2. KaribuSMS ni nini?
KaribuSMS ni programu inayokuunganisha na wateja
wako wa kweli na kuwafahamisha kirahisi kuhusu
huduma/bidhaa zako
3. Nini KaribuSMS inaweza
kukufanyia
• Kufuatilia miamala yako pamoja na SMS zote
• Kuhifadhi namba zote za wateja wako kwa urahisi
wa kuzifikia
• Kutuma kwa urahisi ujumbe mfupi wa maneno kwa
wateja wako
4. simu ya mkononi
Sajili biashara yako
Tuma ujumbe mfupi “KARIBU SAJILI JINALABIASHARA”
kwenda 15573. Utapata ujumbe mfupi wa kuhakiki
kwamba umefanikiwa kujiunga na KaribuSMS
5. Sajili wateja wako
Tuma ujumbe mfupi “KARIBU NUMBER
0715XXXXXX,0758XXXXXX, 0687XXXXXX “ kwenda
15573 kusajili namba za wateja wako
6. Alika zaidi wateja
Alika wateja zaidi waungane na biashara yako kwa
kutuma ujumbe mfupi
“KARIBU JINALABIASHARAYAKO“ kwenda 15573
7. Lipia kwa m-pesa
Lipia SMS ulizonunua kwa kutuma fedha kwenda
0714 825 469. Baada ya kupata ujumbe mfupi
kutoka M-Pesa, tuma tarakimu 8 au 9 za kwanza kwa
kuandika ujumbe mfupi “KARIBU MPESA MALIPO
Tarakimu8“ kwenda 15573
8. Lipia kwa tigo-pesa
Lipia SMS ulizonunua kwa kutuma pesa kwenda
namba 0714 825 469. Baada ya kupata ujumbe wa
muamala toka Tigo-Pesa, tuma
tarakimu(transactionID/kumbukumbu no) kwa
kuandika “KARIBU TIGOPESA MALIPO “ikifuatiwa na
kumbukumbu no kwenda 15573
9. ::Baada ya kukamilisha malipo, utapata ujumbe mfupi
wenye idadi ya SMS zilizo katika akaunti yako
10. Urahis wa kutuma
ujumbe mfupi kwa wateja
Tuma ujumbe mfupi wenye neno “KARIBU“ ukifuatiwa
na ujumbe ambao ungependa uwafikie wateja wako
kwenda 15573
11. Je,wahitaji kufahamu zaidi au una swali lolote?
Wasiliana nasi
Barua pepe: info@karibusms.com
Simu namba: +255 714 825 469
Tovuti: www.karibusms.com