Successfully reported this slideshow.
We use your LinkedIn profile and activity data to personalize ads and to show you more relevant ads. You can change your ad preferences anytime.

3

Share

Download to read offline

JEDWALI LA KUTAHINI

Download to read offline

Ni vizuri kwa kufanya mtihani/jaribio kuwa thabiti na bora kuuanda kwa kutumia jedwali la kutahini

Related Audiobooks

Free with a 30 day trial from Scribd

See all

JEDWALI LA KUTAHINI

 1. 1. Singachini TTC 2012JEDWALI LA KUTAHINIKabla mwalimu hajaanza kutunga maswali anapaswa kutayarisha jedwali la kutahini. Jedwali la kutahini ni utaratibuunaonyesha maada za kupima na idadi ya maswali kwa kila maada. Jedwali hili huonyesha malengo yanatarajiwakufikiwa pamoja na idadi ya maswali kwa kila maada na/au idadi ya maswali kwa kila ngazi inayopimwa. Jedwalihupangwa kwa safu. Safu ya kwanza upande wa kushoto huwekwa maudhui kwa kuorodhesha maada(kuu/ndogo)zinazopimwa. Safu inayofuata kulia huwekwa malengo ya kupimwa,inayofuata nyanja inayopimwa na ngazi zake.Watahini wengi hutumia mgawanyo wa Bloom (1956) kuainisha stadi hizo. Hata hivyo hufungwi nautaratibu huu ikiwa somo lako haliwezi kupimwa kikamilifu kwa mgawanyo huo.unaweza kuwekautaritibu mwingine kama utaona unafaa zaidi.Idadi ya maswali huonyeshwa katika mkato wa chumba cha maudhui kuelekea kulia na kile cha safu ya ngazi ya stadizinazopimwa.Jumla ya maswali kwa kila maada huandikwa upande wa kulia na Jumla ya maswali kwa kila ngazi ya Nyanjainayopimwa (mara nyingi utambuzi) huandikwa kwenye mstari wa chini ya jedwali.Mfano wa Jedwali la Kutahini STADI ZA KUPIMWA JUMLA MALENGO ASILIMIAMAADA ZA KWA YA Nganzi Ngazi Ngazi Ngazi Ngazi KWA KILAKUPIMWA …… KILA KUPIMWA 1 2 3 4 5 MADA MADA Mada A Mada B Mada C …JUMLAYAMASWALIKWA KILA NGAZIASILIMIAKWA KILA NGAZIPrepered by Adam Chaula College Tutor II Page 1
 2. 2. Singachini TTC 2012UTAYARISHAJI WA JEDWALI LA KUTAHINIMambo ya kufanya wakati wakuandaa jedwali la kutahini. 1. Chukua muhtasari wa somo na maandalio ya somo. 2. Chunguza katika maandalio ya somo maada ambazo zimekishwa fundishwa. 3. Chagua mada ambazo unaona ni muhimu zitungiwe jaribio/ mitihani kisha orodhesha mada hizo. 4. Chunguza kwa makini katika muhtasari na maandalio ya somo malengo mahsusi ya mada zinazotungiwa maswali. Orodhesha malengo hayo kisha amua: i. aina ya maswali yatakayotumika katika upimaji. ii. idadi ya maswali yote katika mitihani. iii. muda wa kufanya jaribio hutegemea na wingi wa mada na hali ya malengo yenyewe 5. Chora jedwali la kutahini. 6. Jaza jedwali la kutahini kwa kufuata hatua hizi. i. orodhesha mada zote za kutungiwa maswali. ii. orodhesha malengo mahususi katika safu inayofuata iii. Amua ngazi zipi za nyanja ipi za kupimwa zipewe umuhimu wa kupewa maswali mengi na zipi zipewe maswali machache.UMUHIMU WA JEDWALI A KUTAHINI 1. Linahakikisha kuwa maudhui yote yanayotakiwa kutahiniwa yanatahiniwa. 2. Linahakikisha kuwa kiwango cha kuelewa maarifa , kumudu stadi za utendaji na kubadilika kwa mwelekeo wa watahiniwa kinatahiniwa 3. Linahahakikisha uwiano wa idadi ya maswali katika kila eneo na kila kipengele cha nyanja kinapimwa .Prepered by Adam Chaula College Tutor II Page 2
 3. 3. Singachini TTC 2012 Mfano wa Jedwali la kutahini wa somo la Maarifa ya Jamii JEDWALI LA KUTAHINI KWA SOMO LA MAARIFA YA JAMII DARASA LA TANO MUHULA WA II, 2012 NYANJA YA MWELEKEO Kuwa tayari ASILIMIA Kuwianisha Kutathmini MsimamoMADA ZA MALENGO YA JUMLA KWA maswala kuitikia KWA KILAKUPIMWA KUPIMWA KILA MADA MADAMahusianoya jamii za 1 2 3 15%TanzaniaMila na 1 1 1 3 15%desturiKufanya 1 1 1 3 15%kaziKusoma 1 2 3 15%ramaniMuundo waserikali ya 2 1 3 15%kijijiUshiriki wa 2 3 5 15%jamiiIDADI YA MASWALI KWA 5 6 2 4 3 20 15%KILA NGAZIASILMIA KWA KILA NGAZI 25% 30% 10% 20% 15% 100% 100%Prepered by Adam Chaula College Tutor II Page 3
 • FatmaUpunda

  May. 4, 2019
 • AthumanBakary

  May. 1, 2018
 • RogersLeodigard

  Nov. 14, 2016

Ni vizuri kwa kufanya mtihani/jaribio kuwa thabiti na bora kuuanda kwa kutumia jedwali la kutahini

Views

Total views

26,904

On Slideshare

0

From embeds

0

Number of embeds

7

Actions

Downloads

30

Shares

0

Comments

0

Likes

3

×