Paper 336/1
Lugha ya Kiswahli
Sarufi
Julai 2015
Saa 2 na dakika 30
ST. MARY’S COLLEGE RUSHOROZA EXAMS 2015
UGANDA CERTIFICATE OF EDUCATION
LUGHA YA KISWAHILI
MUDA: Saa 2 na 30
S.2 MID TERM II KISWAHILI EXAMINATIONS – 2015:
Jina: ---------------------------------------------------------------------Darasa: ------------
MAAGIZO: (Instructions): Jibu Maswali yote. (Answer all the questions).
SEHEMU: A
1. Soma habari ifuatayo na ujibu maswali yanayofuata.( Read the following
story and answer the questions that follow)
MAAMKIZI, ADABU NA HESHIMA
Maamkizi au salamu ni tendo la watu wawili ama zaidi kujuliana hali. Mara niyingi hii huwa ni
ishara kuwa hapana shida yoyote katika watu hao. Lakini adabu ni namna ya kujichukua kwa
heshima tunapowasiliana na watu wengine.M athalani, ni lazima ujue maneno ya kusema mbele ya
wazazi wako ama watu wakubwa. Nayo heshima ni thamani ya utu. Hapa chini kuna msamiati
unaotufundisha salamu, adabu na heshima katika Kiswahili.
Ukianza na salamu , utaona kuwa kuna za aina mbalimbali. Kwa mfano, kuna salamu za wazee kwa
wazee, wadogo kwa wakubwa na salamu za kawaida zinazotumiwa na wale wenye umri sawa.
Ukimkuta dada yako baada ya muda, utamsalamia kwa kutumia;
Hujambo? Na jibu litakuwa; Sijambo!
Maamkizi mengine yanaweza kuwa kama ifuatavyo chini hapa:
SALAMU JIBU
Habari za asubuhi? Njema au nzuri
Je, habari za nyumbani? Nzuri
Habari za mama watoto? Njema
Je, hujambo mama? Sijambo
Je, wanao hawajambo? Hawajambo
Habari za masaomo? Njema
Wasemaje? Sina taabu
Nisalamie Haya
Kwa heri Kwa heri ya kuonana
1
Itafaa ikikumbukwa hapa kuwa neno ‘mzuri’ halitumiki katika maamkizi. Pia unapoagana na
mwenzako ‘kwa heri’ yeye hukujibu ‘ kwa heri ya kuonana’ lakini isitumie ‘karibu.’
Isitoshe kuna salamu nyingine kama vile; Umelalaje? U hali gani? Masalkheri? Shikamoo?
Wajionaje? Subalkheri? Na kadhalika.
Katika salamu hizi juu ‘Shikamoo’ hutumiwa na wadogo kuwaamkia watu wakubwa. Na jibu lake ni
‘Marahaba.’ Salamu hii hutumiwa kuwaonyesha watu wengine adabu na heshima.Salamu hizi
hufuatiwa na maneno ya heshima kama vile; mama, baba, kaka, shangazi, nyanya, mwalimu, bibi,
bwana, rafiki na kadhalika.
Pia kuna maneno mengine tunayotumia kuonyesha adabu hasa tunapowasilia na watu wengine nayo
ni; hodi, karibu, asante, starehe, karibu kiti, kwa heri, karibu tena, pole kwa ugonjwa, hongera
kwa kuzaa mtoto, nimekwishapoa, tafadhali njoo hapa, ngoja kidogo, na kadhalika.
Zaidi ya haya kuna maneno ya kuonyesha heshima kwa watu wengine na ni kama ifuatavyo;
kujifungua, kwenda haja, haja ndogo, samahani mwalimu, nende nje, alhamudlilahi, sikufanya
makusudi na kadhalika.
Maswali:
1. Maamkizi au salamu ni…………………………………………………………….
2. Adabu ni……………………………………………………………………………
3. Heshima ni …………………………………………………………………………
4. Tafsiri salamu zifuatazo katika kiingereza (translate the followingi greetings into English)
i). Subalkheri?..........................................................................................................
ii).Shikamoo baba!..................................................................................................
iii). Wasemaje mpendwa?.......................................................................................
iv). Hujambo?.........................................................................................................
v). Umelalaje?.........................................................................................................
5. Andika maneno matano ya kuonyesha adabu.(write five words that are used for showing
good behaviour.)
……………………………………………………………………………….
………………………………………………………………………………………
6. Andika maneno manne ya kuonyesha heshima (write four words that are for showing
respect.)
……………………………………………………………………………………….
…………………………………………………………………………………………
2
SEHUMU: B
2. A).Andika sentensi zifuatazo katika wakati uliopita. ( Write the following sentences in past
tense)
a). Tunataka pesa kununua vitabu…………………………………………………..
b). Wanafunzi wanataka chakula……………………………………………………
c). Vijana wanapenda kucheza ngoma……………………………………………….
d). Ninakwenda nyumbani……………………………………………………………
e). Anaandika barua ya mapenzi……………………………………………………..
B). Tafsiri sentensi zifuatazo katika kiswhili. (Translate the following stences into Kiswahili)
a). Did you go home yesterday?....................................................................................
b). Students tried to answer……………………………………………………………..
c). We wrote many letters in Kiswahili………………………………………………..
d). I told him I was a student…………………………………………………………..
e). The teacher of Kiswahili came to teach us………………………………………….
C). Andika siku za juma zifuatazo katika Kiswahili.(Write the following days of the week in
kiswahili.)
i).Thursday _________________________
ii).Tuesday __________________________
iii).Friday ___________________________
iv).Sunday __________________________
v). Monday _________________________
SEHEMU: C
3. a).Andika kazi za wafuatao. (Write the work of the following).
(i) Mkunga -------------------------------------------------------------
(ii) Mkulima -------------------------------------------------------------
(iii) Mwalimu -------------------------------------------------------------
(iv) Mlinzi -------------------------------------------------------------
(v) Dereva -------------------------------------------------------------
(vi) Seremala -------------------------------------------------------------
(vii) Rubani-------------------------------------------------------------
(viii) Mpishi -------------------------------------------------------------
3
(ix) Mchezaji -------------------------------------------------------------
(x) Mwanafunzi -------------------------------------------------------------
b). Andika katika Kiswahili. (Write in Kiswahili).
1. Head -------------------------------------------------------------------------------
2. Eye --------------------------------------------------------------------------------
3. Buttocks --------------------------------------------------------------------------------
4. Breasts --------------------------------------------------------------------------------
5. Ears ---------------------------------------------------------------------------------
6. Heart ---------------------------------------------------------------------------------
7. Sheen ---------------------------------------------------------------------------------
8. Chest --------------------------------------------------------------------------------
9. Heel --------------------------------------------------------------------------------
10. Stomach ---------------------------------------------------------------------------------
d). Andika majina ya miti ya matunda yafuatayo. (Write the names of the following fruits trees)
1. Apple____________________________________________________
2. Avocado__________________________________________________
3. Maize____________________________________________________
4. A pineapple _______________________________________________
5. A mango___________________________________________________
6. A coffee tree________________________________________________
7. A banana plant_______________________________________________
8. An orange tree_______________________________________________
9. Sugar cane__________________________________________________
10. A pawpaw tree_____________________________________________
TWAWATAKIA KILA LA HERI
MWISHO
4

Paper 336 s.2 mid term 2015

  • 1.
    Paper 336/1 Lugha yaKiswahli Sarufi Julai 2015 Saa 2 na dakika 30 ST. MARY’S COLLEGE RUSHOROZA EXAMS 2015 UGANDA CERTIFICATE OF EDUCATION LUGHA YA KISWAHILI MUDA: Saa 2 na 30 S.2 MID TERM II KISWAHILI EXAMINATIONS – 2015: Jina: ---------------------------------------------------------------------Darasa: ------------ MAAGIZO: (Instructions): Jibu Maswali yote. (Answer all the questions). SEHEMU: A 1. Soma habari ifuatayo na ujibu maswali yanayofuata.( Read the following story and answer the questions that follow) MAAMKIZI, ADABU NA HESHIMA Maamkizi au salamu ni tendo la watu wawili ama zaidi kujuliana hali. Mara niyingi hii huwa ni ishara kuwa hapana shida yoyote katika watu hao. Lakini adabu ni namna ya kujichukua kwa heshima tunapowasiliana na watu wengine.M athalani, ni lazima ujue maneno ya kusema mbele ya wazazi wako ama watu wakubwa. Nayo heshima ni thamani ya utu. Hapa chini kuna msamiati unaotufundisha salamu, adabu na heshima katika Kiswahili. Ukianza na salamu , utaona kuwa kuna za aina mbalimbali. Kwa mfano, kuna salamu za wazee kwa wazee, wadogo kwa wakubwa na salamu za kawaida zinazotumiwa na wale wenye umri sawa. Ukimkuta dada yako baada ya muda, utamsalamia kwa kutumia; Hujambo? Na jibu litakuwa; Sijambo! Maamkizi mengine yanaweza kuwa kama ifuatavyo chini hapa: SALAMU JIBU Habari za asubuhi? Njema au nzuri Je, habari za nyumbani? Nzuri Habari za mama watoto? Njema Je, hujambo mama? Sijambo Je, wanao hawajambo? Hawajambo Habari za masaomo? Njema Wasemaje? Sina taabu Nisalamie Haya Kwa heri Kwa heri ya kuonana 1
  • 2.
    Itafaa ikikumbukwa hapakuwa neno ‘mzuri’ halitumiki katika maamkizi. Pia unapoagana na mwenzako ‘kwa heri’ yeye hukujibu ‘ kwa heri ya kuonana’ lakini isitumie ‘karibu.’ Isitoshe kuna salamu nyingine kama vile; Umelalaje? U hali gani? Masalkheri? Shikamoo? Wajionaje? Subalkheri? Na kadhalika. Katika salamu hizi juu ‘Shikamoo’ hutumiwa na wadogo kuwaamkia watu wakubwa. Na jibu lake ni ‘Marahaba.’ Salamu hii hutumiwa kuwaonyesha watu wengine adabu na heshima.Salamu hizi hufuatiwa na maneno ya heshima kama vile; mama, baba, kaka, shangazi, nyanya, mwalimu, bibi, bwana, rafiki na kadhalika. Pia kuna maneno mengine tunayotumia kuonyesha adabu hasa tunapowasilia na watu wengine nayo ni; hodi, karibu, asante, starehe, karibu kiti, kwa heri, karibu tena, pole kwa ugonjwa, hongera kwa kuzaa mtoto, nimekwishapoa, tafadhali njoo hapa, ngoja kidogo, na kadhalika. Zaidi ya haya kuna maneno ya kuonyesha heshima kwa watu wengine na ni kama ifuatavyo; kujifungua, kwenda haja, haja ndogo, samahani mwalimu, nende nje, alhamudlilahi, sikufanya makusudi na kadhalika. Maswali: 1. Maamkizi au salamu ni……………………………………………………………. 2. Adabu ni…………………………………………………………………………… 3. Heshima ni ………………………………………………………………………… 4. Tafsiri salamu zifuatazo katika kiingereza (translate the followingi greetings into English) i). Subalkheri?.......................................................................................................... ii).Shikamoo baba!.................................................................................................. iii). Wasemaje mpendwa?....................................................................................... iv). Hujambo?......................................................................................................... v). Umelalaje?......................................................................................................... 5. Andika maneno matano ya kuonyesha adabu.(write five words that are used for showing good behaviour.) ………………………………………………………………………………. ……………………………………………………………………………………… 6. Andika maneno manne ya kuonyesha heshima (write four words that are for showing respect.) ………………………………………………………………………………………. ………………………………………………………………………………………… 2
  • 3.
    SEHUMU: B 2. A).Andikasentensi zifuatazo katika wakati uliopita. ( Write the following sentences in past tense) a). Tunataka pesa kununua vitabu………………………………………………….. b). Wanafunzi wanataka chakula…………………………………………………… c). Vijana wanapenda kucheza ngoma………………………………………………. d). Ninakwenda nyumbani…………………………………………………………… e). Anaandika barua ya mapenzi…………………………………………………….. B). Tafsiri sentensi zifuatazo katika kiswhili. (Translate the following stences into Kiswahili) a). Did you go home yesterday?.................................................................................... b). Students tried to answer…………………………………………………………….. c). We wrote many letters in Kiswahili……………………………………………….. d). I told him I was a student………………………………………………………….. e). The teacher of Kiswahili came to teach us…………………………………………. C). Andika siku za juma zifuatazo katika Kiswahili.(Write the following days of the week in kiswahili.) i).Thursday _________________________ ii).Tuesday __________________________ iii).Friday ___________________________ iv).Sunday __________________________ v). Monday _________________________ SEHEMU: C 3. a).Andika kazi za wafuatao. (Write the work of the following). (i) Mkunga ------------------------------------------------------------- (ii) Mkulima ------------------------------------------------------------- (iii) Mwalimu ------------------------------------------------------------- (iv) Mlinzi ------------------------------------------------------------- (v) Dereva ------------------------------------------------------------- (vi) Seremala ------------------------------------------------------------- (vii) Rubani------------------------------------------------------------- (viii) Mpishi ------------------------------------------------------------- 3
  • 4.
    (ix) Mchezaji ------------------------------------------------------------- (x)Mwanafunzi ------------------------------------------------------------- b). Andika katika Kiswahili. (Write in Kiswahili). 1. Head ------------------------------------------------------------------------------- 2. Eye -------------------------------------------------------------------------------- 3. Buttocks -------------------------------------------------------------------------------- 4. Breasts -------------------------------------------------------------------------------- 5. Ears --------------------------------------------------------------------------------- 6. Heart --------------------------------------------------------------------------------- 7. Sheen --------------------------------------------------------------------------------- 8. Chest -------------------------------------------------------------------------------- 9. Heel -------------------------------------------------------------------------------- 10. Stomach --------------------------------------------------------------------------------- d). Andika majina ya miti ya matunda yafuatayo. (Write the names of the following fruits trees) 1. Apple____________________________________________________ 2. Avocado__________________________________________________ 3. Maize____________________________________________________ 4. A pineapple _______________________________________________ 5. A mango___________________________________________________ 6. A coffee tree________________________________________________ 7. A banana plant_______________________________________________ 8. An orange tree_______________________________________________ 9. Sugar cane__________________________________________________ 10. A pawpaw tree_____________________________________________ TWAWATAKIA KILA LA HERI MWISHO 4