Successfully reported this slideshow.
We use your LinkedIn profile and activity data to personalize ads and to show you more relevant ads. You can change your ad preferences anytime.
Upcoming SlideShare
Fursa kwa walio na mtaji mdogo
Next
Download to read offline and view in fullscreen.

10

Share

Download to read offline

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI

Download to read offline

Related Audiobooks

Free with a 30 day trial from Scribd

See all

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI

 1. 1. Training of Trainers (TOT) ISLAMIC HELP TANZANIA
 2. 2. MUONGOZO CHINI YA
 3. 3. Mkusanyaji na Mwandishi: SELEMAN ABDALLAH; ISLAMIC HELP TANZANIA- 2012-03-06 Email: tanzania@islamichelp.org.uk, / kakasule2@gmail.com Phone: +255689131400 or 0754 371115
 4. 4. • UTANGULIZI• DHANA YA UWEZESHAJI KIUCHUMI• DHANA YA UJASIRIA MALI• Dhana ya ujumla ya ujasiriamali:• Sehemu ya Pili: Mjasiriamali• HAJA YA UJASIRIAMALI: Kwanini tunahitaji kuusoma Ujasiriamali?• UMUHIMU WA UJASIRIAMALI.• Dhana ya biashara• UISLAMU NA BIASHARA• FAIDA ZA BIASHARA.• ADABU ZA BIASHARA KIISLAMU
 5. 5. • USIMAMIZI NA UENDESHAJI WA BIASHARA• MPANGO WA BIASHARA NA MRADI• ANDIKO LA MRADI (Project Proposal)• MPANGILIO WA BIASHARA (Business Plan)• MPANGO WA MASOKO (Market Plan)• UTUNZAJI KUMBUKUMBU KATIKA BIASHARA• UMUHIMU WA KUTUNZA KUMBUKUMBU• UMAKINI KATIKA GHARAMA ZA BIASHARA• CHANGAMOTO ZA BIASHARA.• MBINU ZA BIASHARA• BIASAHARA NA FAMILIA:
 6. 6. UTANGULIZI• Uchumi ni sekta ambayo huchochea kwa namna moja au nyingine maendeleo ya mwanaadamu• Biashara ni moja ya sehemu kuu ya uchumi na maiongiliano makuu ya uchumi hupatikana kwa kupitia biashara,miradi na kwa ujumla Ujasiriamali.• Kufanya ujasiriamali ni moja katika njia za kujipatia kipato na jitihada ilizungumzwa na dini
 7. 7. • Kujipatia riziki ya halali ni jambo linalomfurahisha sana Mola na hili limedhihirishwa katika hadithi na mafundisho ya mtume (saw), hadithi iliyopokelewa na At-twabaraniy: -• inayosema “Kutafuta chumo la halali ni Wajibu kwa kila muislamu”
 8. 8. • Kwa kuzingatia haya pamoja na uhitaji wa dhana hii kuna changamoto juu ya ufahamu na ujuzi maalumu juu ya Biashara, miradi na ujasiriamali katika ujumla wake.• Ujasiriamali ni ujuzi kama zilivyo tasnia nyingine, lazima usomwe na kufunzwa kila anayetaka ufanisi wake na matunda yake.
 9. 9. • Dhana inayojengeka miongoni mwa jamii kuwa ujasiriamali ni swala la kipaji cha kuzaliwa nacho, kurithi au kujulikana pasi na elimu ni dhana potofu inayowakwamisha wale wanaotaka kuchukua hatua kuufanyia kazi ujasiriamali.• Mjasirimali mmoja anasema maneno yafuatayo:“Mengi katika usikiayo kuhusu ujasiriamali sio sahihi. Si uchawi; si mazingaombwe; na hauna lihusianalo na maumbile, ni nidhamu na, kama nidhamu nyingine, Inawezekana kwa kusomwa.” Peter F. Drucker
 10. 10. DHANA YA UWEZESHAJI KIUCHUMI• Katika maisha yeyote ya wanaadamu uchumi ni sehemu kubwa ya maisha yao kwa kuwapatia njia na fursa za maisha.• Dhana hii ni mahimu kufanyiwa jitihada na njia za kuikwamua ili kuleta tija na muonekano wa ubora katika ngazi ya jamii.• Kujikwamua kiuchumi ni hatua ya kufanya jitihada na michakato mbalimbali ili kuboresha mapato na kuinua ufanisi wa matokeo yanayotazamiwa kutokana na uchumi.
 11. 11. • Sehemu kubwa ya ufanisi katika mchakato wa kujikwamua na kujikomboa kichumi unapatika kwa jamii kujihusisha na mpango wa Ujasiriamali.• Ujasiriamali husaidia kipato cha mwanajamii na kutoa mchango mkubwa katika sehemu au mahali anapopatikana.
 12. 12. DHANA YA UJASIRIAMALI
 13. 13. Sehemu ya Kwanza: Maana ya Ujasiriamali:Ujasiriamali:• Ni utekelezaji au utendaji ambao mtu anapanga, anafanya, anasimamia na kuendesha na kukisia mashaka au hatari kwa kuthubutu kufanya jambo la kiuchumi au kijamii ua biashara.
 14. 14. Maana ya Ujasiriamali• Neno ujasiriamali linatokana na maneno mawili ambayo ni UJASIRI na MALI. Hivyo maana ya ujasiriamali ni kuwa na: -• Ujasiri au mshawasha wa kutafuta na kupata mali;• Uwezo wa kutambua fursa za biashara haraka na uthubutu wa kuzitekeleza fursa hizo pindi zinapojitokeza; na• Uwezo wa kuthubutu kushinda vikwazo vinavyoweza kuzuia utekelezaji wa fursa za biashara.
 15. 15. • Ujasiriamali: ni utashi juu ya kufanya kitu; ni njia ya kufikiria, kufikia na kufanya jambo au kitu fulani.• Ujasiriamali ni mchakato ambapo mtu anachukua hatua kutumia fursa bila kujali hali ya rasilimali alizonazo
 16. 16. “Ni mchakato ambapo mtu anafanisi, kusimamia,kuandaa na kuratibu ubunifu, uboreshaji na uvumbuzi,kujenga thamani na uthamini unaompa faida au kutoamanufaa na kuzingatia na kujenga ukuaji na upekee wa tahmani kwa jamii inayomzunguka” MCHAKATO Upekee Mjasiriamali UBUNIFU Kukua Kujenga Kuunda kundi/ Faida Taasisi Kujenga Thamani
 17. 17. Sehemu ya Pili: Mjasiriamali• Mtu ambaye “anathubutu kufanya,” Jambo, vitendo au mradi wenye manufaa”.• “Aliyechochewa au mwenye vichocheo vya kuendelea kiuchumi kwa kutafuta na kubuni njia mpya za kujikwamua na kufanya mambo”.• “Mjasiriamali kwa tafsiri ya Drucker, ni ahamishae rasilimali kutoka eneo lenye uzalishaji mdogo na kupeleka katika eneo lenye uzalishaji mkubwa na mavuno (mengi).
 18. 18. HAJA YA UJASIRIAMALI:Malengo ya Kujifunza:Kuweza kuanzisha na kumiliki kitega uchumi: Hapa kitega uchumi (enterprise) inamaanisha swala lolote la kiuchumi au kijamii aidha biashara au mradi wa faida.Kusaka fursa za kijamii: Ujasiriamali unajenga ushawishi wa kuyabadili matatizo kuwa fursa hasa katika jamii.
 19. 19. Malengo ya Kujifunza:• Uelewa na uhabarisho wakibiashara: Kuelewa biashara katika maono mapana,• Kuabadili utashi wakimaisha ndani ya kazi na ajira: Hutoa moyo wa utegemezi binafsi/ uhuru kwa kupitia kujijenga uwezo.• Ajira Binafsi: Kwa kupitia ujasiriamali ni rahisi kupata ajira na kujisimamia mwenyewe.• Ubora wa maisha: Kuanzisha biashara kunampa fursa muasisi kuwa na baadhi ya uchaguzi juu ya lini, wapi,na nani, na vipi ufanye kazi.
 20. 20. Faida za kuwa Majsiriamali• Husaidia kubadili fikra za vijana, utashi na mtazamo juu ya uzoefu wa jamii au hali ya kazi za jamii kama masoko, maradhi, na maswala ya ajira.• Husaidia utambuzi binafsi na kukuza akili.• Huchochea kutumia rasilimali kwa ukamilifu na fursa zinazopatika katika jamii na mzingira yetu.
 21. 21. Faida …….• Ujasiriamali ni alama ya maendeleo ya miradi na umakini, kujituma na mafanikio katika biashara• Mapinduzi ya ujasiriamali ni chachu ya ukuaji wa uchumi na maendeleo.• Ujasiriamali huweza kuathiri hali yetu ya baadae kwa njia nyingi kama: – Kuboresha ubunifu wa fursa : Mafano Simu ndogo rahisi kubeba zilizounganishwa na faksi na Komputa ndogo aina za Laptop huweza kubadili gari, treni, au mapokezi ya ndege kuwa ofisi.:
 22. 22. Dhana ya biashara-Business• Biashara ni matendo ambayo humuhusisha mtu katika kununua na kuuza huduma au bidhaa kwa lengo la kupata faida.• Biashara ni pamoja na hali ya kununua na kuuza, kuzalisha mali na kuuza, utaalamu, wito na makubaliano ya kipekee yenye lengo la kibiashara kwa nia ya kupata faida.
 23. 23. Mambo ya kuzingatia katika uazishaji wa biashara:• Katika kuamua aina ya biashara unayotaka kufanya tafadhali zingatia vigezo vifuatavyo,• Namna ya upatikanaji wa bidhaa hiyo au huduma unayoitarajia kuiuza au kuitoa.• Idadi ya washindani wanaouza ama kuitoa bidhaa hiyo.• Matakwa ya wateja katika eneo husika na idadi yao.• Gharama za uendeshaji wa biashara husika.
 24. 24. Mambo ya kuzingatia……• Taratibu mbalimbali za ulipaji ada na kodi mbalimbali.• Hali ya hewa ya eneo husika.• Hali halisi katika eneo la biashara, angalia mwenendo wa maisha ya wakazi katika eneo husika mfano, amani na utulivu, vita, mfumuko wa bei, n.k.
 25. 25. MJASIRIAMALI NA MFANYABIASHARA• Ni ukweli ulio wazi kuwa si kila anayeuza au mfanyabiashara ndogo ndogo ni mjasiriamali.• Imekuwa ni fashion kwa sasa nchini tangu nchi ijiunge katika mfumo unoangozwa na soko kwa kila muuzaji wa bidhaa na mtoaji wa huduma kujiita mjasiriamali.
 26. 26. • Kwa ufupi mjasiriamali ni mtu yeyote ambaye haogopi kuweka mipango na kushindwa, tofauti na mfanyabiashara yeye huwa na mtazamo wa kuwekeza kwa ajili ya faida pekee. • Mjasiriamali mhimili wake mkuu ni ubunifu• Kuzalishwa wa bidhaa mpya, njia mpya za uzalishaji kugunduliwa, kutafutwa kawa masoko mapya na utumiaji wa rasilimali zinazomzunguka.
 27. 27. Misingi ya Ujasiriamali1. Elimu juu ya ujasiriamali na kujifunza; ni muhimu kwa kila anayejihusisha na dhana ya ujasiriamali akaujua ujasiriamali na sikuchukulia kuwa ni jambo ala kuiga ama kunakili kutoka kwa watu waliofanikiwa au wanaojihusisha na ujasiriamali, kujifunza huku kuwe kwa nadharia na vitendo.2. Ubunifu na uvumbuzi: Majasiramali haswa ni yule anaeyekuwa na kubuni vyanzo na mbinu mbalimbali za kuboresha utendaji wake
 28. 28. 3. Kukua na kupanuka: ni muhimu mjasiriamali akue na kutanuka kimaslahi na si kuwa katika hali moja tua kila mara, anapaswa kutanuka kimtaji,kiutendaji na kimahusiano, hili huboresha huduma na uwanda wake wa malengo. Hivyo ni muhimu pia majaisiriamali kuwa mtu wa mipango na kuwa na uelekeo Fulani anaotakaa kufikia sehemu Fulani.4. Kujaribu na kudhamiria: Mjasiiramali si mtu wakuaogopa kutenda apindia aionapoa fursa na kuitathmini kuwa ianpaswa kuendewa. Hivyo si muoga katika kujaribu
 29. 29. Maeneo ya kutengeneza mtandao wako kama mjasiriamali;Washindani wako:Biashara ni ushindani lakini sio uadui.Kama unataka kuwa mjasiriamali mwenye mafanikio ni vizuri sana ukawajua washindani wako wa kibiashara.• Mshindani wako anaweza kukufaa pia.• Anaweza kuzidiwa na kazi akakusukumia zingine.Jitambulishe,jenga uhusiano mzuri wa kibiashara.
 30. 30. • Vyombo vya Habari:• Kama mjasiriamali,ni muhimu ukajuana na watu wanaoendesha au hata kumiliki vyombo hivi vya habari.• Na zaidi angalia vile ambavyo vipo karibu zaidi na eneo lako la ujasiriamali.• Kutangaza na kupata taarifa.
 31. 31. • Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO):• Mjasiriamali makini ni yule ambaye anadhamiria kuisaidia jamii yake kwa njia moja au nyingine• Isitoshe jamii iliyo bora,iwe kiafya,kielimu nk ni wateja wako wazuri wa siku za mbeleni.
 32. 32. 4/3/2012 ISLAMIC HELP TANZANIA
 33. 33. • Hujihusisha na ujasiriamali tu• Ni mtu anayejihusisha na Biashara Ndogo tu• Ni mtu asiye na Elimu• Ni kamari na kubahatisha• Ujasiriamali unazaliwa nao• Inahitaji mawazo makubwa• Ni kazi rahisi
 34. 34. Haruna Zakharia, Said Bakhresa, Reginald Mengi, Ambassador Said and Gulam Dewji
 35. 35. Mfano wa kuigwa:
 • EmmanuelSolo

  Apr. 6, 2021
 • CarlosMdemu

  Jan. 17, 2021
 • manjalenoni

  Jun. 1, 2020
 • goyne

  Jul. 23, 2018
 • ramadhanizuberindiholeye

  Mar. 25, 2018
 • LucasLukanga

  Feb. 16, 2018
 • ssuser3e8ce3

  Mar. 14, 2016
 • JumaIssaJuma

  Oct. 24, 2014
 • mponzi

  Sep. 25, 2014
 • barton19995

  Dec. 12, 2013

Views

Total views

26,871

On Slideshare

0

From embeds

0

Number of embeds

7

Actions

Downloads

342

Shares

0

Comments

0

Likes

10

×