1. NUKUU ZA MWALIMU
KIDATOCHA TATU
MADA KUU: MAENDELEO YA KISWAHILI
MADA NDOGO:KUKUA NA KUENEA KWA KISWAHILIENZIYA WAARABU
UTANGULIZI
Historiafupi katikakipindichaWaarabu
Waarabu walifikakatikaupwawaAfrikaMashariki katikakarne ya19 wakiwanalengolakufanya
biasharaya watumwapamojana kutafutapembe zandovu.Walipofikakatikaupwahuowalikaribishwa
na wenyeji waowaliowafundishalughayaoyakibantuiliyojulikana kamaKiswahili,hivyokusaidiakukua
kwa lughahii.Yasadikikawenyejihaondiowaenezaji walughayaKiswahili nasioWaarabukwani ndio
walioongozamisafarayaWaarabukutokasehemuzapwani hadi bara na hivyokukisambazaKiswahili
katikamaeneombalimbali waliokuwawakiyazurukwalengolakufanyabiashara.
Hivyosababu zilizopelekeakukuanakueneakwalughaya Kiswahili katikakipindi chaWaarabunchini
Tanganyikani kama zifuatazo;
Sualala biashara,WaarabuwalipofikapwaniyaAfrikayaMashariki kwa lengolakufanyabiashara
walijifunzalughayaKiswahili kutokakwawenyeji waohivyokusaidiakukuakwalughahii,nakatika
misafarayao kutokapwani hadi bara iliyoongozanawenyeji waoilisaidiakueneakwalughahii kwa
kuwawenyeji waowalisaidiakukienezaKiswahilikatikamaeneombalimbaliwaliokuwawakiyazurukwa
lengolakufanyabiashara.
Katikakipindi chautawalawaSultanwa UngujaaliyetawalavisiwavyaUngujanaPembana baadaye
akapewamaili kumi kutokaufukowabahari yaTanganyikana Kenyaalisaidiakukuanakueneakwa
lughaya Kiswahilikwani alihimizamatumizi yalughayalughaya Kiswahilikamalugharasmi katika
kipindi chautawalawake.
Piakatikasualala dini Waarabu walijifunzalughayaKiswahiliili wawezekuenezadini yaokwaurahisi
hali iliyopelekeaKiswahili kutumikakuanziangazi yamadrasahadi ngazi ya juu pamojana
kutafsiri,kufasili nakufafanuaayambalimbali zaKuruani kwaKiswahili.kutokananahali hiyoKiswahili
kilipatamashikonakueneakwaharakakatikamaeneombalimbalinchini Tanganyikaambapodini ya
kiislamuilihubiriwa.
MASWALI
1.Jadili sababuzilizopelekeaWaarabukufikakatikaupwawapwani waAfrikamashariki katikakarne ya
19.
2.Jadili maanaya kukuana kueneakwalughaya Kiswahili
3.Jadili sababuzilizopelekeakukuanakueneakwalughayaKiswahili katikakipindi chaWaarabu
2. nchini Tanganyika
CHUO KIKUU CHA DAR-ES-SALAM
SHULE YA ELIMU
IDARA YA SAIKOLOJIA NA MAFUNZOYA MITAALA
CT:106 MBINU ZA UJIFUNZAJI LUGHA