1. Somo la 7
1.Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya where kwa tafsiri ya wapi katika kuuliza swali la
Wakati ujao uliorahisi katika hali ya Kutenda:-
WHERE+S+N+T(BF)? (S ni will).
Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:-
(1).(a). Kiswahili: Je, Ommy atakwenda wapi?
Kiingereza: Where will Ommy go?
Kanuni: WHERE + S + N + T(BF)?
Tamka: (Wea wil Omi go)?
(1).(b).Kiswahili: Ommy atakwenda Afrika ya Kusini.
Kiingereza: Ommy will go to South Africa.
Kanuni: N + S +T(BF)
Tamka: (Omi wil go tu Saudhi Afrika).
(1).(c).(i).Kiswahili: Ommy hatakwenda popote.
Kiingereza: Ommy will not go anywhere.
Tamka: (Omi wil not go enewea).
(1).(c).(ii).Kiswahili: Ommy hatakwenda popote.
Kiingereza: Ommy will go nowhere.
Tamka: (Omi wil go nowea).
Kumbuka kwamba hutumiapo will not, uenda sambamba na anywhere; na hutumiapo
will bila not, uenda sambamba na nowhere.
ZOEZI LA 7.
Change into English (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (1):-
(1).(i).Swali: Je, Ommy atapeleka pesa wapi? {(Peleka ktk ’BF’ ni send, tamka (sendi).
- Kiingereza: ________ ______ ________ ________ ___________ __________?
Kanuni: WHERE + S + N + T(BF)
(1).(ii). Jibu: Ommy atapeleka pesa Dubai.
- Kiingereza: ________ _____ _________ ________ _________ to ________.
- Kanuni: N + S + T(BF)
(1).(iii). Jibu: Ommy hatapeleka pesa popote.
- Kiingereza: _______ _____ _____ _______ ________ _______ _____________.
- Kanuni: N + S + NOT + T(BF)
(1).(iv). Jibu: Ommy hatapeleka pesa popote.
- Kiingereza: _________ ______ _________ ________ __________ ___________.
- Kanuni: N + S + T(BF)
(1).
2. 2.Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya where kwa tafsiri ya wapi katika kuuliza swali la
wakati uliopo na unaoendelea katika hali ya Kutenda:-
WHERE+S+N+T(CONT)? (S ni am, are na is).
Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:-
(2).(a).Kiswahili: Je, Ommy anakwenda wapi?
Kiingereza: Where is Ommy going?
Kanuni: WHERE+ S + N + T(CONT)
Tamka: (Wea iz Omi going)?
(2).(b). Kiswahili: Ommy ana kwenda Afrika Kusini.
Kiingereza: Ommy is going to South Africa.
Kanuni: N + S + T(CONT)
Tamka: (Omi is going tu Saudhi Afrika).
(2).(c).(i). Kiswahili: Ommy haendi popote.
Kiingereza: Ommy is not going anywhere.
Tamka: (Omi iz not going enewea).
(2).(c).(ii).Kiswahili: Ommy haendi popote.
Kiingereza: Ommy is going nowhere.
Tamka: (Omi iz going nowea).
Kumbuka kwamba hutumiapo is not, au are not uenda sambamba na anywhere; na
hutumiapo is au are bila not, uenda sambamba na nowhere.
ZOEZI LA 7.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (2):-
(2).(i).Je, Ommy anapeleka pesa wapi? {(Peleka ktk Cont. ni sending, tamka (sending)
Kiingereza: ________ ____ ________ ____________ _________ ___________?
Kanuni: WHERE + S + N + T(CONT)
(2).(ii). Jibu: Ommy anapeleka pesa Dubai.
- Kiingereza: _______ ____ __________ _________ __________ to ________.
- Kanuni: N + S + T(CONT)
(2).(iii). Jibu: Ommy hapeleki pesa popote.
-Kiingereza: ______ ___ ____ ________ __________ __________ __________.
- Kanuni: N + S+NOT+ T(CONT)
(2).(iv). Jibu: Ommy hapeleki pesa popote.
- Kiingereza: _______ ____ __________ ________ _________ ___________.
- Kanuni: N + S + T(CONT)
(2).
3. 3.Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya where kwa tafsiri ya wapi katika swali la wakati
uliopo timilifu katika hali ya Kutenda:-
WHERE+S+N+T(PP)? (S ni has/have).
Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:-
3.(a). Kiswahili: Je, Ommy amekwenda wapi?
Kiingereza: Where has Ommy gone?
Kanuni: WHERE + S + N + T(PP)
Tamka: (Wea hez Omi goni)?
3.(b).Kiswahili: Ommy amekwenda Afrika Kusini
Kiingereza: Ommy has gone to South Africa.
Kanuni: N + S +T(PP)
Tamka: (Omi haz goni tu Saudhi Afrika).
3.(c).(i). Kiswahili: Ommy hajaenda popote.
Kiingereza: Ommy has not gone anywhere.
Tamka: (Omi hez not goni enewea).
3.(c).(ii). Kiswahili: Ommy hajaenda popote.
Kiingereza: Ommy has gone nowhere.
Tamka: (Omi haz goni nowea).
Kumbuka kwamba hutumiapo has not, au have not uenda sambamba na anywhere;
na hutumiapo has au have bila not, uenda sambamba na nowhere.
ZOEZI LA 7.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) - Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (3):-
(3).(i). Je, Ommy amepeleka pesa wapi? {(Peleka ktk ’PP’ ni sent, tamka (senti)
Kiingereza: ________ ____ _______ __________ _________ __________?
Kanuni: WHERE + S + N + T(PP)
(3).(ii). Jibu: Ommy amepeleka pesa dukani.
- Kiingereza: ________ ____ __________ ________ ________ to ___ _______.
- Kanuni: N + S + T(PP)
(3).(iii). Jibu: Ommy hajapeleka pesa popote.
-Kiingereza: _______ _____ ____ ________ ________ _________ ____________.
- Kanuni: N + S +NOT+ T(PP)
(3).(iv). Jibu: Ommy hajapeleka pesa popote.
- Kiingereza: ________ ____ ________ _________ ________ _____________.
- Kanuni: N + S + T(PP)
(3).
4. 4.Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya where kwa tafsiri ya wapi katika kuuliza swali la
wakati uliopita uliorahisi katika hali ya Kutenda:-
WHERE + S + N + T(BF)? (S ni did).
Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:-
(4).(a).Kiswahili: Je, Ommy alikwenda wapi?
Kiingereza: Where did Ommy go?
Kanuni: WHERE + S + N + T(BF)?
Tamka: (Wea did Omi go)?
(4).(b). Kiswahili: Ommy alikwenda Afrika Kusini.
Kiingereza: Ommy went to South Afrika.
Kanuni: N + T(PT)
Tamka: (Omi wenti tu Saudhi Afrika).
(4).(c).(i). Kiswahili: Ommy hakwenda popote.
Kiingereza: Ommy did not go anywhere.
Tamka: (Omi did not go enewea).
(4).(c).(ii). Kiswahili: Ommy hakwenda popote
Kiingereza: Ommy went nowhere.
Tamka: (Omi wenti nowea).
Kumbuka kwamba hutumiapo did not, uenda sambamba na anywhere; na ikiwa kama
sentensi ya “positive” yaani kama ilivyo katika sentensi ya mfano (4).(c).(ii) hapo juu
uenda sambamba na nowhere.
ZOEZI LA 7.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (4):-
(4).(i). Swali: Je, Ommy alipeleka pesa wapi? {(Peleka ktk ’BF’ ni send, tamka (sendi)
Kiingereza: ________ ____ _______ __________ _________ __________?
Kanuni: WHERE + S + N + T(BF)
(4).(ii). Jibu: Ommy alipeleka pesa dukani.
- Kiingereza: ________ __________ ________ __________ to ______ _______.
- Kanuni: N + T(PT)
(4).(iii). Jibu: Ommy hakupeleka pesa popote.
-Kiingereza: _______ _____ ______ ________ ________ _________ ____________.
- Kanuni: N + S + NOT + T(BF)
(4).(iv). Jibu: Ommy hakupeleka pesa popote.
- Kiingereza: ________ _________ __________ _________ ______________.
- Kanuni: N + T(PT)
(4).
5. 5.Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya where kwa tafsiri ya wapi katika swali la wakati
uliopo uliorahisi katika hali ya Kutenda:-
WHERE + S + N + T(BF)? (S ni do/does).
Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:-
5.(a). Kiswahili: Je, Ommy huwa anakwenda wapi kila wiki?
Kiingereza: Where does Ommy go every week?
Kanuni: WHERE + S + N + T(BF)?
Tamka: (Wea daz Omi go everi wiki )?
5.(b).Kiswahili: Ommy huwa anakwenda Korea kila wiki.
Kiingereza: Ommy goes to Korea every week.
Kanuni: N + T(s)
Tamka: (Omi goz tu Korea everi wiki).
5.(c).(i). Kiswahili: Ommy huwa haendi popote kila wiki.
Kiingereza: Ommy doesn’t go anywhere every week.
Tamka: (Omi dazint go enewea everi wiki).
5.(c).(ii). Kiswahili: Ommy huwa haendi popote kila wiki.
Kiingereza: Ommy goes nowhere every week.
Tamka: (Omi goz nowea everi wiki).
Kumbuka kwamba hutumiapo does not, uenda sambamba na anywhere; na ikiwa
kama sentensi ya “positive” yaani kama ilivyo katika sentensi ya mfano (5).(c).(ii) hapo
juu uenda sambamba na nowhere.
ZOEZI LA 7.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (5):-
(5).(i). Swali: Je, Ommy huwa anapeleka pesa wapi kila wiki? {(Peleka – send (BF)}
-Kiingereza: ________ ______ _______ _______ ___________ ______ _________?
Kanuni: WHERE + S + N + T(BF)
(5).(ii). Jibu: Ommy huwa anapeleka pesa Dubai kila wiki.
-Kiingereza: ________ _________ ______ ________ to _______ _______ ________.
- Kanuni: N + T(s)
(5).(iii). Jibu: Ommy huwa hapeleki pesa popote kila wiki.
- Kiingereza: ______ _____ _____ ______ ______ ________ _______ _____ ______.
- Kanuni: N + S +NOT+ T(BF)
(5).(iv).Jibu: Ommy huwa hapeleki pesa popote kila wiki.
-Kiingereza: _______ _______ _______ ________ _________ _______ ________
- Kanuni: N + T(s)
(Mwisho wa somo)
(5).