SlideShare a Scribd company logo
1 of 29
SHERIA YAKO BWANA.
(Sheria yako bwana, naipenda , naipenda ajabu
sheria ya – ko)*2
1. Bwana ndiye aliye fungu langu, nimesema kwamba
nitayati-i nitayatii maneno ya-ke (S/A)
2. Sheria ya kinywa ya kinywa chako, ni njema kwangu
kuliko maelfu maelfu ya dha-ha-bu na fedha (S/A)
3. Nakuomba fadhili zako zo-te, ziwe faraja kwangu
sawasawa na ahadi ya mtumishi wa-ko (S/A)
FATHER WE ADORE YOU.
Father we adore you, we lay our lives
before you,(just to tell you) how we
love you
• Jesus we adore you…………
• Spirit we adore you…………
UJE ROHO MTAKATIFU
Uje Roho Mtakatifu, uje Mfariji x2
Uje Baba wa maskini - Uje Mfariji
Roho mtoa vipaji - Uje Mfariji
U rafiki mwema sana –
U mfutaji wa machozi –
Uwe mwanga wa mioyo –
Tuangaze toka mbingu -
Tia nuru akilini –
Na upendo mioyoni –
Osha machafuko yetu –
Na kuponya majeraha –
Uregeze ukaidi –
Pasha moto u baridi –
Bila nguvu yako wewe –
Mwanadamu hana kitu –
(sap) Uniondolee dhambi unitakase unioshe niwe
mweupe pe
1.Nakiri makosa yangu naziona dhambi zangu
unioshe niwe mweupe pe
2.Kweli mimi mkosefu tangu kuzaliwa kwangu
mwenye dhambi tangu tumboni mwa mamangu
3.Hivyo unafanya vyema wewe unaponihukumu una
haki unaponiadhibu-
4.Wewe wataka unyofu ule unyofu wa ndani
nifundishe hekima moyoni-
5.Niumbie moyo safi na uweke ndani yangu roho
mpya iliyodhabiti
• Nainua (nainua)moyo wangu(moyo wangu) ,kwako
wewe (kwako wewe)ee Baba, (ee baba)unikinge
(unikinge)na uovu (uovu)tumaini wewe tu
• Nijulishe njia zako,nifundishe ukweli
Hekimayo niongoze,tumaini wewe tu
• Ewe Baba ukumbuke,wema wako milele
nifutie dhambi zangu,tumaini wewe
• Shida zangu angalia,niokoe dhikini
Nismehe dhambi zangu,tumaini wewe tu.
• Njia zako zote Bwana ,ni fadhili na kweli
Niongoze mtoto wako,tumaini wewe tu
NAKUABUDU Yesu
1.*(ALL)Nakuabudu Yesu katika Hostia u Mungu
kweli na mwanadamu katika sakramenti*2
(Bass) (Nakuabudu) nakuabudu fudi-fudi ee mfalme
mtukufu wa milele *2
2. *Eeh Yesu kwa mapendo unakaa kwetu u mgeni
wetu toka mbinguni twakuja kuabudu*2
.3. *Baraka yake Yesu utupatie tukinge na maovu ya
leo tuishi kwa amani*2
4. *Uwabariki na pia wapenzi wetu uwajalie neema
yako watoe shukrani kuu*2
KUUNGAMA
• Mungu Baba nakuungamia kwani mimi nimekosa
mungu baba ninakuomba nisamehe dhambi zangu*2
• Bass:Bwana unihurumie makosa yangu Mungu
nmekuja kwako unisamehe
• Nikitazama maisha yangu najiona mwenye dhambi
kwa mawazo na kwa maneno hata kwa vitendo
vyangu
• Kutotimiza wajibu wangu nimekosa nmekosa bikira
maria ninakuomba niombee kwa mwanao
• Malaika na watakatifu nanyi pia ndugu zangu niomee
kwa mungu baba nipate kusamehewa
ALL TO JESUS I SURRENDER
All to Jesus I surrender, all to him I freely give
I will ever love and trust him, in his presence
Daily live
I surrender all*2all to thee ,my blessed saviour, I
surrender all.
All to Jesus I surrender, humbly at his feet
I bow , worldly pleasures all forsaken,
take me Jesus take me now.
All to Jesus I surrender , make me saviour
Wholly thine,let me feel the holy spirit,
Truly know that thou art mine.
All to Jesus I surrender ,Lord, I give myself to thee
Fill me with thy love and power
Let thy blessing fall on me
All to Jesus surrender, now I feel the sacred flame,
Oh the joy of full salvation
Glory ,glory to His name.
HOLY SPIRIT COME
Holy spirit come and fill my heart
Holy fire come and burn my heart*2
Come holy spirit, we welcome you , from heavens come
down, come spirit of God
Holy ghost come and heal my heart
Holy power come and change my heart*2
Holy fountain come and wash my heart
Holy fountain come and wash my mind*2
(soul,pains),(wounds,life),(body,sorrows)
SACRAMENTI KUBWA HIYO
Sacramenti kubwa hiyo twaheshimu kifudi,
Na sheria ya zamani ikomeshwe na hiyo;
Yafichikayo machoni imani huyaona.
Mungu Baba, Mungu Mwana asifiwe
Kwa shangwe kwa heshima atukuzwe
Pia aabudiwe, mungu Roho Mtakatifu
Vile sifa apate.
Amina.
O SACRAMENT MOST HOLY
O sacrament most holy
O sacrament divine
All praise and all thanksgiving
Be every moment thine.
Now come all you who labour
In sorrow and in pain
Come, eat this bread from heaven
Thy peace and strength regain
PASS ME NOT
Pass me not o gentle saviour, hear my humble cry,
While on others thou art calling,
do not pass me by
Saviour, saviour hear my humble cry
While on others thou art calling do not pass me by.
Let me at thy throne of mercy, find a sweet relief,
Kneeling there in deep contrition,
help my unbelief.
Trusting only in the merit,
would I seek thy face?
Heal my wounded broken spirit,
save me by the grace.
Thou the spirit of all comfort,
More than life to me
Who have I on earth beside thee?
Whom in heaven but thee?
Lord Jesus we adore thee
Our victim and our priest
Whose precious blood and body
Become our sacred feast
O sacrament most holy
O sacrament divine
All praise and all thanksgiving
Be every moment thine.
NIMELEMEWA
1.Nimelemewa na hatia zangu, nakutamani kufika mbinguni, ingawa
mwenye dhambi haingii, iko sauti yaniita nije.
chorus
(Naja – naja kwako Yesu bwana
Nisa- nisamehe dhambi zangu)*2
2.Mimi mchafu nitakwenda wapi, kufika kwenye nchi takatifu , kitini
cha mwenyezi nisimame iko sauti yaniita nije
3.Sauti yako yesu nasikia, mikono yako yaniguza leo, na damu yako
yasafisha dhambi, na kuniweka safi mbele yako.
Be merciful to me Oh Lord,because of your love to me
Lord wipe away all my sins*2
1.Wash away my evil make me clean from my sins
2.My faults lord you know them am concious of my sins
3.I have done wrong to you lord you are right judging
me.
4.Create a new part in my heart , a new spirit in me.
5.Give me joy of salvation make me to obey you Lord
6.I will teach all sinners they will turn back to you
BWANA U SEHEMU YANGU
Bwana u sehemu yangu,rafiki yangu
wewe
Katika safari yangu ,tatembea na wewe
Pamoja na wewe ,pamoja na wewe,
Katika safari yangu tatembea na wewe.
Mali hapa sikutaka,ili niheshimiwe
Na yanikute mashaka,sawasawa na wewe
Pamoja na wewe,pamoja na wewe
Heri nikute mashaka,sawa sawa na wewe
Niongoze safarini,mbele unichukue
Mlangoni kwa mbinguni,niingie na
wewe
Pamoja na wewe,pamoja na wewe
Mlangoni mwa mbinguni,niingie na
wewe
SAKRAMENT KUBWA
1.Sakramenti kubwa hiyo ,twaheshimu kifudi
Na sheria z zamani ,ikomeshwe na hiyo
Yafichikayo machoni,imani huyaona *2
2. Mungu Baba Mungu mwana asifiwe kwa
shangwe
Kwa heshima atukuzwe, pia aabudiwe
Mungu Roho Mtakatifu vile sifa apate *2
CHA KUTUMAINI SINA
1. Chakutumaini sina ila damu yake yesu
Sina wema wa kutosha ,dhambi zangu kuziosha
kwake yesu nasimama ,ndiye mwamba ni salama
ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni
salama
2.Damu yake na sadaka, nategemea daima
yote chini yakiisha Mwokozi atanitosha
3. Njia yangu iwe ndefu, yeye unipa wokovu
mawimbi yakinipiga ,Nguvu zake ndio nanga
4.Nikiitwa Hukumuni ,rohoni nina amani
nikivikwa haki yake ,sina hofu mbele zake
WATUMISHI WAKE BABA.
Watumishi wake Baba wangapi waliopo
Wanakula na kusaza chakula chake Baba
• Nami-nami nataabika apa
• Nashi-nashiriki na nguruwe
• Chaku-chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
• Nita-nitarudi na kusema
• Baba-baba yangu nisamehe
• Nime-nimekosa kwake Mungu,na mbele
yako Baba
Baba kamuona yu mbali,kashikwa na huruma
Akakimbia kumlaki,kamkumbata na busu
Baba sistahili tena kuitwa mwana wako
Unifanye kama mmoja wa awatumishi wako
Baba yangu nimekosa,ninaomba huruma
Unisamehe nirudi nikakutumikie
Nasongea ninakuja,ninakukimbilia
Mimi ni mtoto mpotevu,Baba
unipokee
Wanikaribisha mimi kwenye karamu
Yako ,Meza imeandaliwa,inaningoja
mimi
YESU ASANTE SANA
(Chorus)Yesu asante sana*2(Yesu asante)
Kujifanya chakula*2(kujifanya chakula)
Kujifanya chakula kutuletea shibe alama ya
upendo
1.Wewe ndiwe chetu chakula cha
uzima,umetushibisha Yesu asante-
2.Kila tunapokula mkate huu,tunapata uzima wa
milele-
3.Kila tunapokunywa kikombe hiki
,tunapata uzima wa milele-
4.Twakushukuru Yesu kwa wema
wako, umetushibisha Yesu asante

More Related Content

Similar to ADORATION SONGS _WED_16TH 2 020-1.pptx

20150315 poututerangi 76 motatau rd
20150315 poututerangi 76 motatau rd20150315 poututerangi 76 motatau rd
20150315 poututerangi 76 motatau rdJason Turuwhenua
 
2 mahuru 2015 somerville rd
2 mahuru 2015 somerville rd 2 mahuru 2015 somerville rd
2 mahuru 2015 somerville rd Jason Turuwhenua
 
34th Sunday Or Last Sunday Of Liturgical Year B
34th Sunday Or Last Sunday Of Liturgical Year B34th Sunday Or Last Sunday Of Liturgical Year B
34th Sunday Or Last Sunday Of Liturgical Year BMagnificat Magnificat
 
Hymns for friday night
Hymns for friday nightHymns for friday night
Hymns for friday nightAlan Hart
 
St. Stephen's Power Point sample - music removed
St. Stephen's Power Point sample - music removedSt. Stephen's Power Point sample - music removed
St. Stephen's Power Point sample - music removedKay Flores
 
R E C R E A T I O N A L A C T I V I T I E S
R E C R E A T I O N A L  A C T I V I T I E SR E C R E A T I O N A L  A C T I V I T I E S
R E C R E A T I O N A L A C T I V I T I E SRodel Sinamban
 
Pentecost 25 13 combined final
Pentecost 25 13 combined finalPentecost 25 13 combined final
Pentecost 25 13 combined finalWorshipDecks
 
1st communion 2011 final cut
1st communion 2011 final cut1st communion 2011 final cut
1st communion 2011 final cutkelly23n
 
Similar to ADORATION SONGS _WED_16TH 2 020-1.pptx (20)

201529 poututerangi
201529 poututerangi201529 poututerangi
201529 poututerangi
 
24th Sunday In Ordinary Time
24th Sunday In Ordinary Time24th Sunday In Ordinary Time
24th Sunday In Ordinary Time
 
CST MASS PPT.pptx
CST MASS PPT.pptxCST MASS PPT.pptx
CST MASS PPT.pptx
 
20150315 poututerangi 76 motatau rd
20150315 poututerangi 76 motatau rd20150315 poututerangi 76 motatau rd
20150315 poututerangi 76 motatau rd
 
28th Sunday In Ordinary Time
28th Sunday In Ordinary Time28th Sunday In Ordinary Time
28th Sunday In Ordinary Time
 
2 mahuru 2015 somerville rd
2 mahuru 2015 somerville rd 2 mahuru 2015 somerville rd
2 mahuru 2015 somerville rd
 
34th Sunday Or Last Sunday Of Liturgical Year B
34th Sunday Or Last Sunday Of Liturgical Year B34th Sunday Or Last Sunday Of Liturgical Year B
34th Sunday Or Last Sunday Of Liturgical Year B
 
3rd Sunday In Ordinary Time Yr C
3rd Sunday In Ordinary Time Yr C3rd Sunday In Ordinary Time Yr C
3rd Sunday In Ordinary Time Yr C
 
3rd Sunday Of Advent Year C
3rd Sunday Of Advent Year C3rd Sunday Of Advent Year C
3rd Sunday Of Advent Year C
 
Sto. nino de praga '13
Sto. nino de praga '13Sto. nino de praga '13
Sto. nino de praga '13
 
Hymns for friday night
Hymns for friday nightHymns for friday night
Hymns for friday night
 
Christmas Novena 6th Day
Christmas Novena 6th DayChristmas Novena 6th Day
Christmas Novena 6th Day
 
St. Stephen's Power Point sample - music removed
St. Stephen's Power Point sample - music removedSt. Stephen's Power Point sample - music removed
St. Stephen's Power Point sample - music removed
 
Ash wed2015
Ash wed2015Ash wed2015
Ash wed2015
 
28 hui tanguru 2016
28 hui tanguru 201628 hui tanguru 2016
28 hui tanguru 2016
 
R E C R E A T I O N A L A C T I V I T I E S
R E C R E A T I O N A L  A C T I V I T I E SR E C R E A T I O N A L  A C T I V I T I E S
R E C R E A T I O N A L A C T I V I T I E S
 
4th Sunday In Ordinary Time
4th Sunday In Ordinary Time4th Sunday In Ordinary Time
4th Sunday In Ordinary Time
 
Pentecost 25 13 combined final
Pentecost 25 13 combined finalPentecost 25 13 combined final
Pentecost 25 13 combined final
 
Eucharistic Celebration
Eucharistic CelebrationEucharistic Celebration
Eucharistic Celebration
 
1st communion 2011 final cut
1st communion 2011 final cut1st communion 2011 final cut
1st communion 2011 final cut
 
Recently uploaded

Graduate Outcomes Presentation Slides - English
Graduate Outcomes Presentation Slides - EnglishGraduate Outcomes Presentation Slides - English
Graduate Outcomes Presentation Slides - Englishneillewis46
 
Sociology 101 Demonstration of Learning Exhibit
Sociology 101 Demonstration of Learning ExhibitSociology 101 Demonstration of Learning Exhibit
Sociology 101 Demonstration of Learning Exhibitjbellavia9
 
Fostering Friendships - Enhancing Social Bonds in the Classroom
Fostering Friendships - Enhancing Social Bonds  in the ClassroomFostering Friendships - Enhancing Social Bonds  in the Classroom
Fostering Friendships - Enhancing Social Bonds in the ClassroomPooky Knightsmith
 
How to Give a Domain for a Field in Odoo 17
How to Give a Domain for a Field in Odoo 17How to Give a Domain for a Field in Odoo 17
How to Give a Domain for a Field in Odoo 17Celine George
 
Unit 3 Emotional Intelligence and Spiritual Intelligence.pdf
Unit 3 Emotional Intelligence and Spiritual Intelligence.pdfUnit 3 Emotional Intelligence and Spiritual Intelligence.pdf
Unit 3 Emotional Intelligence and Spiritual Intelligence.pdfDr Vijay Vishwakarma
 
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...Nguyen Thanh Tu Collection
 
Basic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptx
Basic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptxBasic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptx
Basic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptxDenish Jangid
 
Spellings Wk 3 English CAPS CARES Please Practise
Spellings Wk 3 English CAPS CARES Please PractiseSpellings Wk 3 English CAPS CARES Please Practise
Spellings Wk 3 English CAPS CARES Please PractiseAnaAcapella
 
HMCS Vancouver Pre-Deployment Brief - May 2024 (Web Version).pptx
HMCS Vancouver Pre-Deployment Brief - May 2024 (Web Version).pptxHMCS Vancouver Pre-Deployment Brief - May 2024 (Web Version).pptx
HMCS Vancouver Pre-Deployment Brief - May 2024 (Web Version).pptxmarlenawright1
 
2024-NATIONAL-LEARNING-CAMP-AND-OTHER.pptx
2024-NATIONAL-LEARNING-CAMP-AND-OTHER.pptx2024-NATIONAL-LEARNING-CAMP-AND-OTHER.pptx
2024-NATIONAL-LEARNING-CAMP-AND-OTHER.pptxMaritesTamaniVerdade
 
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptx
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptxWellbeing inclusion and digital dystopias.pptx
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptxJisc
 
ICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptx
ICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptxICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptx
ICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptxAreebaZafar22
 
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptx
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptxGoogle Gemini An AI Revolution in Education.pptx
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptxDr. Sarita Anand
 
Interdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptx
Interdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptxInterdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptx
Interdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptxPooja Bhuva
 
Kodo Millet PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...
Kodo Millet  PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...Kodo Millet  PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...
Kodo Millet PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...pradhanghanshyam7136
 
ICT role in 21st century education and it's challenges.
ICT role in 21st century education and it's challenges.ICT role in 21st century education and it's challenges.
ICT role in 21st century education and it's challenges.MaryamAhmad92
 
On National Teacher Day, meet the 2024-25 Kenan Fellows
On National Teacher Day, meet the 2024-25 Kenan FellowsOn National Teacher Day, meet the 2024-25 Kenan Fellows
On National Teacher Day, meet the 2024-25 Kenan FellowsMebane Rash
 
Application orientated numerical on hev.ppt
Application orientated numerical on hev.pptApplication orientated numerical on hev.ppt
Application orientated numerical on hev.pptRamjanShidvankar
 
How to setup Pycharm environment for Odoo 17.pptx
How to setup Pycharm environment for Odoo 17.pptxHow to setup Pycharm environment for Odoo 17.pptx
How to setup Pycharm environment for Odoo 17.pptxCeline George
 
Accessible Digital Futures project (20/03/2024)
Accessible Digital Futures project (20/03/2024)Accessible Digital Futures project (20/03/2024)
Accessible Digital Futures project (20/03/2024)Jisc
 
Recently uploaded (20)

Graduate Outcomes Presentation Slides - English
Graduate Outcomes Presentation Slides - EnglishGraduate Outcomes Presentation Slides - English
Graduate Outcomes Presentation Slides - English
 
Sociology 101 Demonstration of Learning Exhibit
Sociology 101 Demonstration of Learning ExhibitSociology 101 Demonstration of Learning Exhibit
Sociology 101 Demonstration of Learning Exhibit
 
Fostering Friendships - Enhancing Social Bonds in the Classroom
Fostering Friendships - Enhancing Social Bonds  in the ClassroomFostering Friendships - Enhancing Social Bonds  in the Classroom
Fostering Friendships - Enhancing Social Bonds in the Classroom
 
How to Give a Domain for a Field in Odoo 17
How to Give a Domain for a Field in Odoo 17How to Give a Domain for a Field in Odoo 17
How to Give a Domain for a Field in Odoo 17
 
Unit 3 Emotional Intelligence and Spiritual Intelligence.pdf
Unit 3 Emotional Intelligence and Spiritual Intelligence.pdfUnit 3 Emotional Intelligence and Spiritual Intelligence.pdf
Unit 3 Emotional Intelligence and Spiritual Intelligence.pdf
 
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...
TỔNG ÔN TẬP THI VÀO LỚP 10 MÔN TIẾNG ANH NĂM HỌC 2023 - 2024 CÓ ĐÁP ÁN (NGỮ Â...
 
Basic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptx
Basic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptxBasic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptx
Basic Civil Engineering first year Notes- Chapter 4 Building.pptx
 
Spellings Wk 3 English CAPS CARES Please Practise
Spellings Wk 3 English CAPS CARES Please PractiseSpellings Wk 3 English CAPS CARES Please Practise
Spellings Wk 3 English CAPS CARES Please Practise
 
HMCS Vancouver Pre-Deployment Brief - May 2024 (Web Version).pptx
HMCS Vancouver Pre-Deployment Brief - May 2024 (Web Version).pptxHMCS Vancouver Pre-Deployment Brief - May 2024 (Web Version).pptx
HMCS Vancouver Pre-Deployment Brief - May 2024 (Web Version).pptx
 
2024-NATIONAL-LEARNING-CAMP-AND-OTHER.pptx
2024-NATIONAL-LEARNING-CAMP-AND-OTHER.pptx2024-NATIONAL-LEARNING-CAMP-AND-OTHER.pptx
2024-NATIONAL-LEARNING-CAMP-AND-OTHER.pptx
 
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptx
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptxWellbeing inclusion and digital dystopias.pptx
Wellbeing inclusion and digital dystopias.pptx
 
ICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptx
ICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptxICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptx
ICT Role in 21st Century Education & its Challenges.pptx
 
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptx
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptxGoogle Gemini An AI Revolution in Education.pptx
Google Gemini An AI Revolution in Education.pptx
 
Interdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptx
Interdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptxInterdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptx
Interdisciplinary_Insights_Data_Collection_Methods.pptx
 
Kodo Millet PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...
Kodo Millet  PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...Kodo Millet  PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...
Kodo Millet PPT made by Ghanshyam bairwa college of Agriculture kumher bhara...
 
ICT role in 21st century education and it's challenges.
ICT role in 21st century education and it's challenges.ICT role in 21st century education and it's challenges.
ICT role in 21st century education and it's challenges.
 
On National Teacher Day, meet the 2024-25 Kenan Fellows
On National Teacher Day, meet the 2024-25 Kenan FellowsOn National Teacher Day, meet the 2024-25 Kenan Fellows
On National Teacher Day, meet the 2024-25 Kenan Fellows
 
Application orientated numerical on hev.ppt
Application orientated numerical on hev.pptApplication orientated numerical on hev.ppt
Application orientated numerical on hev.ppt
 
How to setup Pycharm environment for Odoo 17.pptx
How to setup Pycharm environment for Odoo 17.pptxHow to setup Pycharm environment for Odoo 17.pptx
How to setup Pycharm environment for Odoo 17.pptx
 
Accessible Digital Futures project (20/03/2024)
Accessible Digital Futures project (20/03/2024)Accessible Digital Futures project (20/03/2024)
Accessible Digital Futures project (20/03/2024)
 
ADORATION SONGS _WED_16TH 2 020-1.pptx

  • 1. SHERIA YAKO BWANA. (Sheria yako bwana, naipenda , naipenda ajabu sheria ya – ko)*2 1. Bwana ndiye aliye fungu langu, nimesema kwamba nitayati-i nitayatii maneno ya-ke (S/A) 2. Sheria ya kinywa ya kinywa chako, ni njema kwangu kuliko maelfu maelfu ya dha-ha-bu na fedha (S/A) 3. Nakuomba fadhili zako zo-te, ziwe faraja kwangu sawasawa na ahadi ya mtumishi wa-ko (S/A)
  • 2. FATHER WE ADORE YOU. Father we adore you, we lay our lives before you,(just to tell you) how we love you • Jesus we adore you………… • Spirit we adore you…………
  • 3. UJE ROHO MTAKATIFU Uje Roho Mtakatifu, uje Mfariji x2 Uje Baba wa maskini - Uje Mfariji Roho mtoa vipaji - Uje Mfariji U rafiki mwema sana – U mfutaji wa machozi – Uwe mwanga wa mioyo – Tuangaze toka mbingu -
  • 4. Tia nuru akilini – Na upendo mioyoni – Osha machafuko yetu – Na kuponya majeraha – Uregeze ukaidi – Pasha moto u baridi – Bila nguvu yako wewe – Mwanadamu hana kitu –
  • 5. (sap) Uniondolee dhambi unitakase unioshe niwe mweupe pe 1.Nakiri makosa yangu naziona dhambi zangu unioshe niwe mweupe pe 2.Kweli mimi mkosefu tangu kuzaliwa kwangu mwenye dhambi tangu tumboni mwa mamangu
  • 6. 3.Hivyo unafanya vyema wewe unaponihukumu una haki unaponiadhibu- 4.Wewe wataka unyofu ule unyofu wa ndani nifundishe hekima moyoni- 5.Niumbie moyo safi na uweke ndani yangu roho mpya iliyodhabiti
  • 7. • Nainua (nainua)moyo wangu(moyo wangu) ,kwako wewe (kwako wewe)ee Baba, (ee baba)unikinge (unikinge)na uovu (uovu)tumaini wewe tu • Nijulishe njia zako,nifundishe ukweli Hekimayo niongoze,tumaini wewe tu • Ewe Baba ukumbuke,wema wako milele nifutie dhambi zangu,tumaini wewe • Shida zangu angalia,niokoe dhikini Nismehe dhambi zangu,tumaini wewe tu. • Njia zako zote Bwana ,ni fadhili na kweli Niongoze mtoto wako,tumaini wewe tu
  • 8. NAKUABUDU Yesu 1.*(ALL)Nakuabudu Yesu katika Hostia u Mungu kweli na mwanadamu katika sakramenti*2 (Bass) (Nakuabudu) nakuabudu fudi-fudi ee mfalme mtukufu wa milele *2 2. *Eeh Yesu kwa mapendo unakaa kwetu u mgeni wetu toka mbinguni twakuja kuabudu*2
  • 9. .3. *Baraka yake Yesu utupatie tukinge na maovu ya leo tuishi kwa amani*2 4. *Uwabariki na pia wapenzi wetu uwajalie neema yako watoe shukrani kuu*2
  • 10. KUUNGAMA • Mungu Baba nakuungamia kwani mimi nimekosa mungu baba ninakuomba nisamehe dhambi zangu*2 • Bass:Bwana unihurumie makosa yangu Mungu nmekuja kwako unisamehe • Nikitazama maisha yangu najiona mwenye dhambi kwa mawazo na kwa maneno hata kwa vitendo vyangu • Kutotimiza wajibu wangu nimekosa nmekosa bikira maria ninakuomba niombee kwa mwanao • Malaika na watakatifu nanyi pia ndugu zangu niomee kwa mungu baba nipate kusamehewa
  • 11. ALL TO JESUS I SURRENDER All to Jesus I surrender, all to him I freely give I will ever love and trust him, in his presence Daily live I surrender all*2all to thee ,my blessed saviour, I surrender all. All to Jesus I surrender, humbly at his feet I bow , worldly pleasures all forsaken, take me Jesus take me now. All to Jesus I surrender , make me saviour Wholly thine,let me feel the holy spirit, Truly know that thou art mine.
  • 12. All to Jesus I surrender ,Lord, I give myself to thee Fill me with thy love and power Let thy blessing fall on me All to Jesus surrender, now I feel the sacred flame, Oh the joy of full salvation Glory ,glory to His name.
  • 13. HOLY SPIRIT COME Holy spirit come and fill my heart Holy fire come and burn my heart*2 Come holy spirit, we welcome you , from heavens come down, come spirit of God Holy ghost come and heal my heart Holy power come and change my heart*2 Holy fountain come and wash my heart Holy fountain come and wash my mind*2 (soul,pains),(wounds,life),(body,sorrows)
  • 14. SACRAMENTI KUBWA HIYO Sacramenti kubwa hiyo twaheshimu kifudi, Na sheria ya zamani ikomeshwe na hiyo; Yafichikayo machoni imani huyaona. Mungu Baba, Mungu Mwana asifiwe Kwa shangwe kwa heshima atukuzwe Pia aabudiwe, mungu Roho Mtakatifu Vile sifa apate. Amina.
  • 15. O SACRAMENT MOST HOLY O sacrament most holy O sacrament divine All praise and all thanksgiving Be every moment thine. Now come all you who labour In sorrow and in pain Come, eat this bread from heaven Thy peace and strength regain
  • 16. PASS ME NOT Pass me not o gentle saviour, hear my humble cry, While on others thou art calling, do not pass me by Saviour, saviour hear my humble cry While on others thou art calling do not pass me by. Let me at thy throne of mercy, find a sweet relief, Kneeling there in deep contrition, help my unbelief.
  • 17. Trusting only in the merit, would I seek thy face? Heal my wounded broken spirit, save me by the grace. Thou the spirit of all comfort, More than life to me Who have I on earth beside thee? Whom in heaven but thee?
  • 18. Lord Jesus we adore thee Our victim and our priest Whose precious blood and body Become our sacred feast O sacrament most holy O sacrament divine All praise and all thanksgiving Be every moment thine.
  • 19. NIMELEMEWA 1.Nimelemewa na hatia zangu, nakutamani kufika mbinguni, ingawa mwenye dhambi haingii, iko sauti yaniita nije. chorus (Naja – naja kwako Yesu bwana Nisa- nisamehe dhambi zangu)*2 2.Mimi mchafu nitakwenda wapi, kufika kwenye nchi takatifu , kitini cha mwenyezi nisimame iko sauti yaniita nije 3.Sauti yako yesu nasikia, mikono yako yaniguza leo, na damu yako yasafisha dhambi, na kuniweka safi mbele yako.
  • 20. Be merciful to me Oh Lord,because of your love to me Lord wipe away all my sins*2 1.Wash away my evil make me clean from my sins 2.My faults lord you know them am concious of my sins 3.I have done wrong to you lord you are right judging me. 4.Create a new part in my heart , a new spirit in me. 5.Give me joy of salvation make me to obey you Lord 6.I will teach all sinners they will turn back to you
  • 21. BWANA U SEHEMU YANGU Bwana u sehemu yangu,rafiki yangu wewe Katika safari yangu ,tatembea na wewe Pamoja na wewe ,pamoja na wewe, Katika safari yangu tatembea na wewe. Mali hapa sikutaka,ili niheshimiwe Na yanikute mashaka,sawasawa na wewe Pamoja na wewe,pamoja na wewe Heri nikute mashaka,sawa sawa na wewe
  • 22. Niongoze safarini,mbele unichukue Mlangoni kwa mbinguni,niingie na wewe Pamoja na wewe,pamoja na wewe Mlangoni mwa mbinguni,niingie na wewe
  • 23. SAKRAMENT KUBWA 1.Sakramenti kubwa hiyo ,twaheshimu kifudi Na sheria z zamani ,ikomeshwe na hiyo Yafichikayo machoni,imani huyaona *2 2. Mungu Baba Mungu mwana asifiwe kwa shangwe Kwa heshima atukuzwe, pia aabudiwe Mungu Roho Mtakatifu vile sifa apate *2
  • 24. CHA KUTUMAINI SINA 1. Chakutumaini sina ila damu yake yesu Sina wema wa kutosha ,dhambi zangu kuziosha kwake yesu nasimama ,ndiye mwamba ni salama ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama 2.Damu yake na sadaka, nategemea daima yote chini yakiisha Mwokozi atanitosha 3. Njia yangu iwe ndefu, yeye unipa wokovu mawimbi yakinipiga ,Nguvu zake ndio nanga 4.Nikiitwa Hukumuni ,rohoni nina amani nikivikwa haki yake ,sina hofu mbele zake
  • 25. WATUMISHI WAKE BABA. Watumishi wake Baba wangapi waliopo Wanakula na kusaza chakula chake Baba • Nami-nami nataabika apa • Nashi-nashiriki na nguruwe • Chaku-chakula kisichofaa, yanipasa kurudi • Nita-nitarudi na kusema • Baba-baba yangu nisamehe • Nime-nimekosa kwake Mungu,na mbele yako Baba
  • 26. Baba kamuona yu mbali,kashikwa na huruma Akakimbia kumlaki,kamkumbata na busu Baba sistahili tena kuitwa mwana wako Unifanye kama mmoja wa awatumishi wako Baba yangu nimekosa,ninaomba huruma Unisamehe nirudi nikakutumikie
  • 27. Nasongea ninakuja,ninakukimbilia Mimi ni mtoto mpotevu,Baba unipokee Wanikaribisha mimi kwenye karamu Yako ,Meza imeandaliwa,inaningoja mimi
  • 28. YESU ASANTE SANA (Chorus)Yesu asante sana*2(Yesu asante) Kujifanya chakula*2(kujifanya chakula) Kujifanya chakula kutuletea shibe alama ya upendo 1.Wewe ndiwe chetu chakula cha uzima,umetushibisha Yesu asante- 2.Kila tunapokula mkate huu,tunapata uzima wa milele-
  • 29. 3.Kila tunapokunywa kikombe hiki ,tunapata uzima wa milele- 4.Twakushukuru Yesu kwa wema wako, umetushibisha Yesu asante