More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
Medical missionary 2
1. TUCASA Southern Tanzania Union mission
2019/2020
Serve with Passion,
Engage in Mission,
Transform the
world!
2. HATUA ZA MAISHA YA SASA
•Je umewahi kuhesabu bahati ulizonazo katika maisha ya sasa? Je
wajua ni kwa kiasi gani matendo yako ya kila siku yanaathari kwa
kesho yako? Ukweli usioepukika ni kwamba chochote unachofanya
leo kina mchango mkubwa wa kuharibu au kutengeneza kesho
yako. Hivyo basi ni muhimu kuwa makini na kile tunachofanya
sasa. Zifuatazo ni hatua muhimu katika maisha yetu leo.
3. MAHUSIANO
•Kila mtu anahitaji kuhusiana na mwingine. Hakuna maisha ya furaha bila
mahusiano. Kumbuka, Adamu hakuwa na furaha ya kutosha mpaka pale
alipomuona Hawa!
4. •Ingawa mahusiano ni mapana, tunatakiwa kuhusiana kiroho,
kijamii na kwa namna yoyote ile katika maisha, lakini Mungu
akiwa ndiye kiini cha uhusiano wetu. Uhusiano wowote
ambao unavunja sheria za Mungu ni lazima ufutwe mara
moja. Unahusianaje? Wapo ambao wanaumwa kwa sababu
ya mahusiano, na wamekua wakilazwa mara kadhaa kutokana
na kuathiriwa kisaikolojia na mahusiano. Hivyo ni muhimu
kuhusiana kwa upendo na watu wote kupitia Mungu.
5.
6.
7. MLO•Mlo unaozidi kiwango au usio na mpangilio, unaharibu nguvu za
kiroho, kiakili na kimwili. Wengi wanaumwa kwa kukosa mlo
sahihi, magonjwa kadhaa hasa yasiyoambukiza kama vile kisukari,
presha na magonjwa ya moyo, yametokana na kutozingatia mlo
kamili. Kwa hiyo ulaji wako wa sasa unaweza kuharibu hatima
yako ya badae kiakili, kiroho na kimwili. Kuna uhusiano mkubwa
kati ya hali zetu za kiroho na mlo tunaouingiza ndani ya miili yetu.
Matengenezo yanatakiwa katika maisha yetu bila kutegemea ulaji
wa nyama.(1 Wakoritho 10:31)
8.
9.
10. DINI
•Dini ni hatua nyingine ya maisha ya. Dini ya kweli inaonyesha kiwango
kizuri cha maisha ya dunia hii au ile mpya itakayokuja. Sio dharura kuishi
maisha ya kiroho! Na amna dini ya dharura. Husisite kuishi maisha ya
kiroho na ya uaminifu katika umri huu ulionao, ukiwa na mategemeo ya
kufika uzeeni. Hautaweza kusimama imara na kuyasinda majaribu kama
haufanyi maandalizi siku kwa siku. Uaminifu wako kwa Mungu
umeunganishwa moja kwa moja na nguvu ya kiroho. Hivyo usiache kuwa
mwaminifu leo kwa ajili ya furaha ya kesho.
11.
12. TABIA
•Ni jambo la pekee kwamba kanisa la waadventista wasabato lina vijana
wengi sana walio na mvuto wa tabia! Je wewe ni mmoja wapo? Je tabia
yako inaonekana kimwili au kiroho? Magonjwa yanaongezeka kila
kunapokucha na mengi yanatokana na tabia tulizonazo, kwa mfano
magonjwa ya zinaa, saratani na magonjwa mengine ya kuambukiza.
Chukua muda kutathimini tabia yako, tunatakiwa kushirikiana na Mungu
katika kulinda miili yetu. Upendo kwa Mungu ni muhimu kwa maisha
yenye afya jema. Ili kupata afya imara, maisha yetu lazima iwe na tabia
njema, upendo, tumaini na furaha katika Bwana.