SlideShare a Scribd company logo
Somo la 9
(1). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya when kwa tafsiri ya lini katika swali la wakati
ujao uliorahisi katika hali ya Kutenda:-
WHEN+S+N+T(BF)? (S ni will).
Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:-
1.(a). Kiswahili: Je, Amina atakwenda lini Oman?
Kiingereza: When will Amina go to Oman?
Kanuni: WHEN+ S + N + T(BF)
Tamka: (Weni wil Amina go tu Oman)?
1.(b). Kiswahili: Amina atakwenda Oman Jumatatu.
Kiingereza: Amina will go to Oman on Monday.
Kanuni: N + S +T(BF)
Tamka: (Amina wil go tu Oman oni Mandei).
ZOEZI LA 9.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (1):-
(1).(i).Swali: Je, Amina atarudi lini kutoka Oman?
- {(Rudi katika ’BF’ ni come-back, tamka (kam baki)}
- Kiingereza: ________ _____ ________ ______________ ________ _______?
- Kanuni: WHEN + S + N + T(BF)
(1).(ii).Jibu: Amina atarudi wiki ijayo.
- Kiingereza: ________ _____ ________________ _________ ___________ .
- Kanuni: N + S + T(BF)
(2). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya when kwa tafsiri ya lini katika swali la wakati
Uliopita uliorahisi katika hali ya Kutenda:-
WHEN+S+N+T(BF)? (S ni did).
Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:-
2.(a). Kiswahili: Je, Amina alikwenda lini Oman?
Kiingereza: When did Amina go to Oman?
Kanuni: WHEN+ S + N + T(BF)
Tamka:(Weni did Amina go tu Oman)?
2.(b). Kiswahili: Amina alikwenda Oman Jumatatu.
Kiingereza: Amina went to Oman on Monday.
Kanuni: N + T(PT)
Tamka: (Amina wenti tu Oman oni Mandei).
(1).
ZOEZI LA 9.
Change into English (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (2):-
(1).(i). Swali: Je, Amina alirudi lini kutoka Oman?
- {(Rudi katika ’BF’ ni come-back, tamka (kam-baki)}.
- Kiingereza: ________ _____ ________ ______________ ________ _______?
- Kanuni: WHEN + S + N + T(BF)
(1).(ii).Jibu: Amina alirudi wiki iliyopita.
- Kiingereza: ________ _____________________ _________ ___________.
- Kanuni: N + T(PT)
(3). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya when kwa tafsiri ya lini katika swali la wakati
uliopo uliorahisi katika hali ya Kutenda:-
WHEN+S+N+T(BF)? (S ni do/does).
Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:-
3.(a). Kiswahili: Je, Amina huwa anaenda lini mjini?
Kiingereza: When does Amina go to town?
Kanuni: WHEN+ S + N + T(BF)
Tamka:(Weni dazi Amina go tu tauni)?
3.(b). Kiswahili: Amina huwa anaenda mjini kila Jumapili..
Kiingereza: Amina goes to town every Sunday.
Kanuni: N + T(s)
Tamka: (Amina gozi tu tauni everi Sandei).
ZOEZI LA 9.
Change into English (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (3):-
(1).(i). Swali: Je, nyinyi huwa mnafungua duka lini?
-{(Fungua katika ’BF’ ni open, tamka (openi)}
- Kiingereza: ________ _____ ________ ___________ ___ _______?
- Kanuni: WHEN + S + N + T(BF)
(1).(ii).Jibu: Sisi huwa tunafungua duka kila Jumamosi.
- Kiingereza: ________ ___________ _________ ___________.
- Kanuni: N + T(BF)
(2).
(4). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya which kwa tafsiri ya gani katika swali la wakati
ujao uliorahisi katika hali ya Kutenda:-
WHICH+N+S+N+T(BF)? (S ni will).
Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:-
4.(a). Kiswahili: Je, Amina atasoma gazeti gani?
Kiingereza: Which news-paper will Amina read?
Kanuni: WHICH+ N + S + N + T(BF)
Tamka:(Wichi niyuuzi – pepa wili Amina ridi)?
4.(b). Kiswahili: Amina atasoma gazeti la Kasanzu Kamwe.
Kiingereza: Amina will read Kasanzu Kamwe news-paper.
Kanuni: N + S + T(BF)
Tamka: (Amina wili ridi Kasanzu niyuuzi-pepa).
ZOEZI LA 9.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (4):-
(1).(i). Swali: Je, nyinyi mtakula chakula gani?
- {(Kula ktk ’BF’ ni eat, tamka (iti). (Chakula – food, tamka (fudi)}.
- Kiingereza: ________ ________ ________ ___________ ________?
- Kanuni: WHICH + N + S + N + T(BF)
(1).(ii).Jibu: Sisi tutakula ndizi.
- Kiingereza: ________ _____ _________ _______________.
- Kanuni: N + S + T(BF)
(5). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya which kwa tafsiri ya gani katika swali la wakati
uliopo na unaoendelea katika hali ya Kutenda:-
WHICH+N+S+N+T(CONT.)? (S ni am, are, is).
Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:-
5.(a). Kiswahili: Je, Amina anasoma gazeti gani?
Kiingereza: Which news-paper is Amina reading?
Kanuni: WHICH+ N + S + N + T(CONT)
Tamka:(Wichi niyuuzi – pepa izi Amina riding)?
5.(b). Kiswahili: Amina anasoma gazeti la Kasanzu Kamwe.
Kiingereza: Amina is reading Kasanzu Kamwe news-paper.
Kanuni: N + S + T(BF)
Tamka: (Amina izi riding Kasanzu niyuuzi-pepa).
(3).
ZOEZI LA 9.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (5):-
(1).(i). Swali: Je, nyinyi mnakula chakula gani
- {(Kula ktk ’CONT.’ ni eating, tamka (iting).
- Kiingereza: ________ ________ ________ ___________ ___________?
- Kanuni: WHICH + N + S + N + T(CONT)
(1).(ii).Jibu: Sisi tunakula ndizi. {(Ndizi – bananas, tamka (bananazi)}
- Kiingereza: ________ _____ _____________ _______________.
- Kanuni: N + S + T(CONT)
(6). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya which kwa tafsiri ya gani katika swali la wakati
uliopo timilifu katika hali ya Kutenda:-
WHICH+N+S+N+T(PP.)? (S ni have/has).
Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:-
6.(a). Kiswahili: Je, Amina amesoma gazeti gani?
Kiingereza: Which news-paper has Amina read?
Kanuni: WHICH+ N + S + N + T(PP)
Tamka:(Wichi niyuuzi – pepa hazi Amina redi)?
6.(b). Kiswahili: Amina amesoma gazeti la Kasanzu Kamwe.
Kiingereza: Amina has read Kasanzu Kamwe news-paper.
Kanuni: N + S + T(PP)
Tamka: (Amina hezi redi Kasanzu niyuuzi-pepa).
ZOEZI LA 9.
Change into English (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (6):-
(1).(i). Swali: Je, nyinyi mmekula chakula gani? {(Kula ktk ’PP.’ ni eaten, tamka (iteni).
- Kiingereza: ________ ________ ________ ___________ ___________?
- Kanuni: WHICH+ N + S + N + T(PP)
(1).(ii).Jibu: Sisi tumekula ndizi.
- Kiingereza: ________ _____ _____________ _______________.
- Kanuni: N + S + T(PP)
(4).
(7). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya which kwa tafsiri ya gani katika swali la wakati
uliopita uliorahisi katika hali ya Kutenda:-
WHICH+N+S+N+T(BF)? (S ni did).
Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:-
7.(a). Kiswahili: Je, Amina alisoma gazeti gani?
Kiingereza: Which news-paper did Amina read?
Kanuni: WHICH+ N + S + N + T(BF)
Tamka:(Wichi niyuuzi – pepa did Amina ridi)?
7.(b). Kiswahili: Amina alisoma gazeti la Kasanzu Kamwe.
Kiingereza: Amina read Kasanzu Kamwe news - paper.
Kanuni: N + T(PT)
Tamka: (Amina redi Kasanzu niyuuzi-pepa).
ZOEZI LA 9.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (7):-
(1).(i). Swali: Je, nyinyi mlikula chakula gani?
- Kiingereza: ________ ________ ________ ___________ ___________?
- Kanuni: WHICH+ N + S + N + T(BF)
(1).(ii).Jibu: Sisi tulikula ndizi.
- Kiingereza: ________ ________ _____________ .
- Kanuni: N + T(PT)
(8). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya which kwa tafsiri ya gani katika swali la wakati
uliopo uliorahisi katika hali ya Kutenda:-
WHICH+N+S+N+T(BF)? (S ni do/does).
Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:-
8.(a). Kiswahili: Je, Amina huwa anasoma gazeti gani?
Kiingereza: Which news-paper does Amina read?
Kanuni: WHICH+ N + S + N + T(BF)
Tamka:(Wichi niyuuzi – pepa dazi Amina ridi)?
8.(b). Kiswahili: Amina huwa anasoma gazeti la Kasanzu Kamwe.
Kiingereza: Amina reads Kasanzu Kamwe news-paper.
Kanuni: N + T(s)
Tamka: (Amina redsi Kasanzu niyuuzi-pepa).
(5).
ZOEZI LA 9.
Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza
Swali namba (8):-
(1).(i). Swali: Je, nyinyi huwa mnakula chakula gani kilasiku? {(Kula – eat T(BF)}.
- Kiingereza: ________ ________ _____ _______ _______ ______________?
- Kanuni: WHICH + N + S + N + T(BF)
(1).(ii).Jibu: Sisi huwa tunakula ndizi kila siku.
- Kiingereza: ________ __________ _________________ __________________.
- Kanuni: N + T(BF)
Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and
Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na
kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa
Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani
kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au
P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa
kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake
rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa
kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba
mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69.
(6).

More Related Content

More from makukuzenyu

Somo la 24
Somo la  24Somo la  24
Somo la 24
makukuzenyu
 
Somo la 23
Somo la  23Somo la  23
Somo la 23
makukuzenyu
 
Somo la 22
Somo la  22Somo la  22
Somo la 22
makukuzenyu
 
Somo la 21
Somo la  21Somo la  21
Somo la 21
makukuzenyu
 
Somo la 20
Somo la  20Somo la  20
Somo la 20
makukuzenyu
 
Somo la 19
Somo la  19Somo la  19
Somo la 19
makukuzenyu
 
Somo la 18
Somo la  18Somo la  18
Somo la 18
makukuzenyu
 
Somo la 17
Somo la  17Somo la  17
Somo la 17
makukuzenyu
 
Somo la 16
Somo la  16Somo la  16
Somo la 16
makukuzenyu
 
Somo la 15
Somo la  15Somo la  15
Somo la 15
makukuzenyu
 
Somo la 14
Somo la  14Somo la  14
Somo la 14
makukuzenyu
 
Somo la 13
Somo la  13Somo la  13
Somo la 13
makukuzenyu
 
Somo la 12
Somo la  12Somo la  12
Somo la 12
makukuzenyu
 
Somo la 11
Somo la  11Somo la  11
Somo la 11
makukuzenyu
 
Somo la 10
Somo la  10Somo la  10
Somo la 10
makukuzenyu
 
Somo la 8
Somo la  8Somo la  8
Somo la 8
makukuzenyu
 
Somo la 7
Somo la  7Somo la  7
Somo la 7
makukuzenyu
 
Somo la 6
Somo la  6Somo la  6
Somo la 6
makukuzenyu
 
Somo la 5
Somo la  5Somo la  5
Somo la 5
makukuzenyu
 
Somo la 4
Somo la  4Somo la  4
Somo la 4
makukuzenyu
 

More from makukuzenyu (20)

Somo la 24
Somo la  24Somo la  24
Somo la 24
 
Somo la 23
Somo la  23Somo la  23
Somo la 23
 
Somo la 22
Somo la  22Somo la  22
Somo la 22
 
Somo la 21
Somo la  21Somo la  21
Somo la 21
 
Somo la 20
Somo la  20Somo la  20
Somo la 20
 
Somo la 19
Somo la  19Somo la  19
Somo la 19
 
Somo la 18
Somo la  18Somo la  18
Somo la 18
 
Somo la 17
Somo la  17Somo la  17
Somo la 17
 
Somo la 16
Somo la  16Somo la  16
Somo la 16
 
Somo la 15
Somo la  15Somo la  15
Somo la 15
 
Somo la 14
Somo la  14Somo la  14
Somo la 14
 
Somo la 13
Somo la  13Somo la  13
Somo la 13
 
Somo la 12
Somo la  12Somo la  12
Somo la 12
 
Somo la 11
Somo la  11Somo la  11
Somo la 11
 
Somo la 10
Somo la  10Somo la  10
Somo la 10
 
Somo la 8
Somo la  8Somo la  8
Somo la 8
 
Somo la 7
Somo la  7Somo la  7
Somo la 7
 
Somo la 6
Somo la  6Somo la  6
Somo la 6
 
Somo la 5
Somo la  5Somo la  5
Somo la 5
 
Somo la 4
Somo la  4Somo la  4
Somo la 4
 

Somo la 9

  • 1. Somo la 9 (1). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya when kwa tafsiri ya lini katika swali la wakati ujao uliorahisi katika hali ya Kutenda:- WHEN+S+N+T(BF)? (S ni will). Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:- 1.(a). Kiswahili: Je, Amina atakwenda lini Oman? Kiingereza: When will Amina go to Oman? Kanuni: WHEN+ S + N + T(BF) Tamka: (Weni wil Amina go tu Oman)? 1.(b). Kiswahili: Amina atakwenda Oman Jumatatu. Kiingereza: Amina will go to Oman on Monday. Kanuni: N + S +T(BF) Tamka: (Amina wil go tu Oman oni Mandei). ZOEZI LA 9. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (1):- (1).(i).Swali: Je, Amina atarudi lini kutoka Oman? - {(Rudi katika ’BF’ ni come-back, tamka (kam baki)} - Kiingereza: ________ _____ ________ ______________ ________ _______? - Kanuni: WHEN + S + N + T(BF) (1).(ii).Jibu: Amina atarudi wiki ijayo. - Kiingereza: ________ _____ ________________ _________ ___________ . - Kanuni: N + S + T(BF) (2). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya when kwa tafsiri ya lini katika swali la wakati Uliopita uliorahisi katika hali ya Kutenda:- WHEN+S+N+T(BF)? (S ni did). Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:- 2.(a). Kiswahili: Je, Amina alikwenda lini Oman? Kiingereza: When did Amina go to Oman? Kanuni: WHEN+ S + N + T(BF) Tamka:(Weni did Amina go tu Oman)? 2.(b). Kiswahili: Amina alikwenda Oman Jumatatu. Kiingereza: Amina went to Oman on Monday. Kanuni: N + T(PT) Tamka: (Amina wenti tu Oman oni Mandei). (1).
  • 2. ZOEZI LA 9. Change into English (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (2):- (1).(i). Swali: Je, Amina alirudi lini kutoka Oman? - {(Rudi katika ’BF’ ni come-back, tamka (kam-baki)}. - Kiingereza: ________ _____ ________ ______________ ________ _______? - Kanuni: WHEN + S + N + T(BF) (1).(ii).Jibu: Amina alirudi wiki iliyopita. - Kiingereza: ________ _____________________ _________ ___________. - Kanuni: N + T(PT) (3). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya when kwa tafsiri ya lini katika swali la wakati uliopo uliorahisi katika hali ya Kutenda:- WHEN+S+N+T(BF)? (S ni do/does). Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:- 3.(a). Kiswahili: Je, Amina huwa anaenda lini mjini? Kiingereza: When does Amina go to town? Kanuni: WHEN+ S + N + T(BF) Tamka:(Weni dazi Amina go tu tauni)? 3.(b). Kiswahili: Amina huwa anaenda mjini kila Jumapili.. Kiingereza: Amina goes to town every Sunday. Kanuni: N + T(s) Tamka: (Amina gozi tu tauni everi Sandei). ZOEZI LA 9. Change into English (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (3):- (1).(i). Swali: Je, nyinyi huwa mnafungua duka lini? -{(Fungua katika ’BF’ ni open, tamka (openi)} - Kiingereza: ________ _____ ________ ___________ ___ _______? - Kanuni: WHEN + S + N + T(BF) (1).(ii).Jibu: Sisi huwa tunafungua duka kila Jumamosi. - Kiingereza: ________ ___________ _________ ___________. - Kanuni: N + T(BF) (2).
  • 3. (4). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya which kwa tafsiri ya gani katika swali la wakati ujao uliorahisi katika hali ya Kutenda:- WHICH+N+S+N+T(BF)? (S ni will). Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:- 4.(a). Kiswahili: Je, Amina atasoma gazeti gani? Kiingereza: Which news-paper will Amina read? Kanuni: WHICH+ N + S + N + T(BF) Tamka:(Wichi niyuuzi – pepa wili Amina ridi)? 4.(b). Kiswahili: Amina atasoma gazeti la Kasanzu Kamwe. Kiingereza: Amina will read Kasanzu Kamwe news-paper. Kanuni: N + S + T(BF) Tamka: (Amina wili ridi Kasanzu niyuuzi-pepa). ZOEZI LA 9. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (4):- (1).(i). Swali: Je, nyinyi mtakula chakula gani? - {(Kula ktk ’BF’ ni eat, tamka (iti). (Chakula – food, tamka (fudi)}. - Kiingereza: ________ ________ ________ ___________ ________? - Kanuni: WHICH + N + S + N + T(BF) (1).(ii).Jibu: Sisi tutakula ndizi. - Kiingereza: ________ _____ _________ _______________. - Kanuni: N + S + T(BF) (5). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya which kwa tafsiri ya gani katika swali la wakati uliopo na unaoendelea katika hali ya Kutenda:- WHICH+N+S+N+T(CONT.)? (S ni am, are, is). Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:- 5.(a). Kiswahili: Je, Amina anasoma gazeti gani? Kiingereza: Which news-paper is Amina reading? Kanuni: WHICH+ N + S + N + T(CONT) Tamka:(Wichi niyuuzi – pepa izi Amina riding)? 5.(b). Kiswahili: Amina anasoma gazeti la Kasanzu Kamwe. Kiingereza: Amina is reading Kasanzu Kamwe news-paper. Kanuni: N + S + T(BF) Tamka: (Amina izi riding Kasanzu niyuuzi-pepa). (3).
  • 4. ZOEZI LA 9. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (5):- (1).(i). Swali: Je, nyinyi mnakula chakula gani - {(Kula ktk ’CONT.’ ni eating, tamka (iting). - Kiingereza: ________ ________ ________ ___________ ___________? - Kanuni: WHICH + N + S + N + T(CONT) (1).(ii).Jibu: Sisi tunakula ndizi. {(Ndizi – bananas, tamka (bananazi)} - Kiingereza: ________ _____ _____________ _______________. - Kanuni: N + S + T(CONT) (6). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya which kwa tafsiri ya gani katika swali la wakati uliopo timilifu katika hali ya Kutenda:- WHICH+N+S+N+T(PP.)? (S ni have/has). Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:- 6.(a). Kiswahili: Je, Amina amesoma gazeti gani? Kiingereza: Which news-paper has Amina read? Kanuni: WHICH+ N + S + N + T(PP) Tamka:(Wichi niyuuzi – pepa hazi Amina redi)? 6.(b). Kiswahili: Amina amesoma gazeti la Kasanzu Kamwe. Kiingereza: Amina has read Kasanzu Kamwe news-paper. Kanuni: N + S + T(PP) Tamka: (Amina hezi redi Kasanzu niyuuzi-pepa). ZOEZI LA 9. Change into English (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (6):- (1).(i). Swali: Je, nyinyi mmekula chakula gani? {(Kula ktk ’PP.’ ni eaten, tamka (iteni). - Kiingereza: ________ ________ ________ ___________ ___________? - Kanuni: WHICH+ N + S + N + T(PP) (1).(ii).Jibu: Sisi tumekula ndizi. - Kiingereza: ________ _____ _____________ _______________. - Kanuni: N + S + T(PP) (4).
  • 5. (7). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya which kwa tafsiri ya gani katika swali la wakati uliopita uliorahisi katika hali ya Kutenda:- WHICH+N+S+N+T(BF)? (S ni did). Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:- 7.(a). Kiswahili: Je, Amina alisoma gazeti gani? Kiingereza: Which news-paper did Amina read? Kanuni: WHICH+ N + S + N + T(BF) Tamka:(Wichi niyuuzi – pepa did Amina ridi)? 7.(b). Kiswahili: Amina alisoma gazeti la Kasanzu Kamwe. Kiingereza: Amina read Kasanzu Kamwe news - paper. Kanuni: N + T(PT) Tamka: (Amina redi Kasanzu niyuuzi-pepa). ZOEZI LA 9. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (7):- (1).(i). Swali: Je, nyinyi mlikula chakula gani? - Kiingereza: ________ ________ ________ ___________ ___________? - Kanuni: WHICH+ N + S + N + T(BF) (1).(ii).Jibu: Sisi tulikula ndizi. - Kiingereza: ________ ________ _____________ . - Kanuni: N + T(PT) (8). Ifuatayo ni kanuni ya matumizi ya which kwa tafsiri ya gani katika swali la wakati uliopo uliorahisi katika hali ya Kutenda:- WHICH+N+S+N+T(BF)? (S ni do/does). Soma mfano ufuatao wa swali na majibu yake:- 8.(a). Kiswahili: Je, Amina huwa anasoma gazeti gani? Kiingereza: Which news-paper does Amina read? Kanuni: WHICH+ N + S + N + T(BF) Tamka:(Wichi niyuuzi – pepa dazi Amina ridi)? 8.(b). Kiswahili: Amina huwa anasoma gazeti la Kasanzu Kamwe. Kiingereza: Amina reads Kasanzu Kamwe news-paper. Kanuni: N + T(s) Tamka: (Amina redsi Kasanzu niyuuzi-pepa). (5).
  • 6. ZOEZI LA 9. Change into English, tamka (Cheji intu Inglishi) – Badilisha kwa Kiingereza Swali namba (8):- (1).(i). Swali: Je, nyinyi huwa mnakula chakula gani kilasiku? {(Kula – eat T(BF)}. - Kiingereza: ________ ________ _____ _______ _______ ______________? - Kanuni: WHICH + N + S + N + T(BF) (1).(ii).Jibu: Sisi huwa tunakula ndizi kila siku. - Kiingereza: ________ __________ _________________ __________________. - Kanuni: N + T(BF) Somo hili ni sehemu ya kitabu kilichoandikwa na Ras Simba kiitwacho “Let the World Speak English and Swahili”, kitabu ambacho kikiwa pamoja na video yake kitamuwezesha mtanzania yeyote kuongea na kuandika Kiingereza fasaha bila ya kufundishwa na mwalimu, na kumuwezesha mzungumzaji yeyote wa Kiingereza kujua Kiswahili bila ya kufundishwa na mwalimu, kitauzwa Tanzania, Uingereza na Marekani kwa bei ya sh. laki 2. Kitabu hiki kwa upande wa kufundisha Kiingereza kanuni zake huitwa N+S+T au P+H+V, lakini kwa upande wa kufundisha Kiswahili kanuni zake huitwa P+H+V tu. Ukiwa tayari kulipa kabla hakijatoka utalipa sh. laki moja tu na utakabidhiwa kitabu na video yake siku ya uzinduzi wake rasmi. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa watu wasio na nafasi ya kuhudhuria darasani. Kama upo tayari kulipa kabla ni vizuri sana kwani utachangia mtaji wake. Malipo yote ya kabla hufanywa kwa Ras Simba mwenyewe kupitia akaunti zake za Barclays, CRDB, NMB au tigo pesa 0714 – 69 29 69. (6).