SlideShare a Scribd company logo
1 of 7
MJUE MTEJA WAKO
Leo nataka tujifunze kuhusu mteja.Hapa tutapata
kujua mambo tofauti tofauti yamhusuyo mteja.
Makampuni yaliyoendelea yana fokasi kwa
mteja,Yanajipanga kufikia mahitaji ya wateja.
MTEJA NI NANI?
Mteja ni mtu anayehitaji huduma/bidhaa/msaada
kutoka kwako
-Mteja ni sababu ya wewe kuwa hapo ulipo.
Huduma nzuri kwa mteja ni ile ya kummsaidia
mteja zaidi ya kile anachohitaji.
MBINU BORA KUMVUTA WATEJA
-Vaa vizuri
-Furahia kusaidia watu
-Wahudumie vizuri
-Wajali wateja wako
-Wahudumie kwa usawa
-Tambua watu wenye mahitaji ya pekee
-Kuwa msafi
-Jiamini
-Kuwa na mpangilio mzuri
WATEJA WENYE MAHITAJI YA KIPEKEE
-Wateja wanaozungumza lugha tofauti
-Watu wenye ulemavu
-Wageni wa mji au maeneo ulipo
-Watoto
JINSI YA KUMHUDUMIA WATEJA
-Kuwa shapu,msalimu na kumkaribisha mteja mara moja unapomuona hata kama upo bize
-Tabasamu
-Usitumie lugha ya ukali
-Mwache awe huru
-Muulize anachohitaji usihisi ni nini anaweza hitaji
-Mfanye ajione ni muhimu kwako na unamthamini
-Msikilize kwa umakini
-Tambua tamaduni za watu wa mazingira(ili uweze wasalimia na kuwakaribisha ipasavyo)
-Mtambulishe aina,ubora wa bidhaa na huduma yako.
-Maliza kwa kuwashukuru na kumkaribisha tena
-Waelimishe wateja wako.
Kumbuka:-Huduma kwa mteja inaisha pale anaporidhika.
-Wewe sio mteja! hivo sio kila unachokiona ni ubora katika bidhaa na mteja atakiona hivohivo(msikilize )
MAMBO YA KUEPUKA KUFANYA
KWA MTEJA
Kumwambia Sijui bila kumpa mbadala
● -Kutokumjali mteja kwa kuwa upo bize
● -Kuwahudumia kwa utofauti(kujali baadhi na kutojali
wengine)
● -Kumtolea lugha chafu
MAMBO YA KUEPUKA KUFANYA
KWA MTEJA
Kumwambia Sijui bila kumpa mbadala
● -Kutokumjali mteja kwa kuwa upo bize
● -Kuwahudumia kwa utofauti(kujali baadhi na kutojali
wengine)
● -Kumtolea lugha chafu

More Related Content

What's hot

Tle 8 methods in processed fruits and vegetables
Tle 8 methods in processed fruits and vegetablesTle 8 methods in processed fruits and vegetables
Tle 8 methods in processed fruits and vegetablesBernadette Huertas
 
Hotel Front Office Up-Selling
Hotel Front Office Up-SellingHotel Front Office Up-Selling
Hotel Front Office Up-SellingDarrel Cartwright
 
Tle 8 production of processed fruits and vegetables
Tle 8 production of processed fruits and vegetablesTle 8 production of processed fruits and vegetables
Tle 8 production of processed fruits and vegetablesBernadette Huertas
 
SEQUENCE OF SERVICE IN RESTAURANT.pptx
SEQUENCE OF SERVICE IN RESTAURANT.pptxSEQUENCE OF SERVICE IN RESTAURANT.pptx
SEQUENCE OF SERVICE IN RESTAURANT.pptxSpiritTales
 
Facilities for differently abled guests in indian and
Facilities for differently abled guests in indian andFacilities for differently abled guests in indian and
Facilities for differently abled guests in indian andShagunVerma26
 
Bases of wage in the Philippines
 Bases of wage in the Philippines Bases of wage in the Philippines
Bases of wage in the PhilippinesJhez Traballo
 
Hot and cold desserts
Hot and cold dessertsHot and cold desserts
Hot and cold dessertsMohd Abdullah
 
Prepare hot and cold meals
Prepare hot and cold mealsPrepare hot and cold meals
Prepare hot and cold mealsBalle Jrell
 
Job description vs job specification
Job description vs job specificationJob description vs job specification
Job description vs job specificationMalik Awan
 

What's hot (20)

Types of employment in the Philippines
Types of employment in the PhilippinesTypes of employment in the Philippines
Types of employment in the Philippines
 
Harshulkareer 1menu
Harshulkareer 1menuHarshulkareer 1menu
Harshulkareer 1menu
 
Table service
Table serviceTable service
Table service
 
Equipment in hotel front office
Equipment in hotel front officeEquipment in hotel front office
Equipment in hotel front office
 
Room service
Room serviceRoom service
Room service
 
Tle 8 methods in processed fruits and vegetables
Tle 8 methods in processed fruits and vegetablesTle 8 methods in processed fruits and vegetables
Tle 8 methods in processed fruits and vegetables
 
Front office operations
Front office operationsFront office operations
Front office operations
 
Hotel Security PPT
Hotel Security PPTHotel Security PPT
Hotel Security PPT
 
Hotel Front Office Up-Selling
Hotel Front Office Up-SellingHotel Front Office Up-Selling
Hotel Front Office Up-Selling
 
Tle 8 production of processed fruits and vegetables
Tle 8 production of processed fruits and vegetablesTle 8 production of processed fruits and vegetables
Tle 8 production of processed fruits and vegetables
 
FOS Tools, Equipment and Supplies
FOS Tools, Equipment and SuppliesFOS Tools, Equipment and Supplies
FOS Tools, Equipment and Supplies
 
SEQUENCE OF SERVICE IN RESTAURANT.pptx
SEQUENCE OF SERVICE IN RESTAURANT.pptxSEQUENCE OF SERVICE IN RESTAURANT.pptx
SEQUENCE OF SERVICE IN RESTAURANT.pptx
 
Facilities for differently abled guests in indian and
Facilities for differently abled guests in indian andFacilities for differently abled guests in indian and
Facilities for differently abled guests in indian and
 
Prepare appetizers
Prepare appetizersPrepare appetizers
Prepare appetizers
 
Bases of wage in the Philippines
 Bases of wage in the Philippines Bases of wage in the Philippines
Bases of wage in the Philippines
 
Hot and cold desserts
Hot and cold dessertsHot and cold desserts
Hot and cold desserts
 
Front office week 1_4
Front office week 1_4Front office week 1_4
Front office week 1_4
 
Prepare hot and cold meals
Prepare hot and cold mealsPrepare hot and cold meals
Prepare hot and cold meals
 
Hotel property management system. PMS
Hotel property management system. PMSHotel property management system. PMS
Hotel property management system. PMS
 
Job description vs job specification
Job description vs job specificationJob description vs job specification
Job description vs job specification
 

Mjue mteja wako

  • 1. MJUE MTEJA WAKO Leo nataka tujifunze kuhusu mteja.Hapa tutapata kujua mambo tofauti tofauti yamhusuyo mteja. Makampuni yaliyoendelea yana fokasi kwa mteja,Yanajipanga kufikia mahitaji ya wateja.
  • 2. MTEJA NI NANI? Mteja ni mtu anayehitaji huduma/bidhaa/msaada kutoka kwako -Mteja ni sababu ya wewe kuwa hapo ulipo. Huduma nzuri kwa mteja ni ile ya kummsaidia mteja zaidi ya kile anachohitaji.
  • 3. MBINU BORA KUMVUTA WATEJA -Vaa vizuri -Furahia kusaidia watu -Wahudumie vizuri -Wajali wateja wako -Wahudumie kwa usawa -Tambua watu wenye mahitaji ya pekee -Kuwa msafi -Jiamini -Kuwa na mpangilio mzuri
  • 4. WATEJA WENYE MAHITAJI YA KIPEKEE -Wateja wanaozungumza lugha tofauti -Watu wenye ulemavu -Wageni wa mji au maeneo ulipo -Watoto
  • 5. JINSI YA KUMHUDUMIA WATEJA -Kuwa shapu,msalimu na kumkaribisha mteja mara moja unapomuona hata kama upo bize -Tabasamu -Usitumie lugha ya ukali -Mwache awe huru -Muulize anachohitaji usihisi ni nini anaweza hitaji -Mfanye ajione ni muhimu kwako na unamthamini -Msikilize kwa umakini -Tambua tamaduni za watu wa mazingira(ili uweze wasalimia na kuwakaribisha ipasavyo) -Mtambulishe aina,ubora wa bidhaa na huduma yako. -Maliza kwa kuwashukuru na kumkaribisha tena -Waelimishe wateja wako. Kumbuka:-Huduma kwa mteja inaisha pale anaporidhika. -Wewe sio mteja! hivo sio kila unachokiona ni ubora katika bidhaa na mteja atakiona hivohivo(msikilize )
  • 6. MAMBO YA KUEPUKA KUFANYA KWA MTEJA Kumwambia Sijui bila kumpa mbadala ● -Kutokumjali mteja kwa kuwa upo bize ● -Kuwahudumia kwa utofauti(kujali baadhi na kutojali wengine) ● -Kumtolea lugha chafu
  • 7. MAMBO YA KUEPUKA KUFANYA KWA MTEJA Kumwambia Sijui bila kumpa mbadala ● -Kutokumjali mteja kwa kuwa upo bize ● -Kuwahudumia kwa utofauti(kujali baadhi na kutojali wengine) ● -Kumtolea lugha chafu