SlideShare a Scribd company logo
1 of 2
Download to read offline
Minyoo ya Mbwa
Mbwa huwa na minyoo ambayo hudhuru afya yao. Minyoo hawa pia hudhuru binadamu na
mifugo. Iwapo mbwa ana mimba, anaweza ambukiza watoto wake minyoo hawa.
Minyoo hawa hufanya mbwa wakonde na wadhaifu kwa kunyonya viini vya chakula.
Minyoo hawa huingia kwa mazingira kupi�a kinyesi cha mbwa.
Watoto wachanga wako kwa hatari kubwa ya kupata hawa minyoo kwa sababu hao ndio
hukaa na mbwa sana.
Chunga mbwa wako ili uhifadhi afya yako.
Pa�a mbwa mkubwa dawa ya minyoo baada ya miezi mitatu.
Kwa mbwa wadogo, wape dawa ya minyoo kila mwezi.
Usilishe mbwa wako nyama ambaye haijapikwa
au iliyo laaniwa. Linda mbwa wako asije akazurura
na kukula nyama mbichi.
Kwa maswali kuhusu afya ya mbwa wako, piga simu kwa daktari wa mifugo wa kaun�: ______________________
Vaa viatu kila waka�.
Zika ama choma kinyesi cha mbwa.
Nawa mikono kila waka� baada ya kuzika ama
kuchoma kinyesi cha mbwa.
Aina ya minyoo wa mbwa ambao wanaweza kukuambukizwa na jinsi ya kujikinga
Kikundi cha
minyoo
Majina ya kisayansi
ya minyoo
Jinsi inavyoambukizwa Jinsi ya kuzuia mbwa au binadamu
kuambukizwa
Hookworms
Ancylostoma
caninum
Unicinaria sp.
Roundworms
Toxocara canis
Strongyloides
Tapeworms
Dipylidium
caninum
Echinococcus sp.
Taenia sp.
Spirometra sp.
Protozoa
Cryptosporidium
Neospora
Fuata maagizo haya ili kuzuia mbwa wako na familia yako kupata
magonjwa yanayoletwa na minyoo ya mbwa
Kipeperushi hiki kimeandikwa na Nicholas Bor, Camille Glazer, Annabel Slater, Geoffrey Njenga na Lian Thomas
kutoka shirika la kimataifa ya utafi� wa mifugo (ILRI) na Chuo Kikuu cha Liverpool. Aprili 2022.
Giardia
Pa�a mbwa mjazito dawa ya minyoo kabla
hajazaa ili kuzuia minyoo kupata wanawe
kupi�a tumbo la uzazi ama kwa maziwa
wanaponyonyeshwa.
Pa�a mbwa wako dawa ya minyoo kila
baada ya miezi mitatu.
Mbwa anayenyonyesha na hajapata dawa ya
minyoo anaweza kupi�sha minyoo kwa
wanao kupi�a kwa maziwa.
Mayai ya minyoo hupi�shwa kwa kinyesi na
kuingia kwa mazingira yetu.
Minyoo huingia kwa miili ya binadamu kupi�a
ngozi.
Mbwa anayenyonyesha na hajapata dawa ya
minyoo anaweza kupi�sha minyoo kwa wanao
kupi�a kwa maziwa.
Mayai ya minyoo hupi�shwa kwa kinyesi na
kuingia kwa mazingira yetu.
Binadamu wanaweza pata minyoo hawa
wasiponawa mikono baada ya kushika kinyesi
cha mbwa au kushika mchanga.
Minyoo hawa wanaweza pa�kana kwa nyama
mbichi ama nyama ambayo haijapikwa
kikamilifu.
Usilishe mbwa nyama mbichi. Pa�a mbwa
wako nyama iliyopikwa vikamilifu.
Lisha mbwa wako vizuri ndiposa asikule
nyama mbichi anayowinda.
Pa�a mbwa wako dawa ya minyoo baada
ya kila miezi mitatu.
Binadamu hupata hawa minyoo kutoka mazingira
machafu wanapokosa kuosha mikono ama kutoka
kwa viroboto.
Mayai ya minyoo yanapi�sha kwa kinyesi cha
mbwa ambaye hajapewa dawa ya minyoo kisha
yanaingia kwa mazingira ama maji. Haya mayai
yanaweza pa�kana kwa nyama ambayo haijapikwa
vizuri ama maji machafu waka� mbwa anakula
vyakula hivyo au kunywa hayo maji machafu.
Binadamu hupata mayai ya minyoo kupi�a maji
machafu, chakula chafu ama kwa mikono chafu.
Vaa viatu vilivyofungwa ukiwa nje ya
nyumba.
Pa�a mbwa mjazito dawa ya minyoo
kabla hajazaa ili kuzuia minyoo kupata
wanawe kupi�a tumbo la uzazi ama kwa
maziwa wanaponyonyeshwa.
Pa�a mbwa wako dawa ya minyoo kila
baada ya miezi mitatu.
Nawa mikono yako baada ya kushika
mchanga ama kinyesi cha mbwa.
Usile nyama mbichi.
Pika nyama na uhakikishe imeiva vizuri
kabla ya kukula.
Usilishe mbwa nyama mbichi. Pa�a mbwa
wako nyama iliyopikwa.
Pa�a mbwa wako maji safi na vyakula safi.
Pa�a mbwa wako dawa ya minyoo baada
ya miezi mitatu.
Osha mboga na matunda vizuri.
Kula vyakula ambavyo vimepikwa na
vikaiva.
Nawa mikono yako kila waka� haswa
baada ya kushika kinyesi cha mbwa.
Nawa mikono yako baada ya kushika
kinyesi cha mbwa ama kutoka shambani.
Pika nyama yako vizuri na usile nyama
mbichi ama ambayo haijaiva vikamilifu.
Mbwa wanaweza pata minyoo hawa kwa kukula
viroboto ama kwa kukula nyama mbichi.
Minyoo hawa wanaingia kwa mazingira yetu kupi�a
kwa kinyesi cha mbwa ambaye hajapewa dawa ya
minyoo.

More Related Content

What's hot

Buffalo breeds
Buffalo breedsBuffalo breeds
Buffalo breeds
mithu mehr
 
Lec 05 Equine
Lec 05 EquineLec 05 Equine
Lec 05 Equine
DrAlana
 
COMMON TERMS USED IN SHEEP AND GOAT
COMMON TERMS USED IN SHEEP AND GOATCOMMON TERMS USED IN SHEEP AND GOAT
COMMON TERMS USED IN SHEEP AND GOAT
musadoto
 

What's hot (20)

Buffalo breeds
Buffalo breedsBuffalo breeds
Buffalo breeds
 
Breeds of livestock By Allah Dad Khan
Breeds of livestock By Allah Dad KhanBreeds of livestock By Allah Dad Khan
Breeds of livestock By Allah Dad Khan
 
Basic poultry disease treatment
Basic poultry disease treatmentBasic poultry disease treatment
Basic poultry disease treatment
 
Infectious coryza/ fowl coryza
Infectious coryza/ fowl coryzaInfectious coryza/ fowl coryza
Infectious coryza/ fowl coryza
 
Commercial Egg Production Guide
Commercial Egg Production GuideCommercial Egg Production Guide
Commercial Egg Production Guide
 
Fowl pox
Fowl poxFowl pox
Fowl pox
 
An overview of Inclusion body hepatitis-hydropericardium syndrome (IBH-HPS) a...
An overview of Inclusion body hepatitis-hydropericardium syndrome (IBH-HPS) a...An overview of Inclusion body hepatitis-hydropericardium syndrome (IBH-HPS) a...
An overview of Inclusion body hepatitis-hydropericardium syndrome (IBH-HPS) a...
 
A calf per cow per year
A calf per cow per yearA calf per cow per year
A calf per cow per year
 
Poultry
PoultryPoultry
Poultry
 
Breeds of duck
Breeds of duckBreeds of duck
Breeds of duck
 
Hatchery management in Poultry (Fumigation)
Hatchery management in Poultry (Fumigation)Hatchery management in Poultry (Fumigation)
Hatchery management in Poultry (Fumigation)
 
Infectious Coryza
Infectious Coryza Infectious Coryza
Infectious Coryza
 
The Emu
The EmuThe Emu
The Emu
 
Feline reproduction and pregnancy
Feline reproduction and pregnancyFeline reproduction and pregnancy
Feline reproduction and pregnancy
 
Lec 05 Equine
Lec 05 EquineLec 05 Equine
Lec 05 Equine
 
General management in poultry farms.pptx
General management in poultry farms.pptxGeneral management in poultry farms.pptx
General management in poultry farms.pptx
 
COMMON TERMS USED IN SHEEP AND GOAT
COMMON TERMS USED IN SHEEP AND GOATCOMMON TERMS USED IN SHEEP AND GOAT
COMMON TERMS USED IN SHEEP AND GOAT
 
Equine Emergencies Part 1
Equine  Emergencies Part 1Equine  Emergencies Part 1
Equine Emergencies Part 1
 
poultry terms
poultry termspoultry terms
poultry terms
 
Lecture 16 Porcine infertility
Lecture 16 Porcine infertilityLecture 16 Porcine infertility
Lecture 16 Porcine infertility
 

More from ILRI

More from ILRI (20)

How the small-scale low biosecurity sector could be transformed into a more b...
How the small-scale low biosecurity sector could be transformed into a more b...How the small-scale low biosecurity sector could be transformed into a more b...
How the small-scale low biosecurity sector could be transformed into a more b...
 
Small ruminant keepers’ knowledge, attitudes and practices towards peste des ...
Small ruminant keepers’ knowledge, attitudes and practices towards peste des ...Small ruminant keepers’ knowledge, attitudes and practices towards peste des ...
Small ruminant keepers’ knowledge, attitudes and practices towards peste des ...
 
Small ruminant keepers’ knowledge, attitudes and practices towards peste des ...
Small ruminant keepers’ knowledge, attitudes and practices towards peste des ...Small ruminant keepers’ knowledge, attitudes and practices towards peste des ...
Small ruminant keepers’ knowledge, attitudes and practices towards peste des ...
 
A training, certification and marketing scheme for informal dairy vendors in ...
A training, certification and marketing scheme for informal dairy vendors in ...A training, certification and marketing scheme for informal dairy vendors in ...
A training, certification and marketing scheme for informal dairy vendors in ...
 
Milk safety and child nutrition impacts of the MoreMilk training, certificati...
Milk safety and child nutrition impacts of the MoreMilk training, certificati...Milk safety and child nutrition impacts of the MoreMilk training, certificati...
Milk safety and child nutrition impacts of the MoreMilk training, certificati...
 
Preventing the next pandemic: a 12-slide primer on emerging zoonotic diseases
Preventing the next pandemic: a 12-slide primer on emerging zoonotic diseasesPreventing the next pandemic: a 12-slide primer on emerging zoonotic diseases
Preventing the next pandemic: a 12-slide primer on emerging zoonotic diseases
 
Preventing preventable diseases: a 12-slide primer on foodborne disease
Preventing preventable diseases: a 12-slide primer on foodborne diseasePreventing preventable diseases: a 12-slide primer on foodborne disease
Preventing preventable diseases: a 12-slide primer on foodborne disease
 
Preventing a post-antibiotic era: a 12-slide primer on antimicrobial resistance
Preventing a post-antibiotic era: a 12-slide primer on antimicrobial resistancePreventing a post-antibiotic era: a 12-slide primer on antimicrobial resistance
Preventing a post-antibiotic era: a 12-slide primer on antimicrobial resistance
 
Food safety research in low- and middle-income countries
Food safety research in low- and middle-income countriesFood safety research in low- and middle-income countries
Food safety research in low- and middle-income countries
 
Food safety research LMIC
Food safety research LMICFood safety research LMIC
Food safety research LMIC
 
The application of One Health: Observations from eastern and southern Africa
The application of One Health: Observations from eastern and southern AfricaThe application of One Health: Observations from eastern and southern Africa
The application of One Health: Observations from eastern and southern Africa
 
One Health in action: Perspectives from 10 years in the field
One Health in action: Perspectives from 10 years in the fieldOne Health in action: Perspectives from 10 years in the field
One Health in action: Perspectives from 10 years in the field
 
Reservoirs of pathogenic Leptospira species in Uganda
Reservoirs of pathogenic Leptospira species in UgandaReservoirs of pathogenic Leptospira species in Uganda
Reservoirs of pathogenic Leptospira species in Uganda
 
Parasites in dogs
Parasites in dogsParasites in dogs
Parasites in dogs
 
Assessing meat microbiological safety and associated handling practices in bu...
Assessing meat microbiological safety and associated handling practices in bu...Assessing meat microbiological safety and associated handling practices in bu...
Assessing meat microbiological safety and associated handling practices in bu...
 
Ecological factors associated with abundance and distribution of mosquito vec...
Ecological factors associated with abundance and distribution of mosquito vec...Ecological factors associated with abundance and distribution of mosquito vec...
Ecological factors associated with abundance and distribution of mosquito vec...
 
Livestock in the agrifood systems transformation
Livestock in the agrifood systems transformationLivestock in the agrifood systems transformation
Livestock in the agrifood systems transformation
 
Development of a fluorescent RBL reporter system for diagnosis of porcine cys...
Development of a fluorescent RBL reporter system for diagnosis of porcine cys...Development of a fluorescent RBL reporter system for diagnosis of porcine cys...
Development of a fluorescent RBL reporter system for diagnosis of porcine cys...
 
Practices and drivers of antibiotic use in Kenyan smallholder dairy farms
Practices and drivers of antibiotic use in Kenyan smallholder dairy farmsPractices and drivers of antibiotic use in Kenyan smallholder dairy farms
Practices and drivers of antibiotic use in Kenyan smallholder dairy farms
 
A gentle push towards improved hygiene and food safety through ‘nudge’ interv...
A gentle push towards improved hygiene and food safety through ‘nudge’ interv...A gentle push towards improved hygiene and food safety through ‘nudge’ interv...
A gentle push towards improved hygiene and food safety through ‘nudge’ interv...
 

Minyoo ya mbwa

  • 1. Minyoo ya Mbwa Mbwa huwa na minyoo ambayo hudhuru afya yao. Minyoo hawa pia hudhuru binadamu na mifugo. Iwapo mbwa ana mimba, anaweza ambukiza watoto wake minyoo hawa. Minyoo hawa hufanya mbwa wakonde na wadhaifu kwa kunyonya viini vya chakula. Minyoo hawa huingia kwa mazingira kupi�a kinyesi cha mbwa. Watoto wachanga wako kwa hatari kubwa ya kupata hawa minyoo kwa sababu hao ndio hukaa na mbwa sana. Chunga mbwa wako ili uhifadhi afya yako. Pa�a mbwa mkubwa dawa ya minyoo baada ya miezi mitatu. Kwa mbwa wadogo, wape dawa ya minyoo kila mwezi. Usilishe mbwa wako nyama ambaye haijapikwa au iliyo laaniwa. Linda mbwa wako asije akazurura na kukula nyama mbichi. Kwa maswali kuhusu afya ya mbwa wako, piga simu kwa daktari wa mifugo wa kaun�: ______________________ Vaa viatu kila waka�. Zika ama choma kinyesi cha mbwa. Nawa mikono kila waka� baada ya kuzika ama kuchoma kinyesi cha mbwa.
  • 2. Aina ya minyoo wa mbwa ambao wanaweza kukuambukizwa na jinsi ya kujikinga Kikundi cha minyoo Majina ya kisayansi ya minyoo Jinsi inavyoambukizwa Jinsi ya kuzuia mbwa au binadamu kuambukizwa Hookworms Ancylostoma caninum Unicinaria sp. Roundworms Toxocara canis Strongyloides Tapeworms Dipylidium caninum Echinococcus sp. Taenia sp. Spirometra sp. Protozoa Cryptosporidium Neospora Fuata maagizo haya ili kuzuia mbwa wako na familia yako kupata magonjwa yanayoletwa na minyoo ya mbwa Kipeperushi hiki kimeandikwa na Nicholas Bor, Camille Glazer, Annabel Slater, Geoffrey Njenga na Lian Thomas kutoka shirika la kimataifa ya utafi� wa mifugo (ILRI) na Chuo Kikuu cha Liverpool. Aprili 2022. Giardia Pa�a mbwa mjazito dawa ya minyoo kabla hajazaa ili kuzuia minyoo kupata wanawe kupi�a tumbo la uzazi ama kwa maziwa wanaponyonyeshwa. Pa�a mbwa wako dawa ya minyoo kila baada ya miezi mitatu. Mbwa anayenyonyesha na hajapata dawa ya minyoo anaweza kupi�sha minyoo kwa wanao kupi�a kwa maziwa. Mayai ya minyoo hupi�shwa kwa kinyesi na kuingia kwa mazingira yetu. Minyoo huingia kwa miili ya binadamu kupi�a ngozi. Mbwa anayenyonyesha na hajapata dawa ya minyoo anaweza kupi�sha minyoo kwa wanao kupi�a kwa maziwa. Mayai ya minyoo hupi�shwa kwa kinyesi na kuingia kwa mazingira yetu. Binadamu wanaweza pata minyoo hawa wasiponawa mikono baada ya kushika kinyesi cha mbwa au kushika mchanga. Minyoo hawa wanaweza pa�kana kwa nyama mbichi ama nyama ambayo haijapikwa kikamilifu. Usilishe mbwa nyama mbichi. Pa�a mbwa wako nyama iliyopikwa vikamilifu. Lisha mbwa wako vizuri ndiposa asikule nyama mbichi anayowinda. Pa�a mbwa wako dawa ya minyoo baada ya kila miezi mitatu. Binadamu hupata hawa minyoo kutoka mazingira machafu wanapokosa kuosha mikono ama kutoka kwa viroboto. Mayai ya minyoo yanapi�sha kwa kinyesi cha mbwa ambaye hajapewa dawa ya minyoo kisha yanaingia kwa mazingira ama maji. Haya mayai yanaweza pa�kana kwa nyama ambayo haijapikwa vizuri ama maji machafu waka� mbwa anakula vyakula hivyo au kunywa hayo maji machafu. Binadamu hupata mayai ya minyoo kupi�a maji machafu, chakula chafu ama kwa mikono chafu. Vaa viatu vilivyofungwa ukiwa nje ya nyumba. Pa�a mbwa mjazito dawa ya minyoo kabla hajazaa ili kuzuia minyoo kupata wanawe kupi�a tumbo la uzazi ama kwa maziwa wanaponyonyeshwa. Pa�a mbwa wako dawa ya minyoo kila baada ya miezi mitatu. Nawa mikono yako baada ya kushika mchanga ama kinyesi cha mbwa. Usile nyama mbichi. Pika nyama na uhakikishe imeiva vizuri kabla ya kukula. Usilishe mbwa nyama mbichi. Pa�a mbwa wako nyama iliyopikwa. Pa�a mbwa wako maji safi na vyakula safi. Pa�a mbwa wako dawa ya minyoo baada ya miezi mitatu. Osha mboga na matunda vizuri. Kula vyakula ambavyo vimepikwa na vikaiva. Nawa mikono yako kila waka� haswa baada ya kushika kinyesi cha mbwa. Nawa mikono yako baada ya kushika kinyesi cha mbwa ama kutoka shambani. Pika nyama yako vizuri na usile nyama mbichi ama ambayo haijaiva vikamilifu. Mbwa wanaweza pata minyoo hawa kwa kukula viroboto ama kwa kukula nyama mbichi. Minyoo hawa wanaingia kwa mazingira yetu kupi�a kwa kinyesi cha mbwa ambaye hajapewa dawa ya minyoo.