SlideShare a Scribd company logo
Somo la 26
Kiingereza: Simple Present Tense – Passive Voice.
Tamka: (Simpo Prezenti Tensi - Pasivu Voisi).
Kiswahili: Wakati uliopo uliorahisi – Katika hali ya kutendewa.
Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:-
(1). Ugali huwa unaliwa na wao kila siku.
- Ugali huliwa na wao kila siku.
(2). Mimi huwa ninapelekwa shuleni asubuhi.
- Mimi hupelekwa shuleni kila asubuhi.
(3). Musa na Jenet huwa wana fundishwa Kiingereza.
- Musa na Jenet hufundishwa Kiingereza.
Katika Kiingereza:-
S ni am, are, is.
T - huwa katika “Past Participle” kama ifuatavyo:-
- Kula – huwa eaten (tamka - iteni).
- Peleka- huwa sent (tamka - senti).
- Fundisha – huwa taught (tamka - touti).
Kifupi cha “Past Participle” ni (PP).
(1). Kanuni ya sentensi ya Kiingereza fasaha ya wakati ulipo uliorahisi katika hali ya
kutendewa yaani sentensi ya “Simple Present Tense – Passive Voice” ni: -
{N(mtw)+S+T(PP)+BY+N(mtj)}
(1).(a). Ugali huwa unaliwa na wao kila siku.
Kiingereza: Ugali is eaten by them everyday.
Kanuni: N(mtw) +S+T(PP) +BY + N(mtj)
Tamka: (Ugali is iteni bai dhem everidei).
(1).(b). Mimi huwa ninapelekwa shuleni kila asubuhi.
Kiingereza: I am sent to school every morning.
Kanuni: N(mtw)+ S +T(PP)
Tamka: (Ai em senti tu skul everi moning).
(1).(c). Musa na Jeneth huwa wanafundishwa Kiingereza.
Kiingereza: Musa and Jeneth are taught English.
Kanuni: N(mtw) + S + T(PP).
Tamka: (Musa endi Jenet a touti Inglish).
(1).
- I am - We are
N +S N + S
- You are - You are
N + S N + S
-He is -They are
N+S N + S
- She is
N + S
-It is
N +S
(2). Kanuni ya kuuliza swali la Kiingereza fasaha la wakati uliopo ulirahisi katika
hali ya kutendewa, yaani swali la “Simple Present Tense – Passive Voice” ni:-
{S+N(mtw)+T(PP)+BY+N(mtj)}?
(2).(a).(i). Je, Ugali huwa unaliwa na wao kila siku?
Kiingereza: Is ugali eaten by them everyday?
Kanuni: S+ N(mtw)+ (TPP) +BY+ N(mtj)
Tamka: (Izi ugali iteni bai dhem everidei)?
(2).(a). (ii). Ndiyo, ugali huwa unaliwa na wao kilasiku.
Kiingereza: Yes, ugali is eaten by them everyday.
Kanuni: YES + N(mtw) +S + T(PP) +BY +N(mtj)
Tamka: (Yesi, ugali iz iteni bai dhem everidei).
(2).(a).(iii). Hapana, ugali huwa hauliwi na wao kila siku .
Kiingereza: No, ugali is not eaten by them everyday.
Kanuni: NO + N(mtw) +S+NOT+T(PP) + BY+N(mtj)
Tamka: (No, ugali izi noti iteni bai dhem everidei).
(2).(a).(iv). Hapana, ugali huwa hauliwi na wao kilasiku.
Kiingereza: No, ugali isn’t eaten by them everyday.
Kanuni: NO+ N(mtw) + ISN’T+T(PP) +BY+N(mtj)
Tamka: (No, ugali izinti iteni bai dhem everidei).
(2).(b).(i). Je, Musa na Jenet huwa wanafundishwa Kingereza?
Kiingereza: Are Musa and Jenet taught English?
Kanuni: S + N(mtw) +T(PP).
Tamka: (A Musa endi Jeneth touti Inglish)?
(2).(b).(ii). Ndiyo, wao huwa wanafundishwa Kiingereza.
Kiingereza: Yes, they are taught English.
Kanuni: YES + N(mtw) + S + T(PP).
Tamka: (Yesi, Dhei a touti Inglish).
(2).(b).(iii). Hapana, wao huwa hawafundishwi Kiingereza.
Kiingereza: No, they are not taught English.
Kanuni: NO +N(mtw) + S +NOT+T(PP).
Tamka: (No, dhei a noti touti Inglishi).
(2).(b).(iv). Hapana, wao huwa hawafundishwi Kiingereza.
Kiingereza: No, they aren’t taught English.
Kanuni: NO +N(mtw) +AREN’T+T(PP).
Tamka: (No, dhei anti touti Inglishi).
(2).
ZOEZI LA 26.
Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:-
Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):-
Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:-
(1)(i). Kiswahili: Kitabu huwa kinasomwa na Kimbute kila siku.
Kiingereza: ________ ____ _______ ____ ___________ _______________.
Kanuni: N(mtw)+ S + T(PP) + BY+ N(mtj)
- N(mtw) – a book, tamka (e buku) – kitabu.
- S – is, tamka (izi).
- T(PP) – read, tamka (redi) – soma.
- N(mtj) – Kimbute.
- Everyday, tamka (everidei) – kilasiku.
(1).(ii). Kiswahili: Je, kitabu huwa kinasomwa na Kimbute kila siku?
Kiingereza: ____ __________ _______ _____ __________ _____________________?
Kanuni: S + N(mtw) + T(PP) + BY + N(mtj)
- S – is, tamka (izi).
- N(mtw) – a book, tamka (e buku) – kitabu
- T(PP) – read, tamka (redi) – soma.
- N(mtj) – Kimbute.
(1).(iii). Kiswahili:Ndiyo, kitabu huwa kinasomwa na Kimbute kila siku.
Kiingereza: ____ _________ ___ _______ _____ __________ ___________.
Kanuni: YES+ N(mtw) + S + T(PP) + BY + N(mtj)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N(mtw) – a book, tamka (e buku) - kitabu.
- S – is, tamka (izi).
- T(PP) – read, tamka (redi) – soma.
- N(mtj) – Kimbute.
(1).(iv). Kiswahili: Hapana, kitabu huwa hakisomwi na Kimbute kila siku.
Kiingereza: ____ ________ ___ _____ ______ _____ ________ ________________.
Kanuni: NO+ N(mtw) + S + NOT + T(PP) + BY + N(mtj)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N(mtw) – a book, tamka (e buku) – kitabu.
- S – is, tamka (izi).
- T(PP) – read, tamka (redi) – soma.
- N(mtj) – Kimbute.
(1).(v). Kiswahili: Hapana, kitabu huwa hakisomwi na Kimbute kila siku.
Kiingereza: _____ ________ ______ _______ ____ ________ _______________.
Kanuni: NO + N(mtw) + ISN’T + T(PP) + BY+ N(mtj)
- No, (no) – Hapana.
- N(mtw) – a book, tamka (e buku) – kitabu.
- T(PP) – read, tamka (redi) – soma.
- N(mtj) – Kimbute.
(3).
(2)(i). Kiswahili: Sisi huwa tunapigwa na Musa.
Kiingereza: _______ ______ __________ _____ ___________
Kanuni: N(mtw) + S + T(PP) + BY + N(mtj).
- N(mtw) – We, tamka (wi) – sisi.
- S – are, tamka (a).
- T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga.
- N(mtj) – Musa.
(2).(ii). Kiswahili: Je, Nyinyi huwa mnapigwa na Musa?
Kiingereza: _______ ________ _________ _____ ____________ ?
Kanuni: S + N(mtw) + T(PP) + BY + N(mtj)
- S - are, tamka (a).
- N(mtw) – you, tamka (yu) – nyinyi.
- T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga.
- N(mtj) – Musa.
(2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, sisi huwa tunapigwa na Musa.
Kiingereza: _____ ________ ____ _______ ____ _________
Kanuni: YES + N(mtw) + S + T(PP) + BY + N(mtj)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N(mtw) – we, tamka (wi) – sisi.
- S – are, tamka (a).
- T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga.
- N(mtj) – Musa.
(2).(iv). Kiswahili: Hapana, sisi huwa hatupigwi na Musa.
Kiingereza: _____ ________ _____ _____ _______ _____ ___________
Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT + T(PP) + BY + N(mtj)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N(mtw) – we, tamka (wi) – sisi.
- S – are, tamka (a).
- T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga.
- N(mtj) – Musa.
(2).(V). Kiswahili: Hapana, sisi huwa hatupigwi na Musa.
Kiingereza: _____ _______ ________ __________ _______ ___________
Kanuni: NO +N(mtw) + AREN’T + T(PP) + BY + N(mtj)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N(mtw) – we, tamka (wi) – sisi.
- T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga.
- N(mtj) – Musa.
(4).
(3)(i). Kiswahili: Mimi huwa ninafundishwa Kiingereza na Ras Simba.
Kiingereza:________ ____ _______ _________ _____ _______________
Kanuni: N(mtw) + S + T(PP) + ENGLISH+ BY + N(mtj).
- N(mtw) – I, tamka (ai) – mimi.
- S – am, tamka (em).
- T(PP) – taught, tamka (tout) - fundisha.
- English, tamka (Inglish) – Kiingereza.
- N(mtj) – Ras Simba.
(3).(ii). Kiswahili: Je, wewe huwa unafundishwa Kiingereza na Ras Simba?
Kiingereza:____ ________ ________ _________ _____ ____________?
Kanuni: S + N(mtw) + T(PP) + ENGLISH+ BY + N(mtj)
- S – Are, tamka (a).
- N(mtw) – you, tamka (yu) – wewe.
- T(PP) – taught, tamka (tout) - fundisha.
- English, tamka (Inglish) – Kiingereza.
- N(mtj) – Ras Simba.
(3).(iii). Kiswahili: Ndiyo, mimi huwa ninafundishwa Kiingereza na Ras Simba.
Kiingereza: _____ ________ ____ ______ _________ _____ _____________.
Kanuni: YES + N(mtw)+ S + T(PP) +ENGLISH+ BY + N(mtj)
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N(mtw) – I, tamka (ai) – mimi.
- S – am, tamka (em).
- T(PP) – taught, tamka (tout) - fundisha.
- English, tamka (Inglishi) – Kiingereza.
- N(mtj) – Ras Simba.
(3).(iv). Kiswahili: Hapana, mimi huwa sifundishwi Kiingereza na Ras Simba.
Kiingereza:_____ _______ ____ _____ _______ _________ ____ __________.
Kanuni: NO + N(mtw)+ S +NOT + T(PP) + ENGLISH + BY + N(mtj)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N(mtw) – I, tamka (ai) – mimi.
- S – am, tamka (em).
- T(PP) – taught, tamka (tout). fundisha.
- English, tamka (Inglish) – Kiingereza.
- N(mtj) – Ras Simba.
Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and
Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na
kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa
Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani
kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au
P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa
kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake
rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa
kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba
mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69.
(5).

More Related Content

More from makukuzenyu

Somo la 25
Somo la  25Somo la  25
Somo la 25
makukuzenyu
 
Somo la 24
Somo la  24Somo la  24
Somo la 24
makukuzenyu
 
Somo la 23
Somo la  23Somo la  23
Somo la 23
makukuzenyu
 
Somo la 21
Somo la  21Somo la  21
Somo la 21
makukuzenyu
 
Somo la 20
Somo la  20Somo la  20
Somo la 20
makukuzenyu
 
Somo la 19
Somo la  19Somo la  19
Somo la 19
makukuzenyu
 
Somo la 18
Somo la  18Somo la  18
Somo la 18
makukuzenyu
 
Somo la 17
Somo la  17Somo la  17
Somo la 17
makukuzenyu
 
Somo la 16
Somo la  16Somo la  16
Somo la 16
makukuzenyu
 
Somo la 15
Somo la  15Somo la  15
Somo la 15
makukuzenyu
 
Somo la 14
Somo la  14Somo la  14
Somo la 14
makukuzenyu
 
Somo la 13
Somo la  13Somo la  13
Somo la 13
makukuzenyu
 
Somo la 12
Somo la  12Somo la  12
Somo la 12
makukuzenyu
 
Somo la 11
Somo la  11Somo la  11
Somo la 11
makukuzenyu
 
Somo la 10
Somo la  10Somo la  10
Somo la 10
makukuzenyu
 
Somo la 9
Somo la  9Somo la  9
Somo la 9
makukuzenyu
 
Somo la 8
Somo la  8Somo la  8
Somo la 8
makukuzenyu
 
Somo la 7
Somo la  7Somo la  7
Somo la 7
makukuzenyu
 
Somo la 5
Somo la  5Somo la  5
Somo la 5
makukuzenyu
 
Somo la 4
Somo la  4Somo la  4
Somo la 4
makukuzenyu
 

More from makukuzenyu (20)

Somo la 25
Somo la  25Somo la  25
Somo la 25
 
Somo la 24
Somo la  24Somo la  24
Somo la 24
 
Somo la 23
Somo la  23Somo la  23
Somo la 23
 
Somo la 21
Somo la  21Somo la  21
Somo la 21
 
Somo la 20
Somo la  20Somo la  20
Somo la 20
 
Somo la 19
Somo la  19Somo la  19
Somo la 19
 
Somo la 18
Somo la  18Somo la  18
Somo la 18
 
Somo la 17
Somo la  17Somo la  17
Somo la 17
 
Somo la 16
Somo la  16Somo la  16
Somo la 16
 
Somo la 15
Somo la  15Somo la  15
Somo la 15
 
Somo la 14
Somo la  14Somo la  14
Somo la 14
 
Somo la 13
Somo la  13Somo la  13
Somo la 13
 
Somo la 12
Somo la  12Somo la  12
Somo la 12
 
Somo la 11
Somo la  11Somo la  11
Somo la 11
 
Somo la 10
Somo la  10Somo la  10
Somo la 10
 
Somo la 9
Somo la  9Somo la  9
Somo la 9
 
Somo la 8
Somo la  8Somo la  8
Somo la 8
 
Somo la 7
Somo la  7Somo la  7
Somo la 7
 
Somo la 5
Somo la  5Somo la  5
Somo la 5
 
Somo la 4
Somo la  4Somo la  4
Somo la 4
 

Somo la 26

  • 1. Somo la 26 Kiingereza: Simple Present Tense – Passive Voice. Tamka: (Simpo Prezenti Tensi - Pasivu Voisi). Kiswahili: Wakati uliopo uliorahisi – Katika hali ya kutendewa. Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:- (1). Ugali huwa unaliwa na wao kila siku. - Ugali huliwa na wao kila siku. (2). Mimi huwa ninapelekwa shuleni asubuhi. - Mimi hupelekwa shuleni kila asubuhi. (3). Musa na Jenet huwa wana fundishwa Kiingereza. - Musa na Jenet hufundishwa Kiingereza. Katika Kiingereza:- S ni am, are, is. T - huwa katika “Past Participle” kama ifuatavyo:- - Kula – huwa eaten (tamka - iteni). - Peleka- huwa sent (tamka - senti). - Fundisha – huwa taught (tamka - touti). Kifupi cha “Past Participle” ni (PP). (1). Kanuni ya sentensi ya Kiingereza fasaha ya wakati ulipo uliorahisi katika hali ya kutendewa yaani sentensi ya “Simple Present Tense – Passive Voice” ni: - {N(mtw)+S+T(PP)+BY+N(mtj)} (1).(a). Ugali huwa unaliwa na wao kila siku. Kiingereza: Ugali is eaten by them everyday. Kanuni: N(mtw) +S+T(PP) +BY + N(mtj) Tamka: (Ugali is iteni bai dhem everidei). (1).(b). Mimi huwa ninapelekwa shuleni kila asubuhi. Kiingereza: I am sent to school every morning. Kanuni: N(mtw)+ S +T(PP) Tamka: (Ai em senti tu skul everi moning). (1).(c). Musa na Jeneth huwa wanafundishwa Kiingereza. Kiingereza: Musa and Jeneth are taught English. Kanuni: N(mtw) + S + T(PP). Tamka: (Musa endi Jenet a touti Inglish). (1). - I am - We are N +S N + S - You are - You are N + S N + S -He is -They are N+S N + S - She is N + S -It is N +S
  • 2. (2). Kanuni ya kuuliza swali la Kiingereza fasaha la wakati uliopo ulirahisi katika hali ya kutendewa, yaani swali la “Simple Present Tense – Passive Voice” ni:- {S+N(mtw)+T(PP)+BY+N(mtj)}? (2).(a).(i). Je, Ugali huwa unaliwa na wao kila siku? Kiingereza: Is ugali eaten by them everyday? Kanuni: S+ N(mtw)+ (TPP) +BY+ N(mtj) Tamka: (Izi ugali iteni bai dhem everidei)? (2).(a). (ii). Ndiyo, ugali huwa unaliwa na wao kilasiku. Kiingereza: Yes, ugali is eaten by them everyday. Kanuni: YES + N(mtw) +S + T(PP) +BY +N(mtj) Tamka: (Yesi, ugali iz iteni bai dhem everidei). (2).(a).(iii). Hapana, ugali huwa hauliwi na wao kila siku . Kiingereza: No, ugali is not eaten by them everyday. Kanuni: NO + N(mtw) +S+NOT+T(PP) + BY+N(mtj) Tamka: (No, ugali izi noti iteni bai dhem everidei). (2).(a).(iv). Hapana, ugali huwa hauliwi na wao kilasiku. Kiingereza: No, ugali isn’t eaten by them everyday. Kanuni: NO+ N(mtw) + ISN’T+T(PP) +BY+N(mtj) Tamka: (No, ugali izinti iteni bai dhem everidei). (2).(b).(i). Je, Musa na Jenet huwa wanafundishwa Kingereza? Kiingereza: Are Musa and Jenet taught English? Kanuni: S + N(mtw) +T(PP). Tamka: (A Musa endi Jeneth touti Inglish)? (2).(b).(ii). Ndiyo, wao huwa wanafundishwa Kiingereza. Kiingereza: Yes, they are taught English. Kanuni: YES + N(mtw) + S + T(PP). Tamka: (Yesi, Dhei a touti Inglish). (2).(b).(iii). Hapana, wao huwa hawafundishwi Kiingereza. Kiingereza: No, they are not taught English. Kanuni: NO +N(mtw) + S +NOT+T(PP). Tamka: (No, dhei a noti touti Inglishi). (2).(b).(iv). Hapana, wao huwa hawafundishwi Kiingereza. Kiingereza: No, they aren’t taught English. Kanuni: NO +N(mtw) +AREN’T+T(PP). Tamka: (No, dhei anti touti Inglishi). (2).
  • 3. ZOEZI LA 26. Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:- Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):- Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:- (1)(i). Kiswahili: Kitabu huwa kinasomwa na Kimbute kila siku. Kiingereza: ________ ____ _______ ____ ___________ _______________. Kanuni: N(mtw)+ S + T(PP) + BY+ N(mtj) - N(mtw) – a book, tamka (e buku) – kitabu. - S – is, tamka (izi). - T(PP) – read, tamka (redi) – soma. - N(mtj) – Kimbute. - Everyday, tamka (everidei) – kilasiku. (1).(ii). Kiswahili: Je, kitabu huwa kinasomwa na Kimbute kila siku? Kiingereza: ____ __________ _______ _____ __________ _____________________? Kanuni: S + N(mtw) + T(PP) + BY + N(mtj) - S – is, tamka (izi). - N(mtw) – a book, tamka (e buku) – kitabu - T(PP) – read, tamka (redi) – soma. - N(mtj) – Kimbute. (1).(iii). Kiswahili:Ndiyo, kitabu huwa kinasomwa na Kimbute kila siku. Kiingereza: ____ _________ ___ _______ _____ __________ ___________. Kanuni: YES+ N(mtw) + S + T(PP) + BY + N(mtj) - Yes, tamka (yesi) – Ndiyo. - N(mtw) – a book, tamka (e buku) - kitabu. - S – is, tamka (izi). - T(PP) – read, tamka (redi) – soma. - N(mtj) – Kimbute. (1).(iv). Kiswahili: Hapana, kitabu huwa hakisomwi na Kimbute kila siku. Kiingereza: ____ ________ ___ _____ ______ _____ ________ ________________. Kanuni: NO+ N(mtw) + S + NOT + T(PP) + BY + N(mtj) - No, tamka (no) – Hapana. - N(mtw) – a book, tamka (e buku) – kitabu. - S – is, tamka (izi). - T(PP) – read, tamka (redi) – soma. - N(mtj) – Kimbute. (1).(v). Kiswahili: Hapana, kitabu huwa hakisomwi na Kimbute kila siku. Kiingereza: _____ ________ ______ _______ ____ ________ _______________. Kanuni: NO + N(mtw) + ISN’T + T(PP) + BY+ N(mtj) - No, (no) – Hapana. - N(mtw) – a book, tamka (e buku) – kitabu. - T(PP) – read, tamka (redi) – soma. - N(mtj) – Kimbute. (3).
  • 4. (2)(i). Kiswahili: Sisi huwa tunapigwa na Musa. Kiingereza: _______ ______ __________ _____ ___________ Kanuni: N(mtw) + S + T(PP) + BY + N(mtj). - N(mtw) – We, tamka (wi) – sisi. - S – are, tamka (a). - T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga. - N(mtj) – Musa. (2).(ii). Kiswahili: Je, Nyinyi huwa mnapigwa na Musa? Kiingereza: _______ ________ _________ _____ ____________ ? Kanuni: S + N(mtw) + T(PP) + BY + N(mtj) - S - are, tamka (a). - N(mtw) – you, tamka (yu) – nyinyi. - T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga. - N(mtj) – Musa. (2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, sisi huwa tunapigwa na Musa. Kiingereza: _____ ________ ____ _______ ____ _________ Kanuni: YES + N(mtw) + S + T(PP) + BY + N(mtj) - Yes, tamka (yesi) – Ndiyo. - N(mtw) – we, tamka (wi) – sisi. - S – are, tamka (a). - T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga. - N(mtj) – Musa. (2).(iv). Kiswahili: Hapana, sisi huwa hatupigwi na Musa. Kiingereza: _____ ________ _____ _____ _______ _____ ___________ Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT + T(PP) + BY + N(mtj) - No, tamka (no) – Hapana. - N(mtw) – we, tamka (wi) – sisi. - S – are, tamka (a). - T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga. - N(mtj) – Musa. (2).(V). Kiswahili: Hapana, sisi huwa hatupigwi na Musa. Kiingereza: _____ _______ ________ __________ _______ ___________ Kanuni: NO +N(mtw) + AREN’T + T(PP) + BY + N(mtj) - No, tamka (no) – Hapana. - N(mtw) – we, tamka (wi) – sisi. - T(PP) – beaten, tamka (biteni) – piga. - N(mtj) – Musa. (4).
  • 5. (3)(i). Kiswahili: Mimi huwa ninafundishwa Kiingereza na Ras Simba. Kiingereza:________ ____ _______ _________ _____ _______________ Kanuni: N(mtw) + S + T(PP) + ENGLISH+ BY + N(mtj). - N(mtw) – I, tamka (ai) – mimi. - S – am, tamka (em). - T(PP) – taught, tamka (tout) - fundisha. - English, tamka (Inglish) – Kiingereza. - N(mtj) – Ras Simba. (3).(ii). Kiswahili: Je, wewe huwa unafundishwa Kiingereza na Ras Simba? Kiingereza:____ ________ ________ _________ _____ ____________? Kanuni: S + N(mtw) + T(PP) + ENGLISH+ BY + N(mtj) - S – Are, tamka (a). - N(mtw) – you, tamka (yu) – wewe. - T(PP) – taught, tamka (tout) - fundisha. - English, tamka (Inglish) – Kiingereza. - N(mtj) – Ras Simba. (3).(iii). Kiswahili: Ndiyo, mimi huwa ninafundishwa Kiingereza na Ras Simba. Kiingereza: _____ ________ ____ ______ _________ _____ _____________. Kanuni: YES + N(mtw)+ S + T(PP) +ENGLISH+ BY + N(mtj) - Yes, tamka (yesi) – Ndiyo. - N(mtw) – I, tamka (ai) – mimi. - S – am, tamka (em). - T(PP) – taught, tamka (tout) - fundisha. - English, tamka (Inglishi) – Kiingereza. - N(mtj) – Ras Simba. (3).(iv). Kiswahili: Hapana, mimi huwa sifundishwi Kiingereza na Ras Simba. Kiingereza:_____ _______ ____ _____ _______ _________ ____ __________. Kanuni: NO + N(mtw)+ S +NOT + T(PP) + ENGLISH + BY + N(mtj) - No, tamka (no) – Hapana. - N(mtw) – I, tamka (ai) – mimi. - S – am, tamka (em). - T(PP) – taught, tamka (tout). fundisha. - English, tamka (Inglish) – Kiingereza. - N(mtj) – Ras Simba. Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69. (5).