SlideShare a Scribd company logo
1 of 3
Download to read offline
Somo la 1
Nafsi, Saidizi na Tendo.
Ili uweze kuzungumza na kuandika Kiingereza fasaha, awali ya yote lazima ujue maana ya
nafsi, saidizi na tendo katika sentensi.
(1). Nafsi - kwa Kiingereza huitwa person, tamka: (pesoni au pasoni).
- Nafsi ndiye muhusika au wahusika wa sentensi.
- Kwa mujibu wa kanuni za Ras Simba, nafsi kwa kifupi huitwa “N”
Nafsi zipo tatu tu katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza, nazo zina umoja na uwingi kama
zionekanavyo katika jedwali la nafsi lifuatalo:-
Nafsi Umoja – singular tamka (singyula) Uwingi – plural tamka (pluro)
1. Mimi – I, tamka (ai) Sisi – We, tamka (wi).
2. Wewe – You, tamka (yu) Nyinyi – you, tamka (yu).
3. i).Yeye „mwanaume‟ – He, tamka (hi).
ii).Yeye „mwanamke‟ – She, tamka (shi).
iii).Yeye „mnyama‟ - It, tamka (iti)
vi). Chenyewe „kitu kisicho na uhai‟ – It.
Wao – they, tamka (dhei).
They siyo uwingi wa watu tu, hata uwingi wa
wanyama na vitu visivyo na uhai ni they
hiyohiyo katika nafsi hii.
Ukilitaja jina la mwanaume kama vile Musa basi litaingia sehemu ya „he’, na jina la mwanamke
kama vile Jeneth litaingia katika sehemu ya „she’ na jina la kitu kisicho na uhai kama vile
meza basi litaingia katika sehemu ya „It’ na jina la mnyama kama vile mbuzi basi litaingia katika
sehemu ya „it’.
Usifanye mzaha hata kidogo, kwa kuwa kila sentensi lazima iwe na nafsi, hivyo basi hakikisha
kwamba, nafsi zote unazijua kwa Kiswahili na kwa Kiingereza kama zilivyoandikwa katika jedwali
la nafsi hapo juu.
(1).
(2). Saidizi – kwa Kiingereza huitwa helping verb, tamka (helping vebu).
- Saidizi ndiyo nyakati ya sentensi, na kuna nyakati kuu 3 tu, yaani wakati ujao,
wakati ulipo na wakati uliopita, na kila nyakati moja ina sehemu ndogo ndogo 8,
hivyo basi kuna jumla ya sehemu ndogo ndogo 24 katika nyakati kuu 3.
- Kwa mujibu wa kanuni za Ras Simba, saidizi kwa kifupi huitwa “S” kama ionekanavyo hapo
chini katika sentensi a na b za mifano:-
(2).(a). Mimi nita kula ugali.
S
- Usipoweka nita ambayo ndiyo saidizi katika sentensi (a) hapo juu, sentensi hii haitaleta maana
kwani haitaonesha nyakati, na itasomeka - Mimi kula ugali, badala ya Mimi nita kula ugali.
(2).(b). Wao wana zungumza Kiingereza.
S
- Usipoweka wana ambayo ndiyo saidizi katika sentensi (b) hapo juu, sentensi hii haitaleta
maana, kwani haitaonesha nyakati, na itasomeka - Wao zungumza Kiingereza, badala ya
Wao wana zungumza Kiingereza.
(3).Tendo – kwa Kiingereza huitwa main verb, tamka (mein vebu).
- Tendo ndiyo kitendo katika sentensi.
- Kwa mujibu wa kanuni hizi za Ras Simba kwa kifupi tendo huitwa “T” kama ionekanavyo hapa
chini katika sentensi a na b za mifano:-
(3).(a). Mimi nita kula ugali.
T
- Usipoweka kula ambayo ndiyo tendo katika sentensi (a) hapo juu, sentensi hii haitaleta maana,
kwani itasomeka - Mimi nita ugali badala ya Mimi nita kula ugali.
(3).(b). Wao wana zungumza Kiingereza.
T
- Usipoweka zungumza ambayo ndiyo tendo katika sentensi (b) hapo juu, sentensi hii haitaleta
maana, kwani itasomeka Wao wana Kiingereza, badala ya Wao wana zungumza Kiingereza.
Ndugu msomaji, katika sentensi ya Kiswahili si lazima uanze kuiandika au kuitamka nafsi,
unaweza kuanza na saidizi tu na bado sentensi ikaleta maana, kwa sababu katika saidizi ya
Kiswahili kuna nafsi pia, kwa mfano ukisema:-
Mimi nita kula ugali ni sawa tu na kusema nita kula ugali.
N + S + T S + T
kwa sababu katika nita pia kuna mimi. Lakini katika sentensi ya Kiingereza huwezi kuanza na
S + T peke yake, lazima uanze na N + S + T yaani (Nafsi+Saidizi+Tendo) ndiyo ilete maana
kamili, kwa sababu saidizi moja ya Kiingereza inaweza kutumika na nafsi zaidi ya moja.
Ras Simba mwenyewe mgunduzi wa kanuni hizi anamtaka mwalimu kwanza kupima uelewa wa
msomaji wake, ndipo aamue kuitumia kanuni hii ya N+S+T kama ilivyo kwa Kiswahili au kuitumia
kanuni hii kwa Kiingereza yaani P+H+V yaani P ni kifupi cha „person’ ambayo ni nafsi kwa
Kiswahili, H ni kifupi cha „helping verb’ ambayo ni saidizi kwa Kiswahili na V ni kifupi cha „verb’
ambayo ni tendo kwa Kiswahili. Kwa maelezo haya ukitumia N+S+T ni sawa kabisa na ukitumia
P+H+V katika ufundishaji wa kanuni hizi za Ras Simba.
(2).
ZOEZI LA 1.
Katika sentensi zifuatazo, onesha nafsi kwa kupiga mstari na kuandika „N‟chini ya mstari,
onesha saidizi kwa kupiga mstari na kuandika „S‟chini ya mstari, na onesha Tendo kwa kupiga
mstari na kuandika „T‟ chini ya mstari:-
(1). Omari ame enda mjini.
(2). Sisi tuna imba wimbo wa taifa.
(3). Wao wata chukua pesa.
Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and
Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na
kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa
Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani
kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au
P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa
kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake
rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa
kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba
mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB, tigo pesa 0714 – 69 29 69.
(3).

More Related Content

More from makukuzenyu (20)

Somo la 24
Somo la  24Somo la  24
Somo la 24
 
Somo la 23
Somo la  23Somo la  23
Somo la 23
 
Somo la 22
Somo la  22Somo la  22
Somo la 22
 
Somo la 21
Somo la  21Somo la  21
Somo la 21
 
Somo la 20
Somo la  20Somo la  20
Somo la 20
 
Somo la 19
Somo la  19Somo la  19
Somo la 19
 
Somo la 18
Somo la  18Somo la  18
Somo la 18
 
Somo la 17
Somo la  17Somo la  17
Somo la 17
 
Somo la 16
Somo la  16Somo la  16
Somo la 16
 
Somo la 15
Somo la  15Somo la  15
Somo la 15
 
Somo la 14
Somo la  14Somo la  14
Somo la 14
 
Somo la 13
Somo la  13Somo la  13
Somo la 13
 
Somo la 12
Somo la  12Somo la  12
Somo la 12
 
Somo la 11
Somo la  11Somo la  11
Somo la 11
 
Somo la 10
Somo la  10Somo la  10
Somo la 10
 
Somo la 9
Somo la  9Somo la  9
Somo la 9
 
Somo la 8
Somo la  8Somo la  8
Somo la 8
 
Somo la 7
Somo la  7Somo la  7
Somo la 7
 
Somo la 6
Somo la  6Somo la  6
Somo la 6
 
Somo la 5
Somo la  5Somo la  5
Somo la 5
 

Somo la 1

  • 1. Somo la 1 Nafsi, Saidizi na Tendo. Ili uweze kuzungumza na kuandika Kiingereza fasaha, awali ya yote lazima ujue maana ya nafsi, saidizi na tendo katika sentensi. (1). Nafsi - kwa Kiingereza huitwa person, tamka: (pesoni au pasoni). - Nafsi ndiye muhusika au wahusika wa sentensi. - Kwa mujibu wa kanuni za Ras Simba, nafsi kwa kifupi huitwa “N” Nafsi zipo tatu tu katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza, nazo zina umoja na uwingi kama zionekanavyo katika jedwali la nafsi lifuatalo:- Nafsi Umoja – singular tamka (singyula) Uwingi – plural tamka (pluro) 1. Mimi – I, tamka (ai) Sisi – We, tamka (wi). 2. Wewe – You, tamka (yu) Nyinyi – you, tamka (yu). 3. i).Yeye „mwanaume‟ – He, tamka (hi). ii).Yeye „mwanamke‟ – She, tamka (shi). iii).Yeye „mnyama‟ - It, tamka (iti) vi). Chenyewe „kitu kisicho na uhai‟ – It. Wao – they, tamka (dhei). They siyo uwingi wa watu tu, hata uwingi wa wanyama na vitu visivyo na uhai ni they hiyohiyo katika nafsi hii. Ukilitaja jina la mwanaume kama vile Musa basi litaingia sehemu ya „he’, na jina la mwanamke kama vile Jeneth litaingia katika sehemu ya „she’ na jina la kitu kisicho na uhai kama vile meza basi litaingia katika sehemu ya „It’ na jina la mnyama kama vile mbuzi basi litaingia katika sehemu ya „it’. Usifanye mzaha hata kidogo, kwa kuwa kila sentensi lazima iwe na nafsi, hivyo basi hakikisha kwamba, nafsi zote unazijua kwa Kiswahili na kwa Kiingereza kama zilivyoandikwa katika jedwali la nafsi hapo juu. (1).
  • 2. (2). Saidizi – kwa Kiingereza huitwa helping verb, tamka (helping vebu). - Saidizi ndiyo nyakati ya sentensi, na kuna nyakati kuu 3 tu, yaani wakati ujao, wakati ulipo na wakati uliopita, na kila nyakati moja ina sehemu ndogo ndogo 8, hivyo basi kuna jumla ya sehemu ndogo ndogo 24 katika nyakati kuu 3. - Kwa mujibu wa kanuni za Ras Simba, saidizi kwa kifupi huitwa “S” kama ionekanavyo hapo chini katika sentensi a na b za mifano:- (2).(a). Mimi nita kula ugali. S - Usipoweka nita ambayo ndiyo saidizi katika sentensi (a) hapo juu, sentensi hii haitaleta maana kwani haitaonesha nyakati, na itasomeka - Mimi kula ugali, badala ya Mimi nita kula ugali. (2).(b). Wao wana zungumza Kiingereza. S - Usipoweka wana ambayo ndiyo saidizi katika sentensi (b) hapo juu, sentensi hii haitaleta maana, kwani haitaonesha nyakati, na itasomeka - Wao zungumza Kiingereza, badala ya Wao wana zungumza Kiingereza. (3).Tendo – kwa Kiingereza huitwa main verb, tamka (mein vebu). - Tendo ndiyo kitendo katika sentensi. - Kwa mujibu wa kanuni hizi za Ras Simba kwa kifupi tendo huitwa “T” kama ionekanavyo hapa chini katika sentensi a na b za mifano:- (3).(a). Mimi nita kula ugali. T - Usipoweka kula ambayo ndiyo tendo katika sentensi (a) hapo juu, sentensi hii haitaleta maana, kwani itasomeka - Mimi nita ugali badala ya Mimi nita kula ugali. (3).(b). Wao wana zungumza Kiingereza. T - Usipoweka zungumza ambayo ndiyo tendo katika sentensi (b) hapo juu, sentensi hii haitaleta maana, kwani itasomeka Wao wana Kiingereza, badala ya Wao wana zungumza Kiingereza. Ndugu msomaji, katika sentensi ya Kiswahili si lazima uanze kuiandika au kuitamka nafsi, unaweza kuanza na saidizi tu na bado sentensi ikaleta maana, kwa sababu katika saidizi ya Kiswahili kuna nafsi pia, kwa mfano ukisema:- Mimi nita kula ugali ni sawa tu na kusema nita kula ugali. N + S + T S + T kwa sababu katika nita pia kuna mimi. Lakini katika sentensi ya Kiingereza huwezi kuanza na S + T peke yake, lazima uanze na N + S + T yaani (Nafsi+Saidizi+Tendo) ndiyo ilete maana kamili, kwa sababu saidizi moja ya Kiingereza inaweza kutumika na nafsi zaidi ya moja. Ras Simba mwenyewe mgunduzi wa kanuni hizi anamtaka mwalimu kwanza kupima uelewa wa msomaji wake, ndipo aamue kuitumia kanuni hii ya N+S+T kama ilivyo kwa Kiswahili au kuitumia kanuni hii kwa Kiingereza yaani P+H+V yaani P ni kifupi cha „person’ ambayo ni nafsi kwa Kiswahili, H ni kifupi cha „helping verb’ ambayo ni saidizi kwa Kiswahili na V ni kifupi cha „verb’ ambayo ni tendo kwa Kiswahili. Kwa maelezo haya ukitumia N+S+T ni sawa kabisa na ukitumia P+H+V katika ufundishaji wa kanuni hizi za Ras Simba. (2).
  • 3. ZOEZI LA 1. Katika sentensi zifuatazo, onesha nafsi kwa kupiga mstari na kuandika „N‟chini ya mstari, onesha saidizi kwa kupiga mstari na kuandika „S‟chini ya mstari, na onesha Tendo kwa kupiga mstari na kuandika „T‟ chini ya mstari:- (1). Omari ame enda mjini. (2). Sisi tuna imba wimbo wa taifa. (3). Wao wata chukua pesa. Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB, tigo pesa 0714 – 69 29 69. (3).