1. 30 March 2012
VITA VYA KIROHO
VITA VYA KIROHO ILI KUTEKA BARAKA ZETU KWA
Mapambano na Nguvu za giza VITA NA KUTUWEZESHA KUISHI
Kuteka Baraka zetu kwa Vita KWA USHINDI DUNIANI
Mwl. Mgisa Mtebe
+255 713 497 654, +255 783 497 654
Mathayo 16:18‐19
mgisamtebe@yahoo.com
Waefeso 6:10‐13
30 March 2012
www.mgisamtebe.org 30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO KANUNI ZA KIROHO
Mathayo 16:18‐19 Mathayo 16:18‐19
18 Nami Nitalijenga Kanisa langu, 19 … jambo lolote
wala milango ya kuzimu,
wala milango ya kuzimu utakalolifunga duniani,
t k l lif d i i
haitaweza kulishinda. 19 Nami
litakuwa limefungwa
nitawapa funguo za Ufalme wa
mbinguni … mbinguni (rohoni) …
30 March 2012 30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO KANUNI ZA KIROHO
Mathayo 16:18‐19 Waefeso 6:10‐13‐18
19 … na jambo lolote ‘Iweni hodari katika Bwana, na
utakalolifungua duniani,
t k l lif d i i katika Uweza wa Nguvu zake.
katika Uweza wa Nguvu zake
Vaeni silaha zote za Mungu ili
litakuwa limefunguliwa
muweze pupambana na hila za
mbinguni (rohoni). mwovu shetani.
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 1
2. 30 March 2012
Waefeso 6:10‐13‐18 VITA VYA ROHONI
‘Kwa maana kushindana kwetu
Mathayo 16:18
sisi, si juu ya damu na nyama (si
vita vya kimwili) bali vita yetu ni “Kwahiyo, kuna mashindano
(kuna vita), kati ya milango ya
(kuna vita) kati ya milango ya
ya kupambana na falme za giza,
kuzimu (nguvu za giza) na kanisa
mamlaka za giza, wakuu wa giza
la Bwana Yesu Kristo duniani.”
na majeshi ya pepo wabaya,
katika ulimwengu wa roho. Ufunuo 12:17
30 March 2012 30 March 2012
VITA VYA ROHONI VITA VYA ROHONI
Chanzo cha vita Ufunuo 12:3‐4, 7‐12, 17
3 “Kisha nikaona ishara nyingine
Vita hii ilitokea Wapi?
Vita hii ilitokea Wapi? mbinguni; niliona, Joka mkubwa
mbinguni; niliona Joka mkubwa
mwekundu, na alikuwa na
Ufunuo 12:3‐4, 7‐12, 17
vichwa saba na pembe kumi …
Ezekieli 28:11‐19
30 March 2012
Isaya 14:10‐15 30 March 2012
VITA VYA ROHONI VITA VYA ROHONI
Ufunuo 12:3‐4, 7‐12, 17 Ufunuo 12:3‐4, 7‐12, 17
4 “… na huyu joka, katika mkia 7 “Kulikuwa na vita mbinguni,
wake, alikuwa anakokota
wake alikuwa anakokota Malaika Mkuu wa majeshi ya
Malaika Mkuu wa majeshi ya
theluhthi ya nyota za mbinguni Mungu, Malaika Mikaeli,
(malaika wa Mungu) na akapigana na yule joka na
kuziangusha katika nchi. malaika zake …”
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 2
3. 30 March 2012
VITA VYA ROHONI VITA VYA ROHONI
Ufunuo 12:3‐4, 7‐12, 17 Ufunuo 12:3‐4, 7‐12, 17
8 “Nao hawakushinda, wala 10 “Nikasikia sauti kuu mbinguni,
mahali pao hapakuonekana tena
mahali pao hapakuonekana tena ikisema, sas kumekuwa wokovu
ikisema sas kumekuwa wokovu
mbinguni. 9 Yule joka aitwaye na nguvu na ufalme wa Mungu
ibilisi na shetani, akatupwa wetu na mamlaka ya Kristo wake,
duniani, na malalika zake kwa maana ametupwa chini
wakatupwa pamoja naye.
30 March 2012 mshitaki wa ndugu zetu”.
30 March 2012
VITA VYA ROHONI VITA VYA ROHONI
Ufunuo 12:3‐4, 7‐12, 17 Ufunuo 12:3‐4, 7‐12, 17
11 “Nao wakamshinda yule joka 12 “Kwahiyo shangilieni enyi enyi
na malaika zake, kwa damu ya
na malaika zake kwa damu ya wote mkaao mbinguni; lakini ole
wote mkaao mbinguni; lakini ole
mwana kondoo na kwa neno la wa ninyi mkaao duniani! Kwa
ushuhuda wao, ambao maana yule joka ibilisi, ameshuka
hawakupenda maisha yao hata kwenu, ana hasira nyingi akijua
30 March 2012kufa”. ana wakati mchache!
30 March 2012
VITA VYA ROHONI VITA VYA ROHONI
Ufunuo 12:3‐4, 7‐12, 17 Mathayo 16:18
17 “Joka akamkasirikia yule “Nitalijenga kanisa langu,
mwanamke (kanisa), akaenda
mwanamke (kanisa) akaenda litapambana na milango ya
na milango ya
afanye vita juu wa wazao wake kuzimu (nguvu za giza), na
wazishikao amri za Mungu na milango ya kuzimu, haitaweza
kuwa na ushuhuda wa Yesu …” kulishinda kanisa langu …”
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 3
4. 30 March 2012
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA SIFA NA IBADA KWA MUNGU
Ufunuo 12:27
Shetani anachotafuta ni kumpiga Kwanini Ibada?
binadamu na mazingira yake ili
na mazingira yake, ili
kumvurugia Mungu ibada, Zaburi 22:3
anayoitamani sana kutoka kwa
binadamu, duniani.
30 March 2012 30 March 2012
SIFA NA IBADA KWA MUNGU SIFA NA IBADA KWA MUNGU
Zab 22:3 Zaburi 22:3
IDABA ndio kitu cha kwanza Wewe U Mtakatifu, nawe
kabisa katika
k bi k ik moyo wa “UNAKETI” j
UNAKETI juu ya sifa za Israel
if I l
Mungu, kwasababu
MUNGU ANAISHI KATIKA “Inhabit” “Unaishi”
30 March 2012
IBADA na SIFA. 30 March 2012
SIFA NA IBADA KWA MUNGU SIFA NA IBADA KWA MUNGU
Zab 22:3 Kumnyima Mungu ibada
IDABA ndio kitu cha kwanza Ni kama kumnyima
kabisa katika
k bi k ik moyo wa • S
Samaki maji
ki ji
Mungu, kwasababu • Mimea udongo
MUNGU ANAISHI KATIKA • Binadamu hewa
30 March 2012
IBADA na SIFA. 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 4
5. 30 March 2012
SIFA NA IBADA KWA MUNGU SIFA NA IBADA KWA MUNGU
Mungu
“Kwa maana, Baba anawatafuta
Zab 22:3
Ibada Nchi
watu wa aina hiyo ili Kumb 8:6‐18
Yoh 4:23‐24
wamwabudu.”
(Yohana 4: 23) Adam
Zab 150:6
30 March 2012 30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO SIFA NA IBADA KWA MUNGU
Kusudi la Mungu la awali, ni Mungu anatamani sana kukaa na
kumwezesha mwanadamu sisi watoto wake hapa duniani,
kuitawala dunia pamoja na ndio maana anataka dunia yote
Mungu, ili binadamu tuishi ijazwe h li ya ib d ( t
ij hali ibada (atmosphere)
h )
maisha mazuri (ya ushindi na kama ilivyo mbinguni (masaa 24),
ili duniani pia, kuwe na mazingira
mafanikio) na kuwa vyombo
ya maisha au ya makazi ya Mungu
vizuri vya kumwabudu Mungu.
30 March 2012 kama ilivyo mbinguni.
30 March 2012
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU SADAKA NA IBADA KWA MUNGU
Mungu anataka watoto wake, Kutokana na umuhimu na
tuwe na maisha mazuri, ili unyeti wa ibada, Mungu
tunapopeleka ibada kwa hakutaka na hataki watoto
Mungu, ibada hiyo ifike kwa wake, tuwe na maisha ya
Mungu ikiwa safi (fresh), yaani taabu, maisha ya dhiki na
ibada isiyo na kelele za moyoni maisha ya shida; ili ibada yake
(masumbufu).
30 March 2012
isiingiliwe na vurugu zozote.
30 March 2012
Vita Vya Kiroho 5
6. 30 March 2012
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA SADAKA NA IBADA KWA MUNGU
Ili Mungu apate ibada nzuri Ndio maana Mungu alitumia
kutoka kwetu, inamlazimu muda mrefu zaidi kuumba Dunia
kutubariki na kututengenezea
na kututengenezea kuliko muda aliotumia
mazingira mazuri, ili tuweze kumuumba binadamu
kuwa na maisha mazuri ya mwenyewe.
kumtumikia yeye kama vyombo Dunia = siku 5
vizuri vya ibada.
30 March 2012
Adam = siku 1
30 March 2012
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU NGUVU YA SADAKA NA IBADA
Hii inaonyesha wazi kwamba, Wakolosai 1:16
Mungu anajali sana mazingira ya 16 … vitu vinavyoonekana na
maisha yako; kwasababu, ibada vile visivyoonekana, vitu vyote
y , y
nzuri inategemea aina ya maisha viliumbwa na Yeye na kwa ajili
ya mtu, na aina ya maisha Yake. (rasilimali zote
yanategemea aina ya mazingira zilimewekwa na Mungu na kwa
anayoishi mtu huyo. ajili yake)
30 March 2012 30 March 2012
SIFA NA IBADA KWA MUNGU KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA
Mungu
Zab 22:3 Ibada nzuri hutoka katika moyo
Ibada Nchi uliotulia na pia maisha mazuri;
uliotulia na pia maisha mazuri;
Yoh 4:23‐24 Kumb 8:6‐18 na maisha mazuri huchangiwa
sana na mazingira mazuri.
Adam
Kumbukumbu 8:6‐18
Zab 150:6
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 6
7. 30 March 2012
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA
Ufunuo 12:27
Mazingira yakitibuka, maisha Shetani anachotafuta ni kumpiga
yanatibuka, na maisha
yanatibuka na maisha binadamu na mazingira yake ili
na mazingira yake, ili
yakitibuka, ibada kwa Mungu kumvurugia Mungu ibada,
pia, inatibuka. anayoitamani sana kutoka kwa
Kumbukumbu 8:6‐18 binadamu, duniani.
30 March 2012 30 March 2012
VITA VYA ROHONI KANUNI ZA KIROHO
Mathayo 16:18 Waefeso 6:10‐13‐18
“Nitalijenga kanisa langu, ‘Iweni hodari katika Bwana, na
litapambana na milango ya
na milango ya katika Uweza wa Nguvu zake.
katika Uweza wa Nguvu zake
kuzimu (nguvu za giza), na Vaeni silaha zote za Mungu ili
milango ya kuzimu, haitaweza muweze pupambana na hila za
kulishinda kanisa langu …” mwovu shetani.
30 March 2012 30 March 2012
Waefeso 6:10‐13‐18 2Wakorintho 10:3‐5
‘Kwa maana kushindana kwetu ‘Ingawa tunaenenda kimwili,
sisi, si juu ya damu na nyama (si hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili,
vita vya kimwili) bali vita yetu ni silaha zetu zina nguvu katika
g
ya kupambana na falme za giza, Mungu (roho), tukiteka nyara
mamlaka za giza, wakuu wa giza mawazo na fikra na kila kitu
na majeshi ya pepo wabaya, kinachojiinua kinyume na elimu
katika ulimwengu wa roho. ya Bwana wetu Yesu Kristo.
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 7
8. 30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO KANUNI ZA KIROHO
Kusudi la Mungu la awali, ni Ni mapenzi ya Mungu tuishi
kumwezesha mwanadamu maisha ya ushindi na
kuitawala dunia pamoja na mafanikio ili kutimiza kusudi
Mungu, ili binadamu tuishi la Mungu na kuishi maisha
maisha mazuri (ya ushindi na mazuri kama chombo maalum
mafanikio) na kuwa vyombo cha kumsifu na kumwabudu
vizuri vya kumwabudu Mungu.
30 March 2012
Mungu.
30 March 2012
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA KANUNI ZA KIROHO
Ili Mungu apate ibada nzuri Kusudi la Mungu la awali, ni
kutoka kwetu, inamlazimu kumwezesha mwanadamu
kutubariki na kututengenezea
na kututengenezea kuitawala dunia pamoja na
mazingira mazuri, ili tuweze Mungu, ili binadamu tuishi
kuwa na maisha mazuri ya maisha mazuri (ya ushindi na
kumtumikia yeye kama vyombo mafanikio) na kuwa vyombo
vizuri vya ibada.
30 March 2012
vizuri vya kumwabudu Mungu.
30 March 2012
SIFA NA IBADA KWA MUNGU KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA
Mungu Ili Mwanadamu aweze kulitimiza
Zab 22:3 Kusudi la Mungu vizuri, Mungu
Ibada Nchi alimpa Mwanadamu Mamlaka ya
alimpa Mwanadamu Mamlaka ya
Yoh 4:23‐24 Kumb 8:6‐18 Kiroho ili Kutawala mazingira
yake, ili awe na maisha mazuri ya
Adam kumtumikia Mungu kama
30 March 2012
Zab 150:6 vyombo vizuri vya ibada.
30 March 2012
Vita Vya Kiroho 8
9. 30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO MAMLAKA YA KIROHO
Ebrn 11:3, Efes 6:12 Mwanzo 1:26‐28/Zaburi 8:4‐8
Mungu aliitengeneza dunia
katika namna kwamba,
Mamlaka ya Kiroho.
Mamlaka ya Kiroho ulimwengu wa mwili,
utatawaliwa kwa mamlaka ya
Mungu kutoka katika
Ulimwengu wa roho.
30 March 2012 30 March 2012
MAMLAKA YA KIROHO MAMLAKA YA KIROHO
Mwanzo 1:26‐28
26 ‘Mungu akasema, tufanye
Mamlaka ya Kiroho Mtu kwa Sura yetu na Mfano
wetu, wakatawale samaki wa
Mwanzo 1:26‐28 baharini na ndege wa angani, na
kila kitu kipitacho juu ya nchi’.
30 March 2012 30 March 2012
MAMLAKA YA KIROHO MAMLAKA YA KIROHO
Mwanzo 1:26‐28 Mwanzo 1:26‐28
27 ‘Bwana Mungu akaumba 28 ‘Bwana Mungu akawaweka
Mwanamke na Mwanaume; katika bustani, akawaambia,
kwa Mfano wa Mungu zaeni mkaongezeke na kuitiisha
aliwaumba’ (kuitawala) nchi.’
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 9
10. 30 March 2012
MAMLAKA YA KIROHO MAMLAK YA KIROHO
Warumi 3:23/Warumi 5:12‐19
Mwanadamu alipofanya dhambi,
alipoteza mamlaka ya Mungu
katika ulimwengu wa roho na KABLA YA DHAMBI
kushindwa kuutawala ulimwengu UTARATIBU ULIKUWA HIVI
wa mwili; badala yake,
ulimwengu wa mwili ukamtawala
mwanandamu.
30 March 2012 30 March 2012
KABLA YA DHAMBI (ANGUKO)
Utukufu (Msaada) Mungu MAMLAKA YA MKRISTO
KABLA YA DHAMBI “Mashal”
Mkuu
Mwili Roho MUNGU
Mfalme
ADAM
Mtawala
MALAIKA Mwakilishi
Dunia mungu
Nafsi DUNIA
SHETANI
Shetani Zab 8:4‐8
30 March 2012 30 March 2012
MAMLAKA YA KIROHO MAMLAKA YA KIROHO
Zaburi 8:4‐8
Mwanadamu ni nani hata
umwangalie kwa kiasi hiki?
Zaburi 8:4‐8
Zaburi 8:4‐8 Umemfanya ‘punde kidogo’
Umemfanya punde kidogo
kuliko Mungu, ukamvika taji ya
‘Utukufu’na Heshima;
ukamtawaza‘Juu ya’kazi zote za
30 March 2012
mikono yako …
30 March 2012
Vita Vya Kiroho 10
11. 30 March 2012
MAMLAKA YA KIROHO
MAMLAKA YA MKRISTO
Zaburi 8:4‐8
KABLA YA DHAMBI “Mashal”
… na ukaviweka vitu vyote
Mkuu
ulivyoviumba wewe, ‘chini ya’ MUNGU
Mfalme
miguu yake; wanyama wote, ADAM
Mtawala
ndege wote, samaki na kila kitu MALAIKA Mwakilishi
mungu
kipitacho katika njia za maji. DUNIA
SHETANI
30 March 2012 30 March 2012
Zab 8:4‐8
KABLA YA DHAMBI (ANGUKO) KANUNI ZA KIROHO
Utukufu (Msaada) Mungu
Mwili Roho
BAADA YA DHAMBI
MAMBO YAKAWA HIVI
Dunia
Nafsi
Shetani
30 March 2012 30 March 2012
BAADA YA DHAMBI MAMLAKA YA MKRISTO
Msaada Ukakatika Mungu BAADA YA DHAMBI
MUNGU
Mwili Roho SHETANI
MALAIKA
Dunia
DUNIA
Nafsi SHETANI ALITAPELI
ADAM NAFASI YA ADAM
Shetani
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 11
12. 30 March 2012
Mamlaka ya shetani ulimwenguni
MAMLAKA YA MKRISTO
BAADA YA DHAMBI Efe 2:1‐2 – Mfalme wa anga
MUNGU
Mkuu Yohana 16:11 2Kor 4:4 – Mungu wa dunia hii
Mfalme Waefeso 2:1‐2
SHETANI
Mtawala 1Yohana 5:19
1Yoh 5:19 – Mtawala (Controler)
1Yoh 5:19 – Mtawala (Controler)
MALAIKA Mwakilishi Luka 4:5‐8 Yoh 12:31 – Mkuu wa Ulimwengu
mungu 2Korintho 4:3‐4
DUNIA
Shetani akakaa katika
Yoh 14:30 – Mkuu wa Ulimwengu
ADAM nafasi ya Adam na Yoh 16:11 – Mkuu wa Ulimwengu
30 March 2012 akavaa vyeo vyote vya Adam 30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO
MAMLAKA YA MKRISTO
BAADA YA DHAMBI
Mkuu Yohana 16:11
MUNGU
Mfalme Waefeso 2:1‐2
SHETANI
Mtawala 1Yohana 5:19
BAADA YA WOKOVU
MALAIKA Mwakilishi Luka 4:5‐8 MAMBO YAKAWA HIVI
mungu 2Korintho 4:3‐4
DUNIA
Warumi 5:12, 14
ADAM
Waebrania 2:14, 15
30 March 2012 30 March 2012
BAADA YA WOKOVU (KALVARI) MAMLAKA YA MKRISTO
(Utukufu) Uhusiano Mungu BAADA YA WOKOVU
Mkuu
MUNGU + ADAM ‐ 2
Mfalme
Mwili Roho MALAIKA
Mtawala
SHETANI Mwakilishi
Dunia DUNIA
mungu
Nafsi ADAM ‐ 1
Waefeso 2:1‐6
Shetani
30 March 2012 30 March 2012 Waefeso 1:18‐23
Vita Vya Kiroho 12
13. 30 March 2012
BAADA YA WOKOVU (KALVARI) KANUNI ZA KIROHO
Mwanzo 1:26‐28/Zaburi 8:4‐8
(Utukufu) Roho Mt. Mungu
Mungu aliitengeneza dunia
katika namna kwamba,
Mwili Roho
ulimwengu wa mwili,
utatawaliwa kwa mamlaka ya
Dunia
Mungu kutoka katika
Nafsi
Ulimwengu wa roho.
Shetani
30 March 2012 (Rum 8:9‐11) 30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO KANUNI ZA KIROHO
Warumi 3:23/Warumi 5:12‐19 Waefeso 2:1‐6/Ufunuo 5:8‐10
Mwanadamu alipofanya dhambi, Lakini Mtu anapotubu dhambi zake
alipoteza mamlaka ya Mungu na kuupokea Wokovu wa Bwana
katika ulimwengu wa roho na Yesu Krsito, anaunganishwa tena
kushindwa kuutawala ulimwengu na Mungu na kupewa mamlaka
wa mwili; badala yake, makuu zaidi, kuliko yale
ulimwengu wa mwili ukamtawala aliyoyapoteza Adam na Eva
mwanandamu.
30 March 2012 katika bustani ya Eden.
30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO KANUNI ZA KIROHO
Mathayo 16:18‐19 Mathayo 16:18‐19
18 Nami Nitalijenga Kanisa langu, 19 … jambo lolote
wala milango ya kuzimu,
wala milango ya kuzimu utakalolifunga duniani,
t k l lif d i i
haitaweza kulishinda. 19 Nami
litakuwa limefungwa
nitawapa funguo za Ufalme wa
mbinguni … mbinguni (rohoni) …
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 13
14. 30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO MAMLAKA YA MKRISTO
Mathayo 16:18‐19 Ufunuo 5:9‐10
19 … na jambo lolote 9 Wewe unastahili kukitwaa
utakalolifungua duniani,
t k l lif d i i kitabu na kuzivunja lakiri zake,
zake,
kwa sababu ulichinjwa na kwa
litakuwa limefunguliwa damu yako ukamnunulia
Mungu watu kutoka katika kila
mbinguni (rohoni). kabila, kila lugha, kila jamaa na
30 March 2012
kila taifa (kanisa).
30 March 2012
MAMLAKA YA MKRISTO KANUNI ZA KIROHO
Waefeso 1:18‐23/2:1‐6
Ufunuo 5:9‐10 Mungu wetu, hataweza
10 Nawe umewafanya hawa kukurithisha mamlaka ya
wawe Ufalme na Makuhani wa
f l k h i Ulimwengu wa roho ili
Uli h ili uweze
kumtumikia Mungu wetu, nao kuleta mabadiliko katika
wanamiliki dunia.’’ ulimwengu wa mwili, kama
hajazaliwa mara ya pili, kwa njia
30 March 2012 ya Wokovu wa Yesu Kristo.
30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO BAADA YA WOKOVU (KALVARI)
Baada ya Wokovu, mtu wa (Utukufu) Roho Mt. Mungu
Mungu huyo, anajazwa Roho
Mtakatifu na Nguvu zake ili
na Nguvu zake, ili Mwili Roho
kumrudishia mamlaka na uweza
tuliyopoteza katika bustani ya Dunia
Eden, kwa njia ya dhambi. Nafsi
30 March 2012 Shetani
30 March 2012 (Rum 8:9‐11)
Vita Vya Kiroho 14
15. 30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO KANUNI ZA KIROHO
Bwana Yesu aliomba hivi: Yohana 17:22
Yohana 17:22 ‘Utukufu’ huo, ni Roho
‘Baba Utukufu ule ulionipa
Baba, Utukufu ule ulionipa, Mtakatifu yule yule aliyepewa
yule yule aliyepewa
nami nimewapa wao (Kanisa)’; Adam wa kwanza, ili aweze
‘yaani watu walioniamini, walinipokea kuutawala ulimwengu wa dunia
maishani mwao na wanaishi kwa kanuni hii kwa Nguvu za Mungu.
zangu za kiroho’
30 March 2012 Zaburi 8:4‐8
30 March 2012
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU KANUNI ZA KIROHO
2Petro 1:3‐4 Kusudi la Mungu la awali, ni
Tunapambana na adui mwenye kumwezesha mwanadamu
nguvu sana. Pasipo Nguvu za
Mungu, mtu wa Mungu kuitawala dunia pamoja na
hataweza kuleta mabadiliko Mungu, ili binadamu tuishi
mazuri katika maisha yake na maisha mazuri (ya ushindi na
kumwezesha kuishi maisha mafanikio) na kuwa vyombo
mazuri na ya ushindi, ili kuwa
chombo kizuri cha ibada.
30 March 2012
vizuri vya kumwabudu Mungu.
30 March 2012
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA KANUNI ZA KIROHO
Ili Mwanadamu aweze kulitimiza
Kusudi la Mungu vizuri, Mungu Kwanini
alimpa Mwanadamu Mamlaka ya
alimpa Mwanadamu Mamlaka ya
Kiroho ili Kutawala mazingira Ulimwengu wa roho.
Uli h
yake, ili awe na maisha mazuri ya Zab 8:4‐8, Waefeso 6:12
kumtumikia Mungu kama
vyombo vizuri vya ibada.
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 15
16. 30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO KANUNI ZA KIROHO
Ni kwasababu; Waebrania 11:3
Mungu aliitengeneza dunia katika Ni muhimu uje kwamba,
namna kwamba, ulimwengu wa
Dunia yetu inatawaliwa kwa
Dunia yetu inatawaliwa kwa
mwili, utatawaliwa kwa mamlaka
ya Mungu kutoka katika
Kanuni kuu Mbili (2)
Ulimwengu wa roho. 2. Kanuni za Kimwili
(Zab 4:4‐8, Ebr 11:3) 1. Kanuni za Kiroho
30 March 2012 30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO KANUNI ZA KIROHO
Nguvu Nguvu
Kwa Mfano;
Za za
Uumbaji wa vitu vya Dunia
Uumbaji wa vitu vya Dunia
Kimwili Vs Kiroho
Waebrania 11:3
(Natural (Spiritual
Principles) Principles)
30 March 2012 30 March 2012
Kanuni za kiroho za Ushindi Kanuni za kiroho za Ushindi
Waebrania 11:3 Waebrania 11:3
Nasi twajua ya kwamba,
ulimwengu uliumbwa kwa Neno “… vitu vinavyoonekana
… vitu vinavyoonekana
la Mungu, hata vitu (vya kimwili) vilifanywa kwa
vinavyoonekana, havikufanywa
kwa vitu vilivyo dhahiri. vitu visivyo dhahiri ”.
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 16
17. 30 March 2012
Kanuni za kiroho za Ushindi Kanuni za kiroho za Ushindi
Waebrania 11:3 Waebrania 11:3
“… vitu vinavyoonekana
… vitu vinavyoonekana “… vitu vinavyoonekana
… vitu vinavyoonekana
(vya kimwili) vilifanywa kwa (vya kimwili) vilifanywa kwa
vitu visivyo waziwazi ”. vitu visivyo onekana
(vya kiroho).”
30 March 2012 30 March 2012
Kanuni za kiroho za Ushindi ULIMWENGU WA ROHO
Waebrania 11:3 Ulimwengu wa roho
Ulimwengu wa roho ndio Waebrania 11:3
ulioumbwa kwanza; na kisha Kwahiyo, Mungu alipoumba dunia,
ulipokamilika, ndipo M
li k ilik di Mungu aliiumba katika ulimwengu wa
akauzaa Ulimwengu wa mwili kiroho kwanza, na alipoikalimisha
kutokea katika rohoni, ndipo akaizaa (akai‐
photocopy au akai‐print) katika
Ulimwengu wa Roho.
30 March 2012 ulimwengu wa mwili.
30 March 2012
Ulimwengu wa roho Ulimwengu wa roho
Waebrania 11:3, 2Wakorintho 4:18 Waebrania 11:3, 2Wakorintho 4:18
Ukamilifu Dhamira Torati Mpito Neema Dhiki Milenia Ukamilifu Dhamira Torati Mpito Neema Dhiki Milenia
Uumbaji Anguko Wafalme Kuzaliwa Msalaba Unyakuo Mwisho Uumbaji Anguko Wafalme Kuzaliwa Msalaba Unyakuo Mwisho
Mwa 1 Mwa 3 Manabii Math 1 Math 27 1 Thes 4 Ufu 21 Mwa 1 Mwa 3 Manabii Math 1 Math 27 1 Thes 4 Ufu 21
7 1000 7 1000
33 (1) Ufu 13 :8 3 ½ 3 ½ Kristo 33 (1) Ufu 13 :8 3 ½ 3 ½ Kristo
30 3 ½ (2) Efe 1:3‐4 Mfalme 30 3 ½ (2) Efe 1:3‐4 Mfalme
Injili Injili
Kalvari Kanisa 600 Kalvari Kanisa
Milele
Milele
700 2000
(4) Daniel 7:13 – 14, 27
(3) Isaya 9: 6 33 AD (5) Ufunuo 20:11 – 15
30 March 2012 30 March 2012
Ulimwengu wa Mwili
Bahari Miti Upepo
Vita Vya Kiroho 17
18. 30 March 2012
Kanuni za kiroho za Ushindi NGUVU YA MAOMBI
Waebrania 11:3 Ulimwengu wa roho
“… vitu vinavyoonekana Kwahiyo, ukiona jambo limetokea
mahali fulani leo, usije ukafikiri
(vya kimwili) vilifanywa kwa
(vya kimwili) vilifanywa kwa limeanza leo, hapana;
li l h
vitu visivyo onekana Ukweli ni kwamba, leo ndio jambo
(vya kiroho). hilo limejitokeza, lakini mbegu yake
ilipandwa huko rohoni siku kadhaa
30 March 2012 zilizopita (wakati uliopita).
30 March 2012
NGUVU YA MAOMBI KANUNI ZA KIROHO
Ulimwengu wa roho Waebrania 11:3
Wewe usipokuwa na nidhamu ya Hivyo;
kwenda rohoni kwa njia ya
j y Hakuna kitu kinafanyika katika
Hakuna kitu kinafanyika katika
maombi, kumbuka kwamba, adui Ulimwengu wa Mwili mpaka
yako shetani, yuko huko huko
kwanza kimefanyika katika
rohoni; naye atakutengenezea
mambo ambayo usingetaka Ulimwengu wa Kiroho.
kabisa yakupate.
30 March 2012 30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO ULIMWENGU WA ROHO
2Wakorintho 4:18 Waebrania 11:3
Tusiviangalie vitu Kwahiyo, Mungu alipoumba
vinavyoonekana (vya kimwili) ni
y ( y ) dunia, aliiumba kwanza katika
vya muda; bali tuviangalie vitu ulimwengu wa kiroho, na
visiyoonekana (vya kiroho) alipoikalimisha, ndipo akaizaa
kwani hivyo ndivyo vya milele (akai‐photocopy au akai‐print)
katika ulimwengu wa mwili.
(vya kudumu).
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 18
19. 30 March 2012
ULIMWENGU WA ROHO ULIMWENGU WA ROHO
Waebrania 11:3
Kwahiyo, kila kitu duniani kina Kwahiyo
original copy na photocopy yake. Kila cha Kimwili,
Au kila kitu unachokiona duniani,
kil ki h ki d i i
ujue kina soft‐copy na hard‐copy kina cha kiroho chake
yake (yaani kina upande wa rohoni 1 Wakorintho 15:44
na wa upande wa mwilini).
30 March 2012 30 March 2012
ULIMWENGU WA ROHO ULIMWENGU WA ROHO
1 Wakorintho 15:44 Ayubu 8:9
“Ikiwa kuna mwili wa asili, “Kwakuwa sisi ni wa jana tu,
Kwakuwa sisi ni wa jana tu,
Basi na mwili wa roho pia, upo” wala hatujui neno, maisha yetu
ni kama kivuli”
‐ Photocopy ‐
30 March 2012 30 March 2012
ULIMWENGU WA ROHO ULIMWENGU WA ROHO
Ulimwengu w
Katika ulimwengu wetu, kuna
Zaburi 39:6a vitu vya Namna kuu mbili (2);
“Binadamu huko na huko
Binadamu huko na huko • Vit isi oonekana
Vitu visivyoonekana
kama kivuli”
• Vitu vinavyoonekana
‐ Photocopy ‐
Na vyote viko kwa pamoja
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 19
20. 30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO KANUNI ZA KIROHO
Waebrania 11:3 Waebrania 11:3
Ni Kwasababu, Ni Kwasababu,
Ulimwengu wa Mwili
Mambo ya Ulimwengu wa mwili
ulizaliwa kupitia
yanatawaliwa kwa mambo ya
Ulimwengu wa Kiroho. ulimwengu wa roho;
30 March 2012 30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO KANUNI ZA KIROHO
Waebrania 11:3 Waebrania 11:3
Ni muhimu uje kwamba, Hivyo, kwa utaratibu huu;
Kanuni za Kimwili
Kanuni za Kimwili Hakuna kitu kinafanyika katika
Hakuna kitu kinafanyika katika
zinatawaliwa na Ulimwengu wa Mwili mpaka
kwanza kimefanyika katika
Kanuni za Kiroho
Ulimwengu wa Kiroho.
30 March 2012 30 March 2012
MAANA YA KUOMBA MAANA YA KUOMBA
Kuomba, ni namna ya mtu,
kwenda katika ulimwengu wa
roho, ili kuwasiliana na Mungu
Tafsiri Mpya ya
Tafsiri Mpya ya wake, na kuuathiri ulimwengu
k k thi i li
Maombi wa roho, katika namna ambayo,
itakayoleta mabadiliko katika
ulimwengu huu wa mwili.
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 20
21. 30 March 2012
KANUNI ZAKIROHO NGUVU YA MAOMBI
Ulimwengu wa roho Kwa Mfano wa Nabii Eliya
Yakobo 5:17‐18;
Kwa Mfano Eliya alikuwa binadamu tu kama sisi,
lakini aliomba kwa bidii, ili kuifunga
Maombi ya Nabii Eliya mvua, na Mungu alimsikia, na
Yakobo 5:17‐18; mbingu zikafungika na mvua (ya ki‐
1Wafalme 17‐18; mwilini) haikunyesha juu ya nchi,
30 March 2012 kwa muda wa miaka 3 na nusu.
30 March 2012
NGUVU YA MAOMBI NGUVU YA MAOMBI
Kwa Mfano wa Nabii Eliya Kwa Mfano wa Nabii Eliya
Yakobo 5:17‐18; Yakobo 5:17‐18;
Japo kulikuwa na kanuni zote za Baada ya miaka mitatu na nusu, nchi
kisayansi za mvua kunyesha, lakini yote ilikuwa kavu kabisa na misitu
Eliya, kwa njia ya maombi, alikwenda yote imepukutika; kwahiyo
rohoni, akaathiri (tibua) kanuni hakukuwa na kanuni za kutosha
zinazotawala mvua mwili, na ndio kuruhusu mvua kunyesha.
maana mvua haikunyesha.
30 March 2012 30 March 2012
NGUVU YA MAOMBI MAANA YA KUOMBA
Kwa Mfano wa Nabii Eliya Kuomba, ni namna ya mtu,
Yakobo 5:17‐18; kwenda katika ulimwengu wa
Eliya akaomba tena kwa bidii, ili roho, ili kuwasiliana na Mungu
kuifungua mvua kutoka katika wake, na kuuathiri ulimwengu
k k thi i li
uliwengu wa roho, na Mungu wa roho, katika namna ambayo,
alimsikia, na mbingu zikafunguka na itakayoleta mabadiliko katika
mvua (ya ki‐mwilini) ikanyesha na ulimwengu huu wa mwili.
nchi ikazaa matunda yake.
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 21
22. 30 March 2012
Mabadiliko gani hayo? NGUVU YA MAOMBI
Kwa Mfano; 1Wafalme 18:30‐45;
Maisha mazuri, Familia nzuri, Eliya akawakusanya Waisraeli wote,
Masomo mazuri,, Kazi nzuri, akaijenga madhabahu ya Bwana
Biashara nzuri, Maendeleo Mazuri, upya, akaweka sadaka ya ng’ombe
k k d k b
Afya nzuri, Tabia nzuri, Huduma juu ya madhabahu, na akawataka
nzuri, Serikali nzuri, Taifa zuri, Nchi wamwage maji pipa 12 juu yake,
nzuri, Kanisa zuri, Jamii ya watu kama yalivyo mawe 12 ya
wazuri, nk. nk. nk.
30 March 2012
madhabahu na kabila 12 za Israeli.
30 March 2012
NGUVU YA MAOMBI NGUVU YA MAOMBI
1Wafalme 18:30‐45;
Yakobo 5:18;
Baada ya kufanya Kanuni hizi za
Kiroho, ndipo Eliya akafanya MATOKEO = USHINDI
Maombi ya Vita, ili kuvunja ngvu Mvua ik
M ikanyesha k ik
h katika
ya upinzani, iliyokuwa inazuia ulimwengu wa mwili, na Nchi
baraka za Mungu, kuwafikia ikazaa matunda yake, na watu
watoto wake duniani. wakafaidi mema ya nchi.
30 March 2012 30 March 2012
Ulimwengu wa roho
NGUVU YA MAOMBI
Ulimwengu wa Roho
1Wafalme 18:41‐44; Baada ya Toba na Sadaka (Kumb 28:1‐14)
/ / / / / / / / / /
Baada ya ile Sadaka na Maombi, / / / (mstari wa 41) / / / /
/ / Mvua ya rohoni / / / /
Nabii Eliya akawaambia watu,
Nabii Eliya akawaambia watu, /
/ / / / / / / / / /
/ / / / / / / / /
‘Kimbieni, nasikia sauti ya mvua Efe 2:2 Efe 6:12 Efe 2:2 Efe 6:12
Mkuu Mkuu Mkuu
tele’ (mstari 41), watu Ulimwengu wa Mwili
walipoondoka, Eliya alikwenda
mlimani ili kufanya MAOMBI;
30 March 2012 30 March 2012Uyahudi Uyahudi Uyahudi
Vita Vya Kiroho 22
23. 30 March 2012
Ulimwengu wa roho
NGUVU YA MAOMBI
Ulimwengu wa Roho
1Wafalme 18:41‐45; Baaada ya Maombi (Yakobo 5:16‐18)
/ / / / / / / / / /
Na watu walipoondoka, Eliya / / / (mstari wa 41) / / / /
/ / Mvua ya rohoni / / / /
alikwenda mlimani kuomba; na
alikwenda mlimani kuomba; na /
/ / / / / / / / / /
/ / / / / / / / /
baada ya maombi mazito mara Efe 2:2 Efe 6:12 Efe 2:2 Efe 6:12
Mkuu Mkuu Mkuu
saba (7), ndipo mvua kubwa Ulimwengu wa Mwili / / / / / / / / /
/ / / / / / / / /
/ / / Mvua ya Mwilini / /
sana ikanyesha juu ya nchi / / / (Mstari 44‐45) / / /
/ / / / / / / / /
(mstari 44‐45).
30 March 2012 30 March 2012
/ / / / / / / / /
NGUVU YA MAOMBI NGUVU YA MAOMBI
1Wafalme 18:41‐45; 1Wafalme 18:41‐45;
Kumbe, mvua haikunyesha Kwahiyo, kumbuka kwamba,
katika ulimwengu wa mwili,
katika ulimwengu wa mwili, ,
Kanuni za kiroho, ndizo
mpaka kwanza ilipotengenezwa zilizotangulia kusababisha athari
katika ulimwengu wa kiroho katika ulimwengu wa rohoni
kwanza. kwanza, ili mvua inyeshe katika
30 March 2012
ulimwengu wa mwili.
30 March 2012
NGUVU YA MAOMBI NGUVU YA MAOMBI
1Wafalme 18:41‐45; Ulimwengu wa roho
Kwahiyo, Wewe usipokuwa na nidhamu ya
Ile mvua haikunyesha katika
Ile mvua haikunyesha katika kwenda rohoni kwa njia ya
j y
maombi, kumbuka kwamba, adui
ulimwengu wa mwili, mpaka
yako shetani, yuko huko huko
kwanza ilipotengenezwa katika rohoni; naye atakutengenezea
ulimwengu wa kiroho kwanza. mambo ambayo usingetaka
30 March 2012
kabisa yakupate.
30 March 2012
Vita Vya Kiroho 23
24. 30 March 2012
NGUVU YA MAOMBI NGUVU YA MAOMBI
Ulimwengu wa roho 1Wafalme 18:41‐45;
Kwahiyo, ukiona jambo limetokea
Kwahiyo, ile mvua haikunyesha
mahali fulani leo, usije ukafikiri
limeanza leo, hapana;
li l h katika ulimwengu wa mwili,
katika ulimwengu wa mwili,
mpaka kwanza ilipotengenezwa
Ukweli ni kwamba, leo ndio jambo
hilo limejitokeza, lakini mbegu yake katika ulimwengu wa kiroho
ilipandwa huko rohoni siku kadhaa kwanza.
zilizopita (wakati uliopita).
30 March 2012 30 March 2012
Ulimwengu wa roho
NGUVU YA MAOMBI
Ulimwengu wa Roho
Ulimwengu wa roho Baada ya Toba na Sadaka (Kumb 28:1‐14)
Waefeso 1:3‐4, Warumi 8:29‐30 / / / / / / / / / /
/ / / (mstari wa 41) / / / /
‘Mungu ameshatubariki kwa / / Mvua ya rohoni / / / /
/
/ / / / / / / / / /
/ / / / / / / / /
baraka zote za rohoni, katika
b k h i k ik
Efe 2:2 Efe 6:12 Efe 2:2 Efe 6:12
Mkuu Mkuu Mkuu
ulimwengu wa roho; kama
Ulimwengu wa Mwili
alivyotuchagua katika yeye, kabla
ya kuwekwa misingi ya ulimwengu,
tuwe watakatifu’.
30 March 2012 30 March 2012Uyahudi Uyahudi Uyahudi
Ulimwengu wa roho
NGUVU YA MAOMBI
Ulimwengu wa Roho
1Wafalme 18:41‐45, Yakobo 5:17‐18 Baaada ya Maombi (Yakobo 5:16‐18)
Wana wa Israeli, walikuwa / / / / / / / / / /
/ / / (mstari wa 41) / / / /
wanateseka kwa maisha /
/ / Mvua ya rohoni / / / /
/ / / / / / / / / /
/ / / / / / / / /
magumu, katika ulimwengu wa Efe 2:2 Efe 6:12 Efe 2:2 Efe 6:12
Mkuu Mkuu Mkuu
mwili, wakati wao ni wabarikiwa Ulimwengu wa Mwili / / / / / / / / /
wenye baraka nyingi sana katika / / / / / / / / /
/ / / Mvua ya Mwilini / /
/ / / (Mstari 44‐45) / / /
ulimwengu wa roho. / / / / / / / / /
/ / / / / / / / /
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 24
25. 30 March 2012
NGUVU YA MAOMBI NGUVU YA MAOMBI
Kama Eliya asingeomba kwa Ulimwengu wa roho
bidii, ile baraka ya mvua (rohoni) Waefeso 1:3‐4, Warumi 8:29‐30
ingekomea huko huko rohoni, na Na sisi pia tusipoomba, baraka hizi
huku duniani, watu wa Mungu zote tulizopewa katika ulimwengu
li k ik li
wangeishi maisha ya shida na wa roho, zitabaki huko huko rohoni,
taabu; na kumbe wana baraka wakati huku duniani, tunateseka
kwa maisha magumu, yaliyojaa
nyingi sana katika U’rohoni.
30 March 2012
shida na taabu nyingi.
30 March 2012
KANUNI ZA KIROHO NGUVU YA MAOMBI
Waebrania 11:3 Ulimwengu wa roho
Mungu wetu ni Mungu wa Utendaji kazi wa Mungu duniani,
Imani, anayefanya mambo
, y y huanzia katika ulimwengu wa roho
g
yasiyoonekana kwanza, kabla ya kwanza. Mambo yakikamilika
kuyasababisha yatokee katika rohoni, ndipo huyazaa mambo hayo
katika ulimwengu wa mwili.
ulimwengu wa mwili
(ulimwengu wa yanayoonekana)
30 March 2012 30 March 2012
NGUVU YA MAOMBI NA SADAKA ULIMWENGU WA ROHO
Kama tunataka kutawala vizuri
mambo yetu ya kimaisha na kuleta
mabadiliko katika mambo ya Kwanini tunaishi
kimwili, basi ni lazima tuufahamu
ki ili b i i l i t f h maisha ya kushindwa?
vizuri ulimwengu wa roho, na tujue
namna ya kuuathiri (U’roho) ktk
namna itakayoleta mabadiliko
katika ulimwengu wa mwili.
30 March 2012 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 25
26. 30 March 2012
ULIMWENGU WA ROHO NGUVU YA MAOMBI
Hebu jiulize mwenye…
Kwanini tunaishi maisha magumu Ni kwasababu; watu wa Mungu,
na ya mateso huku mwili, yaliyojaa
shida na taabu nyingi, na kumbe
hid t b i i k b (1) Hatujajua siri ya ulimwengu wa
kule rohoni tumebarikiwa na roho inavyoingiliana na ulimwengu
Mungu kwa baraka zote, tena wa mwili, hata kuleta mabadiliko
nyingi sana, za kutusaidia katika tunayotaka kuyaona huku duniani.
maisha yetu ya kila siku?
30 March 2012 ~ kutokujua ~
30 March 2012
Ulimwengu wa roho Ulimwengu wa roho
Waebrania 11:3, 2Wakorintho 4:18 Waebrania 11:3, 2Wakorintho 4:18
Ukamilifu Dhamira Torati Mpito Neema Dhiki Milenia Ukamilifu Dhamira Torati Mpito Neema Dhiki Milenia
Uumbaji Anguko Wafalme Kuzaliwa Msalaba Unyakuo Mwisho Uumbaji Anguko Wafalme Kuzaliwa Msalaba Unyakuo Mwisho
Mwa 1 Mwa 3 Manabii Math 1 Math 27 1 Thes 4 Ufu 21 Mwa 1 Mwa 3 Manabii Math 1 Math 27 1 Thes 4 Ufu 21
7 1000 7 1000
33 (1) Ufu 13 :8 3 ½ 3 ½ Kristo 33 (1) Ufu 13 :8 3 ½ 3 ½ Kristo
30 3 ½ (2) Efe 1:3‐4 Mfalme 30 3 ½ (2) Efe 1:3‐4 Mfalme
Injili Injili
Kalvari Kanisa 600 Kalvari Kanisa
Milele
Milele
700 2000
(4) Daniel 7:13 – 14, 27
(3) Isaya 9: 6 33 AD (5) Ufunuo 20:11 – 15
30 March 2012 30 March 2012
Ulimwengu wa Mwili
Bahari Miti Upepo
Ulimwengu wa roho Ulimwengu wa roho
Ulimwengu wa Roho Ulimwengu wa Roho
Baada ya Toba na Sadaka (Kumb 28:1‐14) Baaada ya Maombi (Yakobo 5:16‐18)
/ / / / / / / / / / / / / / / / / / / /
/ / / (mstari wa 41) / / / / / / / (mstari wa 41) / / / /
/ / Mvua ya rohoni / / / / / / Mvua ya rohoni / / / /
/
/ / / / / / / / / /
/ / / / / / / / / /
/ / / / / / / / / /
/ / / / / / / / /
Efe 2:2 Efe 6:12 Efe 2:2 Efe 6:12
Mkuu Mkuu Mkuu Efe 2:2 Efe 6:12 Efe 2:2 Efe 6:12
Mkuu Mkuu Mkuu
Ulimwengu wa Mwili Ulimwengu wa Mwili / / / / / / / / /
/ / / / / / / / /
/ / / Mvua ya Mwilini / /
/ / / (Mstari 44‐45) / / /
/ / / / / / / / /
/ / / / / / / / /
30 March 2012Uyahudi Uyahudi Uyahudi 30 March 2012
Vita Vya Kiroho 26