SlideShare a Scribd company logo
M.Shekinyashi
MAENDELEO NI NINI?
 Ni hali ya kupata ustawi
 Ni hali ya kutoka katika hatua moja kuelekea hatua
nyingine bora zaidi.
 Fasihi tunayoiona leo imepitia tanuru la mabadiliko.
 Hebu tutafiti Fasihi imeanzia wapi,Chanzo chake nini?
Chimbuko la fasihi
 Mwanzo wa fasihi umejadiliwa na wataalamu wengi na
kuweza kutoa nadharia mbalimbali kuhusu chimbuko
la fasihi
 Kwa mujibu wa Mulokozi (1996), kuna nadharia kuu
nne ulimwenguni zinazojadili suala la chimbuko la
sanaa kwa ujumla.
 Mitazamo hii ndio msingi wa kujadili chimbuko la
fasihi kadharika.
Fasihi imetokana na Mwigo (uigaji)
 Ni nadharia ya kale sana.
 Waasisi wa nadharia hii ni Wagiriki; Plato katika kitabu
chake cha Republic na Aristotle katika kitabu chake cha
Poetics hawa wakiwa wasambazaji wakuu wa nadharia hii.
 Waasisi wa nadharia hii wanadai kuwa fasihi imetokana na
mwigo/uigaji.
 Kwamba, binadamu alianza sanaa kwa kuwa muigaji wa
maumbile yaliyomzunguka.
 Hivyo, kazi za fasihi za mwanzo mara nyingi zilijaribu
kusawiri vitu vilivyomo katika mazingira kama vile
wanyama,ndege, miti na watu.
 Plato anaendelea, anaifananisha dhana ya mwigo na
uungu.
 Anasema vyote binadamu wanavyoona na kuiga ni
kuiga ni mwigo wa vitu halisi vilivyoko kwa miungu.
 Hivyo, kuiga mwigo ni uongo. Sanaa ya binadamu
ambayo huiga maumbile ambayo kimsingi ni mwigo
wa uhalisia ni uongo hivyo si busara kuziamini.
Udhaifu wa nadharia ya mwigo
 Katika nadharia hii waasisi wamezingatia zaidi
kipengele cha mwigo au namna msanii anayaiga
mazingira yake na kuyaelezea wakasahau kipengere
cha ubunifu.
 Kama wasanii wangeiga mazingira yao tu kazi zao
zingepwaya sana. Zisingekuwa na tofauti na picha ya
fotografia.
 Kawaida watu huvutiwa na sanaa na fasihi kwa ujumla
kwa sababu ina ubunifu na imebeba mambo ambayo
wahayapati katika uzoefu wao na maisha yao ya kila
siku.
Fasihi imetokana na Sihiri
 Sihiri ni uwezo au nguvu ya kimiujiza inayotumiwa na
watu kusababisha matokeo fulani.
 Nadaria hii hudai kuwa chimbuko la sanaa ni haja ya
mwandamu kukabiliana na mazingira yake.
 Katika hatua ya mwanzo ya maendeleo ya
mwanadamu haja hiyo haikukamilika kwa sababu
uwezo wake wa sayansi na teknolojia ulikuwa chini
sana.
 Hivyo sihiri na imani katika miujiza ilichukua nafasi
ya sayansi na teknolojia.
 Hivyo sanaa na fasihi vilichipuka kama vyombo vya sihiri.
 Mfano; wawindaji wanapojiandaa kwenda kuwinda
wanachora picha ya mnyama waliyemtaka kumwinda kisha
wanachoma hiyo picha kwa mkuki. Wakiamini hilo jambo
litatokea wakienda kuwinda.
 Kadharika nyimbo zilitumika katika mchakato wa sihiri.
Nyimbo hizo ndio ushairi ule wa mwanzo.
Udhaifu wa nadharia ya sihiri
 Nadharia hii inachanganya dhima ya fasihi
kiutamaduni na chimbuko la fasihi.
 Kwamba hayo yanayoelezewa ni dhima ya fasihi
kiutamaduni na hayaoneshi chimbuko la fasihi.
 Kadharika sihiri ni amali moja ya jamii kati ya amali
nyingi zilizotumia fasihi.
Fasihi imetokana na dhana ya
Kidhanifu
 Waanzilishi na watetezi wa nadharia hii hudai kuwa
chimbuko la fasihi ni Mungu.
 Nadharia hii kongwe sana kupata kuwepo kwani ina
mashabiki kabla na baada ya Yesu.
 Wanafalsafa wa mwanzo kabisa kama; Socrates, Plato
na Aristotle wanaiunga mkono nadharia hii.
 Watetezi wa nadharia hii wanadai kuwa Mungu ndiye
msanii mkuu, huitunga kazi ya fasihi na kisha
kumtunuku mwanadamu kuiwasilisha kwa wanadamu
wengine.
 Hii ina maana watunzi wa fasihi hupokea sanaa ikiwa
imeshipwa na kuivishwa na Mungu.
 F. Nkwera, na John Ramadhanini mifano thabiti ya
wahakiki wa fasihi ya kiswahili wanaounga mkono
dhana hii.
 Nkwera katika moja ya insha yake anasema:
“Fasihi ni sanaaambayo huanzia kwa muumba,
humfikia mtu katika vipengele mbalimbali-ni hekima
ambayo mtu anashushiwa apate kumtambua muumba
wake”
 Athari ya nadharia hii ipo kwenye kuulezea ushairi wa
kiswahili ambapo baadhi hudai una namkono wa
Mungu kwa sababu mawazo ya watunzi yana uzito wa
kustaajabisha.
Udhaifu wa Nadharia ya Kidhanifu
 Mtazamo huu umepotoka kwa kuwa unamtenganisha
msanii na jamii yake.
 Unajenga utabaka baina ya wanajamii na wasanii kwa
kumfanya msanii ajione mtu wa ajabu ambaye yupo
karibu na Mungu.
 Nadharia hii inachanganya imani na taaluma
 Haina ushahidi wa kisayansi
 Inapendekeza masuluhish0 ya matatizo wanadamu nje
ya dunia hii (mazingira yanayomzunguka)
Fasihi imetokana na Nadharia
Yakinifu.
 Nadharia hii inafafanua chimbuko la fasihi kupitia dhana
yakinifu.
 Wanaotetea mtazamo huu wanadai uwepo wa binadamu
ndio uwepo wa fasihi. Na chanzo cha fasihi ni sawa na
chanzo cha binadamu mwenyewe.
 Iwe chanzo cha binadamu ni kuumbwa au mabadiliko
kuanzia chembe hai ambayo imepitia mabadiliko kadhaa
ya makuzi hata kufikia mtu.
 Binadamu alioanishwa na kazi,katika utendaji wa kazi
binadamu alishirikiana na wenzake ambao pia aliwasiana
nao kwa lugha
 Lugha ambayo iliibua fasihi, fasihi ikawa kama kichoche0
cha utendaji kazi.
 Kwa kadri maendeleo ya uzalishaji mali
yalivyoongezeka na kumpa mwanadamu muda wa
ziada kujiburudisha na kustarehe kwa njia ya sanaa
fasihi ilijitenga na kazi za uzalishaji.
 Fasihi ikawa ni sanaa ya burudani au shughuli
maalumu za kijamii kama vile sherehe na ibada
mbalimbali.
 Hivyo chimbuko la fasihi ni juhudu za mwanadamu za
kuyadhibiti mazingira yake ya kimaumbile na kijamii.
 Nadharia hii inakubalika na wataalamu wengi wa
fasihi duniani na hata wa fasihi ya kiswahili
Marejeleo
 Masebo. J.A & Nyambari.N (2011) Nadharia ya Fasihi
Kidato cha tano na Sita.Nyambari Nyangwine
Publishers.
 Mussa.S.A &Christopher.S.M (2012)
Kiswahili2:Nadharia na Tahakiki ya Kifasihi.STC
publisher.
ASANTENI

More Related Content

What's hot

Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiUhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
MussaOmary3
 
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiUhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
KAZEMBETVOnline
 
USHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILIUSHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILI
Peter Deus
 
UHAKIKI WA FASIHI ANDISHI
UHAKIKI WA FASIHI ANDISHIUHAKIKI WA FASIHI ANDISHI
UHAKIKI WA FASIHI ANDISHI
shahzadebaujiti
 
Mofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahiliMofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahiliGeophery sanga
 
TAFSIRI NA UKALIMANI
TAFSIRI NA UKALIMANITAFSIRI NA UKALIMANI
TAFSIRI NA UKALIMANI
shahzadebaujiti
 
Kiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au KrioliKiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au Krioli
mussa Shekinyashi
 
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIAMAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
shahzadebaujiti
 
UTUMIZI WA LUGHA
UTUMIZI WA LUGHAUTUMIZI WA LUGHA
UTUMIZI WA LUGHA
shahzadebaujiti
 
MAENDELEO YA KISWAHILI
MAENDELEO YA KISWAHILIMAENDELEO YA KISWAHILI
MAENDELEO YA KISWAHILI
shahzadebaujiti
 
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaUmuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaHamad Khamis Juma
 
Sarufi Matamshi (Fonolojia)
Sarufi Matamshi (Fonolojia)Sarufi Matamshi (Fonolojia)
Sarufi Matamshi (Fonolojia)
mussa Shekinyashi
 
Rejesta
RejestaRejesta
UTAFITI WA KIELIMU
UTAFITI  WA KIELIMUUTAFITI  WA KIELIMU
UTAFITI WA KIELIMU
TUKUYU TEACHERS COLLEGE
 
Tafsiri na ukalimani
Tafsiri na ukalimaniTafsiri na ukalimani
Tafsiri na ukalimani
mussa Shekinyashi
 
Utungaji wa kazi za fasihi andishi
Utungaji wa kazi za fasihi andishiUtungaji wa kazi za fasihi andishi
Utungaji wa kazi za fasihi andishi
MussaOmary3
 
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha KimuktadhaMatumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
mussa Shekinyashi
 

What's hot (20)

Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiUhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
 
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiUhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
 
USHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILIUSHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILI
 
Mofolojia
MofolojiaMofolojia
Mofolojia
 
Uhusiano fonolojia vs mofolojia
Uhusiano fonolojia vs mofolojiaUhusiano fonolojia vs mofolojia
Uhusiano fonolojia vs mofolojia
 
Maana ya maana!
Maana ya maana!Maana ya maana!
Maana ya maana!
 
UHAKIKI WA FASIHI ANDISHI
UHAKIKI WA FASIHI ANDISHIUHAKIKI WA FASIHI ANDISHI
UHAKIKI WA FASIHI ANDISHI
 
Mofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahiliMofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahili
 
TAFSIRI NA UKALIMANI
TAFSIRI NA UKALIMANITAFSIRI NA UKALIMANI
TAFSIRI NA UKALIMANI
 
Kiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au KrioliKiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au Krioli
 
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIAMAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
 
UTUMIZI WA LUGHA
UTUMIZI WA LUGHAUTUMIZI WA LUGHA
UTUMIZI WA LUGHA
 
MAENDELEO YA KISWAHILI
MAENDELEO YA KISWAHILIMAENDELEO YA KISWAHILI
MAENDELEO YA KISWAHILI
 
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaUmuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
 
Sarufi Matamshi (Fonolojia)
Sarufi Matamshi (Fonolojia)Sarufi Matamshi (Fonolojia)
Sarufi Matamshi (Fonolojia)
 
Rejesta
RejestaRejesta
Rejesta
 
UTAFITI WA KIELIMU
UTAFITI  WA KIELIMUUTAFITI  WA KIELIMU
UTAFITI WA KIELIMU
 
Tafsiri na ukalimani
Tafsiri na ukalimaniTafsiri na ukalimani
Tafsiri na ukalimani
 
Utungaji wa kazi za fasihi andishi
Utungaji wa kazi za fasihi andishiUtungaji wa kazi za fasihi andishi
Utungaji wa kazi za fasihi andishi
 
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha KimuktadhaMatumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
 

Viewers also liked

UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHAUHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
mussa Shekinyashi
 
Publishing Talk: Cloud Publishing ersetzt Desktop Publishing
Publishing Talk: Cloud Publishing ersetzt Desktop PublishingPublishing Talk: Cloud Publishing ersetzt Desktop Publishing
Publishing Talk: Cloud Publishing ersetzt Desktop Publishing
WeLoveYou
 
Semantiki
SemantikiSemantiki
GENDER CONCEPTS - FORM TWO
GENDER CONCEPTS - FORM TWO GENDER CONCEPTS - FORM TWO
GENDER CONCEPTS - FORM TWO
mussa Shekinyashi
 
Tamthilia ni nini?
Tamthilia ni nini?Tamthilia ni nini?
Tamthilia ni nini?
Ignatius Ntungwa
 
Concept & Context of Gender
Concept & Context of GenderConcept & Context of Gender
Concept & Context of Gender
Dr. Sultan Muhammad Razzak
 
Introduction to Literature in English
Introduction to Literature in EnglishIntroduction to Literature in English
Introduction to Literature in English
Ignatius Joseph Estroga
 
gender and development
gender and developmentgender and development
gender and development
Government Employee
 

Viewers also liked (8)

UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHAUHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
 
Publishing Talk: Cloud Publishing ersetzt Desktop Publishing
Publishing Talk: Cloud Publishing ersetzt Desktop PublishingPublishing Talk: Cloud Publishing ersetzt Desktop Publishing
Publishing Talk: Cloud Publishing ersetzt Desktop Publishing
 
Semantiki
SemantikiSemantiki
Semantiki
 
GENDER CONCEPTS - FORM TWO
GENDER CONCEPTS - FORM TWO GENDER CONCEPTS - FORM TWO
GENDER CONCEPTS - FORM TWO
 
Tamthilia ni nini?
Tamthilia ni nini?Tamthilia ni nini?
Tamthilia ni nini?
 
Concept & Context of Gender
Concept & Context of GenderConcept & Context of Gender
Concept & Context of Gender
 
Introduction to Literature in English
Introduction to Literature in EnglishIntroduction to Literature in English
Introduction to Literature in English
 
gender and development
gender and developmentgender and development
gender and development
 

More from mussa Shekinyashi

Mjengo wa tungo 3
Mjengo wa tungo 3Mjengo wa tungo 3
Mjengo wa tungo 3
mussa Shekinyashi
 
Uhifadhi wa fasihi simulizi
Uhifadhi wa fasihi simuliziUhifadhi wa fasihi simulizi
Uhifadhi wa fasihi simulizi
mussa Shekinyashi
 
Evolution of Man (form one)
Evolution of Man (form one)Evolution of Man (form one)
Evolution of Man (form one)
mussa Shekinyashi
 
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penziUhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
mussa Shekinyashi
 
Public Speaking Tips
Public Speaking TipsPublic Speaking Tips
Public Speaking Tips
mussa Shekinyashi
 
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHAUHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
mussa Shekinyashi
 

More from mussa Shekinyashi (6)

Mjengo wa tungo 3
Mjengo wa tungo 3Mjengo wa tungo 3
Mjengo wa tungo 3
 
Uhifadhi wa fasihi simulizi
Uhifadhi wa fasihi simuliziUhifadhi wa fasihi simulizi
Uhifadhi wa fasihi simulizi
 
Evolution of Man (form one)
Evolution of Man (form one)Evolution of Man (form one)
Evolution of Man (form one)
 
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penziUhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
 
Public Speaking Tips
Public Speaking TipsPublic Speaking Tips
Public Speaking Tips
 
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHAUHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
 

CHIMBUKO LA FASIHI

  • 2. MAENDELEO NI NINI?  Ni hali ya kupata ustawi  Ni hali ya kutoka katika hatua moja kuelekea hatua nyingine bora zaidi.  Fasihi tunayoiona leo imepitia tanuru la mabadiliko.  Hebu tutafiti Fasihi imeanzia wapi,Chanzo chake nini?
  • 3. Chimbuko la fasihi  Mwanzo wa fasihi umejadiliwa na wataalamu wengi na kuweza kutoa nadharia mbalimbali kuhusu chimbuko la fasihi  Kwa mujibu wa Mulokozi (1996), kuna nadharia kuu nne ulimwenguni zinazojadili suala la chimbuko la sanaa kwa ujumla.  Mitazamo hii ndio msingi wa kujadili chimbuko la fasihi kadharika.
  • 4. Fasihi imetokana na Mwigo (uigaji)  Ni nadharia ya kale sana.  Waasisi wa nadharia hii ni Wagiriki; Plato katika kitabu chake cha Republic na Aristotle katika kitabu chake cha Poetics hawa wakiwa wasambazaji wakuu wa nadharia hii.  Waasisi wa nadharia hii wanadai kuwa fasihi imetokana na mwigo/uigaji.  Kwamba, binadamu alianza sanaa kwa kuwa muigaji wa maumbile yaliyomzunguka.  Hivyo, kazi za fasihi za mwanzo mara nyingi zilijaribu kusawiri vitu vilivyomo katika mazingira kama vile wanyama,ndege, miti na watu.
  • 5.  Plato anaendelea, anaifananisha dhana ya mwigo na uungu.  Anasema vyote binadamu wanavyoona na kuiga ni kuiga ni mwigo wa vitu halisi vilivyoko kwa miungu.  Hivyo, kuiga mwigo ni uongo. Sanaa ya binadamu ambayo huiga maumbile ambayo kimsingi ni mwigo wa uhalisia ni uongo hivyo si busara kuziamini.
  • 6. Udhaifu wa nadharia ya mwigo  Katika nadharia hii waasisi wamezingatia zaidi kipengele cha mwigo au namna msanii anayaiga mazingira yake na kuyaelezea wakasahau kipengere cha ubunifu.  Kama wasanii wangeiga mazingira yao tu kazi zao zingepwaya sana. Zisingekuwa na tofauti na picha ya fotografia.  Kawaida watu huvutiwa na sanaa na fasihi kwa ujumla kwa sababu ina ubunifu na imebeba mambo ambayo wahayapati katika uzoefu wao na maisha yao ya kila siku.
  • 7. Fasihi imetokana na Sihiri  Sihiri ni uwezo au nguvu ya kimiujiza inayotumiwa na watu kusababisha matokeo fulani.  Nadaria hii hudai kuwa chimbuko la sanaa ni haja ya mwandamu kukabiliana na mazingira yake.  Katika hatua ya mwanzo ya maendeleo ya mwanadamu haja hiyo haikukamilika kwa sababu uwezo wake wa sayansi na teknolojia ulikuwa chini sana.  Hivyo sihiri na imani katika miujiza ilichukua nafasi ya sayansi na teknolojia.
  • 8.  Hivyo sanaa na fasihi vilichipuka kama vyombo vya sihiri.  Mfano; wawindaji wanapojiandaa kwenda kuwinda wanachora picha ya mnyama waliyemtaka kumwinda kisha wanachoma hiyo picha kwa mkuki. Wakiamini hilo jambo litatokea wakienda kuwinda.  Kadharika nyimbo zilitumika katika mchakato wa sihiri. Nyimbo hizo ndio ushairi ule wa mwanzo.
  • 9. Udhaifu wa nadharia ya sihiri  Nadharia hii inachanganya dhima ya fasihi kiutamaduni na chimbuko la fasihi.  Kwamba hayo yanayoelezewa ni dhima ya fasihi kiutamaduni na hayaoneshi chimbuko la fasihi.  Kadharika sihiri ni amali moja ya jamii kati ya amali nyingi zilizotumia fasihi.
  • 10. Fasihi imetokana na dhana ya Kidhanifu  Waanzilishi na watetezi wa nadharia hii hudai kuwa chimbuko la fasihi ni Mungu.  Nadharia hii kongwe sana kupata kuwepo kwani ina mashabiki kabla na baada ya Yesu.  Wanafalsafa wa mwanzo kabisa kama; Socrates, Plato na Aristotle wanaiunga mkono nadharia hii.  Watetezi wa nadharia hii wanadai kuwa Mungu ndiye msanii mkuu, huitunga kazi ya fasihi na kisha kumtunuku mwanadamu kuiwasilisha kwa wanadamu wengine.
  • 11.  Hii ina maana watunzi wa fasihi hupokea sanaa ikiwa imeshipwa na kuivishwa na Mungu.  F. Nkwera, na John Ramadhanini mifano thabiti ya wahakiki wa fasihi ya kiswahili wanaounga mkono dhana hii.  Nkwera katika moja ya insha yake anasema: “Fasihi ni sanaaambayo huanzia kwa muumba, humfikia mtu katika vipengele mbalimbali-ni hekima ambayo mtu anashushiwa apate kumtambua muumba wake”  Athari ya nadharia hii ipo kwenye kuulezea ushairi wa kiswahili ambapo baadhi hudai una namkono wa Mungu kwa sababu mawazo ya watunzi yana uzito wa kustaajabisha.
  • 12. Udhaifu wa Nadharia ya Kidhanifu  Mtazamo huu umepotoka kwa kuwa unamtenganisha msanii na jamii yake.  Unajenga utabaka baina ya wanajamii na wasanii kwa kumfanya msanii ajione mtu wa ajabu ambaye yupo karibu na Mungu.  Nadharia hii inachanganya imani na taaluma  Haina ushahidi wa kisayansi  Inapendekeza masuluhish0 ya matatizo wanadamu nje ya dunia hii (mazingira yanayomzunguka)
  • 13. Fasihi imetokana na Nadharia Yakinifu.  Nadharia hii inafafanua chimbuko la fasihi kupitia dhana yakinifu.  Wanaotetea mtazamo huu wanadai uwepo wa binadamu ndio uwepo wa fasihi. Na chanzo cha fasihi ni sawa na chanzo cha binadamu mwenyewe.  Iwe chanzo cha binadamu ni kuumbwa au mabadiliko kuanzia chembe hai ambayo imepitia mabadiliko kadhaa ya makuzi hata kufikia mtu.  Binadamu alioanishwa na kazi,katika utendaji wa kazi binadamu alishirikiana na wenzake ambao pia aliwasiana nao kwa lugha  Lugha ambayo iliibua fasihi, fasihi ikawa kama kichoche0 cha utendaji kazi.
  • 14.  Kwa kadri maendeleo ya uzalishaji mali yalivyoongezeka na kumpa mwanadamu muda wa ziada kujiburudisha na kustarehe kwa njia ya sanaa fasihi ilijitenga na kazi za uzalishaji.  Fasihi ikawa ni sanaa ya burudani au shughuli maalumu za kijamii kama vile sherehe na ibada mbalimbali.  Hivyo chimbuko la fasihi ni juhudu za mwanadamu za kuyadhibiti mazingira yake ya kimaumbile na kijamii.  Nadharia hii inakubalika na wataalamu wengi wa fasihi duniani na hata wa fasihi ya kiswahili
  • 15. Marejeleo  Masebo. J.A & Nyambari.N (2011) Nadharia ya Fasihi Kidato cha tano na Sita.Nyambari Nyangwine Publishers.  Mussa.S.A &Christopher.S.M (2012) Kiswahili2:Nadharia na Tahakiki ya Kifasihi.STC publisher.