3. METALEKSIKOGRAFIA
Ni taaluma kuhusu dhana, historia,
uhakiki, aina na matumizi ya kamusi na
kazi rejea nyengine zinazofanana na
kamusi,
Inaangalia leksikografia kama nadharia
Dhana ya leksikografia
Historia ya leksikografia
Aina za kamusi
Matumizi ya kamusi
4. MALENGO YA
LEKSIKOGRAFIA
Lengo la Kielimu: Ufundishaji wa
lugha za kigeni na lugha za kienyeji
Lengo la Kikanuni: Ufafanuzi na
uwekaji wa kanuni za lugha na kujua
kaida ya lugha katika viwango
mbalimbali vya lugha kama fonolojia,
mofolojia na sintaksia
5. MALENGO YA
LEKSIKOGRAFIA
Lengo la Mawasiliano: Kuimarisha
mawasiliano ya watu wa tamaduni
mbalimbali
Lengo la Kisayansi: Kuimarisha
utafiiti katika msamiati wa lugha
7. KABLA YA KAMUSI
LENGO: Kufafanua maneno magumu
Umbo lililotumika lilikuwa la Glosi.
Glosi ni tafsiri ya matamshi ya matini
Zilianza karne ya 25 KK – Ugiriki
Kufikia karne ya 8 KK glosi
zilipatikana Ulaya Magharibi
Karne ya 11 BK zilipatikana Urusi
8. KABLA YA KAMUSI
Umbo la Faharasa
Orodha ya tafsiri za maneno ya
mwandishi au kitabu
Veda – Milenia ya kwanza KK (India)
Hetite – Akadia –Sumeria 14 -13 KK
(Misri)
9. Kipindi cha Kamusi za Awali
LENGO: Kujifunza lugha ya maandishi
Msamiati wa Sanskrit karne 8-6 KK
Msamiati wa Kiyunani cha kale karne
ya 7 KK
Utaratibu wa Kimagharibi wa uundaji
wa kamusi ulianzia Ugiriki kutokana
na lugha kubadilika kwa kiasi kikubwa
na kuhitaji ufafanuzi
10. Kipindi cha Kamusi za Awali
Tafsiri za msamiati wa kigeni kwa
lugha za wazawa.
Kiarabu – Kiajemi
Kilatini – Kiingereza
Kiingereza – Kilatini
Kifaransa – Kilatini
Kirusi – Kilatini – Kigiriki
11. Kipindi cha Maendeleo ya
Kamusi
LENGO: Kutoa ufafanuzi na kanuni za
lugha
Kamusi za kitaaluma
Saiklopidia
Kamusi za sarufi
Kamusi za lahaja
Kamusi za istilahi
Kamusi za visawe
12. Kipindi cha Maendeleo ya
Kamusi
Baadae mawazo ya wanafalsafa
maarufu yalianza kuathiri uundaji wa
kamusi
Mawazo ya wanafalsafa kama Francis
Bacon na Rene Decartes yalionekana
katika kamusi.
Mawazo yao yalihusiana na asili na
maendeleo ya mwanadamu na Isimu
Linganishi.
13. Kipindi cha Maendeleo ya
Kamusi
Haya yalisababisha kuibuka kwa
etimolojia katika kamusi
Hii ilikuwa katika karne ya 19 BK
14. AINA ZA KAMUSI
KIGEZO CHA LUGHA:
i. Lugha moja
ii. Lugha mbili
iii. Lugha nyingi
KIGEZO CHA UFADHILI
i. Kamusi za kitaaluma
ii. Kamusi za biashara
KIGEZO CHA UMRI:
i. Kamusi za watoto
ii. Kamusi za wanafunzi wa kiwango cha kati
iii. Kamusi za wanafunzi wa kiwango cha juu
15. AINA
UKUBWA:
i. Kubwa 100000 na zaidi
ii. Kamusi za mezani – haziwezi kubebwa
iii. Kamusi ndogo
iv. Kamusi za mfukoni
ENEO LA MATUMIZI
i. Kamusi za kiufundi
ii. Kamusi za kawaida
AINA YA MSAMIATI
i. Lahaja
ii. Misimu
iii. vifupisho
iv. Visawe
21. Mchakato wa Kileksikografia
Ni aina gani na kiwango gani cha maneno
kinachotaka kuingizwa katika kamusi?
Ni vipi maneno yatakusanywa na kupangwa
katika Kamusi?
Ni vipi maana za maneno zitaelezwa katika
kamusi?
Ni vipi dhana mbalimbali za maneno
zitaoneshwa katika Kamusi
Ni kwa namna gani matamshi yataoneshwa?
22. Hatua za Uundaji wa Kamusi
Wahrig (1967)
1. Kukusanya data kutoka katika Kamusi
na vyanzo vyengine.
2. Add etymological information to cards
3. Add semantic information and usage
making for general vocabulary
4. Add definition to technical vocabulary
5. Final editing, including syllabification,
transcription and grammatical details
23. Zgusta (1971)
1. Collection of material
2. Selection of entries
3. Construction of entries
4. Arrangement of entries
24. DICTIONARY PROJECT AND
DESIGN
Each dictionary project is unique
Where does the project starts?
PLANNING
WRITING
PRODUCING
Is it commercial or scholarly
dictionary?
25. PLANNING
In commercial dictionary
Identify the market (who will buy)
Estimate the size of the market (20,000)
Estimate the revenues
The size of the book
How big
How many words
26. PLANNING
Compare with the dictionary in the
market (size and quality)
Survey potential users
In children dictionary don’t count
words but think about illustrations
27. PLANNING
Budget and schedule of the work
How materials will be obtained
Who will be involved? (editors, experts), in-
house or freelance
Resources going to be used
28. PLANNING
Existing dictionaries, books, newspapers
(remember these things take a lot of
time)
People who will contribute to the
materials
Schedule vs Expenses
Dutch dict. 24 – 65yrs, Danish – Swedish 10 -
24 but 65, New oxford 10 – 50 yrs
29. REASONS
Fragility of human nature (training,
illness, transfer, quitting, deaths,
Difficulty of organisation
Ideas that lexicography is an easy
work
30. REASONS
Publishers little knowledge of
dictionaries
Some dictionaries are very long
Thousands of cross references