SlideShare a Scribd company logo
1 of 17
SOKO LA MKONGE 
YUNUS A. MSSIKA and Laddy Swai* 
*Laddy Swai; ARI-Mlingano, Box 5088, Tanga, Tanzania 
Mobile phone: +255754921876 
JULAI, 2012**
YALIYOMO 
 Utangulizi 
 Uzalishaji wa Singa 
 Hali ya Soko la Mkonge 
 Nini kifanyike? 
 Hitimisho
1.0 UTANGULIZI 
Kilimo cha Mkonge kwa Wakulima wadogo ni 
moja ya mikakati ya Bodi ya Mkonge Tanzania 
katika kuhakikisha kuwa umiliki wa Sekta hii 
unakuwa mikononi mwa wa Tanzania walio 
wengi. 
Utekelezaji wake unazingatia sera na mikakati 
mbalimbali ya kitaifa na unalenga katika 
kuongeza uzalishaji na tija kwa Sekta ya Mkonge 
nchini na hivyo kupunguza umasikini.
2.0 UZALISHAJI MKONGE 
Tangu enzi za ukoloni na baada ya uhuru na hata sasa, 
uzalishaji na mauzo ya Mkonge nchini kwa kiasi kikubwa 
umekuwa ukitegemea wakulima wakubwa. 
Kwenye miaka ya 1960-70 Sekta ya Mkonge ilikuwa ni 
mhimili muhimu wa uchumi wa Tanganyika na baadaye 
Tanzania huru. 
Katika kipindi hicho, Sekta ilikuwa ikichangia zaidi ya 
65% ya uzalishaji na mauzo ya mazao ya biashara nje ya 
nchi.
UZALISHAJI…. 
Mfumo wa kwanza wa kilimo cha Mkonge kwa 
wakulima wadogo nchini ulianzishwa miaka ya 
1960 baada ya Azimio la Arusha katika kijiji cha 
Kabuku, wilaya ya Handeni. 
Mfumo huu ulidumu hadi miaka ya 1980 na ukafa 
kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa ni 
wananchi kutoandaliwa na kushirikishwa 
kikamilifu kulima Mkonge kupitia mfumo huu.
UZALISHAJI….. 
Baada ya muda mrefu kupita, mfumo wa kilimo cha Mkonge 
kwa wakulima wadogo nchini ulianzishwa tena mwaka 
1,998. 
Mfumo wa Kilimo cha wakulima wadogo nchini 
umegawanyika katika makundi mawili; .i.e kilimo cha 
Mkataba chini ya skimu ya SISO ( Sisal Smallholders and 
Outgrowers) na wakulima nje ya SISO. 
Kwa sasa kuna jumla ya wakulima wadogo 5,828 nchini.
3.0 HALI YA SOKO 
Hali ya soko la Mkonge duniani ni nzuri kutokana na 
ongezeko kubwa la mahitaji ya singa za Mkonge duniani 
kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa mpya kama Composite na 
masuala ya mazingira. 
Masoko ya Mkonge wa Tanzania ni Uchina, Saudi Arabia, 
Uingereza, Uhispania, Ujerumani,Nigeria, Kenya na 
Uganda. 
Hata hivyo, uzalishaji wetu bado ni mdogo kuweza kukidhi 
mahitaji hayo ya soko. 
Ongezeko hilo la mahitaji limesababisha kupanda kwa bei 
za madaraja ya singa za Mkonge kwenye soko la ndani na 
nje ya nchi. Mfano,bei ya singa za daraja la UG kwa sasa ni 
Dola1,400/tani ikilinganishwa na Dola 1,250/tani mwaka 
2011.
HALI YA SOKO…. 
Bei za Mkonge katika soko la dunia hupangwa na 
Umoja wa Wazalishaji wa Singa Ngumu Duniani 
(Inter-Govermental Group on Hard Fibre) ambao 
hukutana kila mwaka kujadili masuala mbalimbali 
yahusuyo maendeleo ya singa ngumu. 
Bei hizo hubadilika kutokana na hali ya soko la 
dunia ilivyo kwa kipindi husika.
HALI YA SOKO…. 
Mahitaji ya Mkonge ndani ya nchi ni makubwa 
ikilinganishwa na kiasi kinachozalishwa kwa sasa. 
Hali hii imesababisha kupanda kwa bei ya Mkonge 
kwenye soko la ndani ya nchi. 
Mathalani Bei elekezi ya Mkonge wa daraja la UG 
kwa sasa ni wastani wa Shilingi 1,900,000/tani. 
Wanunuzi wakubwa wa singa kwa soko la ndani ni 
viwanda vya kusokota kamba pamoja na makampuni 
na wafanyabiashara mbalimbali.
4.0 NINI KIFANYIKE……. 
Ili mkulima wa Mkonge aweza kunufaika na bei 
hizo nzuri za singa, hana budi kufuata kanuni 
bora za kilimo cha Mkonge zitakazomwezesha 
kuzalisha singa za daraja bora. 
Lengo liwe kupata singa za madaraja ya juu na 
hivyo kupata mapato zaidi na hatimaye kuboresha 
maisha yake.
5.0 CHANGAMOTO 
 Mitaji midogo 
 Uhaba wa Korona ndogo za kusindikia majani 
 Ukosefu kwa hati miliki kwa wakulima walio chini 
ya mfumo wa SISO 
 Uelewa mdogo wa mfumo wa ukadiriaji bei kwa 
kwa wakulima hususan walio chini ya mfumo wa 
SISO 
 Uhaba wa huduma za ugani kwa wakulima walio 
nje ya SISO
6.0 HITIMISHO 
Mkonge ni zao lenye matumizi mengi, kwenye nyanja 
mbalimbali kama katika kilimo, nishati, ujenzi, famasia, 
magari, meli, ndege,majumbani, ofisini na mazingira. 
Ni zao ambalo kwa sasa soko lake ni la uhakika na mwelekeo 
unaonesha litendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu ujao na 
hivyo kumuhakikishia mkulima kipato cha uhakika na kwa 
muda mrefu. 
Umuhimu wa zao la Mkonge kwa maendeleo ya nchi hasa 
maeneo ya vijijini, sasa na baadaye unapaswa kupewa 
kipaumbele kwani zao la Mkonge lina sifa za kustahimili hata 
kwenye maeneo ambayo mazao mengine hayawezi kustawi.
MKONGE KWENYE MAGARI
MKONGE KWA UJENZI WA NYUMBA 
BORA
KORONA NDOGO 
ILIYOBORESHWA
AHSANTENI KWA 
KUNISIKILIZA
Sisal Smallholders Farmers Training

More Related Content

Viewers also liked

Customer of the future
Customer of the futureCustomer of the future
Customer of the futuredanagendler
 
The future of connected retail
The future of connected retailThe future of connected retail
The future of connected retaildanagendler
 
Messenger kristen 3.3
Messenger kristen 3.3Messenger kristen 3.3
Messenger kristen 3.3spdgyrl1980
 
Trabajo final
Trabajo finalTrabajo final
Trabajo finalurena04
 
Mekanika lagrangian
Mekanika lagrangianMekanika lagrangian
Mekanika lagrangianReza Aditya
 
JASON DELONG ADV352 FINAL PROJECT
JASON DELONG ADV352 FINAL PROJECTJASON DELONG ADV352 FINAL PROJECT
JASON DELONG ADV352 FINAL PROJECTJason DeLong
 
La geopolitica como ciencia
La geopolitica como cienciaLa geopolitica como ciencia
La geopolitica como cienciaNancy Briceño
 
katherine mansfield
katherine mansfieldkatherine mansfield
katherine mansfieldrzan nather
 
파이썬 라이브러리로 쉽게 시작하는 데이터 분석
파이썬 라이브러리로 쉽게 시작하는 데이터 분석파이썬 라이브러리로 쉽게 시작하는 데이터 분석
파이썬 라이브러리로 쉽게 시작하는 데이터 분석Heekyung Yoon
 

Viewers also liked (11)

Customer of the future
Customer of the futureCustomer of the future
Customer of the future
 
The future of connected retail
The future of connected retailThe future of connected retail
The future of connected retail
 
Messenger kristen 3.3
Messenger kristen 3.3Messenger kristen 3.3
Messenger kristen 3.3
 
Trabajo final
Trabajo finalTrabajo final
Trabajo final
 
Mekanika lagrangian
Mekanika lagrangianMekanika lagrangian
Mekanika lagrangian
 
JASON DELONG ADV352 FINAL PROJECT
JASON DELONG ADV352 FINAL PROJECTJASON DELONG ADV352 FINAL PROJECT
JASON DELONG ADV352 FINAL PROJECT
 
La geopolitica como ciencia
La geopolitica como cienciaLa geopolitica como ciencia
La geopolitica como ciencia
 
katherine mansfield
katherine mansfieldkatherine mansfield
katherine mansfield
 
Ads Reality
Ads RealityAds Reality
Ads Reality
 
Manjunath Exp Resume
Manjunath Exp ResumeManjunath Exp Resume
Manjunath Exp Resume
 
파이썬 라이브러리로 쉽게 시작하는 데이터 분석
파이썬 라이브러리로 쉽게 시작하는 데이터 분석파이썬 라이브러리로 쉽게 시작하는 데이터 분석
파이썬 라이브러리로 쉽게 시작하는 데이터 분석
 

Sisal Smallholders Farmers Training

  • 1. SOKO LA MKONGE YUNUS A. MSSIKA and Laddy Swai* *Laddy Swai; ARI-Mlingano, Box 5088, Tanga, Tanzania Mobile phone: +255754921876 JULAI, 2012**
  • 2. YALIYOMO  Utangulizi  Uzalishaji wa Singa  Hali ya Soko la Mkonge  Nini kifanyike?  Hitimisho
  • 3. 1.0 UTANGULIZI Kilimo cha Mkonge kwa Wakulima wadogo ni moja ya mikakati ya Bodi ya Mkonge Tanzania katika kuhakikisha kuwa umiliki wa Sekta hii unakuwa mikononi mwa wa Tanzania walio wengi. Utekelezaji wake unazingatia sera na mikakati mbalimbali ya kitaifa na unalenga katika kuongeza uzalishaji na tija kwa Sekta ya Mkonge nchini na hivyo kupunguza umasikini.
  • 4. 2.0 UZALISHAJI MKONGE Tangu enzi za ukoloni na baada ya uhuru na hata sasa, uzalishaji na mauzo ya Mkonge nchini kwa kiasi kikubwa umekuwa ukitegemea wakulima wakubwa. Kwenye miaka ya 1960-70 Sekta ya Mkonge ilikuwa ni mhimili muhimu wa uchumi wa Tanganyika na baadaye Tanzania huru. Katika kipindi hicho, Sekta ilikuwa ikichangia zaidi ya 65% ya uzalishaji na mauzo ya mazao ya biashara nje ya nchi.
  • 5. UZALISHAJI…. Mfumo wa kwanza wa kilimo cha Mkonge kwa wakulima wadogo nchini ulianzishwa miaka ya 1960 baada ya Azimio la Arusha katika kijiji cha Kabuku, wilaya ya Handeni. Mfumo huu ulidumu hadi miaka ya 1980 na ukafa kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa ni wananchi kutoandaliwa na kushirikishwa kikamilifu kulima Mkonge kupitia mfumo huu.
  • 6. UZALISHAJI….. Baada ya muda mrefu kupita, mfumo wa kilimo cha Mkonge kwa wakulima wadogo nchini ulianzishwa tena mwaka 1,998. Mfumo wa Kilimo cha wakulima wadogo nchini umegawanyika katika makundi mawili; .i.e kilimo cha Mkataba chini ya skimu ya SISO ( Sisal Smallholders and Outgrowers) na wakulima nje ya SISO. Kwa sasa kuna jumla ya wakulima wadogo 5,828 nchini.
  • 7. 3.0 HALI YA SOKO Hali ya soko la Mkonge duniani ni nzuri kutokana na ongezeko kubwa la mahitaji ya singa za Mkonge duniani kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa mpya kama Composite na masuala ya mazingira. Masoko ya Mkonge wa Tanzania ni Uchina, Saudi Arabia, Uingereza, Uhispania, Ujerumani,Nigeria, Kenya na Uganda. Hata hivyo, uzalishaji wetu bado ni mdogo kuweza kukidhi mahitaji hayo ya soko. Ongezeko hilo la mahitaji limesababisha kupanda kwa bei za madaraja ya singa za Mkonge kwenye soko la ndani na nje ya nchi. Mfano,bei ya singa za daraja la UG kwa sasa ni Dola1,400/tani ikilinganishwa na Dola 1,250/tani mwaka 2011.
  • 8. HALI YA SOKO…. Bei za Mkonge katika soko la dunia hupangwa na Umoja wa Wazalishaji wa Singa Ngumu Duniani (Inter-Govermental Group on Hard Fibre) ambao hukutana kila mwaka kujadili masuala mbalimbali yahusuyo maendeleo ya singa ngumu. Bei hizo hubadilika kutokana na hali ya soko la dunia ilivyo kwa kipindi husika.
  • 9. HALI YA SOKO…. Mahitaji ya Mkonge ndani ya nchi ni makubwa ikilinganishwa na kiasi kinachozalishwa kwa sasa. Hali hii imesababisha kupanda kwa bei ya Mkonge kwenye soko la ndani ya nchi. Mathalani Bei elekezi ya Mkonge wa daraja la UG kwa sasa ni wastani wa Shilingi 1,900,000/tani. Wanunuzi wakubwa wa singa kwa soko la ndani ni viwanda vya kusokota kamba pamoja na makampuni na wafanyabiashara mbalimbali.
  • 10. 4.0 NINI KIFANYIKE……. Ili mkulima wa Mkonge aweza kunufaika na bei hizo nzuri za singa, hana budi kufuata kanuni bora za kilimo cha Mkonge zitakazomwezesha kuzalisha singa za daraja bora. Lengo liwe kupata singa za madaraja ya juu na hivyo kupata mapato zaidi na hatimaye kuboresha maisha yake.
  • 11. 5.0 CHANGAMOTO  Mitaji midogo  Uhaba wa Korona ndogo za kusindikia majani  Ukosefu kwa hati miliki kwa wakulima walio chini ya mfumo wa SISO  Uelewa mdogo wa mfumo wa ukadiriaji bei kwa kwa wakulima hususan walio chini ya mfumo wa SISO  Uhaba wa huduma za ugani kwa wakulima walio nje ya SISO
  • 12. 6.0 HITIMISHO Mkonge ni zao lenye matumizi mengi, kwenye nyanja mbalimbali kama katika kilimo, nishati, ujenzi, famasia, magari, meli, ndege,majumbani, ofisini na mazingira. Ni zao ambalo kwa sasa soko lake ni la uhakika na mwelekeo unaonesha litendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu ujao na hivyo kumuhakikishia mkulima kipato cha uhakika na kwa muda mrefu. Umuhimu wa zao la Mkonge kwa maendeleo ya nchi hasa maeneo ya vijijini, sasa na baadaye unapaswa kupewa kipaumbele kwani zao la Mkonge lina sifa za kustahimili hata kwenye maeneo ambayo mazao mengine hayawezi kustawi.
  • 14. MKONGE KWA UJENZI WA NYUMBA BORA