2. Semi ni fungu la tungo la Fasihi simulizi ambazo ni fupifupi ;zenye kutumia picha,
tamathali za semi, na ishara. zinazofuatana na ibara mbalimbali za matumizi.
Mifano ya semi ni pamoja na ifuatayo;mafumbo yanayokusudiwa kubeba maudhui
yenye maana
Mke ni nguo, mgomba kupaliliwa – picha ya mgomba nanguo zimetumiwa
kusimama sambamba na ile ya mke,
Jerome Massawe 2
3. Inaendelea…………
katika usemi huu ambao ni methali. Imani
kuwa mke ni kiumbe mnyonge na anahitajika
kutunzwa ili awe na manufaa zaidi inajitokeza.
Jerome Massawe 3
4. MREJEO
• J.A.Masebo & N. Nyangwine(2000) Nadharia Ya Fasihi
Kidato Cha 5&6, Nyangwine Publishers Dar es
• salaam, Tanzania.
• R.Kadughuda, J. Kiango, I .Ipara (2009) Kiswahili Kidato
Cha Kwanza, Oxford University Press, Dar es
• salaam
• Taasisi Ya Ukuzaji Mitaala (1988) Kiswahili Sekondari.
Jerome Massawe 4