3. MalengoMahsusi
• Mwisho wa Madahii,kilaMwalimu Tarajali aweze:
i. Kuelezanafasi naUmuhimu waElimukatika jamii.
ii. Kuelezakwaninielimu imepewaumuhimu na
nafasi hiyo.
iii. Kuanisha maana yaUalimu naMwalimu.
iv. Kuainisha wajibuwa Mwalimu Muislamu katika
jamii.
20. “Soma kwa Jina la Mola wako aliyeumba.
Amemuumba mwanaadamu kwa pande la damu.
Inaendelea……
21. 7 Machi 2024
Soma, na Mola wako ni Karimu sana.
Ambaye amemfundisha (binaadamu
ilimu zote hizi) kwa wasita (msaada)
wa kalamu; (zilizoandika vitabu, watu
wakapata ilimu.
Inaendelea……
24. Na katika watu, na wanyama, na mifugo, pia
rangi zao zinakhitalifiana. Kwa hakika wanao
mcha Mwenyezi Mungu miongoni mwa waja
wake ni wale wataalamu”. Hakika Mwenyezi
Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe.
Inaendelea……
28. iv. Elimu hupandisha hadhi na daraja ya
Waumini.
“…Mwenyezi Mungu atawainua walio amini
miongoni mwenu, na walio pewa ilimu daraja
zajuu…”(58:11)
Inaendelea……
41. Ilituelewejukumu nanafasiyaMwalimukatikajamii nivema
tuzingatiehakikayakimaumbilekuwa:-
• Allah(s.w)ndiyemuumbaji wa kilakitu.
• Pamoja navipawavikubwavyaakilinaelimu
alivyotunukiwamwanaadamu, hanauwezowakuumba bali
hutengenezamaumbile ya Allah(s.w) kwakuyatoakatika
asiliyake(yaliyoumbiwa) nakuyabadilishakatikahali
ambayo yatamnufaisha (mwanaadamu).
DhimanaNafasiyaMwalimuMuislamukatikaJamii
65. 7 Machi 2024
b) Kuwaleanakuwasimamia wanafunziwaweze:
i. Kuwanayakini juuyaUislamu.
ii. Kutekeleza nguzozaUislamuvilivyo na
kuzihusianishanamaishayaoyakilasiku.
iii. KuutekelezaUislamukatikakukiendea kilakipengele
chamaishayaoyakilasiku.
iv. KuwanaarinahamasayakuutawalishaUislamu
katikajamii.
72. vi.AwenaSubira.
Maanahalisi yaSubiranikutendanakuendelea
kupambana naMadhila mbalimbali. Subiranikipengele cha
tabianjemachenyemaanapana.Miongonimwamaeneoya
subiraanayotakiwakuwanayoMwalimuMuislamuni.
I. Kuwanasubirakutokananamambo yatakayokupata.
II. Kutokuwanaharakayakupatamatundayaharaka.
III. NikatikasubiraMwalimuMuislamukubakia nauamuzi
wakemwemampakahatuayamwisho.
81. a) KutokuwanaElimuSahihi yaUislamu.
b) MfumowaElimuyaMazingirauliopo.
c) Mbinudunizakufundishia Elimuya
Mwongozozinazotumika.
d) TaasisinaMadhehebu.
CHANGAMOTOZINAZOWASIBUWALIMU
WAISLAMU