Successfully reported this slideshow.
We use your LinkedIn profile and activity data to personalize ads and to show you more relevant ads. You can change your ad preferences anytime.

11

Share

Download to read offline

Jipime Sayansi Darasa la Sita

Download to read offline

Maswali ya sayansi kwa wanafunzi wa darasa la sita Tanzania. Ni mkusanyiko wa maswali ya sayansi yaliyowahi kutoka kwenye mitihani mbalimbali ya darasa la sita.

Related Books

Free with a 30 day trial from Scribd

See all

Related Audiobooks

Free with a 30 day trial from Scribd

See all

Jipime Sayansi Darasa la Sita

 1. 1. Maswali ya Sayansi – Darasa la VI Kanguni I.S. 2013
 2. 2. 1 • Ogani muhimu kuliko zote katika mwili wa binadamu ni __________ a) Ini b) Kongosho c) Moyo d) Figo
 3. 3. 2 • Virusi vya UKIMWI hushambulia chembe zipi katika damu? a) Nyekundu b) Plasma c) Nyeupe d) Zote
 4. 4. 3 • Zifuatazo ni sifa za viumbe hai isipokuwa __________ a) Kuzaa b) Kula c) Kuimba d) Kuwa na nguvu
 5. 5. 4 • Vyakula vyenye protini huwezesha mwili __________ a) Kuchakaa b) Kuwa na joto c) Kukua d) Kuwa na nguvu
 6. 6. 5 • Sauti iliyoakisiwa huitwa __________ a) Sauti kali b) Sauti nzuri c) Mwangwi d) mwangu
 7. 7. 6 • Nyama isiyoiva vizuri yaweza kuwa chanzo cha __________ a) Minyoo b) Uchafu c) Afya nzuri d) Njaa
 8. 8. 7 • Samaki huvuta hewa kwa kutumia __________ a) Mapezi b) Magamba c) Pua d) Matamvua
 9. 9. 8 • Takamwili zinazotolewa na ngozi ni __________ a) Asidi b) Urea c) Uchafu d) kabonidioksidi
 10. 10. 9 • Binadamu huvuta hewa gani? a) Oksijeni b) Kobonidioksidi c) Nitrojeni d) Hidrojeni
 11. 11. 10 • Mmea una sehemu kuu ngapi? a) Tatu b) Nne c) Tano d) Mbili
 12. 12. 11 • Mashine ni kitu chochote kinachorahisisha __________ a) Uzito b) Mzigo c) Ujazo d) Kazi
 13. 13. 12 • Kipimo rasmi cha uzito ni __________ a) Kg au g b) Sm c) Meta d) mm
 14. 14. 13 • Chakula tumboni huchanganywa na kiowevu tumbo na __________ a) Asidi ya haidrokloriki b) Maji c) Chumvi d) Damu
 15. 15. 14 • Kila mamalia na asiye mamalia ana figo______ a) Mbili b) Moja c) Tatu d) Tano
 16. 16. 15 • Mimea hupumua kwa kutumia matundu madogomadogo yaitwayo ______ a) Matundu b) Pua c) Stomata d) Aota
 17. 17. 16 • ________ ni mchanganyiko wa gesi. a) Vumbi b) Gesi c) Hewa d) Maji
 18. 18. 1 • Mmeng’enyo wa chakula huanzia katika ________ a) Tumbo b) Ngozi c) Kinywa d) Mkono
 19. 19. 19 • Tendo la mmea kujitengenezea chakula chake huitwa________ a) Usanisinuru b) Kuakisi c) Kula d) Osmosisi
 20. 20. 20 • Moyo umegawanyika katika vyumba vingapi? a) 3 b) 4 c) 8 d) 12
 21. 21. 21 • Sehemu ya majimaji ya damu huitwa________ a) Plazima b) Seli nyekundu c) Plasma d) Seli nyeupe
 22. 22. 22 • Stameni ni sehemu ya ________ ya ua. a) Juu b) Ndani c) Chini d) Kikonyo
 23. 23. 23 • Mkasi ni aina ya nyenzo daraja la________ a) Kwanza b) Pili c) Nne d) Tatu
 24. 24. 24 • Mwanaume ana gameti yenye kromosomu za aina________ a) XX b) YY c) Anavyo vyote d) YX
 25. 25. 25 • Kwa kawaida mbegu zenye mbawa hutawanyika kwa njia ya________ a) Maji b) Upepo c) Mvua d) Mpasuko
 26. 26. 26 • Gameti za kiume hutengenezwa na kuhifadhiwa kwenye________ a) Uume b) Mwilini c) Korodani d) Maungoni
 27. 27. 27 • Mfano wa figo ni kama________ a) Chungwa b) Harage c) Embe d) Pilipili
 28. 28. 28 • Sauti husafiri upesi zaidi katika nini? a) Ardhi b) Maji c) Hewa d) Yabisi
 29. 29. 29 • Gesi inayotokana na mchanganyiko wa gesi ya kabonidioksaidi, mitheni na mvuke inaitwa ________ a) Oksijeni b) Bayogesi c) Naitrojeni d) Haidrojeni
 30. 30. 30 • Idadi ya chaji katika metali huitwa ________ a) Nyutroni b) Protoni c) Valensi d) Molekyuli
 • mwalupetasamwelib

  Apr. 24, 2020
 • faidakyando

  Dec. 12, 2019
 • MarwaMbusiro1

  May. 20, 2019
 • FatmaUpunda

  May. 4, 2019
 • Salummwakinyuke1

  Feb. 19, 2019
 • kangunimourad

  Sep. 15, 2018
 • jaymalyungajr

  Jan. 24, 2018
 • JamesPeter35

  Jul. 11, 2017
 • DafrosaLyimo

  Feb. 23, 2017
 • PaJeMalima

  Oct. 27, 2016
 • lwitikomwakitalima3

  Aug. 2, 2016

Maswali ya sayansi kwa wanafunzi wa darasa la sita Tanzania. Ni mkusanyiko wa maswali ya sayansi yaliyowahi kutoka kwenye mitihani mbalimbali ya darasa la sita.

Views

Total views

51,616

On Slideshare

0

From embeds

0

Number of embeds

376

Actions

Downloads

106

Shares

0

Comments

0

Likes

11

×