SlideShare a Scribd company logo
M. Shekinyashi
 Kufikia mwisho wa somo yafuatayo yawe
yamejadiliwa kwa kina:
 Maana ya Semantiki
 Maana ya Maana
 Fahiwa za maana/makundi ya maana
Malengo ya somo
 Semanitiki ni utanzu wa isimu
unaojishughulisha na uchambuzi wa maana ya
maneno au viambajengo vya maneno au
sentensi katika lugha.
 Taaluma hii inashughulikia maana katika
viwango vyote; kuanzia fonimu, mofimu,
maneno hata sentensi.
 Katika hatua hii tutaiangazia semantiki katika
kiwango cha neno au kiwango cha kileksika.
 Hapa sementiki inajikita zaidi katika kuchambua
maana katika kiwango cha neno.
Semantiki ni nini?
Maana ni nini?
 Maana za kileksika ni maana za maneno.
 Maana hizi huweza kufafanuliwa katika makundi
makuu matano, ambayo ni:
 Homonimia
 Polisemia
 Sinonimia
 Antonimia
 Hiponimia
Aina za maana kileksika
Homonimia
 Hizi ni maana mbili tofauti
kabisa lakini
zinawasilishwa na umbo
moja.
 Mfano
 [vua] umbo hili ni
homonimu kwa kuwa
linasimamia maana
zifuatazo:
 Toa samaki baharini au
ziwani
 Toa nguo mwilini
Polisemia
 Ni hali ya neno au kikundi cha
neno kuwa na maana zaidi ya
moja.
 Mfano,
 [kichwa] – lina maana ya:
 Sehemu ya mwili
 Sehemu ya juu ya habari
(muhtasari)
 Injini ya gari moshi
 N.k
Tofauti kati ya Hominimia na
polisemia
 Ukiweza kujibu swali la
punda milia huyu utaweza
ifahamu tofauti kati ya
homonimia na polisemia
Sinonimia
 Ni neno moja kati ya
maneno mawili au zaidi
yenye maana
zinazokaribiana au
kufanana.
 Mfano
 Masikini/fukara
 Pesa/ Fedha
 Askari/ Polisi
 Mara nyingine sinonimia
hutegemea muktadha wa
matumizi.
Antonimia
 Ni neno ambalo maana yake
linauelekeo kinyume na
lingine.
 Kimsingi hapa ni istilahi mbili
lakini zenye mwelekeo
unaokinzana kimaana.
 Mfano
 Usiku /mchana
 Kubwa/ndogo
 Juu/chini
 Mke/mme
Hiponimia
 Ni maneno yenye uhusiano
wa kiujumla.
 Misamiati mingi huingizwa
katika kundi moja la
kiuhusiano kimaana na
kutengeneza msamiati
mmoja.
 Mfano:
 Mnyama
Simba
Paka
Chui
bata
Lugha ya kiswahili ina maneno
yanayokuwa na maana zaidi ya
moja. Eleza namna ya kuainisha aina
hizo za maana kwa kutumia mifano
mitano.
Swali
Asante Sana!

More Related Content

What's hot

Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaUmuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaHamad Khamis Juma
 
TAFSIRI NA UKALIMANI
TAFSIRI NA UKALIMANITAFSIRI NA UKALIMANI
TAFSIRI NA UKALIMANI
shahzadebaujiti
 
Ngeli za nomino
Ngeli za nominoNgeli za nomino
Ngeli za nomino
MussaOmary3
 
FASIHI KWA UJUMLA
FASIHI KWA UJUMLAFASIHI KWA UJUMLA
FASIHI KWA UJUMLA
shahzadebaujiti
 
Mjengo wa tungo 3
Mjengo wa tungo 3Mjengo wa tungo 3
Mjengo wa tungo 3
mussa Shekinyashi
 
Discourse and power
Discourse and powerDiscourse and power
Discourse and power
WaleesFatima
 
Causal – comparative
Causal – comparativeCausal – comparative
Causal – comparative
Elyza Buenavista
 
Social semiotics
Social semioticsSocial semiotics
Social semiotics
kivilcimcinar
 
Discourse analysis
Discourse analysisDiscourse analysis
Discourse analysis
Kerem Morgül
 
Critical Discourse Analysis
Critical Discourse AnalysisCritical Discourse Analysis
Critical Discourse Analysis
Hana Zarei
 
Discourse in Society.ppt
Discourse in Society.pptDiscourse in Society.ppt
Discourse in Society.ppt
Dr. Najeeb us Saqlain
 
Needs Analysis: A Valuable Tool for Designing and Maintaining Effective ESP C...
Needs Analysis: A Valuable Tool for Designing and Maintaining Effective ESP C...Needs Analysis: A Valuable Tool for Designing and Maintaining Effective ESP C...
Needs Analysis: A Valuable Tool for Designing and Maintaining Effective ESP C...
Abdeslam Badre, PhD
 
Text & Critical Discourse Analysis
Text & Critical Discourse AnalysisText & Critical Discourse Analysis
Text & Critical Discourse Analysis
Lazarus Gawazah
 
Syllable Structure in MSA
Syllable Structure in MSASyllable Structure in MSA
Syllable Structure in MSA
Asma Almashad
 
Critical discourse analysis
Critical discourse analysisCritical discourse analysis
Critical discourse analysis
Laiba Yaseen
 
Linguistics presentacion
Linguistics presentacionLinguistics presentacion
Linguistics presentacion
Franklin Pérez
 
Foucauldian discourse analysis.
Foucauldian discourse analysis.Foucauldian discourse analysis.
Foucauldian discourse analysis.
Nabeela Taimur Ali
 
discourse analysis
discourse analysis discourse analysis
discourse analysis
Allame Tabatabaei
 
Discourse analysis
Discourse analysisDiscourse analysis
Discourse analysis
Dr. Mohsin Khan
 
Phoneme and feature theory
Phoneme and feature theoryPhoneme and feature theory
Phoneme and feature theory
Hina Honey
 
What's hot (20)

Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaUmuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
 
TAFSIRI NA UKALIMANI
TAFSIRI NA UKALIMANITAFSIRI NA UKALIMANI
TAFSIRI NA UKALIMANI
 
Ngeli za nomino
Ngeli za nominoNgeli za nomino
Ngeli za nomino
 
FASIHI KWA UJUMLA
FASIHI KWA UJUMLAFASIHI KWA UJUMLA
FASIHI KWA UJUMLA
 
Mjengo wa tungo 3
Mjengo wa tungo 3Mjengo wa tungo 3
Mjengo wa tungo 3
 
Discourse and power
Discourse and powerDiscourse and power
Discourse and power
 
Causal – comparative
Causal – comparativeCausal – comparative
Causal – comparative
 
Social semiotics
Social semioticsSocial semiotics
Social semiotics
 
Discourse analysis
Discourse analysisDiscourse analysis
Discourse analysis
 
Critical Discourse Analysis
Critical Discourse AnalysisCritical Discourse Analysis
Critical Discourse Analysis
 
Discourse in Society.ppt
Discourse in Society.pptDiscourse in Society.ppt
Discourse in Society.ppt
 
Needs Analysis: A Valuable Tool for Designing and Maintaining Effective ESP C...
Needs Analysis: A Valuable Tool for Designing and Maintaining Effective ESP C...Needs Analysis: A Valuable Tool for Designing and Maintaining Effective ESP C...
Needs Analysis: A Valuable Tool for Designing and Maintaining Effective ESP C...
 
Text & Critical Discourse Analysis
Text & Critical Discourse AnalysisText & Critical Discourse Analysis
Text & Critical Discourse Analysis
 
Syllable Structure in MSA
Syllable Structure in MSASyllable Structure in MSA
Syllable Structure in MSA
 
Critical discourse analysis
Critical discourse analysisCritical discourse analysis
Critical discourse analysis
 
Linguistics presentacion
Linguistics presentacionLinguistics presentacion
Linguistics presentacion
 
Foucauldian discourse analysis.
Foucauldian discourse analysis.Foucauldian discourse analysis.
Foucauldian discourse analysis.
 
discourse analysis
discourse analysis discourse analysis
discourse analysis
 
Discourse analysis
Discourse analysisDiscourse analysis
Discourse analysis
 
Phoneme and feature theory
Phoneme and feature theoryPhoneme and feature theory
Phoneme and feature theory
 
Viewers also liked

Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)Mwl. Mapesa Nestory
 
UTAFITI WA KIELIMU
UTAFITI  WA KIELIMUUTAFITI  WA KIELIMU
UTAFITI WA KIELIMU
TUKUYU TEACHERS COLLEGE
 
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHAUHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
mussa Shekinyashi
 
CHIMBUKO LA FASIHI
CHIMBUKO LA FASIHICHIMBUKO LA FASIHI
CHIMBUKO LA FASIHI
mussa Shekinyashi
 
Structural Semantics
Structural SemanticsStructural Semantics
Structural Semantics
Maqsood Ahmad
 
SYNONYMS, ANTONYMS, POLYSEMY, HOMONYM, AND HOMOGRAPH
SYNONYMS, ANTONYMS, POLYSEMY,  HOMONYM, AND HOMOGRAPHSYNONYMS, ANTONYMS, POLYSEMY,  HOMONYM, AND HOMOGRAPH
SYNONYMS, ANTONYMS, POLYSEMY, HOMONYM, AND HOMOGRAPH
Lili Lulu
 
Viewers also liked (6)

Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
 
UTAFITI WA KIELIMU
UTAFITI  WA KIELIMUUTAFITI  WA KIELIMU
UTAFITI WA KIELIMU
 
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHAUHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
 
CHIMBUKO LA FASIHI
CHIMBUKO LA FASIHICHIMBUKO LA FASIHI
CHIMBUKO LA FASIHI
 
Structural Semantics
Structural SemanticsStructural Semantics
Structural Semantics
 
SYNONYMS, ANTONYMS, POLYSEMY, HOMONYM, AND HOMOGRAPH
SYNONYMS, ANTONYMS, POLYSEMY,  HOMONYM, AND HOMOGRAPHSYNONYMS, ANTONYMS, POLYSEMY,  HOMONYM, AND HOMOGRAPH
SYNONYMS, ANTONYMS, POLYSEMY, HOMONYM, AND HOMOGRAPH
 
More from mussa Shekinyashi

Rejesta
RejestaRejesta
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha KimuktadhaMatumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
mussa Shekinyashi
 
Kiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au KrioliKiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au Krioli
mussa Shekinyashi
 
Uhifadhi wa fasihi simulizi
Uhifadhi wa fasihi simuliziUhifadhi wa fasihi simulizi
Uhifadhi wa fasihi simulizi
mussa Shekinyashi
 
Chimbuko na Asili ya Kiswahili
Chimbuko na Asili ya KiswahiliChimbuko na Asili ya Kiswahili
Chimbuko na Asili ya Kiswahili
mussa Shekinyashi
 
Tafsiri na ukalimani
Tafsiri na ukalimaniTafsiri na ukalimani
Tafsiri na ukalimani
mussa Shekinyashi
 
Evolution of Man (form one)
Evolution of Man (form one)Evolution of Man (form one)
Evolution of Man (form one)
mussa Shekinyashi
 
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penziUhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
mussa Shekinyashi
 
Public Speaking Tips
Public Speaking TipsPublic Speaking Tips
Public Speaking Tips
mussa Shekinyashi
 
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHAUHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
mussa Shekinyashi
 
Sarufi Matamshi (Fonolojia)
Sarufi Matamshi (Fonolojia)Sarufi Matamshi (Fonolojia)
Sarufi Matamshi (Fonolojia)
mussa Shekinyashi
 
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihi
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za FasihiUhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihi
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihi
mussa Shekinyashi
 
KUKUA NA KUENEA KWA KISWAHILI
KUKUA NA KUENEA KWA KISWAHILIKUKUA NA KUENEA KWA KISWAHILI
KUKUA NA KUENEA KWA KISWAHILI
mussa Shekinyashi
 
GENDER CONCEPTS - FORM TWO
GENDER CONCEPTS - FORM TWO GENDER CONCEPTS - FORM TWO
GENDER CONCEPTS - FORM TWO
mussa Shekinyashi
 
More from mussa Shekinyashi (14)

Rejesta
RejestaRejesta
Rejesta
 
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha KimuktadhaMatumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
 
Kiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au KrioliKiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au Krioli
 
Uhifadhi wa fasihi simulizi
Uhifadhi wa fasihi simuliziUhifadhi wa fasihi simulizi
Uhifadhi wa fasihi simulizi
 
Chimbuko na Asili ya Kiswahili
Chimbuko na Asili ya KiswahiliChimbuko na Asili ya Kiswahili
Chimbuko na Asili ya Kiswahili
 
Tafsiri na ukalimani
Tafsiri na ukalimaniTafsiri na ukalimani
Tafsiri na ukalimani
 
Evolution of Man (form one)
Evolution of Man (form one)Evolution of Man (form one)
Evolution of Man (form one)
 
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penziUhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
 
Public Speaking Tips
Public Speaking TipsPublic Speaking Tips
Public Speaking Tips
 
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHAUHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
 
Sarufi Matamshi (Fonolojia)
Sarufi Matamshi (Fonolojia)Sarufi Matamshi (Fonolojia)
Sarufi Matamshi (Fonolojia)
 
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihi
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za FasihiUhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihi
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihi
 
KUKUA NA KUENEA KWA KISWAHILI
KUKUA NA KUENEA KWA KISWAHILIKUKUA NA KUENEA KWA KISWAHILI
KUKUA NA KUENEA KWA KISWAHILI
 
GENDER CONCEPTS - FORM TWO
GENDER CONCEPTS - FORM TWO GENDER CONCEPTS - FORM TWO
GENDER CONCEPTS - FORM TWO
 
Semantiki

  • 2.  Kufikia mwisho wa somo yafuatayo yawe yamejadiliwa kwa kina:  Maana ya Semantiki  Maana ya Maana  Fahiwa za maana/makundi ya maana Malengo ya somo
  • 3.  Semanitiki ni utanzu wa isimu unaojishughulisha na uchambuzi wa maana ya maneno au viambajengo vya maneno au sentensi katika lugha.  Taaluma hii inashughulikia maana katika viwango vyote; kuanzia fonimu, mofimu, maneno hata sentensi.  Katika hatua hii tutaiangazia semantiki katika kiwango cha neno au kiwango cha kileksika.  Hapa sementiki inajikita zaidi katika kuchambua maana katika kiwango cha neno. Semantiki ni nini?
  • 5.  Maana za kileksika ni maana za maneno.  Maana hizi huweza kufafanuliwa katika makundi makuu matano, ambayo ni:  Homonimia  Polisemia  Sinonimia  Antonimia  Hiponimia Aina za maana kileksika
  • 6. Homonimia  Hizi ni maana mbili tofauti kabisa lakini zinawasilishwa na umbo moja.  Mfano  [vua] umbo hili ni homonimu kwa kuwa linasimamia maana zifuatazo:  Toa samaki baharini au ziwani  Toa nguo mwilini
  • 7. Polisemia  Ni hali ya neno au kikundi cha neno kuwa na maana zaidi ya moja.  Mfano,  [kichwa] – lina maana ya:  Sehemu ya mwili  Sehemu ya juu ya habari (muhtasari)  Injini ya gari moshi  N.k
  • 8. Tofauti kati ya Hominimia na polisemia  Ukiweza kujibu swali la punda milia huyu utaweza ifahamu tofauti kati ya homonimia na polisemia
  • 9. Sinonimia  Ni neno moja kati ya maneno mawili au zaidi yenye maana zinazokaribiana au kufanana.  Mfano  Masikini/fukara  Pesa/ Fedha  Askari/ Polisi  Mara nyingine sinonimia hutegemea muktadha wa matumizi.
  • 10. Antonimia  Ni neno ambalo maana yake linauelekeo kinyume na lingine.  Kimsingi hapa ni istilahi mbili lakini zenye mwelekeo unaokinzana kimaana.  Mfano  Usiku /mchana  Kubwa/ndogo  Juu/chini  Mke/mme
  • 11. Hiponimia  Ni maneno yenye uhusiano wa kiujumla.  Misamiati mingi huingizwa katika kundi moja la kiuhusiano kimaana na kutengeneza msamiati mmoja.  Mfano:  Mnyama Simba Paka Chui bata
  • 12. Lugha ya kiswahili ina maneno yanayokuwa na maana zaidi ya moja. Eleza namna ya kuainisha aina hizo za maana kwa kutumia mifano mitano. Swali