SlideShare a Scribd company logo
UANDISHI WA MATANGAZO
Matangazo ni habari za kijamii katika vyombo vya habari kwa lengo la kushawishi au kutoa
taarifa kwa jamii ili kununua, kuuza au kupata taarifa iliyokusudiwa kwa muhtasari. Matangazo
hulenga watu mahsusi kwa jamii
Dhima za matangazo katika jamii
 Kutangaza bidhaa mbalimbali
 Kutoa tahadhari kabla ya tukio linalokusudiwa kutekelezwa siku za usoni
 Kuelimisha jamii – hutumika kama kutoa ujuzi, stadi, maarifa mbalimbali: mfano;
kuhusu UKIMWI, Malaria, Kipindupindu n.k
 Kusaidia kuboresha shughuli za kiuchumi
Mambo muhimu katika uandishi wa matangazo
 Kichwa cha habari (kuandikwa kwa herufi kubwa)
 Kufanya aina ya biashara (kama matangazo ya biashara)/ aina za bidhaa
 Mahali inapopatikana hiyo bidhaa au huduma
 Kufanya njia ya mawasiliano
UANDISHI WA MATANGAZO MAGAZETINI
Vitu vya kuzingatia
 Kutilia mkazo dhumuni la tangazo hilo
 Kutumia lugha rahisi yenye sentensi fupi zenye tamathali za semi na mbinu nyingine za
kisanaa
 Kutumia vivumishi vyenye kuvutia na kushawishi walengwa
 Kutumia lugha ya kibunifu
Mfano wa matangazo
UANDISHI WA INSHA ZA KISANAA
INSHA- Ni kifungu cha habari chenye aya moja au zaidi. Insha hizo zinaweza kuwa za kisanaa
au zisizo za kisanaa.
Insha za kisanaa-Hizi ni Insha ambazo hutumia vipengele mbalimbali vya fasihi katika
kuwasilisha ujumbe. Mfano nahau, methali, misemo au tamathali za semi huweza kutumika
Mfano wa Insha za kisanaa
Mzee toboa mpenda haki
-Mzee toboa ni dereva wa teksi kwa miaka mingi jijini Dar es Salaam kutokana na uzoefu wa
kazi yake, Uaminifu, Uzungumzaji na Ucheshi kwa wateja wake aliweza kujipatia chumo nono
la kila siku. Wenzanke walimwonea gere mzee huyo, maana hata anapokuwa katulia katika
kundi la madereva akisubiri abiria wa kukodi teksi wengi humtaka yeye. Alikuwa na Umri wa
miaka arobaini au hamsini hivi, mwenye Umbo la wastani si mnene wala si mwembamba aidha
si mrefu wala mfupi kichwa chake hakikuwa kikubwa lakini kilijaa busara. hulka njema na
hekima yake kubwa vilimfanya aheshimiwe na watu.
Japokuwa hakusoma sana, mzee Toboa alijaliwa kuijua siasa ya nchi yake barabara. Alikuwa na
tabia ya kuongea na kila mtu, watoto, vijana,wazee, viongozi matajiri na makabwela, kwa
maneno mengine mzee Toboa alikuwa mcheshi na mwema. Kwa tabia yake hiyo aliweza kujua
matukio mbalimbali mitaani kwa urahisi zaidi. Yeye hakupenda Uovu wala dhuluma. Alisubiri
kwa hamu siku ambapo maovu yangetoweka kabisa .
Mzee Toboa aliweza kukemea watoto wenye tabia mbaya kwani aliweza kuwaambia Asiyesikia
la Mkuu huvunjika guu, kwa maana kwamba Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.
Mzee Toboa aliweza kufanikiwa kujua kila Ovu lililokuwa likitokea kwani aliweza kuchukua
hatua harakaharaka.
Uandishi wa matangazo

More Related Content

What's hot

Kiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au KrioliKiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au Krioli
mussa Shekinyashi
 
Ngeli za nomino
Ngeli za nominoNgeli za nomino
Ngeli za nomino
MussaOmary3
 
Tamthilia ni nini?
Tamthilia ni nini?Tamthilia ni nini?
Tamthilia ni nini?
Ignatius Ntungwa
 
Chimbuko na Asili ya Kiswahili
Chimbuko na Asili ya KiswahiliChimbuko na Asili ya Kiswahili
Chimbuko na Asili ya Kiswahili
mussa Shekinyashi
 
Kuongeza msamiati wa kiswahili
Kuongeza msamiati wa kiswahiliKuongeza msamiati wa kiswahili
Kuongeza msamiati wa kiswahili
KAZEMBETVOnline
 
FASIHI YA KISWAHIL PAST PAPERS
FASIHI YA KISWAHIL PAST PAPERSFASIHI YA KISWAHIL PAST PAPERS
FASIHI YA KISWAHIL PAST PAPERS
Ignatius Ntungwa
 
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penziUhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
mussa Shekinyashi
 
Waingereza na baada ya uhuru
Waingereza na baada ya uhuruWaingereza na baada ya uhuru
Waingereza na baada ya uhuru
KAZEMBETVOnline
 
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIAMAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
shahzadebaujiti
 
Mjengo wa tungo
Mjengo wa tungoMjengo wa tungo
Mjengo wa tungo
MussaOmary3
 
Vitabu teule vya fasihi
Vitabu teule vya fasihiVitabu teule vya fasihi
Vitabu teule vya fasihi
KAZEMBETVOnline
 
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHAUHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
mussa Shekinyashi
 
Rejesta
RejestaRejesta
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha KimuktadhaMatumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
mussa Shekinyashi
 
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)Mwl. Mapesa Nestory
 
USHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILIUSHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILI
Peter Deus
 
Maendeleo ya kiswahili
Maendeleo ya kiswahiliMaendeleo ya kiswahili
Maendeleo ya kiswahili
MussaOmary3
 
Semantiki
SemantikiSemantiki
Mofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahiliMofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahiliGeophery sanga
 
What's hot (20)

Kiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au KrioliKiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au Krioli
 
Ngeli za nomino
Ngeli za nominoNgeli za nomino
Ngeli za nomino
 
Tamthilia ni nini?
Tamthilia ni nini?Tamthilia ni nini?
Tamthilia ni nini?
 
Chimbuko na Asili ya Kiswahili
Chimbuko na Asili ya KiswahiliChimbuko na Asili ya Kiswahili
Chimbuko na Asili ya Kiswahili
 
Kuongeza msamiati wa kiswahili
Kuongeza msamiati wa kiswahiliKuongeza msamiati wa kiswahili
Kuongeza msamiati wa kiswahili
 
FASIHI YA KISWAHIL PAST PAPERS
FASIHI YA KISWAHIL PAST PAPERSFASIHI YA KISWAHIL PAST PAPERS
FASIHI YA KISWAHIL PAST PAPERS
 
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penziUhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
 
Waingereza na baada ya uhuru
Waingereza na baada ya uhuruWaingereza na baada ya uhuru
Waingereza na baada ya uhuru
 
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIAMAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
 
Mjengo wa tungo
Mjengo wa tungoMjengo wa tungo
Mjengo wa tungo
 
Mofolojia
MofolojiaMofolojia
Mofolojia
 
Vitabu teule vya fasihi
Vitabu teule vya fasihiVitabu teule vya fasihi
Vitabu teule vya fasihi
 
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHAUHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
 
Rejesta
RejestaRejesta
Rejesta
 
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha KimuktadhaMatumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
 
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
 
USHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILIUSHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILI
 
Maendeleo ya kiswahili
Maendeleo ya kiswahiliMaendeleo ya kiswahili
Maendeleo ya kiswahili
 
Semantiki
SemantikiSemantiki
Semantiki
 
Mofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahiliMofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahili
 
More from MussaOmary3

Movement
MovementMovement
Movement
MussaOmary3
 
Excretion
ExcretionExcretion
Excretion
MussaOmary3
 
Coordination 1
Coordination  1Coordination  1
Coordination 1
MussaOmary3
 
Writing using appropriate language content and style
Writing using appropriate language content and styleWriting using appropriate language content and style
Writing using appropriate language content and style
MussaOmary3
 
Writing formal letters
Writing formal lettersWriting formal letters
Writing formal letters
MussaOmary3
 
Using appropriate language content and style speaking
Using appropriate language content and style speakingUsing appropriate language content and style speaking
Using appropriate language content and style speaking
MussaOmary3
 
Reading literary works
Reading literary worksReading literary works
Reading literary works
MussaOmary3
 
Reading for information from different sources
Reading for information from different sourcesReading for information from different sources
Reading for information from different sources
MussaOmary3
 
Listening for information from different sources
Listening for information from different sourcesListening for information from different sources
Listening for information from different sources
MussaOmary3
 
Reproduction 1
Reproduction  1Reproduction  1
Reproduction 1
MussaOmary3
 
Coordination 2
Coordination  2Coordination  2
Coordination 2
MussaOmary3
 
Classification of living things
Classification of living thingsClassification of living things
Classification of living things
MussaOmary3
 
Quantitative analysis and volumetric analysis
Quantitative analysis and volumetric analysisQuantitative analysis and volumetric analysis
Quantitative analysis and volumetric analysis
MussaOmary3
 
Mole concept
Mole conceptMole concept
Mole concept
MussaOmary3
 
Ionic theory and electrolysis
Ionic theory and electrolysisIonic theory and electrolysis
Ionic theory and electrolysis
MussaOmary3
 
Hardness of water
Hardness of waterHardness of water
Hardness of water
MussaOmary3
 
Extraction of metals
Extraction of metalsExtraction of metals
Extraction of metals
MussaOmary3
 
Compounds of metals
Compounds of metalsCompounds of metals
Compounds of metals
MussaOmary3
 
Chemical kinetics, equilibrium and energetics
Chemical kinetics, equilibrium and energeticsChemical kinetics, equilibrium and energetics
Chemical kinetics, equilibrium and energetics
MussaOmary3
 
Chemical equation
Chemical equationChemical equation
Chemical equation
MussaOmary3
 
More from MussaOmary3 (20)

  • 1. UANDISHI WA MATANGAZO Matangazo ni habari za kijamii katika vyombo vya habari kwa lengo la kushawishi au kutoa taarifa kwa jamii ili kununua, kuuza au kupata taarifa iliyokusudiwa kwa muhtasari. Matangazo hulenga watu mahsusi kwa jamii Dhima za matangazo katika jamii  Kutangaza bidhaa mbalimbali  Kutoa tahadhari kabla ya tukio linalokusudiwa kutekelezwa siku za usoni  Kuelimisha jamii – hutumika kama kutoa ujuzi, stadi, maarifa mbalimbali: mfano; kuhusu UKIMWI, Malaria, Kipindupindu n.k  Kusaidia kuboresha shughuli za kiuchumi Mambo muhimu katika uandishi wa matangazo  Kichwa cha habari (kuandikwa kwa herufi kubwa)  Kufanya aina ya biashara (kama matangazo ya biashara)/ aina za bidhaa  Mahali inapopatikana hiyo bidhaa au huduma  Kufanya njia ya mawasiliano UANDISHI WA MATANGAZO MAGAZETINI Vitu vya kuzingatia  Kutilia mkazo dhumuni la tangazo hilo  Kutumia lugha rahisi yenye sentensi fupi zenye tamathali za semi na mbinu nyingine za kisanaa  Kutumia vivumishi vyenye kuvutia na kushawishi walengwa  Kutumia lugha ya kibunifu Mfano wa matangazo
  • 2. UANDISHI WA INSHA ZA KISANAA INSHA- Ni kifungu cha habari chenye aya moja au zaidi. Insha hizo zinaweza kuwa za kisanaa au zisizo za kisanaa. Insha za kisanaa-Hizi ni Insha ambazo hutumia vipengele mbalimbali vya fasihi katika kuwasilisha ujumbe. Mfano nahau, methali, misemo au tamathali za semi huweza kutumika Mfano wa Insha za kisanaa Mzee toboa mpenda haki -Mzee toboa ni dereva wa teksi kwa miaka mingi jijini Dar es Salaam kutokana na uzoefu wa kazi yake, Uaminifu, Uzungumzaji na Ucheshi kwa wateja wake aliweza kujipatia chumo nono la kila siku. Wenzanke walimwonea gere mzee huyo, maana hata anapokuwa katulia katika kundi la madereva akisubiri abiria wa kukodi teksi wengi humtaka yeye. Alikuwa na Umri wa miaka arobaini au hamsini hivi, mwenye Umbo la wastani si mnene wala si mwembamba aidha si mrefu wala mfupi kichwa chake hakikuwa kikubwa lakini kilijaa busara. hulka njema na hekima yake kubwa vilimfanya aheshimiwe na watu. Japokuwa hakusoma sana, mzee Toboa alijaliwa kuijua siasa ya nchi yake barabara. Alikuwa na tabia ya kuongea na kila mtu, watoto, vijana,wazee, viongozi matajiri na makabwela, kwa maneno mengine mzee Toboa alikuwa mcheshi na mwema. Kwa tabia yake hiyo aliweza kujua matukio mbalimbali mitaani kwa urahisi zaidi. Yeye hakupenda Uovu wala dhuluma. Alisubiri kwa hamu siku ambapo maovu yangetoweka kabisa . Mzee Toboa aliweza kukemea watoto wenye tabia mbaya kwani aliweza kuwaambia Asiyesikia la Mkuu huvunjika guu, kwa maana kwamba Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Mzee Toboa aliweza kufanikiwa kujua kila Ovu lililokuwa likitokea kwani aliweza kuchukua hatua harakaharaka.