SlideShare a Scribd company logo
NOVENA KWA
MTAKATIFU RITA WA
KASHIA
SIKU YA PILI
SUBSCRIBE
NOVENA KWA
MTAKATIFU RITA WA
KASHIA SIKU YA PILI
Kwa Jina la Baba, na la Mwana, na la Roho
Mtakatifu. Amina
Ewe mfanya miujiza Mtakatifu Rita wa Kashia.
Naona njia ya maisha yako imejaa majaribu na
miiba mingi inayochoma, ambayo nahofia
imepasua moyo wako vipande
SUBSCRIBE
NOVENA KWA
MTAKATIFU RITA WA
KASHIA SIKU YA PILI
Ee Rita uliye kweli shahidi wa maumivu makali.
Uliyeonja tone kwa tone, hadi ukamaliza
kikombe chote cha maumivu makali. Nafikiria
juu ya moyo wako uliochoka kabisa
SUBSCRIBE
NOVENA KWA
MTAKATIFU RITA WA
KASHIA SIKU YA PILI
Ninakugeukia na kumwomba Mungu kwa
maombezi yako (hapa omba hitaji lako
unalotaka kumwomba Mungu kupitia
Mtakatifu Rita).
SUBSCRIBE
NOVENA KWA
MTAKATIFU RITA WA
KASHIA SIKU YA PILI
Wewe unajua maana ya moyo unaovuja damu.
Unajua pia kifodini cha roho. Umeumizwa
sana na kuteseka sana. Kwa njia ya mateso
hayo nakuomba unisaidie katika mahangaiko
yangu.
SUBSCRIBE
NOVENA KWA MTAKATIFU
RITA WA KASHIA SIKU YA
PILI
Je, si kweli kwamba wakati huu mgumu, Bwana
wetu Yesu ametuandalia njia ya kujipatia
neema; kupitia miujiza ambayo binadamu
wanaweza kukuomba kwa matumaini na kwa
maombezi yako wakafanikiwa?
SUBSCRIBE
NOVENA KWA MTAKATIFU
RITA WA KASHIA SIKU YA
PILI
Ee Mtakatifu mpenzi, iangalie roho iliyopondeka
inayolia na kuhuzunika mbele yako.
Ninakutumainia, Ee Mtakatifu Rita. Niombee
kwa Yesu mbinguni ili nipate kupokea yote
ninayomwomba Mungu kwa maombezi yako
yenye nguvu.
SUBSCRIBE
NOVENA KWA MTAKATIFU
RITA WA KASHIA SIKU YA
PILI
Baba yetu ×3,
Salamu Maria ×3,
Atukuzwe Baba ×3.
SUBSCRIBE
NOVENA KWA MTAKATIFU
RITA WA KASHIA SIKU YA
PILI
Kwa njia ya Mtakatifu Rita, homa, madonda na
tauni, viini vya maradhi mbalimbali, mapepo
na ghadhabu vitoweke:- Unawasaidia vipofu,
viziwi, bubu na viwete: watoto wanaomba
sana na wafu wanarudishiwa uhai.
SUBSCRIBE
NOVENA KWA MTAKATIFU
RITA WA KASHIA SIKU YA
PILI
Kwa maombezi yako, radi, tetemeko la ardhi na
moto havina nguvu. Kwa utakatifu wako
mitego yote, hatari kubwa na vitisho vyote
hutoweka:- Unawasaidia vipofu, viziwi, bubu
na viwete: watoto wanaomba sana na wafu
wanarudishiwa uhai.
SUBSCRIBE
NOVENA KWA MTAKATIFU
RITA WA KASHIA SIKU YA
PILI
Hispania wanakutangaza kuwa Mtakatifu wa
mambo yaliyoshindikana. Watu wengi
wanaimba sifa zako. Kashia hutukuza jina
lako:- Unawasaidia vipofu, viziwi, bubu na
viwete: watoto wanaomba sana na wafu
wanarudishiwa uhai.
SUBSCRIBE
NOVENA KWA MTAKATIFU
RITA WA KASHIA SIKU YA
PILI
Kwa Mungu Mtakatifu na kwa Mwanae ziwe sifa,
utukufu na heshima, sifa kwa karne zote za
pendo la milele:- Unawasaidia vipofu, viziwi,
bubu na viwete: watoto wanaomba sana na
wafu wanarudishiwa uhai.
SUBSCRIBE
Kiongozi: Umemtia alama Ee Bwana, mtumishi
wako Rita.
Wote: Kwa mhuri wa upendo na mateso.
SUBSCRIBE
NOVENA KWA MTAKATIFU
RITA WA KASHIA SIKU YA
PILI
TUOMBE
Ee Mungu, uliyekubali kumtawadha Mtakatifu
Rita kwa neema, hata akakubali kuwapenda
adui zake, hadi akapata rohoni mwake na
katika paji la uso alama za upendo na mateso.
SUBSCRIBE
NOVENA KWA MTAKATIFU
RITA WA KASHIA SIKU YA
PILI
Tunakuomba kupitia maombezi yake, neema za
kusamehe adui zetu na kutafakari maumivu ya
mateso yako, ili tupate tuzo ulilotuahidia kwa
wapole na wanaoteseka. Unayeishi na
kutawala, daima na milele. Amina.
SUBSCRIBE
NOVENA KWA MTAKATIFU
RITA WA KASHIA SIKU YA
PILI
Please!
SUBSCRIBE
Read on the description
below

More Related Content

Featured

How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
Albert Qian
 
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie InsightsSocial Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Kurio // The Social Media Age(ncy)
 
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Search Engine Journal
 
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
SpeakerHub
 
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
Clark Boyd
 
Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next
Tessa Mero
 
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search IntentGoogle's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Lily Ray
 
How to have difficult conversations
How to have difficult conversations How to have difficult conversations
How to have difficult conversations
Rajiv Jayarajah, MAppComm, ACC
 
Introduction to Data Science
Introduction to Data ScienceIntroduction to Data Science
Introduction to Data Science
Christy Abraham Joy
 
Time Management & Productivity - Best Practices
Time Management & Productivity -  Best PracticesTime Management & Productivity -  Best Practices
Time Management & Productivity - Best Practices
Vit Horky
 
The six step guide to practical project management
The six step guide to practical project managementThe six step guide to practical project management
The six step guide to practical project management
MindGenius
 
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
RachelPearson36
 
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Applitools
 
12 Ways to Increase Your Influence at Work
12 Ways to Increase Your Influence at Work12 Ways to Increase Your Influence at Work
12 Ways to Increase Your Influence at Work
GetSmarter
 
ChatGPT webinar slides
ChatGPT webinar slidesChatGPT webinar slides
ChatGPT webinar slides
Alireza Esmikhani
 
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike RoutesMore than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
Project for Public Spaces & National Center for Biking and Walking
 
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
DevGAMM Conference
 
Barbie - Brand Strategy Presentation
Barbie - Brand Strategy PresentationBarbie - Brand Strategy Presentation
Barbie - Brand Strategy Presentation
Erica Santiago
 
Good Stuff Happens in 1:1 Meetings: Why you need them and how to do them well
Good Stuff Happens in 1:1 Meetings: Why you need them and how to do them wellGood Stuff Happens in 1:1 Meetings: Why you need them and how to do them well
Good Stuff Happens in 1:1 Meetings: Why you need them and how to do them well
Saba Software
 
Introduction to C Programming Language
Introduction to C Programming LanguageIntroduction to C Programming Language
Introduction to C Programming Language
Simplilearn
 
Featured (20)

NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA siku ya pili.pptx

  • 1. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI SUBSCRIBE
  • 2. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI Kwa Jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina Ewe mfanya miujiza Mtakatifu Rita wa Kashia. Naona njia ya maisha yako imejaa majaribu na miiba mingi inayochoma, ambayo nahofia imepasua moyo wako vipande SUBSCRIBE
  • 3. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI Ee Rita uliye kweli shahidi wa maumivu makali. Uliyeonja tone kwa tone, hadi ukamaliza kikombe chote cha maumivu makali. Nafikiria juu ya moyo wako uliochoka kabisa SUBSCRIBE
  • 4. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI Ninakugeukia na kumwomba Mungu kwa maombezi yako (hapa omba hitaji lako unalotaka kumwomba Mungu kupitia Mtakatifu Rita). SUBSCRIBE
  • 5. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI Wewe unajua maana ya moyo unaovuja damu. Unajua pia kifodini cha roho. Umeumizwa sana na kuteseka sana. Kwa njia ya mateso hayo nakuomba unisaidie katika mahangaiko yangu. SUBSCRIBE
  • 6. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI Je, si kweli kwamba wakati huu mgumu, Bwana wetu Yesu ametuandalia njia ya kujipatia neema; kupitia miujiza ambayo binadamu wanaweza kukuomba kwa matumaini na kwa maombezi yako wakafanikiwa? SUBSCRIBE
  • 7. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI Ee Mtakatifu mpenzi, iangalie roho iliyopondeka inayolia na kuhuzunika mbele yako. Ninakutumainia, Ee Mtakatifu Rita. Niombee kwa Yesu mbinguni ili nipate kupokea yote ninayomwomba Mungu kwa maombezi yako yenye nguvu. SUBSCRIBE
  • 8. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI Baba yetu ×3, Salamu Maria ×3, Atukuzwe Baba ×3. SUBSCRIBE
  • 9. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI Kwa njia ya Mtakatifu Rita, homa, madonda na tauni, viini vya maradhi mbalimbali, mapepo na ghadhabu vitoweke:- Unawasaidia vipofu, viziwi, bubu na viwete: watoto wanaomba sana na wafu wanarudishiwa uhai. SUBSCRIBE
  • 10. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI Kwa maombezi yako, radi, tetemeko la ardhi na moto havina nguvu. Kwa utakatifu wako mitego yote, hatari kubwa na vitisho vyote hutoweka:- Unawasaidia vipofu, viziwi, bubu na viwete: watoto wanaomba sana na wafu wanarudishiwa uhai. SUBSCRIBE
  • 11. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI Hispania wanakutangaza kuwa Mtakatifu wa mambo yaliyoshindikana. Watu wengi wanaimba sifa zako. Kashia hutukuza jina lako:- Unawasaidia vipofu, viziwi, bubu na viwete: watoto wanaomba sana na wafu wanarudishiwa uhai. SUBSCRIBE
  • 12. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI Kwa Mungu Mtakatifu na kwa Mwanae ziwe sifa, utukufu na heshima, sifa kwa karne zote za pendo la milele:- Unawasaidia vipofu, viziwi, bubu na viwete: watoto wanaomba sana na wafu wanarudishiwa uhai. SUBSCRIBE
  • 13. Kiongozi: Umemtia alama Ee Bwana, mtumishi wako Rita. Wote: Kwa mhuri wa upendo na mateso. SUBSCRIBE
  • 14. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI TUOMBE Ee Mungu, uliyekubali kumtawadha Mtakatifu Rita kwa neema, hata akakubali kuwapenda adui zake, hadi akapata rohoni mwake na katika paji la uso alama za upendo na mateso. SUBSCRIBE
  • 15. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI Tunakuomba kupitia maombezi yake, neema za kusamehe adui zetu na kutafakari maumivu ya mateso yako, ili tupate tuzo ulilotuahidia kwa wapole na wanaoteseka. Unayeishi na kutawala, daima na milele. Amina. SUBSCRIBE
  • 16. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA PILI Please! SUBSCRIBE Read on the description below