Somo la 30
Matumizi ya Would na Wouldn’t
1. Matumizi ya Would katika hali ya kutenda – Wakati uliopita.
Would - Tamka: (Wuld).
NGE- Ikiwa na I inakuwa – NINGE.
- Ikiwa na WE inakuwa – TUNGE.
- Ikiwa na YOU inakuwa – UNGE.
- Ikiwa na YOU inakuwa – MNGE.
-Ikiwa na HE inakuwa – ANGE.
- Ikiwa na SHE inakuwa – ANGE.
-Ikiwa na IT inakuwa – ANGE/KINGE/INGE/LINGE.
- Ikiwa na THEY inakuwa – WANGE/VINGE/ZINGE.
Jedwali la Nafsi:
I would – Ninge. We- would – Tunge.
You would – Unge. You- would – Mnge.
He would - Ange.
She would – Ange.
It would – Ange/Kinge/Inge/Linge
They- would – Wange/Vinge/zinge
(1).
2. Matumizi ya Wouldn’t katika hali ya kutenda – Wakati uliopita
Wouldn’t, tamka (Wuldnti).
SINGE- Ikiwa na I inakuwa – NISINGE.
- Ikiwa na WE inakuwa – TUSINGE.
- Ikiwa na YOU inakuwa – USINGE.
- Ikiwa na YOU inakuwa – MSINGE.
- Ikiwa na HE inakuwa – ASINGE.
- Ikiwa na SHE inakuwa – ASINGE.
- Ikiwa na IT inakuwa – ASINGE/KISINGE.
-Ikiwa na THEY inakuwa – WASINGE/VISINGE
Jedwali la nafsi:
I wouldn’t - Nisinge. We- wouldn’t – Tusinge.
You wouldn’t - Usinge. You- wouldn’t – Msinge.
He wouldn’t - Asinge.
She wouldn’t - Asinge.
It wouldn’t -
Asinge/Kisinge/Isinge/Lisinge
They- Wouldn’t –
Wasinge/Visinge.
Would na Wouldn’t hutumika katika nafsi zote kama ionekanavyo hapo juu ktk
majedwali ya nafsi. Yaani would ipo ktk hali chanya (Positive) na wouldn’t ipo ktk hali
hasi (Negative), soma kwa makini matumizi ya would na wouldn’t katika sentensi
zifuatazo:-
(a).(i). Kama ungekuja nyumbani ningekupa pesa. (Positive).
If you would come at home I would give you some money.
WOULD+T(BF) WOULD+T(BF)
Tamka: (Ifu yu wuld kam ati hom Ai wuld givu yu sam mane).
(a).(ii). Kama usingekuja nyumbani nisingekupa pesa. (Negative).
If you wouldn’t come at home I wouldn’t give you some money.
WOULDN’T+T(BF) WOULDN’T+T(BF)
Tamka: (Ifu yu wuldinti kam ati hom Ai wuldinti givu yu sam mane).
(2).
(b).(i). Bila wewe, angeiba nguo. (Positive).
Without you, she/he would steal clothes.
WOULD+T(BF)
Tamka: (Widhauti yu, shi/hi wuld stil clodhesi).
(b).(ii). Bila wewe, asingeiba nguo. (Negative).
Without you, she/he wouldn’t steal clothes.
WOULDN’T+T(BF)
Tamka: (Widhauti yu, shi/hi wuldinti stil clodhes).
Tumeona ktk sentensi (a) na (b) hapo juu kwamba would na Wouldn’t zimefuatiwa na
T(BF), hii ni kwasababu sentensi zenyewe zipo katika hali ya kutenda.
ZOEZI LA 30.
Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:-
Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):-
Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:-
1.(a).(i). Kama ningekuona ningekuita.
- Ona katika (BF) ni see, tamka (si).
- Ita katika (BF) ni call, tamka (kolu)}.
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
1.(a).(ii). Kama nisingekuona nisingekuita.
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
(3).
2.(a). (i). Wangesafiri bila nauli ya basi.
- Safiri katika (BF) ni travel, tamka (traveli).
- Nauli ya basi – a bus fare, tamka (e basi fea)}.
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
2.(b). (ii). Wasingesafiri bila nauli ya basi.
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
______________________________________________________________________
_____________________________________________________________________
Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and
Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na
kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa
Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani
kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au
P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa
kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake
rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa
kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba
mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69.
(4).

Somo la 30

  • 1.
    Somo la 30 Matumiziya Would na Wouldn’t 1. Matumizi ya Would katika hali ya kutenda – Wakati uliopita. Would - Tamka: (Wuld). NGE- Ikiwa na I inakuwa – NINGE. - Ikiwa na WE inakuwa – TUNGE. - Ikiwa na YOU inakuwa – UNGE. - Ikiwa na YOU inakuwa – MNGE. -Ikiwa na HE inakuwa – ANGE. - Ikiwa na SHE inakuwa – ANGE. -Ikiwa na IT inakuwa – ANGE/KINGE/INGE/LINGE. - Ikiwa na THEY inakuwa – WANGE/VINGE/ZINGE. Jedwali la Nafsi: I would – Ninge. We- would – Tunge. You would – Unge. You- would – Mnge. He would - Ange. She would – Ange. It would – Ange/Kinge/Inge/Linge They- would – Wange/Vinge/zinge (1).
  • 2.
    2. Matumizi yaWouldn’t katika hali ya kutenda – Wakati uliopita Wouldn’t, tamka (Wuldnti). SINGE- Ikiwa na I inakuwa – NISINGE. - Ikiwa na WE inakuwa – TUSINGE. - Ikiwa na YOU inakuwa – USINGE. - Ikiwa na YOU inakuwa – MSINGE. - Ikiwa na HE inakuwa – ASINGE. - Ikiwa na SHE inakuwa – ASINGE. - Ikiwa na IT inakuwa – ASINGE/KISINGE. -Ikiwa na THEY inakuwa – WASINGE/VISINGE Jedwali la nafsi: I wouldn’t - Nisinge. We- wouldn’t – Tusinge. You wouldn’t - Usinge. You- wouldn’t – Msinge. He wouldn’t - Asinge. She wouldn’t - Asinge. It wouldn’t - Asinge/Kisinge/Isinge/Lisinge They- Wouldn’t – Wasinge/Visinge. Would na Wouldn’t hutumika katika nafsi zote kama ionekanavyo hapo juu ktk majedwali ya nafsi. Yaani would ipo ktk hali chanya (Positive) na wouldn’t ipo ktk hali hasi (Negative), soma kwa makini matumizi ya would na wouldn’t katika sentensi zifuatazo:- (a).(i). Kama ungekuja nyumbani ningekupa pesa. (Positive). If you would come at home I would give you some money. WOULD+T(BF) WOULD+T(BF) Tamka: (Ifu yu wuld kam ati hom Ai wuld givu yu sam mane). (a).(ii). Kama usingekuja nyumbani nisingekupa pesa. (Negative). If you wouldn’t come at home I wouldn’t give you some money. WOULDN’T+T(BF) WOULDN’T+T(BF) Tamka: (Ifu yu wuldinti kam ati hom Ai wuldinti givu yu sam mane). (2).
  • 3.
    (b).(i). Bila wewe,angeiba nguo. (Positive). Without you, she/he would steal clothes. WOULD+T(BF) Tamka: (Widhauti yu, shi/hi wuld stil clodhesi). (b).(ii). Bila wewe, asingeiba nguo. (Negative). Without you, she/he wouldn’t steal clothes. WOULDN’T+T(BF) Tamka: (Widhauti yu, shi/hi wuldinti stil clodhes). Tumeona ktk sentensi (a) na (b) hapo juu kwamba would na Wouldn’t zimefuatiwa na T(BF), hii ni kwasababu sentensi zenyewe zipo katika hali ya kutenda. ZOEZI LA 30. Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:- Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):- Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:- 1.(a).(i). Kama ningekuona ningekuita. - Ona katika (BF) ni see, tamka (si). - Ita katika (BF) ni call, tamka (kolu)}. ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ 1.(a).(ii). Kama nisingekuona nisingekuita. ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ (3).
  • 4.
    2.(a). (i). Wangesafiribila nauli ya basi. - Safiri katika (BF) ni travel, tamka (traveli). - Nauli ya basi – a bus fare, tamka (e basi fea)}. ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ 2.(b). (ii). Wasingesafiri bila nauli ya basi. ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ ______________________________________________________________________ _____________________________________________________________________ Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69. (4).