DIGNITAS INFINITA - DIGNIDAD HUMANA; Declaración del dicasterio para la doctr...
Dei verbum swahili - divine revelation
1. Konstitusio ya kidogma juu ya
ufunuo wa kimungu
Paulo Askofu
Mtumishi wa watumishi wa Mungu
pamoja na Mababa wa Mtaguso mkuu
ataka haya yakumbukwe daima
2. Konstitusio ya kidogma juu ya
ufunuo wa kimungu
Paulo Askofu
Mtumishi wa watumishi wa Mungu
pamoja na Mababa wa Mtaguso mkuu
ataka haya yakumbukwe daima
UTANGULIZI - preface
1 UFUNUO WENYEWE
2 URITHISHAJI WA UFUNUO WA KIMUNGU
3 UVUVIO WA KIMUNGU NA UFAFANUZI WA MAANDIKO MATAKATIFU
4 AGANO LA KALE
5 AGANO JIPYA
6 MAANDIKO MATAKATIFU KATIKA MAISHA YA KANISA
3. 1 UFUNUO WENYEWE
“Tunawahubiri ninyi ule uzima wa milele, uliokuwa kwa Baba, ukadhihirika kwetu: hilo
tuliloliona na kulisikia, twawahubiri na ninyi, ili nanyi pia mpate kushirikiana nasi, na ushirika
wetu ni pamoja na Baba na pamoja na Mwana wake Yesu Kristo” (1Yoh. 1:2-3). DV 1
4. katika fumbo hilo, kwa njia ya Kristo, Neno la Mungu aliyefanyika mwili,
katika Roho Mtakatifu, wanadamu wanapata njia ya kumwendea Baba na
kushirikishwa hali ya kimungu (taz. Efe 2:18; 2Pet 1:4). DV 2
5. Kwa njia ya ufunuo huo Mungu
asiyeonekana (taz. Kol 1:15; 1Tim. 1:17)
katika upendo wake usio na
mipaka anaongea na wanadamu
kama na marafiki
(taz. Kut 33:11; Yn 15:14-15),DV 2
6. tena hukaa nao (taz.
Bar 3:38) ili kuwaalika
na kuwapokea katika
ushirika naye. DV 2
7. Haya yameunganika kwa ndani kabisa, kiasi
kwamba kazi zilizotimizwa na Mungu katika
historia ya wokovu zinaonyesha na kuthibitisha
mafundisho na yale yote yaliyomo katika maneno;
na maneno yanatangaza kazi na kuliangaza
fumbo lililomo ndani yake. DV 2
8. Mungu, anayeviumba na kuvihifadhi vitu vyote kwa njia ya Neno
[wake] (taz. Yn 1:3), anaendelea kuwapatia wanadamu ushuhuda juu
yake mwenyewe katika vitu vilivyoumbwa (taz. Rum 1:19-20). DV 3
9. naye alikuwa na utunzo wa daima kwa jamii
ya wanadamu, ili awapatie uzima wa milele
wale wote ambao wanautafuta wokovu
kwa saburi katika kutenda mema
(taz. Rum 2:6-7). DV 3
11. ambalo baada ya Mababu, alilifundisha kwa njia ya Musa na Manabii,
ili wamtambue Mungu kuwa ndiye Mungu peke yake, mwenye uhai na
ukweli, Baba mwenye kuwatunza na hakimu mwenye haki. Tena
aliwafundisha kumngojea Mwokozi aliyeahidiwa. . DV 3
12. Maana alimtuma
Mwanawe, yaani
Neno wa milele,
anayewaangazia
watu wote, ili
akae kati ya
wanadamu na
kuwafunulia siri
za Mungu
(taz. Yn 1:1-18). DV 4
13. Kwa hiyo Yesu Kristo, Neno aliyefanyika mwili, aliyetumwa kwetu kama
“mwanadamu kwa wanadamu”, “huyanena maneno ya Mungu” (Yn 3:34) na
kutimiza kazi ya wokovu ambayo Baba alimpa ili aitende (taz. Yn 5:36; 17:4). DV 4
14. kwa ishara
na miujiza na
hasa kwa kifo
na ufufuko
wake mtukufu
kutoka katika
wafu, na
hatimaye kwa
kumtuma
Roho wa
kweli. DV 4
alitimiza na
kukamilisha
ufunuo na
kuuthibitisha kwa
ushuhuda wa
kimungu. Hayo
aliyafanya kwa
uwepo wake
kamili, kwa
kujidhihirisha
mwenyewe, kwa
maneno na
matendo
15. Utii wa imani lazima
apewe Mungu
anayejifunua (Rum
16:26; taz. Rum 1:5;
2Kor 10:5-6). Kwa
imani mwanadamu
hujikabidhi kikamilifu
na kwa uhuru
mikononi mwa
Mungu, akitoa kwa
Mungu mwenye
kufunua “heshima kuu
ya akili na utashi” DV 5
16. 2 URITHISHAJI WA UFUNUO WA KIMUNGU
Tendo hilo lilitimizwa kiaminifu na Mitume, ambao kwa kuhubiri kwa maneno, kwa
mifano na kwa kuunda jumuiya mbalimbali waliwajulisha watu wote yale
waliyopokea kutoka katika kinywa cha Kristo, kwa kuishi pamoja naye na kwa
matendo yake; na pia yale waliyojifunza kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu. DV 7
17. Tena, tendo
hilo
lilitimizwa
pia na wale,
Mitume na
wengine
walioishi nao,
ambao, kwa
uvuvio wa
Roho
Mtakatifu
mwenyewe,
waliandika
ujumbe wa
wokovu. DV 7
18. Hivyo basi, Mapokeo
hayo Matakatifu
pamoja na Maandiko
Matakatifu ya
Maagano yote mawili
ni kama kioo
ambacho, kwa njia
yake, Kanisa linalohiji
hapa duniani
humtazama Mungu,
ambaye kutoka kwake
hupewa yote mpaka
litakapomwona uso
kwa uso kama alivyo
(taz. 1Yoh 3:2).DV 7
19. Kwa hiyo, mahubiri ya kitume, yanapatikana kwa namna ya pekee katika Vitabu Vitakatifu, ilikuwa
lazima yaendelee kuhifadhiwa kwa mfululizo wa kupokezana mpaka mwisho wa nyakati. DV 8
21. Na Roho
Mtakatifu,
ambaye kwa
njia yake sauti
hai ya Injili
husikika katika
Kanisa, na kwa
njia ya Kanisa
katika
ulimwengu,
anawaingiza
waamini katika
ukweli wote na
kufanya Neno la
Kristo likae kwa
wingi ndani yao
(taz. Kol 3:16).
DV 8
22. Kwa kweli, Maandiko Matakatifu ndilo Neno la Mungu ambalo liliandikwa kwa uvuvio wa Roho wa
Mungu. Neno la Mungu lililokabidhiwa kwa Mitume na Kristo Bwana na Roho Mtakatifu
linarithishwa li zima na Mapokeo Matakatifu kwa waandamizi wao, ili, wakiangazwa na Roho wa
kweli, kwa njia ya kuhubiri kwao, walihifadhi kiaminifu, walifafanue na kulieneza. DV 9
23. Mapokeo Matakatifu na
Maandiko Matakatifu
yanaunda hazina moja
takatifu ya Neno la
Mungu iliyokabidhiwa
kwa Kanisa. DV 10
24. Jukumu (Munus) la kutoa ufafanuzi halisi wa Neno
la Mungu lililoandikwa au kupokewa umekabidhiwa
tu kwa Majisterio hai ya Kanisa. DV 10
25. 3 UVUVIO WA KIMUNGU NA UFAFANUZI WA MAANDIKO MATAKATIFU
Mama Kanisa mtakatifu, akitegemea imani ya [nyakati za] Mitume, anavipokea rasmi kama vitakatifu
vitabu vyote vizima vya Agano la Kale na Jipya, tena katika sehemu zao zote, kwa misingi hii kwamba,
kwa vile viliandikwa kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu (taz. Yn 20:31; 2Tim 3:16; 2Pet 1:19-21; 3:15-16),
Mungu mwenyewe ndiye mtunzi wake; na katika hali hiyo vimekabidhiwa kwa Kanisa lenyewe. DV 11
26. Kwa hiyo ni lazima mfafanuzi atafute maana ile iliyoandikwa, aliyotaka kueleza
mwandishi mtakatifu katika nafasi fulani, kadiri ya hali ya wakati na utamaduni
wake, kwa njia ya mitindo ya fasihi iliyotumika wakati ule DV 12
27. Kwa sababu hiyo, ili kupata kwa hakika maana ya matini takatifu,
hatuna budi kujali sana na kwa makini yale yaliyomo katika Maandiko
Matakatifu yote na umoja wake, pamoja na kutilia maanani Mapokeo
hai ya Kanisa lote na ulinganifu wa imani (analogiae fidei). DV 12
28. 4 AGANO LA KALE - pia Mungu mwenyewe alinena kwa vinywa vya Manabii ili
Israeli azielewe kwa undani na kwa wazi zaidi, tena azijulishe kwa upana zaidi kwa Mataifa
yote (taz. Zab 22:27-28; 96:1-3; Isa 2:1-4; Yer 3:17). DV 14
29. Kwa hiyo waamini ni lazima
wapokee kwa heshima vitabu hivyo
ambavyo vinaonyesha jinsi ya
kumcha Mungu, mafundisho makuu
juu ya Mungu, hekima iletayo
wokovu kwa maisha ya binadamu,
na pia hazina za ajabu za sala. DV 15
30. Kwa sababu hiyo, hata kama Kristo alifanya Agano Jipya katika damu yake (taz. Lk
22:20; 1Kor 11:25), vitabu vyote vya Agano la Kale, vikichukuliwa katika hali yao
nzima katika ujumbe wa Injili, vinapata na kuonyesha maana yao timilifu katika
Agano Jipya (taz. Mt 5:17; Lk 24:27; Rum 16:25-26; 2Kor 3:14-16), navyo [vitabu vya
Agano la Kale] pia, kwa upande wao, vinaliangaza na kulieleza Agano Jipya. DV 16
31. 5 AGANO JIPYA
Kristo alileta Ufalme wa Mungu hapa
duniani, akamfunua Baba yake na pia
akajifunua mwenyewe kwa matendo na
maneno DV 17
33. ambazo anaamini bila kusita kwamba ni za kweli, zinasimulia
kiaminifu yale ambayo Yesu Mwana wa Mungu aliyatenda kwelikweli
na kufundisha kwa ajili ya wokovu wa milele, wakati alipoishi kati ya
wanadamu hadi siku ile alipopaa mbinguni (taz. Mdo 1:1-2). DV 19
34. Mitume, baada ya Bwana kupaa mbinguni, waliwatangazia watu yale aliyokuwa
ameyasema na kuyatenda, kwa ujuzi kamili waliojaliwa[32] baada ya kufundishwa
na matukio matukufu ya Kristo na kuangazwa na mwanga wa Roho wa ukweli. DV 19
35. 6 MAANDIKO
MATAKATIFU KATIKA
MAISHA YA KANISA
"Kwa hiyo, haya
yaliyoandikwa ya kwamba
“Neno la Mungu ni hai,
tena lina nguvu” (Ebr
4:12), “laweza kuwajenga
na kuwapa urithi pamoja
nao wote waliotakaswa”
(Mdo 20:32; taz. 1The
2:13), haya basi huyahusu
kabisa Maandiko
Matakatifu. DV 21
36. Bibiarusi wa Neno
aliyefanyika mwili,
yaani Kanisa,
akifundishwa na
Roho Mtakatifu,
hujibidisha kufikia
zaidi na zaidi ujuzi wa
ndani wa Maandiko
Matakatifu ili
kuwalisha watoto
wake kila wakati kwa
maneno ya kimungu.
DV 23
37. Lakini waamini
wakumbuke kwamba
kusoma Maandiko
Matakatifu lazima
kuwe katika mazingira
ya sala, ili Mungu na
binadamu waweze
kuongea pamoja; kwa
sababu “tunaongea
naye tunaposali na
tunamsikiliza
tunaposoma Maneno
Matakatifu” DV 25
38. Ni juu ya Maaskofu, “walio warithi
wa mafundisho ya kitume”
kuwafundisha waamini
waliokabidhiwa kwao matumizi
sahihi ya Vitabu Vitakatifu, hasa
Agano Jipya ambalo ndani yake Injili
inashika nafasi ya kwanza. DV 25
39. Kwa njia hii, kwa kusoma na kujifunza
Vitabu Vitakatifu “Neno la Bwana liendelee
na kutukuzwa” (2The 3:1), na hazina ya
ufunuo iliyokabidhiwa kwa Kanisa ijaze zaidi
na zaidi mioyo ya waamini. DV26
40. vivyo hivyo tunaweza kutumaini mwamko mpya wa maisha
ya kiroho kutokana na kuheshimu zaidi Neno la Mungu
“linalodumu milele” (Isa 40:8; taz. 1Pet 1:23-25).DV26
41. LIST OF PRESENTATIONS IN ENGLISH
Revised 29-10-2020
Advent and Christmas – time of hope and peace
Amoris Laetitia – ch 1 – In the Light of the Word
Amoris Laetitia – ch 2 – The Experiences and Challenges of Families
Amoris Laetitia – ch 3 - Looking to Jesus, the Vocation of the Family
Amoris Laetitia – ch 4 - Love in Marriage
Amoris Laetitia – ch 5 – Love made Fruitfuol
Amoris Laetitia – ch 6 – Some Pastoral Perspectives
Amoris Laetitia – ch 7 – Towards a better education of children
Amoris Laetitia – ch 8 – Accompanying, discerning and integrating weaknwss
Amoris Laetitia – ch 9 – The Spirituality of Marriage and the Family
Beloved Amazon 1ª – A Social Dream
Beloved Amazon 2 - A Cultural Dream
Beloved Amazon 3 – An Ecological Dream
Beloved Amazon 4 - An Ecclesiastical Dream
Carnival
Christ is Alive
Dei Verbum – on divine Revelation
Diwali, Festival of lights
Familiaris Consortio (FC) 1 – Church and Family today
Familiaris Consortio (FC) 2 - God’s plan for the family
Familiaris Consortio (FC) 3 – 1 – family as a Community
Familiaris Consortio (FC) 3 – 2 – serving life and education
Familiaris Consortio (FC) 3 – 3 – mission of the family in society
Familiaris Consortio (FC) 3 – 4 - Family in the Church
Familiaris Consortio (FC) 4 Pastoral familiar
Football in Spain
Haurietis aquas – devotion to the Sacred Heart by Pius XII
Holidays and Holy Days
Holy Spirit
Holy Week – drawings for children
Holy Week – glmjpses of the last hours of JC
Inauguration of President Donald Trump
Juno explores Jupiter
Laudato si 1 – care for the common home
Laudato si 2 – Gospel of creation
Laudato si 3 – Human roots of the ecological crisis
Laudato si 4 – integral ecology
Laudato si 5 – lines of approach and action
Laudato si 6 – Education y Ecological Spirituality
Love and Marriage 1 + 2 – growing up to sexual maturity
Love and Marriage 3 – psychological differences and complimentarity
Love and Marriage 4- causes of sexual attraction
Love and Marriage 5- freedom and intimacy
Love and Marriage 6 - human love
Love and Marriage 7 - destiny of human love
Love and Marriage 8- marriage between Christian believers
Love and Marriage 9 – sacrament of marriage
Lumen Fidei – ch 1,2,3,4
Medjugore Pilgrimage
Misericordiae Vultus in English
Mother Teresa of Calcuta – Saint
Pope Francis in America
Pope Francis in Egypt
Pope Francis in the European Union – Strasbourg
Pope Francis in Japan
Pope Francis in Sweden
Pope Franciss in Thailand
Pope Francis in the Holy Land – Jordan, Palestine, Israel
Pope Francis in the WYD Cologne, Germany
Pope Francis in the WYD in Poland, 2016
Pope Francis – Fratelli tutti Encyclical in English – All brothers
Pope Saitn John Paul in Poland, Auschwitz
Priestly Ministry – International Theological Commission 1970 Vatica
Querida Amazonia
Resurrection of Jesus Christ –according to the Gospels
Russian Revolution and Communismo 3 civil war 1918.1921
Russian Revolution and Communism 1
Russian Revolution and Communismo 2
Saint Joseph
Saint Patrick and Ireland
Sunday – day of the Lord
Thanksgiving – History and Customs
The Body, the cult – (Eucharist)
Valentine
Vocation – mconnor@legionaries.org
Way of the Cross – drawings for children
For commentaries – email – mflynn@legionaries.org
Fb – Martin M Flynn
Donations to - Congregación Legionarios de Cristo
IBAN: ES3700491749852910000635
Swift Code (BIC): BSCHESMMXXX
Dirección banco: Plaza de Parma, 8, Montequinto. CP 41700 Dos Hermanas,
Sevilla. España.
42. LISTA DE PRESENTACIONES EN ESPAÑOL
Revisado 27-5-2020
Abuelos
Adviento y Navidad, tiempo de esperanza
Amor y Matrimonio 1 - 9
Amoris Laetitia – ch 1 – A la luz de la Palabre
Amoris Laetitia – ch 2 – Realidad y Desafíos de las Familias
Amoris Laetitia – ch 3 La mirada puesta en Jesús: Vocación de la Familia
Amoris Laetitia – ch 4 - El Amor en el Matrimonio
Amoris Laetitia – ch 5 – Amor que se vuelve fecundo
Amoris Laetitia – ch 6 – Algunas Perspectivas Pastorales
Amoris Laetitia – ch 7 – Fortalecer la educacion de los hijos
Amoris Laetitia – ch 8 – Acompañar, discernir e integrar la fragilidad
Amoris Laetitia – ch 9 – Espiritualidad Matrimonial y Familiar
Carnaval
Cristo Vive
Domingo – día del Señor
El camino de la cruz de JC en dibujos para niños
El Cuerpo, el culto – (eucarisía)
Espíritu Santo
Familiaris Consortio (FC) 1 – iglesia y familia hoy
Familiaris Consortio (FC) 2 - el plan de Dios para la familia
Familiaris Consortio (FC) 3 – 1 – familia como comunidad
Familiaris Consortio (FC) 3 – 2 – servicio a la vida y educación
Familiaris Consortio (FC) 3 – 3 – misión de la familia en la sociedad
Familiaris Consortio (FC) 3 – 4 - participación de la familia en la iglesia
Familiaris Consortio (FC) 4 Pastoral familiar
Fátima – Historia de las Apariciones de la Virgen
Feria de Sevilla
Haurietis aquas – el culto al Sagrado Corazón
Hermandades y cofradías
Hispanidad
Laudato si 1 – cuidado del hogar común
Laudato si 2 – evangelio de creación
Laudato si 3 – La raíz de la crisis ecológica
Laudato si 4 – ecología integral
Laudato si 5 – líneas de acción
Laudato si 6 – Educación y Espiritualidad Ecológica
Lumen Fidei – cap 1,2,3,4
Madre Teresa de Calcuta – Santa
María y la Biblia
Medjugore peregrinación
Misericordiae Vultus en Español
Papa Francisco en Bulgaria
Papa Francisco en Rumania
Papa Francisco en Marruecos
Papa Francisco en México
Papa Francisco – mensaje para la Jornada Mundial Juventud 2016
Papa Francisco – visita a Chile
Papa Francisco – visita a Perú
Papa Francisco en Colombia 1 + 2
Papa Francisco en Cuba
Papa Francisco en Fátima
Papa Francisco en la JMJ 2016 – Polonia
Queridas Amazoznia 1 un sueños social
Queridas Amazoznia 2 un suepo cultural
Queridas Amazoznia 3 un seuños ecologico
Queridas Amazoznia 4 un sueño eclesial
Resurrección de Jesucristo – según los Evangelios
Revolución Rusa y Comunismo 1
Revolución Rusa y comunismo 2
Revolución Rusa y Comunismo 3
San José
Santiago Apóstol
Semana santa – Vistas de las últimas horas de JC
Vacaciones Cristianas
Valentín
Vocación – www.vocación.org
Para comentarios – email – mflynn@lcegionaries.org
fb – martin m. flynn
Donativos a - Congregación Legionarios de Cristo
IBAN: ES3700491749852910000635
Swift Code (BIC): BSCHESMMXXX
Dirección banco: Plaza de Parma, 8, Montequinto. CP 41700 Dos
Hermanas, Sevilla. España.