PUBLIC
PIN ni nini?
PINni nambari ya kipekee inayochukuliwa na mtu binafsi au biashara
ya aina ya kampuni, kilabu, Trust na kadhaalika kwa madhumuni ya
kufanya bisahara na KRA, wakala wengine wa serikali na watoa
huduma.
3.
PUBLIC
Nani anapaswa kuwana PIN?
Ni sharti kila mtu ambaye ana mapato yanayolipiwa ushuru au mtu yeyote
amabaye Kamishna anaweza kuhitaji, kuwa na PIN.
Halikadhalika,
1. Ushirikiano amabao si mume na mke lazima uwe na PIN.
2. Katika Umiliki wa pekee, PIN ya mmiliki hutumika katika shughuli zote.
3. Kinyume na watu wanavyofikiria, PIN si ushuru.
4.
PUBLIC
Unachohitaji kujisalisha PIN
Shartiuwe na hati halalai (kitambulisho kama wewe ni mkenya, Alien
ID kama wewe si mkenya halisi lakini ni mkaazi nchini Kenya, pasipoti
kama wewe si mkenya wala mkaazi nchini kenya na cheti cha biashara
kama ni kampuni.
5.
PUBLIC
Je, Ni wakatigani mtu anaweza pata PIN ya KRA?
Unaweaza jisajili unapopata vyeti halali vinavyo hitajika. Kwa
mfano, kitambulisho kwa mkenya , cheti cha biashara.
6.
PUBLIC
Wajibu wa mlipaushuru.
1. Kujisajilisha kama mlipa ushuru
2. Kujaza mapato yako inavyostahili
3. Kulipa ushuru na faini
4. Kushirikiana na maafisa wa KRA