SlideShare a Scribd company logo
1 of 23
UHIFADHI WA
KAZI ZA
FASIHI
SIMULIZI
(KIDATO CHA PILI)
Mussa Shekinyashi
+255 743 98 98
MALENGO YA SOMO
• Kufikia mwisho wa somo:
• Tujikumbushe maana ya Fasihi Simulizi
• Tufahamu sifa bainifu za Fasihi Simulizi
• Tufahamu Njia za uhifadhi wa Fasihi Simulizi
tukizingatia: Ubora na athari (udhaifu) zake kwa
fasihi simulizi.
MAANA YA FASIHI SIMULIZI
• Fasihi simulizi ni aina ya fasihi inayowasilishwa
kwa njia ya mazungumzo ya mdomo.
• Aina hii ya fasihi imekuwepo tangu enzi na
enzi.
• Imekuwa ikirithishwa kutoka kizazi kimoja
hadi kingine kwa njia ya mazungumzo ya
mdomo.
• Mfano wa fasihi simulizi ni hadithi
tunazosimuliwa na wazazi wetu, nyimbo
tunazoimba, maigizo yanayoigizwa.
SIFA BAINIFU ZA FASIHI
SIMULIZI
• Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo.
• Huifadhiwa kichwani
• Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko kwa
kuzingatia mazingira na uhitaji.
• Huwa ni mali ya jamii nzima.
• Huwa na wakati maalum na pahala maalum pa
kuiwasilisha.
• Huwa inaruhusu fanani na hadhira kukutana ana
kwa ana.
• Huruhusu viungo vingine vya mwili kutumika
katika uwasilishaji.
UHIFADHI
• Fasihi inaweza kukusanywa na kuhifadhiwa
kwa njia zifuatazo :
• Kichwa
• Maandishi
• Kanda za kunasia sauti
• Kanda za video, televisheni na filamu za
sinema (CD,DVD na kompyuta)
KICHWA
• Kwa asili uhifadhi wa fasihi
simulizi hufanywa kwa vichwa
vya watu kutoka kizazi hadi
kizazi.
• Njia hii imetumika kwa kipindi
kirefu sana.
• Kutokana na njia hii fasihi
imeweza kuwepo kutoka
vizazi vya kale hadi hiki cha
sasa.
UHIFADHI WA KICHWA
UDHAIFU/ ATHARI ZA UHIFADHI
WA KICHWA
• Kupungua kwa kumbukumbu za mhifadhi/fanani
• Kufa kwa fanani
• Fanani anaweza kubadilisha mambo muhimu katika
simulizi na hivyo kubadili kiini cha masimulizi hayo.
• Ukosekananji wa wahifadhi wa fasihi kwa kichwa. Ni
vigumu kupata watu wanaopenda na wanaoweza kuhifadhi
fasihi simulizi
MAANDISHI
• Njia hii imeimeza fasihi simulizi kwa manufaa ya
baadae.
• Ugunduzi wa alama za uandishi ndio uliopelekea
fasihi simulizi kuhifadhiwa katika maandishi.
• Leo hii ni vigumu kuifahamu kazi ya fasihi simulizi
iliyowekwa kwenye maandishi.
• Njia pekee ya kuipambanua ni kuangalia tabia za
fasihi simulizi ambazo ni: “paukwa…pakawa”au
“hadithi….hadithi njoo”
MAANDISHI
UDHAIFU/ATHARI YA UHIFADHI
WA MAANDISHI
• Uhifadhi kwa maandishi huwa na matatizo yafuatayo:
• Kukosekana kwa utendaji,sauti,kuimba vitabia.
• Kukosekana kwa uhusiano wa moja kwa moja kati ya
hadhira na fanani
• Kukosekana kwa mabadiliko ya mara kwa mara.
• Ufinyu wa hadhira, itakuwa na watu wachache tu, wale
wanaojua kusoma na kuandika.
• Inakuwa ni nyenzo ya kibiashara ambapo inahitaji
kugharamiwa.
KANDA ZA KUNASIA SAUTI
• Njia hii pia hutumika kuhifadhi fasihi simulizi.
• Hii ni teknolojia iliyochipukia baada ya maandishi.
• Ilikuwa na uwezo zaidi wa kuhifadhi uhalisia wa
fasihi simulizi ukilinganisha na njia ya uhifadhi kwa
maandishi.
• Katika njia hii kanda hutumika, kanda hizo hushika
sauti pamoja na vichombezo vyake.
KANDA ZA KUNASIA SAUTI NA
REDIO
UDHAIFU/ATHARI ZA KANDA ZA
KUNASIA SAUTI
• Sauti husikika, lakini…
• Ni vigumu kuona matendo ya fanani .
• Hadhira haishirikishwi
• Ni gharama kuipata
• Uhifadhi unahitajika uwe wa hali ya juu
• Kudumaa kwa kazi ilihifadhiwa, haitapata
mabadiliko kamwe.
KANDA ZA
VIDEO,TELEVISHENI,FILAMU ZA
SINEMA, KOMPYUTA, MTANDAO,
SIMU ZA MIKONONI, CD NA DVD
• Uhifadhi wa namna hii hujumuisha sura na sauti
zinazoonekana kwenye skirini ya video.
• Vifaa maalumu hutumika kutengeneza picha za
namna hiyo.
• Fasihi simulizi imeweza kuhifadhiwa katika vifaa
hivi.
• Hapa uhalisia wa fasihi simulizi hujitokeza zaidi
ukilinganisha na njia zile za mwanzo.
• Hapa matendo na sauti vinaonekana wazi.
CD/DVD
Hutumika kuhifadhi fasihi simulizi
KANDA ZA VIDEO
Hizi hutumika pia kurekodi matukio
ya fasihi simulizi.
MTANDAO
Kwa njia hii fasihi simulizi
huifadhiwa kisha kusambazwa
katika jamii zote duniani .
KOMPYUTA
Kifaa hiki hutumika kuhifadhi na
kuonesha kazi za fasihi simulizi.
SIMU YA
MKONONI
Hii ni njia rahisi ya kurekodi na
kusambaza kazi za fasihi simulizi
kupitia mitandao ya kijamii kama
facebook, whatsApp na mingineyo
UDHAIFU/ ATHARI YA NJIA HII
YA UHIFADHI
• Upungufu wa ushirikishwaji wa hadhira
• Njia hii ni ya gharama sana
• Haitabadilika kulingana na mahitaji ya hadhira
• Uhifadhi wa vifaa hivi ni wa gharama sana.
UMUHIMU WA KUHIFADHI KAZI
ZA FASIHI SIMULIZI
• Hukuza na kuendeleza utamaduni wa jamii.
• Zinasaidia katika kuvutia watalii
• Ni sehemu ya ajira.
• Kazi ya fasihi inapohifadhiwa huwa ni chachu
ya umoja wa kitaifa.
ASANTENI SANA!

More Related Content

What's hot

Utungaji wa kazi za fasihi
Utungaji  wa kazi za fasihiUtungaji  wa kazi za fasihi
Utungaji wa kazi za fasihiKAZEMBETVOnline
 
Kiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au KrioliKiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au Kriolimussa Shekinyashi
 
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIAMAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIAshahzadebaujiti
 
Waingereza na baada ya uhuru
Waingereza na baada ya uhuruWaingereza na baada ya uhuru
Waingereza na baada ya uhuruKAZEMBETVOnline
 
Chimbuko na Asili ya Kiswahili
Chimbuko na Asili ya KiswahiliChimbuko na Asili ya Kiswahili
Chimbuko na Asili ya Kiswahilimussa Shekinyashi
 
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiUhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiKAZEMBETVOnline
 
Maendeleo ya kiswahili
Maendeleo ya kiswahiliMaendeleo ya kiswahili
Maendeleo ya kiswahiliMussaOmary3
 
Mofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahiliMofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahiliGeophery sanga
 
Lahaja za kiswahili kwa ujumla
Lahaja za kiswahili kwa ujumlaLahaja za kiswahili kwa ujumla
Lahaja za kiswahili kwa ujumlaWilson Pastory
 
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiUhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiMussaOmary3
 
USHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILIUSHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILIPeter Deus
 
Language varieties
Language varieties Language varieties
Language varieties elarae
 
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaUmuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaHamad Khamis Juma
 
Introduction to linguistic dr. Sherine Abd El-Gelil ppt
Introduction to linguistic  dr. Sherine Abd El-Gelil pptIntroduction to linguistic  dr. Sherine Abd El-Gelil ppt
Introduction to linguistic dr. Sherine Abd El-Gelil pptsherine Emara
 
Ufahamu na ufupisho
Ufahamu na ufupishoUfahamu na ufupisho
Ufahamu na ufupishoMussaOmary3
 

What's hot (20)

Utungaji wa kazi za fasihi
Utungaji  wa kazi za fasihiUtungaji  wa kazi za fasihi
Utungaji wa kazi za fasihi
 
Kiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au KrioliKiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au Krioli
 
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIAMAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
MAENDELEO YA KISWAHILI TANZANIA
 
Waingereza na baada ya uhuru
Waingereza na baada ya uhuruWaingereza na baada ya uhuru
Waingereza na baada ya uhuru
 
Chimbuko na Asili ya Kiswahili
Chimbuko na Asili ya KiswahiliChimbuko na Asili ya Kiswahili
Chimbuko na Asili ya Kiswahili
 
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiUhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
 
Maendeleo ya kiswahili
Maendeleo ya kiswahiliMaendeleo ya kiswahili
Maendeleo ya kiswahili
 
TAFSIRI NA UKALIMANI
TAFSIRI NA UKALIMANITAFSIRI NA UKALIMANI
TAFSIRI NA UKALIMANI
 
Mofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahiliMofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahili
 
Lahaja za kiswahili kwa ujumla
Lahaja za kiswahili kwa ujumlaLahaja za kiswahili kwa ujumla
Lahaja za kiswahili kwa ujumla
 
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiUhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
 
Mjengo wa tungo
Mjengo wa tungoMjengo wa tungo
Mjengo wa tungo
 
MATUMIZI YA SARUFI
MATUMIZI YA SARUFIMATUMIZI YA SARUFI
MATUMIZI YA SARUFI
 
USHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILIUSHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILI
 
Mjengo wa tungo 3
Mjengo wa tungo 3Mjengo wa tungo 3
Mjengo wa tungo 3
 
Language varieties
Language varieties Language varieties
Language varieties
 
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaUmuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
 
Introduction to linguistic dr. Sherine Abd El-Gelil ppt
Introduction to linguistic  dr. Sherine Abd El-Gelil pptIntroduction to linguistic  dr. Sherine Abd El-Gelil ppt
Introduction to linguistic dr. Sherine Abd El-Gelil ppt
 
Ufahamu na ufupisho
Ufahamu na ufupishoUfahamu na ufupisho
Ufahamu na ufupisho
 
Mofolojia
MofolojiaMofolojia
Mofolojia
 

More from mussa Shekinyashi

More from mussa Shekinyashi (11)

Rejesta
RejestaRejesta
Rejesta
 
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha KimuktadhaMatumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
 
Tafsiri na ukalimani
Tafsiri na ukalimaniTafsiri na ukalimani
Tafsiri na ukalimani
 
Evolution of Man (form one)
Evolution of Man (form one)Evolution of Man (form one)
Evolution of Man (form one)
 
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penziUhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
 
Public Speaking Tips
Public Speaking TipsPublic Speaking Tips
Public Speaking Tips
 
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHAUHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
 
GENDER CONCEPTS - FORM TWO
GENDER CONCEPTS - FORM TWO GENDER CONCEPTS - FORM TWO
GENDER CONCEPTS - FORM TWO
 
CHIMBUKO LA FASIHI
CHIMBUKO LA FASIHICHIMBUKO LA FASIHI
CHIMBUKO LA FASIHI
 
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHAUHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
 
Semantiki
SemantikiSemantiki
Semantiki
 

Uhifadhi wa fasihi simulizi

  • 1. UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI (KIDATO CHA PILI) Mussa Shekinyashi +255 743 98 98
  • 2. MALENGO YA SOMO • Kufikia mwisho wa somo: • Tujikumbushe maana ya Fasihi Simulizi • Tufahamu sifa bainifu za Fasihi Simulizi • Tufahamu Njia za uhifadhi wa Fasihi Simulizi tukizingatia: Ubora na athari (udhaifu) zake kwa fasihi simulizi.
  • 3. MAANA YA FASIHI SIMULIZI • Fasihi simulizi ni aina ya fasihi inayowasilishwa kwa njia ya mazungumzo ya mdomo. • Aina hii ya fasihi imekuwepo tangu enzi na enzi. • Imekuwa ikirithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia ya mazungumzo ya mdomo. • Mfano wa fasihi simulizi ni hadithi tunazosimuliwa na wazazi wetu, nyimbo tunazoimba, maigizo yanayoigizwa.
  • 4. SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI • Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. • Huifadhiwa kichwani • Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko kwa kuzingatia mazingira na uhitaji. • Huwa ni mali ya jamii nzima. • Huwa na wakati maalum na pahala maalum pa kuiwasilisha. • Huwa inaruhusu fanani na hadhira kukutana ana kwa ana. • Huruhusu viungo vingine vya mwili kutumika katika uwasilishaji.
  • 5. UHIFADHI • Fasihi inaweza kukusanywa na kuhifadhiwa kwa njia zifuatazo : • Kichwa • Maandishi • Kanda za kunasia sauti • Kanda za video, televisheni na filamu za sinema (CD,DVD na kompyuta)
  • 6. KICHWA • Kwa asili uhifadhi wa fasihi simulizi hufanywa kwa vichwa vya watu kutoka kizazi hadi kizazi. • Njia hii imetumika kwa kipindi kirefu sana. • Kutokana na njia hii fasihi imeweza kuwepo kutoka vizazi vya kale hadi hiki cha sasa.
  • 8. UDHAIFU/ ATHARI ZA UHIFADHI WA KICHWA • Kupungua kwa kumbukumbu za mhifadhi/fanani • Kufa kwa fanani • Fanani anaweza kubadilisha mambo muhimu katika simulizi na hivyo kubadili kiini cha masimulizi hayo. • Ukosekananji wa wahifadhi wa fasihi kwa kichwa. Ni vigumu kupata watu wanaopenda na wanaoweza kuhifadhi fasihi simulizi
  • 9. MAANDISHI • Njia hii imeimeza fasihi simulizi kwa manufaa ya baadae. • Ugunduzi wa alama za uandishi ndio uliopelekea fasihi simulizi kuhifadhiwa katika maandishi. • Leo hii ni vigumu kuifahamu kazi ya fasihi simulizi iliyowekwa kwenye maandishi. • Njia pekee ya kuipambanua ni kuangalia tabia za fasihi simulizi ambazo ni: “paukwa…pakawa”au “hadithi….hadithi njoo”
  • 11. UDHAIFU/ATHARI YA UHIFADHI WA MAANDISHI • Uhifadhi kwa maandishi huwa na matatizo yafuatayo: • Kukosekana kwa utendaji,sauti,kuimba vitabia. • Kukosekana kwa uhusiano wa moja kwa moja kati ya hadhira na fanani • Kukosekana kwa mabadiliko ya mara kwa mara. • Ufinyu wa hadhira, itakuwa na watu wachache tu, wale wanaojua kusoma na kuandika. • Inakuwa ni nyenzo ya kibiashara ambapo inahitaji kugharamiwa.
  • 12. KANDA ZA KUNASIA SAUTI • Njia hii pia hutumika kuhifadhi fasihi simulizi. • Hii ni teknolojia iliyochipukia baada ya maandishi. • Ilikuwa na uwezo zaidi wa kuhifadhi uhalisia wa fasihi simulizi ukilinganisha na njia ya uhifadhi kwa maandishi. • Katika njia hii kanda hutumika, kanda hizo hushika sauti pamoja na vichombezo vyake.
  • 13. KANDA ZA KUNASIA SAUTI NA REDIO
  • 14. UDHAIFU/ATHARI ZA KANDA ZA KUNASIA SAUTI • Sauti husikika, lakini… • Ni vigumu kuona matendo ya fanani . • Hadhira haishirikishwi • Ni gharama kuipata • Uhifadhi unahitajika uwe wa hali ya juu • Kudumaa kwa kazi ilihifadhiwa, haitapata mabadiliko kamwe.
  • 15. KANDA ZA VIDEO,TELEVISHENI,FILAMU ZA SINEMA, KOMPYUTA, MTANDAO, SIMU ZA MIKONONI, CD NA DVD • Uhifadhi wa namna hii hujumuisha sura na sauti zinazoonekana kwenye skirini ya video. • Vifaa maalumu hutumika kutengeneza picha za namna hiyo. • Fasihi simulizi imeweza kuhifadhiwa katika vifaa hivi. • Hapa uhalisia wa fasihi simulizi hujitokeza zaidi ukilinganisha na njia zile za mwanzo. • Hapa matendo na sauti vinaonekana wazi.
  • 17. KANDA ZA VIDEO Hizi hutumika pia kurekodi matukio ya fasihi simulizi.
  • 18. MTANDAO Kwa njia hii fasihi simulizi huifadhiwa kisha kusambazwa katika jamii zote duniani .
  • 19. KOMPYUTA Kifaa hiki hutumika kuhifadhi na kuonesha kazi za fasihi simulizi.
  • 20. SIMU YA MKONONI Hii ni njia rahisi ya kurekodi na kusambaza kazi za fasihi simulizi kupitia mitandao ya kijamii kama facebook, whatsApp na mingineyo
  • 21. UDHAIFU/ ATHARI YA NJIA HII YA UHIFADHI • Upungufu wa ushirikishwaji wa hadhira • Njia hii ni ya gharama sana • Haitabadilika kulingana na mahitaji ya hadhira • Uhifadhi wa vifaa hivi ni wa gharama sana.
  • 22. UMUHIMU WA KUHIFADHI KAZI ZA FASIHI SIMULIZI • Hukuza na kuendeleza utamaduni wa jamii. • Zinasaidia katika kuvutia watalii • Ni sehemu ya ajira. • Kazi ya fasihi inapohifadhiwa huwa ni chachu ya umoja wa kitaifa.