1. Jinsi ya Kujitibu PID
Sugu na Homon
Imbalance
Na Health Consultant
Mr. Murshid Katakweba
C.E.O Okoa Mwili
2. Dhamira Kuu
Kunawasaidia Wanawake Kuondokana na
Magonjwa Sugu Mfumo wa Uzazi; PID & Homon
Imbalance, na Kuwapa Weledi na Uelewa wa
Kujitibu Kupitia Mlo Asilia/Nyongeza Bila
Kutumia Njia za Kisasa na Kurudisha Furaha Zao
3. Muhtasari
Utangulizi
Usambaaji wa Ugonjwa wa Uzazi
Visababishi/Vihatarishi vya PID
Madhara Yake
Jinsi ya Kujitibu
Wabia Wetu
Mawasiliano
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
@okoa_mwili
4. PID na Homon Imbalance
PID ni maambukizi yanayokuwa kwenye viungo
vya uzazi vya mfumo wa uzazi vya wanawake.
Viungo hivi ni pamoja na tumbo la uzazi (uterus),
vifuko vya mayai (ovaries), mirija ya
uzazi(fallopian tubes), pamoja na shingo au
mlango wa kizazi (cervix).
5. Maumivu katika tumbo lako la chini au kwenye nyonga
Kutokwa na uchafu mwingi ukeni wenye harufu mbaya
Kutokwa na damu ya hedhi mara mbili ndani ya mwezi
mmoja
Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Homan a baridi
Maumivu unapokojoa au kushindwa kukojoa
Dalili za uTAMBUZi
6. Maambukizi ya Chlamydia na magonjwa
ya zinaa
Matumizi ya Njia za Uzazi wa mpango
Matumizi ya kemikali ukeni
Mlo usifuata taratibu za kiafya
Upungufu wa madini Joto
ARAICO PHARMACEUTICAL | VACCINES
Vihatarishi vya PID & Homon Imbalance
7. Kupata majeraha kwenye mirija ya uzazi
Kuziba na kujaa maji kwa mrija ya uzazi (hydrosalpinx)
Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Matatizo wakati wa ujauzito na kujifungua
Ugumba
Makovu kwenye kizazi
Mimba Zabibu na Mimba nje ya Kizazi
Maumivu sugu ya nyonga
Uvimbe Kwenye kizazi na mifuko ya mayai (Fibroids & Cyst)
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
MADHARA YA PID NA HOMON
IMBALANCE
8. Jinsi ya Kujitibu
Kurudisha Afya ya Mwanamke dhidi ya magonjwa ya PID na Homon
Imbalance hurudisha Furaha ya familia. Lazima akina dada na
wanawake Kuzingatia yafuatayo;
Kuepuka utoaji mimba
Kuacha matumizi ya Uzazi wa mpango
Kuzingatia Mlo kamili. Mfano; Ulaji wa vyakula vya
mafuta kama chips huathiri Mfumo wa Uzazi na Mpangilio
wa homon
Fanya Vipimo kwa wataalamu na Kupata ushauri unapohisi
tatizo
9. Faida za Tiba
Zetu
Hutibu na kuzuia Mvurugiko Wa Vichocheo vya Uzazi (Homon
Imbalance)
Hutibu na kuzuia Uvimbe kwenye Mfuko wa uzazi (Fibroids)
Hutibu na kuzuia Uvimbe kwenye Mfuko wa mayai (Ovarian Cysts)
Huzuia magonjwa ya Mambukizi ya Mfumo wa via vya uzazi (PID)
Tiba ya Maambukizi ya njia ya Mkojo (Urinary Tract Infection, UTI) na
Gono (Gonorrhea)
Huondoa Makovu kwenye Mfuko wa uzazi yanayosabishwa na
matumizi ya vitanzi au njia za Uzazi wa mpango
Kinga na tiba dhidi ya Ukomo wa hedhi kabla ya wakati (Early
Monopause Problems)
Huondoa miwasho na uchafu/Utoko ukeni
(VaginalDischarge/Vaginitis)
Huondoa Maumivu ya tumbo wakati wa hedhi (Abdominal
pain)
Huondoa ukavu ukeni
Huzuia mimba kutunga nje ya kizazi (Ectopic pregnancy)
Husafisha Kibofu cha Mkojo
10. Fanya Ultrasound
Ili kutambua sehemu yenye hitilafu
kwenye mfumo wa uzazi na
Kupata uhakika wa tatizo husika.
NB: Vipimo vya Radiology (Vipimo
vya Mionzi) siyo vizuri sana kwa
afya ya Uzazi. Tumia vipimo
vingine mbadala.
2: mboga mboga
na Matunda
Manufaa ya matunda na
mbogamboga yapo mengi siwezi
kuyaandika yote. Ulinzi wa Seli,
kukinga na magonjwa mengi ya
Uzazi. Kuna Vitamin nyingi na
Madini yanayojenga na
Kuimarisha Mfumo wa Uzazi.
Mfano Vitamin A, K, D, Madini ya
Calcium, chuma, nk
Phase 3: Tumia
Tiba za Okoa
Mwili
Tiba Za asili, zitakukinga na
kutibu magonjwa ya PID & Homon
Imbalance na Magonjwa
yanayoendana nayo.
Vipimo na Uchunguzi