SlideShare a Scribd company logo
1 of 15
TANZANIA RANGELANDS STUDENTS’
ASSOCIATION (TRSA)
MADA: UHABA WA MALISHO
TANZANIA , NINI KIFANYIKE?
YALIYOMO
1. UTANGULIZI
2. SABABU ZA UHABA WA MALISHO
3. MATOKEO YA UHABA WA MALISHO
4. SULUHISHO LA UHABA WA MALISHO
5. HITIMISHO
UTANGULIZI
• Tanzania ni kati ya nchi zenye mifugo mingi
barani Afrika, ambapo kwa sasa inashika nafasi
ya 3 ikitanguliwa na Etiopia na Sudani Kusini.
• Aidha kwa mujibu wa takwimu toka wizara ya
Kilimo, Mifugo na Uvuvi, katika mwaka
2015/2016, idadi ya mifugo nchini inafikia
ng’ombe milioni 25.8 mbuzi milioni 17.1 na
kondoo milioni 9.2 (MLDF, 2015).
• Sekta ya Mifugo ni muhimu na inachangia
asilimia 6 ya pato la Taifa (FAO, 2016).
Utangulizi..
• Sekta hii inatoa ajira kwa watanzania wengi, pia mazao
ya mifugo kama vile nyama, ngozi, maziwa, nk. ni
vyanzo vya mapato kwa wafugaji ingawa uzalishaji wake
bado una changamoto mbalimbali.
• Mifugo hutumika kama benki inayotembea kwa wafugaji
ambapo husaidia wakati wa matatizo mbalimbali ya
kijamii na kifamilia kwa kuuza mifugo hiyo na kujipatia
kipato.
• Sekta hii inaweza kuwa na mchango mkubwa kama
rasilimali wezeshaji (inputs) zinapatikana kwa wakati
(mf. Malisho na dawa za mifugo). Hata hivyo bado kuna
uhaba mkubwa wa malisho nchini.
SABABU ZA UHABA WA MALISHO
• Katika kipindi cha hivi
karibuni Tanzania imekuwa
ikikabiliwa na uhaba wa
malisho ya mifugo.
• Uhaba huu wa malisho
umesababishwa na athari za
mabadiliko ya tabianchi
ambapo mvua za vuli
hazikunyesha maeneo mengi
ya nchi kwa wakati na
kupelekea ukame sehemu
nyingi.
SABABU ZA UHABA WA MALISHO
1. Maeneo ya malisho
kuonekana kama
maeneo ya wazi na
hivyo kuvamiwa na
watumiaji wengine
kama vile uwekezaji,
uhifadhi wa
wanyamapori, kilimo
n.k.
Uhaba wa malisho…
2. Kutokuwepo na mfumo wa kifugaji unaozingatia
matumizi bora ya machunga unapelekea uharibifu
wa mazingira na migogoro baina ya watumiaji wa
ardhi.
3. Kuongezeka kwa idadi ya mifugo na watu
ambapo vyote vinategemea ardhi ambayo
haiongezeki.
4. Kasi ndogo ya utekelezaji wa mipango ya
matumizi bora ya ardhi katika vijiji na kupelekea
kukosekana maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya
machunga.
Matokeo ya uhaba wa malisho
Uhaba huu wa malisho umepelekea wafugaji
kuhamahama na mifugo
Migogoro
Magonjwa
Ubora mdogo wa mazao ya mifugo
SULUHISHO LA UHABA WA MALISHO
• Serikali ifanye tathmini ya maeneo ya
machunga yaliyovamiwa na kuyarudisha yawe
maeneo ya machunga kama ilivyokusudiwa.
• Serikali kubainisha maeneo yote ya machunga
kuyapima na kuyasajili kisheria. Hii itasaidia
maeneo ya machunga kutovamiwa na watumiaji
wengine.
SULUHISHO…
• Tungependelea maeneo ya machunga yawe kama vile
hifadhi za wanyamapori ama misitu (Gazzeted areas).
• Kuwe na miundombinu wezeshi katika maeneo ya
machunga (visima virefu, mabwawa, majosho) ili
wafugaji waweze kupata huduma muhimu.
• Kuajiri wataalam wa usimamizi wa nyanda za malisho
kushauri juu ya uzalishaji na utunzaji wa malisho.
SULUHISHO……
• Kuanzisha mashamba ya malisho binafsi.Hii
itasaidia kupunguza msongamano wa mifugo
katika machunga yaliyo tengwa na Serikali.
• Kuelimisha wafugaji kuweka idadi ya mifugo
inayoendana na uwezo wa machunga (carrying
capacity). Hii itasaidia kutunza mazingira na
kuzalisha mazao ya mifugo yenye ubora.
Suluhisho…
• Kuelimisha wafugaji umuhimu wa kuhifadhi
malisho kwa ajili ya mifugo yao wakati wa
kiangazi.
• Kuwe na sheria ndogo za kulinda machunga ili
yasiendelee kuvamiwa kwa shughuli nyingine.
• Serikali na taasisi kuanzisha mashamba ya
mbegu ambayo yatazalisha mbegu za aina
mbalimbali yatakayouzwa kwa wahitaji.
HITIMISHO
• Sekta ya mifugo imeendelea kukabiliwa na
changamoto za kiuchumi, kisera, kijamii, na
mabadiliko ya tabianchi.
• Pamoja na uwepo wa sera na sheria za kisekta,
bado changamoto zilizotajwa hazijaweza
kutatuliwa.
• Sekta hii inahitaji kupewa kipaumbele ili
iweze kuchangia pato la taifa kwa kiwango
kinachostahili.
Hitimisho…
• Elimu zaidi inahitajika kwa wafugaji juu ya umuhimu
wa kugharamia kuzalisha malisho yenye tija.
• Wafugaji washauriwe kuthamini malisho kama mazao
mengine
• Ni vema wataalum wa usimamizi wa nyanda za
malisho waajiriwe ili waweze kutoa elimu stahiki ya
usimamizi na uendelezaji wa nyanda za malisho.
• Aidha wahitimu wawezeshwe na wadau mbalimbali wa
maendeleo kujiajiri katika uendelezaji wa malisho
nchini.
Asanteni kwa kunisikiliza
Naomba kutoa hoja…..

Mwaka wa pili

  • 1. TANZANIA RANGELANDS STUDENTS’ ASSOCIATION (TRSA) MADA: UHABA WA MALISHO TANZANIA , NINI KIFANYIKE?
  • 2. YALIYOMO 1. UTANGULIZI 2. SABABU ZA UHABA WA MALISHO 3. MATOKEO YA UHABA WA MALISHO 4. SULUHISHO LA UHABA WA MALISHO 5. HITIMISHO
  • 3. UTANGULIZI • Tanzania ni kati ya nchi zenye mifugo mingi barani Afrika, ambapo kwa sasa inashika nafasi ya 3 ikitanguliwa na Etiopia na Sudani Kusini. • Aidha kwa mujibu wa takwimu toka wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, katika mwaka 2015/2016, idadi ya mifugo nchini inafikia ng’ombe milioni 25.8 mbuzi milioni 17.1 na kondoo milioni 9.2 (MLDF, 2015). • Sekta ya Mifugo ni muhimu na inachangia asilimia 6 ya pato la Taifa (FAO, 2016).
  • 4. Utangulizi.. • Sekta hii inatoa ajira kwa watanzania wengi, pia mazao ya mifugo kama vile nyama, ngozi, maziwa, nk. ni vyanzo vya mapato kwa wafugaji ingawa uzalishaji wake bado una changamoto mbalimbali. • Mifugo hutumika kama benki inayotembea kwa wafugaji ambapo husaidia wakati wa matatizo mbalimbali ya kijamii na kifamilia kwa kuuza mifugo hiyo na kujipatia kipato. • Sekta hii inaweza kuwa na mchango mkubwa kama rasilimali wezeshaji (inputs) zinapatikana kwa wakati (mf. Malisho na dawa za mifugo). Hata hivyo bado kuna uhaba mkubwa wa malisho nchini.
  • 5. SABABU ZA UHABA WA MALISHO • Katika kipindi cha hivi karibuni Tanzania imekuwa ikikabiliwa na uhaba wa malisho ya mifugo. • Uhaba huu wa malisho umesababishwa na athari za mabadiliko ya tabianchi ambapo mvua za vuli hazikunyesha maeneo mengi ya nchi kwa wakati na kupelekea ukame sehemu nyingi.
  • 6. SABABU ZA UHABA WA MALISHO 1. Maeneo ya malisho kuonekana kama maeneo ya wazi na hivyo kuvamiwa na watumiaji wengine kama vile uwekezaji, uhifadhi wa wanyamapori, kilimo n.k.
  • 7. Uhaba wa malisho… 2. Kutokuwepo na mfumo wa kifugaji unaozingatia matumizi bora ya machunga unapelekea uharibifu wa mazingira na migogoro baina ya watumiaji wa ardhi. 3. Kuongezeka kwa idadi ya mifugo na watu ambapo vyote vinategemea ardhi ambayo haiongezeki. 4. Kasi ndogo ya utekelezaji wa mipango ya matumizi bora ya ardhi katika vijiji na kupelekea kukosekana maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya machunga.
  • 8. Matokeo ya uhaba wa malisho Uhaba huu wa malisho umepelekea wafugaji kuhamahama na mifugo Migogoro Magonjwa Ubora mdogo wa mazao ya mifugo
  • 9. SULUHISHO LA UHABA WA MALISHO • Serikali ifanye tathmini ya maeneo ya machunga yaliyovamiwa na kuyarudisha yawe maeneo ya machunga kama ilivyokusudiwa. • Serikali kubainisha maeneo yote ya machunga kuyapima na kuyasajili kisheria. Hii itasaidia maeneo ya machunga kutovamiwa na watumiaji wengine.
  • 10. SULUHISHO… • Tungependelea maeneo ya machunga yawe kama vile hifadhi za wanyamapori ama misitu (Gazzeted areas). • Kuwe na miundombinu wezeshi katika maeneo ya machunga (visima virefu, mabwawa, majosho) ili wafugaji waweze kupata huduma muhimu. • Kuajiri wataalam wa usimamizi wa nyanda za malisho kushauri juu ya uzalishaji na utunzaji wa malisho.
  • 11. SULUHISHO…… • Kuanzisha mashamba ya malisho binafsi.Hii itasaidia kupunguza msongamano wa mifugo katika machunga yaliyo tengwa na Serikali. • Kuelimisha wafugaji kuweka idadi ya mifugo inayoendana na uwezo wa machunga (carrying capacity). Hii itasaidia kutunza mazingira na kuzalisha mazao ya mifugo yenye ubora.
  • 12. Suluhisho… • Kuelimisha wafugaji umuhimu wa kuhifadhi malisho kwa ajili ya mifugo yao wakati wa kiangazi. • Kuwe na sheria ndogo za kulinda machunga ili yasiendelee kuvamiwa kwa shughuli nyingine. • Serikali na taasisi kuanzisha mashamba ya mbegu ambayo yatazalisha mbegu za aina mbalimbali yatakayouzwa kwa wahitaji.
  • 13. HITIMISHO • Sekta ya mifugo imeendelea kukabiliwa na changamoto za kiuchumi, kisera, kijamii, na mabadiliko ya tabianchi. • Pamoja na uwepo wa sera na sheria za kisekta, bado changamoto zilizotajwa hazijaweza kutatuliwa. • Sekta hii inahitaji kupewa kipaumbele ili iweze kuchangia pato la taifa kwa kiwango kinachostahili.
  • 14. Hitimisho… • Elimu zaidi inahitajika kwa wafugaji juu ya umuhimu wa kugharamia kuzalisha malisho yenye tija. • Wafugaji washauriwe kuthamini malisho kama mazao mengine • Ni vema wataalum wa usimamizi wa nyanda za malisho waajiriwe ili waweze kutoa elimu stahiki ya usimamizi na uendelezaji wa nyanda za malisho. • Aidha wahitimu wawezeshwe na wadau mbalimbali wa maendeleo kujiajiri katika uendelezaji wa malisho nchini.