SlideShare a Scribd company logo
1 of 1
Download to read offline
TOWSF ni taasisi isiyo ya kiserikali
inayohudumia wajane na yatima katika
mikoa ya Tabora, Kigoma, Simiyu na
Shinyanga, ikiwa na ofisi zake pia katika
Kijiji cha Usinge, wilayani Kaliua mkoani
Tabora.
Imeanza kazi zake rasmi katika mikoa
hiyo ya Kanda ya Magharibi. Taasisi hii
ina makao yake makuu Mtaa wa Matokeo
Kigogo Luhanga, Dar es Salaam. Imesajiliwa
chini ya kifungu cha 12 (2) cha sheria No.
24 ya mwaka 2002 na kupewa usajili No.
00NGO/00006168. TOWSF imesajiliwa
tangu Februari, 2013.
Malengo ya TOWSF
Mosi, kuhamasisha jamii kutoa misaada ya
kielimu, kijamii na kimaadili kwa watoto
yatima, watoto wa mtaani na wajane. Mbili,
kujenga vituo vya ushauri juu ya mambo
mbalimbali yanayohusu maisha yao ya
kila siku. Na tatu, kuhamasisha wananchi
kushiriki katika shughuli za kijamii ili
kujiletea maendeleo.
Mambo yanayofanywa na taasisi
Mosi, kuhakikisha watoto yatima wote wa
Tanzaniawanasomashulekuanziachekechea
hadi chuo kikuu. Hili linatekelezwa kwa
kufanya yafuatayo 1. Kulipia ada za shule (2)
Kushona sare, (3) Vifaa vya kujifunzia.
Pili, kuhamasisha umma kujua kuwa
malezi kwa watoto yatima ni jukumu lao
kama wanajamii na si sahihi kuwatelekeza.
Tatu, kutoa mafunzo ya ufundi wa nguo
kwa cherehani na ufumaji, na mafunzo ya
ujasiriamali kwa wajane.
Nne, kutoa ushauri kwa makundi
haya ili yaweze kumudu changamoto
zinazowakabili. Ofisi za TOWSF Taasisi hii
imedhamiria kusogeza huduma zake vijijini,
hivyo imepanga kuwa na ofisi katika kila
kanda.
Ofisi Kuu Ofisi ya Kanda ya Magharibi
(Tabora, Shinyanga, Kigoma na Simiyu) .
Ofisi ya Kanda ya Mashariki (Dar es Salaam,
Pwani na Morogoro). Ofisi ya Kanda ya
Kaskazini (Tanga, Kilimanjaro, Arusha na
Manyara). Ofisi ya Kanda ya Kati (Dodoma
na Singida). Ofisi ya Kanda ya Kusini
(Mtwara, Lindi, na Ruvuma).
Ofisi ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
(Iringa, Mbeya, Rukwa, na Katavi). Ofisi ya
Kanda ya Ziwa (Mwanza, Mara, Geita na
Kagera).
Ofisi zilizoanza kazi
Ofisi kuu – Mtaa wa Matokeo Kata ya
Mabibo nyumba Na. MTK/408. Ofisi ya
Kanda ya Magharibi – kijijini Usinge Wilaya
ya Kaliua mkoani Tabora. Ofisi hii ipo Kijiji
cha Usinge Wilaya ya Kaliua Mkoa wa
Tabora.
Kazi zilizofanyika tangu kusajiliwa kwa
taasisi hii Februari mpaka sasa.
Kufungua ofisi (mbili) Ofisi Kuu na ofisi
ya Kanda ya Magharibi, Kufanya utambuzi
wa yatima na wajane katika Kata ya Usinge
Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora. Kuanza
kuhudumia yatima 200 na wajane 65 kutoka
vijiji vya Usinge, Luganjo, Maboha na Shela.
Kushona sare za shule kwa yatima hao 200
wa shule za msingi.
Mipango endelevu
Ni kuhakikisha taasisi inashirikiana na jamii
za vijijini kuboresha huduma za kijamii
zifuatazo:-
1) Afya itakayookoa vifo vingi vya mama
na mtoto vinavyopelekea kupatikana kwa
yatima wengi. Elimu – Ili kuwasaidia watoto
yatima waweze kuja kujitegemea na kuepuka
kuja kuwa janga la Taifa miaka ya mbele.
Maji- Jamii nyingi za vijijini zinateseka sana
na suala la maji safi ya kunywa.
Taasisi inashirikiana na jamii kuhakikisha
visima virefu vinachimbwa ili kuwaepushia
wananchi wa vijijini na mateso ya kukosa
maji.
Yatima Education Fund
Taasisi hii imezindua mfuko rasmi wa
elimu kwa watoto yatima wa Tanzania
ambao utawawezesha yatima wote kusoma.
Changamoto zilizopo
Uelewa mdogo wa jamii juu ya jukumu
la kuwalea watoto hawa yatima. Fedha za
kuendesha miradi mbalimbali ya taasisi
Ufadhili wa Taasisi.
Ombi kwa jamii
Ieleweke kuwa watoto yatima na wajane ni
watu kama wengine na wanastahili kupata
huduma stahiki. Iunge mkono taasisi
hii kwa hali na mali. Mwenye mchango
wake juu ya makundi hayo anakaribishwa
(TOWSF) misaada yote ya vitu vya kijamii
inapokelewa mfano: Nguo, chakula, sabuni,
mafuta, pesa nk.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa
anuani zifuatazo:- P.O. Box 67620, Dar es
Salaam.
Mob: 0652 – 600700 / 0763 261711.
E-mail: info@towsf.or.tz Website: www.
towsf.
TOWSF: Mkombozi wa yatima
na wajane iliyoanzia Usinge

More Related Content

Featured

Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie InsightsSocial Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Kurio // The Social Media Age(ncy)
 

Featured (20)

AI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdf
AI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdfAI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdf
AI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdf
 
Skeleton Culture Code
Skeleton Culture CodeSkeleton Culture Code
Skeleton Culture Code
 
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
 
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
 
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
 
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie InsightsSocial Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
 
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
 
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
 
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
 
Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next
 
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search IntentGoogle's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
 
How to have difficult conversations
How to have difficult conversations How to have difficult conversations
How to have difficult conversations
 
Introduction to Data Science
Introduction to Data ScienceIntroduction to Data Science
Introduction to Data Science
 
Time Management & Productivity - Best Practices
Time Management & Productivity -  Best PracticesTime Management & Productivity -  Best Practices
Time Management & Productivity - Best Practices
 
The six step guide to practical project management
The six step guide to practical project managementThe six step guide to practical project management
The six step guide to practical project management
 
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
 
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
 
12 Ways to Increase Your Influence at Work
12 Ways to Increase Your Influence at Work12 Ways to Increase Your Influence at Work
12 Ways to Increase Your Influence at Work
 
ChatGPT webinar slides
ChatGPT webinar slidesChatGPT webinar slides
ChatGPT webinar slides
 
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike RoutesMore than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
 

TOLEO MAALUM MKOA WA TABORA

  • 1. TOWSF ni taasisi isiyo ya kiserikali inayohudumia wajane na yatima katika mikoa ya Tabora, Kigoma, Simiyu na Shinyanga, ikiwa na ofisi zake pia katika Kijiji cha Usinge, wilayani Kaliua mkoani Tabora. Imeanza kazi zake rasmi katika mikoa hiyo ya Kanda ya Magharibi. Taasisi hii ina makao yake makuu Mtaa wa Matokeo Kigogo Luhanga, Dar es Salaam. Imesajiliwa chini ya kifungu cha 12 (2) cha sheria No. 24 ya mwaka 2002 na kupewa usajili No. 00NGO/00006168. TOWSF imesajiliwa tangu Februari, 2013. Malengo ya TOWSF Mosi, kuhamasisha jamii kutoa misaada ya kielimu, kijamii na kimaadili kwa watoto yatima, watoto wa mtaani na wajane. Mbili, kujenga vituo vya ushauri juu ya mambo mbalimbali yanayohusu maisha yao ya kila siku. Na tatu, kuhamasisha wananchi kushiriki katika shughuli za kijamii ili kujiletea maendeleo. Mambo yanayofanywa na taasisi Mosi, kuhakikisha watoto yatima wote wa Tanzaniawanasomashulekuanziachekechea hadi chuo kikuu. Hili linatekelezwa kwa kufanya yafuatayo 1. Kulipia ada za shule (2) Kushona sare, (3) Vifaa vya kujifunzia. Pili, kuhamasisha umma kujua kuwa malezi kwa watoto yatima ni jukumu lao kama wanajamii na si sahihi kuwatelekeza. Tatu, kutoa mafunzo ya ufundi wa nguo kwa cherehani na ufumaji, na mafunzo ya ujasiriamali kwa wajane. Nne, kutoa ushauri kwa makundi haya ili yaweze kumudu changamoto zinazowakabili. Ofisi za TOWSF Taasisi hii imedhamiria kusogeza huduma zake vijijini, hivyo imepanga kuwa na ofisi katika kila kanda. Ofisi Kuu Ofisi ya Kanda ya Magharibi (Tabora, Shinyanga, Kigoma na Simiyu) . Ofisi ya Kanda ya Mashariki (Dar es Salaam, Pwani na Morogoro). Ofisi ya Kanda ya Kaskazini (Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara). Ofisi ya Kanda ya Kati (Dodoma na Singida). Ofisi ya Kanda ya Kusini (Mtwara, Lindi, na Ruvuma). Ofisi ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Iringa, Mbeya, Rukwa, na Katavi). Ofisi ya Kanda ya Ziwa (Mwanza, Mara, Geita na Kagera). Ofisi zilizoanza kazi Ofisi kuu – Mtaa wa Matokeo Kata ya Mabibo nyumba Na. MTK/408. Ofisi ya Kanda ya Magharibi – kijijini Usinge Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora. Ofisi hii ipo Kijiji cha Usinge Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora. Kazi zilizofanyika tangu kusajiliwa kwa taasisi hii Februari mpaka sasa. Kufungua ofisi (mbili) Ofisi Kuu na ofisi ya Kanda ya Magharibi, Kufanya utambuzi wa yatima na wajane katika Kata ya Usinge Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora. Kuanza kuhudumia yatima 200 na wajane 65 kutoka vijiji vya Usinge, Luganjo, Maboha na Shela. Kushona sare za shule kwa yatima hao 200 wa shule za msingi. Mipango endelevu Ni kuhakikisha taasisi inashirikiana na jamii za vijijini kuboresha huduma za kijamii zifuatazo:- 1) Afya itakayookoa vifo vingi vya mama na mtoto vinavyopelekea kupatikana kwa yatima wengi. Elimu – Ili kuwasaidia watoto yatima waweze kuja kujitegemea na kuepuka kuja kuwa janga la Taifa miaka ya mbele. Maji- Jamii nyingi za vijijini zinateseka sana na suala la maji safi ya kunywa. Taasisi inashirikiana na jamii kuhakikisha visima virefu vinachimbwa ili kuwaepushia wananchi wa vijijini na mateso ya kukosa maji. Yatima Education Fund Taasisi hii imezindua mfuko rasmi wa elimu kwa watoto yatima wa Tanzania ambao utawawezesha yatima wote kusoma. Changamoto zilizopo Uelewa mdogo wa jamii juu ya jukumu la kuwalea watoto hawa yatima. Fedha za kuendesha miradi mbalimbali ya taasisi Ufadhili wa Taasisi. Ombi kwa jamii Ieleweke kuwa watoto yatima na wajane ni watu kama wengine na wanastahili kupata huduma stahiki. Iunge mkono taasisi hii kwa hali na mali. Mwenye mchango wake juu ya makundi hayo anakaribishwa (TOWSF) misaada yote ya vitu vya kijamii inapokelewa mfano: Nguo, chakula, sabuni, mafuta, pesa nk. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa anuani zifuatazo:- P.O. Box 67620, Dar es Salaam. Mob: 0652 – 600700 / 0763 261711. E-mail: info@towsf.or.tz Website: www. towsf. TOWSF: Mkombozi wa yatima na wajane iliyoanzia Usinge