SlideShare a Scribd company logo
1 of 7
Download to read offline
Somo la 6
Kiingereza: Simple Present Tense – Active Voice.
Tamka: (Simpo Prezenti Tensi - Aktivu Voisi).
Kiswahili: Wakati uliopo uliorahisi – Katika hali ya kutenda.
- Wakati wa mara kwa mara – Katika hali ya kutenda.
Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:-
(1).Mimi huzungumza Kiingereza kila siku.
N + T
Sentensi hii ya juu ina maana sawa na sentensi ifuatayo:-
- Mimi huwa nina zungumza Kiingereza kila siku.
(2). Yeye “mwanaume” huzungumza Kiingereza kilasiku.
N + T
Sentensi hii ya juu ina maana sawa na sentensi ifuatayo:-
- Yeye “mwanaume” huwa ana zungumza Kiingereza kila siku.
(3). Wao” hula ugali.
N + T
Sentensi hii ya juu ina maana sawa na sentensi ifuatayo:-
- Wao huwa wana kula ugali.
(4).Sisi huenda shuleni kila siku.
N + T
Sentensi hii ya juu ina maana sawa na sentensi ifuatayo:-
- Sisi huwa tuna enda shuleni kila siku.
(5). Musa huenda shuleni kila siku.
N + T
Sentensi hii ya juu ina maana sawa na sentensi ifuatayo:-
- Musa huwa ana enda shuleni kila siku.
Katika Kiingereza:-
S – Hakuna katika sentensi za kawaida na zile za ndiyo.
T - huwa katika “Base form” (BF), isipokuwa katika he, she na it au katika jina la mtu,
mnyama, mmea, au kitu tendo huongezwa ‘s’, ‘es‟ au ’ies’ kwa mbele yake, yaani
kama tendo ni (cheza)-play huwa plays, kama tendo ni (kwenda)-go huwa goes, na
kama tendo ni (lia)-cry huwa cries. Soma mifano ifuatayo:-
(a). Kwa I , we, you, you na they, ‘cheza‟ huwa – play, tamka – (plei)
- Kwa he, she, it, jina la mtu, kitu nk, ‘cheza‟ huwa – plays, tamka – (pleizi).
(b).Kwa I , we, you, you na they, ‘kwenda‟ huwa – go, tamka – (go)
- Kwa he, she, it, jina la mtu, kitu nk, ‘kwenda‟ huwa – goes, tamka – (gozi).
(c). Kwa I , we, you, you na they, ‘lia‟ huwa – cry, tamka – (krai)
- Kwa he, she, it, jina la mtu, kitu nk, ‘lia‟ huwa – cries, tamka – (kraizi).
(1).
1.(a).Kanuni ya sentensi fasaha za Kiingereza za Simple Present Tense – Active Voice
kwa nafsi ya kwanza yote, ya pili yote na ya tatu uwingi tu ni : N + T(BF).
1.(b).Kanuni ya sentensi fasaha za Kiingereza za Simple Present Tense – Active Voice
kwa nafsi ya tatu umoja tu ni : N + T(s),T(es) au T(ies).
Soma mifano ifuatayo kwa makini :-
(1). -Mimi hucheza mpira wa miguu kila siku.
- Mimi huwa nina cheza mpira wa miguu kila siku.
Kiingereza: I play football everyday.
Kanuni: N+ T(BF).
Tamka: (Ai plei futbol everidei).
(Katika sentensi hii hapa juu tendo lipo katika „BF‟ kwasababu muhusika hayupo ndani
ya nafsi ya tatu umoja).
(2). - Yeye “mwanaume” huenda shuleni kila asubuhi.
- Yeye “mwanaume” huwa ana enda shuleni kila asubuhi.
Kiingereza: He goes to school every morning.
Kanuni: N + T(es).
Tamka: (Hi gozi tu skul everi moning).
(Katika sentensi hii hapa juu go imeongezwa „es’ na kuwa goes kwasababu muhusika
yupo ndani ya nafsi ya tatu umoja).
(3). - Musa hulia mara kadhaa ndani ya wiki.
- Musa huwa analia mara kadhaa ndani ya wiki.
Kiingereza: Musa cries several times in a week.
Kanuni: N + T(ies).
Tamka: (Musa kraizi severo taimsi ini e wiki).
(Katika sentensi hii hapa juu cry imeongezwa „ies’ na kuwa cries kwasababu muhusika
yupo ndani ya nafsi ya tatu umoja).
Kuna baadhi ya matendo kama vile hitaji-need (nidi), taka-want (wanti) na penda-like (laiki)
hayana sentensi za moja kwa moja za „Present Contionous Tense Active Voice’, kwa sababu
haipendezi kutamka needing, wanting, au liking, hivyobasi sentensi zake za need, want na
like za „Simple Present Tense – Active Voice ndizo zinastahili kutumika pia kwa maana na
tafsiri ya ‘Present Continous Tense – Active Voice’.
Isipokuwa magazeti mengi ya Kiingereza hapa Tanzania na waandishi wengi wa vitabu vya
Kiingereza hutumia sana „Simple Present Tense – Active Voice’ kwa maana na tafsiri ya
„Present Continuous Tense – Active Voice’ hata nje ya matendo haya ya need, want na like,
kwa kweli wanafanya makosa makubwa sana, kabla ya kutoka rasmi kitabu changu cha ajabu
cha „Wonders of Ras Simba’ nitaitisha mkutano maalum wa kulijadili tatizo hili. Mimi
napendekeza matumizi ya „Simple Present Tense – Active Voice’ kwa maana na tafsiri ya
„Present Continous Tense – Active voice’ yatumike kwa matendo ya need, want na like tu
kama ionekanavyo katika sentensi za mifano zifuatazo:-
(1).Ikiwa nahitaji kukuona sasa au nahitaji kukuona kila siku, sentensi yake huwa ni
moja tu yaani, I need to see you every day na I need to see you now, siyo sahihi
kusema I am needing to see you now kwa tafsiri ya kuhitaji kukuona sasa.
(2).
(2). Ikiwa yeye „mwanamke‟ anahitaji kukuona sasa au anahitaji kukuona kila siku,
sentensi yake huwa ni moja tu yaani, she needs to see you now na she needs to
see you every day, siyo sahihi kusema she is needing to see you now kwa tafsiri ya
anahitaji kukuona sasa.
(3). Ikiwa wao wanataka maji sasa hivi au wanataka maji kila siku, sentensi yake huwa
ni moja tu yaani, they want some water everyday na they want some water now,
siyo sahihi kusema they are wanting some water now kwa tafsiri ya wao kutaka maji
sasa hivi.
(4). Ikiwa Musa anataka maji sasa hivi au anataka maji kila siku, sentensi yake huwa
ni moja tu yaani, Musa wants some water everyday na Musa wants some water
now, siyo sahihi kusema Musa is wanting some water now, kwa tafsiri ya Musa
anataka maji sasa.
Ndugu msomaji suala lingine la kuzingatia katika sentensi hizi za Simple Present
Tense – Active ni kwamba, si lazima useme wao huenda shuleni kila siku au kila
asubuhi, ukisema tu wao huenda shuleni au wao huwa wanaenda shuleni tayari
inamaanisha kwamba ni mara kwa mara au ni mazoea yao kwenda shuleni. Hakuna
ulazima wa kusema kila siku au kila juma n.k.
2.Kanuni ya kuuliza maswali ya sentensi za huwa nina, huwa tuna, huwa una,
huwa mna, na huwa wana katika hali ya kutenda, yaani maswali ya
Simple Present tense – Active voice ni: S+N+T(BF)?
- Katika kuuliza maswali haya saidizi zipo ambazo ni Do na Does, na hutumika kama
ionekanavyo hapo chini katika jedwali la nafsi :-
Nafsi Umoja Uwingi
1 Do I...............? Do we ...................?
2 Do you .........? Do you ..................?
3 Does he.......... .?
Does Musa ......?
Does She ........?
Does Aisha ......?
Does it .............?
Does a goat .....?
Do they ................?
(1).(i). Je, wewe huzungumza Kiingereza kila siku?
- Je wewe huwa una zungumza Kiingereza kila siku?
Kiingereza: Do you speak English everyday?
Kanuni: S + N + T(BF)
Tamka: (Du yu spik Inglish everidei)?
(1).(ii). Ndiyo, mimi huzungumza Kiingereza kila siku.
- Ndiyo, mimi huwa nina zungumza Kingerereza Kila siku
Kiingereza: Yes, I speak English everyday.
Kanuni: YES+ N + T(BF).
Tamka: (Yesi, Ai spik Inglish everidei).
(3).
(1).(iii). Hapana, mimi huwa sizungumzi Kiingereza kila siku
Kiingereza: No, I do not speak English everyday.
Kanuni: NO + N + S +NOT +T(BF).
Tamka: (No, Ai do noti spik Inglish everidei).
(1).(iv). Hapana, mimi huwa sizungumzi Kiingereza kila siku.
Kiingereza: No, I don‟t speak English everyday.
Kanuni: NO + N + DON’T +T(BF).
Tamka: (No, Ai donti spik Inglish everidei).
(2).(i) Je, Yeye “mwanaume” huzungumza Kiingereza kila siku?
- Je, Yeye “mwanaume” huwa ana zungumza Kiingereza kila siku?
Kiingereza: Does he speak English everyday?
Kanuni: S + N + T(BF).
Tamka: (Dazi hi spik Inglish everidei)?
(Katika swali hili hapo juu hatujaweka „s’ katika tendo kwa sababu „s’ yake tayari
imemezwa na „s’ iliyopo katika Does, ambayo imetumika kama saidizi ya swali).
(2).(ii). Ndiyo, Yeye “mwanaume” huzungumza Kiingereza kila siku.
- Ndiyo, yeye “mwanaume” huwa ana zungumza Kiingereza Kila siku.
Kiingereza: Yes, he speaks English everyday.
Kanuni: YES + N + T(s).
Tamka: (Yesi, hi spiksi Inglish everidei).
(Katika sentensi hii hapa juu speak imeongezwa „s’ na kuwa speaks kwasababu
muhusika yupo ndani ya nafsi ya tatu umoja).
(2).(iii). Hapana, yeye “mwanaume” huwa hazungumzi Kiingereza kila siku.
Kiingereza: No, he does not speak English everyday.
Kanuni: NO+N+ S +NOT+T(BF).
Tamka: (No, hi dazi noti spik Inglish everidei).
(Katika jibu la hapana hapo juu hatujaweka „s’ katika tendo kwa sababu „s’ yake
tayari imemezwa na „s’ iliyopo katika Does not ).
(2).(iv). Hapana, yeye “mwanaume” huwa hazungumzi Kiingereza kila siku.
Kiingereza: No, he doesn‟t speak English everyday.
Kanuni: NO+N + DOESN’T+ T(BF).
Tamka: (No, hi dazinti spik Inglish everidei).
(Katika jibu la hapana hapo juu hatujaweka „s’ katika tendo kwa sababu „s’ yake
tayari imemezwa na „s’ iliyopo katika Doesn‟t ).
(4).
ZOEZI LA 6.
Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:-
Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):-
Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:-
(1).(i). Kiswahili: Kimbute huenda Dubai kila wiki.
- Kimbute huwa ana enda Dubai kila wiki.
Kiingereza: __________ _______ to _________ _______ _________
Kanuni : N + T(es)
- N - Kimbute.
- T(es) – goes, tamka (gozi) - enda/kwenda.
- Every week, tamka (everi wiki) – kila wiki.
(1).(ii). Kiswahili: Je, Kimbute huenda Dubai kila wiki ?
- Je, Kimbute huwa ana enda Dubai kila wiki.?
Kiingereza:_____ _________ ______ ____ _______ ________ _________?
Kanuni: S + N + T(BF)
-S – Does, tamka (dazi).
-N – Kimbute.
-T(BF) – go, tamka (go) - enda/kwenda.
-Every week, tamka (everi wiki) – kila wiki.
(1).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Kimbute huenda Dubai kila wiki.
- Ndiyo, Kimbute huwa ana enda Dubai kila wiki.
Kiingereza: ______ ________ ______ ____ _________ _______ ________.
Kanuni: YES + N + T(es)
-Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
-N - Kimbute.
- T(es) – goes, tamka (gozi) - enda/kwenda.
-Every week, tamka (everi wiki) – kila wiki.
(1).(iv). Kiswahili: Hapana, Kimbute huwa haendi Dubai kila wiki.
Kiingereza: ____ _________ _______ _____ _____ to _______ _____ ______.
Kanuni: NO+ N + S + NOT+T(BF)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N - Kimbute.
-S – does, tamka (dazi).
-T(BF) – go, tamka (go) - enda/kwenda.
-Every week, tamka (everi wiki) – kila wiki.
(1).(v). Kiswahili: Hapana, Kimbute huwa haendi Dubai kila wiki.
Kiingereza:____ ___________ _________ ______ to _______ _____ _______.
Kanuni: NO+ N + DOESN’T+T(BF)
-No, tamka (no) – Hapana.
- N - Kimbute.
- T(BF) – go, tamka (go) - (enda/kwenda).
- Every week, tamka (everi wiki) – kila wiki.
(5).
(2).(i). Kiswahili: Wao husambaza bidhaa kilasiku.
-Wao huwa wana sambaza bidhaa kilasiku
Kiingereza: _____ ______________ ____________ ________________.
Kanuni: N + T(BF)
- N – They, tamka (dhei).
-T(BF) – distribute, tamka (distribyuti) - sambaza.
- Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa.
- Everyday, tamka (everidei) – kila siku
(2).(ii). Kiswahili: Je, Wao husambaza bidhaa kilasiku?
- Je, Wao huwa wana sambaza bidhaa kilasiku?
Kiingereza: ____ _______ ________________ ____________ __________?
Kanuni: S + N + T(BF)
- S – Do, tamka (du).
- N – They, tamka (dhei).
-T(BF) – distribute, tamka (distribyuti) - sambaza.
- Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa.
- Everyday, tamka (everidei) – kila siku.
(2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Wao husambaza bidhaa kilasiku.
- Ndiyo, Wao huwa wana sambaza bidhaa kilasiku
Kiingereza: _____ ______ ____________ ____________ _____________.
Kanuni: YES + N + T(BF)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N – They, tamka (dhei).
- T(BF) – distribute, tamka (distribyuti) - sambaza.
- Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa.
- Everyday, tamka (everidei) – kilasiku.
(2).(iv). Kiswahili: Hapana, Wao huwa hawasambazi bidhaa kilasiku.
Kiingereza: ___ ____ ____ ___ ____________ _________ ___________.
Kanuni: NO+ N + S + NOT+ T(BF)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N – They, tamka (dhei).
- S – Do, tamka (do).
- T(BF) – distribute, tamka (distribyuti) - sambaza.
- Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa.
-Everyday, tamka (everidei) – kilasiku.
(2).(v). Kiswahili: Hapana, Wao huwa hawasambazi bidhaa kilasiku.
Kiingereza: _____ _____ _____ ___________ __________ ___________
Kanuni: NO + N +DON’T+ T(BF)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N - They, tamka (dhei).
-T(BF) – distribute, tamka (distribyuti) - sambaza.
- Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa.
- Everyday, tamka (everidei) – kilasiku.
(6).
(3).(i). Kiswahili: Mimi hufungua duka kila asubuhi.
- Mimi huwa nina fungua duka kila asubuhi.
Kiingereza: ____ ________ ___ ______ ________ ________________.
Kanuni: N + T(BF).
- N – I, tamka (ai).
- T(BF) – open, tamka (open) - fungua.
- A shop, tamka (e shopu) – duka.
- Every morning, tamka (everimoning) – kila asubuhi.
(3).(ii). Kiswahili: Je, wewe hufungua duka kila asubuhi?
- Je, wewe huwa una fungua duka kila asubuhi?
Kiingereza: ___ _____ ________ ___ ______ ________ ______________ ?
Kanuni: S + N + T(BF)
- S – Do, tamka (du).
- N – You, tamka (yu) - wewe.
- T(BF) – open, tamka (open) - fungua.
- A shop, tamka (e shopu) – duka.
- Every morning, tamka (everimoning) – kila asubuhi.
(3).(iii). Kiswahili: Ndiyo, mimi hufungua duka kila asubuhi.
- Ndiyo, mimi huwa ninafungua duka kila asubuhi.
Kiingereza: _____ ____ ________ ___ ________ ________ ______________.
Kanuni: YES + N + T(BF)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N – I, tamka (ai) – mimi.
- T(BF) – open, tamka (open) - fungua.
- A shop, tamka (e shopu) – duka.
- Every morning, tamka (everimoning) – kila asubuhi.
(3).(iv). Kiswahili: Hapana, mimi huwa sifungui duka kila asubuhi.
Kiingereza: ____ ____ ____ ____ _______ ____ _____ ______ __________
Kanuni: NO + N + S + NOT+ T(BF)
- No, tamka (no) - Hapana.
- N – I, tamka (ai)
- S – Do, tamka (du).
- T(BF) - open, tamka (open) - fungua.
- A shop, tamka (e shopu) – duka.
- Every morning, tamka (everimoning) – kila asubuhi.
(3).(v).Kiswahili: Hapana, mimi huwa sifungui duka kila asubuhi.
Kiingereza: ____ ____ ______ ______ ___ ______ ________ ___________
Kanuni: NO + N + DON’T+ T(BF
- No, tamka (no) - Hapana.
- N – I, tamka (ai)
- T(BF) – open, tamka (open) - fungua.
- A shop, tamka (e shopu) – duka.
- Every morning, tamka (everimoning) – kila asubuhi.
(Mwisho wa somo).
(7).

Somo la 6

  • 1. Somo la 6 Kiingereza: Simple Present Tense – Active Voice. Tamka: (Simpo Prezenti Tensi - Aktivu Voisi). Kiswahili: Wakati uliopo uliorahisi – Katika hali ya kutenda. - Wakati wa mara kwa mara – Katika hali ya kutenda. Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:- (1).Mimi huzungumza Kiingereza kila siku. N + T Sentensi hii ya juu ina maana sawa na sentensi ifuatayo:- - Mimi huwa nina zungumza Kiingereza kila siku. (2). Yeye “mwanaume” huzungumza Kiingereza kilasiku. N + T Sentensi hii ya juu ina maana sawa na sentensi ifuatayo:- - Yeye “mwanaume” huwa ana zungumza Kiingereza kila siku. (3). Wao” hula ugali. N + T Sentensi hii ya juu ina maana sawa na sentensi ifuatayo:- - Wao huwa wana kula ugali. (4).Sisi huenda shuleni kila siku. N + T Sentensi hii ya juu ina maana sawa na sentensi ifuatayo:- - Sisi huwa tuna enda shuleni kila siku. (5). Musa huenda shuleni kila siku. N + T Sentensi hii ya juu ina maana sawa na sentensi ifuatayo:- - Musa huwa ana enda shuleni kila siku. Katika Kiingereza:- S – Hakuna katika sentensi za kawaida na zile za ndiyo. T - huwa katika “Base form” (BF), isipokuwa katika he, she na it au katika jina la mtu, mnyama, mmea, au kitu tendo huongezwa ‘s’, ‘es‟ au ’ies’ kwa mbele yake, yaani kama tendo ni (cheza)-play huwa plays, kama tendo ni (kwenda)-go huwa goes, na kama tendo ni (lia)-cry huwa cries. Soma mifano ifuatayo:- (a). Kwa I , we, you, you na they, ‘cheza‟ huwa – play, tamka – (plei) - Kwa he, she, it, jina la mtu, kitu nk, ‘cheza‟ huwa – plays, tamka – (pleizi). (b).Kwa I , we, you, you na they, ‘kwenda‟ huwa – go, tamka – (go) - Kwa he, she, it, jina la mtu, kitu nk, ‘kwenda‟ huwa – goes, tamka – (gozi). (c). Kwa I , we, you, you na they, ‘lia‟ huwa – cry, tamka – (krai) - Kwa he, she, it, jina la mtu, kitu nk, ‘lia‟ huwa – cries, tamka – (kraizi). (1).
  • 2. 1.(a).Kanuni ya sentensi fasaha za Kiingereza za Simple Present Tense – Active Voice kwa nafsi ya kwanza yote, ya pili yote na ya tatu uwingi tu ni : N + T(BF). 1.(b).Kanuni ya sentensi fasaha za Kiingereza za Simple Present Tense – Active Voice kwa nafsi ya tatu umoja tu ni : N + T(s),T(es) au T(ies). Soma mifano ifuatayo kwa makini :- (1). -Mimi hucheza mpira wa miguu kila siku. - Mimi huwa nina cheza mpira wa miguu kila siku. Kiingereza: I play football everyday. Kanuni: N+ T(BF). Tamka: (Ai plei futbol everidei). (Katika sentensi hii hapa juu tendo lipo katika „BF‟ kwasababu muhusika hayupo ndani ya nafsi ya tatu umoja). (2). - Yeye “mwanaume” huenda shuleni kila asubuhi. - Yeye “mwanaume” huwa ana enda shuleni kila asubuhi. Kiingereza: He goes to school every morning. Kanuni: N + T(es). Tamka: (Hi gozi tu skul everi moning). (Katika sentensi hii hapa juu go imeongezwa „es’ na kuwa goes kwasababu muhusika yupo ndani ya nafsi ya tatu umoja). (3). - Musa hulia mara kadhaa ndani ya wiki. - Musa huwa analia mara kadhaa ndani ya wiki. Kiingereza: Musa cries several times in a week. Kanuni: N + T(ies). Tamka: (Musa kraizi severo taimsi ini e wiki). (Katika sentensi hii hapa juu cry imeongezwa „ies’ na kuwa cries kwasababu muhusika yupo ndani ya nafsi ya tatu umoja). Kuna baadhi ya matendo kama vile hitaji-need (nidi), taka-want (wanti) na penda-like (laiki) hayana sentensi za moja kwa moja za „Present Contionous Tense Active Voice’, kwa sababu haipendezi kutamka needing, wanting, au liking, hivyobasi sentensi zake za need, want na like za „Simple Present Tense – Active Voice ndizo zinastahili kutumika pia kwa maana na tafsiri ya ‘Present Continous Tense – Active Voice’. Isipokuwa magazeti mengi ya Kiingereza hapa Tanzania na waandishi wengi wa vitabu vya Kiingereza hutumia sana „Simple Present Tense – Active Voice’ kwa maana na tafsiri ya „Present Continuous Tense – Active Voice’ hata nje ya matendo haya ya need, want na like, kwa kweli wanafanya makosa makubwa sana, kabla ya kutoka rasmi kitabu changu cha ajabu cha „Wonders of Ras Simba’ nitaitisha mkutano maalum wa kulijadili tatizo hili. Mimi napendekeza matumizi ya „Simple Present Tense – Active Voice’ kwa maana na tafsiri ya „Present Continous Tense – Active voice’ yatumike kwa matendo ya need, want na like tu kama ionekanavyo katika sentensi za mifano zifuatazo:- (1).Ikiwa nahitaji kukuona sasa au nahitaji kukuona kila siku, sentensi yake huwa ni moja tu yaani, I need to see you every day na I need to see you now, siyo sahihi kusema I am needing to see you now kwa tafsiri ya kuhitaji kukuona sasa. (2).
  • 3. (2). Ikiwa yeye „mwanamke‟ anahitaji kukuona sasa au anahitaji kukuona kila siku, sentensi yake huwa ni moja tu yaani, she needs to see you now na she needs to see you every day, siyo sahihi kusema she is needing to see you now kwa tafsiri ya anahitaji kukuona sasa. (3). Ikiwa wao wanataka maji sasa hivi au wanataka maji kila siku, sentensi yake huwa ni moja tu yaani, they want some water everyday na they want some water now, siyo sahihi kusema they are wanting some water now kwa tafsiri ya wao kutaka maji sasa hivi. (4). Ikiwa Musa anataka maji sasa hivi au anataka maji kila siku, sentensi yake huwa ni moja tu yaani, Musa wants some water everyday na Musa wants some water now, siyo sahihi kusema Musa is wanting some water now, kwa tafsiri ya Musa anataka maji sasa. Ndugu msomaji suala lingine la kuzingatia katika sentensi hizi za Simple Present Tense – Active ni kwamba, si lazima useme wao huenda shuleni kila siku au kila asubuhi, ukisema tu wao huenda shuleni au wao huwa wanaenda shuleni tayari inamaanisha kwamba ni mara kwa mara au ni mazoea yao kwenda shuleni. Hakuna ulazima wa kusema kila siku au kila juma n.k. 2.Kanuni ya kuuliza maswali ya sentensi za huwa nina, huwa tuna, huwa una, huwa mna, na huwa wana katika hali ya kutenda, yaani maswali ya Simple Present tense – Active voice ni: S+N+T(BF)? - Katika kuuliza maswali haya saidizi zipo ambazo ni Do na Does, na hutumika kama ionekanavyo hapo chini katika jedwali la nafsi :- Nafsi Umoja Uwingi 1 Do I...............? Do we ...................? 2 Do you .........? Do you ..................? 3 Does he.......... .? Does Musa ......? Does She ........? Does Aisha ......? Does it .............? Does a goat .....? Do they ................? (1).(i). Je, wewe huzungumza Kiingereza kila siku? - Je wewe huwa una zungumza Kiingereza kila siku? Kiingereza: Do you speak English everyday? Kanuni: S + N + T(BF) Tamka: (Du yu spik Inglish everidei)? (1).(ii). Ndiyo, mimi huzungumza Kiingereza kila siku. - Ndiyo, mimi huwa nina zungumza Kingerereza Kila siku Kiingereza: Yes, I speak English everyday. Kanuni: YES+ N + T(BF). Tamka: (Yesi, Ai spik Inglish everidei). (3).
  • 4. (1).(iii). Hapana, mimi huwa sizungumzi Kiingereza kila siku Kiingereza: No, I do not speak English everyday. Kanuni: NO + N + S +NOT +T(BF). Tamka: (No, Ai do noti spik Inglish everidei). (1).(iv). Hapana, mimi huwa sizungumzi Kiingereza kila siku. Kiingereza: No, I don‟t speak English everyday. Kanuni: NO + N + DON’T +T(BF). Tamka: (No, Ai donti spik Inglish everidei). (2).(i) Je, Yeye “mwanaume” huzungumza Kiingereza kila siku? - Je, Yeye “mwanaume” huwa ana zungumza Kiingereza kila siku? Kiingereza: Does he speak English everyday? Kanuni: S + N + T(BF). Tamka: (Dazi hi spik Inglish everidei)? (Katika swali hili hapo juu hatujaweka „s’ katika tendo kwa sababu „s’ yake tayari imemezwa na „s’ iliyopo katika Does, ambayo imetumika kama saidizi ya swali). (2).(ii). Ndiyo, Yeye “mwanaume” huzungumza Kiingereza kila siku. - Ndiyo, yeye “mwanaume” huwa ana zungumza Kiingereza Kila siku. Kiingereza: Yes, he speaks English everyday. Kanuni: YES + N + T(s). Tamka: (Yesi, hi spiksi Inglish everidei). (Katika sentensi hii hapa juu speak imeongezwa „s’ na kuwa speaks kwasababu muhusika yupo ndani ya nafsi ya tatu umoja). (2).(iii). Hapana, yeye “mwanaume” huwa hazungumzi Kiingereza kila siku. Kiingereza: No, he does not speak English everyday. Kanuni: NO+N+ S +NOT+T(BF). Tamka: (No, hi dazi noti spik Inglish everidei). (Katika jibu la hapana hapo juu hatujaweka „s’ katika tendo kwa sababu „s’ yake tayari imemezwa na „s’ iliyopo katika Does not ). (2).(iv). Hapana, yeye “mwanaume” huwa hazungumzi Kiingereza kila siku. Kiingereza: No, he doesn‟t speak English everyday. Kanuni: NO+N + DOESN’T+ T(BF). Tamka: (No, hi dazinti spik Inglish everidei). (Katika jibu la hapana hapo juu hatujaweka „s’ katika tendo kwa sababu „s’ yake tayari imemezwa na „s’ iliyopo katika Doesn‟t ). (4).
  • 5. ZOEZI LA 6. Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:- Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):- Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:- (1).(i). Kiswahili: Kimbute huenda Dubai kila wiki. - Kimbute huwa ana enda Dubai kila wiki. Kiingereza: __________ _______ to _________ _______ _________ Kanuni : N + T(es) - N - Kimbute. - T(es) – goes, tamka (gozi) - enda/kwenda. - Every week, tamka (everi wiki) – kila wiki. (1).(ii). Kiswahili: Je, Kimbute huenda Dubai kila wiki ? - Je, Kimbute huwa ana enda Dubai kila wiki.? Kiingereza:_____ _________ ______ ____ _______ ________ _________? Kanuni: S + N + T(BF) -S – Does, tamka (dazi). -N – Kimbute. -T(BF) – go, tamka (go) - enda/kwenda. -Every week, tamka (everi wiki) – kila wiki. (1).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Kimbute huenda Dubai kila wiki. - Ndiyo, Kimbute huwa ana enda Dubai kila wiki. Kiingereza: ______ ________ ______ ____ _________ _______ ________. Kanuni: YES + N + T(es) -Yes, tamka (yesi) – Ndiyo. -N - Kimbute. - T(es) – goes, tamka (gozi) - enda/kwenda. -Every week, tamka (everi wiki) – kila wiki. (1).(iv). Kiswahili: Hapana, Kimbute huwa haendi Dubai kila wiki. Kiingereza: ____ _________ _______ _____ _____ to _______ _____ ______. Kanuni: NO+ N + S + NOT+T(BF) - No, tamka (no) – Hapana. - N - Kimbute. -S – does, tamka (dazi). -T(BF) – go, tamka (go) - enda/kwenda. -Every week, tamka (everi wiki) – kila wiki. (1).(v). Kiswahili: Hapana, Kimbute huwa haendi Dubai kila wiki. Kiingereza:____ ___________ _________ ______ to _______ _____ _______. Kanuni: NO+ N + DOESN’T+T(BF) -No, tamka (no) – Hapana. - N - Kimbute. - T(BF) – go, tamka (go) - (enda/kwenda). - Every week, tamka (everi wiki) – kila wiki. (5).
  • 6. (2).(i). Kiswahili: Wao husambaza bidhaa kilasiku. -Wao huwa wana sambaza bidhaa kilasiku Kiingereza: _____ ______________ ____________ ________________. Kanuni: N + T(BF) - N – They, tamka (dhei). -T(BF) – distribute, tamka (distribyuti) - sambaza. - Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa. - Everyday, tamka (everidei) – kila siku (2).(ii). Kiswahili: Je, Wao husambaza bidhaa kilasiku? - Je, Wao huwa wana sambaza bidhaa kilasiku? Kiingereza: ____ _______ ________________ ____________ __________? Kanuni: S + N + T(BF) - S – Do, tamka (du). - N – They, tamka (dhei). -T(BF) – distribute, tamka (distribyuti) - sambaza. - Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa. - Everyday, tamka (everidei) – kila siku. (2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Wao husambaza bidhaa kilasiku. - Ndiyo, Wao huwa wana sambaza bidhaa kilasiku Kiingereza: _____ ______ ____________ ____________ _____________. Kanuni: YES + N + T(BF) - Yes, tamka (yesi) – Ndiyo. - N – They, tamka (dhei). - T(BF) – distribute, tamka (distribyuti) - sambaza. - Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa. - Everyday, tamka (everidei) – kilasiku. (2).(iv). Kiswahili: Hapana, Wao huwa hawasambazi bidhaa kilasiku. Kiingereza: ___ ____ ____ ___ ____________ _________ ___________. Kanuni: NO+ N + S + NOT+ T(BF) - No, tamka (no) – Hapana. - N – They, tamka (dhei). - S – Do, tamka (do). - T(BF) – distribute, tamka (distribyuti) - sambaza. - Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa. -Everyday, tamka (everidei) – kilasiku. (2).(v). Kiswahili: Hapana, Wao huwa hawasambazi bidhaa kilasiku. Kiingereza: _____ _____ _____ ___________ __________ ___________ Kanuni: NO + N +DON’T+ T(BF) - No, tamka (no) – Hapana. - N - They, tamka (dhei). -T(BF) – distribute, tamka (distribyuti) - sambaza. - Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa. - Everyday, tamka (everidei) – kilasiku. (6).
  • 7. (3).(i). Kiswahili: Mimi hufungua duka kila asubuhi. - Mimi huwa nina fungua duka kila asubuhi. Kiingereza: ____ ________ ___ ______ ________ ________________. Kanuni: N + T(BF). - N – I, tamka (ai). - T(BF) – open, tamka (open) - fungua. - A shop, tamka (e shopu) – duka. - Every morning, tamka (everimoning) – kila asubuhi. (3).(ii). Kiswahili: Je, wewe hufungua duka kila asubuhi? - Je, wewe huwa una fungua duka kila asubuhi? Kiingereza: ___ _____ ________ ___ ______ ________ ______________ ? Kanuni: S + N + T(BF) - S – Do, tamka (du). - N – You, tamka (yu) - wewe. - T(BF) – open, tamka (open) - fungua. - A shop, tamka (e shopu) – duka. - Every morning, tamka (everimoning) – kila asubuhi. (3).(iii). Kiswahili: Ndiyo, mimi hufungua duka kila asubuhi. - Ndiyo, mimi huwa ninafungua duka kila asubuhi. Kiingereza: _____ ____ ________ ___ ________ ________ ______________. Kanuni: YES + N + T(BF) - Yes, tamka (yesi) – Ndiyo. - N – I, tamka (ai) – mimi. - T(BF) – open, tamka (open) - fungua. - A shop, tamka (e shopu) – duka. - Every morning, tamka (everimoning) – kila asubuhi. (3).(iv). Kiswahili: Hapana, mimi huwa sifungui duka kila asubuhi. Kiingereza: ____ ____ ____ ____ _______ ____ _____ ______ __________ Kanuni: NO + N + S + NOT+ T(BF) - No, tamka (no) - Hapana. - N – I, tamka (ai) - S – Do, tamka (du). - T(BF) - open, tamka (open) - fungua. - A shop, tamka (e shopu) – duka. - Every morning, tamka (everimoning) – kila asubuhi. (3).(v).Kiswahili: Hapana, mimi huwa sifungui duka kila asubuhi. Kiingereza: ____ ____ ______ ______ ___ ______ ________ ___________ Kanuni: NO + N + DON’T+ T(BF - No, tamka (no) - Hapana. - N – I, tamka (ai) - T(BF) – open, tamka (open) - fungua. - A shop, tamka (e shopu) – duka. - Every morning, tamka (everimoning) – kila asubuhi. (Mwisho wa somo). (7).