2. Hadithi ni tungo za Fasihi simulizi zitumiazo lugha
ya
nathari( lugha ya ujazo ya maongezi ya kila siku)
Masimulizi haya hupangwa katika mtiririko wa
matukio
unaokamilisha kisa. Ili kisa hiki kikamilike, hadithi
huwa na
wahusika ambao ndio nyenzo ya kukiendesha kisa
chenyewe,
vivyo hivyo, hadithi huwa na maudhui
Jerome Massawe 2
3. Inaendelea…………
yafuatayo yawepo;
Mtendaji/ mtambaji na hadhira
Mahali pa kutendea
Tukio la kueleza
Mtambaji wa hadithi ya Fasihi simulizi shurti awe na sifa
zifuatazo;
Mtambaji anapaswa kuwa na uwezo wa kuwasilisha hadithi
au ngano kwa namna inayochangamsha msikilizaji au
hadhira yake hivyo anapaswa kuwa na ubunifu wa kiwango
cha juu.
Jerome Massawe 3
4. Inaendelea……….
Ili hadithi ya Fasihi simulizi iweze kuwasilishwa shurti mambo
- Anapaswa kuwa na ujuzi wa kuweza kuifahamu hadhira yake
pamoja na mahitaji ya hadhira hiyo. Kwa mfano, anapaswa
kujua jinsi ya kuiwasilisha hadithi Fulani, kwa hadhira ya
watoto, watu wazima,nakadhalika. Kila hadhira huwa na
matarajio yake, vionjo vyake nakadhalika hivyo ni lazima
mtambaji mzuri aweze kupatana vyema na mazingira yake
kisimulizi.- Mtambaji anapaswa kuwa na ufahamu mpana wa lugha,
na
utamaduni unaohusika ili kumwezesha kuwasilisha hadithi
yake
Jerome Massawe 4
5. inaendelea….....
- Mtambajimzurianapaswa kuwa mcheshi, na anajua
kuutumia ucheshi wake kuinasa makini ya hadhira yake.
- Mtambajianapaswa kuzifahamutabia za binadamu pamoja
na kuielewamikondo mbalimbali ya jamii.Kuielewatabia ya
binadamu huhusisha pia kufahamu ni mambo gani
yanayomchukiza, kumkera,kumchangamsha, kumvutia na
kumpendeza binadamu.
Jerome Massawe 5
6. MREJEO
• J.A.Masebo & N. Nyangwine(2000) Nadharia Ya Fasihi
Kidato Cha 5&6, Nyangwine Publishers Dar es
• salaam, Tanzania.
• R.Kadughuda, J. Kiango, I .Ipara (2009) Kiswahili Kidato
Cha Kwanza, Oxford University Press, Dar es
• salaam
• Taasisi Ya Ukuzaji Mitaala (1988) Kiswahili Sekondari.
Jerome Massawe 6