SlideShare a Scribd company logo
MWONGOZO WA
UFUNDISHAJI WA KISWAHILI
KATIKA SHULE ZA MSINGI
MADARAJA YA JUU
KOZI FUPI KWA WALIMU
Mbona
mtaala wa
umilisi na
utekelezaji?
Baada ya muda mrefu taifa limezinduka kuwa kizazi cha sasa
kinakosa makini ya kuwa na elimu ya mambo waliyoyasoma
na hivyo kuwa na kizazi chenye ukasuku wa kukariri na kuiga
tu.
01
Kuwepo kwa kizazi cha kutegemea kuelekezwa na
kuwajibishwa badala ya kujielekeza na kujiwajibisha.
02
03
www.cbcapp.co.ke
Kuwapo na kizazi kisichokuwa na uzalendo na urai kwa
kukosa uadilifu wa kijamii.
Mbona
mtaala wa
umilisi na
utekelezaji?
Sababu hizi na nyinginezo nyingi zimechangia ujio wa mfumo
wa umilisi na utekelezaji unaolenga kumwezesha mwanafunzi
kuwa na mitazamo chanya kuhusu elimu anayoipata na
kuitumia elimu hiyo kuyatatua matatizo ya jamii na mitihani ya
maisha kwa mbinu bora ;akitegemea ujuzi anaojifundisha.
www.cbcapp.co.ke
Kiswahili katika Shule za Msingi
Madaraja ya Juu (4,5,6)
www.cbcapp.co.ke
Muhtasari
wa Kauli
Kiini
Chombo cha mawasiliano katika shughuli za kiuchumi na
mahusiano ya jamii.
Kutokana na kauli kiini katika kila gredi,ni wazi kuwa
mwanafunzi anafundishwa Kiswahili ili kukitumia kuwa:

Chombo cha kufanikisha shughuli za serikali na umma kwa
jumla katika utoaji huduma mbalimbali
Chombo cha kuunganisha jamii za kitaifa na kimataifa
Chombo cha kujenga umoja na mshikamano wa kitaifa ili
kukuza uzalendo na uraia.

www.cbcapp.co.ke
Muhimu!
Katika kila kipindi cha Kiswahili,ni bora mwalimu ahakikishe
kuwa stadi nne za kujifunzia lugha zinajitokeza:
kusikiliza,kuongea kusoma na kuandika.
Kabla ya kuingia darasani kukifundisha Kiswahili:

Aidha,ni sharti kukuza umilisi wa kimsingi katika kila kipindi cha
Kiswahili ili kumkuza mkenya mwenye uadilifu maishani.
Andaa nyenzo zitakazofanikisha ujifundishaji wa mwanafunzi.
Andaa shughuli za kutosha kujenga umilisi mbalimbali kwa
kutegemea muda ulio nao. Umilisi huu ni pamoja na:
-Mawasiliano na ushirikiano
-Ujuzi wa kidijitali
-Ubunifu
-Kujiamini
-Kuwa na hamu ya ujifunzaji

www.cbcapp.co.ke
Mwingiliano wa Maudhui katika
Gredi za Juu
Nyumbani
Nidhamu mezani
Mavazi
Dira
Ushauri nasaha
Bendera ya Taifa
Matunda na mimea
Wanyama wa porini
Afya bora
Kukabiliana na uhalifu
Mapato
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
11.
Mapishi
Huduma ya kwanza
Mapambo
Saa na majira
Kukabiliana na
umaskini
Maadili
Elimu na mazingira
Ndege wa porini
Magonjwa
Uwekezaji
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
Viungo vya mwili vya
ndani
Michezo
Mahusiano
Misimu
Mshikamano wa
kitaifa
Usawa wa kijinsia
Majanga na jinsi ya
kuyazuia
Wanyama wa majini
Afya ya akili
Kukabiliana na ugaidi
Ushuru
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
11.
Gredi ya 5 Gredi ya 6
Gredi ya 4
www.cbcapp.co.ke
Mwingiliano wa Maudhui katika
Gredi za Juu
Nyumbani
Mavazi
Mapishi
Mapambo
Viungo vya mwili vya
ndani
Mahusiano
Gredi ya 5
Gredi ya 6
Gredi ya 4
www.cbcapp.co.ke
Mbinu za
Ufundishaji
Kutumia maswali dadisi-kutamfanya kuwaza kwa kina
Kumhusisha mwanafunzi kikamilifu katika kundi lake.
Utekelezaji
Kutafiti {hasa vipindi vinavyokuja mbele}
Kuseta mbinu mbalimbali katika kipindi kimoja ili kuwafikia
wanafunzi wako watatu:
Wa chini ya wastani
Wastani
Wa juu ya wastani
Zipo mbinu anuwai za ufundishaji ambazo zinaweza kutumika
kufanika vipindi vyetu vya Kiswahili:
www.cbcapp.co.ke
Uhusishaji wa Mwingiliano wa
Maudhui Katika Ufundishaji wa
Vipengele Mbalimbali Vya Kiswahili
www.cbcapp.co.ke
Gredi ya 4
Maudhui: Nyumbani
a. Sarufi
Aina za Maneno :
Nomino
Makochi
Runinga
Zulia
Meza
Tunguu/balbu
Kiti
Redio
Kabati
Feni
Ni vitu gani vinapatikana
sebuleni kwenu?
01
www.cbcapp.co.ke
Gredi ya 4
Maudhui: Nyumbani
a. Sarufi
Aina za Maneno :
Nomino
Tumbuu
Kinu
Mafiga
Gesi
Madirisha
Ngómbe
Punda
Kondoo
Shamba
Gari
Trekta
Seng’énge n.k
Katika makundi yenu
tajeni vitu vingine
vinavyopatikana kwenu.
02
www.cbcapp.co.ke
Gredi ya 4
Maudhui: Nyumbani
a. Sarufi
Aina za Maneno :
Nomino
Tazama picha (kwenye
tarakilishi au projekta)
kisha utunge sentensi
kuzihusu:
a. baba na mama
wameketi sebuleni
03
www.cbcapp.co.ke
Gredi ya 4
Maudhui: Nyumbani
a. Sarufi
Aina za Maneno :
Nomino
Tazama picha (kwenye
tarakilishi au projekta)
kisha utunge sentensi
kuzihusu:
b. paka amla panya
03
www.cbcapp.co.ke
Gredi ya 4
Maudhui: Nyumbani
a. Sarufi
Aina za Maneno :
Nomino
Tazama picha (kwenye
tarakilishi au projekta)
kisha utunge sentensi
kuzihusu:
c. Yaya anasafisha sufuria
Wapige mistari nomino
katika sentensi
03
www.cbcapp.co.ke
Gredi ya 4
Maudhui: Nyumbani
a. Sarufi
Aina za Maneno :
Nomino
Maneno ya kutajia vitu
huitwaje?
Chora vitu vitatu
vinavyopatikana jikoni
kwenu.
Mazoezi ya ziada:
05
www.cbcapp.co.ke
Gredi ya 5
Maudhui: Mapishi
Aina za Nomino
Nomino za Kawaida
Dawati
Dirisha
Dawati
Tarakilishi
Meza n.k
Katika makundi andikeni
nomino zinazopatikana
katika mazingira yetu
kwenye kadi kisha mzitie
kadi hizo kwenye kasha
letu.
01
www.cbcapp.co.ke
Gredi ya 5
Maudhui: Mapishi
Aina za Nomino
Nomino za Kawaida
Sufuria
Seredani
Gesi ya kisasa
Kuni
Mkaa/ makaa
Mboga
Kutunga sentensi zenye
vitu vinavyotumika katika
upishi.
02
www.cbcapp.co.ke
Gredi ya 5
Maudhui: Mapishi
Aina za Nomino
Nomino za Kawaida
Pigeni mistari nomino za
kawaida kwenye sentensi
kwenye tarakilishi au
projekta.
03
www.cbcapp.co.ke
Gredi ya 5
Maudhui: Mapishi
Aina za Nomino
Nomino za Kawaida
ZIADA:
Kutunga sentensi
madaftarini akitumia
majina ya viungo vya
upishi
04
www.cbcapp.co.ke
Gredi ya 6
Maudhui: Viungo vya Mwili vya Ndani
Vivumishi vya
Sifa
Rehema ana moyo
mwepesi
Maji safi ni salama
kwa afya
Mpishi alipika chakula
kitamu
Ni maneno gani katika
sentensi hizi zinatoa sifa
za nomino?
01
www.cbcapp.co.ke
Gredi ya 6
Maudhui: Viungo vya Mwili vya Ndani
Vivumishi vya
Sifa
Tunda zuri limeliwa na mtoto
mdogo.
Machoyake ni meupe kama
maziwa.n.k.
Mwanafunzi katika kundi lake ashiriki
kutambua vivumishi sifa Zaidi na
kuvitungia sentensi
02
www.cbcapp.co.ke
Gredi ya 6
Maudhui: Viungo vya Mwili vya Ndani
Vivumishi vya
Sifa
TANBIHI

Katika gredi ya sita wanafunzi
wamekomaa Zaidi kwa hivyo wana
uwezo wa kufanya utafiti Zaidi katika
vitabu vya ziada au maktabani.Ni bora
kuwapa fursa ya utafiti huo..
www.cbcapp.co.ke
Maswali na Majibu

More Related Content

Featured

PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
Neil Kimberley
 
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
contently
 
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
Albert Qian
 
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie InsightsSocial Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Kurio // The Social Media Age(ncy)
 
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Search Engine Journal
 
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
SpeakerHub
 
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
Clark Boyd
 
Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next
Tessa Mero
 
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search IntentGoogle's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Lily Ray
 
How to have difficult conversations
How to have difficult conversations How to have difficult conversations
How to have difficult conversations
Rajiv Jayarajah, MAppComm, ACC
 
Introduction to Data Science
Introduction to Data ScienceIntroduction to Data Science
Introduction to Data Science
Christy Abraham Joy
 
Time Management & Productivity - Best Practices
Time Management & Productivity -  Best PracticesTime Management & Productivity -  Best Practices
Time Management & Productivity - Best Practices
Vit Horky
 
The six step guide to practical project management
The six step guide to practical project managementThe six step guide to practical project management
The six step guide to practical project management
MindGenius
 
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
RachelPearson36
 
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Applitools
 
12 Ways to Increase Your Influence at Work
12 Ways to Increase Your Influence at Work12 Ways to Increase Your Influence at Work
12 Ways to Increase Your Influence at Work
GetSmarter
 
ChatGPT webinar slides
ChatGPT webinar slidesChatGPT webinar slides
ChatGPT webinar slides
Alireza Esmikhani
 
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike RoutesMore than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
Project for Public Spaces & National Center for Biking and Walking
 
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
DevGAMM Conference
 
Barbie - Brand Strategy Presentation
Barbie - Brand Strategy PresentationBarbie - Brand Strategy Presentation
Barbie - Brand Strategy Presentation
Erica Santiago
 
Featured (20)

Cbc Upper Primary Kiswahili

  • 1. MWONGOZO WA UFUNDISHAJI WA KISWAHILI KATIKA SHULE ZA MSINGI MADARAJA YA JUU KOZI FUPI KWA WALIMU
  • 2. Mbona mtaala wa umilisi na utekelezaji? Baada ya muda mrefu taifa limezinduka kuwa kizazi cha sasa kinakosa makini ya kuwa na elimu ya mambo waliyoyasoma na hivyo kuwa na kizazi chenye ukasuku wa kukariri na kuiga tu. 01 Kuwepo kwa kizazi cha kutegemea kuelekezwa na kuwajibishwa badala ya kujielekeza na kujiwajibisha. 02 03 www.cbcapp.co.ke Kuwapo na kizazi kisichokuwa na uzalendo na urai kwa kukosa uadilifu wa kijamii.
  • 3. Mbona mtaala wa umilisi na utekelezaji? Sababu hizi na nyinginezo nyingi zimechangia ujio wa mfumo wa umilisi na utekelezaji unaolenga kumwezesha mwanafunzi kuwa na mitazamo chanya kuhusu elimu anayoipata na kuitumia elimu hiyo kuyatatua matatizo ya jamii na mitihani ya maisha kwa mbinu bora ;akitegemea ujuzi anaojifundisha. www.cbcapp.co.ke
  • 4. Kiswahili katika Shule za Msingi Madaraja ya Juu (4,5,6) www.cbcapp.co.ke
  • 5. Muhtasari wa Kauli Kiini Chombo cha mawasiliano katika shughuli za kiuchumi na mahusiano ya jamii. Kutokana na kauli kiini katika kila gredi,ni wazi kuwa mwanafunzi anafundishwa Kiswahili ili kukitumia kuwa: Chombo cha kufanikisha shughuli za serikali na umma kwa jumla katika utoaji huduma mbalimbali Chombo cha kuunganisha jamii za kitaifa na kimataifa Chombo cha kujenga umoja na mshikamano wa kitaifa ili kukuza uzalendo na uraia. www.cbcapp.co.ke
  • 6. Muhimu! Katika kila kipindi cha Kiswahili,ni bora mwalimu ahakikishe kuwa stadi nne za kujifunzia lugha zinajitokeza: kusikiliza,kuongea kusoma na kuandika. Kabla ya kuingia darasani kukifundisha Kiswahili: Aidha,ni sharti kukuza umilisi wa kimsingi katika kila kipindi cha Kiswahili ili kumkuza mkenya mwenye uadilifu maishani. Andaa nyenzo zitakazofanikisha ujifundishaji wa mwanafunzi. Andaa shughuli za kutosha kujenga umilisi mbalimbali kwa kutegemea muda ulio nao. Umilisi huu ni pamoja na: -Mawasiliano na ushirikiano -Ujuzi wa kidijitali -Ubunifu -Kujiamini -Kuwa na hamu ya ujifunzaji www.cbcapp.co.ke
  • 7. Mwingiliano wa Maudhui katika Gredi za Juu Nyumbani Nidhamu mezani Mavazi Dira Ushauri nasaha Bendera ya Taifa Matunda na mimea Wanyama wa porini Afya bora Kukabiliana na uhalifu Mapato 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. Mapishi Huduma ya kwanza Mapambo Saa na majira Kukabiliana na umaskini Maadili Elimu na mazingira Ndege wa porini Magonjwa Uwekezaji 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. Viungo vya mwili vya ndani Michezo Mahusiano Misimu Mshikamano wa kitaifa Usawa wa kijinsia Majanga na jinsi ya kuyazuia Wanyama wa majini Afya ya akili Kukabiliana na ugaidi Ushuru 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. Gredi ya 5 Gredi ya 6 Gredi ya 4 www.cbcapp.co.ke
  • 8. Mwingiliano wa Maudhui katika Gredi za Juu Nyumbani Mavazi Mapishi Mapambo Viungo vya mwili vya ndani Mahusiano Gredi ya 5 Gredi ya 6 Gredi ya 4 www.cbcapp.co.ke
  • 9. Mbinu za Ufundishaji Kutumia maswali dadisi-kutamfanya kuwaza kwa kina Kumhusisha mwanafunzi kikamilifu katika kundi lake. Utekelezaji Kutafiti {hasa vipindi vinavyokuja mbele} Kuseta mbinu mbalimbali katika kipindi kimoja ili kuwafikia wanafunzi wako watatu: Wa chini ya wastani Wastani Wa juu ya wastani Zipo mbinu anuwai za ufundishaji ambazo zinaweza kutumika kufanika vipindi vyetu vya Kiswahili: www.cbcapp.co.ke
  • 10. Uhusishaji wa Mwingiliano wa Maudhui Katika Ufundishaji wa Vipengele Mbalimbali Vya Kiswahili www.cbcapp.co.ke
  • 11. Gredi ya 4 Maudhui: Nyumbani a. Sarufi Aina za Maneno : Nomino Makochi Runinga Zulia Meza Tunguu/balbu Kiti Redio Kabati Feni Ni vitu gani vinapatikana sebuleni kwenu? 01 www.cbcapp.co.ke
  • 12. Gredi ya 4 Maudhui: Nyumbani a. Sarufi Aina za Maneno : Nomino Tumbuu Kinu Mafiga Gesi Madirisha Ngómbe Punda Kondoo Shamba Gari Trekta Seng’énge n.k Katika makundi yenu tajeni vitu vingine vinavyopatikana kwenu. 02 www.cbcapp.co.ke
  • 13. Gredi ya 4 Maudhui: Nyumbani a. Sarufi Aina za Maneno : Nomino Tazama picha (kwenye tarakilishi au projekta) kisha utunge sentensi kuzihusu: a. baba na mama wameketi sebuleni 03 www.cbcapp.co.ke
  • 14. Gredi ya 4 Maudhui: Nyumbani a. Sarufi Aina za Maneno : Nomino Tazama picha (kwenye tarakilishi au projekta) kisha utunge sentensi kuzihusu: b. paka amla panya 03 www.cbcapp.co.ke
  • 15. Gredi ya 4 Maudhui: Nyumbani a. Sarufi Aina za Maneno : Nomino Tazama picha (kwenye tarakilishi au projekta) kisha utunge sentensi kuzihusu: c. Yaya anasafisha sufuria Wapige mistari nomino katika sentensi 03 www.cbcapp.co.ke
  • 16. Gredi ya 4 Maudhui: Nyumbani a. Sarufi Aina za Maneno : Nomino Maneno ya kutajia vitu huitwaje? Chora vitu vitatu vinavyopatikana jikoni kwenu. Mazoezi ya ziada: 05 www.cbcapp.co.ke
  • 17. Gredi ya 5 Maudhui: Mapishi Aina za Nomino Nomino za Kawaida Dawati Dirisha Dawati Tarakilishi Meza n.k Katika makundi andikeni nomino zinazopatikana katika mazingira yetu kwenye kadi kisha mzitie kadi hizo kwenye kasha letu. 01 www.cbcapp.co.ke
  • 18. Gredi ya 5 Maudhui: Mapishi Aina za Nomino Nomino za Kawaida Sufuria Seredani Gesi ya kisasa Kuni Mkaa/ makaa Mboga Kutunga sentensi zenye vitu vinavyotumika katika upishi. 02 www.cbcapp.co.ke
  • 19. Gredi ya 5 Maudhui: Mapishi Aina za Nomino Nomino za Kawaida Pigeni mistari nomino za kawaida kwenye sentensi kwenye tarakilishi au projekta. 03 www.cbcapp.co.ke
  • 20. Gredi ya 5 Maudhui: Mapishi Aina za Nomino Nomino za Kawaida ZIADA: Kutunga sentensi madaftarini akitumia majina ya viungo vya upishi 04 www.cbcapp.co.ke
  • 21. Gredi ya 6 Maudhui: Viungo vya Mwili vya Ndani Vivumishi vya Sifa Rehema ana moyo mwepesi Maji safi ni salama kwa afya Mpishi alipika chakula kitamu Ni maneno gani katika sentensi hizi zinatoa sifa za nomino? 01 www.cbcapp.co.ke
  • 22. Gredi ya 6 Maudhui: Viungo vya Mwili vya Ndani Vivumishi vya Sifa Tunda zuri limeliwa na mtoto mdogo. Machoyake ni meupe kama maziwa.n.k. Mwanafunzi katika kundi lake ashiriki kutambua vivumishi sifa Zaidi na kuvitungia sentensi 02 www.cbcapp.co.ke
  • 23. Gredi ya 6 Maudhui: Viungo vya Mwili vya Ndani Vivumishi vya Sifa TANBIHI Katika gredi ya sita wanafunzi wamekomaa Zaidi kwa hivyo wana uwezo wa kufanya utafiti Zaidi katika vitabu vya ziada au maktabani.Ni bora kuwapa fursa ya utafiti huo.. www.cbcapp.co.ke