa kitanzania.. Kiingereza: These are Tanzanian boys. Tamka: (Dhizi a Tanzaniani boiz). (4). (ii). Swali: Je, hawa ni wavulana wa kitanzania? Kiingereza: Are these Tanzanian boys? Tamka: (A dhizi Tanzaniani boiz)? (4). (iii). Jibu: Ndiyo, hawa ni wavulana wa kitanzania. Kiingereza: Yes, these are Tanzanian boys. Tamka: (Yesi, dhizi a Tanzaniani boiz). (4). (iv). Jibu: Hapana, hawa siyo wavulana wa Kitanzania, ila hawa ni wavulana wa Kenya. Kiingereza: No, these are not Tanzanian boys, but these are Kenya’s boys. Tamka: (No, dhizi a noti Tanzaniani boiz, bati dhizi a Kenyazi boiz) Hapa tumeona kwamba these are imeonesha watu walio karibu. Katika sentensi ya kawaida these ndiyo imeanza na katika swali are ndiyo imeanza. Katika mfano huu these are imekuwa na tafsiri ya hawa ni , hii ni kwasababu imeonesha watu, kama ingekuwa imeonesha vitu basi tafsiri yake ingekuwa hivi ni, na siyo hawa ni kama ilivyo hapo juu ZOEZI LA 14. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza. Swali namba (4). (4).(i). Kiswahili: Hawa ni wanyama pori. - {Wanyama pori – wild animals, tamka (widi animozi)}. Kiingereza: ________________________________________________________________ ________________________________________________________________ (4). (ii). Swali: Je, hawa ni wanyama pori? Kiingereza: __________________________________________________________________ __________________________________________________________________ (4). (iii). Jibu: Ndiyo, hawa ni wanyama pori. Kiingereza: ___________________________________________________________________ ___________________________________________________________________ (4). (iv). Jibu: Hapana, hawa siyo wanyama pori, ila hawa ni wanyama wafugwao. - {Wanyama wafugwao – domestic animals, tamka (domestiki animozi)} Kiingereza: __________________________________________________________________ __________________________________________________________________ __________________________________________________________________ (4).
  • 5. (5). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya that is - tamka (dhat izi) kwa tafsiri ya kile ni/hicho ni:- (5). (i). Kiswahili: Kile/hicho ni kitabu. Kiingereza: That is a text book. Tamka: (Dhati iz e teksti buku). (5). (ii). Swali: Je, kile/hicho ni kitabu? Kiingereza: Is that a text book? Tamka: (Iz dhati e teksti buku)? (5). (iii). Jibu: Ndiyo, kile/hicho ni kitabu. Kiingereza: Yes, that is a text book. Tamka: (Yesi, dhati izi e teksti buku). (5). (iv). Jibu: Hapana, kile/hicho siyo kitabu, ila lile/hilo ni daftari la mazoezi. Kiingereza: No, that is not a text book, but that is an exercise book. Tamka: (No, dhiti iz noti e teksti buku, bati dhati izi ani eksisaizi buku). Hapa tumeona kwamba that is imeonesha kitu kilichopo mbali. Katika sentensi ya kawaida that ndiyo imeanza na katika swali is ndiyo imeanza. Katika mfano huu that imekuwa na tafsiri ya kile au hicho, hapa ina maana kwamba, kama anayeoneshwa atakuwa pamoja na muoneshaji basi tafsiri yake itakuwa kile, ila endapo anayeoneshwa atakuwa mbali na muoneshaji lakini atakuwa karibu na kitu, basi tafsiri yake itakuwa hicho.Tafsiri hii ya kile au hicho imetokana na that is kuonesha kitu ingekuwa imeonesha mtu basi ingekuwa na tafsiri ya yule au huyo. ZOEZI LA 14. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza. Swali namba (5). (5). (i). Kiswahili: Ile/hiyo ni nyumba. Kiingereza: ____________________________________________________________ ____________________________________________________________ (5). (ii). Swali: Je, ile/hiyo ni nyumba? Kiingereza: ________________________________________________________________ ________________________________________________________________ (5). (iii). (a). Jibu: Ndiyo, ile ni nyumba. Kiingereza: _______________________________________________________________ _______________________________________________________________ (5). (iii). (b). Jibu: Ndiyo hii ni nyumba. Kiingereza: _______________________________________________________________ _______________________________________________________________ (5). (iv). (a). Jibu: Hapana, ile siyo nyumba, ila ule ni uwanja wa taifa. - {Uwanja wa taifa – national stadium, tamka (neshino stedyum)}. Kiingereza: _______________________________________________________________ _______________________________________________________________ _______________________________________________________________ (5).
  • 6. (6). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya that is - tamka (dhati izi) kwa tafsiri ya yule au huyo:- (6).(i). Kiswahili: Yule/huyo ni mvulana wa kitanzania. Kiingereza: That is a Tanzanian boy. Tamka: (Dhati iz e Tanzaniani boi). (6). (ii). Swali: Je, yule/huyo ni mvulana wa kitanzania? Kiingereza: Is that a Tanzanian boy? Tamka: (Iz dhati e Tanzaniani boi)? (6). (iii). Jibu: Ndiyo, yule/huyo ni mvulana wa kitanzania. Kiingereza: Yes, that is a Tanzanian boy. Tamka: (Yesi, dhati izi e Tanzaniani boi). (6).(iv). Hapana, yule/huyo siyo mvulana wa Kitanzania, ila yule/huyo ni mvulana wa Kenya. Kiingereza: No, that is not a Tanzanian boy, but that is a Kenya’s boy. Tamka: (No, dhati iz noti e Tanzaniani boi, bati dhati izi e Kenyazi boi). Hapa tumeona kwamba that is imeonesha mvulana aliye mbali. Tumeona pia katika sentensi ya kawaida that ndiyo imeanza na katika swali is ndiyo imeanza. Katika mfano huu that is imekuwa na tafsiri ya yule au huyo, hapa ina maana kwamba, kama anayeoneshwa atakuwa pamoja na muoneshaji basi tafsiri yake itakuwa yule, ila endapo anayeoneshwa atakuwa mbali na muoneshaji lakini atakuwa karibu na mvulana, basi tafsiri yake itakuwa huyo.Tafsiri hii ya yule au huyo imetokana na that is kuonesha mvulana ingekuwa imeonesha kitu basi ingekuwa na tafsiri ya kile au hicho. ZOEZI LA 14. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza. Swali namba (6). (6).(a).(i). Kiswahili: Yule ni mwizi. Kiingereza: _____________________________________________________________ _____________________________________________________________ (6). (a). (ii). Swali: Je, yule ni mwizi? Kiingereza: _____________________________________________________________ _____________________________________________________________ (6). (a). (iii).Jibu: Ndiyo, yule ni mwizi. Kiingereza: _______________________________________________________________ _______________________________________________________________ (6). (a).(iv). Jibu: Hapana, yule siyo mwizi, yule ni mtu mwema. - {Mtu mwema – a good person, tamka (e gudi pesoni)}. Kiingereza: __________________________________________________________________ __________________________________________________________________ __________________________________________________________________ (6).
  • 7. (6).(b).(i). Kiswahili: Huyo ni mwizi. Kiingereza: _____________________________________________________________ _____________________________________________________________ (6). (b). (ii). Swali: Je, huyo ni mwizi? Kiingereza: _____________________________________________________________ _____________________________________________________________ (6). (b). (iii). Jibu: Ndiyo, huyu ni mwizi. Kiingereza: _______________________________________________________________ _______________________________________________________________ (6). (b).(iv). Jibu: Hapana, huyu siyo mwizi, huyu ni mtu mwema. - {Mtu mwema – a good person, tamka (e gudi pesoni)}. Kiingereza: ________________________________________________________________ ________________________________________________________________ ________________________________________________________________ (7). Ufuatao ni mfano wa matumizi ya those are – tamka (dhozi a) kwa tafsiri ya vile/hivyo :- (7). (i). Kiswahili: Vile/hivyo ni vitabu. Kiingereza: Those are text books. Tamka: (Dhozi a teksti buksi). (7). (ii). Swali: Je, vile/hivyo ni vitabu? Kiingereza: Are those text books? Tamka: (A dhozi teksti buksi)? (7). (iii). Jibu: Ndiyo, vile/hivyo ni vitabu. Kiingereza: Yes, those are text books. Tamka: (Yesi, dhozi a teksti buksi). (7). (iv). Jibu: Hapana, vile/hivyo siyo vitabu, ila yale/hayo ni madaftari ya mazoezi. Kiingereza: No, those are not text books, but those are exercise books. Tamka: (No, dhozi a noti teksti buksi, bati dhozi a eksisaizi buksi). Hapa tumeona kwamba those are imeonesha vitabu vilivyo mbali. Pia tumeona kwamba katika sentensi ya kawaida those ndiyo imeanza na katika swali are ndiyo imeanza. Katika mfano huu those imekuwa na tafsiri ya vile au hivyo, hapa ina maana kwamba, kama anayeoneshwa atakuwa pamoja na muoneshaji basi tafsiri yake itakuwa vile, ila endapo anayeoneshwa atakuwa mbali na muoneshaji lakini atakuwa karibu na vitabu, basi tafsiri yake itakuwa hivyo.Tafsiri hii ya vile na hivyo imetokana na those are kuonesha vitabu ingekuwa imeonesha watu basi tafsiri yake ingekuwa wale au hao. (7).
  • 8. ZOEZI LA 14. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza. Swali namba (7). (7). (a).(i). Kiswahili: Zile ni nyanya. Kiingereza: _____________________________________________________________ (7). (a).(ii). Swali: Je, zile ni nyanya? Kiingereza: _______________________________________________________________ (7). (a).(iii). Jibu: Ndiyo, zile ni nyanya. Kiingereza: _______________________________________________________________ (7). (a).(iv). Jibu: Hapana, zile siyo nyanya, zile ni embe. Kiingereza: __________________________________________________________________ __________________________________________________________________ (7). (b).(i). Kiswahili: Hizo ni nyanya. Kiingereza: _____________________________________________________________ (7). (b).(ii). Swali: Je, hizo ni nyanya? Kiingereza: __________________________________________________________________ (7). (b). (iii). Jibu: Ndiyo, hizi ni nyanya. Kiingereza: ___________________________________________________________________ (7). (b). (iv). Jibu: Hapana, hizi siyo nyanya, hizi ni embe. Kiingereza: __________________________________________________________________ __________________________________________________________________ __________________________________________________________________ (8).Ufuatao ni mfano wa matumizi ya those are-tamka (dhozi a) kwa tafsiri ya wale ni/hao ni:- (8).(i). Kiswahili: Wale/hao ni wavulana wa kitanzania.. Kiingereza: Those are Tanzanian boys. Tamka: (Dhozi a Tanzaniani boiz). (8). (ii). Swali: Je, wale/hao ni wavulana wa kitanzania? Kiingereza: Are those Tanzanian boys? Tamka: (A dhozi Tanzaniani boiz)? (8). (iii). Jibu: Ndiyo, wale/hao ni wavulana wa kitanzania. Kiingereza: Yes, those are Tanzanian boys. Tamka: (Yesi, dhozi a Tanzaniani boiz). (8). (iv). Hapana, wale/hao siyo wavulana wa Kitanzania, ila wale/hao ni wavulana wa Kenya. Kiingereza: No, those are not Tanzanian boys, but those are Kenya’s boys. Tamka: (No, dhozi a noti Tanzaniani boiz, bati dhozi a Kenyazi boiz) Hapa tumeona kwamba those are imeonesha wavulana walio mbali. Katika sentensi ya kawaida those ndiyo imeanza na katika swali are ndiyo imeanza. Katika mfano huu those imekuwa na tafsiri ya wale au hao, hapa ina maana kwamba, kama anayeoneshwa atakuwa pamoja na muoneshaji basi tafsiri yake itakuwa wale, ila endapo anayeoneshwa atakuwa mbali na muoneshaji lakini atakuwa pamoja na wavulana, basi tafsiri yake itakuwa hao.Tafsiri hii ya wale na hao imetokana na those are kuonesha wavulana, lakini ingekuwa imeonesha vitabu basi tafsiri yake ingekuwa vile au hivyo. (8).
  • 9. ZOEZI LA 14. Change into Englis, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza. Swali namba (8). (8). (a).(i).Kiswahili: Wale ni wanyama pori. - {Wanyama pori – wild animals, tamka (wildi animozi)}. Kiingereza: ________________________________________________________________ ________________________________________________________________ (8).(a) (ii). Swali: Je, wale ni wanyama pori? Kiingereza: _______________________________________________________________ _______________________________________________________________ (8).(a). (iii). Jibu: Ndiyo, wale ni wanyama pori. Kiingereza: _______________________________________________________________ _______________________________________________________________ (8).(a). (iv). Jibu: Hapana, wale siyo wanyama pori, ila wale ni wanyama wafugwao. - {Wanyama wafugwao – domestic animals, tamka (domestiki animozi)}. Kiingereza: _______________________________________________________________ _______________________________________________________________ _______________________________________________________________ (8). (b).(i). Kiswahili: Hao ni wanyama pori. - {Wanyama pori – wild animals, tamka (wildi animozi)}. Kiingereza: ________________________________________________________________ ________________________________________________________________ (8).(b) (ii). Swali: Je, hao ni wanyama pori? Kiingereza: _______________________________________________________________ _______________________________________________________________ (8).(b). (iii). Jibu: Ndiyo, hao ni wanyama pori. Kiingereza: _______________________________________________________________ _______________________________________________________________ (8).(b). (iv). Jibu: Hapana, hawa siyo wanyama pori, ila hawa ni wanyama wafugwao. - {Wanyama wafugwao – domestic animals, tamka (domestiki animozi)}. Kiingereza: _______________________________________________________________ _______________________________________________________________ _______________________________________________________________ Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69. (9).