SlideShare a Scribd company logo
Somo la 22
Kiingereza: Simple Future Tense – Passive Voice.
Tamka: (Simpo Fyucha Tensi - Pasivu Voisi).
Kiswahili: Wakati ujao uliorahisi – Katika hali ya kutendewa.
Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:-
1. Kiingereza kitazungumzwa na mimi.
2. Wao watapelekwa shuleni.
3. Kitabu kitachukuliwa na Musa.
Katika Kiingereza:-
S ni shall/Will.
T - huwa katika (PP), yaaani katka “Past Participle”
kama ifuatavyo:-
- Zungumza – huwa spoken, tamka (spokeni).
- Iba – huwa stolen, tamka (stoleni).
- Peleka – huwa sent, tamka (senti).
(1).Kanuni ya sentensi ya Kiingereza fasaha ya wakati ujao uliorahisi katika hali ya
kutendewa, yaani sentensi ya “Simple Future Tense – Passive Voice” ni:-
{N(mtw) + S+ BE + T(PP) + BY + N(mtj)}.
Kirefu cha N(mtw) ni nafsi mtendewa na kirefu cha N(mtj) ni nafsi mtendaji.
Nafsi mtendewa kwa Kiingereza huitwa Object, tamka (objekti).
Nafsi mtendaji kwa Kiingereza huitwa Subject, tamka (sabjekti).
(1).(a).Kiingereza kitazungumzwa na mimi.
Kiingereza: English will be spoken by me .
Kanuni: N(mtw)+ S + BE+ T(PP) +BY+ N(mtj)
Tamka: (Inglish wil bi spoken bai mi).
(1).(b). Wao watapelekwa shuleni.
Kiingereza: They will be sent to school.
Kanuni: N(mtw) + S + BE+T(PP)
Tamka: (Dhei wil bi senti tu skul).
(1).(c). Kitabu kitachukuliwa na Musa.
Kiingereza: A book will be taken by Musa.
Kanuni: N(mtw) +S +BE+T(PP) +BY+N(mtj)
Tamka: (E buku wil bi tekeni bai Musa).
(1).
Mimi nita Sisi tuta
- I shall - We shall
N+ S N + S
- I will - We will
N + S N + S
Wewe uta Nyinyi mta
- You will - You will
N + S N + S
Yeye ata Wao wata
-He will - They will
N +S N + S
- She will
N+ S
-It will
N + S
Nafsi mtendaji - N(mtj) ikiandikwa au kutamkwa mara tu baada ya by, for, to, au mara
tu baada ya tendo la Kiingereza hubadilika na kuwa kama ifuatavyo:-
- Mimi huwa me, tamka (mi) badala ya I.
- Sisi huwa us, tamka (asi) badala ya we.
- Wewe hubaki vilevile you, tamka (yu).
- Nyinyi hubaki vilevile you, tamka (yu).
- Yeye ’mwanaume’ huwa him, tamka (him) badala ya he.
- Yeye ’mwanamke’ huwa her, tamka (ha) badala ya she.
- Kitu au mnyama hubaki vilevile it , tamka (iti).
- Wao huwa them, tamka (dhem) badala ya they.
Kwa hali hii basi ndiyo maana Katika sentensi ya (1).(a). ya mfano mimi imekuwa me
na siyo I kwasababau imeandikwa mara tu baada ya by. Usome tena mfano husika
hapo chini:-
(1).(a).Kiingereza kitazungumzwa na mimi.
Kiingereza: English will be spoken by me
Kanuni: N(mtw)+ S + BE + T(PP) + BY+ N(mtj)
Tamka: (Inglish wil bi spoken bai mi).
Kitu kingine ni kwamba, sentensi zote za kutendewa za Kiingereza za nyakati zote,
tendo huwa katika hali ya “PP’’ yaani Past Participle, tamka (pasti patisipo).
2. Kanuni ya kuuliza swali la Kiingereza fasaha la wakati ujao uliorahisi katika hali
ya kutendewa, yaani swali la “Simple Future Tense – Passive Voice” ni:-
{S + N(mtw) + BE+ T(PP)+BY+ N(mtj)}?
(2).(a).(i). Je, Kiingereza kitazungumzwa na wewe?
Kiingereza: Will English be spoken by you?
Kanuni: S + N(mtw) +BE + T(PP) + BY+ N(mtj)
Tamka: (Wil Inglish bi spokeni bai yu)?
(2).(a).(ii). Ndiyo, Kiingereza kitazungumzwa na mimi.
Kiingereza: Yes, English will be spoken by me.
Kanuni: YES + N(mtw) + S + BE + T(PP) + BY + N(mtj)
Tamka: (Yesi, Inglish wil bi spokeni bai mi).
(2).(a).(iii). Hapana, Kiingereza hakitazungumzwa na mimi.
Kiingereza: No, English will not be spoken by me .
Kanuni: NO + N(mtw) +S + NOT+BE+ T(PP) +BY+ N(mtj)
Tamka: (No, Inglish wil noti bi spokeni bai mi).
(2).(a).(iv). Hapana, Kiingereza hakitazungumzwa na mimi.
Kiingereza: No, English won’t be spoken by me.
Kanuni: NO+ N(mtw) +WONT+BE + T(PP) + BY+ N(mtj)
Tamka: (No, Inglish wonti bi spokeni bai mi).
(22).
(2).(b).(i). Je, wao watapelekwa shuleni?
Kiingereza: Will They be sent to school?
Kanuni: S + N(mtw) + BE +T(PP)
Tamka: (Wil dhei bi senti tu skul)?
(2).(b).(ii). Ndiyo, wao watapelekwa shuleni.
Kiingereza: Yes, They will be sent to school.
Kanuni: YES+ N(mtw) + S + BE +T(PP)
Tamka: (Yesi, dhei wil bi senti tu skul).
(2).(b).(iii). Hapana, wao hawatapelekwa shuleni.
Kiingereza: No, They will not be sent to school.
Kanuni: NO+ N(mtw) + S +NOT+ BE +T(PP)
Tamka: (No,dhei wil noti bi senti tu skul).
(2).(b).(iii).Hapana, wao hawatapelekwa shuleni.
Kiingereza: No, They won’t be sent to school.
Kanuni: NO+ N(mtw) + WON’T+ BE +T(PP)
Tamka: (No,dhei wonti bi senti tu skul).
(2).(c).(i). Je, kitabu kitachukuliwa na Musa?
Kiingereza: Will a book be taken by Musa?
Kanuni: S + N(mtw)+BE+T(PP)+BY+ N(mtj)
Tamka: (Wil e buku bi tekeni bai Musa)?
(2).(c).(ii). Ndiyo, kitabu kitachukuliwa na Musa.
Kiingereza: Yes, a book will be taken by Musa.
Kanuni: YES + N(mtw) + S +BE+ T(PP) + BY + N(mtj)
Tamka: (Yesi, e buku wil bi tekeni bai Musa).
(2).(c).(iii). Hapana, kitabu hakitachukuliwa na Musa.
Kiingereza: No, a book will not be taken by Musa.
Kanuni: NO + N(mtw) +S + NOT+BE+T(PP) +BY+ N(mtj)
Tamka: (No, e buku wil noti bi tekeni bai Musa).
(2).(c).(iv). Hapana, kitabu hakitachukuliwa na Musa.
Kiingereza: No, a book won’t be taken by Musa.
Kanuni: NO + N(mtw) WON’T+BE+ T(PP) +BY+ N(mtj)
Tamka: (No, e buku wonti bi tekeni bai Musa).
(3).
ZOEZI LA 22.
Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:-
Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):-
Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:-
(1).(i). Kiswahili: Wao watapigwa na Kimbute.
Kiingereza: ___________ _____ _____ _______ ____ ___________
Kanuni: N(mtw) + S + BE + T(PP) + BY + N(mtj)
- N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao.
- S – will, tamka (wil).
- T(PP) – beaten, tamka (biten). – piga.
- N(mtj) – Kimbute.
(1).(ii). Kiswahili: Je, Wao watapigwa na Kimbute?
Kiingereza: ____ __________ ____ __________ ____ __________?
Kanuni: S + N(mtw) + BE + T(PP) + BY + N(mtj)
- S – will, tamka (wil).
- N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao.
-T(PP) – beaten, tamka (bitten). – piga.
- N(mtj) – Kimbute.
(1).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Wao watapigwa na Kimbute.
Kiingereza: ___ __________ ____ ____ ________ ____ ___________
Kanuni: YES+ N(mtw) + S + BE + T(PP) + BY + N(mtj)
- YES, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N(mtw)– They, tamka (dhei) – Wao.
- S – will, tamka (wil).
- T(PP) – beaten, tamka (biten) – piga.
- N(mtj) – Kimbute.
(1).(iv). Kiswahili: Hapana, Wao hawatapigwa na Kimbute.
Kiingereza:____ _________ ____ ____ ____ ________ ____ ________
Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT+ BE + T(PP) + BY + N(mtj
- No, tamka (No) – Hapana.
- N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao.
- S – will, tamka (wil).
- T(PP) – beaten, tamka (biten).
- N(mtj) – Kimbute.
(v). Kiswahili: Hapana, Wao hawatapigwa na Kimbute.
Kiingereza:____ _________ _______ ____ ________ ____ _________
Kanuni: NO + N(mtw) + WON’T + BE + T(PP) + BY + N(mtj)
- No, tamka (No) – Hapana.
- N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao.
- T(PP) – beaten, tamka -(biten). – piga.
- N(mtj) – Kimbute.
(4).
(2).(i). Kiswahili: Kiingereza kitazungumzwa na sisi.
Kiingereza: ____________ ____ _____ ___________ _____ _______
Kanuni: N(mtw) + S + BE + T(PP) + BY + N(mtj)
- N(mtw) – English, tamka (Inglish) – Kiingereza.
- S – will, tamka (wil).
- T(PP) – spoken, tamka (spokeni) – zungumza.
- N(mtj) – Us, tamka (asi) – sisi.
(2).(ii). Kiswahili: Je, Kiingereza kitazungumzwa na nyinyi?
Kiingereza: _____ __________ ____ ________ ____ _______?
Kanuni: S + N(mtw) + BE + T(PP) + BY + N(mtj)
- S – will, tamka (wil).
- N(mtw)– English, tamka (Inglish) - Kiingereza.
- T(PP) – spoken, tamka - (spokeni) – zungumza.
- N(mtj) – You, tamka (yu) – nyinyi.
(2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Kiingereza kitazungumzwa na sisi.
Kiingereza: ____ _________ _____ ____ __________ _____ _______
Kanuni: YES + N(mtw) + S + BE + T(PP) + BY + N(mtj)
- N(mtw) – English, tamka (Inglish) – Kiingereza.
- S – will, tamka (wil).
-T(PP) – spoken, tamka (spokeni) – zungumza.
- N(mtj) – Us, tamka (asi) – sisi.
(2).(iv). Kiswahili: Hapana, Kiingereza hakitazungumzwa na sisi.
Kiingereza: ____ _________ _____ _____ ____ ________ ____ _______
Kanuni: NO + N(mtw)+ S + NOT+ BE + T(PP) + BY + N(mtj)
- No, tamka (No) – Hapana.
- N(mtw) – English, tamka (Inglish) – Kiingereza.
- S – will, tamka (wil).
- T(PP) – spoken, tamka (spokeni) – zungumza.
- N(mtj) – Us, tamka (asi) – sisi.
(2).(v). Kiswahili: Hapana, Kiingereza hakitazungumzwa na sisi.
Kiingereza: ____ __________ ______ _____ _________ ____ _______
Kanuni: NO + N(mtw) +WON’T+ BE + T(PP) + BY + N(mtj)
- No, tamka (no) – Hapana.
- N(mtw) – English, tamka (Inglish) – Kiingereza.
- T(PP) – Spoken, tamka (spokeni) – zungumza.
- N(mtj) – Us, tamka (asi) – sisi.
(5).
(3).(i). Kiswahili: Bidhaa zitauzwa na mimi.
Kiingereza: _______________ ____ ____ ________ ____ ______
Kanuni: N(mtw) + S + BE + T(PP) + BY + N(mtj)
- N(mtw) – Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa.
- S – will, tamka (wil).
- T(PP) – Sold, tamka (sold) – uza.
- N(mtj) – Me, tamka (mi) – mimi.
(3).(ii). )(i Kiswahili: Je, bidhaa zitauzwa na wewe?
Kiingereza: _____ ________________ ____ ________ ____ ______?
Kanuni: S + N(mtw) + BE + T(PP) + BY + N(mtj)
- S – will, tamka (wil).
- N(mtw) – Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa.
-T(PP) – Sold, tamka (sold) – uza.
- N(mtj) – You, tamka (yu) – wewe.
(3).(iii). Kiswahili: Ndiyo, bidhaa zitauzwa na mimi.
Kiingereza: _____ _______________ _____ ____ ______ _____ _____
Kanuni: YES+ N(mtw) + S + BE + T(PP) + BY +N(mtj
- Yes, tamka (yesi) – Ndiyo.
- N(mtw) – Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa.
- S – will, tamka (wil).
- T(PP) – Sold, tamka (sold) – uza.
- N(mtj) – Me, tamka (mi) – mimi.
(3).(iv). Kiswahili: Hapana, bidhaa hazitauzwa na mimi.
Kiingereza:_____ _____________ _____ _____ ____ _____ ____ ______
Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT+ BE + T(PP) +BY+ N(mtj)
- No, tamka (No) – Hapana.
- N(mtw) – Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa.
- S – will, tamka (wil).
- T(PP) – Sold, tamka (sold).
- N(mtj) – Me, tamka (mi) – mimi.
(3).(v). Kiswahili: Hapana, bidhaa hazitauzwa na mimi.
Kiingereza: _____ _______________ ______ ____ ______ ____ ______
Kanuni: NO + N(mtw) + WON’T+ BE + T(PP) + BY +N(mtj)
- No, tamka (No) – Hapana.
- N(mtw) – Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa.
- T(PP) – Sold, tamka (sold) – uza.
- N(mtj) – me, tamka (mi) – mimi.
(Mwisho wa somo).
(6).

More Related Content

More from makukuzenyu

Somo la 25
Somo la  25Somo la  25
Somo la 25
makukuzenyu
 
Somo la 24
Somo la  24Somo la  24
Somo la 24
makukuzenyu
 
Somo la 23
Somo la  23Somo la  23
Somo la 23
makukuzenyu
 
Somo la 21
Somo la  21Somo la  21
Somo la 21
makukuzenyu
 
Somo la 20
Somo la  20Somo la  20
Somo la 20
makukuzenyu
 
Somo la 19
Somo la  19Somo la  19
Somo la 19
makukuzenyu
 
Somo la 18
Somo la  18Somo la  18
Somo la 18
makukuzenyu
 
Somo la 17
Somo la  17Somo la  17
Somo la 17
makukuzenyu
 
Somo la 16
Somo la  16Somo la  16
Somo la 16
makukuzenyu
 
Somo la 15
Somo la  15Somo la  15
Somo la 15
makukuzenyu
 
Somo la 14
Somo la  14Somo la  14
Somo la 14
makukuzenyu
 
Somo la 13
Somo la  13Somo la  13
Somo la 13
makukuzenyu
 
Somo la 12
Somo la  12Somo la  12
Somo la 12
makukuzenyu
 
Somo la 11
Somo la  11Somo la  11
Somo la 11
makukuzenyu
 
Somo la 10
Somo la  10Somo la  10
Somo la 10
makukuzenyu
 
Somo la 9
Somo la  9Somo la  9
Somo la 9
makukuzenyu
 
Somo la 8
Somo la  8Somo la  8
Somo la 8
makukuzenyu
 
Somo la 7
Somo la  7Somo la  7
Somo la 7
makukuzenyu
 
Somo la 5
Somo la  5Somo la  5
Somo la 5
makukuzenyu
 
Somo la 4
Somo la  4Somo la  4
Somo la 4
makukuzenyu
 

More from makukuzenyu (20)

Somo la 25
Somo la  25Somo la  25
Somo la 25
 
Somo la 24
Somo la  24Somo la  24
Somo la 24
 
Somo la 23
Somo la  23Somo la  23
Somo la 23
 
Somo la 21
Somo la  21Somo la  21
Somo la 21
 
Somo la 20
Somo la  20Somo la  20
Somo la 20
 
Somo la 19
Somo la  19Somo la  19
Somo la 19
 
Somo la 18
Somo la  18Somo la  18
Somo la 18
 
Somo la 17
Somo la  17Somo la  17
Somo la 17
 
Somo la 16
Somo la  16Somo la  16
Somo la 16
 
Somo la 15
Somo la  15Somo la  15
Somo la 15
 
Somo la 14
Somo la  14Somo la  14
Somo la 14
 
Somo la 13
Somo la  13Somo la  13
Somo la 13
 
Somo la 12
Somo la  12Somo la  12
Somo la 12
 
Somo la 11
Somo la  11Somo la  11
Somo la 11
 
Somo la 10
Somo la  10Somo la  10
Somo la 10
 
Somo la 9
Somo la  9Somo la  9
Somo la 9
 
Somo la 8
Somo la  8Somo la  8
Somo la 8
 
Somo la 7
Somo la  7Somo la  7
Somo la 7
 
Somo la 5
Somo la  5Somo la  5
Somo la 5
 
Somo la 4
Somo la  4Somo la  4
Somo la 4
 

Somo la 22

  • 1. Somo la 22 Kiingereza: Simple Future Tense – Passive Voice. Tamka: (Simpo Fyucha Tensi - Pasivu Voisi). Kiswahili: Wakati ujao uliorahisi – Katika hali ya kutendewa. Mifano ya Sentensi hizi katika Kiswahili ni kama ifuatavyo:- 1. Kiingereza kitazungumzwa na mimi. 2. Wao watapelekwa shuleni. 3. Kitabu kitachukuliwa na Musa. Katika Kiingereza:- S ni shall/Will. T - huwa katika (PP), yaaani katka “Past Participle” kama ifuatavyo:- - Zungumza – huwa spoken, tamka (spokeni). - Iba – huwa stolen, tamka (stoleni). - Peleka – huwa sent, tamka (senti). (1).Kanuni ya sentensi ya Kiingereza fasaha ya wakati ujao uliorahisi katika hali ya kutendewa, yaani sentensi ya “Simple Future Tense – Passive Voice” ni:- {N(mtw) + S+ BE + T(PP) + BY + N(mtj)}. Kirefu cha N(mtw) ni nafsi mtendewa na kirefu cha N(mtj) ni nafsi mtendaji. Nafsi mtendewa kwa Kiingereza huitwa Object, tamka (objekti). Nafsi mtendaji kwa Kiingereza huitwa Subject, tamka (sabjekti). (1).(a).Kiingereza kitazungumzwa na mimi. Kiingereza: English will be spoken by me . Kanuni: N(mtw)+ S + BE+ T(PP) +BY+ N(mtj) Tamka: (Inglish wil bi spoken bai mi). (1).(b). Wao watapelekwa shuleni. Kiingereza: They will be sent to school. Kanuni: N(mtw) + S + BE+T(PP) Tamka: (Dhei wil bi senti tu skul). (1).(c). Kitabu kitachukuliwa na Musa. Kiingereza: A book will be taken by Musa. Kanuni: N(mtw) +S +BE+T(PP) +BY+N(mtj) Tamka: (E buku wil bi tekeni bai Musa). (1). Mimi nita Sisi tuta - I shall - We shall N+ S N + S - I will - We will N + S N + S Wewe uta Nyinyi mta - You will - You will N + S N + S Yeye ata Wao wata -He will - They will N +S N + S - She will N+ S -It will N + S
  • 2. Nafsi mtendaji - N(mtj) ikiandikwa au kutamkwa mara tu baada ya by, for, to, au mara tu baada ya tendo la Kiingereza hubadilika na kuwa kama ifuatavyo:- - Mimi huwa me, tamka (mi) badala ya I. - Sisi huwa us, tamka (asi) badala ya we. - Wewe hubaki vilevile you, tamka (yu). - Nyinyi hubaki vilevile you, tamka (yu). - Yeye ’mwanaume’ huwa him, tamka (him) badala ya he. - Yeye ’mwanamke’ huwa her, tamka (ha) badala ya she. - Kitu au mnyama hubaki vilevile it , tamka (iti). - Wao huwa them, tamka (dhem) badala ya they. Kwa hali hii basi ndiyo maana Katika sentensi ya (1).(a). ya mfano mimi imekuwa me na siyo I kwasababau imeandikwa mara tu baada ya by. Usome tena mfano husika hapo chini:- (1).(a).Kiingereza kitazungumzwa na mimi. Kiingereza: English will be spoken by me Kanuni: N(mtw)+ S + BE + T(PP) + BY+ N(mtj) Tamka: (Inglish wil bi spoken bai mi). Kitu kingine ni kwamba, sentensi zote za kutendewa za Kiingereza za nyakati zote, tendo huwa katika hali ya “PP’’ yaani Past Participle, tamka (pasti patisipo). 2. Kanuni ya kuuliza swali la Kiingereza fasaha la wakati ujao uliorahisi katika hali ya kutendewa, yaani swali la “Simple Future Tense – Passive Voice” ni:- {S + N(mtw) + BE+ T(PP)+BY+ N(mtj)}? (2).(a).(i). Je, Kiingereza kitazungumzwa na wewe? Kiingereza: Will English be spoken by you? Kanuni: S + N(mtw) +BE + T(PP) + BY+ N(mtj) Tamka: (Wil Inglish bi spokeni bai yu)? (2).(a).(ii). Ndiyo, Kiingereza kitazungumzwa na mimi. Kiingereza: Yes, English will be spoken by me. Kanuni: YES + N(mtw) + S + BE + T(PP) + BY + N(mtj) Tamka: (Yesi, Inglish wil bi spokeni bai mi). (2).(a).(iii). Hapana, Kiingereza hakitazungumzwa na mimi. Kiingereza: No, English will not be spoken by me . Kanuni: NO + N(mtw) +S + NOT+BE+ T(PP) +BY+ N(mtj) Tamka: (No, Inglish wil noti bi spokeni bai mi). (2).(a).(iv). Hapana, Kiingereza hakitazungumzwa na mimi. Kiingereza: No, English won’t be spoken by me. Kanuni: NO+ N(mtw) +WONT+BE + T(PP) + BY+ N(mtj) Tamka: (No, Inglish wonti bi spokeni bai mi). (22).
  • 3. (2).(b).(i). Je, wao watapelekwa shuleni? Kiingereza: Will They be sent to school? Kanuni: S + N(mtw) + BE +T(PP) Tamka: (Wil dhei bi senti tu skul)? (2).(b).(ii). Ndiyo, wao watapelekwa shuleni. Kiingereza: Yes, They will be sent to school. Kanuni: YES+ N(mtw) + S + BE +T(PP) Tamka: (Yesi, dhei wil bi senti tu skul). (2).(b).(iii). Hapana, wao hawatapelekwa shuleni. Kiingereza: No, They will not be sent to school. Kanuni: NO+ N(mtw) + S +NOT+ BE +T(PP) Tamka: (No,dhei wil noti bi senti tu skul). (2).(b).(iii).Hapana, wao hawatapelekwa shuleni. Kiingereza: No, They won’t be sent to school. Kanuni: NO+ N(mtw) + WON’T+ BE +T(PP) Tamka: (No,dhei wonti bi senti tu skul). (2).(c).(i). Je, kitabu kitachukuliwa na Musa? Kiingereza: Will a book be taken by Musa? Kanuni: S + N(mtw)+BE+T(PP)+BY+ N(mtj) Tamka: (Wil e buku bi tekeni bai Musa)? (2).(c).(ii). Ndiyo, kitabu kitachukuliwa na Musa. Kiingereza: Yes, a book will be taken by Musa. Kanuni: YES + N(mtw) + S +BE+ T(PP) + BY + N(mtj) Tamka: (Yesi, e buku wil bi tekeni bai Musa). (2).(c).(iii). Hapana, kitabu hakitachukuliwa na Musa. Kiingereza: No, a book will not be taken by Musa. Kanuni: NO + N(mtw) +S + NOT+BE+T(PP) +BY+ N(mtj) Tamka: (No, e buku wil noti bi tekeni bai Musa). (2).(c).(iv). Hapana, kitabu hakitachukuliwa na Musa. Kiingereza: No, a book won’t be taken by Musa. Kanuni: NO + N(mtw) WON’T+BE+ T(PP) +BY+ N(mtj) Tamka: (No, e buku wonti bi tekeni bai Musa). (3).
  • 4. ZOEZI LA 22. Kiingereza: Change into English the following Swahili sentences:- Tamka: (Chenji intu Inglish dhe folowing Swahili sentensezi):- Kiswahili: Zibadilishe katika Kiingereza sentensi za Kiswahili zifuatazo:- (1).(i). Kiswahili: Wao watapigwa na Kimbute. Kiingereza: ___________ _____ _____ _______ ____ ___________ Kanuni: N(mtw) + S + BE + T(PP) + BY + N(mtj) - N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao. - S – will, tamka (wil). - T(PP) – beaten, tamka (biten). – piga. - N(mtj) – Kimbute. (1).(ii). Kiswahili: Je, Wao watapigwa na Kimbute? Kiingereza: ____ __________ ____ __________ ____ __________? Kanuni: S + N(mtw) + BE + T(PP) + BY + N(mtj) - S – will, tamka (wil). - N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao. -T(PP) – beaten, tamka (bitten). – piga. - N(mtj) – Kimbute. (1).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Wao watapigwa na Kimbute. Kiingereza: ___ __________ ____ ____ ________ ____ ___________ Kanuni: YES+ N(mtw) + S + BE + T(PP) + BY + N(mtj) - YES, tamka (yesi) – Ndiyo. - N(mtw)– They, tamka (dhei) – Wao. - S – will, tamka (wil). - T(PP) – beaten, tamka (biten) – piga. - N(mtj) – Kimbute. (1).(iv). Kiswahili: Hapana, Wao hawatapigwa na Kimbute. Kiingereza:____ _________ ____ ____ ____ ________ ____ ________ Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT+ BE + T(PP) + BY + N(mtj - No, tamka (No) – Hapana. - N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao. - S – will, tamka (wil). - T(PP) – beaten, tamka (biten). - N(mtj) – Kimbute. (v). Kiswahili: Hapana, Wao hawatapigwa na Kimbute. Kiingereza:____ _________ _______ ____ ________ ____ _________ Kanuni: NO + N(mtw) + WON’T + BE + T(PP) + BY + N(mtj) - No, tamka (No) – Hapana. - N(mtw) – They, tamka (dhei) – Wao. - T(PP) – beaten, tamka -(biten). – piga. - N(mtj) – Kimbute. (4).
  • 5. (2).(i). Kiswahili: Kiingereza kitazungumzwa na sisi. Kiingereza: ____________ ____ _____ ___________ _____ _______ Kanuni: N(mtw) + S + BE + T(PP) + BY + N(mtj) - N(mtw) – English, tamka (Inglish) – Kiingereza. - S – will, tamka (wil). - T(PP) – spoken, tamka (spokeni) – zungumza. - N(mtj) – Us, tamka (asi) – sisi. (2).(ii). Kiswahili: Je, Kiingereza kitazungumzwa na nyinyi? Kiingereza: _____ __________ ____ ________ ____ _______? Kanuni: S + N(mtw) + BE + T(PP) + BY + N(mtj) - S – will, tamka (wil). - N(mtw)– English, tamka (Inglish) - Kiingereza. - T(PP) – spoken, tamka - (spokeni) – zungumza. - N(mtj) – You, tamka (yu) – nyinyi. (2).(iii). Kiswahili: Ndiyo, Kiingereza kitazungumzwa na sisi. Kiingereza: ____ _________ _____ ____ __________ _____ _______ Kanuni: YES + N(mtw) + S + BE + T(PP) + BY + N(mtj) - N(mtw) – English, tamka (Inglish) – Kiingereza. - S – will, tamka (wil). -T(PP) – spoken, tamka (spokeni) – zungumza. - N(mtj) – Us, tamka (asi) – sisi. (2).(iv). Kiswahili: Hapana, Kiingereza hakitazungumzwa na sisi. Kiingereza: ____ _________ _____ _____ ____ ________ ____ _______ Kanuni: NO + N(mtw)+ S + NOT+ BE + T(PP) + BY + N(mtj) - No, tamka (No) – Hapana. - N(mtw) – English, tamka (Inglish) – Kiingereza. - S – will, tamka (wil). - T(PP) – spoken, tamka (spokeni) – zungumza. - N(mtj) – Us, tamka (asi) – sisi. (2).(v). Kiswahili: Hapana, Kiingereza hakitazungumzwa na sisi. Kiingereza: ____ __________ ______ _____ _________ ____ _______ Kanuni: NO + N(mtw) +WON’T+ BE + T(PP) + BY + N(mtj) - No, tamka (no) – Hapana. - N(mtw) – English, tamka (Inglish) – Kiingereza. - T(PP) – Spoken, tamka (spokeni) – zungumza. - N(mtj) – Us, tamka (asi) – sisi. (5).
  • 6. (3).(i). Kiswahili: Bidhaa zitauzwa na mimi. Kiingereza: _______________ ____ ____ ________ ____ ______ Kanuni: N(mtw) + S + BE + T(PP) + BY + N(mtj) - N(mtw) – Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa. - S – will, tamka (wil). - T(PP) – Sold, tamka (sold) – uza. - N(mtj) – Me, tamka (mi) – mimi. (3).(ii). )(i Kiswahili: Je, bidhaa zitauzwa na wewe? Kiingereza: _____ ________________ ____ ________ ____ ______? Kanuni: S + N(mtw) + BE + T(PP) + BY + N(mtj) - S – will, tamka (wil). - N(mtw) – Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa. -T(PP) – Sold, tamka (sold) – uza. - N(mtj) – You, tamka (yu) – wewe. (3).(iii). Kiswahili: Ndiyo, bidhaa zitauzwa na mimi. Kiingereza: _____ _______________ _____ ____ ______ _____ _____ Kanuni: YES+ N(mtw) + S + BE + T(PP) + BY +N(mtj - Yes, tamka (yesi) – Ndiyo. - N(mtw) – Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa. - S – will, tamka (wil). - T(PP) – Sold, tamka (sold) – uza. - N(mtj) – Me, tamka (mi) – mimi. (3).(iv). Kiswahili: Hapana, bidhaa hazitauzwa na mimi. Kiingereza:_____ _____________ _____ _____ ____ _____ ____ ______ Kanuni: NO + N(mtw) + S + NOT+ BE + T(PP) +BY+ N(mtj) - No, tamka (No) – Hapana. - N(mtw) – Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa. - S – will, tamka (wil). - T(PP) – Sold, tamka (sold). - N(mtj) – Me, tamka (mi) – mimi. (3).(v). Kiswahili: Hapana, bidhaa hazitauzwa na mimi. Kiingereza: _____ _______________ ______ ____ ______ ____ ______ Kanuni: NO + N(mtw) + WON’T+ BE + T(PP) + BY +N(mtj) - No, tamka (No) – Hapana. - N(mtw) – Commodities, tamka (komoditiz) – bidhaa. - T(PP) – Sold, tamka (sold) – uza. - N(mtj) – me, tamka (mi) – mimi. (Mwisho wa somo). (6).