SlideShare a Scribd company logo
1 of 12
MAENDELEO YA KISWAHILI
Kiswahili ni lugha inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki. Lugha
hii ina utajiri mkubwa wa misamiati, misemo, mithali, mashairi, mafumbo, vitendawili na
nyimbo. Kiswahili hutumika mashuleni, katika mawasiliana na kuna vitabu vingi
vilivyotungwa kwa kutumia lugha hiyo, vikiwa pamoja na vile vya hadithi, hekaya au
riwaya.
Lugha ilianza takriban miaka 800-1000 iliyopita katika pwani ya Afrika Mashariki.Wakazi
wa Pwani hii waliokuwa wasemaji wa lugha za Kibantu tofauti tofauti mfano;
kisukuma, kihaya, kijita, kikurya, kimakonde, kingoni, kihehe, kizigua, kibena
n.k.katika shughuli mbalimbali kama biashara ambazo zilikuwa zikiwakutanisha watu
hawa wakiwa wanaozungumza lugha tofauti tofauti, iliwabidi waweze kuchukua
msamiati mbalimbali kutoka katika lugha zao ili waweze kuwasiliana katika shughuli
zao. Walipopokea maneno mengi hasa ya Kibantu katika mawasiliano yao, ikachangia
kuwa msingi wa Kiswahili ni sarufi na msamiati wa Kibantu.
Kwakua tumeona kuwa Kiswahili ni lugha sasa basi, lugha nini?
Lugha ni sauti za nasibu zilizo katika mpangilio maalumu na zilizo kubaliwa na jamii ya
watu zitumike kama chombo cha mawasiliano.
Au
Ni mfumo wa sauti za nasibu za kusemwa zinazotumiwa na watu wa jamii fulani wenye
utamaduni unaofanana kwa madhumuni ya mawasiliano katika jamii hiyo.
Au
Katika kamusi ya kiswahili sanifu TUKI 1981 oxford press uk. 86, inafafanua kuwa
lugha ni mfumo wa sauti nasibu ambazo hutumiwa na jamii kwa madhumini ya
mawasiliano kati yao.
Sifa / tabia za lugha.
(a)Lugha huzaliwa.
Lugha huzaliwa kutokana na mwingiliana kati ya lugha mbili au zaidi nakutengeneza
lugha moja. Kwa mfano lugha ya Kiswahili imetokana na mwingiliano wa lugha
mbalimbali za kibantu.
(b)Lugha hukua.
Lugha hukuwa kutokana na kuongezeka kwa msamiati mbalimbali ambayo hutumiwa
katika lugha husika katika shughuli mbalimbali.
(c)Lugha huathiliwa.
Lugha huathiliwa kutokana na mwingiliano wa lugha mbili tofauti na kusababisha
ukiukwaji wa kanuni na matumizi sahihi ya lugha mojawapo. Kwamfano Kiswahili
kinaweza kuathiliwa na kiingeleza pale ambapo mtumiaji au watumiaji wanapochangaya
maneno ya kiingereza katika Kiswahili, pia kutumia sarufi ya lugha ya kiingereza pindi
atumiapo lugha ya Kiswahili.
(d)Lugha hufa.
Lugha hufa kutokana na kukosekana kwa msamiati wa lugha husika.
(e)Lugha ina ubora.
Ubora wa lugha hupatikana kwa watumiaji wa lugha yenyewe. Kwa mfano,kiwahili
kinaubora kwa Wakazi wa Afrika Mashariki kwasababu ndio watumiaji wa lugha hiyo.
(f)Lugha ni sauti za kusemwa na binadamu.
Mwanadamu hutumia alama za sauti kimsingi hakuna kiumbe ambacho si binadamu
kinachoweza kuzunghumza lugha.
CHIMBUKO LA LUGHA YA KISWAHILI.
Chimbuko ni asili ya kitufulani, tunaposema chumbuko la lugha ya kiswahili tunaangalia
asili ya lugha ya kiswahili. Yawezekana kabisa kuwa kila jamii inahistoria yake jinsi
lugha yake ilivyozuka, vivyo hivyo hata kiswahili kina asili yake kamaifuatavyo:
KISWAHILI NI KIKONGO, katika hoja hii tunaona kuwa hapo zamani Pwani ya Afrika
Mashariki ilikuwa ombwe (hapakuwa na kitu) wakongo walifika wakiwa katika misafara
yao na kuweka kambi kisha makazi. Baada ya wakongo hawa kuwa na makazi
imegundulika kuwa lugha iliyokuwa ikizungumzwa ilihusiana na lugha ya Kiswahili.
Katika hoja hii tunapata ukakasi unaosababisha tushindwe kupata uthibitisho
wakisayansi unaoonesha kuwa kiswahili nikikongo.
KISWAHILI NI LUGHA YA VIZALIA, Vizalia ni watoto ambao walitokana baada ya
mwingiliano wa wanawake wa Afrika mashariki na waarabu waliokuwa wakifika Pwani
ya Afrika Mashariki kwa madhumuni ya kufanya biashara. Baada ya mwingiliano huo
walioaona na kuzaa watoto ambao walichukuwa baadhi ya maneno (misamiati) kutoka
kwa Baba zao na kwa Mama zao kisha kutumia katika mawasiliano na kuwa lugha moja
iliyojulikana kama lugha ya vizalia.
KISWAHILI NI PIJINI, wakazi wa afrika Mashariki waliingiliana na Waarabu
waliofika kwa ajili ya biashara zao wakakuta lugha inayozungumzwa ni tofauti na lugha
yao ndipo ilipozuka lugha ya Kiswahili kwa kuchukua maneno kutoka katika lugha zote
mbili na kuunda lugha moja ambayo ni pijini ambayo waliitumia katika mawasiliani yao.
Kwakua lugha hii ilikuwa ikitumiwa na wakazi hawa ilionekana kuwa ndilo chimbuko la
kaswahili, lakini hoja hii inakosa mashiko kwani inatupatia uthibitisho wa nadharia
pekee hatujapata uthibitisho wa kisayansi unaoonesha kuwa pijini ndilo chimbuko la
kiswahili.
KISWAHILI NI KRIOLI, hii ni pijini iliyokomaa. Baada ya pijini kuendelea kutumika
na watumiaji wake na kuwa lugha Mama ya jamii husika huitwa krioli.
KISWAHILI NIKIARABU, kuna thibitisho mbalimbali ambazo zinathibitisha kuwa
Kiswahili kimetokana na lugha ya kiarabu, uthibitisho huo ni:
 Kutokana na neno lenyewe KISWAHILI neno hili limetokana na neno la kiarabu
“sahili” umoja na wingi wake ni “Swahili” lenye maana ya Pwani ya Afrika
mashariki. Kwakua neno hili ni lakiarabu na warabu walifika Pwani ya Afrika
Mashaiki kwaajili ya biashara zao ikathibitiashwa kuwa kiswahili asili yake ni
kiarabu.
 Kiswahili kilitumika katika dini ya kiislam, baada ya Waarabu kufika uwanda wa
Pwani ya Afrika mashariki kuendesha biashara zao pia walikuja kueneza dini
ambayo ni kiislamu. Dini hiyo ilienezwa kwa lugha ya kiswahili kwa wakazi wa
Pwani. Kufuatia kuenea kwa dini hiyo ikachangia kueneza lugha ya kiswahili na
kuthihirika kuwa kiswahili chimbuko lake ni kiarabu.
 Baadhi ya maneno yaliyomo na yanayotumika katika lugha ya Kiswahili ni ya
kiarabu. Kwamfano maneno kama siri, gati, sukari nk, maneno haya yanatumika
katika lugha ya kiswahili na nimisamiati sanifu. Inakadiliwa kuwa lugha ya
kiarabu inamaneno asilimia 31 katika lugha ya Kiswahili ambayo hutumika katika
muktadha mbalimbali. Kutokana na uthibitisho huo inadhihilishwa Kiswahili ni
kiarabu.
KISWAHILI NI KIBANTU
Neno KIBANTU limetokana na neno BANTU maana yake ni WATU. Wabantu hupatikana
Afrika haswa Afrika mashariki na kati ikihusisha mataifa kama Tanzania, Rwanda,
Burundi, Kongo, Kenya n.k
Tunaposema kiswahili ni kibantu ina maana kuwa, lugha ya kiswahili ni lugha ambayo
imetokana na muunganiko wa misamiati ya lugha za makabila mbalimbali
yanayopatikana afika mashariki na kati, kwamfano Kisukuma, kihaya, kijita, kingoni
kihehe na n.k.
Dhana hii imeonekana kuwa na mashiko na kuweza kutoa udhibitisho wakisayansi
unaothihilisha asili ya kiswahili nikibantu, yaani kimetokana na muunganiko wa
misamiati kutoka katika lugha mbalimbali. Ili kuthibitisha hoja hii kunauthibitishoi wa
KIISIMU na ule wa KIHISTORIA
USHAHIDI WA KIISIMU.
Isimu ni sayansi ya lugha. Tunaposema sayansi ya lugha ni jinsi ambavyo lugha
ilivyopangiliwa ki muundo, kimatamshi, kimaana na kimtindo.
Tutaendelea kutazama kwanini tunasea Kiswahili ni kibantu usikose……………………….!!
Kukua na kuenea kwa kiswahili wakati wa ukoloni
Wakoloni na ukoloni Afrika Mashariki
Katika karne ya kumi na tisa Afrika Mashariki iliingia kwenye mahusiano na mataifa
mengine kama vile Marekani, Ujerumani na Uingereza. Mahusiano haya ni baada ya
watu wa pwani kuwa na uhusiano wa muda mrefu wa kibiashara na Waaarabu, hawa
waliweka athari kubwa katika kukua na kuenea kwa lugha ya Kiswahili. Wageni kutoka
Ulaya walipoingia Afrika Mashariki walifanya biashara, shughuli za kidini (mishenari),
elimu na utawala. Kama ilivyokuwa katika kipindi cha Waarabu, uwepo wao pia ulikuwa
na athari katika maendeleo ya lugha ya Kiswahili Afrika Mashariki na kwingineko.
Maendeleo ya Kiswahili kipindi cha waarabu
Waarabu hasa katika pwani ya Afrika Mashariki walifanya biashara ikiwemo biashara ya
watumwa. Ilikuwepo misafara mbali mbali ya biashara kutoka pwani hadi bara. Katika
misafara hiyo Kiswahili ndio ilikuwa lugha ya mawasiliano hivyo Kiswahili kikaenea pia
katika sehemu za bara. Kuna mambo kadhaa waliyofanya waarabu ambayo yalichangia
kukua kwa lugha ya Kiswahili. Waarabu walichangia kukua kwa lugha ya Kiswahili kama
ifuatavyo:
Biashara: Waarabu walifanya biashara kati ya pwani na sehemu za bara, katika
biashara yao walichangia kwa kiasi kikubwa uenezaji wa lugha ya Kiswahili. Lugha kuu
ya mawasiliano na ya kibiashara iliyotumiwa na wafanya biashara wa kiarabu ilikuwa ni
Kiswahili, kwa hiyo kwa njia hii waliweza kueneza Kiswahili kuanzia pwani hadi maeneo
ya bara kama vile Tabora, Kigoma hadi mashariki mwa Kongo.
Dini: Dini pia ni jambo ambalo liliweza kuchangia ueneaji wa lugha ya Kiswahili enzi za
waarabu. Waarabu walipokuja walitaka kueneza dini yao kwa undani kabisa. Kwa hivyo
iliwabidi kuanzisha madarasa ambayo walitumia kufundishia, lugha iliyokuwa ikitumiwa
ni lugha ya Kiswahili. Na hivyo hii ikasaidia kuenea kwa lugha ya Kiswahili.
Maandishi ya kiarabu: Waarabu pia walileta hati zao zilizotumiwa katika maandishi
ya lugha ya Kiswahili. Kwa hiyo kupitia hati za kiarabu maandishi mbalimbali ya lugha
ya Kiswahili yaliweza kuhifadhiwa, hivyo Kiswahili kiliweza kukua kwa vile kingeweza
kuhifadhiwa katika maandishi na kusomwa wakati wowote.
Kuoana:
Pia vilevile Waarabu waliofika pwani waliweza kuoana na wabantu, hii ilisababisha kizazi
kipya kutokea. Na kwa sababu hiyo watoto walichukua maneno mengi kutoka kwa
baba na mama yao na hivyo kuongeza msamiati katika lugha Kiswahili.
Maendeleo ya Kiswahili kipindi cha wajerumani
Wajerumani waliingia katika pwani ya Afrika Mashariki katika miaka ya 1875, walifanya
kila jitihada kuwatawala Waafrika ambapo katika utawala wao walifanya biashara,
waliendesha shughuli za kiutawala, za kidini na kielimu. Katika shuguli zote hizo
Kiswahili ndio ilikuwa lugha ya mawasilino hivyo kukikuza na kukiendeleza Kiswahili.
Walipongia katika pwani ya Afrika Mashariki walikuta Kiswahili kimekwisha enea kwa
kiasi kikubwa. Kuna mambo waliyoyafanya ambayo yalisaidia kukua na kuenea kwa
Kiswahili kama ifuatavyo:
Kutoa mafunzo ya lazima ya lugha ya Kiswahili kwa wafanya kazi wa serikali
Waliwalazimisha wafaanyikazi wote wa serikali kujifunza kiswashili, kwa sababu sheria
ilikuwa ni kwamba pasipojua Kiswahili huwezijiriwa katika serekali ya mjerumani. Kwa
hiyo saula hili lilisababisha watu kujifunza lugha ya Kiswahili ili waweze kuajiriwa.
Wafanyakazi ambao ilikuwa ni lazima wajifuze Kiswahili ni pamona na maakida.
Wajerumani wenyewe walilazimika kujifunza kiswahili ili waweze kuwasiliana na
wenyeji kwa urahisi na hivyo kurahisisha shuguli zao za kiutawala.
Ujenzi wa shule
Shule zilifunguliwa kufundisha watu weusi ili waje wawe wasidizi wao katika utawala wa
wajerumani, na lugha iliyokuwa ikitumika kufundisha masomo ilikuwa ni lugha ya
Kiswahili.
Kuenea kwa utawala wa Wajerumani nchi nzima
Utawala wa wajerumani ulikuwa kwenye kila kona ya nchi. Na kwa kuwa wafanya kazi
wa serikali ya wakati huo ilikuwa ni lazima wafahamu Kiswahili, kwa hiyo kila sehemu
palipokuwa na ofisi za serikali nchi nzima kulizungumzwa Kiswahili.
Shughuli za kiuchumi
Pia katika shuguli za mashamba, wajerumani walichukua vibarua kutoka sehemu
mbalimbali za nchi, na kwa kuwa kila mmoja alikuwa na lugha yake tofauti, kwa hiyo
lugha pekee iliyowaunganisha katika mawasiliano kwenye eneo la kazi ilikuwa ni
Kiswahili.
Kwa hiyo kutokana na sababu kwamba utawala wa kijerumani ulitoa msukumo mkubwa
katika matumizi ya lugha ya Kiswahili kwenye shughuli zao za kiutawala, hivyo suala la
ueneaji wa Kiswahili lisingeepukika.
http://www.shuledirect.co.tz/notes/view_notes/74
Mambo yaliyosaidia ukuaji wa Kiswahili enzi za utawala wa Waingereza
Waingereza walipochukua koloni la Tanganyika kutoka kwa Wajerumani walikuta
Kiswahili kimeimarika na kinatumika katika maeneo mengi ya nchi. Kwa kuwa nao
walihitaji kutawala hawakupuuzia matumizi ya Kiswahili katika utawala wao japo
hawakutumia Kiswahili kwa lengo la kukikuza lakini walijikuta wanakieneza na kukikuza
bila ya wao kukusudia.
Waingereza walitumia Kiswahili kama nyenzo ya kusaidia shughuli zao za kiutawala.
Hata hivyo kuna mambo waliyofanya waingereza yaliyosaidia kukua na kuenea kwa
Kiswahili, mambo hayo ni kama yafuatayo:
Shuguli za kiuchumi
Shuguli za kiuchumi wakati wa Waingereza zilihusisha kilimo na biashara. Kwa upande
wa klimo, Waingereza waliendesha kilimo cha mazao mbalimbali, na walitumia mfumo
wa kuajiri vibarua kutoka sehemu mbalimbali za nchi. Vibarua hao walijulikana kwa jina
la manamba.
Katika mkusanyiko wa vibarua hawa waliokuwa na usuli wa makabila tofautitofauti,
lugha pekee iliyoweza kuwaunganisha ni Kiswahili ikizingatiwa kwamba Kiswahili
kiliteuliwa kuwa lugha rasimi katika mawasiliano ya kiutawala. Walilazimika kuzungumza
Kiswahili kwani bila hivyo mawasiliano yasingeweza kufanyika kwa urahisi.
Hata hivyo kupitia shuguli za kilimo maneno mapya ya Kiswahili yaliweza kuzaliwa, kwa
mfano: yadi, belo, belingi, bani, mtama n.k, kwa hiyo kupitia shughuli hizi Kiswahili
kilizidi kukua.
Shuguli za kiutamaduni
Shughuli hizi ni kama vile uigizaji wa tamthiliya za kigeni, uchezaji wa mziki wa kigeni
hususani twisti. Tamthiliya za kigeni zilikuwa zikiigizwa majukwaani kwa lugha ya
Kiswahili na hivyo ikasaidia kukua kwa msamiati wa Kiswahili.
Shughuli za kidini
Wakati wa utawala wa mwingereza pia kuliambatana na ujio wa wamishonari
waliokuwa na lengo la kueneza dini ya kikristo.
Katika harakati hizi walitumia lugha ya Kiswahili ili kufanikisha malengo yao ikizingatiwa
kwamba Kiswahili kilikuwa kimeshaenea vya kutosha wakati wa utawala wa Mjerumani,
kwa hiyo wamishonari wa Kiingereza waliendelea kukiimarisha zaidi.
Pia shughuli za kidini zilipelekea kutafsiriwa kwa vitabu mbalimbali vya kidini kama vile
Biblia na vitabu vingine. Tafsiri ya vitabu hivi ilikuwa ni kutoka katika lugha ya
kiingereza kwenda katika lugha ya Kiswahili. kwa kufanya hivi Kiswahili kiliweza kuingiza
msamiati mwingi sana na hivyo kukuza lugha ya Kiswahili.
Wamishonari walilazimika kujifunza Kiswahili hukohuko kwao ili wanapokuja huku Afrika
Mashariki wasipate tabu ya kujifunza Kiswahili. Kwa sababu hii wamishonari waliokuwa
wamekwishajifunza lugha ya Kiswahili walitunga kamusi za Kiswahili – Kiingereza ili
kuwasaidia wenzao pia kujifunza Kiswahili; kwa njia hii waliweza kukikuza Kiswahili.
Shughuli za kisiasa
Shughuli za kisiasa hasa katika uanzishwaji wa vyombo mbalimbali vya kiutawala, jeshi,
polisi, mahakama, boma n.k. Kufuatia uanzishwaji wa vyombo hivi msamiati mwingi wa
Kiswahili uliweza kuzuka na hivyo kukuza Kiswahili.
Shughuli za kiutawala
Makampuni ya uchapishaji yalianzishwa (East African literature Bureau), na kamati ya
lugha iliundwa (Interterritorian language committee). Hatua hii iliimarisha matumizi ya
lugha ya Kiswahili hali iliyosaidia kukua kwa lugha ya Kiswahili.
Shuguli za ujenzi wa reli na barabara
Shughuli hizi pia zilisaidia kuibuka kwa msamiati mpya kama vile, reli, stesheni, tiketi
n.k.
Usanifishaji wa Kiswahili
Usanifishaji wa lugha ya Kiswahili pia lilikua ni jambo jingine muhimu sana lililosaidia
kukua kwa msamiati wa Kiswahili. Lengo la usanifishaji wa Kiswahili lilikuwa ni kuleta
ulinganifu wa matumizi ya lugha ya Kiswahili katika ukanda wa Afrika Mashariki.
UENEAJI WA KISWAHILI
Ukuaji na Ueneaji ni maneno mawili yenye maana zinazokaribiana lakini
zinazotofautiana. Ukuaji humaanisha ongezeko la msamiati katika lugha na ueneaji ni
uongezekaji wa matumizi ya lugha kieneo. Kwa hiyo hapa tutaangalia yale mambo
yaliyosababisha Kiswahili kitumike katika eneo kubwa. Mambo hayo ni haya yafuatayo:
Vyombo vya habari
Vyombo vya habari vilivyokuwepo kwa wakati huo ni redio, magazeti na majarida
mbalimbali. Kwa upande wa redio kulikuwepo na redio Tanganyika iliyoanza kurusha
matangazo yake kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Na magazeti yaliyokuwa
yakichapishwa wakati huo ni pamoja na: Mambo leo, Sauti ya Pwani, Kiongozi na
Habari za leo. Magazeti haya yote yalikuwa yakichapishwa kwa lugha ya Kiswahili. Kwa
hiyo kwa kutumia vyombo vya habari (redio na magazeti) kiswahili kiliweza kuenea.
Kilimo
Kupitia kilimo watu waliweza kukutana pamoja, watu wa makabila tofautitofauti. Kwa
hiyo katika kipindi chote walichokaa kwenye makambi ya mashambani waliweza
kujifunza Kiswahili na walipomaliza muda wao walirudi nyumbani wakiwa wamejifunza
lugha mpya na hivo kwa njia hii waliweza kuieneza lugha ya Kiswahili.
Muundo wa jeshi la kikoloni (KAR)
Jeshi la KAR liliundwa na watu kutoka makabila mablimbali, na lugha iliyokuwa ikitumika
jeshini ni Kiswahili, askari hawa walisaidia kueneza lugha ya Kiswahili ndani na nje ya
nchi kwani kila walipokwenda walikuwa wakizungumza Kiswahili.
Mfumo wa elimu
Chini ya utawala wa Waingereza Kiswahili kilitumika katika masomo yote kwa ngazi ya
shule ya msingi, na pia kilitumika kama somo kwa ngazi ya shule za sekondari. Kwa
hiyo hii pia ilichangia kuenea kwa lugha ya Kiswahili.
Harakati za kudai uhuru
Chama cha TANU kilianzisha harakati za kudai uhuru, harakati hizo ziliendeshwa kwa
lugha ya Kiswahili. Kwa hiyo kupitia harakati hizo Kiswahili kiliweza kuenea kwa
kiwango kikubwa.
Tathimini ya maendeleo ya Kiswahili wakati wa Waingereza
Licha ya maendeleo ya lugha ya Kiswahili katika utawala wa Waingereza, pia kulikuwa
na changamoto zilizoikabili lugha ya Kiswahili katika kupiga hatua ya maendeleo.
Changamoto hizo ni kama zifuatazo:
Kutofundishwa kwa Kiswahili shule zote nchini
Wakati wa utawala wa Waingereza Kiswahili kilifundishwa katika shule za watoto wa
kiafrika tu, wakati katika shule za watoto wa kizungu Kiswahili hakikufundishwa. Kwa
hiyo suala hili lilifanya Kiswahili kipewe msukumo mdogo sana na hivyo kuhafifisha
ukuaji wake.
Kutotumika kwa Kiswahili kama lugha ya kufundishia
Lugha ya Kiswahili ilitumika kufundishia katika shule za msingi pekee ilihali lugha ya
kiingereza ilitumika kuanzia shule za sekondari hadi elimu ya juu. Hali hii ilisababisha
watu kujitahidi sana kujifunza kiingereza; kwa kuzungumza kiingereza ilikuwa na ishara
kwamba wewe ni msomi, na hivyo kutokana na hali hii Kiswahili kilendelea kukua
polepole sana.
Kukosekana kwa vyombo vya kizalendo vya kukuza Kiswahili
Vyombo vilivyokuwa vinahusika na masuala ya ukuzaji wa Kiswahili wakati wa ukoloni
vilikuwa vimeanzishwa na wakoloni wenyewe, kwa mfano Kamati ya Lugha ya Afrika
Mashariki (Inter-Territorial Swahili Language commitee) na Shirika la maandiko la Afrika
Mashariki (East African Literature Bureau). Katika hali kama hii ukuzaji wa Kiswahili
ulikosa msukumo mkubwa wa kizalendo.
Kasumba ya kuthamini Kiingereza
Wananchi walikuwa na kasumba kwamba mtu anayezungumza Kiingereza alichukuliwa
kuwa ni mtu mwenye maendeleo na msomi, kwa hiyo hali hii ikapelekea watu
kutothamini Kiswahili na hivyo Kiswahili kudharaulika.

More Related Content

Featured

How Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental Health
How Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental HealthHow Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental Health
How Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental Health
ThinkNow
 
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie InsightsSocial Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Kurio // The Social Media Age(ncy)
 

Featured (20)

2024 State of Marketing Report – by Hubspot
2024 State of Marketing Report – by Hubspot2024 State of Marketing Report – by Hubspot
2024 State of Marketing Report – by Hubspot
 
Everything You Need To Know About ChatGPT
Everything You Need To Know About ChatGPTEverything You Need To Know About ChatGPT
Everything You Need To Know About ChatGPT
 
Product Design Trends in 2024 | Teenage Engineerings
Product Design Trends in 2024 | Teenage EngineeringsProduct Design Trends in 2024 | Teenage Engineerings
Product Design Trends in 2024 | Teenage Engineerings
 
How Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental Health
How Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental HealthHow Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental Health
How Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental Health
 
AI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdf
AI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdfAI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdf
AI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdf
 
Skeleton Culture Code
Skeleton Culture CodeSkeleton Culture Code
Skeleton Culture Code
 
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
 
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
 
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
 
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie InsightsSocial Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
 
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
 
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
 
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
 
Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next
 
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search IntentGoogle's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
 
How to have difficult conversations
How to have difficult conversations How to have difficult conversations
How to have difficult conversations
 
Introduction to Data Science
Introduction to Data ScienceIntroduction to Data Science
Introduction to Data Science
 
Time Management & Productivity - Best Practices
Time Management & Productivity -  Best PracticesTime Management & Productivity -  Best Practices
Time Management & Productivity - Best Practices
 
The six step guide to practical project management
The six step guide to practical project managementThe six step guide to practical project management
The six step guide to practical project management
 
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
 

MAENDELEO_YA_KISWAHILI.docx

  • 1. MAENDELEO YA KISWAHILI Kiswahili ni lugha inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki. Lugha hii ina utajiri mkubwa wa misamiati, misemo, mithali, mashairi, mafumbo, vitendawili na nyimbo. Kiswahili hutumika mashuleni, katika mawasiliana na kuna vitabu vingi vilivyotungwa kwa kutumia lugha hiyo, vikiwa pamoja na vile vya hadithi, hekaya au riwaya. Lugha ilianza takriban miaka 800-1000 iliyopita katika pwani ya Afrika Mashariki.Wakazi wa Pwani hii waliokuwa wasemaji wa lugha za Kibantu tofauti tofauti mfano; kisukuma, kihaya, kijita, kikurya, kimakonde, kingoni, kihehe, kizigua, kibena n.k.katika shughuli mbalimbali kama biashara ambazo zilikuwa zikiwakutanisha watu hawa wakiwa wanaozungumza lugha tofauti tofauti, iliwabidi waweze kuchukua msamiati mbalimbali kutoka katika lugha zao ili waweze kuwasiliana katika shughuli zao. Walipopokea maneno mengi hasa ya Kibantu katika mawasiliano yao, ikachangia kuwa msingi wa Kiswahili ni sarufi na msamiati wa Kibantu. Kwakua tumeona kuwa Kiswahili ni lugha sasa basi, lugha nini? Lugha ni sauti za nasibu zilizo katika mpangilio maalumu na zilizo kubaliwa na jamii ya watu zitumike kama chombo cha mawasiliano. Au Ni mfumo wa sauti za nasibu za kusemwa zinazotumiwa na watu wa jamii fulani wenye utamaduni unaofanana kwa madhumuni ya mawasiliano katika jamii hiyo. Au Katika kamusi ya kiswahili sanifu TUKI 1981 oxford press uk. 86, inafafanua kuwa lugha ni mfumo wa sauti nasibu ambazo hutumiwa na jamii kwa madhumini ya mawasiliano kati yao.
  • 2. Sifa / tabia za lugha. (a)Lugha huzaliwa. Lugha huzaliwa kutokana na mwingiliana kati ya lugha mbili au zaidi nakutengeneza lugha moja. Kwa mfano lugha ya Kiswahili imetokana na mwingiliano wa lugha mbalimbali za kibantu. (b)Lugha hukua. Lugha hukuwa kutokana na kuongezeka kwa msamiati mbalimbali ambayo hutumiwa katika lugha husika katika shughuli mbalimbali. (c)Lugha huathiliwa. Lugha huathiliwa kutokana na mwingiliano wa lugha mbili tofauti na kusababisha ukiukwaji wa kanuni na matumizi sahihi ya lugha mojawapo. Kwamfano Kiswahili kinaweza kuathiliwa na kiingeleza pale ambapo mtumiaji au watumiaji wanapochangaya maneno ya kiingereza katika Kiswahili, pia kutumia sarufi ya lugha ya kiingereza pindi atumiapo lugha ya Kiswahili. (d)Lugha hufa. Lugha hufa kutokana na kukosekana kwa msamiati wa lugha husika. (e)Lugha ina ubora. Ubora wa lugha hupatikana kwa watumiaji wa lugha yenyewe. Kwa mfano,kiwahili kinaubora kwa Wakazi wa Afrika Mashariki kwasababu ndio watumiaji wa lugha hiyo. (f)Lugha ni sauti za kusemwa na binadamu. Mwanadamu hutumia alama za sauti kimsingi hakuna kiumbe ambacho si binadamu kinachoweza kuzunghumza lugha.
  • 3. CHIMBUKO LA LUGHA YA KISWAHILI. Chimbuko ni asili ya kitufulani, tunaposema chumbuko la lugha ya kiswahili tunaangalia asili ya lugha ya kiswahili. Yawezekana kabisa kuwa kila jamii inahistoria yake jinsi lugha yake ilivyozuka, vivyo hivyo hata kiswahili kina asili yake kamaifuatavyo: KISWAHILI NI KIKONGO, katika hoja hii tunaona kuwa hapo zamani Pwani ya Afrika Mashariki ilikuwa ombwe (hapakuwa na kitu) wakongo walifika wakiwa katika misafara yao na kuweka kambi kisha makazi. Baada ya wakongo hawa kuwa na makazi imegundulika kuwa lugha iliyokuwa ikizungumzwa ilihusiana na lugha ya Kiswahili. Katika hoja hii tunapata ukakasi unaosababisha tushindwe kupata uthibitisho wakisayansi unaoonesha kuwa kiswahili nikikongo. KISWAHILI NI LUGHA YA VIZALIA, Vizalia ni watoto ambao walitokana baada ya mwingiliano wa wanawake wa Afrika mashariki na waarabu waliokuwa wakifika Pwani ya Afrika Mashariki kwa madhumuni ya kufanya biashara. Baada ya mwingiliano huo walioaona na kuzaa watoto ambao walichukuwa baadhi ya maneno (misamiati) kutoka kwa Baba zao na kwa Mama zao kisha kutumia katika mawasiliano na kuwa lugha moja iliyojulikana kama lugha ya vizalia. KISWAHILI NI PIJINI, wakazi wa afrika Mashariki waliingiliana na Waarabu waliofika kwa ajili ya biashara zao wakakuta lugha inayozungumzwa ni tofauti na lugha yao ndipo ilipozuka lugha ya Kiswahili kwa kuchukua maneno kutoka katika lugha zote mbili na kuunda lugha moja ambayo ni pijini ambayo waliitumia katika mawasiliani yao. Kwakua lugha hii ilikuwa ikitumiwa na wakazi hawa ilionekana kuwa ndilo chimbuko la kaswahili, lakini hoja hii inakosa mashiko kwani inatupatia uthibitisho wa nadharia pekee hatujapata uthibitisho wa kisayansi unaoonesha kuwa pijini ndilo chimbuko la kiswahili. KISWAHILI NI KRIOLI, hii ni pijini iliyokomaa. Baada ya pijini kuendelea kutumika na watumiaji wake na kuwa lugha Mama ya jamii husika huitwa krioli.
  • 4. KISWAHILI NIKIARABU, kuna thibitisho mbalimbali ambazo zinathibitisha kuwa Kiswahili kimetokana na lugha ya kiarabu, uthibitisho huo ni:  Kutokana na neno lenyewe KISWAHILI neno hili limetokana na neno la kiarabu “sahili” umoja na wingi wake ni “Swahili” lenye maana ya Pwani ya Afrika mashariki. Kwakua neno hili ni lakiarabu na warabu walifika Pwani ya Afrika Mashaiki kwaajili ya biashara zao ikathibitiashwa kuwa kiswahili asili yake ni kiarabu.  Kiswahili kilitumika katika dini ya kiislam, baada ya Waarabu kufika uwanda wa Pwani ya Afrika mashariki kuendesha biashara zao pia walikuja kueneza dini ambayo ni kiislamu. Dini hiyo ilienezwa kwa lugha ya kiswahili kwa wakazi wa Pwani. Kufuatia kuenea kwa dini hiyo ikachangia kueneza lugha ya kiswahili na kuthihirika kuwa kiswahili chimbuko lake ni kiarabu.  Baadhi ya maneno yaliyomo na yanayotumika katika lugha ya Kiswahili ni ya kiarabu. Kwamfano maneno kama siri, gati, sukari nk, maneno haya yanatumika katika lugha ya kiswahili na nimisamiati sanifu. Inakadiliwa kuwa lugha ya kiarabu inamaneno asilimia 31 katika lugha ya Kiswahili ambayo hutumika katika muktadha mbalimbali. Kutokana na uthibitisho huo inadhihilishwa Kiswahili ni kiarabu. KISWAHILI NI KIBANTU Neno KIBANTU limetokana na neno BANTU maana yake ni WATU. Wabantu hupatikana Afrika haswa Afrika mashariki na kati ikihusisha mataifa kama Tanzania, Rwanda, Burundi, Kongo, Kenya n.k Tunaposema kiswahili ni kibantu ina maana kuwa, lugha ya kiswahili ni lugha ambayo imetokana na muunganiko wa misamiati ya lugha za makabila mbalimbali yanayopatikana afika mashariki na kati, kwamfano Kisukuma, kihaya, kijita, kingoni kihehe na n.k.
  • 5. Dhana hii imeonekana kuwa na mashiko na kuweza kutoa udhibitisho wakisayansi unaothihilisha asili ya kiswahili nikibantu, yaani kimetokana na muunganiko wa misamiati kutoka katika lugha mbalimbali. Ili kuthibitisha hoja hii kunauthibitishoi wa KIISIMU na ule wa KIHISTORIA USHAHIDI WA KIISIMU. Isimu ni sayansi ya lugha. Tunaposema sayansi ya lugha ni jinsi ambavyo lugha ilivyopangiliwa ki muundo, kimatamshi, kimaana na kimtindo. Tutaendelea kutazama kwanini tunasea Kiswahili ni kibantu usikose……………………….!! Kukua na kuenea kwa kiswahili wakati wa ukoloni Wakoloni na ukoloni Afrika Mashariki Katika karne ya kumi na tisa Afrika Mashariki iliingia kwenye mahusiano na mataifa mengine kama vile Marekani, Ujerumani na Uingereza. Mahusiano haya ni baada ya watu wa pwani kuwa na uhusiano wa muda mrefu wa kibiashara na Waaarabu, hawa waliweka athari kubwa katika kukua na kuenea kwa lugha ya Kiswahili. Wageni kutoka Ulaya walipoingia Afrika Mashariki walifanya biashara, shughuli za kidini (mishenari), elimu na utawala. Kama ilivyokuwa katika kipindi cha Waarabu, uwepo wao pia ulikuwa na athari katika maendeleo ya lugha ya Kiswahili Afrika Mashariki na kwingineko. Maendeleo ya Kiswahili kipindi cha waarabu Waarabu hasa katika pwani ya Afrika Mashariki walifanya biashara ikiwemo biashara ya watumwa. Ilikuwepo misafara mbali mbali ya biashara kutoka pwani hadi bara. Katika misafara hiyo Kiswahili ndio ilikuwa lugha ya mawasiliano hivyo Kiswahili kikaenea pia katika sehemu za bara. Kuna mambo kadhaa waliyofanya waarabu ambayo yalichangia kukua kwa lugha ya Kiswahili. Waarabu walichangia kukua kwa lugha ya Kiswahili kama ifuatavyo:
  • 6. Biashara: Waarabu walifanya biashara kati ya pwani na sehemu za bara, katika biashara yao walichangia kwa kiasi kikubwa uenezaji wa lugha ya Kiswahili. Lugha kuu ya mawasiliano na ya kibiashara iliyotumiwa na wafanya biashara wa kiarabu ilikuwa ni Kiswahili, kwa hiyo kwa njia hii waliweza kueneza Kiswahili kuanzia pwani hadi maeneo ya bara kama vile Tabora, Kigoma hadi mashariki mwa Kongo. Dini: Dini pia ni jambo ambalo liliweza kuchangia ueneaji wa lugha ya Kiswahili enzi za waarabu. Waarabu walipokuja walitaka kueneza dini yao kwa undani kabisa. Kwa hivyo iliwabidi kuanzisha madarasa ambayo walitumia kufundishia, lugha iliyokuwa ikitumiwa ni lugha ya Kiswahili. Na hivyo hii ikasaidia kuenea kwa lugha ya Kiswahili. Maandishi ya kiarabu: Waarabu pia walileta hati zao zilizotumiwa katika maandishi ya lugha ya Kiswahili. Kwa hiyo kupitia hati za kiarabu maandishi mbalimbali ya lugha ya Kiswahili yaliweza kuhifadhiwa, hivyo Kiswahili kiliweza kukua kwa vile kingeweza kuhifadhiwa katika maandishi na kusomwa wakati wowote. Kuoana: Pia vilevile Waarabu waliofika pwani waliweza kuoana na wabantu, hii ilisababisha kizazi kipya kutokea. Na kwa sababu hiyo watoto walichukua maneno mengi kutoka kwa baba na mama yao na hivyo kuongeza msamiati katika lugha Kiswahili. Maendeleo ya Kiswahili kipindi cha wajerumani Wajerumani waliingia katika pwani ya Afrika Mashariki katika miaka ya 1875, walifanya kila jitihada kuwatawala Waafrika ambapo katika utawala wao walifanya biashara, waliendesha shughuli za kiutawala, za kidini na kielimu. Katika shuguli zote hizo Kiswahili ndio ilikuwa lugha ya mawasilino hivyo kukikuza na kukiendeleza Kiswahili. Walipongia katika pwani ya Afrika Mashariki walikuta Kiswahili kimekwisha enea kwa kiasi kikubwa. Kuna mambo waliyoyafanya ambayo yalisaidia kukua na kuenea kwa Kiswahili kama ifuatavyo:
  • 7. Kutoa mafunzo ya lazima ya lugha ya Kiswahili kwa wafanya kazi wa serikali Waliwalazimisha wafaanyikazi wote wa serikali kujifunza kiswashili, kwa sababu sheria ilikuwa ni kwamba pasipojua Kiswahili huwezijiriwa katika serekali ya mjerumani. Kwa hiyo saula hili lilisababisha watu kujifunza lugha ya Kiswahili ili waweze kuajiriwa. Wafanyakazi ambao ilikuwa ni lazima wajifuze Kiswahili ni pamona na maakida. Wajerumani wenyewe walilazimika kujifunza kiswahili ili waweze kuwasiliana na wenyeji kwa urahisi na hivyo kurahisisha shuguli zao za kiutawala. Ujenzi wa shule Shule zilifunguliwa kufundisha watu weusi ili waje wawe wasidizi wao katika utawala wa wajerumani, na lugha iliyokuwa ikitumika kufundisha masomo ilikuwa ni lugha ya Kiswahili. Kuenea kwa utawala wa Wajerumani nchi nzima Utawala wa wajerumani ulikuwa kwenye kila kona ya nchi. Na kwa kuwa wafanya kazi wa serikali ya wakati huo ilikuwa ni lazima wafahamu Kiswahili, kwa hiyo kila sehemu palipokuwa na ofisi za serikali nchi nzima kulizungumzwa Kiswahili. Shughuli za kiuchumi Pia katika shuguli za mashamba, wajerumani walichukua vibarua kutoka sehemu mbalimbali za nchi, na kwa kuwa kila mmoja alikuwa na lugha yake tofauti, kwa hiyo lugha pekee iliyowaunganisha katika mawasiliano kwenye eneo la kazi ilikuwa ni Kiswahili. Kwa hiyo kutokana na sababu kwamba utawala wa kijerumani ulitoa msukumo mkubwa katika matumizi ya lugha ya Kiswahili kwenye shughuli zao za kiutawala, hivyo suala la ueneaji wa Kiswahili lisingeepukika.
  • 8. http://www.shuledirect.co.tz/notes/view_notes/74 Mambo yaliyosaidia ukuaji wa Kiswahili enzi za utawala wa Waingereza Waingereza walipochukua koloni la Tanganyika kutoka kwa Wajerumani walikuta Kiswahili kimeimarika na kinatumika katika maeneo mengi ya nchi. Kwa kuwa nao walihitaji kutawala hawakupuuzia matumizi ya Kiswahili katika utawala wao japo hawakutumia Kiswahili kwa lengo la kukikuza lakini walijikuta wanakieneza na kukikuza bila ya wao kukusudia. Waingereza walitumia Kiswahili kama nyenzo ya kusaidia shughuli zao za kiutawala. Hata hivyo kuna mambo waliyofanya waingereza yaliyosaidia kukua na kuenea kwa Kiswahili, mambo hayo ni kama yafuatayo: Shuguli za kiuchumi Shuguli za kiuchumi wakati wa Waingereza zilihusisha kilimo na biashara. Kwa upande wa klimo, Waingereza waliendesha kilimo cha mazao mbalimbali, na walitumia mfumo wa kuajiri vibarua kutoka sehemu mbalimbali za nchi. Vibarua hao walijulikana kwa jina la manamba. Katika mkusanyiko wa vibarua hawa waliokuwa na usuli wa makabila tofautitofauti, lugha pekee iliyoweza kuwaunganisha ni Kiswahili ikizingatiwa kwamba Kiswahili kiliteuliwa kuwa lugha rasimi katika mawasiliano ya kiutawala. Walilazimika kuzungumza Kiswahili kwani bila hivyo mawasiliano yasingeweza kufanyika kwa urahisi. Hata hivyo kupitia shuguli za kilimo maneno mapya ya Kiswahili yaliweza kuzaliwa, kwa mfano: yadi, belo, belingi, bani, mtama n.k, kwa hiyo kupitia shughuli hizi Kiswahili kilizidi kukua. Shuguli za kiutamaduni
  • 9. Shughuli hizi ni kama vile uigizaji wa tamthiliya za kigeni, uchezaji wa mziki wa kigeni hususani twisti. Tamthiliya za kigeni zilikuwa zikiigizwa majukwaani kwa lugha ya Kiswahili na hivyo ikasaidia kukua kwa msamiati wa Kiswahili. Shughuli za kidini Wakati wa utawala wa mwingereza pia kuliambatana na ujio wa wamishonari waliokuwa na lengo la kueneza dini ya kikristo. Katika harakati hizi walitumia lugha ya Kiswahili ili kufanikisha malengo yao ikizingatiwa kwamba Kiswahili kilikuwa kimeshaenea vya kutosha wakati wa utawala wa Mjerumani, kwa hiyo wamishonari wa Kiingereza waliendelea kukiimarisha zaidi. Pia shughuli za kidini zilipelekea kutafsiriwa kwa vitabu mbalimbali vya kidini kama vile Biblia na vitabu vingine. Tafsiri ya vitabu hivi ilikuwa ni kutoka katika lugha ya kiingereza kwenda katika lugha ya Kiswahili. kwa kufanya hivi Kiswahili kiliweza kuingiza msamiati mwingi sana na hivyo kukuza lugha ya Kiswahili. Wamishonari walilazimika kujifunza Kiswahili hukohuko kwao ili wanapokuja huku Afrika Mashariki wasipate tabu ya kujifunza Kiswahili. Kwa sababu hii wamishonari waliokuwa wamekwishajifunza lugha ya Kiswahili walitunga kamusi za Kiswahili – Kiingereza ili kuwasaidia wenzao pia kujifunza Kiswahili; kwa njia hii waliweza kukikuza Kiswahili. Shughuli za kisiasa Shughuli za kisiasa hasa katika uanzishwaji wa vyombo mbalimbali vya kiutawala, jeshi, polisi, mahakama, boma n.k. Kufuatia uanzishwaji wa vyombo hivi msamiati mwingi wa Kiswahili uliweza kuzuka na hivyo kukuza Kiswahili. Shughuli za kiutawala
  • 10. Makampuni ya uchapishaji yalianzishwa (East African literature Bureau), na kamati ya lugha iliundwa (Interterritorian language committee). Hatua hii iliimarisha matumizi ya lugha ya Kiswahili hali iliyosaidia kukua kwa lugha ya Kiswahili. Shuguli za ujenzi wa reli na barabara Shughuli hizi pia zilisaidia kuibuka kwa msamiati mpya kama vile, reli, stesheni, tiketi n.k. Usanifishaji wa Kiswahili Usanifishaji wa lugha ya Kiswahili pia lilikua ni jambo jingine muhimu sana lililosaidia kukua kwa msamiati wa Kiswahili. Lengo la usanifishaji wa Kiswahili lilikuwa ni kuleta ulinganifu wa matumizi ya lugha ya Kiswahili katika ukanda wa Afrika Mashariki. UENEAJI WA KISWAHILI Ukuaji na Ueneaji ni maneno mawili yenye maana zinazokaribiana lakini zinazotofautiana. Ukuaji humaanisha ongezeko la msamiati katika lugha na ueneaji ni uongezekaji wa matumizi ya lugha kieneo. Kwa hiyo hapa tutaangalia yale mambo yaliyosababisha Kiswahili kitumike katika eneo kubwa. Mambo hayo ni haya yafuatayo: Vyombo vya habari Vyombo vya habari vilivyokuwepo kwa wakati huo ni redio, magazeti na majarida mbalimbali. Kwa upande wa redio kulikuwepo na redio Tanganyika iliyoanza kurusha matangazo yake kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Na magazeti yaliyokuwa yakichapishwa wakati huo ni pamoja na: Mambo leo, Sauti ya Pwani, Kiongozi na Habari za leo. Magazeti haya yote yalikuwa yakichapishwa kwa lugha ya Kiswahili. Kwa hiyo kwa kutumia vyombo vya habari (redio na magazeti) kiswahili kiliweza kuenea. Kilimo
  • 11. Kupitia kilimo watu waliweza kukutana pamoja, watu wa makabila tofautitofauti. Kwa hiyo katika kipindi chote walichokaa kwenye makambi ya mashambani waliweza kujifunza Kiswahili na walipomaliza muda wao walirudi nyumbani wakiwa wamejifunza lugha mpya na hivo kwa njia hii waliweza kuieneza lugha ya Kiswahili. Muundo wa jeshi la kikoloni (KAR) Jeshi la KAR liliundwa na watu kutoka makabila mablimbali, na lugha iliyokuwa ikitumika jeshini ni Kiswahili, askari hawa walisaidia kueneza lugha ya Kiswahili ndani na nje ya nchi kwani kila walipokwenda walikuwa wakizungumza Kiswahili. Mfumo wa elimu Chini ya utawala wa Waingereza Kiswahili kilitumika katika masomo yote kwa ngazi ya shule ya msingi, na pia kilitumika kama somo kwa ngazi ya shule za sekondari. Kwa hiyo hii pia ilichangia kuenea kwa lugha ya Kiswahili. Harakati za kudai uhuru Chama cha TANU kilianzisha harakati za kudai uhuru, harakati hizo ziliendeshwa kwa lugha ya Kiswahili. Kwa hiyo kupitia harakati hizo Kiswahili kiliweza kuenea kwa kiwango kikubwa. Tathimini ya maendeleo ya Kiswahili wakati wa Waingereza Licha ya maendeleo ya lugha ya Kiswahili katika utawala wa Waingereza, pia kulikuwa na changamoto zilizoikabili lugha ya Kiswahili katika kupiga hatua ya maendeleo. Changamoto hizo ni kama zifuatazo:
  • 12. Kutofundishwa kwa Kiswahili shule zote nchini Wakati wa utawala wa Waingereza Kiswahili kilifundishwa katika shule za watoto wa kiafrika tu, wakati katika shule za watoto wa kizungu Kiswahili hakikufundishwa. Kwa hiyo suala hili lilifanya Kiswahili kipewe msukumo mdogo sana na hivyo kuhafifisha ukuaji wake. Kutotumika kwa Kiswahili kama lugha ya kufundishia Lugha ya Kiswahili ilitumika kufundishia katika shule za msingi pekee ilihali lugha ya kiingereza ilitumika kuanzia shule za sekondari hadi elimu ya juu. Hali hii ilisababisha watu kujitahidi sana kujifunza kiingereza; kwa kuzungumza kiingereza ilikuwa na ishara kwamba wewe ni msomi, na hivyo kutokana na hali hii Kiswahili kilendelea kukua polepole sana. Kukosekana kwa vyombo vya kizalendo vya kukuza Kiswahili Vyombo vilivyokuwa vinahusika na masuala ya ukuzaji wa Kiswahili wakati wa ukoloni vilikuwa vimeanzishwa na wakoloni wenyewe, kwa mfano Kamati ya Lugha ya Afrika Mashariki (Inter-Territorial Swahili Language commitee) na Shirika la maandiko la Afrika Mashariki (East African Literature Bureau). Katika hali kama hii ukuzaji wa Kiswahili ulikosa msukumo mkubwa wa kizalendo. Kasumba ya kuthamini Kiingereza Wananchi walikuwa na kasumba kwamba mtu anayezungumza Kiingereza alichukuliwa kuwa ni mtu mwenye maendeleo na msomi, kwa hiyo hali hii ikapelekea watu kutothamini Kiswahili na hivyo Kiswahili kudharaulika.