SlideShare a Scribd company logo
1 of 6
Download to read offline
Somo la 24
Kiingereza: Present Perfect Tense – Passive Voice.
Tamka: (Prezenti Pafekti Tensi - Pasivu Voisi).
Kiswahili: Wakati uliopo timilifu – Katika hali ya kutendewa.
Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:-
(1). Ugali umeliwa na wao.
(2). Mimi nimepelekwa shuleni.
(3). Musa na Jeneth wameuawa.
Katika Kiingereza:-
S ni Have/Has.
T - huwa katika “Past Participle” kama ifuatavyo:-
- Kula – huwa eaten (tamka - iteni).
- Peleka- huwa sent (tamka - senti).
- Ua – huwa killed (tamka- kildi).
Kifupi cha “Past Participle” ni (PP).
(1). Kanuni ya sentensi ya Kiingereza fasaha ya wakati uliopo timilifu katika hali ya
kutendewa, yaani sentensi ya “Present Perfect Tense – Passive Voice” ni:-
{N(mtw) + S+ BEEN+ T(PP)+BY+N(mtj)}.
(1).(a). Ugali umeliwa na wao.
Kiingereza: Ugali has been eaten by them.
Kanuni: N(mtw) +S +BEEN+T(PP) +BY+ N(mtj)
Tamka: (Ugali haz bini iteni bai dhem).
(1).(b). Mimi nimepelekwa shuleni.
Kiingereza: I have been sent to school.
Kanuni: N(mtw)+ S +BEEN+T(PP)
Tamka: (Ai havu bini senti tu skul).
(1).(c). Musa na Jeneth wameuawa
Kiingereza: Musa and Jeneth have been killed.
Kanuni: N(mtw) + S +BEEN+T(PP).
Tamka: (Musa endi Jenet hevu bin kildi).
(1).
Mimi nime Sisi tume
- I have - We have
N + S N + S
Wewe ume Nyinyi mme
- You have - You have
N + S N + S
Yeye ame Wao wame
-He has -They have
N+ S N + S
- She has
N + S
-It has
N + S
(2). Kanuni ya kuuliza swali la Kiingereza fasaha la wakati uliopo timilifu katika hali ya
kutendewa, yaani swali la “Present Perfect Tense – Passive Voice” ni:-
{S+N(mtw)+BEEN+T(PP)+BY+N(mtj)}?
(2).(a).(i). Je, Ugali umeliwa na wao?
Kiingereza: Has ugali been eaten by them?
Kanuni: S + N(mtw)+BEEN + (TPP) +BY+ N(mtj)
Tamka: (Haz ugali bin iteni bai dhem)?
(2).(a).(ii). Ndiyo, ugali umeliwa na wao.
Kiingereza: Yes, ugali has been eaten by them.
Kanuni: YES+N(mtw)+ S + BEEN + T(PP)+BY +N(mtj)
Tamka: (Yesi, ugali hezi bin iteni bai dhem).
(2).(a).(iii). Hapana, ugali haujaliwa na wao.
Kiingereza: No, ugali has not been eaten by them.
Kununi: NO + N(mtw)+HAS + NOT +BEEN+ T(PP) +BY + N(mtj)
Tamka: (No, ugali haz noti bin iteni bai dhem).
(2).(a).(iv). Hapana, ugali haujaliwa na wao.
Kiingereza: No, ugali hasn’t been eaten by them.
Kanuni: NO+ N(mtw) +HASN’T+BEEN+ T(PP) +BY+N(mtj)
Tamka: (No, ugali hezinti bin iteni bai dhem).
(2).(b).(i). Je, wewe umepelekwa shuleni?
Kiingereza: Have you been sent to school?
Kanuni: S + N(mtw) +BEEN+T(PP)
Tamka: (Havu you bini senti tu skul)?
(2).(b).(ii). Ndiyo, mimi nimepelekwa shuleni.
Kiingereza: Yes, I Have been sent to school.
Kanuni: YES + N(mtw) + S + BEEN + T(PP)
Tamka: (Yesi, Ai havu bini senti tu skul).
(2).(b).(iii). Hapana, mimi sijapelekwa shuleni.
Kiingereza: No, I Have not been sent to school.
Kanuni: NO+ N(mtw)+ S + NOT+BEEN + T(PP)
Tamka: (No, Ai havu noti bini senti tu skul).
(2).(b).(iv). Hapana, mimi sijapelekwa shuleni.
Kiingereza: No, I Haven’t been sent to school.
Kanuni: NO+ N(mtw) + HAVEN’T+BEEN+T(PP)
Tamka: (No, Ai havunti bini senti tu skul).
(2).
(2).(c).(i). Je, Musa na Jenet wameuawa?
Kiingereza: Have Musa and Jenet been killed?
Kanuni: S + N(mtw) +BEEN +T(PP).
Tamka: (Hevu Musa endi Jeneth bin kildi)?
(2).(c).(ii). Ndiyo, wao wameuawa.
Kiingereza: Yes, they have been killed.
Kanuni: YES + N(mtw) + S + BEEN+T(PP)
Tamka: (Yesi, Dhei havu bin kildi).
(2).(c).(iii).Hapana, wao hawajauawa.
Kiingereza: No, they have not been killed.
Kanuni: NO + N(mtw)+ S + NOT + BEEN+ T(PP)
Tamka: (No, dhei havu noti bin kildi).
(2).(c).(iv). Hapana, wao hawajauawa.
Kiingereza: No, they haven’t been killed.
Kanuni: NO +N(mtw) + HAVEN’T+BEEN+ T(PP)
Tamka: (No, dhei heventi bin kildi).
(3).
ZOEZI LA 24.
Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:-
Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):-
Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:-
(1).(i). Kiswahili: barua imeandikwa na Kimbute.
Kiingereza: __________ _____ _______ _________ ____ ______________.
Kanuni: N(mtw) + S + BEEN + T(PP) + BY + N(mtj)
- N(mtw) - A letter, tamka (e leta) – barua.
- S – has, tamka (hezi).
- T(PP) – written, tamka (riteni) – andika.
- N(mtj) – Kimbute.
(1).(ii). Kiswahili: Je, barua imeandikwa na Kimbute?
Kiingereza: ______ _________ _______ _________ _____ __________?
Kanuni: S + N(mtw) + BEEN + T(PP) + BY + N(mtj)
- S – Has, tamka (hezi).
- N(mtw) - a letter, tamka (e leta) – barua.
- T(PP) - written, tamka (riteni) – andika.
- N(mtj) - Kimbute.
(1).(iii). Kiswahili: Ndiyo, barua imeandikwa na Kimbute.
Kiingereza: _____ ________ _____ _______ ________ ____ _________.
Kanuni: YES + N(mtw)+ S + BEEN + T(PP) + BY + N(mtj)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N(mtw) - a letter, tamka (e leta) – barua.
- S – has, tamka (hazi).
- T(PP) - written, tamka (riteni) – andika.
- N(mtj) – Kimbute.
(1).(iv). Kiswahili: Hapana, barua haijaandikwa na Kimbute.
Kiingereza: ____ _________ ____ _____ ______ _______ ____ ________.
Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT+BEEN + T(PP) + BY + N(mtj)}.
- No, tamka (no) – Hapana.
- N(mtw) - a letter, tamka (e leta) – barua.
- S – has (hazi).
- T(PP) - written, tamka (riteni) – andika.
- N(mtj) – Kimbute.
(1).(v). Kiswahili: Hapana, Barua haijaandikwa na Kimbute.
Kiingereza: _____ ________ ________ ______ ________ ____ __________.
Kanuni: NO + N(mtw) + HASN’T+ BEEN+ T(PP) + BY + N(mtj)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N(mtw) - a letter, tamka (e leta) – barua.
- T(PP) - written, tamka (riteni) – andika.
- N(mtj) – Kimbute.
(4).
(2).(i). Kiswahili: Wao wamepigwa na Kimbute.
Kiingereza: ________ _____ ______ ________ ___ ____________
Kanuni: N(mtw) + S + BEEN+ T(PP) + BY+ N(mtj)
- N(mtw) –They, tamka (dhei) – Wao.
- S – have, tamka (hevu).
- T(PP) – beaten, tamka (biteni) –piga.
- N(mtj) – Kimbute.
(2).(ii). Kiswahili: Je, wao wamepigwa na Kimbute?
Kiingereza: _____ _______ ______ ________ ____ ____________?
Kanuni: S + N(mtw)+ BEEN+ T(PP) + BY + N(mtj)
- S – Have, tamka (hevu).
- N(mtw) – they, tamka (dhei) –wao.
- T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga.
- N(mtj) – Kimbute.
(2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, wao wamepigwa na Kimbute.
Kiingereza: _____ ________ _____ _______ _______ ____ ___________
Kanuni: YES+ N(mtw) + S + BEEN + T(PP) + BY + N(mtj)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N(mtw) – they, tamka (dhei) – wao.
- S – have, tamka (hevu).
- T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga.
- N(mtj) – Kimbute.
(2).(iv). Kiswahili: Hapana, wao hawajapigwa na Kimbute.
Kiingereza: ____ ________ _____ _____ _____ _______ ____ _________
Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT+ BEEN + T(PP) + BY+ N(mtj)
- No, tamka (no) - Hapana.
- N(mtw) – They, tamka (dhei) - wao.
- S – have, tamka (hevu).
- T(PP) – beaten, tamka (biteni) - piga.
- N(mtj) – Kimbute.
(2).(v). Kiswahili: Hapana, wao hawajapigwa na Kimbute.
Kiingereza: ____ _______ _________ ______ _______ ____ __________.
Kanuni: NO + N(mtw)+HAVEN’T + BEEN + T(PP) + BY + N(mtj)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N(mtw) –they, tamka (dhei) – wao.
- T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga.
- N(mtj) – Kimbute.
(5).
(3).(i). Kiswahili: Jackline amepelekwa St. Mary.
Kiingereza: __________________ ____ _____ _____ to __________.
Kanuni: N(mtw) + S +BEEN +T(PP)
- N(mtw) – Jackline.
-S – has, tamka (hezi).
- T(PP) – sent, tamka (senti) – peleka.
(3).(ii). Kiswahili: Je, Jackline amepelekwa St. Mary?
Kiingereza: ____ _________________ _______ ______ to __________?
Kanuni: S + N(mtw) + BEEN + T(PP)
- S – Has, tamka (hezi).
- N(mtw) – Jackline .
- T(PP) – sent, tamka (senti) – peleka.
(3).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Jackline amepelekwa St. Mary.
Kiingereza: ____ ________________ ____ _____ _____ to _________.
Kanuni: YES + N(mtw) + S + BEEN+T(PP)
- Yes, tamka (yes) – Ndiyo.
- N(mtw) – Jackline.
- S – has, tamka (hez).
- T(PP) – sent, tamka (senti) – peleka.
(3).(iv). Kiswahili: Hapana, Jackline hajapelekwa St. Mary.
Kiingereza: ____ ____________ ____ _____ ______ _____ to __________.
Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT + BEEN +T(PP)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N(mtw) – Jackline.
- S – has, tamka (hezi).
- T(PP) – sent, tamka (senti) – peleka.
(3).(v).Kiswahili: Hapana, Jackline hajapelekwa St. Mary.
Kiingereza: ____ _____________ _______ ______ ______ to _______.
Kanuni: NO+ N(mtw) + HASN’T+BEEN + T(PP)
-No, tamka (no) – Hapana.
-N(mtw) – Jackline.
-T(PP) – sent, tamka (senti) – peleka.
Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and
Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na
kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa
Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani
kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au
P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa
kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake
rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa
kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba
mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69.
(Mwisho wa somo)
(6).

More Related Content

More from makukuzenyu (20)

Somo la 30
Somo la 30Somo la 30
Somo la 30
 
Somo la 29
Somo la 29Somo la 29
Somo la 29
 
Somo la 26
Somo la  26Somo la  26
Somo la 26
 
Somo la 22
Somo la  22Somo la  22
Somo la 22
 
Somo la 21
Somo la  21Somo la  21
Somo la 21
 
Somo la 20
Somo la  20Somo la  20
Somo la 20
 
Somo la 19
Somo la  19Somo la  19
Somo la 19
 
Somo la 18
Somo la  18Somo la  18
Somo la 18
 
Somo la 17
Somo la  17Somo la  17
Somo la 17
 
Somo la 16
Somo la  16Somo la  16
Somo la 16
 
Somo la 15
Somo la  15Somo la  15
Somo la 15
 
Somo la 14
Somo la  14Somo la  14
Somo la 14
 
Somo la 13
Somo la  13Somo la  13
Somo la 13
 
Somo la 12
Somo la  12Somo la  12
Somo la 12
 
Somo la 11
Somo la  11Somo la  11
Somo la 11
 
Somo la 10
Somo la  10Somo la  10
Somo la 10
 
Somo la 9
Somo la  9Somo la  9
Somo la 9
 
Somo la 8
Somo la  8Somo la  8
Somo la 8
 
Somo la 7
Somo la  7Somo la  7
Somo la 7
 
Somo la 6
Somo la  6Somo la  6
Somo la 6
 

Recently uploaded

Recently uploaded (20)

Accessible Digital Futures project (20/03/2024)
Accessible Digital Futures project (20/03/2024)Accessible Digital Futures project (20/03/2024)
Accessible Digital Futures project (20/03/2024)
 
NO1 Top Black Magic Specialist In Lahore Black magic In Pakistan Kala Ilam Ex...
NO1 Top Black Magic Specialist In Lahore Black magic In Pakistan Kala Ilam Ex...NO1 Top Black Magic Specialist In Lahore Black magic In Pakistan Kala Ilam Ex...
NO1 Top Black Magic Specialist In Lahore Black magic In Pakistan Kala Ilam Ex...
 
80 ĐỀ THI THỬ TUYỂN SINH TIẾNG ANH VÀO 10 SỞ GD – ĐT THÀNH PHỐ HỒ CHÍ MINH NĂ...
80 ĐỀ THI THỬ TUYỂN SINH TIẾNG ANH VÀO 10 SỞ GD – ĐT THÀNH PHỐ HỒ CHÍ MINH NĂ...80 ĐỀ THI THỬ TUYỂN SINH TIẾNG ANH VÀO 10 SỞ GD – ĐT THÀNH PHỐ HỒ CHÍ MINH NĂ...
80 ĐỀ THI THỬ TUYỂN SINH TIẾNG ANH VÀO 10 SỞ GD – ĐT THÀNH PHỐ HỒ CHÍ MINH NĂ...
 
Food safety_Challenges food safety laboratories_.pdf
Food safety_Challenges food safety laboratories_.pdfFood safety_Challenges food safety laboratories_.pdf
Food safety_Challenges food safety laboratories_.pdf
 
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptx
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptxWellbeing inclusion and digital dystopias.pptx
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptx
 
Kodo Millet PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...
Kodo Millet  PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...Kodo Millet  PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...
Kodo Millet PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...
 
Towards a code of practice for AI in AT.pptx
Towards a code of practice for AI in AT.pptxTowards a code of practice for AI in AT.pptx
Towards a code of practice for AI in AT.pptx
 
ICT role in 21st century education and it's challenges.
ICT role in 21st century education and it's challenges.ICT role in 21st century education and it's challenges.
ICT role in 21st century education and it's challenges.
 
COMMUNICATING NEGATIVE NEWS - APPROACHES .pptx
COMMUNICATING NEGATIVE NEWS - APPROACHES .pptxCOMMUNICATING NEGATIVE NEWS - APPROACHES .pptx
COMMUNICATING NEGATIVE NEWS - APPROACHES .pptx
 
On_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptx
On_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptxOn_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptx
On_Translating_a_Tamil_Poem_by_A_K_Ramanujan.pptx
 
Unit 3 Emotional Intelligence and Spiritual Intelligence.pdf
Unit 3 Emotional Intelligence and Spiritual Intelligence.pdfUnit 3 Emotional Intelligence and Spiritual Intelligence.pdf
Unit 3 Emotional Intelligence and Spiritual Intelligence.pdf
 
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptx
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptxGoogle Gemini An AI Revolution in Education.pptx
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptx
 
Application orientated numerical on hev.ppt
Application orientated numerical on hev.pptApplication orientated numerical on hev.ppt
Application orientated numerical on hev.ppt
 
How to Create and Manage Wizard in Odoo 17
How to Create and Manage Wizard in Odoo 17How to Create and Manage Wizard in Odoo 17
How to Create and Manage Wizard in Odoo 17
 
Sensory_Experience_and_Emotional_Resonance_in_Gabriel_Okaras_The_Piano_and_Th...
Sensory_Experience_and_Emotional_Resonance_in_Gabriel_Okaras_The_Piano_and_Th...Sensory_Experience_and_Emotional_Resonance_in_Gabriel_Okaras_The_Piano_and_Th...
Sensory_Experience_and_Emotional_Resonance_in_Gabriel_Okaras_The_Piano_and_Th...
 
Exploring_the_Narrative_Style_of_Amitav_Ghoshs_Gun_Island.pptx
Exploring_the_Narrative_Style_of_Amitav_Ghoshs_Gun_Island.pptxExploring_the_Narrative_Style_of_Amitav_Ghoshs_Gun_Island.pptx
Exploring_the_Narrative_Style_of_Amitav_Ghoshs_Gun_Island.pptx
 
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...
 
How to Give a Domain for a Field in Odoo 17
How to Give a Domain for a Field in Odoo 17How to Give a Domain for a Field in Odoo 17
How to Give a Domain for a Field in Odoo 17
 
FSB Advising Checklist - Orientation 2024
FSB Advising Checklist - Orientation 2024FSB Advising Checklist - Orientation 2024
FSB Advising Checklist - Orientation 2024
 
Plant propagation: Sexual and Asexual propapagation.pptx
Plant propagation: Sexual and Asexual propapagation.pptxPlant propagation: Sexual and Asexual propapagation.pptx
Plant propagation: Sexual and Asexual propapagation.pptx
 

Somo la 24

  • 1. Somo la 24 Kiingereza: Present Perfect Tense – Passive Voice. Tamka: (Prezenti Pafekti Tensi - Pasivu Voisi). Kiswahili: Wakati uliopo timilifu – Katika hali ya kutendewa. Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:- (1). Ugali umeliwa na wao. (2). Mimi nimepelekwa shuleni. (3). Musa na Jeneth wameuawa. Katika Kiingereza:- S ni Have/Has. T - huwa katika “Past Participle” kama ifuatavyo:- - Kula – huwa eaten (tamka - iteni). - Peleka- huwa sent (tamka - senti). - Ua – huwa killed (tamka- kildi). Kifupi cha “Past Participle” ni (PP). (1). Kanuni ya sentensi ya Kiingereza fasaha ya wakati uliopo timilifu katika hali ya kutendewa, yaani sentensi ya “Present Perfect Tense – Passive Voice” ni:- {N(mtw) + S+ BEEN+ T(PP)+BY+N(mtj)}. (1).(a). Ugali umeliwa na wao. Kiingereza: Ugali has been eaten by them. Kanuni: N(mtw) +S +BEEN+T(PP) +BY+ N(mtj) Tamka: (Ugali haz bini iteni bai dhem). (1).(b). Mimi nimepelekwa shuleni. Kiingereza: I have been sent to school. Kanuni: N(mtw)+ S +BEEN+T(PP) Tamka: (Ai havu bini senti tu skul). (1).(c). Musa na Jeneth wameuawa Kiingereza: Musa and Jeneth have been killed. Kanuni: N(mtw) + S +BEEN+T(PP). Tamka: (Musa endi Jenet hevu bin kildi). (1). Mimi nime Sisi tume - I have - We have N + S N + S Wewe ume Nyinyi mme - You have - You have N + S N + S Yeye ame Wao wame -He has -They have N+ S N + S - She has N + S -It has N + S
  • 2. (2). Kanuni ya kuuliza swali la Kiingereza fasaha la wakati uliopo timilifu katika hali ya kutendewa, yaani swali la “Present Perfect Tense – Passive Voice” ni:- {S+N(mtw)+BEEN+T(PP)+BY+N(mtj)}? (2).(a).(i). Je, Ugali umeliwa na wao? Kiingereza: Has ugali been eaten by them? Kanuni: S + N(mtw)+BEEN + (TPP) +BY+ N(mtj) Tamka: (Haz ugali bin iteni bai dhem)? (2).(a).(ii). Ndiyo, ugali umeliwa na wao. Kiingereza: Yes, ugali has been eaten by them. Kanuni: YES+N(mtw)+ S + BEEN + T(PP)+BY +N(mtj) Tamka: (Yesi, ugali hezi bin iteni bai dhem). (2).(a).(iii). Hapana, ugali haujaliwa na wao. Kiingereza: No, ugali has not been eaten by them. Kununi: NO + N(mtw)+HAS + NOT +BEEN+ T(PP) +BY + N(mtj) Tamka: (No, ugali haz noti bin iteni bai dhem). (2).(a).(iv). Hapana, ugali haujaliwa na wao. Kiingereza: No, ugali hasn’t been eaten by them. Kanuni: NO+ N(mtw) +HASN’T+BEEN+ T(PP) +BY+N(mtj) Tamka: (No, ugali hezinti bin iteni bai dhem). (2).(b).(i). Je, wewe umepelekwa shuleni? Kiingereza: Have you been sent to school? Kanuni: S + N(mtw) +BEEN+T(PP) Tamka: (Havu you bini senti tu skul)? (2).(b).(ii). Ndiyo, mimi nimepelekwa shuleni. Kiingereza: Yes, I Have been sent to school. Kanuni: YES + N(mtw) + S + BEEN + T(PP) Tamka: (Yesi, Ai havu bini senti tu skul). (2).(b).(iii). Hapana, mimi sijapelekwa shuleni. Kiingereza: No, I Have not been sent to school. Kanuni: NO+ N(mtw)+ S + NOT+BEEN + T(PP) Tamka: (No, Ai havu noti bini senti tu skul). (2).(b).(iv). Hapana, mimi sijapelekwa shuleni. Kiingereza: No, I Haven’t been sent to school. Kanuni: NO+ N(mtw) + HAVEN’T+BEEN+T(PP) Tamka: (No, Ai havunti bini senti tu skul). (2).
  • 3. (2).(c).(i). Je, Musa na Jenet wameuawa? Kiingereza: Have Musa and Jenet been killed? Kanuni: S + N(mtw) +BEEN +T(PP). Tamka: (Hevu Musa endi Jeneth bin kildi)? (2).(c).(ii). Ndiyo, wao wameuawa. Kiingereza: Yes, they have been killed. Kanuni: YES + N(mtw) + S + BEEN+T(PP) Tamka: (Yesi, Dhei havu bin kildi). (2).(c).(iii).Hapana, wao hawajauawa. Kiingereza: No, they have not been killed. Kanuni: NO + N(mtw)+ S + NOT + BEEN+ T(PP) Tamka: (No, dhei havu noti bin kildi). (2).(c).(iv). Hapana, wao hawajauawa. Kiingereza: No, they haven’t been killed. Kanuni: NO +N(mtw) + HAVEN’T+BEEN+ T(PP) Tamka: (No, dhei heventi bin kildi). (3).
  • 4. ZOEZI LA 24. Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:- Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):- Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:- (1).(i). Kiswahili: barua imeandikwa na Kimbute. Kiingereza: __________ _____ _______ _________ ____ ______________. Kanuni: N(mtw) + S + BEEN + T(PP) + BY + N(mtj) - N(mtw) - A letter, tamka (e leta) – barua. - S – has, tamka (hezi). - T(PP) – written, tamka (riteni) – andika. - N(mtj) – Kimbute. (1).(ii). Kiswahili: Je, barua imeandikwa na Kimbute? Kiingereza: ______ _________ _______ _________ _____ __________? Kanuni: S + N(mtw) + BEEN + T(PP) + BY + N(mtj) - S – Has, tamka (hezi). - N(mtw) - a letter, tamka (e leta) – barua. - T(PP) - written, tamka (riteni) – andika. - N(mtj) - Kimbute. (1).(iii). Kiswahili: Ndiyo, barua imeandikwa na Kimbute. Kiingereza: _____ ________ _____ _______ ________ ____ _________. Kanuni: YES + N(mtw)+ S + BEEN + T(PP) + BY + N(mtj) - Yes, tamka (yesi) – Ndiyo. - N(mtw) - a letter, tamka (e leta) – barua. - S – has, tamka (hazi). - T(PP) - written, tamka (riteni) – andika. - N(mtj) – Kimbute. (1).(iv). Kiswahili: Hapana, barua haijaandikwa na Kimbute. Kiingereza: ____ _________ ____ _____ ______ _______ ____ ________. Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT+BEEN + T(PP) + BY + N(mtj)}. - No, tamka (no) – Hapana. - N(mtw) - a letter, tamka (e leta) – barua. - S – has (hazi). - T(PP) - written, tamka (riteni) – andika. - N(mtj) – Kimbute. (1).(v). Kiswahili: Hapana, Barua haijaandikwa na Kimbute. Kiingereza: _____ ________ ________ ______ ________ ____ __________. Kanuni: NO + N(mtw) + HASN’T+ BEEN+ T(PP) + BY + N(mtj) - No, tamka (no) – Hapana. - N(mtw) - a letter, tamka (e leta) – barua. - T(PP) - written, tamka (riteni) – andika. - N(mtj) – Kimbute. (4).
  • 5. (2).(i). Kiswahili: Wao wamepigwa na Kimbute. Kiingereza: ________ _____ ______ ________ ___ ____________ Kanuni: N(mtw) + S + BEEN+ T(PP) + BY+ N(mtj) - N(mtw) –They, tamka (dhei) – Wao. - S – have, tamka (hevu). - T(PP) – beaten, tamka (biteni) –piga. - N(mtj) – Kimbute. (2).(ii). Kiswahili: Je, wao wamepigwa na Kimbute? Kiingereza: _____ _______ ______ ________ ____ ____________? Kanuni: S + N(mtw)+ BEEN+ T(PP) + BY + N(mtj) - S – Have, tamka (hevu). - N(mtw) – they, tamka (dhei) –wao. - T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga. - N(mtj) – Kimbute. (2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, wao wamepigwa na Kimbute. Kiingereza: _____ ________ _____ _______ _______ ____ ___________ Kanuni: YES+ N(mtw) + S + BEEN + T(PP) + BY + N(mtj) - Yes, tamka (yesi) – Ndiyo. - N(mtw) – they, tamka (dhei) – wao. - S – have, tamka (hevu). - T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga. - N(mtj) – Kimbute. (2).(iv). Kiswahili: Hapana, wao hawajapigwa na Kimbute. Kiingereza: ____ ________ _____ _____ _____ _______ ____ _________ Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT+ BEEN + T(PP) + BY+ N(mtj) - No, tamka (no) - Hapana. - N(mtw) – They, tamka (dhei) - wao. - S – have, tamka (hevu). - T(PP) – beaten, tamka (biteni) - piga. - N(mtj) – Kimbute. (2).(v). Kiswahili: Hapana, wao hawajapigwa na Kimbute. Kiingereza: ____ _______ _________ ______ _______ ____ __________. Kanuni: NO + N(mtw)+HAVEN’T + BEEN + T(PP) + BY + N(mtj) - No, tamka (no) – Hapana. - N(mtw) –they, tamka (dhei) – wao. - T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga. - N(mtj) – Kimbute. (5).
  • 6. (3).(i). Kiswahili: Jackline amepelekwa St. Mary. Kiingereza: __________________ ____ _____ _____ to __________. Kanuni: N(mtw) + S +BEEN +T(PP) - N(mtw) – Jackline. -S – has, tamka (hezi). - T(PP) – sent, tamka (senti) – peleka. (3).(ii). Kiswahili: Je, Jackline amepelekwa St. Mary? Kiingereza: ____ _________________ _______ ______ to __________? Kanuni: S + N(mtw) + BEEN + T(PP) - S – Has, tamka (hezi). - N(mtw) – Jackline . - T(PP) – sent, tamka (senti) – peleka. (3).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Jackline amepelekwa St. Mary. Kiingereza: ____ ________________ ____ _____ _____ to _________. Kanuni: YES + N(mtw) + S + BEEN+T(PP) - Yes, tamka (yes) – Ndiyo. - N(mtw) – Jackline. - S – has, tamka (hez). - T(PP) – sent, tamka (senti) – peleka. (3).(iv). Kiswahili: Hapana, Jackline hajapelekwa St. Mary. Kiingereza: ____ ____________ ____ _____ ______ _____ to __________. Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT + BEEN +T(PP) - No, tamka (no) – Hapana. - N(mtw) – Jackline. - S – has, tamka (hezi). - T(PP) – sent, tamka (senti) – peleka. (3).(v).Kiswahili: Hapana, Jackline hajapelekwa St. Mary. Kiingereza: ____ _____________ _______ ______ ______ to _______. Kanuni: NO+ N(mtw) + HASN’T+BEEN + T(PP) -No, tamka (no) – Hapana. -N(mtw) – Jackline. -T(PP) – sent, tamka (senti) – peleka. Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69. (Mwisho wa somo) (6).