SlideShare a Scribd company logo
1 of 6
Download to read offline
Somo la 23
Kiingereza: Present Continuous Tense – Passive Voice.
Tamka: (Prezenti Kontinwuazi Tensi - Pasivu Voisi).
Kiswahili: Wakati uliopo na unaoendelea – Katika hali ya kutendewa.
Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:-
(1). Ugali unaliwa na wao.
(2). Mimi ninapelekwa shuleni.
(3). Musa na Janeth wanauawa.
Katika Kiingereza:-
S ni am, are, is
T - huwa katika “Past Participle” kama ifuatavyo:-
- Kula – huwa eaten (tamka- iteni).
- Peleka- huwa sent (tamka - senti).
- Ua – huwa killed (tamka - kildi).
Kifupi cha “Past Participle” ni (PP).
(1). Kanuni ya sentensi ya Kiingereza fasaha ya wakati uliopo na unaoendelea katika
hali ya kutendewa, yaani sentensi ya “Present Continuous Tense-Passive Voice” ni:-
{N(mtw) + S+ BEING + T(PP) + BY + N(mtj)}.
(1).(a).Ugali unaliwa na wao.
Kiingereza: Ugali is being eaten by them.
Kanuni: N(mtw) + S+ BEING + T(PP) + BY + N(mtj)
Tamka: (Ugali izi bing iteni bai dhem).
(1).(b). Mimi ninapelekwa shuleni.
Kiingereza: I am being sent to school.
Kanuni: N(mtw) + S+ BEING + T(PP)
Tamka: (Ai em bing senti tu skul).
(1).(c). Musa na Janeth wanauawa
Kiingereza: Musa and Janeth are being killed.
Kanuni: N(mtw) + S + BEING + T(PP)
Tamka: (Musa endi Jenet a bing kildi).
(1).
Mimi nina Sisi tuna
- I am - We are
N + S N + S
Wewe una Nyinyi mna
- You are - You are
N + S N + S
Yeye ana Wao wana -
-He is - They are
N +S N + S
- She is
N +S
-It is
N+S
(2). Kanuni ya kuuliza swali la Kiingereza fasaha la wakati uliopo na unaoendelea
ktk hali ya kutendewa, yaani swali la ‘Present Continuous Tense-Passive Voice’ ni:-
{{S+ N(mtw)+BEING + T(PP) + BY + N(mtj)}?
(2).(a).(i).Je, Ugali unaliwa na wao?
Kiingereza: Is ugali being eaten by them?
Kanuni: S+ N(mtw)+BEING + T(PP) + BY + N(mtj)}
Tamka: (Izi ugali bing iteni bai dhem)?
(2).(a).(ii). Ndiyo, ugali unaliwa na wao.
Kiingereza: Yes, ugali is being eaten by them.
Kanuni: YES + N(mtw)+ S + BEING + T(PP) + BY + N(mtj)}
Tamka: (Yesi, ugali iz bing iteni bai dhem).
(2).(a).(iii). Hapana, ugali hauliwi na wao.
Kiingereza: No, ugali is not being eaten by them.
Kanuni: NO + N(mtw) + S +NOT + BEING+ T(PP) +BY +N(mtj)
Tamka: (No, ugali iz noti bing iteni bai dhem).
(2).(a).(iv). Hapana, ugali hauliwi na wao.
Kiingereza: No, ugali isn’t being eaten by them.
Kanuni: NO+ N(mtw) +ISN’T+BEING + T(PP) +BY+N(mtj)
Tamka: (No, ugali izinti bing iteni bai dhem).
(2).(b).(i) Je, wewe unapelekwa shuleni?
Kiingereza: Are you being sent to school?
Kanuni: S +N(mtw)+BEING +T(PP)
Tamka: (A yu bing senti tu skul)?
(2).(b).(ii) Ndiyo, mimi ninapelekwa shuleni.
Kiingereza: Yes, I am being sent to school.
Kanuni: YES+N(mtw)+S +BEING+T(PP)
Tamka: (Yesi, Ai em bing senti tu skul).
(2).(b).(iii) Hapana, mimi sipelekwi shuleni.
Kiingereza: No, I am not being sent to school.
Kanuni: NO+N(mtw)+S + NOT+BEING+T(PP)
Tamka: (No, Ai em noti bing senti tu skul).
(2).
(2).(c).(i). Je, Musa na Janet wanauawa?
Kiingereza: Are Musa and Jenet being killed?
Kanuni: S + N(mtw) +BEING+T(PP).
Tamka: (A Musa endi Jeneth bing kildi)?
(2).(c).(ii). Ndiyo, wao wanauawa.
Kiingereza: Yes, they are being killed.
Kanuni: YES + N(mtw) + S + BEING+ T(PP)
Tamka: (Yesi, Dhei a bing kildi).
(2).(c).(iii). Hapana, wao hawauawi.
Kiingereza: No, they are not being killed.
Kanuni: NO+N(mtw) +S +NOT +BEING+ T(PP)
Tamka: (No, dhei a noti bing kildi).
(2).(c).(iv). Hapana, wao hawauawi.
Kiingereza: No, they aren’t being killed.
Kanuni: NO+N(mtw)+AREN’T+BEING+ T(PP)
Tamka: (No, dhei anti bing kildi).
(3).
ZOEZI LA 23.
Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:-
Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):-
Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:-
(1).(i). Kiswahili: Wao wanapigwa na Kimbute
Kiingereza: ___________ _____ ________ _______ ____ __________
Kanuni: N(mtw) + S + BEING + T(PP) + BY + N(mtj)
- N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao.
- S – are, tamka (a).
-T(PP) – beaten, tamka (biten) –piga.
- N(mtj) – Kimbute.
(1).(ii). Kiswahili: Je, Wao wanapigwa na Kimbute?
Kiingereza: ____ __________ ______ ________ ____ __________?
Kanuni: S + N(mtw) +BEING + T(PP) + BY + N(mtj)
- S – are, tamka (a).
- N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao.
- T(PP) – beaten, tamka (biten) – piga.
- N(mtj) – Kimbute.
(1).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Wao wanapigwa na Kimbute.
Kiingereza: ____ __________ ____ _______ ________ ____ _________
Kanuni: YES + N(mtw) + S + BEING+ T(PP) + BY + N(mtj)
- YES, tamka (yesi) – Ndiyo.
-N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao.
- S – are, tamka (a).
- T(PP) – beaten, tamka (biten). – piga.
- N(mtj) – Kimbute.
(1).(iv). Kiswahili: Hapana, Wao hawapigwi na Kimbute.
Kiingereza:____ _________ ____ _____ _______ ______ ____ __________
Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT+BEING +T(PP) + BY + N(mtj)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao.
- S – are, tamka (a).
- T(PP) – beaten, tamka (biten) – piga.
- N(mtj) – Kimbute.
(1).(v). Kiswahili: Hapana, Wao hawapigwi na Kimbute.
Kiingereza:____ _________ _________ ______ ________ ____ ___________
Kanuni: NO + N(mtw) + AREN’T +BEING + T(PP) + BY+ N(mtj)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N(mtw) – They, tamka (dhei) - Wao
- T(PP) – beaten, tamka (biten) - piga.
- N(mtj) – Kimbute.
(4).
(2).(i). Kiswahili: Kiingereza kinazungumzwa na sisi.
Kiingereza: ____________ ____ _______ ___________ _____ _______
Kanuni: N(mtw) + S +BEING + T(PP) + BY + N(mtj)
- N(mtw) – English, tamka (Inglish) – Kiingereza.
- S – is, tamka (izi).
- T(PP) – spoken, tamka (spokeni) - zungumza.
- N(mtj) – Us, tamka (asi) – sisi.
(2).(ii). Kiswahili: Je, Kiingereza kinazungumzwa na nyinyi?
Kiingereza: _____ __________ _______ ________ ____ ______?
Kanuni: S + N(mtw) + BEING+ T(PP) + BY+ N(mtj)
- S – is, tamka (izi).
- N(mtw) – English, tamka (Inglish) - Kiingereza.
- T(PP) – spoken, tamka - (spokeni) - zungumza.
- N(mtj) – You, tamka (yu) – nyinyi.
(2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Kiingereza kinazungumzwa na sisi.
Kiingereza: ____ _________ _____ ______ __________ _____ _______
Kanuni: YES+ N(mtw) + S +BEING + T(PP) + BY + N(mtj)
- YES, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N(mtw) – English, tamka (Inglish) - Kiingereza.
- S - is, tamka (izi).
- T(PP) – spoken, tamka (spokeni) - zungumza.
- N(mtj) – Us, tamka (asi) - sisi.
(2).(iv). Kiswahili: Hapana, Kiingereza hakizungumzwi na sisi.
Kiingereza: ____ _________ _____ _____ _______ _______ ___ _______
Kanuni: NO + N(mtw)+ S + NOT + BEING + T(PP) + BY + N(mtj)
- No, tamka (no) -Hapana.
-N(mtw) – English, tamka (Inglish) - Kiingereza.
- S – is, tamka (izi).
- T(PP) – spoken, tamka (spokeni) - zungumza.
- N(mtj) – Us, tamka (asi) – sisi.
(2). (v). Kiswahili: Hapana, Kiingereza hakizungumzwi na sisi.
Kiingereza: ____ __________ ______ ______ _________ ____ _______
Kanuni: NO + N(mtw) + ISN’T+BEING + T(PP) + BY + N(mtj)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N(mtw) – English, tamka (Inglish) - Kiingereza.
- T(PP) – Spoken, tamka (spokeni) - zungumza.
- N(mtj) – Us, tamka (asi) – sisi.
(5).
(3).(i). Kiswahili: Bidhaa zinauzwa na mimi.
Kiingereza: _______________ ____ ______ ______ ____ ________
Kanuni: N(mtw) + S +BEING +T(PP) + BY+ N(mtj)
- N(mtw) – Commodities, tamka (komoditizi) – bidhaa.
- S – are, tamka (a).
- T(PP) – Sold, tamka (sold) – uza.
- N(mtj) – Me, tamka (mi) – mimi.
(3).(ii). Kiswahili: Je, bidhaa zinauzwa na wewe?
Kiingereza: _____ ________________ _______ ________ ____ _______?
Kanuni: S + N(mtw) +BEING + T(PP) + BY + N(mtj)
- S – Are, tamka (a).
- N(mtw) – commodities, tamka (komoditizi) – bidhaa.
- T(PP) – sold, tamka (sold) – uza.
- N(mtj) – you, tamka (yu) – wewe.
(3).(iii).Kiswahili: Ndiyo, bidhaa zinauzwa na mimi.
Kiingereza: _____ _____________ _____ _______ ______ _____ _______
Kanuni: YES+ N(mtw) + S + BEING +T(PP) + BY + N(mtj)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N(mtw) – commodities, tamka (komoditizi) – bidhaa.
- S – are, tamka (a)
- T(PP) – sold, tamka (sold) – uza.
- N(mtj) - me, tamka (mi) – mimi.
(3).(iv). Kiswahili: Hapana, bidhaa haziuzwi na mimi.
Kiingereza:_____ _____________ _____ _____ _______ ______ ____ ______
Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT+BEING + T(PP) + BY+N(mtj)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N(mtw) – commodities, tamka (komoditizi) - bidhaa.
- S – are, tamka (a).
- T(PP) – sold, tamka (sold) – uza.
- N(mtj) – me, tamka (mi) – mimi.
(3).(v). Kiswahili: Hapana, bidhaa haziuzwi na mimi.
Kiingereza: _____ _____________ ________ _______ ______ ____ _______
Kanuni: NO + N(mtw) + AREN’T + BEING + T(PP)+ BY + N(mtj)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N(mtw) – Commodities, tamka (komoditizi) – bidhaa.
- T(PP) – Sold, tamka (sold) - uza.
- N(mtj) – Me, tamka (mi) – mimi.
(Mwisho wa somo)
(6).

More Related Content

More from makukuzenyu (20)

Somo la 30
Somo la 30Somo la 30
Somo la 30
 
Somo la 29
Somo la 29Somo la 29
Somo la 29
 
Somo la 28
Somo la 28Somo la 28
Somo la 28
 
Somo la 26
Somo la  26Somo la  26
Somo la 26
 
Somo la 22
Somo la  22Somo la  22
Somo la 22
 
Somo la 21
Somo la  21Somo la  21
Somo la 21
 
Somo la 20
Somo la  20Somo la  20
Somo la 20
 
Somo la 19
Somo la  19Somo la  19
Somo la 19
 
Somo la 18
Somo la  18Somo la  18
Somo la 18
 
Somo la 17
Somo la  17Somo la  17
Somo la 17
 
Somo la 16
Somo la  16Somo la  16
Somo la 16
 
Somo la 15
Somo la  15Somo la  15
Somo la 15
 
Somo la 14
Somo la  14Somo la  14
Somo la 14
 
Somo la 13
Somo la  13Somo la  13
Somo la 13
 
Somo la 12
Somo la  12Somo la  12
Somo la 12
 
Somo la 11
Somo la  11Somo la  11
Somo la 11
 
Somo la 10
Somo la  10Somo la  10
Somo la 10
 
Somo la 9
Somo la  9Somo la  9
Somo la 9
 
Somo la 8
Somo la  8Somo la  8
Somo la 8
 
Somo la 7
Somo la  7Somo la  7
Somo la 7
 

Recently uploaded

The basics of sentences session 3pptx.pptx
The basics of sentences session 3pptx.pptxThe basics of sentences session 3pptx.pptx
The basics of sentences session 3pptx.pptx
heathfieldcps1
 
Salient Features of India constitution especially power and functions
Salient Features of India constitution especially power and functionsSalient Features of India constitution especially power and functions
Salient Features of India constitution especially power and functions
KarakKing
 

Recently uploaded (20)

General Principles of Intellectual Property: Concepts of Intellectual Proper...
General Principles of Intellectual Property: Concepts of Intellectual  Proper...General Principles of Intellectual Property: Concepts of Intellectual  Proper...
General Principles of Intellectual Property: Concepts of Intellectual Proper...
 
Jamworks pilot and AI at Jisc (20/03/2024)
Jamworks pilot and AI at Jisc (20/03/2024)Jamworks pilot and AI at Jisc (20/03/2024)
Jamworks pilot and AI at Jisc (20/03/2024)
 
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...
 
On_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptx
On_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptxOn_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptx
On_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptx
 
Beyond_Borders_Understanding_Anime_and_Manga_Fandom_A_Comprehensive_Audience_...
Beyond_Borders_Understanding_Anime_and_Manga_Fandom_A_Comprehensive_Audience_...Beyond_Borders_Understanding_Anime_and_Manga_Fandom_A_Comprehensive_Audience_...
Beyond_Borders_Understanding_Anime_and_Manga_Fandom_A_Comprehensive_Audience_...
 
Single or Multiple melodic lines structure
Single or Multiple melodic lines structureSingle or Multiple melodic lines structure
Single or Multiple melodic lines structure
 
Interdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptx
Interdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptxInterdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptx
Interdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptx
 
The basics of sentences session 3pptx.pptx
The basics of sentences session 3pptx.pptxThe basics of sentences session 3pptx.pptx
The basics of sentences session 3pptx.pptx
 
Application orientated numerical on hev.ppt
Application orientated numerical on hev.pptApplication orientated numerical on hev.ppt
Application orientated numerical on hev.ppt
 
How to setup Pycharm environment for Odoo 17.pptx
How to setup Pycharm environment for Odoo 17.pptxHow to setup Pycharm environment for Odoo 17.pptx
How to setup Pycharm environment for Odoo 17.pptx
 
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptx
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptxWellbeing inclusion and digital dystopias.pptx
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptx
 
Key note speaker Neum_Admir Softic_ENG.pdf
Key note speaker Neum_Admir Softic_ENG.pdfKey note speaker Neum_Admir Softic_ENG.pdf
Key note speaker Neum_Admir Softic_ENG.pdf
 
Understanding Accommodations and Modifications
Understanding  Accommodations and ModificationsUnderstanding  Accommodations and Modifications
Understanding Accommodations and Modifications
 
HMCS Max Bernays Pre-Deployment Brief (May 2024).pptx
HMCS Max Bernays Pre-Deployment Brief (May 2024).pptxHMCS Max Bernays Pre-Deployment Brief (May 2024).pptx
HMCS Max Bernays Pre-Deployment Brief (May 2024).pptx
 
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptx
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptxGoogle Gemini An AI Revolution in Education.pptx
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptx
 
Towards a code of practice for AI in AT.pptx
Towards a code of practice for AI in AT.pptxTowards a code of practice for AI in AT.pptx
Towards a code of practice for AI in AT.pptx
 
Plant propagation: Sexual and Asexual propapagation.pptx
Plant propagation: Sexual and Asexual propapagation.pptxPlant propagation: Sexual and Asexual propapagation.pptx
Plant propagation: Sexual and Asexual propapagation.pptx
 
Salient Features of India constitution especially power and functions
Salient Features of India constitution especially power and functionsSalient Features of India constitution especially power and functions
Salient Features of India constitution especially power and functions
 
How to Add New Custom Addons Path in Odoo 17
How to Add New Custom Addons Path in Odoo 17How to Add New Custom Addons Path in Odoo 17
How to Add New Custom Addons Path in Odoo 17
 
Basic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptx
Basic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptxBasic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptx
Basic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptx
 

Somo la 23

  • 1. Somo la 23 Kiingereza: Present Continuous Tense – Passive Voice. Tamka: (Prezenti Kontinwuazi Tensi - Pasivu Voisi). Kiswahili: Wakati uliopo na unaoendelea – Katika hali ya kutendewa. Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:- (1). Ugali unaliwa na wao. (2). Mimi ninapelekwa shuleni. (3). Musa na Janeth wanauawa. Katika Kiingereza:- S ni am, are, is T - huwa katika “Past Participle” kama ifuatavyo:- - Kula – huwa eaten (tamka- iteni). - Peleka- huwa sent (tamka - senti). - Ua – huwa killed (tamka - kildi). Kifupi cha “Past Participle” ni (PP). (1). Kanuni ya sentensi ya Kiingereza fasaha ya wakati uliopo na unaoendelea katika hali ya kutendewa, yaani sentensi ya “Present Continuous Tense-Passive Voice” ni:- {N(mtw) + S+ BEING + T(PP) + BY + N(mtj)}. (1).(a).Ugali unaliwa na wao. Kiingereza: Ugali is being eaten by them. Kanuni: N(mtw) + S+ BEING + T(PP) + BY + N(mtj) Tamka: (Ugali izi bing iteni bai dhem). (1).(b). Mimi ninapelekwa shuleni. Kiingereza: I am being sent to school. Kanuni: N(mtw) + S+ BEING + T(PP) Tamka: (Ai em bing senti tu skul). (1).(c). Musa na Janeth wanauawa Kiingereza: Musa and Janeth are being killed. Kanuni: N(mtw) + S + BEING + T(PP) Tamka: (Musa endi Jenet a bing kildi). (1). Mimi nina Sisi tuna - I am - We are N + S N + S Wewe una Nyinyi mna - You are - You are N + S N + S Yeye ana Wao wana - -He is - They are N +S N + S - She is N +S -It is N+S
  • 2. (2). Kanuni ya kuuliza swali la Kiingereza fasaha la wakati uliopo na unaoendelea ktk hali ya kutendewa, yaani swali la ‘Present Continuous Tense-Passive Voice’ ni:- {{S+ N(mtw)+BEING + T(PP) + BY + N(mtj)}? (2).(a).(i).Je, Ugali unaliwa na wao? Kiingereza: Is ugali being eaten by them? Kanuni: S+ N(mtw)+BEING + T(PP) + BY + N(mtj)} Tamka: (Izi ugali bing iteni bai dhem)? (2).(a).(ii). Ndiyo, ugali unaliwa na wao. Kiingereza: Yes, ugali is being eaten by them. Kanuni: YES + N(mtw)+ S + BEING + T(PP) + BY + N(mtj)} Tamka: (Yesi, ugali iz bing iteni bai dhem). (2).(a).(iii). Hapana, ugali hauliwi na wao. Kiingereza: No, ugali is not being eaten by them. Kanuni: NO + N(mtw) + S +NOT + BEING+ T(PP) +BY +N(mtj) Tamka: (No, ugali iz noti bing iteni bai dhem). (2).(a).(iv). Hapana, ugali hauliwi na wao. Kiingereza: No, ugali isn’t being eaten by them. Kanuni: NO+ N(mtw) +ISN’T+BEING + T(PP) +BY+N(mtj) Tamka: (No, ugali izinti bing iteni bai dhem). (2).(b).(i) Je, wewe unapelekwa shuleni? Kiingereza: Are you being sent to school? Kanuni: S +N(mtw)+BEING +T(PP) Tamka: (A yu bing senti tu skul)? (2).(b).(ii) Ndiyo, mimi ninapelekwa shuleni. Kiingereza: Yes, I am being sent to school. Kanuni: YES+N(mtw)+S +BEING+T(PP) Tamka: (Yesi, Ai em bing senti tu skul). (2).(b).(iii) Hapana, mimi sipelekwi shuleni. Kiingereza: No, I am not being sent to school. Kanuni: NO+N(mtw)+S + NOT+BEING+T(PP) Tamka: (No, Ai em noti bing senti tu skul). (2).
  • 3. (2).(c).(i). Je, Musa na Janet wanauawa? Kiingereza: Are Musa and Jenet being killed? Kanuni: S + N(mtw) +BEING+T(PP). Tamka: (A Musa endi Jeneth bing kildi)? (2).(c).(ii). Ndiyo, wao wanauawa. Kiingereza: Yes, they are being killed. Kanuni: YES + N(mtw) + S + BEING+ T(PP) Tamka: (Yesi, Dhei a bing kildi). (2).(c).(iii). Hapana, wao hawauawi. Kiingereza: No, they are not being killed. Kanuni: NO+N(mtw) +S +NOT +BEING+ T(PP) Tamka: (No, dhei a noti bing kildi). (2).(c).(iv). Hapana, wao hawauawi. Kiingereza: No, they aren’t being killed. Kanuni: NO+N(mtw)+AREN’T+BEING+ T(PP) Tamka: (No, dhei anti bing kildi). (3).
  • 4. ZOEZI LA 23. Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:- Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):- Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:- (1).(i). Kiswahili: Wao wanapigwa na Kimbute Kiingereza: ___________ _____ ________ _______ ____ __________ Kanuni: N(mtw) + S + BEING + T(PP) + BY + N(mtj) - N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao. - S – are, tamka (a). -T(PP) – beaten, tamka (biten) –piga. - N(mtj) – Kimbute. (1).(ii). Kiswahili: Je, Wao wanapigwa na Kimbute? Kiingereza: ____ __________ ______ ________ ____ __________? Kanuni: S + N(mtw) +BEING + T(PP) + BY + N(mtj) - S – are, tamka (a). - N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao. - T(PP) – beaten, tamka (biten) – piga. - N(mtj) – Kimbute. (1).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Wao wanapigwa na Kimbute. Kiingereza: ____ __________ ____ _______ ________ ____ _________ Kanuni: YES + N(mtw) + S + BEING+ T(PP) + BY + N(mtj) - YES, tamka (yesi) – Ndiyo. -N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao. - S – are, tamka (a). - T(PP) – beaten, tamka (biten). – piga. - N(mtj) – Kimbute. (1).(iv). Kiswahili: Hapana, Wao hawapigwi na Kimbute. Kiingereza:____ _________ ____ _____ _______ ______ ____ __________ Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT+BEING +T(PP) + BY + N(mtj) - No, tamka (no) – Hapana. - N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao. - S – are, tamka (a). - T(PP) – beaten, tamka (biten) – piga. - N(mtj) – Kimbute. (1).(v). Kiswahili: Hapana, Wao hawapigwi na Kimbute. Kiingereza:____ _________ _________ ______ ________ ____ ___________ Kanuni: NO + N(mtw) + AREN’T +BEING + T(PP) + BY+ N(mtj) - No, tamka (no) – Hapana. - N(mtw) – They, tamka (dhei) - Wao - T(PP) – beaten, tamka (biten) - piga. - N(mtj) – Kimbute. (4).
  • 5. (2).(i). Kiswahili: Kiingereza kinazungumzwa na sisi. Kiingereza: ____________ ____ _______ ___________ _____ _______ Kanuni: N(mtw) + S +BEING + T(PP) + BY + N(mtj) - N(mtw) – English, tamka (Inglish) – Kiingereza. - S – is, tamka (izi). - T(PP) – spoken, tamka (spokeni) - zungumza. - N(mtj) – Us, tamka (asi) – sisi. (2).(ii). Kiswahili: Je, Kiingereza kinazungumzwa na nyinyi? Kiingereza: _____ __________ _______ ________ ____ ______? Kanuni: S + N(mtw) + BEING+ T(PP) + BY+ N(mtj) - S – is, tamka (izi). - N(mtw) – English, tamka (Inglish) - Kiingereza. - T(PP) – spoken, tamka - (spokeni) - zungumza. - N(mtj) – You, tamka (yu) – nyinyi. (2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Kiingereza kinazungumzwa na sisi. Kiingereza: ____ _________ _____ ______ __________ _____ _______ Kanuni: YES+ N(mtw) + S +BEING + T(PP) + BY + N(mtj) - YES, tamka (yesi) – Ndiyo. - N(mtw) – English, tamka (Inglish) - Kiingereza. - S - is, tamka (izi). - T(PP) – spoken, tamka (spokeni) - zungumza. - N(mtj) – Us, tamka (asi) - sisi. (2).(iv). Kiswahili: Hapana, Kiingereza hakizungumzwi na sisi. Kiingereza: ____ _________ _____ _____ _______ _______ ___ _______ Kanuni: NO + N(mtw)+ S + NOT + BEING + T(PP) + BY + N(mtj) - No, tamka (no) -Hapana. -N(mtw) – English, tamka (Inglish) - Kiingereza. - S – is, tamka (izi). - T(PP) – spoken, tamka (spokeni) - zungumza. - N(mtj) – Us, tamka (asi) – sisi. (2). (v). Kiswahili: Hapana, Kiingereza hakizungumzwi na sisi. Kiingereza: ____ __________ ______ ______ _________ ____ _______ Kanuni: NO + N(mtw) + ISN’T+BEING + T(PP) + BY + N(mtj) - No, tamka (no) – Hapana. - N(mtw) – English, tamka (Inglish) - Kiingereza. - T(PP) – Spoken, tamka (spokeni) - zungumza. - N(mtj) – Us, tamka (asi) – sisi. (5).
  • 6. (3).(i). Kiswahili: Bidhaa zinauzwa na mimi. Kiingereza: _______________ ____ ______ ______ ____ ________ Kanuni: N(mtw) + S +BEING +T(PP) + BY+ N(mtj) - N(mtw) – Commodities, tamka (komoditizi) – bidhaa. - S – are, tamka (a). - T(PP) – Sold, tamka (sold) – uza. - N(mtj) – Me, tamka (mi) – mimi. (3).(ii). Kiswahili: Je, bidhaa zinauzwa na wewe? Kiingereza: _____ ________________ _______ ________ ____ _______? Kanuni: S + N(mtw) +BEING + T(PP) + BY + N(mtj) - S – Are, tamka (a). - N(mtw) – commodities, tamka (komoditizi) – bidhaa. - T(PP) – sold, tamka (sold) – uza. - N(mtj) – you, tamka (yu) – wewe. (3).(iii).Kiswahili: Ndiyo, bidhaa zinauzwa na mimi. Kiingereza: _____ _____________ _____ _______ ______ _____ _______ Kanuni: YES+ N(mtw) + S + BEING +T(PP) + BY + N(mtj) - Yes, tamka (yesi) – Ndiyo. - N(mtw) – commodities, tamka (komoditizi) – bidhaa. - S – are, tamka (a) - T(PP) – sold, tamka (sold) – uza. - N(mtj) - me, tamka (mi) – mimi. (3).(iv). Kiswahili: Hapana, bidhaa haziuzwi na mimi. Kiingereza:_____ _____________ _____ _____ _______ ______ ____ ______ Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT+BEING + T(PP) + BY+N(mtj) - No, tamka (no) – Hapana. - N(mtw) – commodities, tamka (komoditizi) - bidhaa. - S – are, tamka (a). - T(PP) – sold, tamka (sold) – uza. - N(mtj) – me, tamka (mi) – mimi. (3).(v). Kiswahili: Hapana, bidhaa haziuzwi na mimi. Kiingereza: _____ _____________ ________ _______ ______ ____ _______ Kanuni: NO + N(mtw) + AREN’T + BEING + T(PP)+ BY + N(mtj) - No, tamka (no) – Hapana. - N(mtw) – Commodities, tamka (komoditizi) – bidhaa. - T(PP) – Sold, tamka (sold) - uza. - N(mtj) – Me, tamka (mi) – mimi. (Mwisho wa somo) (6).