THIS aims to help local and nearby farmers on how this kind of agricultural activity when properly used may lead to increase of fruits,flowers and vegetables in their stores
.
...............
...
..
..
POSTER on IRRIGATION FOR SUCCESSFUL HORTICULTURE IN MOROGORO TANZANIA,
1. UMWAGILIAJI KWA MAFANIKIO YA KILIMO CHA MATUNDA NA
MBOGAMBOGA: MOROGORO, TANZANIA
Wanafunzi wa Uhandisi wa Umwagiliaji na Rasilimali Maji
Mwaka wa Pili 2017/2018 Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine
Idara ya Sayansi za Uhandisi na Teknolojia S.L.P 3003 Morogoro, Tanzania.
Umwagiliaji ni mtindo wa
kilimo cha kufikisha maji katika
ardhi kwa lengo kuongeza
uzalishaji wa mazao.
umwagiliaji wa maji kwa
njia ya mifereji
Huu ni umwagiliaji ambao
mkulima anatumia mifereji
kufikisha maji shambani. Pia ni
moja ya njia kongwe katika
jamii.
Umwagiliaji wa matone
Huu ni umwagiliaji wa kisasa
kabisa ambao unatumia maji
machache na mkulima anahitaji
pump kusukuma maji katika
mashamba.
Umwagiliaji kwa Kurusha
maji hewani
Hii ni njia ambayo maji
yanarushwa hewani kama
mvua na kushuka kwenye
mimea.
Inasaidia katika kuongeza
mavuno kutokana
upatikanaji wa maji mda
wote.
Uhakika wa kiasi cha
kutosha cha
unyevuunyevu katika
udongo kwa ukuaji wa
mbegu.
Ni njia bora ya kufanikisha
KILIMO MSETO (Kilimo cha
mazao tofauti shambani
katika msimu moja).
Inaongeza kiwango cha
oksijeni na hidrojeni
ambayo ni muhimu kwa
ukuaji wa mizizi ya mimea
Mmea husharabu madini
muhimu kirahisi katika
udongo ulimwagiliwa
Husaidia kupunguza uhaba
wa mazao ya chakula
katika kipindi cha ukame
na njaa
Mfano wa utekelezaji wa kilimo
cha matunda na mbogamboga
kwa kutumia umwagiliaji katika
mashamba darasa yaliyopo
kampasi kuu ya chuo kikuu cha
kilimo sokoine.
KWA MAWASILIANO: +255 674 68 78 88
MAANA YA UMWAGILIAJI
NJIA MBALIMBALI ZA
UMWAGILIAJI
FAIDA ZA KILIMO CHA
UMWAGILIAJI