Maswali ya sayansi kwa wanafunzi wa darasa la sita Tanzania. Ni mkusanyiko wa maswali ya sayansi yaliyowahi kutoka kwenye mitihani mbalimbali ya darasa la sita.
21. 21
• Sehemu ya majimaji ya damu huitwa________
a) Plazima
b) Seli nyekundu
c) Plasma
d) Seli nyeupe
22. 22
• Stameni ni sehemu ya ________ ya ua.
a) Juu
b) Ndani
c) Chini
d) Kikonyo
23. 23
• Mkasi ni aina ya nyenzo daraja la________
a) Kwanza
b) Pili
c) Nne
d) Tatu
24. 24
• Mwanaume ana gameti yenye kromosomu za
aina________
a) XX
b) YY
c) Anavyo vyote
d) YX
25. 25
• Kwa kawaida mbegu zenye mbawa
hutawanyika kwa njia ya________
a) Maji
b) Upepo
c) Mvua
d) Mpasuko
26. 26
• Gameti za kiume hutengenezwa na
kuhifadhiwa kwenye________
a) Uume
b) Mwilini
c) Korodani
d) Maungoni
27. 27
• Mfano wa figo ni kama________
a) Chungwa
b) Harage
c) Embe
d) Pilipili
28. 28
• Sauti husafiri upesi zaidi katika nini?
a) Ardhi
b) Maji
c) Hewa
d) Yabisi
29. 29
• Gesi inayotokana na mchanganyiko wa gesi ya
kabonidioksaidi, mitheni na mvuke inaitwa
________
a) Oksijeni
b) Bayogesi
c) Naitrojeni
d) Haidrojeni
30. 30
• Idadi ya chaji katika metali huitwa ________
a) Nyutroni
b) Protoni
c) Valensi
d) Molekyuli