2. Je mwatambua ya kuwa saa moja tu la
kutolala huongeza idadi ya ajali za
barabarani kwa 8%, lakini saa moja la
nyongeza katika kulala hupunguza
ajali pia kwa asilimia 8%.
Ni kweli kabisa! Kila kunapokucha
mambo haya mawili hutokea.
3. Tunaona nukuu ya kwanza ya kulala ni pale ambapo adamu anapewa usingizi mzito katika Biblia baada
tu ya uumbaji, na anapoamka alikuwa amehuwishwa ameburudishwa na cha Zaidi alikuwa tayari kwenye
Ndoa.
Maisha mapya kiujumla na yale ya badae ya uanadamu yanaweza kurudishwa nyuma katika usingizi wa
kwanza kabisa.
Ukweli ni kwamba, hata katika Dunia ambayo haikuwa meanguka, Mungu alitamani mwanadamu apate
pumziko, na kwamba masaa ya usiku ndio idadi kamili ya muda wa kulala.
4. Mwanzo 28:11
Akafika mahali Fulani akakaa hukousiku kucha, maana jua lilikuwa
limekuchwa; akatwaa jiwe moja la mahali pale akaliweka chini ya kichwa
chake, akalala usingizi palepale.
5. Swali kubwa ni hili
Ni usingizi kiasi gani tunahitaji??
6. Wanafunzi wa shule(umri wa miaka 6-13) wao
wanahitaji masaa 9-11
Vijana wadogo(teenager) umri wa miaka 14-17
wao wanahitaji masaa 8-10 kwa siku.
Watu wazima kwa idadi kubwa wanahitaji
masaa kwanzia 7-9 kwa siku.
Licha ya kuwa baadhi watahitaji masaa
machache au Zaidi ya hayo kwa siku.
Wazee (65 na kuzidi) wao wanahitaji masaa
kama 7-8 kwa kila siku.
7.
8. Kuna umuhimu mkubwa sana kwetu sisi kukumbushwa juu ya pumziko la
usingizi, hususani katika dunia hii ya dhambi.
9. Takribani watu million 60 ya wamarekani leo wana usingizi wa tabu(
troubled sleep)
Kutokana na vifaa mbalimbali vya kisasa kama vile taa, runinga na kumputa
huleta hali ya uchovu na kukoswa usingizi bora.
Kizazi hiki kinalala pungufu ya saa moja kulinganisha na kizazi cha mababu
zetu, kutokana na maendeleo ya sayansi na tekinolojia kama vile internet,
na vingine vingi.