SARUFI
MATAMSHI
(fonolojia)
Mussa Shekinyashi
0743989829/0714807565
mussashaky@gmail.com
Fonolojia ni nini?
 Ni tawi la sarufi linalojishughulisha na uchunguzi,
uchanganuzi na uanishaji wa sauti pambanuzi za
lugha .
 Kwa maelezo mengine, fonolojia hujihusisha na
utaratibu wa mpangilio wa vitamkwa katika
maneno ya lugha.
 Fonolojia kwa upana wake pia hujishughulisha na
vipengele kama: matamshi, kiimbo, mkazo,
lafudhi, toni, mfuatano wa sauti katika kuunda
mofimu, mfuatano katika kuunda neno na
otografia.
Sauti katika Lugha
 Katika lugha ya kiswahili kuna sauti za aina
mbili. Ambazo ni;
 Sauti Irabu
 Sauti Konsonanti
Sauti Irabu
 Ni sauti zinazotamkwa bila kuwepo kizuizi
katika mkondo wa hewa utokao mapafuni
kwenda nje kupitia chemba ya kinywa na
pua.
 Kiswahili sanifu kina irabu tano (5)
 Ambazo ni: /a/, /e/,/i/,/o/ na /u/
Vigezo vinavyotumika kuainisha
irabu
 Irabu huweza kutofautishwa na kuanishwa
kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo:
 Sehemu ya ulimi ya kutamkia
 Mwinuko wa ulimi
 Mkao wa mdomo
Irabu za mbele
 Irabu hizi hutamkwa katika sehemu ya mbele
ya ulimi.
Irabu za nyuma
 Hizi hutamkiwa sehemu ya nyuma ya ulimi.
Irabu za kati
 Hizi hutamkiwa sehemu ya kati ya ulimi. Irabu
ya kati ni moja tu, /a/
2. Mwinuko wa Ulimi
 Katika kigezo hiki tunazingatia kiasi cha
kuinuka kwa ulimi wakati wa kuzitamka irabu.
 Kwa kuzingatia kigezo hiki tuna:
 Irabu za juu
 Irabu za kati
 Irabu za chini
Irabu za Juu
 Hapa tunapata irabu /i/ na /u/
Irabu za Kati
 Hutamkwa ulimi ukiwa umeinuliwa wastani; si
chini wala juu). Irabu hizo ni /e/ na /o/.
Irabu ya Chini
 Hutamkwa irabu ikiwa chini kinywani. Irabu ya
chini ni moja tu. /a/
3. Mkao wa Mdomo
 Hapa tunachunguza jinsi midomo ilivyo wakati
wa kuzitamka sauti.
 Kwa kuzingatia kigezo hiki tunapata:
 Irabu viringwa (mviringo)
 Irabu tandazwa
Irabu Viringwa
 Hutamkwa midomo ikiwa imeviringwa.
 Irabu viringwa ni /o/ na /u/
Irabu Tandazwa
 Zinapotamkwa midomo inakuwa
imetandazwa.
 Irabu tandazwa ni /a/,/e/ na /i/
Tazama picha hii
Onesha sifa pambanuzi za irabu
zifuatazo
 /a/
 /e/
 /i/
 /o/
 /u/
Konsonanti
 Ni sauti zinazo tamkwa kwa kuzuia mkondo
wa hewa katika sehemu mbalimbali kinywani
hasa kwa kutumia ulimi.
 Konsonanti za kiswahili huainishwa kwa
kuzingatia vigezo vifuatavyo:
 Mahala pa kutamkia
 Namna ya kutamka
 Mtetemo au mtikisiko wa nyuzi sauti
Mahala pa Kutamkia
 Konsonanti za kiswahili hutamkwa katika
sehemu mbalimbali.
 Sehemu hizo ni kama zifuatazo:
midomo
 Sauti hizi hutamkwa mdomo wa juu
unapokutana na mdomo wa chini.
 Sauti hizi ni:
 /p/
 /b/
 /m/ na
 /w/
Silabi
 Ni sehemu ya neno ambayo hutamkwa mara moja au
kwa pamoja kama fungu moja la sauti.
 Fungu hilo linaweza kuwa na sauti mbili au zaidi,
inategemea muundo wa lugha inayohusika
 Muundo wa silabi wa lugha yoyote ile hutawaliwa na
kanuni za kifonolojia za lugha husika.
 Kanuni za kifonolojia za lugha ndizo huelekeza:
 Ni vipashio vipi vinavyoweza kujenga silabi
 Kwa mfuatano au mpangilio wa namna gani
 Ni vipashio vipi haviwezi kujenga silabi
Silabi ya kiswahili
 Silabi ya kiswahili huundwa kwa kufuata
taratibu maalumu za lugha ya kiswahili
 Mfuatano wa sauti za kiswahili unaruhusu tu
konsonanti za aina fulani kufuatana kwa idadi
na kwa mpangilio maalumu katika silabi.
 Kila mzungumzaji wa lugha ya kuswahili
anaumilisi wa kuweza kutunga na kutumia
kanuni hizi kuunda maneno.
Aina za Silabi
 Kuna aina mbili za silabi zakiswahili:
 Silabi Huru (wazi)
 Silabu Funge
Silabi Huru (wazi)
 Ni silabi ambazo huishia na irabu, sauti
amabazo zina msikiko au mvumo wa juu.
 Kutokana na kuishia na irabu, silabi huru
huwa zinakuwa na msikiko mkubwa zaidi.
 Mfano: ba - ba
1 2
Konsonanti ng’ong’o
 Konsonanti hizi ni kama vile /m/,/n/,/ng’/ na
/ny/.
 Konsonanti hizi huweza kutamkwa katika
neno bila msaada wa irabu.
 Konsonanti hizi huweza kusimama peke yake
kama silabi.
 Mfano: neno mwanamke lina silabi nne:
 Mwa-na-m-ke
Silabi Funge
 Silabi funge ni salbi zinazoishia na
konsonanti,sauti ambazo kwa kawaida zinakuwa
na msikiko au mvumo hafifu.
 Lugha ya kiswahili ikikopa maneno kutoka lugha
za kigeni kama vile kiarabu baadhi ya maneno
yake yanakuwa na silabi funge:
 Mfano: maktaba,madrasa,
 Kwenye kingereza neno kama: cut, car na push
Miundo ya Silabi Asilia ya
Kiswahili Sanifu
 Tunaposema silabi asilia za kiswahili tuna
maana ya silabi zinazopatikana katika
maneno asiliaya lugha hiyo.
 Lugha ya kiswahili ina miundo isiyopungua
mitano (5) ya irabu.
 miundo hiyo ni kama ifuatayo:
1. Irabu Pekee (I)
 Kiswahili kina irabu tano (5) ambazo kila
moja huweza kuwa silabi katika miundo ya
maneno mbalimbali.
 Mfano: ua:u-a
Oa : o-a
okoa: o-k-o-a
2. Silabi ya Konsonanti pekee (k)
 Hizi ni zile konsonanti ambazo huweza
kutamkwa bila msaada wa irabu.
 Konsonanti hizi huweza kuwa silabi.
 Hii ni kwa sababu konsonanti hizi zinausilabi
mkubwa kiasi cha kuweza kutamkika.
 Konsonanti hizi ni ving’ong’o
 Konsonanti hizi ni kama vile /m/,/n/,/ng’/ na
/ny/.
3. Silabi za konsonati na irabu
(KI)
 Huu ni muundo unaotumika sana katika lugha
sio tu ya kiswahili bali pia katika lugha
nyingine za kibantu.
 Lugha nyingi ulimwenguni hutumia muundo
huu.
 Mfano: kaka: ka-ka
 lima : li-ma
4. Siabi za konsonanti,konsonanti
na irabu (KKI)
 Mafano
 Pwani : pwa-ni
 Kwisha : Kwi –sha
5. Silabi za
konsonanti,konsonanti,konsonant
i na Irabu (KKKI)
 Muundo huu hujumuisha konsonanti tatu na
irabi moja.
 Mfano;
 Chimbwa
 Mbwa
 Anzwa
 Jenjwa
LAFUD
HI
KIIMBO
MKAZO
Lafudhi
 Ni matamshi ya mseamji wa lugha fulani ambayo
yanatokana na athari za kimazingira.
 Mazingira hayo yanaweza kuwa mahali alipotoka,
kiwango cha elimu na kadhalika.
 Hii inamaana kwamba kutokanan na jinsi
mzungumzaji anavyoimudu sauti yake tunaweza
kujua kujua mahali atokako.
 Lugha ya kwanza ya jamii atokayo mzungumzaji
inaweza kuathiri lafudhi ya mzungumzaji.
 Mfano
 Bwana wew, ntu alokanichilimisha aje
anchilimue…!
 Nkuu wa nkoa wa ntwara n’jini kanipa
nchongo wa kusuka nkeka nipeleke nsanga
nkuu.
 Ukisikia sauti ya mzungumzaji huyu utajua tu
anatokea mazingira gani au katika jamii gani.
Mkazo/ Shadda
 Ni sifa ya kiarudhi ambapo sehemu Fulani ya
neno, aghalabu silabi hutamkwa kwa nguvu
au kwa kuvuta ili kwamba isikike au isistizwe
zaidi kuliko sehemu nyingine za neno au
sentensi.
 Mfano:
 Barabara (njia)
 Barabara (sawasawa)
 Mkazo hutumiwa kutofautisha maana za
maneno au kuonesha msisitizo wa jambo
katika sentensi.
 Katika lugha ya Kiswahili mkazo huweza kuwekwa
katika kiwango cha neno au sentensi.
 Mfano wa mkazo katika sentensi:
 Walikuja kwa kasi ya ajabu.
 Kazi waliyofanya ni kidogo sana.
 Katika kiwango cha neno mkazo huwekwa katika
silabi ya pili kutoka mwisho:
 Mfano: Watatu , walakini na walakini.
 Mkazo katika sentensi huwekwa ili kudhihirisha
wazo linalotaka kusisitizwa.
 Mkazo katika kiwango cha neno huwekwa kujenga
maana fulani.
Kiimbo
 Ni hali ya kupanda na kushuka kwa sauti wakati
wa kutamka maneno mbalimbali katika sentensi.
 Kiimbo pia kinaweza kufafanuliwa kama sauti
maalum inayojitokeza unapotamka maneno fulani.
 Kiimbo husaidia kuleta maana kamili ya sentensi
iliyokusudiwa.
 Katika uandishi, Viimbo husaidiwa na alama za
uakifishaji (uandishi) ili kumwelekeza msomaji
asome kwa kiimbo kilichokusudiwa.
Ruwaza za kiimbo
 Hii ni mipangilio au mgawanyo wa viimbo
kulingana na maana vinazotoa.
 Ruwaza hizi hubadilika kulingana na dhima ya
kauli za sentensi husika.
 Katika sentensi ya taarifa, sauti huwa na kiimbo
sawa pasi na kupanda na kushuka.
 Juma amekwenda
 Katika sentensi ya swali, sauti huanzia chini kisha
hupanda na kufikia silabi pili kutoka mwisho.
 Juma amekwenda?
 Katika sentensi ya mshangao sauti huanzia chini
kisha hupanda na kufikia silabi ya mwisho.
 Juma amekwenda?
Asanteni…

Sarufi Matamshi (Fonolojia)

  • 1.
  • 2.
    Fonolojia ni nini? Ni tawi la sarufi linalojishughulisha na uchunguzi, uchanganuzi na uanishaji wa sauti pambanuzi za lugha .  Kwa maelezo mengine, fonolojia hujihusisha na utaratibu wa mpangilio wa vitamkwa katika maneno ya lugha.  Fonolojia kwa upana wake pia hujishughulisha na vipengele kama: matamshi, kiimbo, mkazo, lafudhi, toni, mfuatano wa sauti katika kuunda mofimu, mfuatano katika kuunda neno na otografia.
  • 3.
    Sauti katika Lugha Katika lugha ya kiswahili kuna sauti za aina mbili. Ambazo ni;  Sauti Irabu  Sauti Konsonanti
  • 4.
    Sauti Irabu  Nisauti zinazotamkwa bila kuwepo kizuizi katika mkondo wa hewa utokao mapafuni kwenda nje kupitia chemba ya kinywa na pua.  Kiswahili sanifu kina irabu tano (5)  Ambazo ni: /a/, /e/,/i/,/o/ na /u/
  • 5.
    Vigezo vinavyotumika kuainisha irabu Irabu huweza kutofautishwa na kuanishwa kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo:  Sehemu ya ulimi ya kutamkia  Mwinuko wa ulimi  Mkao wa mdomo
  • 7.
    Irabu za mbele Irabu hizi hutamkwa katika sehemu ya mbele ya ulimi.
  • 8.
    Irabu za nyuma Hizi hutamkiwa sehemu ya nyuma ya ulimi.
  • 9.
    Irabu za kati Hizi hutamkiwa sehemu ya kati ya ulimi. Irabu ya kati ni moja tu, /a/
  • 10.
    2. Mwinuko waUlimi  Katika kigezo hiki tunazingatia kiasi cha kuinuka kwa ulimi wakati wa kuzitamka irabu.  Kwa kuzingatia kigezo hiki tuna:  Irabu za juu  Irabu za kati  Irabu za chini
  • 11.
    Irabu za Juu Hapa tunapata irabu /i/ na /u/
  • 12.
    Irabu za Kati Hutamkwa ulimi ukiwa umeinuliwa wastani; si chini wala juu). Irabu hizo ni /e/ na /o/.
  • 13.
    Irabu ya Chini Hutamkwa irabu ikiwa chini kinywani. Irabu ya chini ni moja tu. /a/
  • 14.
    3. Mkao waMdomo  Hapa tunachunguza jinsi midomo ilivyo wakati wa kuzitamka sauti.  Kwa kuzingatia kigezo hiki tunapata:  Irabu viringwa (mviringo)  Irabu tandazwa
  • 15.
    Irabu Viringwa  Hutamkwamidomo ikiwa imeviringwa.  Irabu viringwa ni /o/ na /u/
  • 16.
    Irabu Tandazwa  Zinapotamkwamidomo inakuwa imetandazwa.  Irabu tandazwa ni /a/,/e/ na /i/
  • 17.
  • 18.
    Onesha sifa pambanuziza irabu zifuatazo  /a/  /e/  /i/  /o/  /u/
  • 19.
    Konsonanti  Ni sautizinazo tamkwa kwa kuzuia mkondo wa hewa katika sehemu mbalimbali kinywani hasa kwa kutumia ulimi.  Konsonanti za kiswahili huainishwa kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo:  Mahala pa kutamkia  Namna ya kutamka  Mtetemo au mtikisiko wa nyuzi sauti
  • 20.
    Mahala pa Kutamkia Konsonanti za kiswahili hutamkwa katika sehemu mbalimbali.  Sehemu hizo ni kama zifuatazo:
  • 21.
    midomo  Sauti hizihutamkwa mdomo wa juu unapokutana na mdomo wa chini.  Sauti hizi ni:  /p/  /b/  /m/ na  /w/
  • 22.
    Silabi  Ni sehemuya neno ambayo hutamkwa mara moja au kwa pamoja kama fungu moja la sauti.  Fungu hilo linaweza kuwa na sauti mbili au zaidi, inategemea muundo wa lugha inayohusika  Muundo wa silabi wa lugha yoyote ile hutawaliwa na kanuni za kifonolojia za lugha husika.  Kanuni za kifonolojia za lugha ndizo huelekeza:  Ni vipashio vipi vinavyoweza kujenga silabi  Kwa mfuatano au mpangilio wa namna gani  Ni vipashio vipi haviwezi kujenga silabi
  • 23.
    Silabi ya kiswahili Silabi ya kiswahili huundwa kwa kufuata taratibu maalumu za lugha ya kiswahili  Mfuatano wa sauti za kiswahili unaruhusu tu konsonanti za aina fulani kufuatana kwa idadi na kwa mpangilio maalumu katika silabi.  Kila mzungumzaji wa lugha ya kuswahili anaumilisi wa kuweza kutunga na kutumia kanuni hizi kuunda maneno.
  • 24.
    Aina za Silabi Kuna aina mbili za silabi zakiswahili:  Silabi Huru (wazi)  Silabu Funge
  • 25.
    Silabi Huru (wazi) Ni silabi ambazo huishia na irabu, sauti amabazo zina msikiko au mvumo wa juu.  Kutokana na kuishia na irabu, silabi huru huwa zinakuwa na msikiko mkubwa zaidi.  Mfano: ba - ba 1 2
  • 26.
    Konsonanti ng’ong’o  Konsonantihizi ni kama vile /m/,/n/,/ng’/ na /ny/.  Konsonanti hizi huweza kutamkwa katika neno bila msaada wa irabu.  Konsonanti hizi huweza kusimama peke yake kama silabi.  Mfano: neno mwanamke lina silabi nne:  Mwa-na-m-ke
  • 27.
    Silabi Funge  Silabifunge ni salbi zinazoishia na konsonanti,sauti ambazo kwa kawaida zinakuwa na msikiko au mvumo hafifu.  Lugha ya kiswahili ikikopa maneno kutoka lugha za kigeni kama vile kiarabu baadhi ya maneno yake yanakuwa na silabi funge:  Mfano: maktaba,madrasa,  Kwenye kingereza neno kama: cut, car na push
  • 28.
    Miundo ya SilabiAsilia ya Kiswahili Sanifu  Tunaposema silabi asilia za kiswahili tuna maana ya silabi zinazopatikana katika maneno asiliaya lugha hiyo.  Lugha ya kiswahili ina miundo isiyopungua mitano (5) ya irabu.  miundo hiyo ni kama ifuatayo:
  • 29.
    1. Irabu Pekee(I)  Kiswahili kina irabu tano (5) ambazo kila moja huweza kuwa silabi katika miundo ya maneno mbalimbali.  Mfano: ua:u-a Oa : o-a okoa: o-k-o-a
  • 30.
    2. Silabi yaKonsonanti pekee (k)  Hizi ni zile konsonanti ambazo huweza kutamkwa bila msaada wa irabu.  Konsonanti hizi huweza kuwa silabi.  Hii ni kwa sababu konsonanti hizi zinausilabi mkubwa kiasi cha kuweza kutamkika.  Konsonanti hizi ni ving’ong’o  Konsonanti hizi ni kama vile /m/,/n/,/ng’/ na /ny/.
  • 31.
    3. Silabi zakonsonati na irabu (KI)  Huu ni muundo unaotumika sana katika lugha sio tu ya kiswahili bali pia katika lugha nyingine za kibantu.  Lugha nyingi ulimwenguni hutumia muundo huu.  Mfano: kaka: ka-ka  lima : li-ma
  • 32.
    4. Siabi zakonsonanti,konsonanti na irabu (KKI)  Mafano  Pwani : pwa-ni  Kwisha : Kwi –sha
  • 33.
    5. Silabi za konsonanti,konsonanti,konsonant ina Irabu (KKKI)  Muundo huu hujumuisha konsonanti tatu na irabi moja.  Mfano;  Chimbwa  Mbwa  Anzwa  Jenjwa
  • 34.
  • 35.
    Lafudhi  Ni matamshiya mseamji wa lugha fulani ambayo yanatokana na athari za kimazingira.  Mazingira hayo yanaweza kuwa mahali alipotoka, kiwango cha elimu na kadhalika.  Hii inamaana kwamba kutokanan na jinsi mzungumzaji anavyoimudu sauti yake tunaweza kujua kujua mahali atokako.  Lugha ya kwanza ya jamii atokayo mzungumzaji inaweza kuathiri lafudhi ya mzungumzaji.
  • 36.
     Mfano  Bwanawew, ntu alokanichilimisha aje anchilimue…!  Nkuu wa nkoa wa ntwara n’jini kanipa nchongo wa kusuka nkeka nipeleke nsanga nkuu.  Ukisikia sauti ya mzungumzaji huyu utajua tu anatokea mazingira gani au katika jamii gani.
  • 37.
    Mkazo/ Shadda  Nisifa ya kiarudhi ambapo sehemu Fulani ya neno, aghalabu silabi hutamkwa kwa nguvu au kwa kuvuta ili kwamba isikike au isistizwe zaidi kuliko sehemu nyingine za neno au sentensi.  Mfano:  Barabara (njia)  Barabara (sawasawa)  Mkazo hutumiwa kutofautisha maana za maneno au kuonesha msisitizo wa jambo katika sentensi.
  • 38.
     Katika lughaya Kiswahili mkazo huweza kuwekwa katika kiwango cha neno au sentensi.  Mfano wa mkazo katika sentensi:  Walikuja kwa kasi ya ajabu.  Kazi waliyofanya ni kidogo sana.  Katika kiwango cha neno mkazo huwekwa katika silabi ya pili kutoka mwisho:  Mfano: Watatu , walakini na walakini.  Mkazo katika sentensi huwekwa ili kudhihirisha wazo linalotaka kusisitizwa.  Mkazo katika kiwango cha neno huwekwa kujenga maana fulani.
  • 39.
    Kiimbo  Ni haliya kupanda na kushuka kwa sauti wakati wa kutamka maneno mbalimbali katika sentensi.  Kiimbo pia kinaweza kufafanuliwa kama sauti maalum inayojitokeza unapotamka maneno fulani.  Kiimbo husaidia kuleta maana kamili ya sentensi iliyokusudiwa.  Katika uandishi, Viimbo husaidiwa na alama za uakifishaji (uandishi) ili kumwelekeza msomaji asome kwa kiimbo kilichokusudiwa.
  • 40.
    Ruwaza za kiimbo Hii ni mipangilio au mgawanyo wa viimbo kulingana na maana vinazotoa.  Ruwaza hizi hubadilika kulingana na dhima ya kauli za sentensi husika.  Katika sentensi ya taarifa, sauti huwa na kiimbo sawa pasi na kupanda na kushuka.  Juma amekwenda  Katika sentensi ya swali, sauti huanzia chini kisha hupanda na kufikia silabi pili kutoka mwisho.  Juma amekwenda?  Katika sentensi ya mshangao sauti huanzia chini kisha hupanda na kufikia silabi ya mwisho.  Juma amekwenda?
  • 41.