Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
Haya ndo maisha ya wabongo wa kizazi kipya
1.
2. utamaduni uliotukuza na kutulea ,utamaduni
tuliourithi kutoka kwa mababu zetu,sasa tumelewa
na tamaduni za kimaghUtandawazi ndo umetufikisha
hapa tulipo,wabongo tumepoteza aribi wapi
tunakenda??
3.
4. .Kwa hili ni lazima tujiulize swali……….je hali
hii inatokea kwasababu gani,je ni ukosefu wa
elimu ya kutosha juu ya Utandawazi hasa kwa
vijana?au ndo mwisho wa dunia umewadia?
5. .Wasanii wetu ndo wamekuwa kipaumbele kwa utunzi
wao unaochochea kuharibu utamaduni wetu wa
kiafrika kwa mfano utunzi ufuatao hauna maana kwa
utamaduni wetu…….
6. Kwa yote haya kweli tutafika,vijana walio
wengi wamekwisha athirika kutokana na
matumizi mabaya ya utandawazi………..je
wewe kwa upande wako unalionaje hili……..?